text
stringlengths
1
1.32k
aliiomba bunge kuipatia taasisi hiyo bajeti ya kutosha ili kuboresha mazingira hayo ya kazi
kuhusu tuhuma kuwa wabunge wamekuwa wakihojiwa na maofisa wadogo sana daktari hoseah alisema ofisa anayeshughulikia suala hilo ni ofisa mchunguzi mkuu na amekuwa katika fani hiyo tangu mwaka elfu moja na mia tisa na sabini na tatu alisema kwa umri alionao sasa anatarajia kustaafu mwakani hivyo ndiye mwenye umri kuwazi...
aliwataka wabunge hao waiache taasisi hiyo ifanye kazi zake kwa mujibu wa sheria
waheshimiwa wabunge naomba UNK kwa mfano
bunge letu lina sifa ya kuongoza mapambano dhidi ya ufisadi ambao ni pamoja na matumizi mabaya ya fedha za umma matumizi mabaya ya madaraka
tungependa suala hili lisiwe chanzo cha kulipunguzia heshima ndani na nje ya nchi ambayo bunge letu tukufu UNK alisema daktari hoseah
UNK ni kwa nini wabunge wengi wanaotakiwa kuhojiwa kwa kupokea posho mara mbili ni wale waliokuwa wajumbe wa kamati kuchunguza mkataba wa richmond daktari hoseah alijibu ni kawaida mtu UNK au kutuhumiwa atake kuonekana anaonewa mbona mimi katika sakata la richmond UNK na kusemwa kwa miaka mitatu sijawahi kulalamika
alipoulizwa hatma ya taasisi na mashirika yanayodaiwa kutoa posho hizo kwa wabunge daktari hoseah alisema waliohusika nao hawatabaki salama hivyo nao lazima UNK
kuhusu madai yaliyotolewa na kiongozi wa upinzani hamad rashid mohamed aliyetaka pia rais kikwete achunguzwe daktari hoseah alisema anavyojua ni kuwa rais akiwa kwenye ziara yake ndani ya nchi UNK posho
alisema katika ziara yake anaenda na magari yake walinzi wapishi na kila kitu anaenda nacho
mbunge wa jimbo la simanjiro bwana christopher ole sendeka ameitaka serikali kutoa maelezo ya matumizi ya shilingi bilioni kumi zilizokusanywa kutokana na akaunti ya madeni ya nje kwenda wizara ya maendeleo ya mifugo na uvuvi zimefanya kazi gani na kwa maeneo gani
bwana ole sendeka alitoa kauli hiyo jana wakati akiuliza swali la nyongeza kwa wizara hiyo huku akitaka kuelezwa kiasi hicho cha fedha kimefanya kazi gani kwa ajili ya kuwasaidia wananchi hasa maeneo ya wafugaji
katika majibu yake naibu waziri wa maendeleo ya UNK na uvuvi bwana james UNK alisema kuwa fedha zilizotokana na epa UNK kwenye ununuzi wa dawa za mifugo na kusambazwa kwa wananchi
alisema kuwa wizara yake ambayo ilipewa dhamana hiyo ilishatumia kiasi hicho cha fedha na tayari UNK ambapo usambazaji wa madawa hayo umeshafanyika na wananchi UNK dawa hizo na taarifa UNK
katika swali la msingi la mbunge wa viti maalumu bibi mkiwa kimwanga serikali ilitakiwa ieleze imeandaa mazingira gani ya kuwasaidia wavuvi wadogo kupata zana za kisasa bila vikwazo pia serikali imechukua hatua gani za kuvutia wawekezaji katika uanzishwaji wa viwanda vya kusindika samaki katika mikoa ya pwani
bwana wanyancha alisema kuwa katika kuwasaidia wavuvi wadogo serikali tayari imeandaa sheria ya uvuvi katika bahari kuu na
kumi na mbili ishirini sifuri saba na kanuni zake
kwa upande wa wawekezaji kuja kuwekeza katika viwanda vya kusindika samaki alisema kuwa kupitia tic na kupitia sera ya taifa ya uvuvi wawekezaji UNK kuwekeza katika viwanda vya kuchakata samaki ambapo hadi sasa viwanda ishirini na mbili UNK nchi nzima na kati ya hivyo vitano vipo ukanda wa bahari
hata hivyo alisema kuwa hadi sasa viwanda kumi na saba tayari vinafanya kazi na tayari wawekezaji wawili wamejenga viwanda vya UNK UNK ambavyo ni UNK fishnet ltd kilichopo mwanza na kiwanda kingine cha imara fishnet ltd
kilichopo dar es salaam
mwanafunzi wa darasa la pili katika shule ya msingi UNK wilayani arumeru mkoa wa arusha UNK ombeni amekatwa koromeo kwa panga baada ya kubakwa na vijana wawili kwa kile kilichodaiwa kuwa walitumwa damu ya kafara na mganga wa kienyeji
kaimu kamanda wa polisi mkoa wa arusha ssp leonard paulo alieleza kuwa tukio hilo lilitokea oktoba thebathini mwaka huu saa tano asubuhi katika kijiji hicho wakati binti huyo UNK na baba yake bwana ombeni UNK kumpelekea bibi yake mafuta ya taa na majani ya chai
kamanda alisema baada ya kumpelekea bibi yake vitu hivyo bibi yake naye alimpa kuni kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na alipokuwa njiani akirudi nyumbani alipita karibu na wanapoishi watuhumiwa hao ndipo vijana hao walipomkamata na kumwingiza ndani ya nyumba alisema mwanakijiji mmoja
watuhumiwa hao ni frank michael na joseph UNK wote wafanyakazi wa mashambani na kwamba baada ya kumwingiza binti huyo walimbaka kwa zamu hadi alipoishiwa nguvu kisha kumchinja kwa panga ikiwa ni utekelezaji wa maagizo ya mganga wao aliyewataka kufanya hivyo ili kufanikisha utajiri
baada ya kutekeleza unyama huo vijana hao UNK mwili wake hadi saa tano usiku kisha kwenda kuutupa kwenye shamba la mahindi lililopo karibu na wanapoishi ambapo siku ya pili yake wazazi wake UNK na kuanza msako sehemu mbalimbali ikiwemo kwa bibi yake ambapo walielezwa kuwa UNK siku iliyotangulia alisema bwana leonard
aliongeza kuwa baada ya kupata taarifa ya kupotea kwa binti huyo polisi kwa kushirikiana na wananchi wa eneo hilo walianza kumsaka ndipo UNK mzigo wa kuni jirani na nyumba ya vijana hao
pia sketi nyekundu ambayo marehemu alikuwa amevaa kabla ya kifo chake ilionekana kabla ya kukuta mwili wake ukiwa hauna nguo hatua chache karibu na nyumba wanayoishi watuhumiwa hao
kamanda huyo alisema kuwa uchunguzi uliendelea ambapo walifanikiwa kupata habari za siri UNK vijana hao UNK UNK na begi lenye nguo na dawa za kienyeji panga ambalo lilikutwa na damu iliyofutwa kwa mchanga na katika mahojiano vijana hao walikiri kuua kwa sababu ya kupata utajiri
walimtaja mganga jafari jabiri mwenye majina mengine ya mramba na kawawa mkazi wa kijiji cha ishinde wilayani same kilimanjaro na kwamba walitumwa damu na mganga huyo
alisema baada ya kupata taarifa hizo walimtia mbaroni mganga huyo pamoja na lundo la tunguri katika mabegi mawili zikiwa na dawa za kienyeji zinazofanana na zile zilizokutwa kwa vijana hao
serikali imeombwa kupeleka haraka chakula cha msaada katika wilaya ya ukerewe mkoa wa mwanza ili kunusuru watu wasife kwa njaa
ombi hilo lilitolewa jana na mbunge wa ukerewe daktari getruda mongela kwa makamu wa rais daktari mohamed shein aliyefanya ziara ya siku moja katika wilaya ya ukerewe
alisema baadhi ya wananchi UNK uji na wakati mwingine wanashinda na kulala njaa kutokana na tatizo la njaa linaloikabili wilaya hiyo
mkuu wa wilaya hiyo bibi UNK mlozi katika taarifa yake alisema katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita zao la mhogo ambalo ndilo chakula kikuu cha wakazi wa wilaya ya ukerewe limeathirika kwa magonjwa ya UNK kali na UNK UNK hali ambayo imeathiri uzalishaji wa chakula
alisema hivi sasa wanahamasisha wananchi kulima mazao mengine kama mtama na mahindi ili kukabiliana na hali hiyo
katika hatua nyingine bibi mlozi aliiomba serikali kuangalia uwezekano wa kutumia fedha ya kununua magari katika wilaya hiyo badala yake zitumike kununua boti zenye mwendo mkali zitakazo tumika kuwafikia na kuwapa huduma wananchi
alisema wilaya hiyo yenye visiwa thebathini na nane katika ziwa victoria inahitaji zaidi boti zenye mwendo mkali badala ya magari
akipokea taarifa hiyo daktari shein alisema serikali imepokea taarifa hizo na itatatua matatizo hayo mapema na itahakikisha hakuna mtu UNK na njaa
mwili wa aliyekuwa mbunge wa ruangwa mkoa wa lindi bwana UNK UNK tu UNK kesho katika ukumbi wa karimjee dar es salaam na kusafirishwa kwa ndege kwa ajili ya mazishi yatakayofanyika keshokutwa kijijini kwao UNK
akizungumza na gazeti hili msemaji wa familia ya marehemu bwana andrew mapacho alisema kuwa mwili huo UNK kutoka hospitali ya taifa muhimbili na kuhifadhi katika hospitali ya jeshi lugalo ili kuweka ukaribu wa kufanyiwa UNK ya kifamilia mbezi beach makonde
bwana mapacho alisema kuwa kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa katibu wa bunge bwana thomas kashililah wabunge hamsini wa vyama vyote watahudhuria kuagwa mwili huo na wengine UNK hadi mazishi
mbunge huyo alifariki dunia juzi usiku kutokana na ugonjwa wa kiharusi kisukari na malaria
ameacha mjane na watoto wanne lucy david gabriel na UNK
pia UNK watoto wawili aliokuwa UNK anna na nico
taarifa za awali zilisema kuwa marehemu alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa kiharusi tangu kumi na nne mwaka huu na kulazwa katika tasisi ya moi kabla ya kugundulika kuwa ana ugonjwa wa kisukari na malaria
waziri wa zamani wa nishati na madini bwana daniel yona ameieleza mahakama kuwa aliingia mkataba kati ya serikali na kampuni ya alex sterwart kutokana na maelekezo ya rais wa awamu ya tatu bwana benjamin mkapa aliyeagiza waendelee haraka na mchakato huo
kauli hiyo ilitolewa na wakili wa utetezi bwana herbert nyange UNK mawaziri hao wa zamani bwana yona na bwana basil mramba wa fedha
hayo yalijitokeza jana wakati akifanya mahojiano na shahidi wa kwanza wa upande wa mashitaka bwana nyelo godwin kuhusiana na mapendekezo aliyoyatoa kwa bwana yona ya UNK kazi kampuni hiyo kwa kuwa haikuwa wazi na ada yake ilikuwa ni kubwa
mahojiano hayo yalifanyika katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu mbele ya jopo la mahakimu bwana john utamwa bwana sam rumanyika na bwana saul kinemela
nyange je huyu waziri wako ndio alikuwa mwenye mamlaka ya mwisho je kama huyo mkubwa wake alisema ana haraka UNK ushauri wako wewe
jibu endapo bwana yona alipewa maelekezo na mkubwa wake alistahili kufuata
baada ya kutolewa kwa jibu hilo na shahidi huyo bwana nyange alikwenda mbali zaidi kwa kuonesha dokezo la bwana yona ambalo alimwandikia rais mkapa akiomba ridhaa ya kuendelea na mchakato wa kuajiri kampuni hiyo na rais akajibu nakubali endeleeni haraka hata hivyo dokezo la bwana yona ambalo lilikwenda kwa rais UNK ba...
awali shahidi huyo akihojiwa na bwana nyange ilikuwa kama hivi nyange shahidi UNK nini katika mchakato wa kupewa mkataba kampuni hiyo
jibu nilishauri alex sterwart asipewe mkataba kwa kuwa hapakuwa na uharaka wowote na ada ilikuwa kubwa kuliko uzalishaji
nyange je hiyo ada ya asilimia moja tisa ndiyo UNK kwenye kamati yenu
jibu UNK ila tulifanya UNK wa gharama kutokana na hesabu UNK
nyange kampuni gani ilishinda na UNK mapendekezo kwa gavana
jibu alex sterwart ndio ilishinda kwa pointi tisini na mbili tisa na ndio UNK kwa gavana kuwa imeshinda japokuwa suala la kushinda ni tofauti na UNK
nyange mlitegemea nini baada ya kupeleka majibu ya ushindi wa kampuni hiyo kwake
jibu alitakiwa kuiita kampuni hiyo ili akubaliane nayo namna ya kufanya kazi
nyange wewe ulipinga ada hiyo kuwa ni kubwa je unaelewa kuwa ada za nchi zingine zilikuwa ni kubwa zaidi na tayari serikali ya tanzania ilikuwa imeshafanya utafiti huo
jibu sina uhakika kama serikali ilifanya utafiti huo na ada hizo inategemea iko katika kitu gani
nyange je UNK ya mkataba ilikuwa na tatizo gani
jibu ada ya asilimia moja tisa ndio ilikuwa ni tatizo
nyange je ni kweli kampuni hii UNK hasara yoyote
jibu ndiyo kwa kuwa hapakuwepo na mabadiliko yoyote kwenye takwimu za uzalishaji wa madini
nyange unajua sababu ya kampuni hiyo kuongezwa muda wa kufanya kazi
je utakubaliana na mimi UNK kuwa kitendo cha baadhi ya kampuni kuficha nyaraka ndio ilisababisha hilo
jibu inaweza ikawa ni moja sababu ya kuongezwa kwa mkataba
UNK unajua kampuni hiyo ilibaini upotevu wa dola za marekani mia moja na sitini kutoka kwa kampuni za uchimbaji madini mbili
jibu sijui ila nafahamu kufichwa kwa baadhi ya nyaraka za kampuni hizo
nyange kwa nini sasa unasema haikufanya kazi yoyote
jibu kampuni hiyo haikutimiza baadhi ya makubaliano kama kuwafundisha watanzania namna ya ufanyaji kazi wake ili utaalamu huo waendelee nao
mbali na mahojiano hayo pia kuliibuka malumbano ya kisheria kati ya pande zote mbili kuhusiana na nyaraka mbalimbali ambazo upande wa utetezi walitaka kuzitumia katika kumfanyia mahojiano shahidi huyo bila nyaraka hizo kujulikana mahakamani hapo hali iliyomfanya bwana nyange kuomba kuondoa hoja za kutumia vielelezo hi...
hata hivyo kesi hiyo ililazimika kuahirishwa mpaka leo kutokana na muda wa mahakama kumalizika lakini pia kutoa nafasi kwa mahakimu na pande zote kujiandaa zaidi
visa vya ufisadi mikakati ya kumalizana kisiasa na madai ya baadhi ya viongozi kunyimwa mafuta vimetawala mjadala baina ya wabunge na kamati ya mzee mwinyi mjini dodoma
kamati hiyo jana usiku UNK wabunge wote wa ccm juu ya chanzo cha mfarakano baina yao ikiwa ni siku ya pili baada ya kukutana na kamati ya uongozi ya ccm na ile ya uongozi ya bunge na kuelezwa mambo mazito UNK UNK
katika vikao vya awali katibu mkuu wa ccm bwana yusuf makamba alilazimika kukatisha kikao hicho baada ya kupatwa kile alichoeleza kuwa ni kizunguzungu hivyo kuondoka kwenda kupumzika huku kikao kikiwa UNK
hata makamba UNK ukweli mpaka akashindwa kusema ghafla akaonekana kama mgonjwa nadhani kisukari kilipanda kidogo kutokana na kupewa vidonge vyake hadharani kilisema chanzo chetu
katika kikao hicho mmoja wa wajumbe ambaye pia ni mjumbe wa kamati kuu ya ccm alianza kwa kutaka kuwakandamiza wabunge hali iliyosababisha UNK kumbana na kuweka mambo hadharani hali iliyosababisha hata waziri mkuu mizengo pinda kukubali baadhi ya changamoto
habari kutoka ndani ya kamati hizo zilisema kuwa maneno mazito UNK mzee mwinyi na ujumbe wake ulisababisha rais huyo mstaafu kufuta machozi kutokana na mambo aliyoambiwa wazi kuwa ndio chanzo cha mpasuko
kamati hiyo iliundwa na halmashauri kuu ya taifa ya ccm ikijumuisha mzee mwinyi kama mwenyekiti akiwa na wajumbe wawili makamu mwenyekiti wa ccm pius msekwa na kada wa chama hicho abdulrahaman kinana
wakati mzee mwinyi akiripotiwa kufuta machozi kutokana na yale aliyoambiwa wazi kuwa ni chanzo cha mpasuko miongozi mwao baadhi ya wabunge waliozungumza na majira walisema wanasubiri kikao cha jana ili kupasua ukweli na kuonya kuwa hawatakubali kuburuzwa wala kuyumbishwa kuficha ukweli kwa kulinda baadhi ya watu
chanzo cha majira ndani ya vikao vilivyotangulia hali ilikuwa tete kwa upande wa watu UNK kwa ufisadi na kwamba wajumbe waliwataja kwa majina kama chanzo cha tatizo ndani ya bunge
UNK ukweli tuliwaambia hakuna mpasuko ndani ya ccm wala kwa wabunge wa ccm isipokuwa kuna kuficha ukweli ndio maana wanaotaka ukweli wamekasirika watu walilia mzee mwenyewe alifuta machozi wazi kilisema chanzo chetu ndani ya kikao hicho
ilielezwa kwamba mjumbe moja aliweka wazi jinsi mafisadi UNK ccm na kutoa mfano wa moja za chaguzi ndogo ambapo aliyekuwa makamu mwenyekiti wa ccm john malecela aliwai kuwekewa mafuta kiduchu kwenye gari na kunyimwa posho kama sehemu ya kumkomoa kutokana na msimamo wake wa kuwa mkweli na kupinga ufisadi ndani ya ccm b...
wajumbe walipanda joto na kusema machafu UNK na kumwonya mzee mwinyi kwamba UNK ukweli wajiandae kuzika ccm kilisema chanzo chetu kingine
habari zaidi kutoka ndani ya kikao zilieleza kwamba wajumbe walimwomba mzee mwinyi kumshauri rais jakaya kikwete kukubali kushughulikia tatizo ndani ya ccm bila kuogopa mtu hata kama alichangia kumpa msaada wa kisiasa katika kugombea urais mwaka ishirini sifuri tano watu hawaogopi walisema wazi chanzo cha tatizo ni se...
habari zaidi zilieleza kwamba suala la kampeni chafu katika baadhi ya UNK kwa lengo la kuwaangusha baadhi ya wabunge pia liliibuka kama mfano wa hali halisi huku baadhi ya vigogo wakituhumiwa kuwakumbatia mafisadi kwa kuwasaidia kuwapa mbinu za kukabiliana na wale wanaopinga ufisadi
wasema hana hadhi ya kupigiwa kura ya kukosa imani
UNK bungeni kimya azungumza na spika sitta siku moja baada ya mkurugenzi mkuu wa taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa daktari edward hoseah kuonesha jeuri kwa wabunge kuwa hatajiuzulu na ataendelea kuwahoji wakitaka wampigie kura ya kukosa imani naye wao UNK kuwa hana hadhi ya UNK kura hiyo
wabunge waliozungumza na majira kwa nyakati tofauti walisema kwamba anajitafutia makuu kwa kujilinganisha na rais wakati hawezi kufikia cheo hicho kutokana na utendaji wake hafifu
walisema bunge haliwezi kushughulika na watendaji wadogo kama yeye badala yake UNK na mkuu wake ambaye ni rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania na waziri mkuu
kauli hizo za wabunge tofauti na kwa nyakato tofauti zimedhihirisha kuwa kauli za daktari hoseah UNK nyongo huku wakieleza kuwa mkuu huyo wa takukuru hajui madaraka ya bunge hasa kwa kauli yake kuwa wabunge UNK usingizi na wakipenda wampigie kura ya kutokuwa na imani naye
bunge ni mhimili mkubwa sana si ndogo kama UNK huyo hoseah tunaweza kupiga kura ya kutokuwa na imani na rais waziri mkuu na spika hawa watu wadogo kama akina hosea UNK bosi wake waziri mkuu kwamba ondoa huyu au ondoka wewe lakini hatuwezi kushuka mpaka kwake yeye si size yetu alisema mmoja wa wabunge machachari wa ccm...
kile kitendo cha hoseah kuweka wazi kwamba masuala ya wabunge hayamnyimi usingizi ni dalili ya wazi ya dharau kwa wabunge lakini sijui kama anajua maana ya bunge mle ndani kuna waziri mkuu kuna waziri wake maana yake ni kwamba UNK hata hao na kuwatukana wote kwa UNK hivi unapomwambia mkuu wako wa kazi kwamba UNK using...
huyo hosea anataka aidha kuchonganisha bunge na serikali au ametumwa na watu fulani kwa lengo la kutaka kumuharibia rais la pili anajitafutia umaarufu kwa kutaka bunge UNK mkurugenzi wa takukuru kwenye orodha ya watu wanaoweza kupigiwa kura ya kutokuwa na imani na bunge hili haliwezi yeye ni mtu mdogo sana alisisitiza...
mbunge huyo aliishangaa serikali pia kushindwa kumchunguza daktari hoseah na takukuru kwa kitendo cha UNK tata ya richmond na UNK kuwa haina dosari wakati kamati teule ya bunge iligundua dosari kila kona ya zabuni hiyo
inabidi rais awe makini na watu kama hoseah anaweza kutaka tu kuvuruga takukuru ili akitoka aiche katika hali mbaya ya kiutendaji ili baadaye ionekane kwamba alikuwa anafaa kumbe ni mbinu za kuficha ubovu wake ni kesi ngapi takukuru inachunguza lakini hili la wabunge na posho tu inatangazwa kwenye vyombo vya habari ku...
kwa upande wake mbunge wa mbinga mashariki bwana gaudence kayombo alisema suala hilo imefika pabaya na kwamba kinachotakiwa sasa ni viongozi wakuu kuingilia kati kulimaliza kabla ya kuleta athari kubwa zaidi