Dataset Viewer
Auto-converted to Parquet Duplicate
query
stringlengths
17
98
positive
sequencelengths
1
10
negative
sequencelengths
1
16
cluster
int64
0
60
Bandari kubwa nchini Kenya iko wapi?
[ "Bandari ya Kilindini\nBandari ya Kilindini ni hori kubwa asili ya maji yenye urefu kwenda chini unaoendelea barani kutoka Mombasa, Kenya. Inatumika kama bandari ya Mombasa, na inayo uendelezaji mikoani hadi Uganda na Sudan. Bandari ya Kilindini ni sehemu kuu ya Bandari ya Mombasa, bandari ya kimataifa ya pekee nch...
[ "Busia, Uganda\nMji huu, pamoja na mji dada yake wa Busia, Kenya kando ya mpaka, ni vituo vya shughuli za kibiashara kubwa na trafiki ni nzito katika pande zote mbili. Bidhaa kutoka Uganda ni pamoja na mazao ya biashara kama kahawa, pamba na mbao zinazopelekwa katika bandari ya Mombasa nchini Kenya kwa ajili ya kuu...
15
Je,mji mkuu Australia ni gani?
[ "Mji mkuu\nAustralia ilijenga mji mkuu mpya kwa sababu miji mikubwa ya Sydney na Melbourne yote yalitaka kuwa mji mkuu wa kitaifa wa Shirikisho la Australia. Mwaka 1908 eneo la Canberra lililokuwa mashambani wakati ule liliteuliwa, ujenzi wa mji mpya ulianza mwaka 1913 na serikali pamoja na bunge ilihamia Canberra ...
[ "Kisiwa cha Krismasi\nKisiwa cha Krismasi ni eneo dogo la Australia katika Bahari Hindi takriban 500 km upande wa kusini ya Jakarta mji mkuu wa Indonesia na 2,400 km kaskazini ya Australia yenyewe.", "Brisbane\nBrisbane ni mji mkubwa wa tatu wa Australia na mji mkuu wa jimbo la Queensland katika kaskazini ya nchi...
51
Je,hadithi ya Pinokyo ilitungwa lini?
[ "Mambo yaliyompata Pinokyo\nMambo yaliyompata Pinokyo: habari za mwanasesere (kwa Kiitalia jina linalotamkwa hivyo linaandikwa Pinocchio) ni hadithi ya karagosi hai ya ubao na shani zake. Hadithi hiyo ilitungwa na mwandishi Mwitalia Carlo Collodi tangu mwaka 1881 hadi 1883 ilipotolewa kama kitabu, kwa jina la Kiita...
[ "Mambo yaliyompata Pinokyo\nTabia muhimu ya Pinokyo katika hadithi ni pua lake linaloanza kuwa ndefu sana kila akisema uwongo. Kutokana na hilo wachoraji wa katuni za kisiasa hupenda kumchora mtu kwa pua ndefu wakitaka kuonyesha huyu ni mwongo.", "Mambo yaliyompata Pinokyo\nSiku moja seremala Maestro Ciliegia ana...
25
Timu ya taifa ya soka ya Brazil imeshinda kombe la dunia mara ngapi?
[ "Timu ya Taifa ya Kandanda ya Brazil\nBrazil ni timu ya taifa yenye mafanikio zaidi katika Kombe la aduni la FIFA, mashindano ya mpira wa miguu ya kimataifa, kuwa mshindi wa taji mara tano: 1958, 1962, 1970, 1994 na 2002. Brazil pia ina utendaji bora zaidi katika Kombe la Dunia, kwa kawaida na masharti kamili, na r...
[ "Timu ya Taifa ya Kandanda ya Brazil\nTimu ya soka ya taifa la Brazil inawakilisha Brazili katika soka ya kimataifa ya wanaume. Brazil inasimamiwa na Shirikisho la Soka la Brazil CBF, kikundi kinachoongoza kwa soka nchini Brazil. Wamekuwa mwanachama wa FIFA tangu 1923 na mwanachama wa CONMEBOL tangu 1916", "Bebet...
16
Rais wa kwanza wa Gabon aliitwa nani?
[ "Omar Bongo\nKiongozi huyo amevunja rekodi ya kuwa Rais aliyekaa muda mrefu marakani kuliko Rais yeyote barani Afrika. Rais huyo amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 73, ambapo ameiongoza Gabon kwa miaka 42.\nBongo alijiunga na serikali ya Gabon mwaka 1965 na mwaka 1967 akawa makamu wa Rais ambapo mwaka huo huo a...
[ "Omar Bongo\nHabari za kifo cha Rais huyo wa Gabon zilikuja wiki chache baada ya mahakama nchini Ufaransa kutaka kufanyiwa uchunguzi juu ya mali ya Rais Bongo nchini Ufaranasa. Uchunguzi kama huo pia utafanyiwa mali ya rais wa Kongo Brazzaville Dennis Sassou Nguesso na rais wa Guinea ya Ikweta Teodoro Obiang` Nguem...
56
Nchi ya Thailand ina idadi ngapi ya watu?
[ "Uthai\nNchi ina wakazi zaidi ya milioni 67, hivyo inashika nafasi ya 20 duniani." ]
[ "Mkimbizi\nKuhusiana na kuwapa makao mapya \"waliotoka\", mnamo mwaka wa 2008 wakimbizi 65,548 walipewa makao mapya katika nchi 26, ongezeko kutoka idadi ya 49,868 ya mwaka wa 2007. Idadi kubwa zaidi ya waliosaidiwa na Ubalozi wa Umoja wa Mataifa wa Wakimbizi kutoka walikuwa kutoka nchi za Thailand (16.807), Nepal ...
53
Nchi ya Kongo ilipata uhuru mwaka gani?
[ "Katanga\nBaada ya uhuru wa Kongo mwaka 1960 jimbo lilijitenga na kuwa nchi ya pekee chini ya urais wa Moise Tshombe. Jeshi la UM lilimaliza kipindi hiki kwa nguvu ya kijeshi na kurudisha Katanga kuwa sehemu ya Kongo tena hadi Januari 1963. Katika kipindi hiki kifupi waziri mkuu wa Kongo Patrice Lumumba aliuawa kat...
[ "Lubumbashi\nÉlisabethville ulitumikia kama mji mkuu na kitovu cha biashara wa Jimbo la kujitenga la Katanga wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe vya miaka 1960-1963. Moise Tshombe alitangaza uhuru wa Katanga mnamo Julai 1960. Viongozi wa Kongo walimtia nguvuni akashtakiwa kwa uhaini Aprili 1961, hata hivyo aliku...
18
Je,msitu ipi kubwa zaidi bara Afrika?
[ "Msitu wa mvua\nMaeneo makubwa yako hasa Brazil katika beseni ya Amazonas, Afrika katika beseni ya mto Kongo, Asia ya Kusini-Mashariki na kaskazini ya Australia." ]
[ "Milima ya Ufa Mashariki\nMilima ya Ufa Mashariki ni safu mbili za milima ya eneo la Maziwa makubwa ya Afrika, katika nchi a Kenya, Uganda, Tanzania, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Rwanda na Burundi.\nInaitwa hivyo kutokana na uhusiano wake na Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki; safu ya magharibi ina: Milima ya...
41
Je,makao makuu ya kaunti ya Samburu ni wapi?
[ "Kaunti ya Samburu\nMakao makuu yako Maralal." ]
[ "Wasamburu\nWanaishi kaskazini ya ikweta katika kaunti ya Samburu, eneo la kilomita za mraba 21,000 (maili za mraba 8,000). Ardhi yao ni ya pekee na ni rembo. Kabla na miaka michache baada ya uhuru wa Kenya eneo hili lilikuwa linajulikana kama Northern Frontier District (NFD). Wilaya ya Samburu wakati moja ilikuwa ...
15
Jina kamili la Pelé ni lipi?
[ "Pelé\n= Maisha ya awali =\nPelé alizaliwa mjini Três Corações, Minas Gerais, Brazil, na ni mtoto wa mchezaji wa zamani wa Fluminense Dondinho (mtoto wa João Ramos do Nascimento) na Celeste Arantes.Ni mkubwa kati ya watoto wawili. Alipewa jina la shujaa wa Kimarekani Thomas Edison. Wazazi wake waliamua kuitoa heruf...
[ "Pelé\nPelé alishinda taji kubwa kwa mara ya kwanza akiwa na Santos mwaka 1958 ambapo timu ailishinda taji la Campeonato Paulista; Pelé alimaliza mashindano akiwa mfungaji bora wa magoli 58, rekodi inayoshikiliwa hadi sasa.Mwaka mmoja baaadaye aliisaidia nchi yake kushinda mabao 3-0 dhidi ya Vasco Da Gama kwenye mi...
38
Masinde muliro alijiunga na siasa mwaka gani?
[ "Masinde Muliro\nMwaka wa 1948, Muliro alijiunga na chama cha Kenya African Union (KAU), chama kilichoanzishwa kutetea maslahi ya Waafrika nchini Kenya ambayo wakati huo ilikuwa chini ya ukoloni.\nAlipoacha kufunza mwaka wa 1957, aligombea kiti cha ubunge cha eneo bunge la Nyanza Kaskazini ambacho wakati huo kiliku...
[ "Masinde Muliro\nMasinde muliro (alizaliwa mnamo 1922 na aliaga dunia mnamo 14 Agosti 1992) alikuwa mwanasiasa wa Kenya, mmoja wa viongozi wakuu katika kuchagiza siasa nchini Kenya. Alikuwa mpigania uhuru aliyejulikana na alifanya kampeni kwa ajili ya marejesho ya demokrasia ya vyama vingi nchini Kenya katika miaka...
29
Kiongozi wa chama cha Orange Democratic Movement ni nani?
[ "Kenya\nKatika uchaguzi mkuu uliofanyika tarehe 27 Desemba 2007, Rais Kibaki wa chama cha Party of National Unity (PNU) aliwania uchaguzi dhidi ya chama kikuu cha upinzani Orange Democratic Movement (ODM). Kulingana na wachunguzi wa kimataifa, uchaguzi huo ulikumbwa na udanganyifu na hivyo kutofikia kiwango kinacho...
[ "Orange Democratic Movement\nKura ya kutokubaliana'No' ambayo chama cha ODM kilifanyia kiampeni ilishida kwa asilimia 58.12%ya Wakenya waliopiga kura na kuweka chini katiba iliyopendekezwa, na kupatia Chungwa ushindi. Baada ya katiba kukataliwa Rais Mwai Kibaki aliwaodoa mawaziri. Wanachanma wa ODM walisema kwamba ...
0
Ngugi wa Thiong'o alizaliwa wapi?
[ "Ngugi wa Thiongo\nNgugi amezaliwa Kenya katika kijiji cha Kamiriithu karibu na Limuru, wilaya ya Kiambu katika jamii ya Wagikuyu akabatizwa James Ngugi. Alikuwa mtoto wa tano wa mke wa tatu wa baba yake Thiong'o wa Nducu. Baba alikuwa mkulima aliyepotea shamba lake kutokana na Waingereza kuteka na kutwaa Nyanda za...
[ "Ngugi wa Thiongo\nKazi yake ya kifasihi ilimpeleka katika mzozo na serikali. Kuanzia mwaka 1976 Ngugi alishirikiana na wanakijiji Wagikuyu karibu na Limuru kuanzisha maagizo ya tamthilia katika lugha yao. 1976 riwaya yake ya \"PETALS OF BLOOD\" ilichora picha ya watawala wapya Waafrika jinsi walivyochukua nafasi y...
35
Je,Steven Zuber alijiunga na klabu ya Hoffenheim mwaka upi?
[ "Steven Zuber\nMnamo Agosti 14 mwaka 2014, Zuber alihamia Hoffenheim juu ya mkataba wa miaka minne. Mnamo 25 Januari 2017, aliongeza mkataba wake hadi 2020." ]
[ "Steven Zuber\nSteven Zuber (alizaliwa tarehe 17 Agosti mwaka 1991) ni mchezaji wa soka wa Uswisi ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Ujerumani Hoffenheim na timu ya taifa ya Uswisi.", "Steven Zuber\nZuber alifanya timu yake ya kwanza kwa tarehe 12 Julai 2008 katika Kombe la Intertoto , mechi ya pili ya mguu ...
32
Dodoma iko na idadi ngapi ya watu?
[ "Mkoa wa Dodoma\nKatika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa Mkoa wa Dodoma ilihesabiwa kuwa 2,083,588.", "Dodoma (mji)\nEneo la mji liko mita 1135 juu ya usawa wa bahari UB. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, mji wa Dodoma ulikuwa na wakazi wapatao 410,956 waishio humo." ]
[ "Dodoma vijijini\nDodoma Vijijini ilikuwa wilaya moja ya Mkoa wa Dodoma wenye msimbo wa posta 41200. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa Wilaya ya Dodoma Vijijini ilihesabiwa kuwa 440,565 .", "Mkoa wa Dodoma\nKwa jumla Dodoma haina mvua nyingi isipokuwa sehemu za wilaya za Mpwapwa na Kondoa. Hivyo hasa...
13
Je,mtoto wa umri wa miaka mbili anaweza pata ugonjwa wa kisukari?
[ "Maziwa ya mama\nKunyonyesha kunaendelea kutoa manufaa katika na baada ya kipindi cha utoto. Faida hizi ni pamoja na kupunguzwa kwa dari hatari ya kifo cha ghafla kwa watoto wachanga (SIDS), inaongeza akili, inapunguza uwezekano wa kuambukizwa ugonjwa wa katikati mwa sikio, homa, na viini vinavyolete homa, hupunguz...
[ "Draft: Chanjo ya matumbwitumwi\nChanjo ya matumbwitumwi inazuia ugonjwa wa matubwitumwi. Watu wengi wakichanjwa huwa inapunguza matatizo ndani ya jamii. Inafaa zaidi kama asilimia 90% ya wananchi wakichanjwa na ubora wake unakadiriwa kuwa asilimia 85% ya wananchi. Dozi mbili zinahitajika ili kukinga ugonjwa huo kw...
33
Je,Flamingo inapatikana katika ziwa gani nchini Kenya?
[ "Utalii nchini Kenya\nMbuga ya wanyama ya kitaifa ya Ziwa Nakuru, lililoanzishwa mwaka wa 1961 karibu na Ziwa Nakuru, liko karibu na mji wa Nakuru. Inajulikana sana kwa maelfu, na wakati mwingine mamilioni ya ndege wa aina ya flamingo wanaokusanyika ufuoni mwa ziwa Nakuru. Wajihi wa ukame wa ziwa hili ni vigumu kuj...
[ "Jangwa\nMto wa Ewaso Nyiro katika Kenya ya kaskazini kwa kawaida hukwisha katika nchi yabisi za Usamburu. Lakini kila baada ya miaka makumi kadhaa baada ya mvua kubwa sana inaendelea kuvuka jangwa la Somalia ya kusini na kufikia Bahari Hindi jinsi ilvyotokea wakati wa El-Nino 1998.", "Mto Gandeni\nMto Gandeni un...
15
Je,Raila Odinga alikuwa waziri mkuu mwaka upi?
[ "Raila Odinga\nRaila Amolo Odinga (*7 Januari 1945) ni mwanasiasa wa upinzani nchini Kenya na tangu 13 Aprili 2008 waziri mkuu nchini humo hadi 2013. Aliwahi kuwa mbunge tangu 1992 na waziri katika serikali ya rais Mwai Kibaki kati ya 2001 hadi 2005. Katika uchaguzi wa mwaka 2007 alikuwa mgombea wa urais upande wa ...
[ "Raila Odinga\nAlizaliwa 1945 katika familia ya Waluo akiwa mtoto wa chifu Jaramogi Oginga Odinga aliyekuwa makamu wa rais wa kwanza nchini Kenya. Baba yake alikuwa kiongozi mkuu wa Waluo akatazamiwa baadaye kama mpinzani mkuu wa rais wa kwanza Jomo Kenyatta. \nKaka yake Raila, Oburu Odinga amekuwa mwanasiasa na mb...
0
Mji mkuu wa Nigeria ni?
[ "Mji mkuu\nNigeria iliamua mwaka 1976 kuhamisha mji mkuu wa kitaifa kutoka Lagos kwenda mahali pa katikati ya nchi. \"Eneo la Mji Mkuu wa Shirikisho\" limeteuliwa. Mji mpya wa Abuja ndani ya eneo hili ukawa mji mkuu wa Nigeria mwaka 1991.", "Abuja\nAbuja ni mji mkuu wa Nigeria. Idadi ya wakazi wake imekadiriwa ku...
[ "Enugu\nHapo wali Enugu ilikuwa mji mkuu wa Mkoa wa Mashariki wakati Nigeria ilipata uhuru mwaka wa 1960. Tarehe 27 Mei 1967, serikali ya Nigeria iligawanya mikoa hii tatu katika majimbo 12. Mkoa wa Mashariki ulivunjwa na Enugu ilifanywa mji mkuu wa Jimbo Kuu ya Mashariki. Tarehe 30 Mei 1967, ilitangazwa kama mji m...
26
Je,nani mwanzilishi wa mziki wa hIhop nchini Tanzania?
[ "Machozi Jasho na Damu\nHalkadhalika ame-enzi kazi ya mwanzilishi halisi wa rap ya Kiswahili nchini Tanzania bwana Edward Mtui (maarufu kama Fresh XE) kwa kuchukua kiitikio chake cha \"Piga Makofi\" ambacho kilimpelekea ashinde tuzo ya Yo Rap Bonanza katika miaka ya 1980, lakini hakutoa nyimbo. Jay anatungia wimbo ...
[ "Nash MC\nAlipitia mengi yanayohitajika ili kuwa mchanaji hasa. Alipata msaada kutoka kwa wasanii wakongwe wa hip hop ya Tanzania kama akina Lindu Lindulu, Zavara Mponjika, Saigon na wengine wengi tu. Kwenye mwaka wa 2009 alifanya mahojiano ya nguvu na Saigon wakati huo mtangazaji katika kipindi cha \"HIP-HOP Base\...
42
Kikurdi ni lugha ya wapi?
[ "Kikurdi\nKikurdi ni kundi la lahaja za Kiajemi zinazotumika na Wakurdi wengi (milioni 20-30 hivi) huko Mashariki ya Kati." ]
[ "Kikuri\nKikuri (pia Kimodan au Kinabi) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakuri kwenye kisiwa cha Papua. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kikuri imehesabiwa kuwa watu 500 tu. Kwa vile Wakuri wengi wameacha lugha yao, Kikuri iko hatarini mwa kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na u...
20
Bahari kuu duniani ni gani?
[ "Bahari kuu\nBahari Kuu (ing. \"w:ocean\") ni jina linalotumika kutaja jumla ya maeneo makubwa ya maji ya chumvi duniani yanayopakana na kufuatana kama gimba moja. Kwa maana hii bahari kuu inafunika zaidi ya theluthi mbili za uso wa dunia.", "Bahari kuu\nBahari Kuu imegawiwa na ardhi ya mabara kwenye nusutufe ya ...
[ "Bahari ya Kaspi\nBahari ya Kaspi (pia Bahari ya Qazwin- Kiajemi دريا خزر \"\"darya khazar\"\"; Kirusi Каспийское море \"\"kaspiiskoye more\"\") ni ziwa kubwa kabisa duniani lenye eno la 371,000 km² na mjao wa 78,200 km³. Liko kati ya Azerbaijan, Urusi, Kazakhstan, Turkmenistan na Uajemi.", "Bahari kuu\nBahari ku...
6
Je,mji wa Gold Coast inapatikana nchi gani?
[ "Gold Coast\nTangu 1919 gavana aliwajibika pia kwa sehemu ya Togo ya Kiingereza (maeneo ya Togo ya Kijerumani ya awali zilizokabidhiwa kwa Uingereza) iliyotawaliwa kama \"Togo ng'ambo ya mto Volta\". Wakati wa mwisho wa ukoloni wakazi wengi wa sehemu hiyo walipiga kura ya kujiunga na Gold Coast na sasa ni sehemu ka...
[ "Dubai Gold Souk\nDubai Gold Souk (Kiarabu: دبي سوق الذهب au Gold Souk) ni soko la jadi lililopo mjini Dubai. Soko hili lipo mjini mashariki mwa Dubai katika sehemu za biashara wilayani Deira. Kuna zaidi ya wauzaji 300 wanaofanya biashara. Kuna maduka ya rejareja katika soko hili yanayojulikana kama Damas, ARY jewe...
43
Mji mkuu wa Hawaii unaitwaje?
[ "Honolulu, Hawaii\nHonolulu ndiyo mji mkuu katika jimbo la Hawaii. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, mji una wakazi wapatao 900,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 0 kutoka juu ya usawa wa bahari.", "Hawaii\nMji mkuu ni Honolulu kwenye kisiwa cha Oahu." ]
[ "Papa Mbingusi\nKatika utamaduni wa asili wa Hawaii, papa wanachukuliwa kuwa miungu ya bahari, walinzi wa wanadamu, na wasafishaji wa bahari dhidi viumbe vya ziada. Baadhi ya hawa papa wanaaminika kuwa wanafamilia ambao walikufa na kuzaliwa upya katika umbo la papa. Hata hivyo, baadhi ya Papa huchukuliwa ni wala wa...
36
Carleton Gajdusek alisoma udaktari chuo gani kikuu?
[ "Carleton Gajdusek\nBaba yake Gajdusek, Karol Gajdusek, alitoka Smrdáky, Ufalme wa Hungaria ambayo sasa inapatikana Slovakia. Karol alikuwa Mslovakia na alifanya kazi ya uchinjaji. Wazazi wa mama yake, waliokuwa Wahungaria na Wakalvini, walihama kutoka Debrecen, Hungaria. Gajdusek alizaliwa Yonkers, New York, na ak...
[ "Catherine Ruge\nAlisoma Shule ya Sekondari Msalato mkoani Dodoma kuanzia mwaka 2001 hadi 2003. Baadaye alisoma Jangwani kuanzia Juni 2001 hadi Mei 2003 na kuhitimu elimu ya juu ya sekondari. Alijiunga na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) mwaka 2004 hadi 2007 akisomea Shahada ya Biashara na Uhasibu. Mwaka 2011 – ...
54
Mji mkuu wa Norway unaitwaje?
[ "Bergen\nBergen ni mji wa pili kwa ukubwa nchini Norwei. Mji una wakazi takriban 262,500 kulingana na makisio ya 31 Julai 2011. Bergen ni kitovu cha ngazi ya utawala ya jimbo la Hordaland. Maeneo ya Mji Mkuu wa Bergen kama yalivyoelezwa na Statistics Norway, una wakazi 386,400 ifikapo 31 Julai 2011.", "Norwei\nMj...
[ "Magharibi mwa Norwei\nMagharibi mwa Norwei () ni kanda iliyopo katika pwani ya bahari ya Atlantiki huko mjini kusini mwa nchi ya Norwei. Kanda ina-jumlisha baadhi ya majimbo kama vile Rogaland, Hordaland, Sogn og Fjordane, na Møre og Romsdal na kanda ina wakazi wapatao milioni 1.3. Mji mkubwa kabisa katika kanda h...
19
Rais wa kwanza wa Malawi ni nani?
[ "Malawi\nMalawi ilikuwa na siasa ya chama kimoja chini ya rais wa kwanza Hastings Kamuzu Banda tangu kupata uhuru mwaka 1964 na masahihisho ya katiba 1966.", "Malawi Congress Party\nBadala yake viongozi wa awali wa NAC wasiokuwa gerezani waliunda Malawi Congress Party (MCP) iliyomtambua Hastings Banda kuwa kiongo...
[ "Siasa ya Malawi\nChini ya Katiba ya 1995, rais ambaye pia ni Kiongozi wa Nchi na kiongozi wa Serikali anachaguliwa na raia baada ya kipindi cha miaka mitano. Malawi ina Makamu wa Rais ambaye huchaguliwa na rais mwenyewe. Rais pia ana nafasi ya kumchagua makamu wa rais wa pili, ambaye lazima awe katika chama tofaut...
56
Je, Adolf Hitler alikuwa anatoka nchi gani?
[ "Benito Mussolini\nDikteta Mjerumani Adolf Hitler alikuwa amevutwa na siasa ya Mussolini akamwiga katika mengi. Lakini Mussolini hakumpenda Hitler, hasa itikadi yake ya kimbari. Alikuwa na wasiwasi kuhusu mipango ya Hitler dhidi ya Austria. Mwaka 1934 alituma wanajeshi mpakani mwa Austria akiogopa uvamizi wa Wajeru...
[ "Adolf Hitler\nTangu 1910 Hitler alikuwa na mapato madogo kwa njia ya kunakili picha alizouza kupitia watu walioishi pamoja naye katika bweni. Wengine waliouza picha kwa niaba yake walikuwa Wayahudi lakini, tofauti na daktari wa mamake, hakuwapa usaidizi wowote baadaye: waliteswa kama Wayahudi wote baada ya kuvamiw...
35
Nani alizundua kifaa cha kupima joto?
[ "Kipimajoto\nUgunduzi wa kipimajoto umechangiwa na Galileo, ingawa aina ya kipimajoto kilichozibwa hakikuwepo mpaka mwaka 1650. Vipimajoto vya kisasa vinavyotumia spiriti na zebaki viliundwa na mjerumani Gabriel Fahrenheit ambaye pia alipendekeza kipimio cha jotoridi, kilichoitwa kwa jina lake - Fahrenheit, ambapo ...
[ "Nani\nNani alikuwa mwanachama wa kawaida wa kikosi cha Kireno katika mechi za kufuzu kushiriki katika Euro 2008 UEFA, na alifunga bao moja kati ya mbili katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Ubelgiji tarehe 2 Juni 2007. Pia alimwandalia pasi safi mchezaji mwenzake Ricardo Quaresma aliyefunga bao katika mechi ya kirafiki ...
24
Je, T-Pain alizaliwa lini?
[ "T-Pain\nFaheem Rasheed Najm (amezaliwa tar. 30 Septemba 1985) ni mwimbaji-mtunzi, rapa, na mtayarishaji wa rekodi kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina la kisanii kama T-Pain. Ameanza shughuli za urapa akiwa katika kundi la Nappy Headz. Mnamo mwaka wa 2005, akawa mwimbaji na kuweza kutoa albamu yake y...
[ "I'm 'n Luv (Wit a Stripper)\n\"I'm 'n Luv (Wit a Stripper)\" (ilitambulika kama \"I'm 'n Luv (Wit a Dancer)\" au kwa kifupi \"I'm 'n Luv\") ni kibao kilichoimbwa na msanii wa R&B T-Pain akishirikiana na rapa Mike Jones. Imetolewa mwishoni mwa mwaka wa 2005 (ingawa muziki wake wa video haukutolewa mpaka wiki ya 16 ...
42
Ukubwa wa Japani ni geographia ni kiasi gani?
[ "Japani\nNchi ina eneo la km² 377.944; na wakazi milioni 127; idadi hiyo imeanza kupungua." ]
[ "Historia ya tarakilishi\nMwaka 1903, Ryōichi Yazu wa Japani aliiweka dhahiri Yazu Arithmometer. Hiki ni Kikokotoo analojia kilichotumia Mche Duara mmoja wenye gia ishirini na mbili (22), ambacho kilifanya hesabu mchanganyo katika mpango wa namba wa kizio cha pili na wa kizio cha tano. Hizi hesabu ni mashuhuri kwa ...
60
Nchi ya Sudan ilipata uhuru mwaka gani?
[ "Sudan\nBaada ya uhuru wa nchi (1956), makabila ya kusini ambayo hayakukubali kusilimishwa yalipigania vita ndefu hadi kupata uhuru wao.", "Sudan Kusini\nWakati wa uhuru wa Sudan mwaka 1956 viongozi wa kusini walidai haki ya kujitawala ndani ya taifa jipya, lakini mapatano yalishindikana na hali hiyo ilisababishw...
[ "John Garang\nSPLA ilipata msaada wa Libya, Uganda na Ethiopia. Garang na jeshi lake walidhibiti sehemu kubwa ya mikoa ya kusini mwa nchi, iliyoitwa \"Sudan Mpya\" . Yeye alidai kuwa 'ujasiri wa askari wake kutoka kwa \"uthibitisho kwamba sisi tunapambana vita vya haki. Hilo ni jambo ambalo Sudan Kaskazini na watu ...
18
Je, Jibuti ilipata uhuru mwaka upi?
[ "Jibuti\nNchi ilipata uhuru tarehe 27 Juni 1977.", "Historia ya Afrika\nKatika mwaka wa 1977 Jibuti (Nchi ya Afars na Issas) iliyokuwa ikitawaliwa na Wafaransa ikarudi kwa wenyewe. Rhodesia (Zimbabwe) ikapata uhuru halisi mwaka wa 1980, na South West Africa, iliyokuwa ikitawaliwa na Afrika ya Kusini ikapata uhuru...
[ "Uhuru Kenyatta\nKatika Novemba 2006 Biwott alirudia jaribio la kumpindua Uhuru kwa kuita mkutano wa Kanu mjini Mombasa bila idhini ya mwenyekiti wala kamati ya chama. Hapo alichaguliwa kuwa mweyekiti mpya. Kwa msaada wa serikali Biwott alifaulu kuandikisha kamati yake kama uongozi rasmi, na hivyo kumwondoa Uhuru k...
18
Je,rais wa kwanza wa Marekani aliitwa nani?
[ "Orodha ya Marais wa Marekani\nKumeapishwa marais 43, na kumekuwa na marais 44, kwa sababu rais Grover Cleveland alihudumu mihula miwili isiyofuatana, na kwa hivi anahesabiwa mara mbili, kama rais nambari 22 na nambari 24. Marais wanne walifariki kawaida wakiwa mamlakani (William Henry Harrison, Zachary Taylor, War...
[ "Muna Lee (mwandishi)\nAkiwa kiongozi wa kupigania haki za wanawake, Muna Lee alifanya mchango muhimu katika harakati za kisasa za wanawake, hasa mapambano ya haki sawa. Alikuwa mwanzilishi wa Tume ya Wanawake ya Amerika Zote. Ilikuwa katika jiji la New York, alikokutana na mume wake wa baadaye, mshairi wa Puerto R...
56
End of preview. Expand in Data Studio
README.md exists but content is empty.
Downloads last month
3