text stringlengths 1 1.32k |
|---|
mimi UNK kwa bwana paulo UNK na ndugu yake wa arusha UNK mzigo wake kutoka arusha nilipofika kiteto nikapata taarifa kuwa ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana alisema |
alisema baada ya kwenda kijijini hapo alizungumza na watu mbalimbali wakiwepo majirani ambao walisema marehemu kabla ya kifo chake aliishi kwa mashaka na watu na siku mbili kabala ya kifo chake nyumba yake ilipigwa mawe nyakati za usiku na watu wasiojulikana |
kwa upande wake afisa elimu wa wilaya ya kiteto bwana emmanuel mwagala alisema amesikitishwa na kifo cha mwalimu huyo na kumwelezea kuwa alikuwa UNK na mzoefu wa kazi |
timu ya taifa ya tanzania bara kilimanjaro stars jana ilianza vibaya michuano ya chalenji baada ya kufungwa bao mbili sifuri na timu ya taifa ya uganda the cranes katika mechi kali iliyopigwa saa kumi jioni kwenye uwanja wa mumias |
wakati kilimanjaro stars ikiangukia pua ndugu zao wa zanzibar zanzibar heroes walianza vyema michuano hiyo baada ya kubamiza uganda mabao nne sifuri katika mechi iliyochezwa saa nane mchana katika uwanja huo |
bao la kwanza la uganda lilipatikana katika dakika ya pili ambalo liliwekwa kimiani na owen UNK baada ya kuunganisha mpira wa adhabu uliopigwa na UNK god |
baada ya kilimanjaro stars kufungwa bao hilo ilikuja na kulishambulia goli la wapinzani wake dakika za kumi na moja ishirini na moja na thebathini na mbili lakini UNK wake john boko kigi makasy na danny mrwanda walishindwa kufunga baada mipira kuokolewa na mabeki wa uganda |
hata hivyo kilimanjaro stars ilipata pigo dakika thebathini na saba baada ya beki wake juma nyoso kutolewa kwa kadi nyekundu baada ya kuunawa mpira makusudi wakati awali alikuwa na kadi ya njano |
uganda UNK tamaa kilimanjaro stars baada ya kufunga bao la pili katika dakika ya themanini na nane lililofungwa na mike UNK baada ya kuunganisha mpira wa adhabu |
kipindi cha pili ilifanya mabadiliko ambapo makassy shaban nditi na boko na wakaingia mrisho ngassa henry joseph na jerrison tegete ambao kwa kiasi kikubwa walibadilisha hali ya mchezo |
katika mechi iliyopigwa saa nane mchana zanzibar heroes ilianza UNK bao lake la kwanza katika dakika ya kumi na sita lililofungwa na thomas moris baada ya kuunganisha kona iliyochongwa na nadir haroub canavaro bao la pili la zanzibar lilipatika dakika ya kumi na nane baada ya mchezaji wa burundi UNK hassan kujifunga a... |
katika dakika ya ishirini na tano suleiman kassim aliipatia zanzibar bao la tatu baada ya kupokea pasi ya hassan seif na bila ajizi UNK mpira kimiani na kuifanya zanzibar heroes kwenda mapumziko ikiwa mbele kwa mabao tatu sifuri zanzibar heroes ilifunga karamu ya magoli katika dakika ya sitini na sita ambapo beki wa t... |
na mwandishi wetu rais wa zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi daktari amani abeid karume ametuma ujumbe rasmi wa serikali ya mapinduzi zanzibar kwenda mombasa kenya kushughulikia mazishi ya watu waliokufa kwenye ajali ya jahazi la amana wakati wakisafiri kutoka tanga kwenda pemba hivi karibuni |
taarifa ya ikulu ya zanzibar iliyotolewa jana kwa vyombo vya habari na mwandishi wa habari wa rais karume bwana rajab UNK ilisema kiongozi huyo alipokea kwa mshtuko na huzuni kubwa taarifa ya vifo vya wananchi hao |
wananchi hao wanahofiwa kufa maji baada ya jahazi hilo kuwaka moto na kuzama katikati ya bahari ya hindi |
maiti wachache UNK na kuna taarifa miili zaidi inayosadikiwa ni ya abiria wa jahazi hilo imepatikana shimoni UNK |
ujumbe wa smz unaongozwa na mawaziri wawili akiwemo waziri wa afya na ustawi wa jamii bwana sultan mohamed UNK waziri wa nchi ofisi ya waziri kiongozi bwana hamza hassan na daktari mmoja kushughulikia masuala hayo pamoja na mazishi ya maiti UNK |
rais karume alisema tukio hilo ni msiba mkubwa kwa wananchi wote wa zanzibar |
ametoa rambirambi kwa wafiwa na kumuomba mwenyezi mungu UNK waliofariki na awape UNK wanafamilia ndugu jamaa na marafiki wa marehemu |
tayari smz ilishapeleka maofisa wake kushughulikia maafa hayo mjini tanga ambapo walitarajiwa kuonana na walionusurika na majeruhi na kuwapatia msaada UNK |
kampuni ya simu ya zain imezindua huduma mpya ya mtandao wenye vifungu vidogo vidogo vya mahitaji vinavyokidhi wateja mbalimbali wa malipo ya awali na UNK |
kuzinduliwa kwa huduma hiyo kunatokana na muunganisho wa zain kwenye mkonga wa seacom UNK ambao ulizinduliwa hivi karibuni na zain ilikuwa ya kwanza kuunganishwa |
akizungumza na waandishi wa habari dar es salaam wakati wa uzinduzi huo meneja masoko bwana costantine magavilla alisema huduma hiyo itawasaidia wateja kupata taarifa mbalimbali kama mziki mpira na kuwasiliana na ndugu kwa njia intaneti kwa gharama nafuu |
tumeamua kuzindua huduma yenye vifungu vya maneno mbalimbali itakayowawezesha wateja kutumia mtandao mahali popote tanzania kwa bei rahisi zaidi na kutokana na wigo wa zain nchini asilimia kubwa ya watanzania watafaidika alisema |
bwana magavilla alifafanua kwamba ili kupata huduma hiyo unatakiwa kutuma ujumbe kati ya kifungu kimoja cha neno kwenda namba mia mbili na thebathini na tatu kwa wateja wa malipo ya kabla kutoka kwenye simu zao za huduma na wateja wa baada watawasiliana na idara ya mauzo na UNK na huduma hiyo ambayo kwa mwezi ni shili... |
umoja wa wanawake wa wilaya ya ilala jijini dar es salaam umezindua chama cha kukopa na kuweka ya wilaya hiyo kwa ajili ya kuinua kipato cha wanawake ikiwa ni pamoja na kujiajiri wenyewe |
akizungumza katika uzinduzi huo hivi karibu mbunge wa viti maalum mkoa wa dar es salaam bibi janeth massaburi alisema wanawake wajasiriamali wa mkoa wa dar es salaam hawana budi kujiunga na kuanzisha saccos yao ili waweze kujulikana na kupatiwa mikopo yenye masharti nafuu |
alisema dar es salaam kuna wanawake wengi wajasiriamali hivyo wakitumia vyema nafasi walizonazo wanaweza kujitangaza kwa kupitia katika saccos au vikundi mbalimbali ili waweze kufahamika serikalini na kupatiwa mikopo yenye masharti nafuu |
naomba nitoe mwito kwa wanawake wote nchini pamoja na vijana wajasiriamali kujiunga na saccos au vikundi mbalimbali vya uzalishaji mali ili iwe rahisi kupatiwa mikopo yenye gharama nafuu na serikali alisema bibi UNK |
alisema serikali haina uwezo wa kupita kwa mtu mmojammoja na kumpatia mkopo hivyo suluhisho ni kuanzisha saccos ili wapate mkopo kwa urahisi |
alisema kuwa pia amekubali maombi ya UNK ya kuwapatia kompyuta yenye thamani ya shilingi milioni moja tatu pamoja na kuwatoa semina inayohusu kilimo cha uyoga kwa ajili ya kuwatengenezea mazingira ya kufanya biashara mbalimbali |
benki ya wananchi wa dar es salaam imesema itazidi kutoa huduma ya mkopo ya fedha kwa walengwa ambao ni wafanyabiashara wenye mitaji midogo ili kukidhi haja yao ya kuwa na miradi mikubwa |
akizungumza hivi karibuni katika mafunzo ya UNK kwa wananchi UNK masharti ya mikopo dar es salaam meneja wa dcb tawi la tabata wilaya ya ilala bwana badru ahmed alisema benki hiyo itaendelea kuwakopesha wateja wake kwa masharti nafuu |
bwana ahmed alisema kwa sababu ya kuwa na mitaji midogo baadhi ya wafanyabiashara wamekuwa wakikimbia kulipa kodi ya mapato hivyo kupitia benki ya dcb UNK masharti ya kujiunga na urejeshaji kwa riba nafuu yenye ambayo ni asilimia mbili nne kwa mwezi huku mkopaji akibaki na akiba isiyopungua shilingi mia moja na hamsin... |
wakopaji hao wanatakiwa kuwa wakazi wa dar es salaam ambao wanafahamiana kuaminiana kuheshimiana kuishi jirani na wawe wafanyabiashara ambao kwa hiari yao wenyewe wamekubaliana kuunda kikundi cha watu watano pia waunde ofisi yao nasi UNK shilingi laki tano alisema bwana ahmed |
bwana ahmed alisema benki ya dcb inafanya biashara kwa kuzungusha pesa ya wananchi ambapo UNK fedha wananchi baada ya wakopaji wa mwanzo UNK |
aliongeza kuwa kabla ya kukopeshwa fedha hizo lazima mkopaji awe UNK mafunzo ya mikopo yanayoendeshwa na benki hiyo mara moja kwa kila wiki kwa saa moja |
kwa saa moja |
bwana ahmed alisema benki yao ina matawi manne katika mkoa wa dar es salaam ambayo ni tawi la UNK eneo la mnazi mmmoja magomeni temeke na tabata lengo kuu ni kufanikisha biashara za wajasiriamali wadogo wanafanikisha kukua kwa biashara zao |
na edmund mihale kampuni ya upatu ya deci imeanza kuandikisha majina ya washiriki wanaopaswa kulipwa ambao waliwekeza kwa mara ya kwanza |
kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa juzi washiriki walioweka fedha mwezi huu walitakiwa kujiandikisha jana na kuchukua fedha zao aprili ishirini na tano walioweka mwezi uliopita walitakiwa kujiorodhesha leo hadi aprili ishirini na nne watachukua fedha zao aprili ishirini na saba hadi thebathini na waliopanda februari wal... |
ratiba hiyo inaonesha walioweka fedha januari ishirini sifuri tisa walitakiwa kujiorodhesha mei moja na mbili na nne hadi sita na kuchukua fedha zao mei nane hadi kumi na mbili waliopanda desemba ishirini sifuri nane walitakiwa kujiandikisha mei saba hadi tisa na mei kumi na moja hadi kumi na mbili mwaka huu na kuchuk... |
wapo baadhi ya washiriki ambao wameanza kufikiria kuchukua sheria kutokana na kampuni hiyo UNK juu ya utaratibu huo mpya |
mwenyekiti wa kamati ya dharura mchungaji isaac kalenge alisema jana kuwa tayari wameshafanya mazungumzo na kampuni ya uwakili ya brilliance law chamber ili kuishitaki kampuni hiyo kutokana na kukatisha mkataba wa na kushindwa kulipa fedha zao |
hatutakubaliana na uongozi wa deci lazima utueleze ni kwa nini umefanya hivi |
haya si makubaliano yetu tuliambiwa kuwa tutapanda mbegu na tutavuna zaidi ya mara tatu lakini leo UNK lazima fedha hizi zirudi alisema mchungaji kalenge |
mmoja wa wafanyakazi wa kampuni hiyo alisema uamuzi huo umetokana na kukosa fedha za kuwarudishia washiriki hao kutokana na kutokuwa na upandaji baada ya kusimamishwa na serikali |
kwa hili kaka kama umepanda na UNK mara moja tu itakuwa imekula kwako hivyo hutakiwi UNK |
hapa tunapokea watu ambao wamepanda na hawakuwahi kuvuna hata mara moja alisema mfanyakazi huyo wa kike |
hata hivyo chanzo ndani ya kampuni hiyo kimesema watu na taasisi mbalimbali za kidini tayari wameanza kurudishiwa mbegu walizopanda licha ya kuwa walishawahi kuvuna zaidi ya mara moja |
makanisa mawili tayari UNK shilingi milioni mia mbili na sitini wengine ni maaskofu kutoka makanisa mbalimbali ya kipentekoste |
chama cha wasafirishaji wa bidhaa nje ya nchi kimeitaka serikali kutoa mianya ya kuwawezesha wajasiriamali nchini kupata mikopo ili waweze kuendesha shughuli zao kiufasaha katika kukabiliana na tatizo la umasikini |
hayo yalisemwa jana dar es salaam na mwenyekiti wa sekta binafsi nchini bwana aloyce mwamanga wakati akifungua mkutano wa siku moja kwa wanachama hao na wadau mbalimbali wa biashara na masoko |
bwana mwamanga alisema kwa sasa wajasiriamali wengi nchini wanashindwa kuendelea kwa kutekeleza vizuri majukumu ya kazi zao kwa kukosa mahitaji wanayokuwa wanaomba kutoka katika mabenki |
kama serikali hii ina lengo la kuona maendeleo ya kila namna yanapatikana inatakiwa kuhakikisha kwanza inapunguza kiasi cha riba kinachotozwa na benki za biashara hapa nchini pindi mtu anapotaka kupewa mkopo UNK bwana UNK |
alisema kuwa kinachoonekana katika benki nyingi hapa nchini nafasi ya kupewa mikopo kwa wajasiriamali ni ndogo na yenye usumbufu mkubwa ambapo UNK watu na vikundi vingi kushindwa kutimiza malengo yao kwa kukosa mitaji |
kwa upande wake mwenyekiti wa UNK bwana isaack UNK alisema tatizo linalowafanya wajasiriamali wengi kushindwa kufikia malengo yao ni kutokana na ukiritimba uliotawala katika benki nyingi hapa nchini |
alisema kuwa kama serikali ina nia ya kuona wanaendelea haina budi kuanzisha chombo kitakachokuwa UNK moja kwa moja matatizo yao |
alisema kuwa hali hiyo ndiyo pekee itakachokifanya chama hicho na wajasiriamali kupiga hatua zaidi katika jitihada za kukuza uchumi wa nchi hii ambapo kwa sasa bado unasuasua |
taasisi ya kupambana na kuzuia rushwa imekiri kukithiri na kuongezeka kwa vitendo vya rushwa nchini na sasa taasisi hiyo imeamua kutumia wasanii ili kuhamasisha wananchi kuepuka vitendo hivyo ambavyo ni hatari kwa maendeleo ya nchi na jamii kwa ujumla |
akizungumza na wawakilishi wa wasanii jijini dar es salaam mwishoni mwa wiki mwakilishi wa mkurugenzi wa elimu kwa umma takukuru makao makuu bwana jonathan semiti alisema wasanii wakitumiwa ipasavyo kuelimisha jamii kuhusu athari za rushwa jamii inaweza kuhamasika na kuachana na vitendo vya kutoa na kupokea rushwa |
bwana semiti alisema takukuru kwa kutambua uwezo na nguvu ya wasanii katika kuelimisha jamii imeamua kuwapa mafunzo ili wajue wajibu wao na namna ya kuzungumzia rushwa kisanii wakiamini jamii inaweza kuelewa kwa haraka zaidi na kubadilika kwa haraka |
mmoja wa viongozi kutoka baraza la sanaa tanzania bwana denis mango alisema wasanii kwa kutumia sanaa zao wanaweza kuliwezesha taifa kushinda vita dhidi ya mapambano ya rushwa kwani nguvu yao ni kubwa katika kuhamasisha jamii kulielewa kwa haraka na wepesi zaidi |
bwana mango alisema sanaa ina uwezo mkubwa wa kuigeuza jamii katika jambo lolote lile na kwamba lugha yake huwa nyepesi kueleweka hivyo endapo wasanii UNK vizuri katika mapambano hayo ya rushwa akasema ushindi wa kweli UNK |
naye mmoja wa waelimishaji kutoka takukuru makao makuu bibi renalda UNK aliwambia wasanii hao kuwa wajibu wao katika mapambano dhidi ya rushwa ni kuhamasisha na kuelimisha jamii kuhusu athali za rushwa na madhara yake |
bibi renalda aliyataja baadhi ya madhara ya rushwa kuwa ni pamoja na wananchi kukosa imani na viongozi wao ukosefu wa huduma za jamii kuchaguliwa kwa viongozi wasiofaa pato la taifa kupungua kuwepo kwa matabaka ya watu kuongezeka kwa maambukizi ya vvu nchi kuendelea kuwa maskini na uovu kuongezeka |
bibi renalda aliyataja baadhi ya makosa ya rushwa kuwa ni pamoja na hongo rushwa katika mikataba rushwa katika manunuzi na zabuni rushwa katika minada rushwa katika ajira kutumia nyaraka kumdanganya mwajiri kumiliki mali zisizolingana na kipato ufujaji na udanganyifu UNK wa mali ya umma kushiriki na kusaidia kutenda u... |
katika hatua nyingine msanii maarufu na wa siku nyingi anayejulikana kwa jina la kisanii mhogo mchungu aliomba idara na taasisi za serikali na zisizo za serikali hasa jeshi la polisi kuwapa ushirikiano wasanii watakapoingia vitani kupambana na rushwa ambaye alisema ili kumtokomeza lazima apigwe kama nyani bila kumtaza... |
utafiti uliofanywa na taasisi ya ustawi wa jamii kwa wanafunzi wa elimu ya juu umebaini kuwapo kwa ongezeko kubwa la maambukizi ya virusi vya ukimwi unaochangiwa na hali ngumu ya maisha inayowakabili wawapo katika mazingira ya shule |
utafiti huo ulifanyika julai mwaka huu na kubaini kuwapo kwa ufahamu mdogo wa namna ya maambukizi hayo ya virusi vya ukimwi ikiwa ni pamoja na kuendelea kuwapo kwa unyanyapaa kwa watu wanaogundulika kuwa na virusi miongoni mwao |
hayo yalisemwa na mratibu wa maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani bwana daud chanila wakati kizungumza na waandishi wa habari hivi karibuni dar es salaam kuhusiana na siku hiyo |
UNK kilele cha maadhimisho hayo bwana chanila alisema kuwa kuna haja ya watu kutambua kuwa ukimwi ni hali ya kuwa na mchanganyiko wa magonjwa mengi mwilini na hivyo UNK na unyanyapaa |
bwana chanila alisema kuwa katika kuhakikisha wanapambana na maambukizi ya virusi vya ukimwi taasisi hiyo kwa kushirikiana na kituo kimoja cha ushauri nasaha wameunda na kuandaa sera ya ukimwi ya taasisi hiyo yenye kupinga maambukizi zaidi ya virusi |
tuna kituo cha ushauri nasaha ubao wa matangazo ya ukimwi lakini kubwa ni kuwafundisha vijana na waajiriwa juu ya uelimishaji rika alisema na kuongeza kuwa huo ni mkakati kamambe wa kupiga vita maambukizi zaidi ya vvu alisema |
mkuu wa mkoa wa shinyanga daktari yohana balele ameagiza kukamatwa mara moja kwa mwenyekiti wa serikali ya kijiji cha kisesa wilayani meatu baada ya kutajwa kuwa ni miongoni mwa wanaotuhumiwa kwa wizi wa vifaa vya ujenzi wa sekondari moja ya kata |
mwenyekiti anayetuhumiwa kwa wizi wa vifaa hivyo alitajwa kuwa ni bwana sasa kishola ambaye awali alikuwa ndiye mwenyekiti wa kamati ya ujenzi wa sekondari ya kata hiyo ya kisesa kabla ya kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa kijiji kwa tiketi ya chama cha mapinduzi oktoba ishirini na tano mwaka huu |
daktari balele aliyekuwa ametembelea kata hiyo wiki iliyopita kusikiliza kero zinazowakabili wananchi alitoa agizo la kukamatwa kwa kiongozi huyo baada ya kusikiliza malalamiko yaliyotolewa na wananchi wakidai wamegoma kuchangia shughuli za maendeleo baada ya watuhumiwa hao kutochukuliwa hatua zozote za kisheria |
mheshimiwa mkuu wa mkoa kweli huko nyuma tulikuwa tunachangia sekondari yetu bila matatizo lakini hivi sasa tumegoma baada ya kukamata wezi wa vifaa vya ujenzi shuleni hapo lakini waliachiwa na mpaka leo hawajachukuliwa hatua zozote zile alieleza mmoja wa wakazi wa kata hiyo bwana nyasama adamu |
kutokana na maelezo hayo daktari balele alimtaka bwana adamu kuwataja wahusika wa wizi huo ambapo katika hali isiyokuwa ya kawaida alimtaja kwanza mwenyekiti wa serikali ya kijiji aliyekuwa amekaa meza moja na daktari balele pia watu wengine watatu ambao alisema awali walikamatwa na kuachiwa bila maelezo |
bwana adamu alivitaja vifaa vilivyoibwa katika shule hiyo na kukamatwa katika nyumba ya mmoja wa watuhumiwa hao kuwa ni pamoja na bati thebathini na tatu za geji ishirini na nane nyavu za madirisha na vyuma vya kutengenezea madawati ambavyo mpaka sasa vipo palepale vilipokamatiwa |
nakubaliana nanyi kuwa hilo ni tatizo sasa naagiza wahusika wote wakamatwe kwa kuanzia na aliyekuwa mwenyekiti wa kamati ya ujenzi na wafikishwe katika vyombo vya sheria ili ukweli ubainike na mimi nitaleta tume ya kuchunguza matumizi ya fedha zenu kama zimeliwa na wahusika wataliwa na sheria alieleza daktari balele |
mkuu wa mkoa wa shinyanga daktari yohana balele ameagiza kukamatwa mara moja kwa mwenyekiti wa serikali ya kijiji cha kisesa wilayani meatu baada ya kutajwa kuwa ni miongoni mwa wanaotuhumiwa kwa wizi wa vifaa vya ujenzi wa sekondari moja ya kata |
mwenyekiti anayetuhumiwa kwa wizi wa vifaa hivyo alitajwa kuwa ni bwana sasa kishola ambaye awali alikuwa ndiye mwenyekiti wa kamati ya ujenzi wa sekondari ya kata hiyo ya kisesa kabla ya kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa kijiji kwa tiketi ya chama cha mapinduzi oktoba ishirini na tano mwaka huu |
daktari balele aliyekuwa ametembelea kata hiyo wiki iliyopita kusikiliza kero zinazowakabili wananchi alitoa agizo la kukamatwa kwa kiongozi huyo baada ya kusikiliza malalamiko yaliyotolewa na wananchi wakidai wamegoma kuchangia shughuli za maendeleo baada ya watuhumiwa hao kutochukuliwa hatua zozote za kisheria |
mheshimiwa mkuu wa mkoa kweli huko nyuma tulikuwa tunachangia sekondari yetu bila matatizo lakini hivi sasa tumegoma baada ya kukamata wezi wa vifaa vya ujenzi shuleni hapo lakini waliachiwa na mpaka leo hawajachukuliwa hatua zozote zile alieleza mmoja wa wakazi wa kata hiyo bwana nyasama adamu |
kutokana na maelezo hayo daktari balele alimtaka bwana adamu kuwataja wahusika wa wizi huo ambapo katika hali isiyokuwa ya kawaida alimtaja kwanza mwenyekiti wa serikali ya kijiji aliyekuwa amekaa meza moja na daktari balele pia watu wengine watatu ambao alisema awali walikamatwa na kuachiwa bila maelezo |
bwana adamu alivitaja vifaa vilivyoibwa katika shule hiyo na kukamatwa katika nyumba ya mmoja wa watuhumiwa hao kuwa ni pamoja na bati thebathini na tatu za geji ishirini na nane nyavu za madirisha na vyuma vya kutengenezea madawati ambavyo mpaka sasa vipo palepale vilipokamatiwa |
nakubaliana nanyi kuwa hilo ni tatizo sasa naagiza wahusika wote wakamatwe kwa kuanzia na aliyekuwa mwenyekiti wa kamati ya ujenzi na wafikishwe katika vyombo vya sheria ili ukweli ubainike na mimi nitaleta tume ya kuchunguza matumizi ya fedha zenu kama zimeliwa na wahusika wataliwa na sheria alieleza daktari balele |
mkuu wa mkoa wa mbeya bwana john mwakipesile jana alikuwa mbogo kwa wakandarasi wanaokarabati barabara za jiji hilo na kuwaeleza kuwa hazina kiwango bali kinachofanyika ni wizi wa fedha za serikali zinazotolewa na wavuja jasho |
msimamo huo aliutoa juzi wakati wa kikao cha kamati ya bodi ya barabara mkoa wa mbeya baada ya kupokea taarifa ya ujenzi na ukarabati wa barabara za jiji lakini yeye akahoji ubora wake kutokana na kuonekana hazina viwango vinavyotakiwa |
katika kikao kilichopita UNK ile barabara inayokwenda kwangu uzunguni itaonekana vema baada ya miezi sita lakini cha ajabu hadi sasa hakuna kilichofanyika pale na kinachoonekana ni wizi mtupu wenye ufisadi tena UNK mbele ya macho yangu alisema |
alisema kuwa inasikitisha kuona fedha za serikali UNK bila ya kuheshimiwa katika ujenzi wa barabara mbovu kama hizo na kisha watalaamu wa jiji UNK na kuona kuwa ni halali hivi ninyi hamuoni jinsi ambavyo barabara ile UNK na kiwango na hata asiyejua utalaamu huo anaweza kutambua kuwa hapo kuna wizi alisema |
alipotakiwa kufafanua kaimu mhandisi wa jiji bwana masalu UNK alisema kuwa wawe na subira kwa kuwa mtindo wa ukarabati wa barabara hizo matokeo ya ubora huonekana mwishoni |
alisema kwa sasa mtu UNK anaweza kusema kuna wizi mkubwa unaofanyika kutokana na kuonesha vumbi lakini wao kama watalaamu UNK onyo hilo la bwana mwakipesile wanalifanyia kazi kwa maslahi ya mkoa wa mbeya |
pia bwana mwakipesile alionya tabia ya wakala wa barabara nchini kupenda kufanya kazi wilayani bila ya kuwashirikisha wahandisi wa wilaya ambapo alisema kuwa wao ndio wenyeji na hivyo kinachotakiwa ni kuhakikisha wanawapa heshima yao |
afisa wa polisi kutoka makao makuu ya polisi dar salaam sp mshumbusi amepewa siku saba askari mwenye cheo cha UNK na |
e elfu sita na mia saba na sitini na saba pc mesiaki kumlipa shilingi milioni hamsini sifuri kwa kumwambia ni mgonjwa wa akili na kampuni ya mawakili ya kimale mjini arusha kuanzia tarehe ishirini na nne novemba ishirini sifuri tisa kujibu tuhuma za kumwambia askari polisi akizungumza na gazeti hili pc mesiaki alisema... |
UNK sana afisa huyu kuniambia kuwa ni mgonjwa wa akili hivyo nimeamua kulifuatilia suala hili kisheria |
anapaswa UNK fidia ya shilingi milioni hamsini sifuri kwa UNK kutokana na kauli yake hiyo alisema pc UNK |
tayari kampuni ya uwakili ya kimale ya mjini arusha imetoa notisi ya siku saba kuanzia novemba ishirini na nne ishirini sifuri tisa kumtaka afisa huyo wa polisi kumlipa mlalamikaji kiasi hicho la sivyo atafikishwa mahakamani |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.