id stringlengths 1 5 | label int64 0 59 | text stringlengths 1 221 | label_text stringlengths 8 24 |
|---|---|---|---|
12347 | 11 | katika jodhpur kiwango cha msongamano wa magari uko chini sana | transport_traffic |
12348 | 42 | nionyeshe leo wakati wa gari la moshi kalka huko nairobi | transport_query |
12349 | 42 | nionyeshe leo nyakati zote za treni za saa mbili zijazo katika mombasa hadi nairobi | transport_query |
12351 | 2 | hifadhi tiketi kiti cha kulala na garimoshi kwenda nairobi wiki ijayo | transport_ticket |
12353 | 42 | nionyeshe ni wapi ninaweza kupata treni | transport_query |
12355 | 2 | tafadhali niandalie tiketi ya gari la moshi | transport_ticket |
12356 | 2 | nahitaji tikiti ya treni | transport_ticket |
12357 | 2 | unaweza kunitengenezea tiketi ya treni | transport_ticket |
12359 | 11 | naweza jua hali ya trafiki | transport_traffic |
12360 | 19 | kajiado ikoapi | recommendation_locations |
12361 | 19 | mkahawa wa karibu zaidi uko wapi hapa | recommendation_locations |
12362 | 12 | nitaenda ofisini kwangu | general_quirky |
12364 | 54 | komboa teksi ambayo bei yake si ghali zaidi | transport_taxi |
12365 | 42 | gari la moshi huondoka saa ngapi kutoka nairobi | transport_query |
12369 | 42 | niambie njia ya haraka zaidi ya nyumbani pa rashid | transport_query |
12370 | 42 | nyakati za gari la moshi za kesho | transport_query |
12371 | 54 | nipatie usafiri hadi hospitali | transport_taxi |
12374 | 42 | ni saa ngapi ninaweza kupata treni kwenda nairobi na kufika saa tatu asubuhi | transport_query |
12375 | 42 | ni gari la moshi lipi linalo fuata hadi nairobi | transport_query |
12378 | 54 | nilipie nauli ya gari | transport_taxi |
12379 | 2 | kata tiketi ya treni kutoka nairobi kwa savannah uhuru park | transport_ticket |
12382 | 54 | agiza teksi aina ya uber | transport_taxi |
12384 | 42 | niambie bei ya tiketi ya gari la moshi kutoka nairobi hadi mombasa | transport_query |
12385 | 42 | niambie gari la moshi kutoka nairobi hadi mombasa baada ya saa tano jioni | transport_query |
12386 | 42 | gari la moshi inayofuata kwenda kazi linatoka lini | transport_query |
12387 | 42 | gari la moshi la mwisho kutoka kazini inaondoka lini | transport_query |
12388 | 42 | nitafika saa ngapi nyumbani nikipanda gari la moshi hili | transport_query |
12389 | 2 | ninunulie tiketi ya treni | transport_ticket |
12390 | 2 | niletee tiketi ya gari la moshi | transport_ticket |
12391 | 42 | nionyeshe ramani ya eneo hii | transport_query |
12393 | 42 | nionyeshe mwelekeo wa eneo hii | transport_query |
12396 | 2 | niagizie tiketi ya gari la moshi hadi mji wa leeds | transport_ticket |
12397 | 42 | gari la moshi inayofuata kwenda kisumu ni ya saa ngapi | transport_query |
12398 | 42 | ni lini treni tatu zinazofuata zitapanda mombasa | transport_query |
12399 | 54 | pigia golden taxi inichukue leo saa moja jioni | transport_taxi |
12400 | 2 | niweke tiketi moja ya gari la moshi inayosafiri kwenda mji wa nakuru ukiondoka baada ya saa tatu asubuhi | transport_ticket |
12401 | 2 | niagizie gari la moshi inayotoka stesheni ya mombasa kesho ikielekea mji wowote wenye umbali wa zaidi ya maili mia mbili | transport_ticket |
12403 | 42 | gari la moshi inayofuata inayosafiri jiji inaondoka lini hapa | transport_query |
12404 | 42 | treni ilikuwa saa ngapi inafika kwenye kituo kinachofuata | transport_query |
12405 | 42 | saa kumi jioni muda gani utakuwa safari yangu ya mwisho wa safari kwa marudio | transport_query |
12406 | 42 | nionyeshe ratiba ya gari la moshi kati ya nairobi na mombasa kesho | transport_query |
12407 | 42 | inachukua muda gani kupata treni kutoka nairobi hadi mombasa | transport_query |
12410 | 42 | kitale iko umbali gani kutoka nyumbani kwangu | transport_query |
12411 | 42 | nipe maelekezo ya kwenda meijer | transport_query |
12412 | 11 | unaweza ambia hali ya usafiri ya eneo langu | transport_traffic |
12415 | 42 | treni inayofuata kwenda mombasa | transport_query |
12416 | 42 | gari la moshi inayofuata hadi kisumu | transport_query |
12417 | 42 | treni ya mwisho ni lini leo | transport_query |
12418 | 54 | hifadhi teksi kuanzia kutoka hapa | transport_taxi |
12420 | 42 | shabaha ya karibu iko wapi | transport_query |
12421 | 42 | kuna umbali gani wa matembezi kutoka runda hadi muthaiga | transport_query |
12422 | 11 | hali ya trafiki tafadhali | transport_traffic |
12423 | 11 | trafiki ilikuawaje sasa | transport_traffic |
12424 | 11 | hali ya trafiki nje tafadhali | transport_traffic |
12425 | 42 | nyakati za gari la moshi huko stesheni ya mikindani zinazoelekea mombasa leo | transport_query |
12426 | 42 | ni saa ngapi za gari la moshi kati ya saa mbili asubuhi na saa nne asubuhi katika kituo cha nairobi kwenda mombasa siku ya jumapili | transport_query |
12427 | 54 | niitie teksi | transport_taxi |
12428 | 54 | ninahitaji teksi sasa | transport_taxi |
12429 | 54 | tafadhali nihifadhie teksi | transport_taxi |
12431 | 42 | ni saa ngapi gari la moshi la ya nairobi itafika | transport_query |
12432 | 42 | ninahitaji saa ya kuwasili kwa gari la moshi ya nairobi | transport_query |
12433 | 42 | nahitaji tiketi la garimoshi hadi nairobi | transport_query |
12434 | 42 | nitafutie gari la moshi la mombasa | transport_query |
12435 | 42 | muda gani wa katikati mwa mji | transport_query |
12440 | 42 | ni safari gani zinapatikana kutoka mji wa nairobi hadi mombasa | transport_query |
12443 | 11 | naweza kurudi nyumbani bila msongamano wa trafiki | transport_traffic |
12444 | 42 | nyakati za gari la moshi la kuenda chicago ni zipi | transport_query |
12445 | 42 | nionyeshe nyakati za gari la moshi ya kwenda chicago kesho | transport_query |
12447 | 42 | tiketi ya gari la moshi ya nakuru kutoka hapa | transport_query |
12448 | 2 | agiza na ulipe tiketi la gari la moshi ya kwenda denver jumamosi | transport_ticket |
12449 | 11 | trafiki ni nini leo | transport_traffic |
12450 | 11 | kuna ajali leo | transport_traffic |
12454 | 42 | gari la moshi la mwisho kwenda kibwezi inaondoka lini | transport_query |
12456 | 42 | nawezaje kufika kwenye duka la mboga | transport_query |
12457 | 42 | uko wapi mkahawa wa kienyeji wa karibu zaidi | transport_query |
12458 | 42 | nitumie maelekezo hadi idara ya polisi | transport_query |
12459 | 2 | nionyeshe tiketi za gari la moshi | transport_ticket |
12460 | 42 | fungua njia za garimoshi | transport_query |
12462 | 54 | weka uber kwa usiku wa leo saa moja jioni | transport_taxi |
12463 | 54 | tafadhali agiza uber sasa hivi | transport_taxi |
12465 | 11 | trafiki ikoje kwenye barabara kuu | transport_traffic |
12466 | 11 | je barabara iko safi nairobi | transport_traffic |
12467 | 11 | hali ya trafiki nairobi ni nini | transport_traffic |
12471 | 2 | ninunulie tiketi ya gari la moshi | transport_ticket |
12472 | 2 | lipia tiketi ya garimoshi | transport_ticket |
12474 | 19 | niwapi java iliyo karibu sana | recommendation_locations |
12475 | 42 | jinsi pahali pa kupumzika ya karibu kuacha | transport_query |
12476 | 54 | nahitaji kukomboa teksi | transport_taxi |
12477 | 54 | unaweza kuniletea teksi nyumbani | transport_taxi |
12480 | 54 | nitafutie uber ambayo inaweza kunifikisha kwenye uwanja wa ndege sasa | transport_taxi |
12481 | 54 | nitafutie uber | transport_taxi |
12482 | 54 | kupata teksi kwa ajili yangu | transport_taxi |
12483 | 54 | ni teksi gani iliyo karibu nami | transport_taxi |
12485 | 42 | gari la moshi linawasili lini leo | transport_query |
12486 | 42 | gari la moshi inayofuata kwenda philadelphia ni lini | transport_query |
12487 | 54 | piga simu ya teksi | transport_taxi |
12489 | 2 | nahitaji tikiti kwenye gari la moshi ya kuelekea jiji la nairobi kesho | transport_ticket |
12490 | 2 | unaweza hifadhi kiti kwenye gari la moshi kuelekea garissa ijumaa ijayo asubuhi | transport_ticket |
12492 | 54 | nichukulie gari | transport_taxi |
12493 | 54 | nahitaji teksi katika dakika thelathini | transport_taxi |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.