text
stringlengths
1
1.32k
ofisa tawala msaidizi wa rasilimali watu wa mkoa wa dar es salaam bwana UNK said alisema anachofahamu mamlaka ya viwanja vya ndege tanzania iliwahi kuwalipa fidia wananchi hao na wanaolalamika ni wale walionunua viwanja karibuni
askari wa operesheni kipepeo wanaoendelea kudhibiti wa ujangili ndani na nje ya pori ya akiba la selous na hifadhi za taifa hapa nchini wamewatia nguvuni majangili kumi na moja yakiwemo sita yenye asili ya kiarabu
majangili hayo yalikamatwa huko kwenye eneo la pori la kimera katika wilaya ya mvomero mkoani morogoro kandokando mwa pori la akiba la selous wakiwa wamepiga kambi tayari uwindaji haramu
mkuu wa UNK maalumu za jeshi la polisi nchini naibu kamishna venance tossi anayeongoza operesheni kipepeo alisema jana kuwa majangili hayo yalikamatwa kutokana na taarafa za wananchi wa vijiji vinavyozunguka pori hilo waliotoa taarifa za kuwepo kwa majangili hayo
dcp tossi alisema kuwa wakati wa upekuzi kwenye kambi ya majangili hayo zilipatikana silaha tano za aina mbalimbali ikiwemo bastola moja na rifle nne na risasi mia mbili na kumi na tano kati ya hizo tisini ni za rifle na ishirini na tano za bastola
aliyataja majangili yaliyokuwa yamepiga kambi kwenye eneo hilo kuwa ni abdallah edha abdallah faraji mbaraka mohammed mbaraka ameri saidi mbaraka saidi na saidi edha abdallah wote wakiwa na asili ya kiarabu
wengine ni hamissi UNK hamissi mohammed UNK UNK mbaraka salum na rashidi urea ambaye ni mwenyekiti wa jumuiya ya uhifadhi wa wanyamapori kwenye vijiji UNK pori la UNK
naye meneja wa hifadhi ya pori la akiba la selous bwana john UNK ambaye alifuatana na dcp tossi katika ukamataji huo amethibitisha kuwa majangili hayo hayakuwa na kibali chochote cha uwindaji kutoka kwa mkurugenzi wa idara ya wanyamapori nchini
majangili hayo yakiwa na magari matatu na majokofu kadhaa yenye barafu ya kuhifadhia nyama UNK kusimamisha mara moja shughuli za uwindaji katika eneo hilo tengefu la mapori ya akiba ya selous na kwenda kituo cha polisi kwa hatua zaidi
hadi sasa operesheni kipepeo inayoendeshwa kwa pamoja kati ya jeshi la polisi na idara ya wanyamapori nchini imewatia nguvuni majangili zaidi ya sabini na kukamata silaha mbalimbali
mfungwa anayetumikia kifungo cha miaka kumi katika gereza la ukonga jijini dar es salaam bwana semayoga ernest atatunukiwa shahada ya kwanza ya sheria na chuo kikuu huria tanzania
sherehe ya mfungwa huyo ambaye ni wa pili kutunikiwa shahada hiyo baada ya bwana haruna gombela UNK oktoba thebathini na moja ishirini sifuri saba itafanyika katika katika viwanja vya kikosi maalumu cha magereza ukonga
bwana ernest UNK kifungo cha miaka kumi nchini mauritius lakini kutokana na utaratibu wa kubadilishana wafungwa akarejeshwa nchini na kutokana na utaratibu wa kuhesabu saa ishirini na nne kuwa siku mbili UNK kifungo na anatarajia kumaliza kifungo chake agosti mwakani akiwa mwanasheria
kama ilivyokuwa kwa bwana gombela mfungwa huyo ambaye haijulikani alifungwa kwa kosa gani atafanyiwa mahafali ya pekee yake ikiwa ni mwezi mmoja baada ya wahitimu wenzake huru wa sheria kupata shahada zao oktoba ishirini na tisa mwaka huu
akizungumza na waandishi wa habari kamishna mkuu wa magereza bwana augustine nanyaro alisema kuwa mafanikio hayo yametokana na jitihada za urekebishaji wa wahalifu UNK na jeshi la magereza kwa kushirikiana na wadau mbalimbali nchini
dhana ya urekebishaji wa wahalifu UNK program mbalimbali zinazoandaliwa kwa ajili ya wafungwa ili kuwawezesha kubadili tabia ya uhalifu na kurejea kwenye jamii wakiwa raia wema program hizo ni pamoja na mafunzo ya elimu mafunzo ya stadi mbalimbali za ufundi mafunzo ya kiroho na utoaji nasaha kwa mfungwa mmoja mmoja au...
kwa upande wake makamu mkuu wa out profesa tolly mbwete alisema kuwa shahada za wafungwa hao ni mwanzo katika kuwasaidia wafungwa kielimu kutokana na makubaliano maalumu yaliyofanyika baina ya chuo hicho na wizara ya mambo ya ndani kupitia jeshi la magereza
lengo kubwa la makubaliano hayo lilikuwa ni kurekebisha tabia za wafungwa kuwapatia taaluma na ujuzi ili waweze UNK na kuwapatia stadi za kuwawezesha kupambana na maisha baada ya kumaliza kutumikia vifungo vyao na kuwawezesha kutumia muda wao gerezani kwa manufaa zaidi kwa ajili yao na kuwasaidia wafungwa wenzao kujua...
aidha jeshi la magereza linatarajia kujenga maktaba kubwa na ya kisasa ya kujisomea katika gereza la ukonga itakayokuwa ikitumiwa na wafungwa na watumishi wote
kesi ya mauaji ya inayomkabili mgonjwa wa akili bwana devid denge anayetuhumiwa kuwaua wagonjwa wenzake wawili na kuwajeruhi wengine watano ilitajwa tena na mahakama kuelezwa kuwa upelelezi bado haujakamilika hivyo mtuhumiwa kuendelea kuwa rumande
mbele ya hakimu bwana samweli UNK mwendesha mashtaka bwana musa gumbo alisema agosti kumi na moja ishirini sifuri nane katika wodi ya vichaa hospitali ya taifa muhimbili mtuhumiwa aliwaua na kuwajeruhi wenzake kwa kutumia stendi ya kutundikia UNK
kwa mara ya kwanza mshtakiwa huyo alisomewa mashtaka yake agosti kumi na tatu ishirini sifuri nane akiwa ndani ya gari la polisi huku akiwa uchi mshtakiwa huyo aliyeonekana UNK jana aliomba mahakama upelelezi wa kesi yake ukamilishwe haraka
kesi hiyo imeahirishwa mpaka desemba kumi na tano mwaka huu kwa ajili ya kutajwa kwa kuwa mahakama hiyo haina uwezo wa kusikiliza kesi hiyo
jumla ya shilingi bilioni arobaini na tano zinahitajika katika ukarabati wa kiwanja cha ndege cha sumbawanga kilichopo mkoani rukwa ili kukiwezesha kuwa na uwezo wa kuhudumia ndege kubwa aina ya atr arobaini na tatu taarifa iliyotolewa dar es salaam jana na waziri wa miundombinu daktari shukuru kawambwa ilisema gharam...
upembuzi huo ilifanywa na washauri wa kampuni ya fedrick snow and UNK ya uingereza na UNK ya tanzania ambao wamependekeza kuwa kiwanja hicho kitajengwa katika maeneo makuu matano
maeneo hayo ni pamoja na njia ya kurukia kwa kiwango cha lami yenye urefu mita moja mia saba na hamsini na upana mita thebathini kituo cha umeme jengo jipya la abiria viungio vya njia na maegesho ya ndege kubwa na ndogo
changamoto iliyopo sasa ni kwa serikali na mamlaka ya viwanja vya ndege tanzania kutafuta fedha kutoka vyanzo mbalimbali ili kufanikisha UNK shughuli hiyo alisema
naye mwakilishi wa taa mhandisi white majura alisema kuwa kwa sasa shilingi mia mbili na thebathini mia mbili na tisini na sita mia tisa na sabini na nne zimetengwa kwa ajili ya kiwanja cha sumbawanga na mpanda
alifafanua kwamba shilingi milioni hamsini zitatumika kwa ununuzi wa gari aina ya pick up shilingi milioni kumi sifuri zitatumika katika matengenezo ya njia ya kuruka na kutua ndege na shilingi milioni themanini mbili ni gharama za uendeshaji wa viwanja
wakati huo huo daktari kawambwa alisema kuwa serikali itaanza kujenga barabara ya tunduma UNK hadi sumbawanga yenye urefu wa kilomita mia mbili na ishirini na nne tano katika mwaka huu wa fedha
alisema barabara hiyo itajengwa kwa kiwango cha lami kutokana na makubaliano ya kampuni ya millenium challenge account tanzania na kampuni na UNK UNK kutoka UNK
tuna uhakika kufikia kati ya machi na aprili mwaka kesho tutakuwa tumeanza ujenzi wakati huu tupo katika harakati za kumpata mkandarasi
mradi huu UNK na serikali ya marekani kupitia millenium challenge corporation pamoja na serikali ya tanzania alisema
watu wanne wamekufa na wengine ishirini kujeruhiwa sehemu mbalimbali za miili yao katika ajali za barabarani zilizotokea mwishoni mwa wiki
akizungumza na waandishi wa habari jana dar es salaam kamanda wa polisi mkoa wa temeke bwana liberatus sabasi alisema kuwa ajali ya kwanza ilitokea juzi saa saba mchana katika makutano ya barabara ya nyerere na changgombe
katika ajali hiyo gari t mia moja na arobaini na mbili afc aina ya UNK pajero ikiendeshwa na bwana UNK mnyama mkazi wa uwanja wa taifa liligongana na toyota corolla t mia nane na ishirini na tatu UNK lililokuwa likitokea kimara kwenda uwanja wa ndege
alisema kuwa katika ajali hiyo abiria bibi joyce UNK anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka sitini hadi sitini na tano mkazi wa dodoma na mtoto christina wilson umri kati ya miaka miwili na minne walikufa papo hapo na wengine wanne kujeruhiwa
katika tukio lingine kamanda wa polisi wa mkoa wa ilala bwana faustine shilogile alisema kuwa abiria ishirini walijeruhiwa sehemu mbalimbali za miili yao baada ya gari walilokuwa wakisafiria lenye namba za usajili t mia moja na themanini na saba UNK aina ya toyota UNK pick up iliyokuwa ikitokea vingunguti kwenda viwan...
kamanda shilogile alisema kuwa katika ajali hiyo iliyotokea juzi walitibiwa katika hospitali ya amana na kuruhusiwa
madereva wa magari hayo walitoweka na kutelekeza magari katika eneo la tukio
naye msichana mwenye umri wa miaka miaka nane na kumi amekufa papo hapo baada ya kugongwa na gari t mia nane na sitini na saba aina ya toyota corolla iliyokuwa ikiendeshwa na UNK UNK mkazi wa tabata UNK
kamanda shilogile alisema msichana huyo alikuwa akivuka barabara na aligongwa na gari hilo kwa kile kinachodaiwa ni mwendo kasi wa dereva dereva anashikiliwa na polisi wakati maiti imehifadhiwa katika hospitali ya amana
wakati huo huo emmanuel yuda mkazi wa kigogo amekufa papo hapo baada ya kugongwa na gari wakati akivuka barabara ya kigogo kati
kaimu kamanda wa polisi mkoa wa kinondoni sebastian masinde amesema kuwa ajali hiyo ilitokea juzi saa kumi na moja jioni katika maeneo ya kigogo
alisema kuwa gari UNK ni t mia tano na themanini na tisa UNK aina ya scania bus ikiendeshwa na bwana salum sheikh na alikuwa akitokea tabata kuelekea kigogo polisi
mwili wa marehemu umehifadhiwa katika hospitali ya mwananyamala na polisi wanaendelea na uchunguzi juu ya tukio hilo
jeshi la polisi mkoa wa arusha UNK watu sita wanaosadikiwa kuwa majambazi hatari akiwemo raia mmoja wa uganda wanaotuhumiwa kuhusika na tukio la mauaji ya mfanyabiashara wa kampuni ya utalii john justine lililotokea sombetini mjini hapa juzi
pia jeshi hilo limefanikiwa kushika bastola moja aina ya UNK iliyotengenezwa UNK na risasi moja ikiwa imefichwa chini ya godoro huku namba zake zikiwa zimefutwa na kofia moja ya kufunika uso na macho wakati wakifanya uhalifu huo
UNK wa polisi mkoa wa arusha bwana leonard paul aliwataja walikamatwa akiwemo samson james maarufu kwa jina la kababaa wa unga ltd mjini hapa aliyeachiwa huru kwa rufaa mwaka jana baada ya kufungwa miaka thebathini jela mwaka ishirini sifuri tano kwa hatia ya wizi wa kutumia silaha
wengine ni daudi UNK mganda anayeishi wilayani monduli mkoa wa arusha wambura chacha mkazi wa sokoni one na ali ernest mparee mkazi wa UNK mjini moshi mkoani kilimanjaro
hata hivyo hakuwataja majambazi mengine UNK kwa sababu ya UNK
pia jeshi hilo linamtafuta kwa udi na uvumba anayedaiwa kuwa jambazi sugu na ambaye pia anasadikiwa kuachiwa kwa rufaa mwaka jana baada ya kufungwa miaka thebathini mwaka ishirini sifuri tano kwa kupatikana na hatia ya wizi wa kutumia silaha aliyemtaja kwa jina moja la oscar mkazi wa unga ltd mjini arusha
akizungumzia tukio la mauaji ya justine alisema kabla ya mauaji hayo kutokea awali watu wawili walifika nyumbani kwake eneo la sombetini saw UNK na UNK kama yupo na walipojibiwa hayupo waliondoka walirejea tena saa tatu usiku na kumshambulia kwa risasi na kufa papo hapo
walirejea usiku huo wakiwa wengi zaidi na kuutumia mwanya wa shemeji yake justine UNK mlango akienda dukani na kumshambulia kwa na kufa papo hapo kupora simu na shilingi sitini sifuri sifuri sifuri huku UNK matusi ya nguoni alisema kamanda
alisema baada ya tukio hilo walijipanga na kufanya UNK kali iliyofanikisha kumshika kababaa aliyekiri kuhusika katika tukio hilo la mauaji na kuwataja wenzake ambapo aliongoza kikosi maalumu kuwasaka wenzake na kufanikiwa kumnasa mparee mjini moshi
katika tukio jingine jeshi la polisi mkoani hapa kwa kushirikiana na shirika la hifadhi za taifa na mamlaka ya hifadhi ya ngorongoro katika kijiji cha UNK wilayani ngorongoro wamefanikiwa kukamata bunduki aina ya g tatu namba mbili moja tatu sita tatu sifuri saba na risasi kumi na tatu UNK na mtu mmoja aliyetambuliwa ...
serikali ya iran imeidhinisha mpango wa kujenga mitambo kumi ya kurutubisha madini ya UNK licha ya mpango huo kupigiwa makelele na nchi za magharibi
kwa mujibu wa vyombo vya habari vya serikali serikali hiyo UNK shirika UNK nishati ya nyuklia kuanza kazi katika maeneo matano wakati mitambo mingine mitano itaanza kazi katika kipindi cha miezi miwili ijayo
hatua hiyo imetokea siku kadhaa baada ya shirika la umoja wa mataifa la kudhibiti nguvu za atomiki kuikosoa iran kwa kuweka siri mitambo inayohusika na shughuli hizo
ikulu ya marekani white house ilisema hatua hiyo ni mwendelezo wa vitendo vya iran kukiuka majukumu yake bayana huku uingereza UNK taarifa hizo kuwa ni tatizo kubwa na la kusikitisha
uingereza ilisema kuwa hatua hiyo ya iran pia imelenga kuvunja azimio la umoja wa mataifa
kwa kipindi kirefu mataifa ya magharibi yenye nguvu yamekuwa yakisema kuwa iran inataka kujaribu koboresha silaha zake za nyuklia ingawa nchi hiyo imekuwa ikisema kuwa mpango huo ni kwa ajili ya amani
hata hivyo mtambo wa kwanza wa nyuklia ambao unajengwa katika eneo la UNK bado unaendelea na ujenzi huku mitambo mingine ikiwa bado ipo katika michoro ya ramani
inaelezwa kuwa chini ya mpango huo iran itaongeza uzalishaji kutoka tani iliyokuwa ikizalisha miaka iliyopita hadi kufikia uzalishaji wa tani thebathini sifuri kwa kila mwaka
mkurugenzi mtendaji wa taasisi ya mwalimu nyerere bwana joseph butiku amewataka vijana kuondoa mtandao na makundi yaliyopo serikalini ili kujenga nchi inayojali maslahi ya wananchi
akizungumza jana dar es salaam katika kongamano la kujadili mustakabali wa taifa na kumbukumbu ya miaka kumi ya ya kifo cha baba wa taifa hayati julius nyerere alisema kuwa makundi yaliyopo sasa yalianza mwaka elfu moja na mia tisa na tisini na tano katika kikao cha kamati kuu
bwana butiku alisema katika kikao hicho vijana walienda na ilani tofauti ya ccm ambapo walilazimisha maamuzi yao kuliko ya ccm mlianzisha mtandao katika chama chenu na sasa UNK na katika mtandao huo hakuna mzee hata mmoja labda rais kikwete hivyo nendeni muondoe alisema bwana butiku wakati akijibu hoja ya mjumbe wa ha...
unapotaka ubunge UNK una kiasi gani cha fedha badala ya kuulizwa UNK au UNK kuongoza alisema bwana nnauye
katika majibu yake aliyotoa huku UNK bwana butiku alisema mkishindwa kuondoa UNK UNK na UNK kusudi UNK kama mnavyotaka hadi UNK alisema bwana butiku
aliongeza kuwa katika makundi hayo wananchi wengi wamebaki hewani kwa kutojua chanzo chake kutokana na viongozi wengi kutofautiana
alisema kuwa baba wa taifa aliiacha tanzania ikiwa safi ambapo uroho wa mali za baadhi ya viongozi umesababisha nchi kuwa na takataka ambazo haziwezi kuondolewa mapema
hatuwezi kuwa na rais ambaye ni mtumwa tunatakiwa kumsaidia rais kuondokana na matatizo yaliyopo kwa kuwafichua mafisadi na kuwaondoa kabisa katika uongozi UNK rais acheni kupiga majungu alisema bwana butiku
aliongeza kuwa viongozi wanaoleta mpasuko ndio hao wanaogombea pesa za kuleta maendeleo na mali nyingi kwa ajili ya maslahi yao wenyewe
kiongozi huyo alitoa ujumbe kwa wananchi nchi hii ukisema ukweli unaonekana mbaya na unaweza kufukuzwa kazi
ukisema kuwa kiongozi hafai UNK mabaya yake sio kuongea na kuwaacha watu bila suluhisho alisema
bwana butiku amewaomba viongozi wa vyama vya siasa na viongozi wa dini kuungana na kuwafundisha wananchi maadili ili kuyaenzi aliyoacha baba taifa
hoja ya iliyotolewa na katibu wa fedha na uchumi wa chama cha mapinduzi bwana amos makala juu ya mpango wa kufanya harambee ili kukinusuru chama hicho dhidi ya fedha za kifisadi katika uchaguzi mkuu wa mwaka ishirini moja sifuri imekuwa wa msumari moto ndani ya chama hicho
moto wa hoja hiyo umesababisha katibu mkuu wa chama hicho bwana yusuf makamba kujitenga nayo na kulieleza gazeti hili kwa ufupi kuwa jambo hilo aulizwe aliyesema kisha alikata simu huku bwana makala aliyetoa hoja hiyo naye akiweka baya kuwa haikuwa kauli ya chama bali mapendekezo yake binafsi
tayari mpango huo UNK na chama cha wananchi ambacho kimedai kuwa ccm haina ubavu wa kukwepa michango ya matajiri iliyotokana na ufisadi na kwamba kauli hiyo ya bwana makalla ni propaganda za kuwahadaa wananchi ili chama hicho kionekane kinapiga vita ufisadi
taarifa ya cuf iliyokaririwa na gazeti hili jana ilisema mpango huo hautaweza kufanikiwa kwa kuwa miongoni mwa wanachama wa ccm wanatuhumiwa kuhusika katika ufisadi huku wengi wao wakiwa ni viongozi katika halmashauri kuu ya taifa na kamati kuu na hadi sasa hakuna ambaye amevuliwa madaraka au uanachama kutokana na kas...
akizugumza na majira kwa simu jana bwana makala alidai kuwa kauli hiyo aliyoitoa mjini songea yalikuwa ni mapendekezo yake binafsi ambayo UNK katika vikao vya idara ya fedha ambayo yeye ni mkuu wake kwa ajili ya kupitishwa na kupelekwa katika vikao vya juu
alisema baada ya kuwasilisha mapendekezo hayo ndani ya vikao vya idara yake yatapelekwa katika sekretarieti ya kamati kuu na kujadiliwa na baadaye UNK katika vikao vya kamati kuu ambayo kimsingi ndiyo yenye maamuzi ya mwisho katika masuala ya uchaguzi
suala hili ni mapendekezo yangu na wala si kauli ya chama
bado ni nadharia tu niliyosema hata rais wetu jakaya kikwete alishawahi kuyasema kuwa lazima chama UNK kutafuta mapato kwa kutegemea jasho la wanachama badala kutegemea wafadhili
jambo hilo nilizungumza mimi kama makala kwani ni mapendekezo yaliyotoka katika vikao vya idara yangu na sio kama chama
kama ingekuwa imeamuliwa na kamati kuu angezungumza mheshimiwa john chiligati na hata UNK mheshimiwa mkamba UNK kwani litakuwa limezungumzwa katika vikao vya maamuzi alisema katika mapendekezo yake juu ya mpango huo alipendekeza njia tatu michango ya UNK wenyewe harambee itakayofanyika katika ngazi ya taifa hadi wilay...
alisema mbinu hizo zinaweza kufanikiwa kwa kuwa chama hicho kina wanachama zaidi ya milioni nne hivyo kama kila mwanachama UNK shilingi hamsini sifuri UNK shilingi bilioni mbili na iwapo watachanga shilingi moja sifuri sifuri sifuri kwa kila mwanachama UNK shilingi bilioni nne hata hivyo bwana makalla UNK juu cuf kuwa...
cuf UNK sauti kwa hoja dhaifu ccm inajivunia ushindi mkubwa wa asilimia themanini na tano wa serikali za mitaa na wanachama wake wanaozidi milioni nne mpango huu UNK kuchangisha fedha unawatia hofu cuf na wasioitakia mema ccm alisema na kuongeza tunasema mpango huu ni mzuri wenye uwazi na vyanzo safi vya kupata fedha
kauli ya cuf inatutia nguvu kwani mwanamapinduzi wa china mao tsetung aliwahi kusema ukiona adui yako UNK jambo ujue hilo ni hatari liache mara moja lakini ukiona adui yako anabeza jambo hilo ni jema UNK
kwa kuwa cuf wamebeza jambo hili ni jema na pigo kwa cuf na wote UNK mema ccm tanzania imesaini mkataba ushirikiano wa biashara ya pamoja na hong kong ili kuwasaidia wakulima wa chai na kahawa ili waweze kuzalisha wa wingi na kuweza kusaidia kukuza uchumi
akizungumza jana katika hafla ya kusaini mkataba huo UNK wa bodi biashara ya nje bwana khalfan ramadhani alisema wafanyabiashara wa mazao ya chai wajitahidi kuhudhuria maonesho hayo yatakayofanyika machi mwakani
wachina UNK zaidi ya mara sita lakini tutumie njia hii kujifunza jinsi wanavyofanya biashara na mataifa mengine bodi ya biashara ya nje ipo tayari kuwasaidia watakaojitokeza kuhudhuria maonesho hayo alisema bwana UNK alisema watanzania wanatakiwa kufanya biashara ya kujinufaisha na kulinufaisha taifa ambapo wengi wao ...
naye msaidizi wa mkurugenzi mkuu wa baraza la maendeleo la biashara hong kong bwana raymond yip alisema kuwa mkataba huo utasaidia kuongeza pato la taifa kutokana na kilimo kuwa na umuhimu katika ukuaji wa uchumi
alisema ushirikiano wa biashara kati ya tanzania na hong kong umesaidia tanzania kupata dola za marekani milioni arobaini na tisa ikilinganishwa na uganda iliyopata dola za marekani milioni kumi na nane bwana yip aliwataka watanzania kujitokeza kushiriki maonesho hayo ili kupata kujifunza jinsi ya kutengeneza bidhaa n...
tbl ambayo UNK katika soko la hisa la dar es salaam ina jumla ya hisa mia mbili na tisini na nne mia tisa na ishirini na nane mia nne na sitini na tatu zilizouzwa huku kila hisa ikiuzwa kwa shilingi moja mia saba na sitini hadi kufikia mwanzoni mwa wiki hii na mtaji wake katika soko ni bilioni mia tano na kumi na tisa...
mkurugenzi wa tbl bwana robin UNK anaamini kwamba kukua kwa faida kumetokana na kukua kwa ukubwa wa soko la bidhaa za tbl nchini pamoja na kuongezeka kwa bei ya bidhaa
kampuni yetu imeendelea kujikita katika kupanua uzalishaji ili kuendana na ukuaji wa mahitaji ya bidhaa zetu alisema katika taarifa yake
alisema kwa nusu ya kwanza ya mwaka huu kampuni yake imewekeza kiasi cha shilingi bilioni hamsini na saba huku nyingine shilingi bilioni hamsini na tano zikiwa zimepangwa kutumiwa katika nusu ya pili ya mwaka unaoishia machi ishirini moja sifuri na makumba mwemezi mwili wa aliyekuwa wakili katika kesi ya abdallah zomb...
akizungumza nyumbani kwa marehemu dar es salaam jana msemaji wa familia bwana UNK wilson alisema awali walitarajia kusafirisha mwili wa marehemu kesho ambapo UNK jumapili lakini kutokana na ndege kujaa wamepangiwa aprili ishirini na nane ambapo ndege itafika nchini aprili thebathini alisema taratibu za mazishi zinaend...
marehemu maira ndiye aliyekuwa wakili katika kesi inayomkabili aliyekuwa kaimu kamanda wa polisi mkoa wa dar es salaam ambapo anatuhumiwa kuwaua wafanyabiashara wa madini kutoka mahenge morogoro pamoja na dereva teksi wa dar es salaam