id stringlengths 1 5 | label int64 0 59 | text stringlengths 1 221 | label_text stringlengths 8 24 |
|---|---|---|---|
12196 | 11 | kiwango cha msongamano wa magari ni gani huko washington | transport_traffic |
12197 | 2 | nitafutie tiketi ya garimoshi kwenda kisumu | transport_ticket |
12198 | 2 | niagizie tiketi ya gari la moshi kwelekea nairobi | transport_ticket |
12199 | 2 | tafuta tiketi ya treni kwenda mombasa | transport_ticket |
12200 | 2 | niitishie tiketi ya gari la moshi ya kenya jioni hii | transport_ticket |
12201 | 42 | nipe maelekezo ya mcdonald's iliyo karibu zaidi | transport_query |
12203 | 42 | nipe njia fupi zaidi ya kwenda kwa uwanja wa ndege | transport_query |
12204 | 54 | tafadhali unaweza kunikodeshea teksi ya kuenda kwenye opera usiku wa leo | transport_taxi |
12207 | 11 | habari za trafika za waiyaki way inasema aje | transport_traffic |
12208 | 11 | kuna ujenzi katika chuo kikuu cha nairobi | transport_traffic |
12209 | 11 | iko ajali yoyote lavington | transport_traffic |
12210 | 42 | hujambo mtaa unaofuata kutoka eneo la mumbai hadi pune ni upi | transport_query |
12211 | 42 | kuna gari la moshi yoyote inayosafiri kutoka pune hadi mumbai leo usiku | transport_query |
12214 | 54 | ratiba teksi ya mji saa mbili asubuhi kutoka nyumbani hadi kwa uwanja wa ndege | transport_taxi |
12215 | 11 | kuna msongamano wowote nikielekea kazini | transport_traffic |
12216 | 2 | kata tiketi ya ndege kwenda | transport_ticket |
12218 | 2 | nahitaji tiketi ya ndege | transport_ticket |
12219 | 42 | nionyeshe njia kutoka hapa hadi abita brew pub | transport_query |
12220 | 42 | niambie jinsi ya kutoka hapa hadi kwenye umoina | transport_query |
12221 | 42 | nipe maelekezo ya kutoka hapa crescent city brewhouse hadi new orleans | transport_query |
12222 | 11 | trafiki ikoje | transport_traffic |
12223 | 11 | olly hali ya trafiki ikoje | transport_traffic |
12224 | 11 | kuna trafiki yoyote ya kwenda kazini | transport_traffic |
12225 | 11 | kuna msongamano sahii | transport_traffic |
12226 | 2 | nunua tiketi ya gari la moshi | transport_ticket |
12227 | 42 | naweza kununua tiketi ya gari la moshi wapi | transport_query |
12228 | 54 | ninahitaji teksi sasa hivi | transport_taxi |
12229 | 54 | tafuta teksi huduma iliyo karibu na mimi | transport_taxi |
12230 | 54 | nahitaji teksi kwenda nyumbani | transport_taxi |
12231 | 54 | tafuta teksi ya kwenda nyumbani | transport_taxi |
12234 | 2 | agiza kiti cha business class kwenye gari la moshi inayofuata kuelekea jiji la new york | transport_ticket |
12237 | 54 | weka teksi kwa sasa | transport_taxi |
12238 | 42 | nitaweza aje kufika kisumu | transport_query |
12239 | 42 | ni njia gani fupi ya kufika nyumba ya bibi yangu | transport_query |
12241 | 2 | tafadhali enda amtrak dot com kununua tiketi | transport_ticket |
12242 | 54 | niagizie teksi kwenda uwanja wa ndege | transport_taxi |
12243 | 54 | niagizie teksi ya kesho asubuhi | transport_taxi |
12246 | 42 | kuna gari la moshi leo adhuhuri kutoka philadelphia hadi mji wa new york | transport_query |
12249 | 54 | tafuta teksi iliyo karibu zaidi | transport_taxi |
12250 | 54 | tafuta uber tarehe ishirini na tisa | transport_taxi |
12255 | 11 | trafiki ya mji wa nairobi iko vipi | transport_traffic |
12257 | 11 | niambie hali ya sasa ya trafiki karibu na barabara kuu ya park | transport_traffic |
12259 | 11 | uko na sasisho la trafiki | transport_traffic |
12262 | 42 | naweza kupata tiketi ya gari la moshi hadi kisumu jumamosi ijayo saa sita mchana | transport_query |
12265 | 42 | tengana | transport_query |
12266 | 42 | ujanja ya kasi ya barabara | transport_query |
12268 | 42 | niambie wakati ambapo barua ya kisumu itafikia mombasa | transport_query |
12269 | 42 | barua ya nakuru itafika kwa wakati nairobi | transport_query |
12270 | 2 | niwekee nafasi ya tikiti ya treni katika treni yoyote ya garissa kesho | transport_ticket |
12271 | 2 | unaweza kuniandalia tiketi ya gari la moshi hadi nairobi kesho katika gari la moshi yoyote | transport_ticket |
12272 | 2 | hifadhi tiketi la kesho la gari la moshi la treni yoyote la kwenda kisumu | transport_ticket |
12273 | 42 | weka mwelekeo wa soko la gikomba | transport_query |
12274 | 42 | pata njia ya pembe za nairobi kutoka hapa | transport_query |
12275 | 42 | rekebisha njia ya kuendesha gari kutoka hapa hadi soko la gikomba | transport_query |
12276 | 54 | nilipie teksi | transport_taxi |
12277 | 54 | unaweza kunikatia teksi | transport_taxi |
12278 | 54 | nichukukulie teksi | transport_taxi |
12279 | 42 | unaweza niangalilia bei ya tiketi ya gari la moshi | transport_query |
12280 | 42 | ningependa tiketi ya gari la moshi kwenda eneo hili | transport_query |
12282 | 2 | nataka tiketi ya gari la moshi kutoka nairobi hadi mombasa | transport_ticket |
12283 | 42 | ni muda upi gari la moshi kuelekea nairobi itachukua | transport_query |
12285 | 42 | muda gani gari la moshi linaeza tumia kufika mombasa terminus | transport_query |
12286 | 42 | tafuta tiketi za gari la moshi la kituo cha gari la moshi mombasa leo | transport_query |
12287 | 2 | tafuta tikiti za gari la moshi kwenda kisumu kesho | transport_ticket |
12288 | 11 | mfumo huvuta habari zozote za trafiki kwa safari yangu | transport_traffic |
12290 | 2 | kusajili tukio au tiketi | transport_ticket |
12292 | 2 | tiketi ya kuenda new york | transport_ticket |
12295 | 42 | inachukua muda gani gari la moshi kutoka hadi nairobi | transport_query |
12296 | 54 | nitafutie teksi | transport_taxi |
12297 | 54 | ita teksi | transport_taxi |
12300 | 54 | niitie teksi | transport_taxi |
12301 | 54 | nitafutie uber tafadhali | transport_taxi |
12304 | 42 | masaa ya gari la moshi la nairobi | transport_query |
12305 | 42 | tafuta garimoshi ambazo huondoka leo usiku kuelekea nairobi | transport_query |
12309 | 2 | nadai kukata tiketi ya gari la moshi | transport_ticket |
12311 | 11 | kuna vikwazo vyovyote vya trafiki kutokana na ziara ya rais | transport_traffic |
12312 | 11 | itanichukua muda gani kufika moi avenue kuzingatia trafiki ya sasa | transport_traffic |
12313 | 42 | madaraka express ni wakati gani | transport_query |
12314 | 42 | ni wakati gani kisumu shuttle itafika kisumu | transport_query |
12315 | 11 | tafadhali nipe ripoti ya trafiki kwa mchana huu | transport_traffic |
12316 | 11 | nipe taarifa kuhusu msongamano wa magari karibu na eneo langu tafadhali | transport_traffic |
12319 | 11 | jinsi trafiki kutoka kazini kwenda nyumbani | transport_traffic |
12320 | 54 | ita teksi | transport_taxi |
12321 | 54 | olly pigia teksi | transport_taxi |
12323 | 2 | chanzo na marudio | transport_ticket |
12324 | 2 | saa na tarehe | transport_ticket |
12326 | 11 | ni wapi kuna trafiki mingi | transport_traffic |
12327 | 11 | urefu wa trafiki | transport_traffic |
12328 | 11 | ni ajali ama msongamano wa kawaida | transport_traffic |
12330 | 54 | fungua uber na uweke nafasi ya gari kwa saa sita mchana | transport_taxi |
12331 | 2 | olly nikatie tiketi ya gari la moshi kwa mji wa eldoret siku ya tatu sijali wakati gani | transport_ticket |
12332 | 2 | niweke tiketi ya gari la moshi kwenda mji mombasa tarehe tatu sijali ni wakati gani | transport_ticket |
12333 | 2 | agiza tiketi ya gari la moshi inayotoka nairobi kwenda mombasa wakati wa kesho kama inapatikana | transport_ticket |
12335 | 42 | hesabu urefu na dira kutumia gari la moshi inayoenda rccg in nairobi | transport_query |
12336 | 42 | ni umbali gani hadi mombasa kutoka hapa kwa gari la moshi | transport_query |
12337 | 11 | kiwango cha trafiki cha nairobi ni zaidi | transport_traffic |
12341 | 2 | kata tiketi tatu za safari ya kwenda na kurudi kwa treni kwa jumapili saa moja jioni tiketi ya kurudi wiki ijayo jumapili saa mbili asubuhi | transport_ticket |
12342 | 42 | angalia muda wa gari la moshi ya rift valley railways kutoka kituo cha mombasa siku ya jumatatu | transport_query |
12344 | 42 | angalia wakati wa treni ya gari la moshi kutoka kituo cha mombasa siku ya jumatatu | transport_query |
12346 | 11 | katika kiwango cha trafiki ya nairobi ni cha juu | transport_traffic |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.