id
string
story_id
string
context
string
question
string
answer
string
paragraph_id
string
2312_swa_5
2312_swa
Mke-mwenza mwenye wivu Hapo kale kulikuwa na wake wenza wawili. Waliishi katika nyumba moja na mume wao. Kwa muda mrefu hakuna mke aliyejaliwa kupata watoto. Hatimaye, mke wa kwanza alishika mimba. Alipojifungua mtoto, mume wao hakuwa nyumbani. Mke wa pili aliwaonea wivu mke wa kwanza na mtoto wake. Alian...
Kwa muda mrefu, hakuna mke aliyejaliwa kupata nini?
Mtoto
x
2312_swa_6
2312_swa
Mke-mwenza mwenye wivu Hapo kale kulikuwa na wake wenza wawili. Waliishi katika nyumba moja na mume wao. Kwa muda mrefu hakuna mke aliyejaliwa kupata watoto. Hatimaye, mke wa kwanza alishika mimba. Alipojifungua mtoto, mume wao hakuwa nyumbani. Mke wa pili aliwaonea wivu mke wa kwanza na mtoto wake. Alian...
Mke yupi alishika mimba wa kwanza?
Wa kwanza
x
2312_swa_7
2312_swa
Mke-mwenza mwenye wivu Hapo kale kulikuwa na wake wenza wawili. Waliishi katika nyumba moja na mume wao. Kwa muda mrefu hakuna mke aliyejaliwa kupata watoto. Hatimaye, mke wa kwanza alishika mimba. Alipojifungua mtoto, mume wao hakuwa nyumbani. Mke wa pili aliwaonea wivu mke wa kwanza na mtoto wake. Alian...
Nani alikuwa na wivu kwenye familia?
Mke wa pili
x
2312_swa_8
2312_swa
Mke-mwenza mwenye wivu Hapo kale kulikuwa na wake wenza wawili. Waliishi katika nyumba moja na mume wao. Kwa muda mrefu hakuna mke aliyejaliwa kupata watoto. Hatimaye, mke wa kwanza alishika mimba. Alipojifungua mtoto, mume wao hakuwa nyumbani. Mke wa pili aliwaonea wivu mke wa kwanza na mtoto wake. Alian...
Mke wa kwanza alikuwa na afya njema kutokana na nini?
Kula chakula kilichopikwa
x
2312_swa_9
2312_swa
Mke-mwenza mwenye wivu Hapo kale kulikuwa na wake wenza wawili. Waliishi katika nyumba moja na mume wao. Kwa muda mrefu hakuna mke aliyejaliwa kupata watoto. Hatimaye, mke wa kwanza alishika mimba. Alipojifungua mtoto, mume wao hakuwa nyumbani. Mke wa pili aliwaonea wivu mke wa kwanza na mtoto wake. Alian...
Mke wa pili alipanga kumdhuru mke wa kwanza kivipi?
Kwa kumpikia chakula alichodhani kitamuua
x
2315_swa_0
2315_swa
Mojo na Kobe Hapo zamani, ndege aliyeitwa Mojo aliishi katika ufalme wa Baro. Kobe alikuwa rafikiye. Mojo alikuwa mjumbe na alisafiri mbali kupeleka jumbe. Siku moja, Mfalme Simba alimwita Mojo. Mfalme Simba alimtaka apeleke ujumbe wa maana kwa Jamaa yake, Smba Marara, aliyekuwa mfalme kwenye ufalme tofau...
Nani alikuwa mjumbe
Mojo
x
2315_swa_1
2315_swa
Mojo na Kobe Hapo zamani, ndege aliyeitwa Mojo aliishi katika ufalme wa Baro. Kobe alikuwa rafikiye. Mojo alikuwa mjumbe na alisafiri mbali kupeleka jumbe. Siku moja, Mfalme Simba alimwita Mojo. Mfalme Simba alimtaka apeleke ujumbe wa maana kwa Jamaa yake, Smba Marara, aliyekuwa mfalme kwenye ufalme tofau...
Mfalme Simba alitaka Mojo apeleke nini
Ujumbe
x
2315_swa_2
2315_swa
Mojo na Kobe Hapo zamani, ndege aliyeitwa Mojo aliishi katika ufalme wa Baro. Kobe alikuwa rafikiye. Mojo alikuwa mjumbe na alisafiri mbali kupeleka jumbe. Siku moja, Mfalme Simba alimwita Mojo. Mfalme Simba alimtaka apeleke ujumbe wa maana kwa Jamaa yake, Smba Marara, aliyekuwa mfalme kwenye ufalme tofau...
Nani alimshauri Mojo kutopeleka ujumbe
Kobe
x
2315_swa_3
2315_swa
Mojo na Kobe Hapo zamani, ndege aliyeitwa Mojo aliishi katika ufalme wa Baro. Kobe alikuwa rafikiye. Mojo alikuwa mjumbe na alisafiri mbali kupeleka jumbe. Siku moja, Mfalme Simba alimwita Mojo. Mfalme Simba alimtaka apeleke ujumbe wa maana kwa Jamaa yake, Smba Marara, aliyekuwa mfalme kwenye ufalme tofau...
Mojo alienda kwa jamaa yake anaitwa nani
Jimbi
x
2315_swa_4
2315_swa
Mojo na Kobe Hapo zamani, ndege aliyeitwa Mojo aliishi katika ufalme wa Baro. Kobe alikuwa rafikiye. Mojo alikuwa mjumbe na alisafiri mbali kupeleka jumbe. Siku moja, Mfalme Simba alimwita Mojo. Mfalme Simba alimtaka apeleke ujumbe wa maana kwa Jamaa yake, Smba Marara, aliyekuwa mfalme kwenye ufalme tofau...
Kwa nini Mojo alikuwa anapiga kelele
Alitaka msaada kwa vile alitekwa nyara na kobe
x
2315_swa_5
2315_swa
Mojo na Kobe Hapo zamani, ndege aliyeitwa Mojo aliishi katika ufalme wa Baro. Kobe alikuwa rafikiye. Mojo alikuwa mjumbe na alisafiri mbali kupeleka jumbe. Siku moja, Mfalme Simba alimwita Mojo. Mfalme Simba alimtaka apeleke ujumbe wa maana kwa Jamaa yake, Smba Marara, aliyekuwa mfalme kwenye ufalme tofau...
Ndege Mojo aliishi katika ufalme upi?
Baro
x
2315_swa_6
2315_swa
Mojo na Kobe Hapo zamani, ndege aliyeitwa Mojo aliishi katika ufalme wa Baro. Kobe alikuwa rafikiye. Mojo alikuwa mjumbe na alisafiri mbali kupeleka jumbe. Siku moja, Mfalme Simba alimwita Mojo. Mfalme Simba alimtaka apeleke ujumbe wa maana kwa Jamaa yake, Smba Marara, aliyekuwa mfalme kwenye ufalme tofau...
Nani alikuwa mfalme wa Baro?
Simba
x
2315_swa_7
2315_swa
Mojo na Kobe Hapo zamani, ndege aliyeitwa Mojo aliishi katika ufalme wa Baro. Kobe alikuwa rafikiye. Mojo alikuwa mjumbe na alisafiri mbali kupeleka jumbe. Siku moja, Mfalme Simba alimwita Mojo. Mfalme Simba alimtaka apeleke ujumbe wa maana kwa Jamaa yake, Smba Marara, aliyekuwa mfalme kwenye ufalme tofau...
Nani alikuwa rafiki ya ndege Mojo?
Kobe
x
2315_swa_8
2315_swa
Mojo na Kobe Hapo zamani, ndege aliyeitwa Mojo aliishi katika ufalme wa Baro. Kobe alikuwa rafikiye. Mojo alikuwa mjumbe na alisafiri mbali kupeleka jumbe. Siku moja, Mfalme Simba alimwita Mojo. Mfalme Simba alimtaka apeleke ujumbe wa maana kwa Jamaa yake, Smba Marara, aliyekuwa mfalme kwenye ufalme tofau...
Jamaa yake ndege Mojo aliitwa nani?
Jimbi
x
2315_swa_9
2315_swa
Mojo na Kobe Hapo zamani, ndege aliyeitwa Mojo aliishi katika ufalme wa Baro. Kobe alikuwa rafikiye. Mojo alikuwa mjumbe na alisafiri mbali kupeleka jumbe. Siku moja, Mfalme Simba alimwita Mojo. Mfalme Simba alimtaka apeleke ujumbe wa maana kwa Jamaa yake, Smba Marara, aliyekuwa mfalme kwenye ufalme tofau...
Nani alimwokoa ndege Mojo kutoka kwa mtego wa wavu?
Jimbi
x
2320_swa_0
2320_swa
Msitu wenye nyoka Kijiji cha Sinyaire kimezungukwa na milima na misitu. Nyoka wengi huishi ndani ya misitu hiyo. Wanakijiji walimwita Unyalego nyoka aliyekuwa mkubwa zaidi. Nyoka huyo aliwameza mbuzi na kondoo wakiwa wazima. Siku moja, Apiyo, Ajoh na Atieno walienda msituni kutafuta kuni. Bibi aliwaonya, "Jih...
Kijiji kipi kilizungukwa na milima na misitu
Sinyaire
x
2320_swa_1
2320_swa
Msitu wenye nyoka Kijiji cha Sinyaire kimezungukwa na milima na misitu. Nyoka wengi huishi ndani ya misitu hiyo. Wanakijiji walimwita Unyalego nyoka aliyekuwa mkubwa zaidi. Nyoka huyo aliwameza mbuzi na kondoo wakiwa wazima. Siku moja, Apiyo, Ajoh na Atieno walienda msituni kutafuta kuni. Bibi aliwaonya, "Jih...
Wasichana walienda msituni kutafuta nini
Kuni
x
2320_swa_2
2320_swa
Msitu wenye nyoka Kijiji cha Sinyaire kimezungukwa na milima na misitu. Nyoka wengi huishi ndani ya misitu hiyo. Wanakijiji walimwita Unyalego nyoka aliyekuwa mkubwa zaidi. Nyoka huyo aliwameza mbuzi na kondoo wakiwa wazima. Siku moja, Apiyo, Ajoh na Atieno walienda msituni kutafuta kuni. Bibi aliwaonya, "Jih...
Taja mojawapo ya baadhi ya vitu walivyobeba wasichana
Upanga
x
2320_swa_3
2320_swa
Msitu wenye nyoka Kijiji cha Sinyaire kimezungukwa na milima na misitu. Nyoka wengi huishi ndani ya misitu hiyo. Wanakijiji walimwita Unyalego nyoka aliyekuwa mkubwa zaidi. Nyoka huyo aliwameza mbuzi na kondoo wakiwa wazima. Siku moja, Apiyo, Ajoh na Atieno walienda msituni kutafuta kuni. Bibi aliwaonya, "Jih...
Nani aliwakanya wenzake kuzungumza
Apiyo
x
2320_swa_4
2320_swa
Msitu wenye nyoka Kijiji cha Sinyaire kimezungukwa na milima na misitu. Nyoka wengi huishi ndani ya misitu hiyo. Wanakijiji walimwita Unyalego nyoka aliyekuwa mkubwa zaidi. Nyoka huyo aliwameza mbuzi na kondoo wakiwa wazima. Siku moja, Apiyo, Ajoh na Atieno walienda msituni kutafuta kuni. Bibi aliwaonya, "Jih...
Kwa nini Ajoh hamwamini bibi
Alidhani bibi alikuwa anawaonea wivu
x
2320_swa_5
2320_swa
Msitu wenye nyoka Kijiji cha Sinyaire kimezungukwa na milima na misitu. Nyoka wengi huishi ndani ya misitu hiyo. Wanakijiji walimwita Unyalego nyoka aliyekuwa mkubwa zaidi. Nyoka huyo aliwameza mbuzi na kondoo wakiwa wazima. Siku moja, Apiyo, Ajoh na Atieno walienda msituni kutafuta kuni. Bibi aliwaonya, "Jih...
Kijiji cha Sinyaire kimezungukwa na nini?
Milima na misitu
x
2320_swa_6
2320_swa
Msitu wenye nyoka Kijiji cha Sinyaire kimezungukwa na milima na misitu. Nyoka wengi huishi ndani ya misitu hiyo. Wanakijiji walimwita Unyalego nyoka aliyekuwa mkubwa zaidi. Nyoka huyo aliwameza mbuzi na kondoo wakiwa wazima. Siku moja, Apiyo, Ajoh na Atieno walienda msituni kutafuta kuni. Bibi aliwaonya, "Jih...
Nani huishi ndani ya misity hiyo?
Nyoka wengi
x
2320_swa_7
2320_swa
Msitu wenye nyoka Kijiji cha Sinyaire kimezungukwa na milima na misitu. Nyoka wengi huishi ndani ya misitu hiyo. Wanakijiji walimwita Unyalego nyoka aliyekuwa mkubwa zaidi. Nyoka huyo aliwameza mbuzi na kondoo wakiwa wazima. Siku moja, Apiyo, Ajoh na Atieno walienda msituni kutafuta kuni. Bibi aliwaonya, "Jih...
Nani aliwahimiza wengine kuchukuwa meno ya Unyalego ya dhahabu?
Atieno
x
2320_swa_8
2320_swa
Msitu wenye nyoka Kijiji cha Sinyaire kimezungukwa na milima na misitu. Nyoka wengi huishi ndani ya misitu hiyo. Wanakijiji walimwita Unyalego nyoka aliyekuwa mkubwa zaidi. Nyoka huyo aliwameza mbuzi na kondoo wakiwa wazima. Siku moja, Apiyo, Ajoh na Atieno walienda msituni kutafuta kuni. Bibi aliwaonya, "Jih...
Nani alipuuza onyo la bibi la kutochukua kitu chochote kutoka msituni?
Ajoh
x
2320_swa_9
2320_swa
Msitu wenye nyoka Kijiji cha Sinyaire kimezungukwa na milima na misitu. Nyoka wengi huishi ndani ya misitu hiyo. Wanakijiji walimwita Unyalego nyoka aliyekuwa mkubwa zaidi. Nyoka huyo aliwameza mbuzi na kondoo wakiwa wazima. Siku moja, Apiyo, Ajoh na Atieno walienda msituni kutafuta kuni. Bibi aliwaonya, "Jih...
Unyalego aliwalazimisha wasichana kufanya nini ili asiwale?
Waimbe wimbo bila kukosea
x
3056_swa_0
3056_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni mfumo wa maendeleo mbalimbali wa vifaa vinavyozinduliwa ili kurahisisha mambo tofauti tofauti. Mathlani, teknolojia imetuletea vifaa mbalimbali kama vile simu, tarakilishi na nyinginezo. Teknolojia imewarahisishia wanafunzi kusoma mitandaoni masomo ...
Tekinolojia ni mfumo wa nini
Maendeleo
x
3056_swa_1
3056_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni mfumo wa maendeleo mbalimbali wa vifaa vinavyozinduliwa ili kurahisisha mambo tofauti tofauti. Mathlani, teknolojia imetuletea vifaa mbalimbali kama vile simu, tarakilishi na nyinginezo. Teknolojia imewarahisishia wanafunzi kusoma mitandaoni masomo ...
Tekinolojia imewasaidia wanafunzi kusoma wapi
Mitandaoni
x
3056_swa_2
3056_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni mfumo wa maendeleo mbalimbali wa vifaa vinavyozinduliwa ili kurahisisha mambo tofauti tofauti. Mathlani, teknolojia imetuletea vifaa mbalimbali kama vile simu, tarakilishi na nyinginezo. Teknolojia imewarahisishia wanafunzi kusoma mitandaoni masomo ...
Ni nani wamepata changamoto za mimba za mapema
Wanafunzi
x
3056_swa_3
3056_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni mfumo wa maendeleo mbalimbali wa vifaa vinavyozinduliwa ili kurahisisha mambo tofauti tofauti. Mathlani, teknolojia imetuletea vifaa mbalimbali kama vile simu, tarakilishi na nyinginezo. Teknolojia imewarahisishia wanafunzi kusoma mitandaoni masomo ...
Ni nini imekithiri kwa kutumia njia za mkato
wizi
x
3056_swa_4
3056_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni mfumo wa maendeleo mbalimbali wa vifaa vinavyozinduliwa ili kurahisisha mambo tofauti tofauti. Mathlani, teknolojia imetuletea vifaa mbalimbali kama vile simu, tarakilishi na nyinginezo. Teknolojia imewarahisishia wanafunzi kusoma mitandaoni masomo ...
Tekinolojia huchangia vipi kwa matokeo duni ya mitihani
Kwa matumizi mabaya ya tekinolojia
x
3056_swa_5
3056_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni mfumo wa maendeleo mbalimbali wa vifaa vinavyozinduliwa ili kurahisisha mambo tofauti tofauti. Mathlani, teknolojia imetuletea vifaa mbalimbali kama vile simu, tarakilishi na nyinginezo. Teknolojia imewarahisishia wanafunzi kusoma mitandaoni masomo ...
Tekinolojia husaidia katika kufanya nini
utafiti
x
3056_swa_6
3056_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni mfumo wa maendeleo mbalimbali wa vifaa vinavyozinduliwa ili kurahisisha mambo tofauti tofauti. Mathlani, teknolojia imetuletea vifaa mbalimbali kama vile simu, tarakilishi na nyinginezo. Teknolojia imewarahisishia wanafunzi kusoma mitandaoni masomo ...
Wanafunzi wanatumia nini kufanya hisabati
Kikokotoo
x
3056_swa_7
3056_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni mfumo wa maendeleo mbalimbali wa vifaa vinavyozinduliwa ili kurahisisha mambo tofauti tofauti. Mathlani, teknolojia imetuletea vifaa mbalimbali kama vile simu, tarakilishi na nyinginezo. Teknolojia imewarahisishia wanafunzi kusoma mitandaoni masomo ...
Data inahifadhiwa ofisini kwa kutumia nini
Kompyuta
x
3056_swa_8
3056_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni mfumo wa maendeleo mbalimbali wa vifaa vinavyozinduliwa ili kurahisisha mambo tofauti tofauti. Mathlani, teknolojia imetuletea vifaa mbalimbali kama vile simu, tarakilishi na nyinginezo. Teknolojia imewarahisishia wanafunzi kusoma mitandaoni masomo ...
Ni nini inatumiwa kuonyesha picha iwapo wanafunzi ni wengi
Projekta
x
3056_swa_9
3056_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni mfumo wa maendeleo mbalimbali wa vifaa vinavyozinduliwa ili kurahisisha mambo tofauti tofauti. Mathlani, teknolojia imetuletea vifaa mbalimbali kama vile simu, tarakilishi na nyinginezo. Teknolojia imewarahisishia wanafunzi kusoma mitandaoni masomo ...
Udororaji wa nidhamu umechangiwa vipi na tekinolojia
Wanatumia rununu na kompyuta kuangalia video za uchi
x
3084_swa_0
3084_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni taaluma iliyoletwa na wanasayansi ili kuleta maendeleo au kurahisisha kazi nchini Kenya au duniani. Taaluma hii imeweza kuibua uvumbuzi wa vyombo kama vile televisheni, tarakilishi, redio, rununu na vingine vingi. Vyombo hivi vina faida zake na pia ...
Teknolojia huharakisha nini
kazi
x
3084_swa_1
3084_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni taaluma iliyoletwa na wanasayansi ili kuleta maendeleo au kurahisisha kazi nchini Kenya au duniani. Taaluma hii imeweza kuibua uvumbuzi wa vyombo kama vile televisheni, tarakilishi, redio, rununu na vingine vingi. Vyombo hivi vina faida zake na pia ...
Nini huonyesha mambo yanayotendeka
televisheni
x
3084_swa_2
3084_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni taaluma iliyoletwa na wanasayansi ili kuleta maendeleo au kurahisisha kazi nchini Kenya au duniani. Taaluma hii imeweza kuibua uvumbuzi wa vyombo kama vile televisheni, tarakilishi, redio, rununu na vingine vingi. Vyombo hivi vina faida zake na pia ...
Walimu hutumia karatasi ngapi kwa darasa moja
sitini na sita
x
3084_swa_3
3084_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni taaluma iliyoletwa na wanasayansi ili kuleta maendeleo au kurahisisha kazi nchini Kenya au duniani. Taaluma hii imeweza kuibua uvumbuzi wa vyombo kama vile televisheni, tarakilishi, redio, rununu na vingine vingi. Vyombo hivi vina faida zake na pia ...
Nani hutumia mwalimu pesa kwa kutumia rununu
mwalimu
x
3084_swa_4
3084_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni taaluma iliyoletwa na wanasayansi ili kuleta maendeleo au kurahisisha kazi nchini Kenya au duniani. Taaluma hii imeweza kuibua uvumbuzi wa vyombo kama vile televisheni, tarakilishi, redio, rununu na vingine vingi. Vyombo hivi vina faida zake na pia ...
Mbona wanafunzi husinzia darasani
kwa kuzungumza na marafiki zao karibia usiku mzima
x
3084_swa_5
3084_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni taaluma iliyoletwa na wanasayansi ili kuleta maendeleo au kurahisisha kazi nchini Kenya au duniani. Taaluma hii imeweza kuibua uvumbuzi wa vyombo kama vile televisheni, tarakilishi, redio, rununu na vingine vingi. Vyombo hivi vina faida zake na pia ...
Teknolojia imeleta nini kwa watoto
madhara
x
3084_swa_6
3084_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni taaluma iliyoletwa na wanasayansi ili kuleta maendeleo au kurahisisha kazi nchini Kenya au duniani. Taaluma hii imeweza kuibua uvumbuzi wa vyombo kama vile televisheni, tarakilishi, redio, rununu na vingine vingi. Vyombo hivi vina faida zake na pia ...
Kina nani wamesahau masomo
wanafunzi
x
3084_swa_7
3084_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni taaluma iliyoletwa na wanasayansi ili kuleta maendeleo au kurahisisha kazi nchini Kenya au duniani. Taaluma hii imeweza kuibua uvumbuzi wa vyombo kama vile televisheni, tarakilishi, redio, rununu na vingine vingi. Vyombo hivi vina faida zake na pia ...
Mwanafunzi hana muda wa kudurusu mabuku wapi
nyumbani
x
3084_swa_8
3084_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni taaluma iliyoletwa na wanasayansi ili kuleta maendeleo au kurahisisha kazi nchini Kenya au duniani. Taaluma hii imeweza kuibua uvumbuzi wa vyombo kama vile televisheni, tarakilishi, redio, rununu na vingine vingi. Vyombo hivi vina faida zake na pia ...
Teknolojia imeleta uvumbuzi wa nini
vifaa vya utabiri wa hali ya anga
x
3084_swa_9
3084_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni taaluma iliyoletwa na wanasayansi ili kuleta maendeleo au kurahisisha kazi nchini Kenya au duniani. Taaluma hii imeweza kuibua uvumbuzi wa vyombo kama vile televisheni, tarakilishi, redio, rununu na vingine vingi. Vyombo hivi vina faida zake na pia ...
Kamera za CCTV zinapunguza tabia mbaya vipi
mtu anapoiba huonekana
x
3194_swa_0
3194_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA UPILI Teknolojia ni maarifa ya sayansi na matumizi yake hutumia mitambo, vyombo vya zana, katika viwanda, kilimo, ufundi au njia za mawasiliano. Teknolojia ni mfumo uliochangia pakubwa katika maendeleo ya kijamii. Hivi kwamba teknolojia imeleta maendeleo sana makubwa katik...
Tekinolojia ni maarifa ya nini
sayansi
x
3194_swa_1
3194_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA UPILI Teknolojia ni maarifa ya sayansi na matumizi yake hutumia mitambo, vyombo vya zana, katika viwanda, kilimo, ufundi au njia za mawasiliano. Teknolojia ni mfumo uliochangia pakubwa katika maendeleo ya kijamii. Hivi kwamba teknolojia imeleta maendeleo sana makubwa katik...
Walimu wanatumia nini katika kurekodi data
Tarakilishi
x
3194_swa_2
3194_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA UPILI Teknolojia ni maarifa ya sayansi na matumizi yake hutumia mitambo, vyombo vya zana, katika viwanda, kilimo, ufundi au njia za mawasiliano. Teknolojia ni mfumo uliochangia pakubwa katika maendeleo ya kijamii. Hivi kwamba teknolojia imeleta maendeleo sana makubwa katik...
Utandawazi hutumiwa kufanyia nini
Utafiti
x
3194_swa_3
3194_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA UPILI Teknolojia ni maarifa ya sayansi na matumizi yake hutumia mitambo, vyombo vya zana, katika viwanda, kilimo, ufundi au njia za mawasiliano. Teknolojia ni mfumo uliochangia pakubwa katika maendeleo ya kijamii. Hivi kwamba teknolojia imeleta maendeleo sana makubwa katik...
Walimu hutumia nini kufundisha wanafunzi wakati wa likizo ndefu
Rununu
x
3194_swa_4
3194_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA UPILI Teknolojia ni maarifa ya sayansi na matumizi yake hutumia mitambo, vyombo vya zana, katika viwanda, kilimo, ufundi au njia za mawasiliano. Teknolojia ni mfumo uliochangia pakubwa katika maendeleo ya kijamii. Hivi kwamba teknolojia imeleta maendeleo sana makubwa katik...
Kwa nini tekinolojia haifai kwa wanafunzi
Wanatazama video zinazowadhiri kimawazo
x
3194_swa_5
3194_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA UPILI Teknolojia ni maarifa ya sayansi na matumizi yake hutumia mitambo, vyombo vya zana, katika viwanda, kilimo, ufundi au njia za mawasiliano. Teknolojia ni mfumo uliochangia pakubwa katika maendeleo ya kijamii. Hivi kwamba teknolojia imeleta maendeleo sana makubwa katik...
Tekinolojia ni maaarifa ya nini
Sayansi
x
3194_swa_6
3194_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA UPILI Teknolojia ni maarifa ya sayansi na matumizi yake hutumia mitambo, vyombo vya zana, katika viwanda, kilimo, ufundi au njia za mawasiliano. Teknolojia ni mfumo uliochangia pakubwa katika maendeleo ya kijamii. Hivi kwamba teknolojia imeleta maendeleo sana makubwa katik...
Wlimu wanatumia nini kuhifadhi na kurekodi data
Tarakilishi
x
3194_swa_7
3194_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA UPILI Teknolojia ni maarifa ya sayansi na matumizi yake hutumia mitambo, vyombo vya zana, katika viwanda, kilimo, ufundi au njia za mawasiliano. Teknolojia ni mfumo uliochangia pakubwa katika maendeleo ya kijamii. Hivi kwamba teknolojia imeleta maendeleo sana makubwa katik...
Wanafunzi wanatumiwa kazi ya ziada kwa kutumia nini
Rununu
x
3194_swa_8
3194_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA UPILI Teknolojia ni maarifa ya sayansi na matumizi yake hutumia mitambo, vyombo vya zana, katika viwanda, kilimo, ufundi au njia za mawasiliano. Teknolojia ni mfumo uliochangia pakubwa katika maendeleo ya kijamii. Hivi kwamba teknolojia imeleta maendeleo sana makubwa katik...
Video mbaya huathiri wanafunzi vipi
Kimawazo
x
3194_swa_9
3194_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA UPILI Teknolojia ni maarifa ya sayansi na matumizi yake hutumia mitambo, vyombo vya zana, katika viwanda, kilimo, ufundi au njia za mawasiliano. Teknolojia ni mfumo uliochangia pakubwa katika maendeleo ya kijamii. Hivi kwamba teknolojia imeleta maendeleo sana makubwa katik...
Kwa nini si vyema kwa mwanafunzi kutumia tekinolojia
Tekinolojia humpoteza mwanafunzi anapojisomea
x
3209_swa_0
3209_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni maarifa yaliyowekwa katika matumizi ya vitu. Teknolojia ina faida nyingi na pia ina madhara yake. Faida za teknolojia katika shule za Sekondari ni kama, wepesi wa elimu, Hii inajitokeza sana kuna elimu ya kisasa. Ambapo elimu merahisishwa kwa kutumi...
Tekinolojia inayowekwa katika matumizi ya nini
Vitu
x
3209_swa_1
3209_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni maarifa yaliyowekwa katika matumizi ya vitu. Teknolojia ina faida nyingi na pia ina madhara yake. Faida za teknolojia katika shule za Sekondari ni kama, wepesi wa elimu, Hii inajitokeza sana kuna elimu ya kisasa. Ambapo elimu merahisishwa kwa kutumi...
Ni nini inasaidia wanafunzi kufanya hesabu
vikokoto
x
3209_swa_2
3209_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni maarifa yaliyowekwa katika matumizi ya vitu. Teknolojia ina faida nyingi na pia ina madhara yake. Faida za teknolojia katika shule za Sekondari ni kama, wepesi wa elimu, Hii inajitokeza sana kuna elimu ya kisasa. Ambapo elimu merahisishwa kwa kutumi...
Ni nini husaidia kupata habari za nchi yao
Runinga
x
3209_swa_3
3209_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni maarifa yaliyowekwa katika matumizi ya vitu. Teknolojia ina faida nyingi na pia ina madhara yake. Faida za teknolojia katika shule za Sekondari ni kama, wepesi wa elimu, Hii inajitokeza sana kuna elimu ya kisasa. Ambapo elimu merahisishwa kwa kutumi...
Ni nini ilisaidia wakat wa korona
Simu
x
3209_swa_4
3209_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni maarifa yaliyowekwa katika matumizi ya vitu. Teknolojia ina faida nyingi na pia ina madhara yake. Faida za teknolojia katika shule za Sekondari ni kama, wepesi wa elimu, Hii inajitokeza sana kuna elimu ya kisasa. Ambapo elimu merahisishwa kwa kutumi...
Kwa nini wanafunzi wanakuwa wavivu wakifanya hesabu
Kwa kutumia kikokotoo
x
3209_swa_5
3209_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni maarifa yaliyowekwa katika matumizi ya vitu. Teknolojia ina faida nyingi na pia ina madhara yake. Faida za teknolojia katika shule za Sekondari ni kama, wepesi wa elimu, Hii inajitokeza sana kuna elimu ya kisasa. Ambapo elimu merahisishwa kwa kutumi...
Ni maariga gani yaliyowekwa kwa matumizi ya vitu
Tekinolojia
x
3209_swa_6
3209_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni maarifa yaliyowekwa katika matumizi ya vitu. Teknolojia ina faida nyingi na pia ina madhara yake. Faida za teknolojia katika shule za Sekondari ni kama, wepesi wa elimu, Hii inajitokeza sana kuna elimu ya kisasa. Ambapo elimu merahisishwa kwa kutumi...
Ni nini inawezesha wanafunzi kusoma kwa urahisi
Vikokotoo
x
3209_swa_7
3209_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni maarifa yaliyowekwa katika matumizi ya vitu. Teknolojia ina faida nyingi na pia ina madhara yake. Faida za teknolojia katika shule za Sekondari ni kama, wepesi wa elimu, Hii inajitokeza sana kuna elimu ya kisasa. Ambapo elimu merahisishwa kwa kutumi...
Wanafunzi wanatumia nini kusoma masomo tofautitofauti
Kompyuta
x
3209_swa_8
3209_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni maarifa yaliyowekwa katika matumizi ya vitu. Teknolojia ina faida nyingi na pia ina madhara yake. Faida za teknolojia katika shule za Sekondari ni kama, wepesi wa elimu, Hii inajitokeza sana kuna elimu ya kisasa. Ambapo elimu merahisishwa kwa kutumi...
Wanafunzi wanatumia nini kutazama video chafu
Simu
x
3209_swa_9
3209_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni maarifa yaliyowekwa katika matumizi ya vitu. Teknolojia ina faida nyingi na pia ina madhara yake. Faida za teknolojia katika shule za Sekondari ni kama, wepesi wa elimu, Hii inajitokeza sana kuna elimu ya kisasa. Ambapo elimu merahisishwa kwa kutumi...
Ni vipi wanafunzi wanakuwa wavivu kwa hisabati
Wanatumia kikokotoo kufanya hesabu badala ya kufikiria
x
3211_swa_0
3211_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknologia ni mfumo mpya ulioibuka baada ya mambo ya kale katika shule za sekondari, teknologia imesaidia sana kuendesha masomo kwa haraka. Kwa mfano, utumiaji wa tarakilishi shuleni. Tarakilishi imefanya walimu kuitumia ilik kunog Fanya manafunzi waweze kuelewa ...
Ni nini inasaidia kujua kinachoaendelea nchini yetu
Runinga
x
3211_swa_1
3211_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknologia ni mfumo mpya ulioibuka baada ya mambo ya kale katika shule za sekondari, teknologia imesaidia sana kuendesha masomo kwa haraka. Kwa mfano, utumiaji wa tarakilishi shuleni. Tarakilishi imefanya walimu kuitumia ilik kunog Fanya manafunzi waweze kuelewa ...
Ni nini imefanya kazi kuwa rahisi
Tarakilishi
x
3211_swa_2
3211_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknologia ni mfumo mpya ulioibuka baada ya mambo ya kale katika shule za sekondari, teknologia imesaidia sana kuendesha masomo kwa haraka. Kwa mfano, utumiaji wa tarakilishi shuleni. Tarakilishi imefanya walimu kuitumia ilik kunog Fanya manafunzi waweze kuelewa ...
Ni nini husaidia mawasiliano baina ya walimu na wanafunzi
Simu
x
3211_swa_3
3211_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknologia ni mfumo mpya ulioibuka baada ya mambo ya kale katika shule za sekondari, teknologia imesaidia sana kuendesha masomo kwa haraka. Kwa mfano, utumiaji wa tarakilishi shuleni. Tarakilishi imefanya walimu kuitumia ilik kunog Fanya manafunzi waweze kuelewa ...
Usagaji unaletwa na nini
Kutazama video za ngono
x
3211_swa_4
3211_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknologia ni mfumo mpya ulioibuka baada ya mambo ya kale katika shule za sekondari, teknologia imesaidia sana kuendesha masomo kwa haraka. Kwa mfano, utumiaji wa tarakilishi shuleni. Tarakilishi imefanya walimu kuitumia ilik kunog Fanya manafunzi waweze kuelewa ...
Ubakaji shuleni unaletwa na nini
Pigia watu wasiostahili simu
x
3211_swa_5
3211_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknologia ni mfumo mpya ulioibuka baada ya mambo ya kale katika shule za sekondari, teknologia imesaidia sana kuendesha masomo kwa haraka. Kwa mfano, utumiaji wa tarakilishi shuleni. Tarakilishi imefanya walimu kuitumia ilik kunog Fanya manafunzi waweze kuelewa ...
Ni nini inasaidia kwendesha masomo kwa haraka
Tekinolojia
x
3211_swa_6
3211_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknologia ni mfumo mpya ulioibuka baada ya mambo ya kale katika shule za sekondari, teknologia imesaidia sana kuendesha masomo kwa haraka. Kwa mfano, utumiaji wa tarakilishi shuleni. Tarakilishi imefanya walimu kuitumia ilik kunog Fanya manafunzi waweze kuelewa ...
Nini husaidia wanafunzi kujua kinachoendelea katika nchi yetu
Runinga
x
3211_swa_7
3211_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknologia ni mfumo mpya ulioibuka baada ya mambo ya kale katika shule za sekondari, teknologia imesaidia sana kuendesha masomo kwa haraka. Kwa mfano, utumiaji wa tarakilishi shuleni. Tarakilishi imefanya walimu kuitumia ilik kunog Fanya manafunzi waweze kuelewa ...
Mawasiliano baina ya mwalimu na mzazi yanatumia nini
Simu
x
3211_swa_8
3211_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknologia ni mfumo mpya ulioibuka baada ya mambo ya kale katika shule za sekondari, teknologia imesaidia sana kuendesha masomo kwa haraka. Kwa mfano, utumiaji wa tarakilishi shuleni. Tarakilishi imefanya walimu kuitumia ilik kunog Fanya manafunzi waweze kuelewa ...
Wanafunzi wanaenda katika chumba cha tarakilishi na kukosa kufuata nini
Maagizo
x
3211_swa_9
3211_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknologia ni mfumo mpya ulioibuka baada ya mambo ya kale katika shule za sekondari, teknologia imesaidia sana kuendesha masomo kwa haraka. Kwa mfano, utumiaji wa tarakilishi shuleni. Tarakilishi imefanya walimu kuitumia ilik kunog Fanya manafunzi waweze kuelewa ...
Kwa nini shule huweza kuchomeka
Kwa vile wanfunzi hawafuati maagizo
x
3215_swa_0
3215_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia in mfumo mpya uloibuka baada ya vyombo vya kale vya mawasiliano kutoweka. Teknolojía imeimarisha maisha ya watu wengi hapa nchini. Tukizungumzia vyombo vya mawasiliano, vya usafiri hasa na hospitali. Tukiangazia vyombo vya mawasiliano huwa na faida yak...
Ni nini husaidia katika mawasiliano
Rununu
x
3215_swa_1
3215_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia in mfumo mpya uloibuka baada ya vyombo vya kale vya mawasiliano kutoweka. Teknolojía imeimarisha maisha ya watu wengi hapa nchini. Tukizungumzia vyombo vya mawasiliano, vya usafiri hasa na hospitali. Tukiangazia vyombo vya mawasiliano huwa na faida yak...
Mitandao hutumiwa kuwaibia watu nini
Raslimali
x
3215_swa_2
3215_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia in mfumo mpya uloibuka baada ya vyombo vya kale vya mawasiliano kutoweka. Teknolojía imeimarisha maisha ya watu wengi hapa nchini. Tukizungumzia vyombo vya mawasiliano, vya usafiri hasa na hospitali. Tukiangazia vyombo vya mawasiliano huwa na faida yak...
Ni nini hupotosha maadili
Tekinolojia
x
3215_swa_3
3215_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia in mfumo mpya uloibuka baada ya vyombo vya kale vya mawasiliano kutoweka. Teknolojía imeimarisha maisha ya watu wengi hapa nchini. Tukizungumzia vyombo vya mawasiliano, vya usafiri hasa na hospitali. Tukiangazia vyombo vya mawasiliano huwa na faida yak...
Tekinolojia katika usafiri una madhara gani
Husababisha ajali
x
3215_swa_4
3215_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia in mfumo mpya uloibuka baada ya vyombo vya kale vya mawasiliano kutoweka. Teknolojía imeimarisha maisha ya watu wengi hapa nchini. Tukizungumzia vyombo vya mawasiliano, vya usafiri hasa na hospitali. Tukiangazia vyombo vya mawasiliano huwa na faida yak...
Ni vipi tekinolojia ni muhimu katika utengenezaji wa vyakula
Kwa kutengeza soda na vyakula tofauti
x
3215_swa_5
3215_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia in mfumo mpya uloibuka baada ya vyombo vya kale vya mawasiliano kutoweka. Teknolojía imeimarisha maisha ya watu wengi hapa nchini. Tukizungumzia vyombo vya mawasiliano, vya usafiri hasa na hospitali. Tukiangazia vyombo vya mawasiliano huwa na faida yak...
Ni nini imeimarisha maisha
Tekinolojia
x
3215_swa_6
3215_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia in mfumo mpya uloibuka baada ya vyombo vya kale vya mawasiliano kutoweka. Teknolojía imeimarisha maisha ya watu wengi hapa nchini. Tukizungumzia vyombo vya mawasiliano, vya usafiri hasa na hospitali. Tukiangazia vyombo vya mawasiliano huwa na faida yak...
Wanafunzi wanapotoka nini
Maadili
x
3215_swa_7
3215_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia in mfumo mpya uloibuka baada ya vyombo vya kale vya mawasiliano kutoweka. Teknolojía imeimarisha maisha ya watu wengi hapa nchini. Tukizungumzia vyombo vya mawasiliano, vya usafiri hasa na hospitali. Tukiangazia vyombo vya mawasiliano huwa na faida yak...
Tekinolojia katika zahanati imeimarisha nini
Matibabu
x
3215_swa_8
3215_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia in mfumo mpya uloibuka baada ya vyombo vya kale vya mawasiliano kutoweka. Teknolojía imeimarisha maisha ya watu wengi hapa nchini. Tukizungumzia vyombo vya mawasiliano, vya usafiri hasa na hospitali. Tukiangazia vyombo vya mawasiliano huwa na faida yak...
Ajali hewani nna majini huleta nini
Maangamizi
x
3215_swa_9
3215_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia in mfumo mpya uloibuka baada ya vyombo vya kale vya mawasiliano kutoweka. Teknolojía imeimarisha maisha ya watu wengi hapa nchini. Tukizungumzia vyombo vya mawasiliano, vya usafiri hasa na hospitali. Tukiangazia vyombo vya mawasiliano huwa na faida yak...
Kwa nini tekinolojia husababisha madhara kwa chakula
Kwa vile chakula hutengenezwa kwa kemikali
x
3224_swa_0
3224_swa
ASIYESIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUU Methali hii inamaanisha kuwa siku zote usiposikia wasia wa wakubwa wako mabaya yatakukumba. Methali hii inatumika kukanya watu dhidhi ya kutosikia mawaidha, wasikuje kujuta baadae maishani. Katika kitongoji cha Bima, palishi mwanamwali mmoja aliyeitwa Kipusa. Ama kweli Kipusa alifanana ...
Ni nini jina la Kitongoji
Bima
x
3224_swa_1
3224_swa
ASIYESIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUU Methali hii inamaanisha kuwa siku zote usiposikia wasia wa wakubwa wako mabaya yatakukumba. Methali hii inatumika kukanya watu dhidhi ya kutosikia mawaidha, wasikuje kujuta baadae maishani. Katika kitongoji cha Bima, palishi mwanamwali mmoja aliyeitwa Kipusa. Ama kweli Kipusa alifanana ...
Kitongoji cha Bima paliishi mwanamwali anaitwa nani
Kipusa
x
3224_swa_2
3224_swa
ASIYESIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUU Methali hii inamaanisha kuwa siku zote usiposikia wasia wa wakubwa wako mabaya yatakukumba. Methali hii inatumika kukanya watu dhidhi ya kutosikia mawaidha, wasikuje kujuta baadae maishani. Katika kitongoji cha Bima, palishi mwanamwali mmoja aliyeitwa Kipusa. Ama kweli Kipusa alifanana ...
Kipusa alikuwa na tabia ya kupenda nani
Wanaume
x
3224_swa_3

Kipusa alikata kamba baada ya muda upi
Mwezi mmoja
x
3224_swa_4
3224_swa
ASIYESIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUU Methali hii inamaanisha kuwa siku zote usiposikia wasia wa wakubwa wako mabaya yatakukumba. Methali hii inatumika kukanya watu dhidhi ya kutosikia mawaidha, wasikuje kujuta baadae maishani. Katika kitongoji cha Bima, palishi mwanamwali mmoja aliyeitwa Kipusa. Ama kweli Kipusa alifanana ...
Kipusa angefanya nini kuepuka kifo
Angejisitiri na kuwaheshimu waume za watu
x
3224_swa_5
3224_swa
ASIYESIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUU Methali hii inamaanisha kuwa siku zote usiposikia wasia wa wakubwa wako mabaya yatakukumba. Methali hii inatumika kukanya watu dhidhi ya kutosikia mawaidha, wasikuje kujuta baadae maishani. Katika kitongoji cha Bima, palishi mwanamwali mmoja aliyeitwa Kipusa. Ama kweli Kipusa alifanana ...
Katika kijiji cha Bima paliishi mwanamwali alijulikana kama nani
Kipusa
x
3224_swa_6
3224_swa
ASIYESIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUU Methali hii inamaanisha kuwa siku zote usiposikia wasia wa wakubwa wako mabaya yatakukumba. Methali hii inatumika kukanya watu dhidhi ya kutosikia mawaidha, wasikuje kujuta baadae maishani. Katika kitongoji cha Bima, palishi mwanamwali mmoja aliyeitwa Kipusa. Ama kweli Kipusa alifanana ...
Watu walimsifia Kipusa kwa sababu gani
Uzuri
x
3224_swa_7
3224_swa
ASIYESIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUU Methali hii inamaanisha kuwa siku zote usiposikia wasia wa wakubwa wako mabaya yatakukumba. Methali hii inatumika kukanya watu dhidhi ya kutosikia mawaidha, wasikuje kujuta baadae maishani. Katika kitongoji cha Bima, palishi mwanamwali mmoja aliyeitwa Kipusa. Ama kweli Kipusa alifanana ...
Kipusa alikuwa na tabia ya kupenda nani
Wanaume
x
3224_swa_8
3224_swa
ASIYESIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUU Methali hii inamaanisha kuwa siku zote usiposikia wasia wa wakubwa wako mabaya yatakukumba. Methali hii inatumika kukanya watu dhidhi ya kutosikia mawaidha, wasikuje kujuta baadae maishani. Katika kitongoji cha Bima, palishi mwanamwali mmoja aliyeitwa Kipusa. Ama kweli Kipusa alifanana ...
Baada ya miezi ngapi Kipusa alikata kamba
Moja
x
3224_swa_9
3224_swa
ASIYESIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUU Methali hii inamaanisha kuwa siku zote usiposikia wasia wa wakubwa wako mabaya yatakukumba. Methali hii inatumika kukanya watu dhidhi ya kutosikia mawaidha, wasikuje kujuta baadae maishani. Katika kitongoji cha Bima, palishi mwanamwali mmoja aliyeitwa Kipusa. Ama kweli Kipusa alifanana ...
Kwa nini ngono za ovyo ni hatari
Huleta mimba na maradhi
x
3233_swa_0
3233_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Imebainika kwamba uvumbuzi wa teknolojia katika shule za sekondari umeleta madhara mengi kwa wanafunzi. Vilevile uvumbuzi huu wa teknologia una faida kwa wanafunzi wa shule za sekondari. Tukiangazia hasa uvumbuzi wa tarakilishi katika shule za sekondari, tunaona ...
Wanafunzi wanasoma kwa kutumia nini
Tarakilishi
x
3233_swa_1
3233_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Imebainika kwamba uvumbuzi wa teknolojia katika shule za sekondari umeleta madhara mengi kwa wanafunzi. Vilevile uvumbuzi huu wa teknologia una faida kwa wanafunzi wa shule za sekondari. Tukiangazia hasa uvumbuzi wa tarakilishi katika shule za sekondari, tunaona ...
Tekinolojia imewafanya wanafunzi kuwa nini
Wajinga
x
3233_swa_2
3233_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Imebainika kwamba uvumbuzi wa teknolojia katika shule za sekondari umeleta madhara mengi kwa wanafunzi. Vilevile uvumbuzi huu wa teknologia una faida kwa wanafunzi wa shule za sekondari. Tukiangazia hasa uvumbuzi wa tarakilishi katika shule za sekondari, tunaona ...
Wanafunzi wanatumia muda wao mwingi kusoma nini
Tarakilishi
x
3233_swa_3
3233_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Imebainika kwamba uvumbuzi wa teknolojia katika shule za sekondari umeleta madhara mengi kwa wanafunzi. Vilevile uvumbuzi huu wa teknologia una faida kwa wanafunzi wa shule za sekondari. Tukiangazia hasa uvumbuzi wa tarakilishi katika shule za sekondari, tunaona ...
Mwanafunzi anatumia nini kufanya hesabu
Kikokotoo
x
3233_swa_4
3233_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Imebainika kwamba uvumbuzi wa teknolojia katika shule za sekondari umeleta madhara mengi kwa wanafunzi. Vilevile uvumbuzi huu wa teknologia una faida kwa wanafunzi wa shule za sekondari. Tukiangazia hasa uvumbuzi wa tarakilishi katika shule za sekondari, tunaona ...
Tekinolojia inafanya wanafunzi wavivu kivipi
Wanakosa kufikiria mambo madogo
x