text
stringlengths
1
1.32k
mbali na kupinduka mtoni askari huyo mwenye namba f elfu moja na mia sita na thebathini na nne UNK na UNK miguu yote miwili mwanafunzi wa darasa la sita shule ya msingi mpanda juma UNK aliyekuwa UNK mtoni
kabla ya tukio hilo askari huyo UNK gari hilo toyota mark ii namba t mia mbili na hamsini na tatu UNK linalotumika kama teksi baada ya kufanya makosa ya kawaida ya barabarani na kuamua kuliendesha mwenyewe ndipo alishindwa kulimudu na kutumbukia mto UNK
kwa mujibu wa shuhuda wa tukio hilo bibi matilda UNK baada ya gari hilo kutumbukia mtoni UNK vibaya kijana huyo ambaye alikimbizwa hospitali ya wilaya ya mpanda kwa matibabu
akizungumza kwa njia ya simu na gazeti hili dereva wa gari hilo aliyejitambulisha kwa jinala bwana frank nicholaus alisema tukio hilo lilitokea julai kumi na mbili saa sita mchana wakati UNK mteja wake eneo la shule ya wasichana mpanda
alisema alipofika maeneo ya mto UNK alikutana na trafiki huyo ambaye UNK na UNK kadi ya gari huku akimwamuru ampeleke mteja huyo halafu arudi eneo hilo
niliporudi UNK kushuka kwenye gari mimi UNK bosi wangu kwa simu kuwa gari UNK
askari huyo alininyangganya funguo na kujaribu kuliendesha kwa kuwa UNK pembeni mwa barabara UNK tu liliserereka kwa kasi na kutumbukia mto uliokuwa karibu na UNK mtoto aliyekuwa akioga baada ya kufua nguo zake hapo mtoni alisimulia dereva huyo
kwa upande wake mmiliki wa gari hilo UNK kwa jina la bwana charles UNK mkazi wa kitongoji cha msasani mpanda alisema amepata hasara kubwa kutokana na uzembe na UNK wa trafiki huyo kwa kuwa gari hilo UNK injini yake kutokana na ajali hiyo
mmoja wa wauguzi wa hospitali ya wilaya ya mpanda aliyeomba jina lake UNK kwa madai kuwa si msemaji wa hospitali hiyo alikiri kumpokea mtoto huyo na kwamba baada ya matibabu ya awali UNK kwenda hospitali ya rufaa ya mbeya kwa matibabu zaidi kutokana na kuvunjika miguu yote miwili na kupata majeraha mengine makubwa mwi...
kamanda wa polisi mkoa wa rukwa bwana isunto mantage amekiri kupokea taarifa za tukio hilo na kuongeza kuwa jeshi hilo UNK trafiki huyo na UNK kizimbani wakati wowote baada ya upelelezi kukamilika
wataka ijadiliwe sambamba na mahakama ya kadhi na waandishi wetu jopo la mashekhe na wanazuoni wa kiislam kutoka mikoa mbalimbali nchini limetoa tamko la kuiomba serikali kuharakisha mchakato wa tanzania kujiunga na jumuiya ya nchi za kiislam
tamko hilo limetolewa kwa kuzingatia utafiti uliofanywa na serikali ambapo ulibaini kutokuwepo kwa madhara yoyote endapo tanzania UNK na jumuiya hiyo
wakitoa ufafanuzi juu ya tamko hilo jopo hilo lilisema suala la tanzania kujiunga na oic limezungumzwa kwa muda mrefu na kuibua hisia nzito kwa watanzania hivyo sasa linahitaji kushughulikiwa bila jazba ili kulinda amani na utulivu uliopo
ni dhahiri kwamba hatuwezi kupata ufumbuzi wa mtafaruku huu katika mazingira UNK na hasira jazba au kuhatarisha amani na utulivu wa taifa letu ilisomeka sehemu ya tamko hilo
pia jopo hilo UNK serikali kuwa suala la mahakama ya kadhi ni suala muhimu na nyeti UNK kushughulikiwa kwa umakini mkubwa
aidha katika utekelezaji wake jopo hilo limewataka waislam nchini kuwa wavumilivu na wenye subira wakati wakati mchakato wa mahakama hiyo ukiendelea
pamoja na kauli hiyo pia limewataka waislam kutafakari mustakabali wa vijana wa kiislam UNK mwelekeo hata kuingia katika uhalifu kwa kukosa fursa za kiuchumi na kielimu
hata hivyo katika taarifa hiyo jopo hilo UNK jamii isiyo ya kiislam kuona umuhimu wa jambo hili na kutoingilia serikali katika mchakato wa kuanzishwa mahakama ya kadhi ya oic ili kuepuka dhana kwamba ridhaa yao ni sehemu ya ridhaa ya serikali
mashekhe na wanazuoni wa kiislam wanashauri kuliingiza suala la oic katika mchakato wa kutafuta mazungumzo ya pande zote na kujenga mazingira UNK mchakato huo kuendeshwa katika hali ya amani na utulivu ilisomeka sehemu ya tamko hilo
hata hivyo jopo hilo limewaomba maimamu UNK na wahadhiri kumuunga mkono mufti wa tanzania shekhe shaaban bin simba ambaye ndiye mwenyekiti wa kamati maalum ya waislam ya kulipatia ufumbuzi suala la uanzishwaji wa mahakama ya kadhi
jopo hilo UNK na mashekhe kumi ambao ni shekhe sharif hussein shekhe shaaban juma shekhe is UNK issa shekhe ahmad zuberi shekhe shaaban salum
wengine ni shekhe abubakar zubeir shekhe nurdin UNK shekhe hamid UNK jongo shekhe hassan iddi UNK na shekhe shaaban rashid
taarifa hii imeandaliwa na salum pazzy peter masangwa na grace ndossa kilaini UNK asiingilie uhuru wa kanisa
asema kamwe hawawezi kuondoa waraka huo
mokiwa naye UNK UNK kutoa mwongozo
daktari slaa ataka kila dhehebu sasa litoe wake
profesa shivji lipumba chaligha UNK kanisa katoliki nchini limemtaka mbunge wa kuteuliwa bwana kingunge ngombale mwiru asiingilie uhuru wa kanisa hilo kwa kuwa lina haki ya kuendesha mambo yake lenyewe bila kuvunja sheria za nchi
kauli hiyo iliyotolewa dar es salaam jana na askofu mkuu msaidizi wa kanisa katoliki jimbo kuu la dar es salaam methodius kilaini na amemtaka bwana kingunge kusoma waraka huo vizuri si kulalamika
msimamo huo wa kanisa katoliki UNK hoja iliyotolewa bungeni mjini dodoma juzi na bwana kingunge wakati akichangia mjadala wa bajeti wa wizara ya habari utamaduni na michezo ambapo alisema waraka huo unalenga kuhatarisha amani na mshikamano wa taifa
askofu kilaini aliliambia gazeti hili kuwa namheshimu sana mzee kingunge kwa kuwa katika utumishi wake serikalini ametoa mchango mkubwa katika maendeleo ya nchi lakini kwa hili namuomba asome vizuri waraka huo
alifafanua kuwa waraka huo UNK na maaskofu kama inavyodaiwa bali uliandaliwa na chama cha wanataaluma UNK
baraza la maaskofu UNK neno kwa neno na kubaini kuwa hauna madhara yoyote kwa jamii kwani UNK ni UNK ambao ni wapiga kura hivyo maaskofu UNK ya UNK tu alisisitiza
alifafanua kuwa bwana kingunge hana sababu ya kuogopa waraka huo kwa kuwa hauna madhara na UNK sheria za nchini
alitoa mfano akisema tanzania ina vyama vingi ambapo kila chama kina katiba yake na sera ambazo zinatofautiana hivyo haoni sababu ya bwana kingunge UNK waraka huo
kwa kufanya hivyo anaingilia uhuru wa kanisa
kwa hili hana hoja alisisitiza
naye askofu mkuu wa kanisa la anglikana tanzania daktari valentino mokiwa alisema ingawa UNK waraka huo wachungaji maaskofu na viongozi wengine wa dini wana haki ya kuikosoa serikali pale inapokwenda kinyume
alisema viongozi na wananchi ni waumini wa dini mbalimbali hivyo ni wajibu wa viongozi wa dini UNK pale UNK
alifafanua kuwa hata yeye yupo mbioni kukamilisha mwongozo wa jinsi ya UNK kiongozi bora ambaye UNK na vitendo vya rushwa
daktari mokiwa alisema mwongozo huo UNK mwakani wakati wa harakati za uchaguzi
aliitaka serikali kuacha kuingilia mambo ya dini kwa kuwa yanayozungumziwa kwenye waraka huo hata kama UNK ni mambo mema
sisi kama viongozi wa dini tuna wajibu wa kukataza rushwa iwe kwa maneno au maadishi kwani UNK ni hao hao viongozi na wananchi alisema na kuongeza kilichopo hapa ni mgawanyiko wa UNK wao ni viongozi wa serikali na sisi ni wa dini wajibu wetu ni kukemea UNK
alisema silaha yao kubwa ni kuhakikisha watu wote ambao si waadilifu UNK madarakani
kwa upande wake katibu mkuu wa chadema daktari wilbroad slaa alisema anamshangaa bwana kingunge kwa kuhofia waraka huo wakati serikali imekuwa UNK taasisi za dini zisaidie kuimarisha maadili ndani ya jamii
serikali inasema madhehebu ya dini UNK kuimarisha maadili ndani ya jamii sasa ni kwa nini kingunge UNK
alihoji
alisema alichokisema bwana kingunge ndiyo tabia yake kwani hata pale walipoanza kuibua masuala ya ufisadi alikuwa wa kwanza kusimama na kusema wapinzania UNK
daktari slaa alisema mategemeo yake ni kuona madhehebu yote yanatoa sifa za mtu anayefaa kuwa kiongozi
alisema inawezekana bwana kingunge hakusoma malengo yaliyopo kwenye waraka huo ndiyo maana UNK
bwana kingunge ambaye ni mjumbe wa halmashauri kuu ya taifa ya chama cha mapinduzi alisema UNK baada ya kupata taarifa za waraka huo na kulazimika UNK
nataka niseme jambo moja nisije UNK vibaya kanisa katoliki limetoa waraka kwa ajili ya kuelezea namna ya kupata viongozi wa kisiasa ni maneno lakini huu ni kwa ajili ya wakatoliki sasa UNK huko kkkt nao watataka UNK bado UNK watataka na waislam nao bado alisema bwana kingunge na kuongeza viongozi wa katoliki nawaheshi...
akitoa maoni yake kuhusu kauli ya bwana kingunge mbele ya waandishi wa habari dar es salaam jana profesa amon chaligha wa chuo kikuu cha dar es salaam alisema binafsi haoni tatizo la waraka huo kwani hauna nia ya UNK mtu achague chama au kiongozi fulani bali ni kuwafundisha watu jinsi ya kumpata kiongozi yeyote bora k...
kabla UNK kitu kama hicho ni bora UNK kile kitu kwa undani ili ujue UNK kisha UNK mawazo yako
watu wana nia ya kuchonganisha serikali na watu wa dini kitu ambacho ni hatari kwa taifa na kwa jamii nzima alionya profesa UNK
wakati huo huo mkurugenzi wa chama cha waandishi wa habari wanawake tanzania bibi ananilea nkya alisema watawala wanapinga waraka huo wa kanisa baada ya kubaini kwamba unafaida kubwa kwa wananchi na madhara kwao
ukiona kitu UNK sana na watawala mara nyingi kinakuwa kina maslahi kwa wananchi na hivyo UNK kwani lazima kitakuwa kinahatarisha uwepo wao madarakani ama kikundi cha watu wachache
alisema bibi nkya kwa upande wake profesa issa shivji alishangazwa na waraka huo na kusema kuwa utaleta hatari kwani itafikia wakati dini moja ikisema hivi nyingine UNK
mwenyekiti wa cuf profesa lipumba alisema waraka huo UNK na unadhihirisha mgawanyiko uliopo katika jamii
alienda mbali na kuufananisha na ilani ya chama cha siasa huku akihoji itakuwaje kila kikundi katika jamii kikifanya hivyo
watuhumiwa arobaini na mbili wa ugaidi wamerejea mitaani baada ya kuachiwa huru katika magereza mbalimbali nchini uingereza uchunguzi wa gazeti la sun UNK
mbali na watuhumiwa hao watuhumiwa wengine hamsini wakiwemo wa mtandao wa kigaidi wa al qaeda ambao walitoa mafunzo kwa bwana UNK qureshi wataachiwa huru hivi karibuni
kwa mujibu wa uchunguzi wa gazeti hilo wataalamu wa masuala ya usalama wanasema kuwa utaratibu wa sheria za uingereza uko legelege tofauti na ilivyo kwa marekani ambako mtuhumiwa yoyote wa ugaidi hawezi kuruhusiwa kutoka gerezani
the sun ilibainisha kuwa bwana UNK ambaye alikamatwa akijaribu kwenda nchini afghanistan kuwashambulia wanajeshi wa uingereza ni miongoni mwa watuhumiwa ishirini na tano UNK ndani ya miezi kumi na mbili lilieleza jana kuwa watuhumiwa wengine ishirini na tano huenda UNK ndani ya kipindi cha miaka mitatu na wengine zaid...
gazeti hilo lilieleza kuwa kati ya watuhumiwa hao watano bado UNK kuwa ni watu hatari na wanaendelea kufuatiliwa na mashirika ya usalama
bwana qureshi thebathini na moja ambaye ndoto zake ni kiongozi wa ngazi ya juu jeshini alikamatwa oktoba ishirini sifuri sita akiwa na kiasia cha pauni tisa sifuri sifuri sifuri na silaha za kivita
alihukumiwa kifungo cha miaka nne jela ila kwa mujibu wa sheria za uingereza ambapo adhabu ya kifungo upungua mtuhumiwa huyo anatarajia kuwa nje wiki chache zijazo
hali hiyo imebainika kutokana na uchunguzi wa gazeti hilo la the sun UNK kuhusu watu mia moja na ishirini waliokuwa wakikabiliwa na makosa ya kigaidi tangu mwaka elfu moja na mia tisa na tisini na tisa askari wa misri wanaolinda mpaka UNK kwa kuwapiga risasi wahamiaji haramu kutoka nchi za jangwa la sahara waliokuwa w...
maofisa hao walisema jana kuwa wanaume wanne walikamatwa na wanajeshi hao wa mpakani wakati wakijaribu kupenya chini ya uzio wa waya UNK mpaka kati ya nchi hiyo na mji wa UNK uliopo kusini mwa israel
walikuwa wakijaribu kutoroka wakapigwa risasi maofisa hao walisema na wakaongeza kuwa wahamiaji wawili raia wa ethiopia walijeruhiwa kwa risasi na mmoja kati yao amejeruhiwa vibaya
maofisa hao ambao hawakutaka majina yao yatajwe kutokana na kutokuwa wasemaji wa suala hilo walisema kuwa UNK mwingine katika kundi hilo UNK
walisema kuwa wahamiaji hao waliouawa hakuwa na utambulisho wowote hivyo utaifa wao haukuweza kufahamika mara moja
mauaji hayo yanaongeza idadi ya mfululizo wa vifo vya kuuawa kwa kupigwa risasi wahamiaji karibu na mpaka wa israel
mapema mwaka huu askari wanaolinda mpaka waliwaua kwa kuwapiga risasi wahamiaji wanane na mwaka jana UNK ishirini na nane wakati wakijaribu kuvuka mpaka
eneo hilo ambalo liko umbali wa kilometa mia mbili na hamsini limekuwa ndio uchochoro mkubwa kwa wahamiaji watu wanaotafuta hifadhi na wasafirishaji wa dawa za kulevya na israel imekwisha UNK misri kuidhibiti hali hiyo
hata hivyo UNK hivyo vya sera ya misri ya kuwapiga risasi wahamiaji kumezua shutuma kali kutoka kwa UNK za kutetea haki za binadamu
mwisho viongozi wakuu wa mataifa ya kusini mwa afrika wanaokutana katika jamhuri ya kidemokrasi ya kongo wametaka kuondolewa kwa vikwazo vyote vya kimataifa UNK zimbabwe
wito huo ulitolewa juzi katika siku ya mwisho ya mkutano wa siku mbili wa viongozi wa nchi za sadc mwandishi wa bbc bibi UNK allen aliripoti akiwa mjini kinshasa akisema kuwa hali hiyo inaonekana sawa na ushindi muhimu kwa rais wa zimbabwe bwana robert mugabe
bwana mugabe kwa muda mrefu amekuwa akitaka kuondolewa vikwazo dhidi ya nchi yake huku akiwashutumu washirika wake katika serikali ya umoja kwa UNK suala hilo
rais mugabe na kiongozi wa chama cha UNK morgan tsvangirai waliunda serikali ya umoja mwezi wa februari katika jaribio la kumaliza mzozo wa kisiasa kufuatia mtafaruku uliotokea baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka ishirini sifuri nane waziri mkuu tsvangirai amekuwa akisisitiza utekelezwaji kamili wa makubaliano unahitajika...
akizungumza baada ya mkutano huo wa viongozi wa sadc rais wa afrika kusini jacob UNK amesema hakuna sababu ya kuweka masharti ili vikwazo UNK
amesema kuondolewa kwa vikwazo UNK ili kusaidia mchakato wa utekelezaji wa makubaliano ya serikali ya kugawana madaraka
shirika la kutetea haki za binadamu la human rights UNK UNK msimamo wa sadc UNK na kusema inaonekana kuwanufaisha wale UNK na vikwazo
serikali ya kenya imefanya mabadiliko makubwa kwa maofisa wake waandamizi wa jeshi la polisi karibu nchi nzima katika kile kinachoonekana kuwa huenda ukawa mwanzo wa mageuzi makubwa
vikundi vya kutetea haki za binadamu vimekuwa UNK jeshi la polisi kutokana na mauaji yaliyotokea wakati wa ghasia zilizozuka wakati wa uchaguzi mkuu wa ishirini sifuri saba habari zilieleza jana kuwa mabadiliko hayo UNK kwa mkuu wa jeshi la polisi meja jenerali hussein ali ambaye amepelekwa kuongoza shirika la UNK
hata hivyo mabadiliko hayo UNK kwa wasiwasi na vikundi vya kutetea haki za binadamu
wakati wa harakati za kutuliza ghasia baada ya uchaguzi mkuu polisi UNK mzigo wa lawama kwa kuhusika na mauaji ya mamia ya watu
mara kwa mara vikundi vya kutetea haki za binadamu vimekuwa vikisema kuwa hakutakuwepo na haki nchini bila ya kufanyika mageuzi makubwa katika jeshi la polisi na huenda mabadiliko hayo ya jana yakawa UNK majibu kwa wito huo
mabadiliko makubwa yanaonekana kuwa UNK meja jenerali ali ambaye wachunguzi wa masuala ya usalama wanasema kuwa ndiye aliyekuwa kikwazo kikubwa
mbali na kuwa kikwazo wachunguzi hao wanasema kuwa meja jenerali ali alikuwa UNK katika masuala ya kisiasa
nafasi yake imechukuliwa na bwana mathew UNK ambaye alikuwa akiongoza kikosi cha kutuliza ghasia ambacho UNK wakati UNK UNK majukumu ya kutuliza fujo
hata hivyo bado haijafahamika iwapo uongozi mpya wa jeshi la polisi utakuwa na nguvu kutekeleza hayo yote au wamekuwa hasa ni sehemu ya utekelezaji wa mageuzi ndani ya polisi
mvutano kati ya serikali za marekani na kenya umezidi kuchukua sura mpya baada ya rais wa kenya bwana mwai kibaki UNK barua rais barack obama akilalamika kuhusu onyo lililotolewa na serikali ya marekani la kutaka kuwapiga marufuku baadhi ya wanasiasa wa kenya kutosafiri kwenda marekani ikiwa wataendelea kuwa kikwazo k...
rais kibaki UNK rais obama barua hiyo juzi akielezea kutoridhishwa kwake na pia UNK barua hizo UNK mawaziri wafanyakazi wa serikali na wabunge
barua hizo zilizotolewa na wizara ya mambo ya nje ya marekani UNK wahusika kwamba uhusiano wao na serikali ya marekani katika siku za usoni utategemea jinsi UNK kuunga mkono mabadiliko na kupinga ghasia
alhamisi wiki iliyopita balozi wa marekani nchini kenya bwana michael ranneberger alitangaza kwamba serikali ya marekani UNK barua za kuwaonya watu kumi na tano nchini kenya na akasema kuwa miongoni mwao ni mawaziri wabunge na wafanyakazi wa serikali huku barua hizo zikiwa UNK na naibu waziri wa masuala ya afrika bwan...
katika barua hiyo rais kibaki alisema kuwa hatua hiyo ya marekani imekiuka taratibu za kimataifa na mahusiano baina ya nchi zenye urafiki
hata hivyo kilichoelezwa zaidi ndani ya barua hiyo kimebaki kuwa siri huku balozi wa marekani nchini humo bwana michael ranneberger UNK gazeti la sunday nation kuwa UNK barua hiyo bali majibu UNK washington
inaelezwa kuwa hatua hiyo isiyotarajiwa ya rais kibaki dhidi ya rais obama inaweza kufungua mgawanyiko zaidi katika serikali ya kitaifa kwa kile kinachodaiwa kuwa barua hiyo inaonekana italeta mgongano kuhusu uzito wa nafasi ya waziri mkuu bwana raila odinga kutokana na kauli yake ya kuunga mkono vitisho vya marekani ...
mwishoni mwa wiki waziri mkuu bwana odinga akiwa katika chuo kikuu cha UNK alisema kuwa marekani ina haki ya kuwachukulia hatua maofisa wa serikali yake ambao itaona wanakuwa kikwazo katika kuleta mabadiliko
serikali ya kugawana madaraka nchini kenya imekuwa ikisuasua katika kutekeleza makubaliano yaliyofikiwa wakati wa kuundwa kwa serikali ya kugawana madaraka