text
stringlengths
1
1.32k
gazeti hili lilipowasiliana na sp UNK kuhusiana na shutuma hizo alidai yeye si msemaji wa suala hilo bali aulizwe kamanda wa polisi mkoani arusha na yeye hawezi kusema lolote kwa chombo cha habari kuhusiana na suala hilo
kaimu kamanda wa UNK mkoani hapa bwana leonard paul alisema kuwa hawezi kusema lolote kwani suala hilo ni mambo ya ndani ya jeshi
kampuni ya uwekezaji ya chama cha wafanyabiashara wenye viwanda na kilimo UNK saini ya mkataba wa kibiashara na chama cha pamoja cha wafanyabiashara cha comoro kuuziana mazao ya kilimo ikiwa ni moja ya njia za kutekeleza adhma ya kilimo kwanza
hatua hiyo ya kutiliana saini ilifanyika mwishoni mwa wiki jijini dar es salaam kati ya kaimu mwenyekiti wa kampuni ya tccia investiment ltd kwa upande wa tanzania bwana gideon kaunda na mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya pamoja ya wafanyabiashara wa comoro bwana said chaihane
akizungumza katika hafla hiyo bwana kaunda alisema tukio hilo la kutiliana saini ya kibiashara ya mazao ya kilimo ni la kihistoria baina ya nchi hizo mbili na lengo kubwa ni kutekeleza adhma ya falsafa ya kilimo kwanza
tukio hili ni la kihistoria baina yetu na comoro na kwamba lengo kubwa ni kufanya biashara inayotekeleza UNK ya falsafa ya kilimo kwanza alisema bwana kaunda
bwana kaunda alisema kuwa mkataba huo UNK milango ya kibiashara kati ya nchi hizo mbili na kwamba hiyo ni fursa pekee kwa wakulima wafanyabiashara kutumia fursa hiyo kuuza mazao ya kilimo
alisema mazungumzo ya kuanza kufanya biashara ya mazao ya kilimo na comoro yalianza muda mrefu kutokana na ziara za kibiashara zilizofanywa na kampuni hiyo na ndipo UNK hiyo ya kibiashara
bwana kaunda alisema licha ya kusaini mkataba huo tayari kampuni hiyo ya comoro imeagiza tani zaidi ya sita za vitunguu kwa kuanzia ikiwa kama ishara ya kufungua milango ya kibiashara hasa mazao yatokanayo na kilimo
aliwataka wanachama wa tccia investiment ltd kuchangamkia fursa hiyo ya kibiashara ikiwa ni pamoja na kuwasiliana na kampuni hiyo ili kutambua fursa za kibiashara zilizopo na kuongeza uzalishaji wa mazao ya kilimo ili kukidhi haja ya mahitaji ya bidhaa za kilimo
naye bwana UNK alisema mkataba huo ni sehemu tu ya kufungua milango ya kibiashara baina ya tanzania na kwamba lengo kuu ni kuongeza mahusiano ya kibiashara baina ya nchi hizo mbili
huu ni mwanzo tu bali tunapenda kuongeza mahusiano zaidi ya kibishara kati yetu na tanzania na lengo letu ni kuongeza mahusiano na kuunga mkono juhudi ya serikali ya tanzania katika falsafa ya kilimo kwanza na kwa kutambua hili tumeamua kuanza kufanya biashara ya mazao ya chakula alisema bwana chaihane
afisa mtendaji mkuu wa tccia investiment co
ltd bwana donald UNK alisema hii ni hatua ya awali tu ya kibiashara na kwamba kwa upande wao wamejiandaa vya kutosha kukidhi mahitaji ya bidhaa za kilimo huko UNK
na mwandishi wetu wakili moses maira aliyekuwa akimtetea ofisa wa zamani wa upelelezi wa makosa ya jinai mkoani dar es salaam bwana abdallah zombe anayekabiliwa na kesi ya mauaji ya wafanyabiashara wa madini wa mahenge morogoro na dereva teksi wa dar es salaam amefariki dunia
taarifa ambazo gazeti hili lilizipata jana jioni zilieleza kuwa wakili hiyo maarufu UNK na mauti hayo akiwa nje kwa matibabu
akizungumza na gazeti hili jana jioni kwa njia ya simu wakili mwenzake na rafiki yake bwana mabere marando alithibitisha kutokea kwa kifo hicho
bwana marando alisema bwana maira alifariki usiku wa kuamkia jana mjini houston marekani alikokwenda kutibiwa kwa watoto wake
alisema marehemu alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa moyo na kisukari hali iliyosababisha afya yake kuyumba na kulazimika kwenda marekani kwa matibabu zaidi
mipango ya kurejesha nchini mwili wa marehemu maira inaendelea kufanywa na wanawe nchi marekani itakapokamilika itafahamika ni lini UNK
ni kweli mzee maira amefariki usiku wa kuamkia leo huko houston marekani alikokwenda kutibiwa kwa watoto wake
alikuwa akisumbuliwa kisukari na presha magonjwa ya uzee alisema bwana marando na kuongeza muda huu ndio natoka nyumbani kwake lakini mipango zaidi itafahamika kesho kwani familia itakaa na kufanya maandalizi ya mazishi kesho tutajua zaidi
bwana marando alisema msiba wa wakili huyo uko nyumbani kwake tabata karibu na hospitali ya UNK
alimwelezea marehemu maira kuwa ni mmoja wa mawakili bora jijini dar es salaam na nchini kwa ujumla ambaye UNK kutokana na upeo wake wa masuala ya sheria
madiwani wa halmashauri ya wilaya ya muheza wamesema UNK wa wagonjwa katika hospitali teule wilayani hapa linachangiwa na mji huo kukosa kituo cha afya hivyo wameshauri zahanati ya ubwari iongezwe majengo na kupewa hadhi ya kuwa kituo cha afya kupunguza tatizo hilo
akizungumza katika kikao cha baraza la madiwani mwishoni mwa wiki diwani wa kata ya UNK bwana makame seif alisema ipo haja ya kuongeza majengo ya zahanati hiyo ili itumike kuwatibia wagonjwa wenye shida ndogo ndogo kuliko wote kwenda kupata matibabu hospitali ya wilaya
mheshimiwa mwenyekiti ni vizuri sasa ili kupunguza mzigo wa wagonjwa katika hospitali UNK ambayo inachukua wagonjwa kutoka wilaya nyingine ni vema sasa majengo ya ubwari UNK ili kupunguza msongamano pale teule hali ni mbaya sana wagonjwa wakati mwingine wanalala wawili wawili kwenye vitanda alisema diwani huyo
katika hatua nyingine madiwani wa UNK hiyo wameagizwa kusimamia ujenzi wa vyumba vya madarasa ya sekondari katika kata zao ili kuhakikisha wanafunzi waliomaliza darasa la saba mwaka huu wanaingia kidato cha kwanza wote
mwenyekiti wa halmashauri bwana bakari mhando alisema kuwa madiwani wanawajibika kusimamia ujenzi wa vyumba vya madarasa ya sekondari na kuwahamasisha wananchi kushiriki ujenzi huo
jaji salum massati ambaye alimwachia huru aliyekuwa mkuu wa upelelezi mkoa wa dar es salaam bwana abdallah zombe na wenzake wanane waliokuwa wakikabiliwa na mashtaka ya kuua wafanyabiashara watatu wa madini wakazi wa mahenge na dereva teksi leo anatarajiwa kuwa miongoni mwa jopo la majaji UNK rufaa ya mwanamuziki ngul...
mwanamuzi huyo nguli na watoto wake watatu papii nguza nguza UNK and francis nguza wanapinga kifungo cha maisha UNK na mahakama ya hakimu mkazi kisutu na baadaye hukumu hiyo UNK na mahakama kuu ya tanzania
mbali na jaji massati rufaa hiyo UNK jaji UNK kimaro na jaji mbarouk UNK
babu seya na watoto wake walihukumiwa kifungo hicho mwaka ishirini sifuri nne baada ya kuridhika na ushahidi uliotolewa katika kesi iliyokuwa ikiwakabili ya kudhalilisha kijinsia watoto wa kike ilitolewa na hakimu bibi addy lyamuya ambaye kwa sasa amestaafu kazi
maombi ya rufaa yaliyowasilishwa na aliyekuwa UNK wa babu seya bwana hubert nyange ambaye sasa amejitoa yanaonesha sababu kumi na tano za kupinga adhabu hiyo ikiwamo kwa nini jaji wa mahakama kuu hakuona kuwa hakimu aliyesikiliza kesi hiyo alishindwa kutokuwa na upande na kuathiriwa na mtazamo hasi juu ya wateja wake
babu seya na watoto wake walikata rufaa mahakama ya rufaa baada ya mahakama kuu chini ya jaji thomas mihayo kutupilia mbali rufaa yao
nguza na watoto wake watatu walihukumiwa adhabu hiyo kwa kuwadhalilisha kijinsia wanafunzi wa kike maeneo ya sinza dar es salaam
mmoja wa waliodhalilishwa alieleza mahakama jinsi watuhumiwa UNK kwa fedha soda na jojo kabla ya kufanyiwa kitendo hicho
siku chache baada ya maafisa wawili wa chama cha demokrasia na maendeleo kutenguliwa nyadhifa zao na kujivua uanachama chama hicho kimeibuka na kupinga madai kuwa UNK vijana kushika nyadhifa za uongozi na kudai hizo ni propaganda za ccm UNK
akizungumza dar es salaam jana katika kongamano la baraza la vijana wa chadema kaimu katibu mkuu chadema bwana john mnyika alisema kuwa propaganda hizo zinaenezwa na ccm kwa nia ya kukichafua chama chake ili UNK imani kwa watanzania
alisema wakati huu ambapo nchi inajiandaa kuingia katika uchaguzi mkuu hapo mwakani mengi UNK kuhusu chama chake ili kuonesha kuwa kuna mpasuko kama ilivyo kwa ccm hasa ukizingatia kuwa ccm imefilisika kimaadili na hivyo kuingiwa na hofu ya kushinda katika uchaguzi ujao
chadema ni chama cha kizazi kipya sisi ndio tulioanzisha kaulimbiu ya vijana ni taifa la leo na si kesho kama ilivyokuwa awali sasa iweje UNK kwa kuwatenga vijana wakati ndio chama pekee chenye asilimia thebathini ya wabunge vijana hizo ni propaganda tu alisema
alisema kuwa propaganda hizo zimeibuka baada ya kutenguliwa nyadhifa kwa waliokuwa maafisa wawili wa chama hicho kutokana na kwenda kinyume cha maadili ya chama
kwa mujibu wa bwana mnyika si kila kijana anaweza kuongoza na kuwa wakati mwingine ni bora kuwa na waziri mzee kama daktari slaa kuliko kuwa na mawaziri vijana kama waliopo sasa ambao hawawezi kuongoza wizara
aidha bwana mnyika ameonesha wasiwasi kutokana na kauli ya ccm kutumia bilioni arobaini katika uchaguzi mkuu ujao na kukitaka chama hicho kitoe mchanganuo wa mapato na matumizi ya pesa hizo
alisema mwaka ishirini sifuri tano rais kikwete alichangisha pesa kupitia harambee kwa madai kuwa ni pesa safi kumbe za mafisadi wa epa na kuongeza kuwa kama kweli ccm imedhamiria kukusanya pesa safi katika uchaguzi ujao ni vyema UNK hatua watuhumiwa wote wa waliopora fedha za epa hasa kampuni ya kagoda
si busara kutumia shilingi bilioni arobaini katika uchaguzi ambazo ni sawa na kutumia milioni ishirini sifuri kwa kila jimbo wakati ambapo wakina mama wajawazito wanakufa kwa kukosa huduma nzuri wakati wa kujifungua alisema
akizungumzia tuhuma za matumizi mabaya ya fedha za ruzuku bwana mnyika alisema chadema imekuwa ikipata hati safi kila UNK na kuongeza kuwa baraza kuu la chama hicho UNK mapendekezo kuwa mahesabu ya vyama vya siasa yakaguliwe na mkaguzi mkuu na mdhibiti wa hesabu za serikali
kwa kuwa daktari slaa aliwataja mafisadi na zitto kabwe ambaye anaendesha mapambano dhidi ya mafisadi anatoka chadema sasa wanataka kukifanya chama kionekane cha mafisadi ili kuwachanganya wananchi alisema
alisema kuwa mtu yeyote mwenye tuhuma za msingi za ufisadi dhidi ya chama chake atoe mchanganuo wa ufisadi huo kama ambavyo chadema ilifanya kwa mafisadi wa ccm katika kongamano hilo ambalo linahusisha vijana hamsini kutoka katika mikoa ya kichama ya ilala temeke na kinondoni vijana hao walijadili taarifa za uchaguzi ...
katika hatua nyingine grace ndossa anaripoti kuwa bwana mnyika amesema chama hicho UNK kwa ukabila wala siyo cha mtu binafsi kama inavyoelezwa bali kinafuata taratibu sheria na kanuni za siasa
bwana mnyika aliyasema hayo wakati akizungumza katika kipindi cha mambo leo kinachorushwa na radio times ya jijini dar es salaam
alisema kuwa watu wengi wamekuwa na fikira potofu kuwa chama ni cha mtu binafsi ambaye kinaongozwa kwa matakwa yake kitu ambacho siyo kweli wala UNK kwa ukabila
alisema kuwa ndani ya chama hicho kuna watu wa makabila mengi katika nafasi za uongozi na kwamba wanaosema kinamilikiwa na wachaga UNK
tumekuwa tukipata malalamiko mengi kuwa chadema ni chama cha mtu binafsi siyo kweli
hii ni taasisi inayoshughulika na mambo ya siasa na ni chama makini ambacho UNK mtu wala kutazama kabila wala dini tunafanya kazi za kusaidia jamii alisema bwana mnyika
alisema kuwa chadema kiko salama na kitaendelea na oparesheni sangara nchi nzima ili kiweze kuwa na watu wengi na wamejipanga kushinda uchaguzi wa mwakani
chama cha wananchi UNK kauli ya chama cha mapinduzi ya kufanya harambee kwa wanachama wake nchi nzima kuchangia uchaguzi mkuu wa ishirini moja sifuri kwamba inashangaza kwa sababu chama hicho tawala hakiwezi kukwepa michango ya matajiri iliyotokana na ufisadi
kauli hiyo ya cuf imekuja siku moja baada ya ccm kupitia katibu wa fedha na uchumi wake wa ccm taifa bwana amos makala kutangaza kutumia mpango huo kutokana na chama hicho kutuhumiwa kufadhiliwa kwa fedha zilizopatikana kwa njia ya ufisadi katika uchaguzi mkuu uliopita
taarifa ya cuf kwa vyombo vya habari iliyotolewa na naibu naibu mkurugenzi uenezi na mahusiano ya umma bibi ashura mustapha ilisema kuwa ccm haina ubavu wa kuzikwepa fedha za mafisadi kwani ndizo zitakazotumika katika uchaguzi ujao na kuwa kauli hiyo ni propaganda za kuwahadaa wananchi ili chama hicho kionekane kinapi...
ilieleza kuwa miongoni mwa wanachama wa chama hicho wanatuhumiwa kuhusika katika ufisadi wengi wao ni viongozi katika halmashauri kuu taifa na kamati kuu na hadi sasa hakuna hata mmoja ambaye amevuliwa madaraka au uanachama kutokana na kashifa hiyo
cuf UNK watanzania kuwa ukiona mtu anafukuza mwizi akinyoosha kidole mbele ambako hakuna mtu hali mwizi huyo yupo naye bega kwa bega utambue fika kuwa ana UNK ya karibu huyo mwizi au na wizi unaofanywa na mwizi huyo
hivyo njia pekee ya kuwatambulisha kuwa kwa sasa wananchi UNK ni UNK wagombea wote UNK na ccm katika uchaguzi mkuu mwakani ishirini moja sifuri na badala yake kuchagua chama mbadala chenye nguvu nchini ilieleza sehemu ya taarifa hiyo
cuf ilimtaka bwana makala kuweka bayana kwanza ni njia zipi chama chake kilitumia kujipatia fedha katika uchaguzi uliopita ambazo UNK kuwa ni za kifisadi ambazo UNK katika uchaguzi huu na kuwataja wanachama ambao misaada yao UNK kutokana na kuhusishwa na ufisadi
katika mpango wake ccm kinakusudia kuhamasisha wananchi kuchangia chama chao kwa njia ya sms njia ambayo tayari chama cha demokrasia na maendeleo UNK UNK kukusanya mamilioni kupitia simu za mkononi na mtandao wa mawasiliano ya kompyuta
mfumo huo unaotumiwa na vyama vya siasa katika nchi zilizoendelea za bara la ulaya na marekani ulizinduliwa na mwenyekiti wa chadema freeman mbowe mara baada ya kutoa hotuba yake ya ufunguzi wa mkutano mkuu wa chama hicho katika ukumbi wa shule ya sekondari mbezi beach jijini dar es salaam septemba mwaka huu
tanzania imeutaka umoja wa mataifa kuiomba radhi kutokana na ripoti ya kikundi cha wataalamu na wachunguzi wake kuituhumu kwamba inatoa silaha kwa kikundi cha waasi cha fdlr UNK dhidi ya raia wa jamhuri ya kidemokrasia ya kongo na rwanda
akizungumza na waandishi wa habari mjini port of spain trinidad na tobago jana waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa bwana bernard membe alisema tanzania UNK na kushangazwa na taarifa hiyo ambayo haina ukweli wowote na kuutaka umoja wa mataifa kuilaani UNK mbali taarifa hii na kuomba radhi
taarifa hii haina ukweli wowote na ni ya kitapeli
ni uongo uliotengenezwa UNK matope jina zuri la tanzania na serikali yetu
tanzania wala vyombo vya usalama havijatoa wala kusadia vikundi hivyo alisema bwana membe na kuongeza tanzania inachofanya ni kusaidia harakati za amani na usalama mashariki mwa congo kwa kumteua rais mstaafu bwana benjamin mkapa kuungana na viongozi wengine kutafuta amani na usuluhishi nchini humo na si vinginevyo al...
waziri membe amelazimika kutoa msimamo kufuatia taarifa za kuituhumu tanzania UNK kusambaa kwenye mitandao huku baraza la usalama la un likiwa UNK ripoti hiyo jumatano
taarifa hiyo ilisema kwamba tanzania ni miongoni mwa nchi ishirini na tano zikiwamo nyingine za marekani na ulaya ambazo zinawasaidia waasi hao kwa kuwapatia silaha na fedha na kuwa jumuiya ya kimataifa haijafanya chochote kuzuia misaada hiyo
taarifa hiyo iliendelea kusema kuwa mawasiliano ya simu UNK baina ya makamanda wa fdlr na viongozi wa juu wa tanzania na burundi
akifafanua jinsi tanzania inavyoshughulikia amani ya maziwa makuu bwana membe alisema tanzania UNK dola za marekani hamsini sifuri sifuri sifuri sifuri kugharamia mchakato wa amani na usuluhishi mashariki mwa congo chini ya bwana mkapa
pia alisema tanzania imekuwa mstari wa mbele katika kutafuta amani katika ukanda wa maziwa makuu kwa miaka kumi na tano na kwamba tangu mwaka elfu moja na mia tisa na hamsini na tisa hadi sasa tanzania imekuwa kimbilio la wakimbizi UNK vita na mauaji na itaendelea kufanya hivyo na si kuchochea vitendo vyovyote vya uvu...
katika kipindi chote tangu uhuru tanzania imekuwa mstari wa mbele katika kutetea amani afrika hivi tutapata nini kuingilia amani ya nchi jirani na rafiki kama kongo na rwanda alihoji bwana membe
kwa upande mwingine bwana membe ametoa changamoto kwa umoja wa mataifa kuieleza tanzania zilikotoka silaha hizo na UNK kwani haikuelezwa katika taarifa ya kikundi hicho
waziri membe aliongeza kuwa tanzania haina maduka ya kuuza silaha za kivita na wala hayaruhusiwi na kwamba silaha kama hizo zipo mikononi mwa vyombo vya usalama pekee
nataka kumhakikishia kila mmoja kuwa hii UNK na wala haitatokea kamwe
serikali UNK vyombo vyake vya usalama kufanya hivyo na hata hivyo hakuna taarifa kutoka vyombo vya usalama kwamba UNK na silaha
na hii ndio sababu UNK niseme taarifa ya kikundi hicho ni uongo uliotengenezwa dhidi ya tanzania
nauomba umoja wa mataifa na kila mmoja kuilaani taarifa hii alisisitiza bwana membe
bwana membe alikuwa katika ujumbe wa rais mjini port of spain trinidad na tobago kuhudhuria mkutano wa wakuu wa nchi na serikali wa jumuiya ya madola uliomalizika jana
watu mia nne na hamsini na nane UNK ugonjwa wa kipindupindu tangu uliingia katika mkoa wa dar salaam novemba kumi na mbili mwaka huu
hayo yalisemwa jana dar es salaam na kaimu mganga mkuu wa jiji daktari hawa kawawa alipokuwa anatoa takwimu ya idadi ya wagonjwa kwenye hospitali za manispaa
alisema kuwa wilaya ya temeke imekuwa na jumla ya wagonjwa mia moja na themanini na nne ilala mia moja na themanini na nne wakati kinondoni imefikisha tisini hadi sasa
kama watu wangezingatia kufanya usafi katika maeneo yao na kutii masharti ya kutokula vyakula UNK maeneo ambayo si salama kipindupindu UNK alisema daktari kawawa
alisema kuwa kati ya wagonjwa hao wawili wameshafariki mmoja kutoka temeke na mwingine ilala
wagonjwa wamekuwa UNK na wanapopata nafuu UNK kurudi majumbani lakini hadi jana kulikuwa na wagonjwa ishirini na tisa waliolazwa katika wilaya zote
katika wilaya ya ilala wagonjwa wametoka vingunguti pugu na kariakoo wakati katika wilaya ya temeke wanatoka mbagala kuu mbagala sabasaba temeke azimio kigamboni UNK na mtoni huku wilaya ya kinondoni wanatokea mabibo na UNK
wananchi wa mitaa ya zavala mgeule na nyeburu kata ya chanika ilala dar es salaam wamedai kuwa hawako tayari kuachia mashamba na nyumba zao wapewe wakazi wanaohamishwa kipawa bila kulipwa fidia
kutokana na mgogoro huo wananchi hao wameunda kamati ya watu kumi kuonana na waziri mkuu bwana mizengo pinda kueleza kilio na kile walichodai ni dhuluma wanayodai kufanyiwa na serikali
katika mkutano wao uliofanyika juzi waasisi wa mitaa hiyo wenyeviti wa mitaa na viongozi wa zamani wa ccm walikataa kufanya makubaliano na serikali kuhusu kutoa ardhi au kuidhinisha malipo kwa ajili ya fidia
mwenyekiti wa mtaa wa mgeule bwana agrey UNK mwenyekiti wa mtaa wa zavala bwana mohamed ramadhani na mwenyekiti wa zamani wa ccm bwana ali UNK waliapa mbele ya kikao hicho kuwa hawajawahi kupata taarifa ya serikali kuhusu kupimwa viwanja kwa ajili ya watu wa kipawa
malipo ya fidia ya serikali kwa ajili ya kupimwa viwanja vya watu wa kipawa ilitolewa kwa watu wa pugu mwakanga na UNK wananchi wa mitaa ya mgeule zavala na nyeburu ambao sasa UNK ardhi yao
mimi nimewahi kukamatwa wengine wamewekwa ndani na kufunguliwa mashtaka ya kudaiwa kuzuia serikali kufanya kazi lakini wananchi hawa hawajalipwa kitu na hakuna maandishi alisema mwenyekiti wa mtaa wa mgeule bwana UNK
wenyeviti hao waliwaambia wananchi hao kuwa mradi wanaoufahamu wa serikali ni upimaji wa viwanja ishirini sifuri sifuri sifuri ambao hauna mgogoro na wananchi hao lakini mradi wa upanuzi uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius nyerere UNK
serikali inayoheshimu watu haifanyi uhuni imefika mahala uvumilivu unakoma hatuwezi kuona tingatinga UNK nyumba zetu na kukanyaga matofali eti UNK fidia alipewa nani wakati tunajua waliolipwa fidia ni watu wa pugu UNK
alisema bwana ali UNK
awali mkutano huo uliwataka wakazi wote waliowahi kulipwa fidia kwa ajili ya kupimwa viwanja vya watu wa kipawa wajitokeze lakini hakuna aliyekiri kuchukua fidia hiyo katika umati huo wa wakazi zaidi ya wanachi ishirini sifuri UNK