text
stringlengths
1
1.32k
mimi nafikiri sasa wakubwa wakutane kumaliza suala hili wakikaa pamoja nina uhakika linaweza kwisha tu badala ya kuendeleza malumbano hatuwezi kufika kwa mfumo huu hayo ndio maoni yangu mimi alisema bwana kayombo
alipoulizwa maana ya watu wakubwa UNK kukutana na kukaa pamoja na kumaliza suala hilo alisema analenga kuazia spika wa bunge samuel sitta daktari hosea na waziri mkuu mizengo pinda
kwa upande wake mbunge wa mpanda kati bwana said UNK alisema japo yeye si mwana ccm lakini UNK rais kikwete kuwa macho kwa kuwa kiongozi huyo ana ajenda yake ya siri inayolenga UNK ili wananchi UNK serikali yake na bunge
spika wa bunge sitta alisema hawezi kusema lolote kwa sasa kwa kuwa kufanya hivyo UNK malumbano yasiyo na tija kwa watanzania maskini wanaotaka viongozi wao watumie muda wao kubuni mbinu mbalimbali za kuwakwamua kutoka katika hali duni ya maisha badala ya kupoteza muda na mambo ya ovyo
alipotakiwa kutoa mwongozo zaidi kuhusu kanuni za bunge na jinsi bunge linavyoweza kumwondoa daktari hoseah bwana sitta alisema wewe mwandishi naamini ni mzoefu wa masuala ya bunge UNK unajua naomba tu uelewe hivyo alisisitiza
kwa mujibu wa kanuni za bunge chini ya kinga na madaraka ya bunge iwapo mbunge analalamikiwa kwa kukiuka sheria akiwa anatekeleza shughuli za bunge mhusika anatakiwa kuwasilisha taarifa hiyo kwa spika wa bunge ambaye UNK malalamiko hayo kweye kamati ya maadili ambayo kazi yake ni kuchunguza kujadili na kutoa mapendeke...
iwapo kamati hiyo itabaini makosa kwa mbunge spika huwasilisha taarifa kwa mwanasheria mkuu wa serikali ambaye ndiye huchukua hatua kwa mujibu wa sheria kulingana na uzito wa kosa lenyewe
mwanasheria mkuu wa serikali ndiye anao uwezo wa kuamua kumkabidhi mbunge husika kwenye yenye uwezo wa UNK
hata hivyo tayari takukuru imeeleza UNK wake kuwa itaendelea kuwahoji wabunge kwa kuwa hakuna aliye juu ya sheria
mwenyekiti wa kamati ya bunge ya nishati na madini bwana william shellukindo alisema yeye hawezi kuzungumza lolote kwa sasa kwa kuwa anasubiri taarifa ya serikali na moja kati ya watu wanaotakiwa UNK ni pamoja na mtendaji mkuu wa takukuru mimi kwa sasa hapana hivi sasa mimi nasubiri tu taarifa ya serikali kwanza kuhus...
wakati huo huo daktari hosea jana alitinga katika eneo la bunge mjini hapa na kufanya mazungumzo ya muda mfupi na bwana sitta na bwana pinda huku akikataa katakata kuzungumza na waandishi wa habari
majira UNK kutoa ufafanuzi wa sababu UNK kusema lolote kwa wanahabari alisema kwa sasa sina lolote labda ukija dar wasiliana na huyu msaidizi wangu tutazungumza tu lakini hapa hapana alisisitiza huku UNK
hakuna habari zilizotolewa kuhusiana na mazungumzo ya viongozi hao na daktari hoseah huku spika sitta akisema alikuja tu kusalimia kidogo na mwandishi wa waziri mkuu bwana said nguba akisema kuwa hata hakujua kama kiongozi huyo UNK na bosi wake
na juddy ngonyani sumbawanga polisi mkoani rukwa inamshikilia john UNK mkazi wa kitongoji cha UNK kilichopo katika kijiji cha UNK kata na mamba tarafa ya UNK wilayani mpanda kwa tuhuma za kumbaka mwanamke mwenye umri wa miaka arobaini na moja pamoja na kutishia kuua kwa silaha huku akikutwa akimiliki silaha kinyume ch...
kamanda wa polisi mkoa wa rukwa bwana isunto mantage alidai kuwa mtuhumiwa huyo alitenda kosa la kwanza aprili kumi na saba majira ya saa saba usiku katika kitongoji hicho kwa kuvamia nyumba ya mwanamke huyo kisha kuvunja mlango wa nyumba hiyo na kuingia ndani na kumbaka mama huyo
alidai kuwa akiwa UNK mama huyo mama huyo alipiga kelele za kuomba msaada na kisha majirani wakiwa njiani kuelekea katika nyumba ya mama huyo kwa lengo la kutoa msaada ndipo mtuhumiwa huyo alianza kukimbia na wananchi kuanza kumkimbiza hadi katika nyumba yake
kamanda mantage alidai kuwa alipofika katika nyumba yake aliingia ndani na kutoka na bunduki moja aina ya UNK na kuanza kuwatishia wananchi hao ili wasiweze kumkamata
alisema kuwa licha ya kuwatishia wananchi hao waliweza kumkamata na kumfikisha katika kituo kidogo cha polisi kilichopo katika kijiji cha UNK
siku moja kabla ya bunge kupitisha muswaada wa sheria ya mtoto ya mwaka ishirini sifuri tisa wanaharakati kutoka kituo cha msaada wa kisheria na asasi nyingine zisizopungua thebathini wametinga bungeni kuitaka serikali kuongeza vipengele vya kuifanya sheria hiyo UNK matakwa ya jamii
vipengele hivyo ni malengo muhimu na misingi ya mwelekeo wa sheria misingi ya maslahi bora kwa mtoto na mfumo wa usimamizi na utekelezaji wa sheria yenyewe
lakini mapendekezo hayo UNK mwamba kwani kamati isingeweza kuyawasilisha serikalini kutokana na muda
akiwasilisha mapendekezo yao kwa kamati ya bunge ya maendeleo ya jamii katika ukumbi wa pius msekwa juzi jioni mkurugenzi mtendaji wa nola bwana clement mashamba alisema juzi ilikuwa mara ya pili kuwasilisha vipengele hivyo lakini hadi havikuonekana kwenye muswada uliowasilishwa bungeni
vipengele hivyo vitatu muhimu vyote hapo awali asasi hizo zilikubaliana na serikali viwekwe kwenye nyongeza ya musaada wa sheria hii ya mtoto ya mwaka ishirini sifuri tisa lakini tunashangaa havionekani wazi alisema bwana mashamba
alisema iwapo sheria hiyo UNK vipengele hivyo UNK malengo yanayokusudiwa na jamii hivyo mtoto ataendelea kukosa haki zake kama ilivyo sasa
alisema vipengele hivyo ndio msingi ya mwelekeo wa sheria husika na kumjengea mtoto misingi na maslahi bora na mfumo wa utekelezaji wa sheria yenyewe
hii itawezesha kutafsiri malengo na madhumuni ya sera katika mikakati na programu UNK katika ngazi za taifa halmashauri na jamii alisema bwana mashamba
waziri mkuu bwana mizengo pinda anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika misa maalumu ya toba kwa jamii ya kabila la wameru inayofanyika kesho kumuomba mungu kuwaondolea kile wanachodhani ni laana iliyopo katika kabila hiyo
askofu mkuu wa kanisa la international UNK church la sakila wilayani arumeru bwana UNK isangya alisema misa hiyo inajumuisha madhehebu yote yanayotoa huduma za kiroho katika halmashauri ya meru
askofu isangya aliwaeleza waandishi wa habari mjini hapa kuwa hali katika eneo la meru si shwari kwa muda mrefu sasa kutokana na chuki zilizopo mioyoni mwao kwa kila koo kujiona ni bora zaidi ya nyingine hivyo kuzuka kwa mapigano ya UNK mara
alifafanua kuwa historia ya uhasama huo ilianzia mbali kwa kabila hilo kufikia hata kuwaua wamisionari miaka ya sabini walipofika kueneza dini katika kata ya UNK hivyo kudhihirisha laana ya mungu dhidi yao
aidha alisema kuwa pia matukio ya miaka ya tisini ya mapigano baina ya wameru wenyewe kwa wenyewe na UNK nyumba yanazidi kudhihirisha kuwapo kwa laana hiyo ya mungu ndio maana viongozi wa kiroho wameamua kufanya sala hiyo ya toba ili mungu aondoe hali hiyo
alisema kuwa serikali kwa upande wake imejitahidi kudhibiti hali ya vurugu katika maeneo ya meru lakini haina uwezo wa kuondosha chuki iliyoko mioyoni mwa jamii hiyo bali ni mungu pekee mwenye jukumu hilo na ndio msingi wa toba hiyo
pia akizungumza katika mkutano huo mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya misa hiyo ya toba mchungaji godfrey palangyo alisema kuwa maandalizi yote ya misa hiyo yamekamilika
mwalimu mmoja wa shule ya msingi luhala iliyoko wilayani kwimba UNK chupuchupu kuuawa na watu wenye hasira wakiwemo wanafunzi wa shule hiyo baada ya kufumaniwa akifanya mapenzi na mwanafunzi wake aliyekuwa UNK darasa la saba
mwalimu huyo UNK wakati wa sherehe za mahafali ya kuwaaga wanafunzi wa darasa la saba ambazo zilifanyika katika shule hiyo mapema wiki hii
baadhi ya wanafunzi ambao walikuwa wakifuatilia mwenendo wa mwalimu huyo na UNK huyo walimuona mwanafunzi huyo UNK taratibu kwenye mkusanyiko wa wenzake na kwenda moja kwa moja katika nyumba ya mwalimu huyo
baada ya kujiridhisha na hatua hiyo wanafunzi hao walitoa taarifa wa mwalimu mwingine aliyekuwa akiongoza sherehe ambaye alikatisha shughuli zake na kufuatilia mwalimu huyo
alipofika katika nyumba ya mwalimu huyo akiwa na wanafunzi na wananchi wengine ambao walikuwa wamealikwa katika sherehe hiyo UNK nyumba hiyo na kumlazimisha afungue mlango walipoingia ndani walimkuta mwanafunzi huyo akiwa chumbani kwa mwalimu
sakata hilo UNK hasira baadhi ya wananchi na wanafunzi ambao walitaka kumchoma moto lakini aliokolewa na mkuu wa wilaya ya kwimba bwana christopher UNK UNK wananchi UNK sheria mkononi
mkuu huyo wa wilaya alikemea vikali tabia ya baadhi ya walimu kujihusisha na vitendo vya kufanya mapenzi na wanafunzi wao hususani wanapokaribia mitihani ya darasa la saba jambo ambalo linasababisha wengi wao kupata ujauzito na kushindwa kuendelea na masomo
polisi dar es salaam inawashikilia watu kumi na nne wakiwemo raia wa kigeni kwa tuhuma za kujipatia shilingi milioni sabini na nne kwa njia ya udanganyifu
akizungumza na waandishi wa habari dar es salaam jana kamanda wa polisi wa kanda maalum ya dar es salaam bwana suleiman kova alisema kuwa watuhumiwa hao walikamatwa na askari wa kikosi maalumu baada ya kuweka mtego eneo la mikocheni karibu na kiwanda cha coca cola
kamanda kova alisema watuhumia hao ni raia wa jamhuri ya kidemokrasia ya congo india na wengine kumi na mbili ambao ni raia wa tanzania wakiwemo na wanawake wawili
kamanda kova alisema watuhumia hao walienda kwa mfanyabiashara mmoja wa jijini wakidai wanauza madini ya dhahabu ndipo walipoingia mkataba wa UNK
baada ya mfanyabiashara huyo kuoneshwa baadhi ya madini aliwakabidhi dola hamsini na saba sifuri sifuri sifuri na UNK mkataba wa kumletea madini yaliyobakia alisema kamanda kova
alisema baada ya kukabidhiwa fedha hizo watuhumia waliacha namba zao za simu kwa madai kuwa watawasiliana watakapoleta madini yaliyobaki lakini baadaye walizima simu hali iliyomlazimu mfanyabiashara huyo kutoa taarifa polisi
aliongeza kuwa baada ya polisi kupata taarifa hizo walituma makachero ambao nao walijifanya kuwa ni wateja wa madini kuweka mtego uliofanikisha kukamatwa kwa watuhumiwa hao
baada ya kukamatwa watuhumiwa hao UNK katika ofisi UNK na kukutwa na vifaa mbalimbali wanavyotumia kutapeli ambavyo ni pamoja na mikataba mbalimbali ya kugushi
aidha aliwaomba wananchi mbalimbali waliowahi kutapeliwa kujitokeza kuwatambua watuhumiwa hao kabla ya kufikishwa mahakamani
katika tukio lingine kamanda kova alisema watu UNK wanashikiliwa na jeshi la polisi kwa kosa la kukutwa na vipande thebathini na tatu vya meno ya tembo yenye thamani ya shilingi saba mia tatu na tisini na tisa mia tano na thebathini na tano kinyume cha sheria
alisema kuwa watuhumiwa hao bwana UNK mungi bwana hassan rashidi bwana salumu saidi na bwana UNK masaki walikamatwa eneo la mbagala UNK nje kidogo ya jiji la dar es salaam
kampuni ya independent power tanzania limited imeshindwa kuweka baya siku ambayo UNK mitambo yake huku ikisisitiza kuwa bado inapashwa moto na kuendelea na ukaguzi ili kubaini kama iko salama
akizungumza na waandishi dar es salaam jana meneja mkuu wa iptl daktari UNK subramaniam alisema kuwa kazi kubwa inayofanyika sasa ni kukagua kila injini ili kujilidhisha kama ziko salama
kwa mujibu wa meneja huyo ukaguzi wa injini namba tano ilikamilika jana na wahandisi wa kitanzania na wanaendelea kukagua nyingine
bwana subramaniam alisema kuwa mitambo hiyo itawaka siku yoyote baada ya kupatikana kwa mafuta na kumalizika kwa malipo yaliyokuwa yakisubiriwa kwa ajili ya kulipia gharama za uendeshaji
mitambo hiyo itawaka siku yoyote baada ya ukaguzi ambapo sasa injini namba tano imekwisha kukaguliwa nje na ndani na wahandisi kutoka tanzania na sasa wanakagua injini namba moja alisema daktari UNK
alisema kuwa tayari wahandisi wawili wa wartisla wamewasili kwa ajili ya UNK mitambo hiyo na wengine watatu wanatarajiwa kuwasili leo ili kuongeza nguvu katika kuharakisha kazi hiyo
vile vile jana walikuwa na kazi ya kukagua na kuhakiki ujazo wa mafuta UNK katika kampuni hiyo kwa ajili ya kuendeshea mitambo hiyo na hadi jana alasiri malori matatu UNK na kupakuliwa yakiwa na zaidi ya lita tisini sifuri sifuri sifuri alibainisha kuwa kila injini kati ya kumi zilizopo ikifanya kazi kwa saa ishirini ...
kwa mantiki hiyo mafuta UNK na serikali tani saba hamsini sifuri yanaweza kutumika kwa siku kumi na tano iptl imelipwa na serikali zaidi ya shilingi bilioni kumi na tano zimelipwa na serikali kwa ajili ya kulipia mafuta lita milioni saba tano yaliyonunuliwa kutoka katika kampuni ta total uendeshaji wa mitambo hiyo
hundi tuliyopewa na serikali ni ya shilingi bilioni kumi na tano ambayo ni UNK ya kulipia mafuta kuwalipa wartisla na iptl hivyo siwezi kuanza kuwafafanulia kila mmoja amepata kiasi gani alisema bwana UNK mwanasheria wa wa serikali anayeshughulikia masuala ya ufilisi wa iptl alipoulizwa siku rasmi ya kuwashwa kwa mita...
kwa juhudi UNK zikiendelea hapa wanaweza kuwasha umeme ndani ya wiki hii lakini siwezi kusema au kutaja siku bwana UNK
ataka pia chenge karamagi waachie nyadhifa zao ccm kimiti asema mpasuko unatokana na kukumbatia mafisadi daktari mahanga UNK kifua adai taarifa za kupikwa moto wa kikao kati ya wabunge wa ccm na kamati ya mwinyi uliendelea kuwaka mjini dodoma usiku wa kuamkia jana baada ya wabunge hao kutolewa hoja nzito za kuwabana w...
kamati hiyo inayoongozwa na rais mstaafu wa awamu ya pili mzee ali hassan mwinyi ilikutana na wabunge hao ikiwa tayari imekutana na kamati mbili za uongozi moja ya ccm inayoongozwa na waziri mkuu bwana mizengo pinda na nyingine ya bunge iliyoko chini ya spika wa bunge bwana samuel sitta
habari za uhakika kutoka ndani ya kikao hicho kilichoanza saa mbili usiku hadi saa sita kumi usiku bila kumalizika zilieleza kwamba wabunge walimtaka mwenyekiti wa ccm taifa rais jakaya kikwete kuwaengua watuhumiwa wa ufisadi katika kamati kuu ya ccm na halmashauri pamoja na kuchukuliwa hatau zaidi kama njia ya kumali...
mheshimiwa mwenyekiti tatizo letu kubwa ni kuacha maadili na miongozo ya chama chetu ni kwa nini tusikubali UNK na UNK
kama hatutakubali kukosolewa na kujikosoa tutaua hiki chama bwana rostam lowassa karamagi na chenge wanatakiwa waondoke kwenye nyadhifa zao ndani ya chama wao ndio UNK dosari kilisema chanzo chetu UNK mbunge wa simanjiro bwana christopher ole sendeka akisema
mbunge huyo alikuwa ni mchangiaji wa kwanza kati ya wachangiaji kumi waliochangia usiku wa UNK jana huku akitumia nukuu kadhaa za baba wa taifa mwalimu julias nyerere
yule mheshimiwa sendeka alipasua ukweli alikuwa UNK kijitabu fulani UNK mwongozo wa ccm ya mwaka elfu moja na mia tisa na themanini na moja na kuwaacha wajumbe hoi kwa kukumbuka mambo mazito ambayo ndiyo msingi wa ccm kilisema chanzo UNK ndani ya kikao hicho
bwana sendeka aliripotiwa kuweka wazi kukerwa na kitendo cha ccm kuwa mkononi mwa wafabiashara wache wanaotaka kununua na kuweka mkononi mwao ccm huku wakitaka kutumia nafasi walizo nazo ndani ya chama hicho UNK kuwashughulikia wasema kweli
mbunge UNK alimtaka mzee mwinyi kumfikishia salamu za live kwamba katibu wake mkuu wa chama ni tatizo tena alimtaja kwa jina bila kumwogopa akiwa amekaa kuwa yeye anatetea mafisadi na kukimaliza ccm kilisema chanzo chetu
habari zilieleza kwamba mbunge wa sumbawanga bwana paul kimiti naye alipasua jipu kwa kuwekwa wazi jinsi UNK na madai ya UNK kwa mpasuko ndani ya bunge jambo ambalo linasbabishwa na kukumbatiwa kwa mafisadi huku wakieendelea kuvuruga ccm ilielezwa kwamba bwana kimiti aliionya uongozi wa juu wa ccm kuhusu hatua za kuki...
mbunge wa longido bwana michael laizer naye ni moja kati ya wabunge UNK moto kwenye kikao hicho huku akionya kwamba bila suala la ufisadi kushughulikiwa kwa umakini uhasama utazidi miongoni mwa wabunge wa ccm kwa kuwa wanaopenda ukweli hawatakubali kuona baadhi wakichafua nchi na kukaa kimya
kila mbunge aliyezungumza jana alikuwa akifanya tu marudio lakini ajenda kuu ilikuwa suala la ufisadi ndio chanzo cha mpasuko na uhasama kwa wabunge wa ccm kilisema chanzo chetu
kikao hicho kilishindwa kumalizika jana baada ya mzee mwinyi kuweka wazi kwamba hakuna ukomo wa muda kwa mchangiaji kwa lengo la kutaka kila mmoja atapike kila alichonacho kama njia ya kumaliza mpasuko miongoni mwa wabunge wa ccm kwa upande wake naibu waziri wa kazi ajira na maendeleo ya vijana daktari milton mahanga ...
unajua kuna kitu ambacho wengi hawajui kuhusu sababu iliyowafanya watuhumiwa wa ufisadi wawe na furaha kwamba hawakuhusika na richmond mpaka taarifa iliposomwa bungeni ndipo UNK kuna sehemu ya taarifa ya richmond iliibwa kwa spika na haikuwataja wao UNK kwamba wamepona sasa walipofika bungeni wakashangaa kilisema chan...
ilielezwa kwamba chanzo cha kauli ya naibu waziri huyo inatokana na kuibwa kwa sehemu ya taarifa ya kamati teule ya bunge katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa mwalimu julius nyerere dar es UNK katika mzigo wa spika wa bunge bwana samwel sitta alipokuwa safarini kwenda nje ya nchi hivyo kuamua kuchukua taarifa hiyo i...
wakati aliyekuwa waziri mkuu bwana lowasa alipokuwa UNK februari saba mwaka ishirini sifuri saba bungeni mjini hapa alitoa kauli sawa na ya naibu waziri huyo huku ikielezwa kwamba alisema hivyo kutokana na imani kwamba kile sehemu ya taarifa aliyopelekewa baaada ya kuchomolewa katika mzigo wa spika ndio ilikuwa taarif...
unajua ile taarifa UNK na kupigwa kopi kisha kurudishwa muda mfupi kabla ya spika kuondoka ilikuwa kama hadithi walienda wakaa na kufanya na sherehe kwamba wao UNK bila kujua kwamba walichukua ka kipande tu ya taarifa tena sehemu ya mapendelezo tu sasa hiyo ndio chanzo cha hizi kauli za kuonewa kilisema chanzo chetu
kikao kati ya wabunge na wazee hao iliendelea tena jana kuanzia saa kumi na moja jioni huku wabunge kadhaa wakiwa wameapa kufa na mafisadi na kusisitiza kwamba hatma ya ccm kuimarika au kupasuka inategemea matokeo ya kikao hicho
uchunguzi wa majira ulibaini kwamba kabla ya kikao hicho kuanza jana jioni wabunge kadhaa walikuwa wakifanya mazungumzo ya UNK na wazee hao kwa awamu huku kila kundi ilijaribu kujitafutia hoja za msingi kutetea upande wao
majira ilishuhudia vikao vya makundi vikiendelea ndani ya eneo la bunge na nje ya bunge huku upande wa watuhumiwa wa ufisadi pia wakiwa wanaonesha wasiwasi wa kutokubali kuzungumza wala kupoke simu wasizozijua kwa hofu ya kuhojiwa
mwandishi wa habari hizi alipiga simu za viganjani vya watuhumiwa hao karibu wote zikiita bila kupokelewa kwa awamu jambo ambalo uenda inaweza kujenda ukweli kuhusu taarifa hizo za kundi hilo kutotaka kupokea simu za watu UNK kwenye simu zao
katibu mkuu mpya wa wizara ya mambo ya ndani bwana mbarak abdulwakil amesema atahakikisha UNK wahamiaji haramu UNK wafanyabiashara wa china wanaofanya biashara bila kufuata sheria za uwekezaji katika maeneo mbalimbali ya nchi
akizungumza na waandishi wa habari katika viwanja vya ikulu jana bwana abdulwakil alikiri kuongezeka kwa wafanyabiashara hao na kwamba wamekuwa kero kwa wafanyabishara ndogo UNK hapa nchini
si vizuri kila UNK akiingia nchi apewe kibali cha kufanya biashara bila kuangalia uwezo wake wa kimtaji kwani wengi wamekuwa wakifanya biashara ambazo zinafanywa na wazawa alisema bwana abdulwakil bwana abdulwakil aliyekuwa naibu katibu mkuu ofisi ya makamu wa rais aliteuliwa kuwa katibu mkuu wizara ya mambo ya ndani ...
wakati huo huo rais jakaya kikwete UNK bwana UNK mtupa kuwa msaidizi wa rais masuala ya sheria uteuzi ulianza tangu novemba tatu mwaka huu
bwana mtupa ambaye alikuwa mkurugenzi wa msaidizi wa katika wizara ya mambo ya katiba na sheria anachukua nafasi ya bwana george UNK aliyeteuliwa kuwa naibu mwanasheria mkuu wa serikali
rais jakaya kikwete ameutaka uongozi wa mamlaka ya bandari tanzania kuhakikisha UNK huduma za kuhudumia mizigo bandarini
rais kikwete alitoa kauli hiyo wakati wa ufunguzi wa mkutano wa pili wa kibiashara ulioandaliwa na jarida la the economist dar es salaam jana
mkutano hupo ulikuwa na lengo la kujadiliana na serikali jinsi ya kuunda sera mbadala katika kukabiliana na athari za msukosuko wa uchumi
rais kikwete alilazimika kuuzungumzia uongozi wa tpa mara alipoulizwa swali juu ya uboreshwaji wa shughuli za bandari hiyo ili kujua kama maazimio yaliyowekwa mwaka jana na mkutano kama yametekelezwa
rais kikwete alijibu kuwa nimetembelea zaidi ya mara tatu katika bandari ya dar es salaam na UNK na baadhi ya uendeshaji wake hasa katika ucheleweshaji wa mizigo na msongamano wa makontena UNK kuhakikisha UNK haraka utendaji wao kutokana na umuhimu wa wake katika uchumi hivyo kwa kuwa wahusika wapo naomba mkurugezi wa...
mkurugenzi wa masoko wa tpa bwana flavian kinunda alisimama kwa niaba ya mkurugenzi mkuu wa tpa na kusema kuwa ufanisi katika kuondoa mizingo UNK kutoka siku ishirini na tatu za awali hadi kumi na sita lakini haujafikia kiwango kilichokuwa kimepangwa cha siku kumi kutokana na sababu ambazo ziko nje wa uwezo wa bandari...
bwana kinunda alisema kuwa kuna sababu kuu nne ambazo zinasababisha kuchelewa kwa shughuli za bandari ikiwa ni pamoja na mlolongo mrefu wa ukamilishaji wa nyaraka za mizigo hivyo kulazimu mizigo kukaa bila sababu
alisema kuwa vizuizi vya barabarani ikiwemo mizani pia ni sababu mojawapo UNK UNK wa mizigo na vituo vya kutoza ushuru vimekuwa UNK msongamano na adha kubwa
aliongeza kuwa vituo vya polisi na mipakani navyo vimekuwa UNK UNK wa kusafirisha mizigo hivyo kulazimu wasafirishaji kukaa zaidi ya siku arobaini njiani hasa wanaokwenda tunduma
miundombinu pia imetajwa kuwa kikwazo kikubwa hasa usafiri wa reli kutokana na kutegemewa kwa zaidi ya asilimia themanini ya mizigo husafirishwa kwa kutumia reli na asilimia iliyobaki kwa barabara huku nayo ikiwa na changamoto nyingi
aidha alisema kuwa waagizaji wa bidhaa nao huwa kikwazo kutokana na kuchelewa kuchukuwa mizigo yao huku wakijua kuwa siku za mizigo kukaa bandari ni siku saba kwa mizigo ya ndani na wiki mbili kwa mizigo ya nje
polisi mkoani rukwa wanamshikilia mwanamke mmoja kwa tuhuma za kuiba mtoto mdogo mwenye umri wa mwaka mmoja katika kijiji cha kirando wilayani nkasi katika mwambao wa ziwa tanganyika
kamanda wa polisi wa mkoa wa rukwa bwana isunto mantage alisema tukio hilo limetokea juzi saa tatu asubuhi wakati UNK mussa mkazi wa kitongoji cha isaba kilichoko kwenye mwambao wa ziwa tanganyika alikamatwa na polisi