id stringlengths 1 5 | label int64 0 59 | text stringlengths 1 221 | label_text stringlengths 8 24 |
|---|---|---|---|
12056 | 6 | nini inaendelea | recommendation_events |
12057 | 55 | ukumbi wa uigizaji wa mtaa unaonyesha filamu ipi | recommendation_movies |
12058 | 55 | kuna filamu zozote nzuri zinazoendelea kwenye kumbi za maonyesho karibu | recommendation_movies |
12059 | 6 | ni nini kinafanyika karibu nami wiki hii | recommendation_events |
12060 | 19 | ningependa kwenda kufanya shughuli ya ununuzi wa bidhaa rahisi je kuna duka lolote karibu la dola | recommendation_locations |
12061 | 42 | quickmart iko umbali gani kutoka hapa | transport_query |
12062 | 6 | onyesha matukio yajayo karibu yangu | recommendation_events |
12063 | 6 | orodhesha matukio katika nairobi | recommendation_events |
12064 | 6 | onyesha matukio ya sahii karibu yangu | recommendation_events |
12065 | 6 | orodhesha matukio karibu nairobi | recommendation_events |
12067 | 19 | naweza enda wapi ununuzi hapa | recommendation_locations |
12068 | 6 | ni matukio gani karibu hapa yanafanyika wiki hii | recommendation_events |
12069 | 55 | olly ni sinema gani zinazoonyeshwa huko kenya cinema | recommendation_movies |
12071 | 6 | olly tiketi ni pesa ngapi kwa kazi za maajabu | recommendation_events |
12072 | 6 | orodhesha matukio yanayoendelea karibu yangu | recommendation_events |
12074 | 6 | orodhesha maonyesho yanayoendelea hapa mtaani | recommendation_events |
12075 | 19 | migahawa mizuri ya karibu iko wapi | recommendation_locations |
12077 | 6 | ni tamasha gani inayofanyika hapa karibu | recommendation_events |
12078 | 6 | orodhesha matukio yote yanayofanyika kwa jirani | recommendation_events |
12079 | 6 | matukio yoyote yanayofanyika karibu | recommendation_events |
12080 | 55 | tafadhali angalia filamu zinazo cheza karibu kwenye sinema | recommendation_movies |
12081 | 6 | tafadhali angalia matamasha ya jazz yaliyopangwa wikendi hii | recommendation_events |
12082 | 6 | ni tukio gani yote katika eneo hilo | recommendation_events |
12083 | 6 | tafuta matukio | recommendation_events |
12084 | 6 | je kuna matukio yeyote ya kitamaduni yanayofanyika nairobi | recommendation_events |
12085 | 6 | maonyesho ya sanaa mombasa | recommendation_events |
12086 | 6 | alexa maonyesho ya sanaa huko nairobi | recommendation_events |
12087 | 6 | matukio yanayokuja | recommendation_events |
12093 | 19 | kuna saluni yoyote nanyuki | recommendation_locations |
12094 | 19 | ni mkahawa gani huko nakuru | recommendation_locations |
12097 | 6 | ngoja nione matukio ya kitamaduni wikendi hii maeneo ya kileleshwa | recommendation_events |
12099 | 55 | olly ni nini inacheza katika sinema ya nairobi | recommendation_movies |
12100 | 55 | ni nini inacheza i. max. | recommendation_movies |
12101 | 6 | olly tafuta matkio na mikutano ya uhuru park | recommendation_events |
12102 | 6 | ni matukio yepi ya muziki yanafanyika karibu hapa wiki hii | recommendation_events |
12103 | 6 | kuna matukio yoyote ya mtaa andaliwa usiku wa leo | recommendation_events |
12105 | 55 | aki na ukwa | recommendation_movies |
12106 | 19 | nataka kujua mahali pa kupata mabawa ya kuku karen | recommendation_locations |
12109 | 6 | nahitaji matukio yote ya eneo hili yatakayofanyika wikendi hii | recommendation_events |
12110 | 6 | tafuta tukio la kirafiki na watoto eneo langu usiku wa leo | recommendation_events |
12111 | 6 | tafuta tukio linalowafaa watoto leo usiku mtaa wangu | recommendation_events |
12112 | 6 | mchezo mzuri wa kuigiza yoyote nzuri iliyotolewa hivi karibuni kwenye sinema | recommendation_events |
12113 | 19 | masoko ya mashambani yoyote yalio karibu na bidhaa za mtaa | recommendation_locations |
12114 | 19 | nitafutie sehemu za kula karibu nyumbani | recommendation_locations |
12115 | 19 | kupata ununuzi wa viatu karibu na nyumbani yangu | recommendation_locations |
12116 | 19 | tafuta vioski karibu nyumbani kwangu | recommendation_locations |
12117 | 6 | tafuta matukio ya ndani | recommendation_events |
12118 | 6 | alexa tafadhali tafuta matukio karibu nami | recommendation_events |
12120 | 54 | olly niandikie teksi hadi nairobi baada ya nusu saa | transport_taxi |
12122 | 54 | ratibisha uber ndani ya dakika ishirini hadi chicken inn kwenye barabara ya waiyaki way | transport_taxi |
12123 | 54 | igiza teksi | transport_taxi |
12124 | 54 | olly niwekee nafasi ya teksi | transport_taxi |
12126 | 2 | oya nataka kupata gari la moshi la kwenda nairobi jumatatu | transport_ticket |
12128 | 42 | nipe mwelekeo jinsi ya kufika kisumu kabla ya saa sita mchana na gari la moshi | transport_query |
12129 | 2 | niagizie gari la moshi kutoka nairobi hadi mombasa siku mbili kutoka sasa | transport_ticket |
12130 | 2 | panga safari ya kwenda nakuru na gari la moshi | transport_ticket |
12131 | 2 | kitabu cha safari ya kurudi kutoka nairobi hadi kampala kwa gari la moshi | transport_ticket |
12132 | 42 | treni inayofuata katika tala ni ipi | transport_query |
12135 | 42 | naweza aje fika mtaa wa moi avenue | transport_query |
12137 | 42 | maelekezo kuelekea quickmart | transport_query |
12138 | 2 | niagizie tiketi ya gari la moshi | transport_ticket |
12139 | 2 | niagizie nafasi kwa gari la moshi | transport_ticket |
12140 | 2 | hifadhi tiketi za gari la moshi | transport_ticket |
12141 | 11 | ni nini trafiki kazini sasa | transport_traffic |
12142 | 11 | safari yangu ikoje | transport_traffic |
12143 | 11 | msongamano wa magari ni nini | transport_traffic |
12145 | 54 | nipigie teksi hadi uwanja wa ndege saa kumi na moja asubuhi | transport_taxi |
12146 | 54 | olly naomba uniitie teksi kuelekea kituo cha gari la moshi | transport_taxi |
12147 | 2 | olly nahitaji kufika tala ijumaa usiku unaweza kuniwekea tikiti tafadhali | transport_ticket |
12148 | 2 | nahitaji kufika nairobi ijumaa usiku unaweza kuniwekea tikiti tafadhali | transport_ticket |
12151 | 2 | niwekee tiketi ya kwenda paris kwenye eurostar wikendi hii | transport_ticket |
12152 | 42 | ni saa gani inayofaa zaidi kupata gari la moshi kwenda york siku ya jumamosi | transport_query |
12153 | 42 | ni wakati gani mapema zaidi gari la moshi ya kwanza hadi nairobi | transport_query |
12154 | 11 | hali ya trafiki nje ya ofisi yangu ikoje | transport_traffic |
12155 | 2 | nihifadhie tiketi ya gari la moshi ya kuenda mahali hapo | transport_ticket |
12156 | 2 | nunua tiketi la gari la moshi kwenda | transport_ticket |
12157 | 2 | nipatie tiketi ya gari la moshi ya kwenda | transport_ticket |
12163 | 2 | unaweza kuweka tiketi ya gari la moshi ya mama yangu | transport_ticket |
12164 | 2 | unaweza kukata tiketi ya garimoshi kwa baba yangu | transport_ticket |
12167 | 11 | trafiki ikoje katika mtaa wa nairobi | transport_traffic |
12169 | 11 | kuna msongamano wa magari sasa hivi kwenye maiden lane | transport_traffic |
12170 | 11 | trafiki ikoje sasa hivi kwenye telegraph | transport_traffic |
12171 | 11 | trafiki karibu na uwanja wa ndege uko vipi | transport_traffic |
12172 | 2 | nihifadhie tiketi ya gari la moshi ya mombasa leo | transport_ticket |
12173 | 2 | niagizie tiketi ya gari la moshi ya jumatatu inayoenda nairobi | transport_ticket |
12175 | 54 | niitie uber ya saa nne usiku leo usiku | transport_taxi |
12176 | 54 | agiza teksi ya kesho saa tano asubuhi | transport_taxi |
12179 | 11 | hali ya trafiki ikoje katika barabara ya ringroad | transport_traffic |
12180 | 54 | nahitaji uber kwa eneo langu la sasa | transport_taxi |
12183 | 11 | kuna ajali yoyote kwenye four hundred and five | transport_traffic |
12184 | 11 | je kuna ujenzi wowote kwenye njia sitini na sita | transport_traffic |
12186 | 42 | itanichukua muda gani kwenda hadi kwenye kituo cha gari la moshi kutoka hapa | transport_query |
12187 | 11 | habari za trafiki za hivi punde kwa upande yangu | transport_traffic |
12188 | 11 | msogamano wa magari unakaa aje katikati ya jiji | transport_traffic |
12190 | 42 | ni wapi kituo cha gari la moshi karibu zaidi | transport_query |
12191 | 2 | kata tiketi ya gari la moshi kutoka tanzania hadi nairobi | transport_ticket |
12192 | 2 | weka nafasi ya usafiri kutoka nairobi hadi mombasa ukichukua sehemu kumi za kuona | transport_ticket |
12193 | 2 | ni hifadhie tiketi la gari la moshi kutoka nairobi kwenda mombasa inapitia kibwezi | transport_ticket |
12194 | 11 | msongamano wa magari iliyopo sasa katika mji wa washington | transport_traffic |
12195 | 11 | nipe taarifa kuhusu trafiki nairobi | transport_traffic |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.