text
stringlengths
1
1.32k
maelezo UNK ni kupokea barua kutoka mamlaka ya mapato tanzania ikisisitiza kampuni hiyo ilipe kodi kulingana na sheria ya nchi
maelezo hayo yalidai kuwa bwana mgonja alimshauri bwana mramba kuendelea na zoezi la kusaini notisi za msamaha wa kodi kwa kampuni hiyo
baada ya kumaliza kusomwa kwa maelezo hayo upande wa mashitaka uliiambia mahakama kuwa unatarajia kuita jumla ya mashahidi kumi na tatu na vielelezo mbalimbali kuhusiana na kesi hiyo
upande wa utetezi uliwasilisha ombi kuhusiana na bwana mramba kuruhusiwa kuhudhuria kikao cha bunge mpaka mei mosi mwaka huu ambapo mahakama ilikubaliana na ombi hilo
kesi hiyo itaanza kuunguruma mahakamani hapo mei kumi na nane mwaka huu
awali washitakiwa hao walifikishwa mahakamani hapo wakidaiwa kutumia vibaya ofisi zao kwa kuidhinisha vibali mbalimbali vya msamaha wa kodi na hatimaye kuisababishia hasara serikali ya tanzania jumla ya shilingi bilioni kumi na moja saba tatizo la mgawo wa umeme nchini bado halijapatiwa ufumbuzi wa kudumu kutokana na ...
mitambo hiyo iliahidiwa na serikali kuwa ingekuwa tayari novemba mosi na kuingia megawati kumi sifuri za iptl na nyingine arobaini na tano za mtambo wa gesi asili unaojengwa kampuni la wartsla tegeta dar es salaam
akizungumza na gazeti hili ofisini kwake dar es salaam jana ofisa mkuu wa habari wa wizara ya nishati na madini bwana aloyce tesha alikili kutokuwashwa kwa mitambo hiyo kwa sababu bado umaliziaji mdogo wa kituo hicho cha tegeta cha kuunganisha umeme huo katika gridi ya taifa
bwana tesha alisema kuwa kwa ujumla ujenzi wa kituo hicho kimeshakamilika na sehemu iliyobaki ni kuunganisha nyaya hizo kwenye gridi ya taifa ili uweze kusambazwa kwa watumiaji jambo ambalo litakamilika wiki hii
ni kweli kituo cha tegeta bado UNK kutokana na ukamilishaji unaoendelea huko lakini naamini ndani ya wiki hii watamaliza kuunganisha katika gridi ya taifa na kama umekwenda huko nadhani umejionea hali halisi wewe mwenyewe alisema bwana tesha
akizungumzia kutokuwashwa kwa mitambo ya iptl alisema kuwa mitambo hiyo ni kweli bado UNK lakini serikali UNK majadiliano na kampuni hiyo katika kuwasha mitambo na kwa sasa kazi ya mwisho inafanywa na mfilisi pamoja na iptl ili kufanikisha kuwasha mitambo hiyo
bwana tesha alibainisha kuwa mbali na kutokuwashwa kwa mitambo ya iptl na kituo cha tegeta tatizo la mgawo wa umeme limepungua kutokana na kutengenezwa kwa mitambo ya kihansi hale pangani na ule wa songas ubungo na kunyesha kwa mvua katika baadhi ya maeneo
mmoja wa wahandisi wa wartsla bwana UNK UNK alisema bado ufundi unaendelea na mimi siwezi kusema lolote
hivi karibuni rais jakaya kikwete aliagiza kuwashwa kwa mitambo ya iptl kutokana na mgawo wa umeme UNK taifa na kusababisha adha kwa wananchi na wafanyabiashara kutokana na UNK kwa uzalishaji wa bidhaa viwandani
kutokana na kauli waziri wa nishati na madini bwana william ngeleja UNK mitambo hiyo na kuahidi kuwa umeme UNK novemba mosi
malumbano kuhusu uanzishwaji wa mahakama ya kadhi nchini yameibuka upya baada ya baraza la maaskofu wa makanisa ya kipentekoste kulitaka bunge kutokubali kupokea kujadili au kupitisha muswada au kanuni ya mipango yoyote inayohusu dini yoyote
akizungumza na waandishi wa habari dar es salaam jana mwenyekiti wa pct taifa askofu david batenzi alisema kuwa endapo mswada huo utapelekwa bungeni watanzania wa imani zingine watakuwa hawajatendewa haki
tunatoa ushauri suala hili UNK bungeni kwa sababu ni uvunjaji wa katiba ya nchi kifungu namba kumi na tisa kanuni ndogo ya sita endapo serikali UNK kulipeleka suala hilo bungeni imani nyingine zitakuwa UNK haki alisema
alisema kwa kuwa serikali imetamka bayana kuwa aina dini hivyo kitendo cha muswada huo kupelekwa bungeni serikali itakuwa na agenda ya siri ambayo inaweza kusababisha kuvunjika kwa amani na kuleta machafuko nchini
tukumbuke amani tuliyonayo tumeipata kwa mwasisi wa taifa ili marehemu mwalimu nyerere ambaye UNK kudai kuwa serikali aina dini lakini watu wake ndio wenye dini zao na wala UNK wala kusimamia dini yoyote alisema
bwana batenzi aliongeza kuwa ni vema watanzania UNK mwalimu nyerere kwa kufuata nyayo zake kwa muda wote kwani hakuwa na ubaguzi katika dini yoyote au kuifanya dini moja kuwa bora kuliko nyingine
hata hivyo alisema pct haiko kinyume na uanzishwaji wa mahakama ya kadhi kwa waislamu isipokuwa suala hilo UNK bungeni bali walimalize wenyewe kwa kushirikisha mabaraza yao
pia bwana batenzi alisema kuwa si sahihi kutumia fedha za walipa kodi wa tanzania ambao ni wafuasi wa dini mbalimbali na kuziingiza katika kutengeneza na kuendesha mfumo wa dini moja kama mahakama ya kadhi
alisema kuwa wanaamini bunge kazi yake ni kulinda na kutetea katiba ya nchi na wala si vinginevyo
naye askofu daktari mathew UNK alisema kitendo cha waziri mkuu bwana mizengo pinda kukubali kuundwa kwa kamati ndogo ya waislamu kwa ajili ya kufuatilia mswada huo kinaonyesha dhahiri kuwa kinaweza kuhatarisha amani
kama waziri mkuu amekubali kamati iundwe hiyo kamati ikimaliza kufanya kazi yake itapeleka makubaliano yake bungeni na UNK UNK bungeni UNK na baadaye unakuwa sheria hapo unaweza kusababisha UNK wa dini nyingine kutokubaliana alisema
kauli hiyo imekuja wakati kamati iliyoundwa na bwana pinda kushirikiana na timu ya mashehe wa baraza la waislamu tanzania linaendelea kujadili jinsi mahakama hiyo UNK na waislamu wenyewe
mtu mmoja anayedaiwa kuwa na upungufu wa akili amekamatwa na polisi mkoani kilimanjaro kwa tuhuma za kumuua lariki peter mushi na kula sehemu ya viungo vyake
kamanda wa polisi mkoani kilimanjaro bwana lucas ng hoboko alimtaja anayeshikiliwa kuwa ni thadei mushi anayedaiwa kuwa na umri kati ya miaka thebathini na tano na arobaini mkazi wa kibosho kindi wilaya ya moshi vijijini
kwa mujibu wa kamanda ng hoboko jumapili iliyopita saa nne sifuri sifuri asubuhi bwana lariki alikuwa ametoka kuchota maji na mtuhumiwa alimpiga kwa shoka kichwani na alipoanguka alianza UNK kwa kisu na kunyofoa baadhi ya viungo vyake vikiwemo maini na UNK
baada ya kunyofoa vitu hivyo mtuhumiwa ambaye kwa mujibu wa historia yake ana matatizo ya akili alianza UNK viungo hivyo hadi wananchi walipofika na kumdhibiti alisema
alisema haijajulikana mapema mahali alipopata shoka hilo na kwamba tayari polisi wanaendelea na uchunguzi wa tukio hilo
wakati UNK viungo hivyo vya marehemu mtuhumiwa alikuwa na silaha pembeni mwake na hivyo ikabidi wananchi watumie nguvu ili kumdhibiti na UNK anya silaha alizokuwa nazo alisema
kamanda ng hoboko alisema baada ya kumdhibiti alipelekwa hadi UNK ya mkoa ya mawenzi ambako yuko chini ya ulinzi huku akipewa matibabu kufuatia majeraha aliyoyapata wakati wananchi wakijaribu kumdhibiti
mwili wa marehemu upo katika hospitali ya rufaa ya kcmc alipokuwa amekimbizwa ili apate matibabu
kamanda ng hoboko alisema kuwa uchunguzi wa awali wa polisi unaonyesha kuwa mtuhumiwa ambaye huwa anaishi na mama yake ana upungufu wa akili na kwamba mara kwa mara huwa anamfanyia hata mama yake vurugu na kwamba alishawahi kuwekwa katika gereza la karanga moshi na pia kupata matibabu katika hospitali ya mirembe na kw...
kamanda ngghoboko aliwapongeza wananchi UNK mtuhumiwa kwa kufanya hivyo bila ya kuchukua hatua mikononi
mahakama kuu maalumu inayosikiliza kesi za mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi mkoani shinyanga jana imewahukumu watu wanne adhabu ya kunyongwa hadi kufa kwa kumuua lyaku wille huko katika kijiji cha nkindwabiye wilaya bariadi
waliohukumiwa adhabu hiyo ni bwana mboje mawe bwana chenyenye kishiwa bwana sayi gamaya na sayi mafizi wote wakazi wa kijiji cha nkindwabiye wilayani bariadi mkoani shinyanga
akitoa hukumu hiyo jaji gadi mjemas alisema ameridhika na ushahidi uliotolewa mahakamani hapo na upande wa mashitaka kuwa washitakiwa wote kwa pamoja walikula njama na kupanga kumuua kwa kukusudia bwana UNK
hii ni hukumu ya pili kutolewa kwa watu wanaodaiwa kuwaua albino baada ya hivi karibuni watu wengine watatu kuhukumiwa kunyongwa wilayani kahama mkoani humo
jaji mjemas alisema pamoja na ushahidi wa upande wa utetezi kuwa upande wa mashitaka ulishindwa kuthibitisha mashitaka yake mahakamani hapo kwa kuwepo baadhi ya ushahidi uliokuwa UNK lakini kwa mujibu wa sheria ya ushahidi namba thebathini na tatu kifungu kidogo na inaonesha washitakiwa hao walitenda kosa UNK nalo
upande wa utetezi ulipinga kutiwa hatiani kwa washitakiwa namba mbili tatu na nne kwa vile ushahidi pekee uliotolewa mahakamani hapo ni ule wa ungamo na onyo la mshitakiwa wa kwanza bwana mboje mawe UNK washitakiwa wenzake hao kuhusika na mauaji hayo
katika kesi hiyo wakili wa upande wa utetezi bwana kabuguzi alidai kuwa ushahidi wa ungamo na onyo uliotolewa na mshitakiwa huyo wa kwanza ulistahili kuungwa mkono na ushahidi mwingine huru na kuiomba mahakama hiyo kuwaachia huru washtakiwa hao kutokana na upande wa mashitaka kushindwa kuthibitisha mashitaka yake
jaji mjemas alisema hakubaliani na maelezo ya upande wa utetezi japo anaunga mkono hoja kwamba ushahidi wa ungamo na onyo wa mshitakiwa mmoja hauwezi kuwatia hatiani washitakiwa wenza mpaka pawepo na ushahidi mwingine UNK mkono ushahidi huo
alisema katika kesi hiyo ushahidi wa onyo na ungamo la bwana mboje unaungwa mkono na ushahidi huru wa shahidi wa kwanza ofisa mtendaji wa kijiji cha nkindwabiye bwana UNK matongo na ushahidi wa mkemia wa mkuu wa serikali bibi gloria UNK aliyekuwa shahidi wa kumi na moja upande wa mashitaka
jaji huyo alisema pamoja na bwana mboje UNK ushahidi wake alioutoa kwa njia ya onyo na ungamo lakini maelezo ya shahidi wa saba upande wa mashitaka yameonesha kuwa mshitakiwa huyo alitoa maelezo kama hayo hata kabla ya kufikishwa katika kituo cha polisi na kwa mlinzi wa amani
kutokana na hali hiyo ni wazi kuwa mshitakiwa wa kwanza alikiri kwa hiari yake pasipo kulazimishwa wala kutumia nguvu na hii UNK na maelezo ya shahidi wa kwanza na wa saba kuwa alikiri mbele yao kuhusika na mauaji hayo walipomkuta katika kijiji cha UNK walipokwenda kumkamata baada ya kubainika alitoroka katika kijiji ...
alisema ushahidi huo wa onyo na ungamo unaungwa mkono pia na ushahidi huru uliotolewa na mkemia wa mkuu wa serikali kuwa vinasaba vya marehemu vilivyokutwa katika panga na kisu vilivyotumika katika mauaji ya bwana wille UNK na vinasaba vya washitakiwa wote
kutokana na hali hiyo jaji mjemas alisema upande wa mashitaka umethibitisha kuwa washitakiwa walikula njama na kushiriki kumuua kwa pamoja marehemu lyaku wille na kwamba upande wa utetezi ulishindwa kuionesha mashaka mahakama kuwa washitakiwa UNK kosa hilo
jaji mjemas alisema kutokana na upande wa mashitaka kuthibitisha mashitaka yake bila ya kuacha shaka na kwa vile hapa nchini kuna adhabu moja tu ya mtu anayepatikana na hatia ya kosa la mauaji ambayo ni kifo UNK washitakiwa wote kwa pamoja adhabu ya kunyongwa hadi kufa na wanayo nafasi ya kukata rufaa iwapo hawakuridh...
wakili UNK alisema wanakusudia kukata rufaa kupinga hukumu hiyo kutokana na jaji mjemas kuzingatia ushahidi mmoja ambao ni wa onyo na ungamo la mshitakiwa wa kwanza ambao kisheria UNK kuwatia hatiani washitakiwa wa pili hadi wa nne
rais jakaya kikwete amezindua huduma ya kusafisha damu katika hospitali ya taifa muhimbili na kusema kuwa kuanza kwake ni moja ya hatua kubwa kuelekea kuanzisha uwezo wa kufanya upasuaji wa moyo nchini
rais aliyasema hayo jana dar es salaam mara baada ya kuzindua jengo na mashine zitakazotumika kutoa huduma hiyo na kueleza kuwa hatua hiyo UNK huduma muhimu watanzania bila kulazimika kwenda nje ya nchi
rais kikwete alisema kuwa serikali inafanya kila jitihada kuhakikisha kuwa huduma za msingi kwa wananchi zinapatikana kwa haraka katika maeneo wanayoishi hivyo kuwepo kwa huduma hiyo kutapunguza mahitaji ya wagonjwa kusafirishwa nje ya nchi
alisema kuwa kutokana na uhalisia wa mahitaji uliopo serikali itaongeza fungu katika kuhakikisha upatikanaji wa huduma bora kwa watanzania kupitia sekta ya afya
mbali na kuzindua huduma hiyo ya kusafisha damu rais pia alizindua huduma nyingine nne ambazo zinaifanya hospitali ya muhimbili kuwa moja ya vituo vya ufanisi katika huduma ya afya nchini na katika ukanda wa afrika mashariki
huduma hizo ni ile ya dharura huduma za kisasa za matibabu ya meno na kinywa vipimo vya huduma za utambuzi wa magonjwa ambavyo kwa mujibu wa waziri wa afya na ustawi wa jamii daktari david mwakyusa vipimo hivyo ni vya kisasa vyenye uwezo wa kutoa majibu sahihi na ya kina zaidi kuliko x ray za kawaida
katika hospitali yoyote duniani idara ya huduma za dharura ina umuhimu wa pekee kwa sababu kucheleweshwa kwa matibabu au kutolewa matibabu yasiyo sahihi kwa wagonjwa mahututi UNK hospitalini kitendo hicho kitaamua kati ya kifo au kupona kwa mgonjwa alisema bwana mwakyusa
wabunge wawili machachari katika vita dhidi ya ufisadi wameomba watanzania kuwaombea ili wamalize vita hivyo salama na UNK wameapa kwamba licha ya kuzongwa na wanaofaidika na ufisadi kamwe hawatarudi nyuma kwa kuwa mungu yuko upande wao
wabunge hao daktari harrison mwakyembe na bwana christopher ole sendeka wote kutoka ccm waliyasema hayo katika ibada maalumu ya kuchangia ujenzi wa kanisa la UNK UNK of god tanzania kongwa mkoani dodoma juzi
wabunge hao walisema wanafarijika sana kutambua wazi kwamba watu UNK wako nyuma yao kwa maombi hivyo wamewatia moyo kutokata tamaa kwa kuwa mungu hashindwi kamwe
baba askofu wa kanda baba wachungaji mimi kwa jinsi UNK na kwa maneno UNK hapa UNK siku nilipopata ajali mbaya sana juzi nilirudi kuangalia lile gari nikawa najiuliza hivi kweli UNK kupona bila kuvunjika UNK
jibu hapa ni rahisi tu kwamba UNK kwa maombi yenu naamini kabisa kwamba mungu UNK katika ajali ile mbaya
vita vya ufisadi ni kubwa na UNK kweli lakini kwa maombi yenu tutashinda
nataka niwahakikishie kwa hali hii naamini tutashinda kabisa nami nataka niwahakikishie hatutarudi nyuma mpaka mungu UNK kwa yuko pamoja nasi alisema daktari mwakyembe
alisema mungu UNK taifa la tanzania kuwa na rasilimali nyingi na kwamba kinachotakiwa kwa waumini wa dini mbalimbali ni maombi ili azidi kuwasimamia viongozi wenye uchungu na wananchi wa nchi hii na kuwatetea pale UNK vita na fitna
alisema mungu hapendi kuona tanzania pekee ikiwa inazalisha madini ya tanzanite huku ikiwa ya tano kwa kuuza madini hayo nyuma ya nchi jirani UNK jasho la watanzania
mimi leo nimefarijika kweli ninachoweza kusema ni kwamba jamani endeleeni kutuombea vita hivi ni vigumu kweli lakini UNK tutashinda kwa kuwa mungu wetu hajawahi kushindwa alisema bwana sendeka
askofu wa kanda ya mpwapwa na kongwa ambaye pia ni mchungaji wa kanisa hilo askofu livingstone UNK alisema wamemwalika daktari mwakyembe kutokana na sifa yake ya kuwa kinara wa vita vya ufisadi bila kurudi nyuma
kwa upande wake katibu mkuu wa eagt taifa mchungaji brown mwakipesile UNK daktari mwakyembe kwamba kanisa hilo linamuunga mkono yeye UNK wote wanaopiga vita ufisadi na kumwombea afikishe salamu kwa wenzake kuwa mungu UNK hadi mwisho hivyo UNK
waumini hao pia walielezea kufurahishwa na kitendo cha mbunge wa singida kaskazini bwana lazaro nyalandu kutaka kuwasilisha hoja binafsi kuhusu bunge kuacha kujadili masuala yanayohusiana na dini
atangaza kamwe hawezi kujiuzulu nggo
adai wabunge watake wasitake UNK
wakitaka wapige kura kukosa imani naye mkurugenzi wa taasisi ya kupambana na kuzuia rushwa daktari edward hoseah ameibuka na kuapa kuendelea kuwahoji wabunge wanaodaiwa kupokea posho mara mbili kwa kazi moja na kuweka wazi kwamba kamwe hatajiuzulu wadhifa wake na kama wakitaka wampigie kura ya kutokuwa na imani naye
mimi UNK kazi yangu
sina mpango wa kujiuzulu UNK kwa UNK na siyo kwa hisia tu
kama wanataka UNK kura ya kutokuwa na imani na mimi UNK usingizi kwa hilo kwani nimepewa kazi ya kuwatumikia watanzania wote alisema daktari hoseah daktari hoseah alitoa kauli hiyo dar es salaam jana alipozungumza na waandishi wa habari akitolea ufafanuzi uchunguzi unaendelea dhidi ya wabunge wanaotuhumiwa kupokea mal...
akizungumza kwa kujiamini alisema kazi ya kuwachunguza wabunge kama ilivyo kwa watu wengine inaendelea UNK jukumu hilo na sheria sihitaji kibali cha mtu
alisisitiza kuwa hata kama akifukuzwa kazi takukuru huo hautakuwa mwisho wa maisha yake
kwa kile kilichoonekana wazi kushikilia msimamo wake na kuamini kile anachokifanya daktari hoseah alizidi kuwaambia wabunge siwezi kujitia kamba shingoni na kujiuzulu ili nionekane mzalendo
daktari hoseah aliendelea kuwaambia wabunge wanaodai kuwa taasisi yake UNK kwa kuwahoji akisema hapana hakuna kudhalilishana mbona watu wengine UNK
alisema kazi yake ndani ya taasisi hiyo ina ambayo ni kuchukiwa na siyo kazi ya kupendwa
hakuna kazi ngumu kama ya kumchunguza mtu UNK kiongozi waziri au mbunge
lakini hiyo ndiyo kazi niliyopewa lazima UNK alisema
aliwataka wabunge wote kuitikia mwito wa kuhojiwa kwa kuwa sheria ni msumeno na kuwatahadharisha kwamba wasitake kufikisha suala hilo kusikotakiwa
daktari hoseah anatoa kauli hiyo huku wabunge wakipinga hatua ya UNK na taasisi hiyo na tayari mbunge wa kyela daktari harrison mwakyembe akiwa ametangaza UNK taasisi hiyo kwa madai kuwa taratibu hazikufuatwa aliitwa kwa simu badala ya barua wanaofanya kazi hiyo ni watumishi wa ngazi za chini na kuwa suala hilo UNK ku...
alisema tuhuma za wabunge kuwa wanapokea posho mara mbili zilifikishwa takukuru na ofisi ya bunge aprili ishirini na sita mwaka huu
niliandikiwa barua na ofisi ya bunge tena kwa jina langu UNK UNK kazi tuhuma hizo sasa nitashangaa UNK alisema
wakati daktari hoseah anadai hivyo spika wa bunge anapinga kufahamu suala hilo huku katibu wa bunge daktari thomas kashililah akisema alipewa maagizo kutoka juu serikalini kuandika barua hiyo maelezo ambayo UNK na ya waziri mkuu mizengo pinda kuwa uchunguzi huo UNK na ofisi ya rais ikulu
abainisha kuwa hatua ya kuwahoji wa bunge imefikiwa baada ya taasisi yake kujiridhisha kuwa malalamiko yaliyopelekwa na ofisi ya bunge na baadhi ya wananchi ni ya kweli
kupokea posho mara mbili kwa kazi ambayo umetumwa kuifanya si sahihi alisisitiza bwana hoseah na kuonya waheshimiwa wabunge ninyi ndiyo kioo cha nchi hii
msipende kuvuruga amani UNK mtoe ushirikiano maana ninyi ndiyo UNK bendera ya kupambana na ufisadi
kuhusu madai kuwa takukuru kuwahoji wabunge imekiuka sheria inayohusu kinga madaraka na haki ya wabunge daktari hoseah alisema tunavyojua sisi kinga ya wabunge haihusu vitendo kama hivi UNK alisema na kufafanua kuwa kinga ya bunge inahusu kauli aliyoitoa bungeni au kwenye kamati yoyote ya bunge maandishi ya mbunge kwe...
alisema taasisi hiyo haijavunja sheria inayohusu haki na kinga ya wabunge wala sheria nyingine
tuliyoyafanya wakati wa kutimiza wajibu wetu yapo ndani ya mamlaka chini ya sheria ya kupambana na kuzuia rushwa namba ya kumi na moja ya mwaka ishirini sifuri saba kupokea posho zaidi ya mara moja kwa kazi ile ile na mazingira hayo hayo UNK na sheria ya takukuru UNK sheria alisema daktari hoseah na kuongeza je wanata...
ndiyo kusema kinga ya wabunge UNK uwezekano wa kuhojiwa kabisa na takukuru
kama hivyo ndivyo je ina maana sheria hiyo inawahusu watu wengine tu na wabunge UNK
alifafanua kuwa takukuru hushughulikia vitendo vyote vya rushwa ukiwemo ukiukwaji wa matumizi ya fedha za umma
kuhusu madai kuwa mazingira ya kuwahoji wabunge hayaendani na hadhi yao daktari hoseah alisema hilo linaweza kuwa na ukweli kwa kiasi fulani kutegemea na mtazamo wa mtu lakini hayo ndiyo mazingira ya kufanyia kazi takukuru siku zote