id
string
story_id
string
context
string
question
string
answer
string
paragraph_id
string
3233_swa_5
3233_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Imebainika kwamba uvumbuzi wa teknolojia katika shule za sekondari umeleta madhara mengi kwa wanafunzi. Vilevile uvumbuzi huu wa teknologia una faida kwa wanafunzi wa shule za sekondari. Tukiangazia hasa uvumbuzi wa tarakilishi katika shule za sekondari, tunaona ...
Nini huwafanya wanafunzi kuwa werevu
Tekinolojia
x
3233_swa_6
3233_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Imebainika kwamba uvumbuzi wa teknolojia katika shule za sekondari umeleta madhara mengi kwa wanafunzi. Vilevile uvumbuzi huu wa teknologia una faida kwa wanafunzi wa shule za sekondari. Tukiangazia hasa uvumbuzi wa tarakilishi katika shule za sekondari, tunaona ...
Tekinolojia hupunguzia wanafunzi kuchoka kuandika wapi
Daftari
x
3233_swa_7
3233_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Imebainika kwamba uvumbuzi wa teknolojia katika shule za sekondari umeleta madhara mengi kwa wanafunzi. Vilevile uvumbuzi huu wa teknologia una faida kwa wanafunzi wa shule za sekondari. Tukiangazia hasa uvumbuzi wa tarakilishi katika shule za sekondari, tunaona ...
Ni nini imewafanya wanafunzi kuwa wajinga
Tekinolojia
x
3233_swa_8
3233_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Imebainika kwamba uvumbuzi wa teknolojia katika shule za sekondari umeleta madhara mengi kwa wanafunzi. Vilevile uvumbuzi huu wa teknologia una faida kwa wanafunzi wa shule za sekondari. Tukiangazia hasa uvumbuzi wa tarakilishi katika shule za sekondari, tunaona ...
Mwanafunzi hutumia nini anapofanya hesabu badala ya kufikiria
Kikokotoo
x
3233_swa_9
3233_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Imebainika kwamba uvumbuzi wa teknolojia katika shule za sekondari umeleta madhara mengi kwa wanafunzi. Vilevile uvumbuzi huu wa teknologia una faida kwa wanafunzi wa shule za sekondari. Tukiangazia hasa uvumbuzi wa tarakilishi katika shule za sekondari, tunaona ...
Kwa nini wanafunzi wanakosa kufikiria mambo madogomadogo
Kwa sababu ya ugunduzi wa vyombo vya tekinolojia
x
3235_swa_0
3235_swa
ASIYESIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUU Maana ya methali hii ni kwamba mtu anayepewa mawaidha na kuyapuuza, huachiwa ulimwengu umfundishe. Pia huweza kutumiwa kuwaonya watu wenye tabia mbaya kwani kinga ni heri kuliko tiba na asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu. Paliondokea mrembo kama malaika aitwaye Rehema. Rehema ...
Binti mrembo alikuwa anaitwa nani
Rehema
x
3235_swa_1
3235_swa
ASIYESIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUU Maana ya methali hii ni kwamba mtu anayepewa mawaidha na kuyapuuza, huachiwa ulimwengu umfundishe. Pia huweza kutumiwa kuwaonya watu wenye tabia mbaya kwani kinga ni heri kuliko tiba na asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu. Paliondokea mrembo kama malaika aitwaye Rehema. Rehema ...
Rehema alikuwa anapenda nini
Anasa
x
3235_swa_2
3235_swa
ASIYESIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUU Maana ya methali hii ni kwamba mtu anayepewa mawaidha na kuyapuuza, huachiwa ulimwengu umfundishe. Pia huweza kutumiwa kuwaonya watu wenye tabia mbaya kwani kinga ni heri kuliko tiba na asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu. Paliondokea mrembo kama malaika aitwaye Rehema. Rehema ...
Rehema alipachikwa nini
Mimba
x
3235_swa_3
3235_swa
ASIYESIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUU Maana ya methali hii ni kwamba mtu anayepewa mawaidha na kuyapuuza, huachiwa ulimwengu umfundishe. Pia huweza kutumiwa kuwaonya watu wenye tabia mbaya kwani kinga ni heri kuliko tiba na asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu. Paliondokea mrembo kama malaika aitwaye Rehema. Rehema ...
Rehema alitoroka nyumbani na kwenda wapi
Mabaa
x
3235_swa_4
3235_swa
ASIYESIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUU Maana ya methali hii ni kwamba mtu anayepewa mawaidha na kuyapuuza, huachiwa ulimwengu umfundishe. Pia huweza kutumiwa kuwaonya watu wenye tabia mbaya kwani kinga ni heri kuliko tiba na asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu. Paliondokea mrembo kama malaika aitwaye Rehema. Rehema ...
Wazazi walichangia vipi kuharibika kwa Rehema
Hawakumpea kazi yeyote
x
3235_swa_5
3235_swa
ASIYESIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUU Maana ya methali hii ni kwamba mtu anayepewa mawaidha na kuyapuuza, huachiwa ulimwengu umfundishe. Pia huweza kutumiwa kuwaonya watu wenye tabia mbaya kwani kinga ni heri kuliko tiba na asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu. Paliondokea mrembo kama malaika aitwaye Rehema. Rehema ...
Nani alikuwa na hulka nzuri
Rehema
x
3235_swa_6
3235_swa
ASIYESIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUU Maana ya methali hii ni kwamba mtu anayepewa mawaidha na kuyapuuza, huachiwa ulimwengu umfundishe. Pia huweza kutumiwa kuwaonya watu wenye tabia mbaya kwani kinga ni heri kuliko tiba na asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu. Paliondokea mrembo kama malaika aitwaye Rehema. Rehema ...
Rehema alipenda nini
Anasa
x
3235_swa_7
3235_swa
ASIYESIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUU Maana ya methali hii ni kwamba mtu anayepewa mawaidha na kuyapuuza, huachiwa ulimwengu umfundishe. Pia huweza kutumiwa kuwaonya watu wenye tabia mbaya kwani kinga ni heri kuliko tiba na asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu. Paliondokea mrembo kama malaika aitwaye Rehema. Rehema ...
Rehema alitoraka nyumbani na kwenda wapi
Baa
x
3235_swa_8
3235_swa
ASIYESIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUU Maana ya methali hii ni kwamba mtu anayepewa mawaidha na kuyapuuza, huachiwa ulimwengu umfundishe. Pia huweza kutumiwa kuwaonya watu wenye tabia mbaya kwani kinga ni heri kuliko tiba na asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu. Paliondokea mrembo kama malaika aitwaye Rehema. Rehema ...
Ngoma ikilia sana hufanya nini
Hupasuka
x
3235_swa_9
3235_swa
ASIYESIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUU Maana ya methali hii ni kwamba mtu anayepewa mawaidha na kuyapuuza, huachiwa ulimwengu umfundishe. Pia huweza kutumiwa kuwaonya watu wenye tabia mbaya kwani kinga ni heri kuliko tiba na asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu. Paliondokea mrembo kama malaika aitwaye Rehema. Rehema ...
Kwa nini Rehema alikuwa mfano wa wasiosikiza mawaidha
Alikuwa ameambukizwa ukimwi
x
3241_swa_0
3241_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia imetukuzwa mno katika karne hii ya leo. Watu wengi mno nchini wanatumia ama hupenda kutumia au kufanya mambo yao kutumia teknlojia.Teknolojia ni maarifa ya sayansi na matumizi yake katika mitambo, vyombo na zana katika viwanda, kilimo, ufundi na njia z...
Tekinolojia ni maarifa ya nini
Sayansi
x
3241_swa_1
3241_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia imetukuzwa mno katika karne hii ya leo. Watu wengi mno nchini wanatumia ama hupenda kutumia au kufanya mambo yao kutumia teknlojia.Teknolojia ni maarifa ya sayansi na matumizi yake katika mitambo, vyombo na zana katika viwanda, kilimo, ufundi na njia z...
Wanafunzi wanatumia nini kufanya utafiti
Tarakilishi
x
3241_swa_2
3241_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia imetukuzwa mno katika karne hii ya leo. Watu wengi mno nchini wanatumia ama hupenda kutumia au kufanya mambo yao kutumia teknlojia.Teknolojia ni maarifa ya sayansi na matumizi yake katika mitambo, vyombo na zana katika viwanda, kilimo, ufundi na njia z...
Shuleni nyingi nchini zimewekwa nini kunasa wahalifu
CCTV
x
3241_swa_3
3241_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia imetukuzwa mno katika karne hii ya leo. Watu wengi mno nchini wanatumia ama hupenda kutumia au kufanya mambo yao kutumia teknlojia.Teknolojia ni maarifa ya sayansi na matumizi yake katika mitambo, vyombo na zana katika viwanda, kilimo, ufundi na njia z...
Wanafunzi wanafunzwa kuchora kwa kutumia nini
Runinga
x
3241_swa_4
3241_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia imetukuzwa mno katika karne hii ya leo. Watu wengi mno nchini wanatumia ama hupenda kutumia au kufanya mambo yao kutumia teknlojia.Teknolojia ni maarifa ya sayansi na matumizi yake katika mitambo, vyombo na zana katika viwanda, kilimo, ufundi na njia z...
Ni vipi tekinolojia ina madhara
Watu husahai utamaaduni na kumpotosha mwanafunzi
x
3241_swa_5
3241_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia imetukuzwa mno katika karne hii ya leo. Watu wengi mno nchini wanatumia ama hupenda kutumia au kufanya mambo yao kutumia teknlojia.Teknolojia ni maarifa ya sayansi na matumizi yake katika mitambo, vyombo na zana katika viwanda, kilimo, ufundi na njia z...
Ni nini imetukuzwa sana katika karne ya leo
Tekinolojia
x
3241_swa_6
3241_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia imetukuzwa mno katika karne hii ya leo. Watu wengi mno nchini wanatumia ama hupenda kutumia au kufanya mambo yao kutumia teknlojia.Teknolojia ni maarifa ya sayansi na matumizi yake katika mitambo, vyombo na zana katika viwanda, kilimo, ufundi na njia z...
Wanafunzi wantumia nini kutafiti
Tarakilishi
x
3241_swa_7
3241_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia imetukuzwa mno katika karne hii ya leo. Watu wengi mno nchini wanatumia ama hupenda kutumia au kufanya mambo yao kutumia teknlojia.Teknolojia ni maarifa ya sayansi na matumizi yake katika mitambo, vyombo na zana katika viwanda, kilimo, ufundi na njia z...
Ni nini immewekwa shuleni kuwanasa wahalifu
CCTV
x
3241_swa_8
3241_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia imetukuzwa mno katika karne hii ya leo. Watu wengi mno nchini wanatumia ama hupenda kutumia au kufanya mambo yao kutumia teknlojia.Teknolojia ni maarifa ya sayansi na matumizi yake katika mitambo, vyombo na zana katika viwanda, kilimo, ufundi na njia z...
Ni nini nya kisasa husaidia kaaatika kilimo shuleni
Mbolea
x
3241_swa_9
3241_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia imetukuzwa mno katika karne hii ya leo. Watu wengi mno nchini wanatumia ama hupenda kutumia au kufanya mambo yao kutumia teknlojia.Teknolojia ni maarifa ya sayansi na matumizi yake katika mitambo, vyombo na zana katika viwanda, kilimo, ufundi na njia z...
Kwa nini watu wanasahau tamaduni zao
Kwa kuzingatia mambo ya kisayansi
x
3249_swa_0
3249_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni mfumo wa kimasomo na mawasiliano kati ya mtu mmoja na mwengine. Huu ni utoaji wa taarifa kutoka maeneo mbalimbali kama vile Tanzania,Uganda na pia Somalia. Kitambo kulikuwa hakuna vifaa kama runinga, rununu, kompyuta na nyenginezo. Watu wengi walik...
Ngoma ilitumiwa kupitisha nini
Ujumbe
x
3249_swa_1
3249_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni mfumo wa kimasomo na mawasiliano kati ya mtu mmoja na mwengine. Huu ni utoaji wa taarifa kutoka maeneo mbalimbali kama vile Tanzania,Uganda na pia Somalia. Kitambo kulikuwa hakuna vifaa kama runinga, rununu, kompyuta na nyenginezo. Watu wengi walik...
Ni nini wanafunzi wanatumia kusoma na kuwasilisha ujumbe
Mitandao
x
3249_swa_2
3249_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni mfumo wa kimasomo na mawasiliano kati ya mtu mmoja na mwengine. Huu ni utoaji wa taarifa kutoka maeneo mbalimbali kama vile Tanzania,Uganda na pia Somalia. Kitambo kulikuwa hakuna vifaa kama runinga, rununu, kompyuta na nyenginezo. Watu wengi walik...
Nani wanawasiliana na watu wasiowajua
Wanafunzi
x
3249_swa_3
3249_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni mfumo wa kimasomo na mawasiliano kati ya mtu mmoja na mwengine. Huu ni utoaji wa taarifa kutoka maeneo mbalimbali kama vile Tanzania,Uganda na pia Somalia. Kitambo kulikuwa hakuna vifaa kama runinga, rununu, kompyuta na nyenginezo. Watu wengi walik...
Wanafunzi wanaharibika kwa kuangalia nini
Picha
x
3249_swa_4
3249_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni mfumo wa kimasomo na mawasiliano kati ya mtu mmoja na mwengine. Huu ni utoaji wa taarifa kutoka maeneo mbalimbali kama vile Tanzania,Uganda na pia Somalia. Kitambo kulikuwa hakuna vifaa kama runinga, rununu, kompyuta na nyenginezo. Watu wengi walik...
Kwa nini watu wanafaa miwani
Kutokana na mwangaza unaowaharibu macho
x
3249_swa_5
3249_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni mfumo wa kimasomo na mawasiliano kati ya mtu mmoja na mwengine. Huu ni utoaji wa taarifa kutoka maeneo mbalimbali kama vile Tanzania,Uganda na pia Somalia. Kitambo kulikuwa hakuna vifaa kama runinga, rununu, kompyuta na nyenginezo. Watu wengi walik...
Watu walitumia nini kuwasilisha ujumbe
Ngoma
x
3249_swa_6
3249_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni mfumo wa kimasomo na mawasiliano kati ya mtu mmoja na mwengine. Huu ni utoaji wa taarifa kutoka maeneo mbalimbali kama vile Tanzania,Uganda na pia Somalia. Kitambo kulikuwa hakuna vifaa kama runinga, rununu, kompyuta na nyenginezo. Watu wengi walik...
Wanafunzi wengi wanatumia nini kusoma
Mitandao
x
3249_swa_7
3249_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni mfumo wa kimasomo na mawasiliano kati ya mtu mmoja na mwengine. Huu ni utoaji wa taarifa kutoka maeneo mbalimbali kama vile Tanzania,Uganda na pia Somalia. Kitambo kulikuwa hakuna vifaa kama runinga, rununu, kompyuta na nyenginezo. Watu wengi walik...
Wnafunzi wanajipiga nini na kurusha hewani
Picha
x
3249_swa_8
3249_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni mfumo wa kimasomo na mawasiliano kati ya mtu mmoja na mwengine. Huu ni utoaji wa taarifa kutoka maeneo mbalimbali kama vile Tanzania,Uganda na pia Somalia. Kitambo kulikuwa hakuna vifaa kama runinga, rununu, kompyuta na nyenginezo. Watu wengi walik...
Vifaa vinavyoweka ujumbe huitwaje
Kompyuta
x
3249_swa_9
3249_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ni mfumo wa kimasomo na mawasiliano kati ya mtu mmoja na mwengine. Huu ni utoaji wa taarifa kutoka maeneo mbalimbali kama vile Tanzania,Uganda na pia Somalia. Kitambo kulikuwa hakuna vifaa kama runinga, rununu, kompyuta na nyenginezo. Watu wengi walik...
Kwa nini wanatumia miwani
Kwa sababu ya mwangaza wa Kompyuta kuwaharibu macho
x
3252_swa_0
3252_swa
ASIYESIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUU Maana ya methali hii ni kwamba mtu asiyesikia la mkubwa huenda akavunjika guu. Methali hii iko sawiya na asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu. Pia huwaonya wale binadamu ambao wakiambiwa maneno huingia na sikio hili na kutoka kwa lengine. Hutumika kuwasuta wale waliombiwa na wavy...
Msichana katika kijiji cha Bagamoyo aliitwa nani
Pendo
x
3252_swa_1
3252_swa
ASIYESIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUU Maana ya methali hii ni kwamba mtu asiyesikia la mkubwa huenda akavunjika guu. Methali hii iko sawiya na asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu. Pia huwaonya wale binadamu ambao wakiambiwa maneno huingia na sikio hili na kutoka kwa lengine. Hutumika kuwasuta wale waliombiwa na wavy...
Pendo alisomea wapi
Marembo
x
3252_swa_2

Pendo akienda shule alipatana na nani
Ghulamu
x
3252_swa_3
3252_swa
ASIYESIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUU Maana ya methali hii ni kwamba mtu asiyesikia la mkubwa huenda akavunjika guu. Methali hii iko sawiya na asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu. Pia huwaonya wale binadamu ambao wakiambiwa maneno huingia na sikio hili na kutoka kwa lengine. Hutumika kuwasuta wale waliombiwa na wavy...
Kwa nini wazazi wa Pendo walishikwa na butwaa
Pendo alikuwa mjamzito
x
3252_swa_4
3252_swa
ASIYESIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUU Maana ya methali hii ni kwamba mtu asiyesikia la mkubwa huenda akavunjika guu. Methali hii iko sawiya na asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu. Pia huwaonya wale binadamu ambao wakiambiwa maneno huingia na sikio hili na kutoka kwa lengine. Hutumika kuwasuta wale waliombiwa na wavy...
Ni vipi Pendo angeepuka ujauzito
Kwa kumwepuka ghulamu
x
3252_swa_5
3252_swa
ASIYESIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUU Maana ya methali hii ni kwamba mtu asiyesikia la mkubwa huenda akavunjika guu. Methali hii iko sawiya na asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu. Pia huwaonya wale binadamu ambao wakiambiwa maneno huingia na sikio hili na kutoka kwa lengine. Hutumika kuwasuta wale waliombiwa na wavy...
Ni lipi jina la msichana
Pendo
x
3252_swa_6
3252_swa
ASIYESIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUU Maana ya methali hii ni kwamba mtu asiyesikia la mkubwa huenda akavunjika guu. Methali hii iko sawiya na asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu. Pia huwaonya wale binadamu ambao wakiambiwa maneno huingia na sikio hili na kutoka kwa lengine. Hutumika kuwasuta wale waliombiwa na wavy...
Pendo alisomea wapi
Marembo Bidii Academy
x
3252_swa_7
3252_swa
ASIYESIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUU Maana ya methali hii ni kwamba mtu asiyesikia la mkubwa huenda akavunjika guu. Methali hii iko sawiya na asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu. Pia huwaonya wale binadamu ambao wakiambiwa maneno huingia na sikio hili na kutoka kwa lengine. Hutumika kuwasuta wale waliombiwa na wavy...
Pendo aliambia nani ampishe
Ghulamu
x
3252_swa_8
3252_swa
ASIYESIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUU Maana ya methali hii ni kwamba mtu asiyesikia la mkubwa huenda akavunjika guu. Methali hii iko sawiya na asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu. Pia huwaonya wale binadamu ambao wakiambiwa maneno huingia na sikio hili na kutoka kwa lengine. Hutumika kuwasuta wale waliombiwa na wavy...
Pendo alikuwa mdanganyifu kwa nani
Wazazi
x
3252_swa_9
3252_swa
ASIYESIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUU Maana ya methali hii ni kwamba mtu asiyesikia la mkubwa huenda akavunjika guu. Methali hii iko sawiya na asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu. Pia huwaonya wale binadamu ambao wakiambiwa maneno huingia na sikio hili na kutoka kwa lengine. Hutumika kuwasuta wale waliombiwa na wavy...
Kwa nini wavyele wa Pendo walilia
Pendo alikuwa mja mzito na virusi vya ukimwi
x
3253_swa_0
3253_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ina manufaa mengi katika maisha yetu ya kisasa.Tekinolojia hutumiwa na watu wengi wa kila aina katika jamii na katika sehemu tofauti. Teknolojia imeleta faida nyingi katika shule za sekondari ikiwemo utumiaji wa tarakilishi. Tarakilishi imewasaidia wan...
Tekinolojia hutumiwa na nani
Nsi
x
3253_swa_1
3253_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ina manufaa mengi katika maisha yetu ya kisasa.Tekinolojia hutumiwa na watu wengi wa kila aina katika jamii na katika sehemu tofauti. Teknolojia imeleta faida nyingi katika shule za sekondari ikiwemo utumiaji wa tarakilishi. Tarakilishi imewasaidia wan...
Tekinolojia imeleta faida nyingi katika shule zipi
Sekondari
x
3253_swa_2

Wanafunzi hutumia simu kutazama nini
Video
x
3253_swa_3
3253_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ina manufaa mengi katika maisha yetu ya kisasa.Tekinolojia hutumiwa na watu wengi wa kila aina katika jamii na katika sehemu tofauti. Teknolojia imeleta faida nyingi katika shule za sekondari ikiwemo utumiaji wa tarakilishi. Tarakilishi imewasaidia wan...
Wanafunzi hudorora katika nini
Masomo
x
3253_swa_4
3253_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ina manufaa mengi katika maisha yetu ya kisasa.Tekinolojia hutumiwa na watu wengi wa kila aina katika jamii na katika sehemu tofauti. Teknolojia imeleta faida nyingi katika shule za sekondari ikiwemo utumiaji wa tarakilishi. Tarakilishi imewasaidia wan...
Uovu wa wanafunzi unatokana na nini
Tarakilishi ambayo huhifadhi masomo
x
3253_swa_5
3253_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ina manufaa mengi katika maisha yetu ya kisasa.Tekinolojia hutumiwa na watu wengi wa kila aina katika jamii na katika sehemu tofauti. Teknolojia imeleta faida nyingi katika shule za sekondari ikiwemo utumiaji wa tarakilishi. Tarakilishi imewasaidia wan...
Ni nini ina manufaa kwa maisha yetu ya kisasa
Tekinolojia
x
3253_swa_6
3253_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ina manufaa mengi katika maisha yetu ya kisasa.Tekinolojia hutumiwa na watu wengi wa kila aina katika jamii na katika sehemu tofauti. Teknolojia imeleta faida nyingi katika shule za sekondari ikiwemo utumiaji wa tarakilishi. Tarakilishi imewasaidia wan...
Ni nini imerahisisha kazi ya wanafunzi ya kusoma
Tarakilishi
x
3253_swa_7
3253_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ina manufaa mengi katika maisha yetu ya kisasa.Tekinolojia hutumiwa na watu wengi wa kila aina katika jamii na katika sehemu tofauti. Teknolojia imeleta faida nyingi katika shule za sekondari ikiwemo utumiaji wa tarakilishi. Tarakilishi imewasaidia wan...
Mwanafunzi hutumia nini kutafuta majibu ya maswali magumu
Simu
x
3253_swa_8
3253_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ina manufaa mengi katika maisha yetu ya kisasa.Tekinolojia hutumiwa na watu wengi wa kila aina katika jamii na katika sehemu tofauti. Teknolojia imeleta faida nyingi katika shule za sekondari ikiwemo utumiaji wa tarakilishi. Tarakilishi imewasaidia wan...
Wanaafunzi hudoroa kimasomo kwa kutazama nini
Runinga
x
3253_swa_9
3253_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Teknolojia ina manufaa mengi katika maisha yetu ya kisasa.Tekinolojia hutumiwa na watu wengi wa kila aina katika jamii na katika sehemu tofauti. Teknolojia imeleta faida nyingi katika shule za sekondari ikiwemo utumiaji wa tarakilishi. Tarakilishi imewasaidia wan...
Ni vipi kikotoo kimewafanya wanafunzi wavivu
Wanafanya hesabu kwa muda mfupi na hawafikirii sana
x
3259_swa_0
3259_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Katika shule za sekondari, teknolojia imeleta faida nyingi. Teknolojia imecheza sehemu kubwa katika shule za sekondari. Teknolojia imesaidia sana wanafunzi pamoja na walimu. Teknolojia imeleta faida nyingi kuliko madhara. Faida ya kwanza ya teknolojia ni wakati ...
Ni nini imeleta faida nyingi katika shule ya sekondari
Tekinolojia
x
3259_swa_1
3259_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Katika shule za sekondari, teknolojia imeleta faida nyingi. Teknolojia imecheza sehemu kubwa katika shule za sekondari. Teknolojia imesaidia sana wanafunzi pamoja na walimu. Teknolojia imeleta faida nyingi kuliko madhara. Faida ya kwanza ya teknolojia ni wakati ...
wanafunzi wanasajiriwa katika kidato kipi
Kwanza
x
3259_swa_2
3259_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Katika shule za sekondari, teknolojia imeleta faida nyingi. Teknolojia imecheza sehemu kubwa katika shule za sekondari. Teknolojia imesaidia sana wanafunzi pamoja na walimu. Teknolojia imeleta faida nyingi kuliko madhara. Faida ya kwanza ya teknolojia ni wakati ...
Mwanafunzi hutumia simu au tarakilishi kutafuta nini
majibu
x
3259_swa_3
3259_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Katika shule za sekondari, teknolojia imeleta faida nyingi. Teknolojia imecheza sehemu kubwa katika shule za sekondari. Teknolojia imesaidia sana wanafunzi pamoja na walimu. Teknolojia imeleta faida nyingi kuliko madhara. Faida ya kwanza ya teknolojia ni wakati ...
Mwanafunzi anatumia muda kuwasiliana na nani
Wenzake
x
3259_swa_4
3259_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Katika shule za sekondari, teknolojia imeleta faida nyingi. Teknolojia imecheza sehemu kubwa katika shule za sekondari. Teknolojia imesaidia sana wanafunzi pamoja na walimu. Teknolojia imeleta faida nyingi kuliko madhara. Faida ya kwanza ya teknolojia ni wakati ...
Uhalifu unasababishwa na tekinolojia vipi
Wanafunzi wanajiunga na makundi
x
3259_swa_5
3259_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Katika shule za sekondari, teknolojia imeleta faida nyingi. Teknolojia imecheza sehemu kubwa katika shule za sekondari. Teknolojia imesaidia sana wanafunzi pamoja na walimu. Teknolojia imeleta faida nyingi kuliko madhara. Faida ya kwanza ya teknolojia ni wakati ...
Tekinolojia imeleta faida nyingi katika shule zipi
Sekondari
x
3259_swa_6
3259_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Katika shule za sekondari, teknolojia imeleta faida nyingi. Teknolojia imecheza sehemu kubwa katika shule za sekondari. Teknolojia imesaidia sana wanafunzi pamoja na walimu. Teknolojia imeleta faida nyingi kuliko madhara. Faida ya kwanza ya teknolojia ni wakati ...
Tekinolojia inatumika wakati wa kusajiri wanafunzi wa kidato kipi
Kwanza
x
3259_swa_7
3259_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Katika shule za sekondari, teknolojia imeleta faida nyingi. Teknolojia imecheza sehemu kubwa katika shule za sekondari. Teknolojia imesaidia sana wanafunzi pamoja na walimu. Teknolojia imeleta faida nyingi kuliko madhara. Faida ya kwanza ya teknolojia ni wakati ...
Wanafunzi wanafunzwa Tekinolojia ili waweze kuingia wapi
Mtandaoni
x
3259_swa_8
3259_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Katika shule za sekondari, teknolojia imeleta faida nyingi. Teknolojia imecheza sehemu kubwa katika shule za sekondari. Teknolojia imesaidia sana wanafunzi pamoja na walimu. Teknolojia imeleta faida nyingi kuliko madhara. Faida ya kwanza ya teknolojia ni wakati ...
Mwanafunzi anaweza kutumia muda mwingi kuwasiliana na nani
Wenzake
x
3259_swa_9
3259_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Katika shule za sekondari, teknolojia imeleta faida nyingi. Teknolojia imecheza sehemu kubwa katika shule za sekondari. Teknolojia imesaidia sana wanafunzi pamoja na walimu. Teknolojia imeleta faida nyingi kuliko madhara. Faida ya kwanza ya teknolojia ni wakati ...
Ni vipi tekinolojia inachangia katika uhalifu
Wanafunzi wanajiunga katika makundi ya uhalifu
x
3263_swa_0
3263_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE YA SEKONDARI Katika Shule za upili kuna faida na pia madhara ya teknolojia. Kwanza ningeanza na madhara ya teknologia katika shule za sekondari . Kwani mtu huhitaji na uvumilivu ili kupita masomo yake. Masomo ya sekondari ni magumu mno hivyo basi watu wengi hukataa masomo ya...
Masomo yepi magumu
Sekondari
x
3263_swa_1
3263_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE YA SEKONDARI Katika Shule za upili kuna faida na pia madhara ya teknolojia. Kwanza ningeanza na madhara ya teknologia katika shule za sekondari . Kwani mtu huhitaji na uvumilivu ili kupita masomo yake. Masomo ya sekondari ni magumu mno hivyo basi watu wengi hukataa masomo ya...
Wanafunzi wa shule ya sekondari husoma kwa nia gani
Kufaulu
x
3263_swa_2
3263_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE YA SEKONDARI Katika Shule za upili kuna faida na pia madhara ya teknolojia. Kwanza ningeanza na madhara ya teknologia katika shule za sekondari . Kwani mtu huhitaji na uvumilivu ili kupita masomo yake. Masomo ya sekondari ni magumu mno hivyo basi watu wengi hukataa masomo ya...
Mwanafunzi anafuzu na kukosa nini
Karo
x
3263_swa_3
3263_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE YA SEKONDARI Katika Shule za upili kuna faida na pia madhara ya teknolojia. Kwanza ningeanza na madhara ya teknologia katika shule za sekondari . Kwani mtu huhitaji na uvumilivu ili kupita masomo yake. Masomo ya sekondari ni magumu mno hivyo basi watu wengi hukataa masomo ya...
Mwanafunzi anajiendeleza mwenyewe na nini
Tekinolojia
x
3263_swa_4
3263_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE YA SEKONDARI Katika Shule za upili kuna faida na pia madhara ya teknolojia. Kwanza ningeanza na madhara ya teknologia katika shule za sekondari . Kwani mtu huhitaji na uvumilivu ili kupita masomo yake. Masomo ya sekondari ni magumu mno hivyo basi watu wengi hukataa masomo ya...
Elimu ya marika husaidia vipi mwanafunzi
Kutahadharisha mwanafunzi kujiunga na makundi mabaya
x
3263_swa_5
3263_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE YA SEKONDARI Katika Shule za upili kuna faida na pia madhara ya teknolojia. Kwanza ningeanza na madhara ya teknologia katika shule za sekondari . Kwani mtu huhitaji na uvumilivu ili kupita masomo yake. Masomo ya sekondari ni magumu mno hivyo basi watu wengi hukataa masomo ya...
Mwanafunzi huhitaji nini ili kupita masomo
Uvumilivu
x
3263_swa_6
3263_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE YA SEKONDARI Katika Shule za upili kuna faida na pia madhara ya teknolojia. Kwanza ningeanza na madhara ya teknologia katika shule za sekondari . Kwani mtu huhitaji na uvumilivu ili kupita masomo yake. Masomo ya sekondari ni magumu mno hivyo basi watu wengi hukataa masomo ya...
Wanafunzi husoma kwa nia gani
Kufaulu
x
3263_swa_7
3263_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE YA SEKONDARI Katika Shule za upili kuna faida na pia madhara ya teknolojia. Kwanza ningeanza na madhara ya teknologia katika shule za sekondari . Kwani mtu huhitaji na uvumilivu ili kupita masomo yake. Masomo ya sekondari ni magumu mno hivyo basi watu wengi hukataa masomo ya...
Mwanafunzi hufaulu lakini akakosa nini
Karo
x
3263_swa_8
3263_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE YA SEKONDARI Katika Shule za upili kuna faida na pia madhara ya teknolojia. Kwanza ningeanza na madhara ya teknologia katika shule za sekondari . Kwani mtu huhitaji na uvumilivu ili kupita masomo yake. Masomo ya sekondari ni magumu mno hivyo basi watu wengi hukataa masomo ya...
Masomo gani hutahadharisha watu kujiingiza kwa makundi
Marika
x
3263_swa_9
3263_swa
FAIDA NA MADHARA YA TEKNOLOJIA KATIKA SHULE YA SEKONDARI Katika Shule za upili kuna faida na pia madhara ya teknolojia. Kwanza ningeanza na madhara ya teknologia katika shule za sekondari . Kwani mtu huhitaji na uvumilivu ili kupita masomo yake. Masomo ya sekondari ni magumu mno hivyo basi watu wengi hukataa masomo ya...
Tekinolojia huwa na faida vipi kwa watu
Kwa kuelimisha mwanafunzi kisha anaelimisha jamii
x
3264_swa_0
3264_swa
ASIYESIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUU Methali hii ina maana ya kuwa mtu asiyesikia la mkubwa wake baadaye hujutia kwani majuto ni mjukuu huja baadae. Methali hii inalandana na ile isemayo asiye funzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu. Kulikuwa na msichana mrembo aitwaye Kadzo. Alikuwa na adabu na mwenye heshima kwa watu wote...
Kulikuwa na msichana aliyeitwa nani
Kadzo
x
3264_swa_1

Kadzo alikanywa na nani
Wavyele
x
3264_swa_2
3264_swa
ASIYESIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUU Methali hii ina maana ya kuwa mtu asiyesikia la mkubwa wake baadaye hujutia kwani majuto ni mjukuu huja baadae. Methali hii inalandana na ile isemayo asiye funzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu. Kulikuwa na msichana mrembo aitwaye Kadzo. Alikuwa na adabu na mwenye heshima kwa watu wote...
Kadzo alianza kutapika baada ya muda wa miezi ngapi
Miwili
x
3264_swa_3
3264_swa
ASIYESIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUU Methali hii ina maana ya kuwa mtu asiyesikia la mkubwa wake baadaye hujutia kwani majuto ni mjukuu huja baadae. Methali hii inalandana na ile isemayo asiye funzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu. Kulikuwa na msichana mrembo aitwaye Kadzo. Alikuwa na adabu na mwenye heshima kwa watu wote...
Walimu wa Kadzo waliita nani
Wazazi
x
3264_swa_4
3264_swa
ASIYESIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUU Methali hii ina maana ya kuwa mtu asiyesikia la mkubwa wake baadaye hujutia kwani majuto ni mjukuu huja baadae. Methali hii inalandana na ile isemayo asiye funzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu. Kulikuwa na msichana mrembo aitwaye Kadzo. Alikuwa na adabu na mwenye heshima kwa watu wote...
Kwa nini simu ya wavyele iliita
Kadzo alikuwa amekufa
x
3264_swa_5
3264_swa
ASIYESIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUU Methali hii ina maana ya kuwa mtu asiyesikia la mkubwa wake baadaye hujutia kwani majuto ni mjukuu huja baadae. Methali hii inalandana na ile isemayo asiye funzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu. Kulikuwa na msichana mrembo aitwaye Kadzo. Alikuwa na adabu na mwenye heshima kwa watu wote...
Kulikuwa na msichana aliyeitwa nani
Kadzo
x
3264_swa_6
3264_swa
ASIYESIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUU Methali hii ina maana ya kuwa mtu asiyesikia la mkubwa wake baadaye hujutia kwani majuto ni mjukuu huja baadae. Methali hii inalandana na ile isemayo asiye funzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu. Kulikuwa na msichana mrembo aitwaye Kadzo. Alikuwa na adabu na mwenye heshima kwa watu wote...
Kadzo alianza tabia gani
Mbaya
x
3264_swa_7
3264_swa
ASIYESIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUU Methali hii ina maana ya kuwa mtu asiyesikia la mkubwa wake baadaye hujutia kwani majuto ni mjukuu huja baadae. Methali hii inalandana na ile isemayo asiye funzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu. Kulikuwa na msichana mrembo aitwaye Kadzo. Alikuwa na adabu na mwenye heshima kwa watu wote...
Walimu waliwaita nani
Wazazi
x
3264_swa_8
3264_swa
ASIYESIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUU Methali hii ina maana ya kuwa mtu asiyesikia la mkubwa wake baadaye hujutia kwani majuto ni mjukuu huja baadae. Methali hii inalandana na ile isemayo asiye funzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu. Kulikuwa na msichana mrembo aitwaye Kadzo. Alikuwa na adabu na mwenye heshima kwa watu wote...
Kadzo alianza kutapika baada ya miezi mingapi
Miwili
x
3264_swa_9
3264_swa
ASIYESIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUU Methali hii ina maana ya kuwa mtu asiyesikia la mkubwa wake baadaye hujutia kwani majuto ni mjukuu huja baadae. Methali hii inalandana na ile isemayo asiye funzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu. Kulikuwa na msichana mrembo aitwaye Kadzo. Alikuwa na adabu na mwenye heshima kwa watu wote...
Kwa nini simu ilipigwa
Kuelezea kuwa Kadzo amekufa
x
3274_swa_0
3274_swa
TUTUNZE MAZINGIRA! "Mwenyekiti wa Bodi ya shule, Naibu wake, Mwalimu mkuu, naibu wa mwalimu mkuu, walimu wazazi pamoja na wanagenzi wenzangu hamjambo? "Hatujambo." Nachukua fursa hii niliyosaliwa na mwenyezi Mungu kuwashukuru nyote mlioweza kuitikia mwito huu. Kwani wahenga walitanabahi kua usikatae mwito bali unachoit...
Wanafaa kupanda miti mingapi kila mwezi
Miwili
x
3274_swa_1
3274_swa
TUTUNZE MAZINGIRA! "Mwenyekiti wa Bodi ya shule, Naibu wake, Mwalimu mkuu, naibu wa mwalimu mkuu, walimu wazazi pamoja na wanagenzi wenzangu hamjambo? "Hatujambo." Nachukua fursa hii niliyosaliwa na mwenyezi Mungu kuwashukuru nyote mlioweza kuitikia mwito huu. Kwani wahenga walitanabahi kua usikatae mwito bali unachoit...
mazingira wanaoishi yanafaa kuwa vipi
safi
x
3274_swa_2
3274_swa
TUTUNZE MAZINGIRA! "Mwenyekiti wa Bodi ya shule, Naibu wake, Mwalimu mkuu, naibu wa mwalimu mkuu, walimu wazazi pamoja na wanagenzi wenzangu hamjambo? "Hatujambo." Nachukua fursa hii niliyosaliwa na mwenyezi Mungu kuwashukuru nyote mlioweza kuitikia mwito huu. Kwani wahenga walitanabahi kua usikatae mwito bali unachoit...
Anachukua fursa aliyojaliwa na nani
MwenyeziMungu
x
3274_swa_3
3274_swa
TUTUNZE MAZINGIRA! "Mwenyekiti wa Bodi ya shule, Naibu wake, Mwalimu mkuu, naibu wa mwalimu mkuu, walimu wazazi pamoja na wanagenzi wenzangu hamjambo? "Hatujambo." Nachukua fursa hii niliyosaliwa na mwenyezi Mungu kuwashukuru nyote mlioweza kuitikia mwito huu. Kwani wahenga walitanabahi kua usikatae mwito bali unachoit...
Mamlaka ni ya kutunza nini
Miti,vijito bahari
x
3274_swa_4
3274_swa
TUTUNZE MAZINGIRA! "Mwenyekiti wa Bodi ya shule, Naibu wake, Mwalimu mkuu, naibu wa mwalimu mkuu, walimu wazazi pamoja na wanagenzi wenzangu hamjambo? "Hatujambo." Nachukua fursa hii niliyosaliwa na mwenyezi Mungu kuwashukuru nyote mlioweza kuitikia mwito huu. Kwani wahenga walitanabahi kua usikatae mwito bali unachoit...
Ni vipi miti itaongezeka
Tunapokata mmoja, tupande minne
x
3274_swa_5
3274_swa
TUTUNZE MAZINGIRA! "Mwenyekiti wa Bodi ya shule, Naibu wake, Mwalimu mkuu, naibu wa mwalimu mkuu, walimu wazazi pamoja na wanagenzi wenzangu hamjambo? "Hatujambo." Nachukua fursa hii niliyosaliwa na mwenyezi Mungu kuwashukuru nyote mlioweza kuitikia mwito huu. Kwani wahenga walitanabahi kua usikatae mwito bali unachoit...
Anawashukuru wote walioweza kuitikia nini
Wito
x
3274_swa_6
3274_swa
TUTUNZE MAZINGIRA! "Mwenyekiti wa Bodi ya shule, Naibu wake, Mwalimu mkuu, naibu wa mwalimu mkuu, walimu wazazi pamoja na wanagenzi wenzangu hamjambo? "Hatujambo." Nachukua fursa hii niliyosaliwa na mwenyezi Mungu kuwashukuru nyote mlioweza kuitikia mwito huu. Kwani wahenga walitanabahi kua usikatae mwito bali unachoit...
Wakipanda miti nchi haitageuka kuwa nini
Janga
x
3274_swa_7
3274_swa
TUTUNZE MAZINGIRA! "Mwenyekiti wa Bodi ya shule, Naibu wake, Mwalimu mkuu, naibu wa mwalimu mkuu, walimu wazazi pamoja na wanagenzi wenzangu hamjambo? "Hatujambo." Nachukua fursa hii niliyosaliwa na mwenyezi Mungu kuwashukuru nyote mlioweza kuitikia mwito huu. Kwani wahenga walitanabahi kua usikatae mwito bali unachoit...
Wahakikishe mazingira wanayokaa iko vipi
safi
x
3274_swa_8
3274_swa
TUTUNZE MAZINGIRA! "Mwenyekiti wa Bodi ya shule, Naibu wake, Mwalimu mkuu, naibu wa mwalimu mkuu, walimu wazazi pamoja na wanagenzi wenzangu hamjambo? "Hatujambo." Nachukua fursa hii niliyosaliwa na mwenyezi Mungu kuwashukuru nyote mlioweza kuitikia mwito huu. Kwani wahenga walitanabahi kua usikatae mwito bali unachoit...
Ni nani aliwatunukia dunia
Mterehemezi
x
3274_swa_9
3274_swa
TUTUNZE MAZINGIRA! "Mwenyekiti wa Bodi ya shule, Naibu wake, Mwalimu mkuu, naibu wa mwalimu mkuu, walimu wazazi pamoja na wanagenzi wenzangu hamjambo? "Hatujambo." Nachukua fursa hii niliyosaliwa na mwenyezi Mungu kuwashukuru nyote mlioweza kuitikia mwito huu. Kwani wahenga walitanabahi kua usikatae mwito bali unachoit...
Kuboresha kilimo kuna mchango gani
Kupunguza njaa nchini
x
3297_swa_0
3297_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA NCHI YA KENYA Kilimo ndio uti wa mgongo wa nchi yetu ya Kenya. Kilimo kina manufaa ainati. Kilimo kinaweza kuimarisha nchi yetu kupitia kwa mauzo ya mazao ya kilimo. Mazao kama vile majani chai na kahawa yanauzwa katika nchi za ng'ambo na hivyo kuwezesha kuleta pesa nchini. Kwa k...
Ni nini uti wa mgongo wa nchi ya Kenya
Kilimo
x
3297_swa_1
3297_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA NCHI YA KENYA Kilimo ndio uti wa mgongo wa nchi yetu ya Kenya. Kilimo kina manufaa ainati. Kilimo kinaweza kuimarisha nchi yetu kupitia kwa mauzo ya mazao ya kilimo. Mazao kama vile majani chai na kahawa yanauzwa katika nchi za ng'ambo na hivyo kuwezesha kuleta pesa nchini. Kwa k...
Majani chai na kahawa hepelekwa wapi
Viwandani
x
3297_swa_2
3297_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA NCHI YA KENYA Kilimo ndio uti wa mgongo wa nchi yetu ya Kenya. Kilimo kina manufaa ainati. Kilimo kinaweza kuimarisha nchi yetu kupitia kwa mauzo ya mazao ya kilimo. Mazao kama vile majani chai na kahawa yanauzwa katika nchi za ng'ambo na hivyo kuwezesha kuleta pesa nchini. Kwa k...
Kilimo kimefanya watu wasihamie wapi
Jijini
x
3297_swa_3
3297_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA NCHI YA KENYA Kilimo ndio uti wa mgongo wa nchi yetu ya Kenya. Kilimo kina manufaa ainati. Kilimo kinaweza kuimarisha nchi yetu kupitia kwa mauzo ya mazao ya kilimo. Mazao kama vile majani chai na kahawa yanauzwa katika nchi za ng'ambo na hivyo kuwezesha kuleta pesa nchini. Kwa k...
Ni vipi kilimo husaidia kuleta watu pamoja
uuzaji wa bidhaa
x
3297_swa_4
3297_swa
MANUFAA YA KILIMO KATIKA UIMARISHAJI WA NCHI YA KENYA Kilimo ndio uti wa mgongo wa nchi yetu ya Kenya. Kilimo kina manufaa ainati. Kilimo kinaweza kuimarisha nchi yetu kupitia kwa mauzo ya mazao ya kilimo. Mazao kama vile majani chai na kahawa yanauzwa katika nchi za ng'ambo na hivyo kuwezesha kuleta pesa nchini. Kwa k...
Kilimo husaidia vipi elimu
watoto wanalipiwa karo
x