global_id stringlengths 1 4 | messages listlengths 1 201 | label stringclasses 20
values |
|---|---|---|
6800 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Jibuti (kwa Kifaransa: Djibouti, kwa Kiarabu: جيبوتي) ni nchi ndogo ya Afrika ya Mashariki kwenye Pembe la Afrika. \n\nImepakana na Eritrea, Ethiopia na Somalia upande wa bara. Kuna pwani ya Bahari ya Shamu na Ghuba ya Aden. Ng'ambo ya bahari iko nchi ya Yemen katika umbal... | wiki:sw |
6801 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Mbuni ni ndege wakubwa wa familia Struthionidae. Kuna spishi mbili katika jenasi moja, lakini wataalamu wengine wanafikiri ni spishi moja tu. Ndege hao ni wakubwa kuliko wengine wote. Wana miguu mirefu na shingo ndefu na wanaweza kukimbia sana, hata kwa mwendo wa km 65 kwa... | wiki:sw |
6802 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Mfumo wa Jua (:en:solar system) ni mpangilio wa Jua letu, sayari na sayari kibete zinazolizunguka pamoja na miezi yao, asteroidi, meteoridi, kometi na vumbi la angani, vyote vikishikwa na graviti ya Jua. \n\nUtaalamu kuhusu mfumo wa jua hujadiliwa katika fani ya astronomia... | wiki:sw |
6803 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Zuhura (alama: ; pia: Ng'andu; kwa Kiingereza Venus) ni sayari ya pili katika mfumo wa jua na sayari zake. Kati ya sayari zote za jua ndiyo inayofanana zaidi na dunia yetu.\n\nJina la sayari \nSayari hii ina majina mawili kwa Kiswahili: Zuhura, kwa matamshi mengine pia \"Z... | wiki:sw |
6804 | [
{
"role": "assistant",
"content": "NASA ni kifupi cha Kiingereza cha \"National Aeronautics and Space Administration\" (Mamlaka ya Marekani ya Usafiri wa Anga). Mamlaka hii ilianzishwa 1958. Wajibu wake ni kusimamia miradi ya serikali ya Marekani ya kuendesha utafiti na uchunguzi wa anga. NASA inasimamia ut... | wiki:sw |
6805 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Waarabu (kwa Kiarabu عَرَبِ, matamshi ya Kiarabu: [ʕarabi]) ni watu ambao lugha mama yao ni Kiarabu wakijitambua vile.\n\nAsili ya Waarabu na uenezaji\nKiasili walikuwa watu wa Bara Arabu na maeneo jirani katika Syria na Iraki, lakini tangu kuja kwa Uislamu walienea nje y... | wiki:sw |
6806 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Korongo hawa ni ndege wa familia ya Ciconiidae wenye domo refu na nene (korongo wa familia ya Gruidae wana domo fupi na jembamba zaidi). Wanaitwa kongoti pia, hususa korongo mfuko-shingo. Mabawa yao ni marefu sana, yale ya korongo mfuko-shingo yana m 3.2: marefu kuliko yal... | wiki:sw |
6807 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Mkoa wa Ruvuma ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania. \n\nUmepewa jina kutokana na mto Ruvuma ambao ni mpaka wake wa kusini na Msumbiji. Umepakana na Ziwa Nyasa na Mkoa wa Morogoro upande wa magharibi, mikoa ya Iringa na Lindi upande wa kaskazini na Mkoa wa Mtwara upande wa mash... | wiki:sw |
6808 | [
{
"role": "assistant",
"content": "The Jackson 5 lilikuwa kundi la muziki wa roki la nchini Marekani lililoundwa na wanamuziki watano; mmojawapo ni Michael Jackson. Nyimbo zilizoimbwa na kundi hili ni kama \"The Love You Save\", \"I Will Be There\", \"Mamas Pearl\" na \"Never Can Say Goodbye\".\n\nKundi \n ... | wiki:sw |
6809 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Siku ya wapendanao (kwa Kiingereza: Valentine's Day) ni sikukuu ambayo huadhimishwa kila ifikapo tarehe 14 Februari ya kila mwaka. \n\nHistoria yake imeanzia karne ya 3 huko Roma au Terni ambapo alikuwapo padri au askofu Valentinus ambaye akaja kuheshimiwa kama mtakatifu h... | wiki:sw |
6810 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Mkoa wa Kigoma uko kati ya mikoa 31 ya Tanzania wenye postikodi namba 47000. Umepakana na Burundi na Mkoa wa Kagera upande wa Kaskazini, mikoa ya Shinyanga na Tabora upande wa mashariki na Mkoa wa Rukwa upande wa kusini. Magharibi umepakana na Ziwa Tanganyika penye mpaka n... | wiki:sw |
6811 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia ilikuwa vita iliyopigwa kuanzia mwaka 1914 hadi 1918. Mataifa wapiganaji yalikuwa Ujerumani, Austria-Hungaria, Bulgaria na Uturuki (ziliitwa \"Mataifa ya Kati\", ing. central powers) kwa upande mmoja dhidi ya Ufaransa, Urusi, Uingereza, Italia, ... | wiki:sw |
6812 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Réunion (kwa Kifaransa: La Réunion) ni kisiwa cha Afrika na mkoa wa ng'ambo wa Ufaransa (kwa Kifaransa: département d'outre-mer, au DOM) katika Bahari Hindi. Kisheria hali yake ni sawa na mikoa mingine ya Ufaransa hivyo ni pia sehemu ya Umoja wa Ulaya.\n\nEneo lake \nReuni... | wiki:sw |
6813 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Agostino wa Hippo (Thagaste, leo Souk Ahras nchini Algeria, 13 Novemba 354 – Hippo, leo Annaba, Algeria, 28 Agosti, 430) alikuwa mtawa, mwanateolojia, padri na hatimaye askofu mkuu wa Hippo.\n\nNdiye kiongozi mkuu wa Kanisa Katoliki katika Afrika Kaskazini mwanzoni mwa kar... | wiki:sw |
6814 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Wavandali walikuwa kabila kubwa la Kigermanik la mashariki ambao katika karne tano za kwanza BK walihama kutoka sehemu za Poland ya leo hadi Afrika ya Kaskazini wakiunda Ufalme wao katika maeneo ya Algeria na Tunisia ya leo, pamoja na kutawala visiwa vya Mediteraneo maghar... | wiki:sw |
6815 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Tunisia (kirefu: Jamhuri ya Tunisia - kwa Kiarabu الجمهرية التونسية, al-Jumhūrīya at-Tūnisīya) ni nchi ya Afrika ya Kaskazini inayopakana na Bahari ya Mediteranea, Libya na Algeria.\n\nNchi imegawanyika katika mikoa 6 tena katika wilaya 24.\n\nMji mkuu ni Tunis (wakazi 1,0... | wiki:sw |
6816 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Historia ya Kiswahili imeanza takriban miaka 1000 iliyopita kwenye pwani ya Afrika ya Mashariki.\n\nNeno Swahili lina asili ya Kiarabu: Sahil ina maana ya pwani; sawahil ’’as-sawāhilī’’ (السواحلي) ni wingi wake kwa kumaanisha yote yanayohusiana na pwani, watu au utamaduni ... | wiki:sw |
6817 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Kiswahili kimepatikana kwa namna au lahaja mbalimbali.\n\nWakati wa ukoloni wa Uingereza azimio lilitolewa kutumia Kiswahili cha Unguja kuwa Kiswahili rasmi katika Tanganyika, Kenya na Zanzibar. Waingereza walikitumia pia kama lugha ya polisi na jeshi katika Uganda.\n \nKa... | wiki:sw |
6818 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Kidachi ni neno la Kiswahili cha zamani linalosikika hadi leo katika sehemu za Tanzania kwa ajili ya lugha ya Kijerumani au tabia za Wajerumani. Neno limetokana na \"Deutsch\" (tamka: doitsh) ambalo ni jinsi Wajerumani wenyewe wanavyojiita. \n\nKidachi, Mdachi/Wadachi na U... | wiki:sw |
6819 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Mkoa wa Rukwa ni mmojawapo kati ya mikoa 31 ya Tanzania wenye postikodi namba 55000. \n\nUnapakana na mikoa ya Kigoma, Tabora na Katavi upande wa kaskazini, mkoa wa Mbeya upande wa mashariki, Zambia kusini na upande wa magharibi Ziwa Tanganyika lililo mpaka na Kongo pia. \... | wiki:sw |
6820 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Mkoa wa Shinyanga ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania wenye msimbo wa posta 37000. Mkoa umepakana upande wa kaskazini na mikoa ya Mwanza, Geita na Kagera, upande wa kusini na Mkoa wa Tabora. Mkoa wa Kigoma uko upande wa magharibi, na mkoa wa Simiyu upande wa mashariki.\n\nMaka... | wiki:sw |
6821 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni huduma ya matangazo ya \"Islamic Republic of Iran Broadcasting\" (IRIB) ambayo ni redio ya taifa ya Iran (Uajemi) kwa lugha ya Kiswahili.\n\nIRIB inarusha matangazo kwa lugha mbalimbali kama vile Kirusi, Kiarabu,... | wiki:sw |
6822 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Mkoa wa Pwani ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania wenye postikodi namba 61000. \n\nMkoa umepakana upande wa Kaskazini na Tanga, upande wa mashariki na Dar-es-Salaam na Bahari Hindi, upande wa kusini na mkoa wa Lindi na upande wa magharibi na mkoa wa Morogoro.\n\nMakao makuu ya... | wiki:sw |
6823 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Mkoa wa Manyara ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania wenye postikodi namba 27000. Umepakana na mikoa ya Arusha na Kilimanjaro upande wa kaskazini, Mkoa wa Tanga upande wa mashariki, Mkoa wa Dodoma upande wa kusini na mikoa ya Singida na Shinyanga upande wa magharibi.\n\nMkoa wa... | wiki:sw |
6824 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Korongo hawa (pia mana) ni ndege wa familia ya Gruidae wenye domo fupi na jembamba kuliko lile la korongo wa familia ya Ciconiidae. Spishi nyingi hufanya mikogo ya kubembeleza jike wakitoa sauti kubwa. Huugana kwa maishi yao yote. Spishi za nchi za halijoto wastani huhama ... | wiki:sw |
6825 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Mkoa wa Mwanza ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania, wenye postikodi namba 33000. Umepakana na Geita upande wa magharibi, Shinyanga na Simiyu upande wa kusini na Mara upande wa mashariki. Ziwa la Viktoria Nyanza liko kaskazini. \n\nMakao makuu ya mkoa yapo Mwanza mjini.\n\nMkoa... | wiki:sw |
6826 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Heroe ni ndege wa jenasi Phoenicopterus, jenasi pekee ya familia ya Phoenicopteridae. Ndege hawa hukaa kwa maji ya chumvi kwa makundi makubwa. Wana miguu mirefu na shingo ndefu na nyembamba. Wakiruka angani hunyosha shingo. Urefu wao ni kati ya futi 3 na 5. Hula vijimea (a... | wiki:sw |
6827 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Mkoa wa Kilimanjaro ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania wenye postikodi namba 25000. \n\nMlima Kilimanjaro, mlima mrefu kupita yote barani Afrika, umo ndani ya mkoa wa Kilimanjaro. Jina la mlima huu ndilo limeupatia mkoa jina lake. \n\nMkoa wa Kilimanjaro umepakana na Kenya u... | wiki:sw |
6828 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Unguja ni kisiwa kikubwa katika Bahari Hindi mkabala wa mwambao wa Afrika ya Mashariki karibu na Dar es Salaam. \n\nUnguja ndicho kisiwa kikuu cha funguvisiwa la Zanzibar ambavyo ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania. \n\nUnguja ina eneo la takriban km² 1.658 ikiwa ... | wiki:sw |
6829 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Zanzibar ni neno linalotaja \n\n Kijiografia Funguvisiwa la Zanzibar kwenye mwambao wa Afrika ya Mashariki hasa visiwa vikubwa vya Unguja na Pemba pamoja na visiwa vidogo vidogo\n Nje ya Tanzania kisiwa cha Unguja mara nyingi huitwa \"Zanzibar\"\n Kihistoria Usultani wa Za... | wiki:sw |
6830 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Jiji la Zanzibar ni mji mkubwa wa kisiwa cha Unguja na mji mkuu wa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar.\n\nPia ni wilaya katika Mkoa wa Unguja Mjini Magharibi wa Tanzania.\n\nJiji lina wakazi 206,292 (sensa ya mwaka 2002).\n\nJina\n\nMakala kuu: Etimolojia ya Neno Zanzibar\n\nMji ... | wiki:sw |
6831 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Etimolojia ya neno \"Zanzibar\" inaonyesha ya kuwa ni jina la kale sana. Hakuna hakika kabisa kuhusu asili ya neno hilo. Etimolojia ni elimu ya asili ya maneno na uhusiano yake na maneno mengine.\n\nAsili za Kiarabu na Kiajemi\nZanzibar ina uhusiano na maneno mawili ya Kia... | wiki:sw |
6832 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Makala hii inahusu Kisiwa cha Pemba. Jina Pemba linatumika pia kwa ajili ya Pemba katika Msumbiji na Pemba wilaya pamoja na mji huko Zambia.\n\nPemba ni kisiwa kilichopo takriban 50 km kaskazini ya Unguja katika Bahari Hindi. Visiwa vyote viwili ni sehemu za Jamhuri ya Wat... | wiki:sw |
6833 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Mchezo wa ng'ombe ni desturi inayojulikana hasa katika nchi za Hispania na Ureno, pia katika maeneo ya jirani ya Ufaransa kusini na katika koloni za zamani za Hispania huko Amerika ya Kilatini kama Meksiko. Imekuwa pia mila ya pekee kwenye Kisiwa cha Pemba, Tanzania. Kila ... | wiki:sw |
6834 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Taasisi ya Taaluma za Kiswahili (TATAKI) ni idara ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Tanzania. Taasisi hii ni miongoni mwa taasisi kongwe za lugha nchini Tanzania. Madhumuni yake yakiwa ni kusimamia usanifishaji na maendeleo ya lugha ya Kiswahili. Hadi mnamo mwaka 2009 taas... | wiki:sw |
6835 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Mkoa wa Pemba Kusini mi mojawapo kati ya mikoa 31 ya Tanzania wenye postikodi namba 74000. Uko katika sehemu ya kusini ya Kisiwa cha Pemba ambacho ni sehemu ya Jamhuri ya Watu wa Zanzibar katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. \n\nMakao makuu ya mkoa yako Chake Chake. \n\... | wiki:sw |
6836 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Mkoa wa Unguja Kaskazini ni mmojawapo kati ya mikoa 31 ya Tanzania wenye Postikodi namba 73000. Uko Unguja ambayo ni kisiwa kikubwa cha Jamhuri ya Watu wa Zanzibar. \n\nMakao makuu ya mkoa yako Mkokotoni. \n\nKuna wilaya mbili ambazo ni Kaskazini Unguja 'A' (105,780 mwaka ... | wiki:sw |
6837 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Tikisa au vibikula ni ndege wa jenasi Motacilla na Dendronanthus katika familia ya Motacillidae. \n\nWana mkia mrefu ambao wanautikisa mara kwa mara. Ndege hao ni wadogo na wembamba na spishi kadhaa zina rangi nzuri. \n\nHukamata wadudu ardhini na hutaga mayai 4-8 ndani ya... | wiki:sw |
6838 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Mkoa wa Unguja Kusini ni mmojawapo kati ya mikoa 31 ya Tanzania wenye postikodi namba 72000 na uko kwenye kisiwa cha Unguja. \n\nMakao makuu yako Koani. \n\nEneo la mkoa ni km² 854 likiwa na wakazi 195,873 kadiri ya sensa ya mwaka 2022 . \n\nMwaka 2012 walikuwa 115,588 kat... | wiki:sw |
6839 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Joseph Hill (22 Januari 1949 – 19 Agosti 2006) alikuwa mtunzi na mwimbaji wa Reggae toka nchini Jamaika. Alianza muziki katika kundi lijulikanalo kama The Soul Defender lililokuwa na makazi yake kitongoji cha St Catherine. Baadaye akaanzisha kundi la Culture akiwa na Telf... | wiki:sw |
6840 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Kaskazini-Mashariki ulikuwa mmoja kati ya mikoa 9 ya Kenya. Eneo lake lilikuwa km² 127 000 na wakazi 962,143 (sensa ya 1999). \n\nWakati wa ukoloni eneo hilo liliitwa \"Northern Frontier District\" (Eneo la mpakani wa kaskazini) likitawaliwa pekee na sehemu kubwa ya Keny... | wiki:sw |
6841 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Ali Farka Touré ni mmoja wa wanamuziki mahiri barani Afrika. Alizaliwa jijini Bamako nchini Mali mwaka 1939. Jina lake hasa ni Ali Ibrahim Touré. Muziki wa Ali Farka Touré ni mchanganyiko wa muziki wa asili wa Mali na muziki wa Amerika ya Kaskazini hasa blues.\n\nTouré al... | wiki:sw |
6842 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Rupia ni jina la pesa inayotumika leo huko India na katika nchi mbalimbali za Asia. \n\nNi pia jina la pesa iliyowahi kutumika Afrika ya Mashariki na nchi mbalimbali.\n\nJina na historia \n\nNeno \"rupia\" limetokana na lugha ya Kihindi cha kale \"rūp\" au \"rūpā\" linalom... | wiki:sw |
6843 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Afrika ya Mashariki ya Kiingereza (kwa Kiingereza British East Africa Protectorate) lilikuwa jina la eneo la Kenya lililowekwa chini ya utawala wa ulinzi wa Uingereza kuanzia mwaka 1895 hadi 1920 BK kama mtangulizi wa koloni la Kiingereza la Kenya.\n\nHistoria\nWakati wa m... | wiki:sw |
6844 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Siti binti Saad (alizaliwa Fumba, Zanzibari, 1880 akapewa jina la 'Mtumwa' kwa vile alizaliwa kipindi cha utumwa wa Kiarabu. Jina la Siti alipewa na kabaila mmoja wa Kiarabu) alikuwa mwimbaji wa Zanzibar.\n\nBaba yake bwana Saadi alikuwa ni Mnyamwezi kutoka Tabora na mama ... | wiki:sw |
6845 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Kwa maana nyingine za jina hili angalia Ruanda\n\nRwanda (zamani pia \"Ruanda\") ni nchi ya Afrika ya Mashariki isiyo na pwani kwenye bahari yoyote.\n\nImepakana na Uganda, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Burundi na Tanzania.\n\nRwanda ni mwanachama wa Umoja wa Mataifa n... | wiki:sw |
6846 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Makala hii inahusu nchi ya Malawi. Kwa maana mbalimbali za neno taz. Malawi (maana)\n\nMalawi (wakati wa ukoloni iliitwa Unyasa au Nyasaland) ni nchi ya bara la Afrika iliyopo kusini-mashariki, ikipakana na Tanzania, Msumbiji na Zambia.\n\nJina la nchi limeteuliwa kutokana... | wiki:sw |
6847 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Msumbiji (pia Mozambik, kwa Kireno: Moçambique) ni nchi ya Afrika ya Kusini-Mashariki. \n\nMsumbiji iko ufukoni mwa Bahari Hindi ikipakana na Tanzania, Malawi, Zambia, Zimbabwe, Afrika Kusini na Eswatini. \n\nUpande wa mashariki kuna kisiwa cha Madagaska ng'ambo ya mlango ... | wiki:sw |
6848 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Culture ni kundi la muziki ya reggae kutoka nchi ya Jamaika lililoanzishwa mwaka wa 1976. Jina la mwanzoni la kundi hilo lilikuwa ni \"African Disciples\". Kundi la Culture linaaminika kuwa ni kati ya makundi wanaopiga muziki halisi ya reggae yenye mafunzo na busara. Waanz... | wiki:sw |
6849 | [
{
"role": "assistant",
"content": "True Jesus Church ni kanisa la kujitegemea la Ukristo wa Kiprotestanti lililo na asili huko Beijing, Uchina, mwaka 1917. \n\nKanisa hilo linaamini teolojia ya \"Mungu Mmoja wa Kweli\". \n\nMwenyekiti wa sasa wa TJC International Assembly aliyechaguliwa ni mhubiri Yong-Ji L... | wiki:sw |
6850 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Umoja wa Afrika (UA) (kwa Kiingereza: African Union (AU); Kifaransa: Union Africaine (UA); Kihispania: Unión Africana (UA) ; Kireno: União Africana (UA) ) ni muungano wa nchi 55 za Afrika ulioanzishwa mnamo Julai 2002. \n\nUmoja huu unaendeleza kazi za Umoja wa Muungano w... | wiki:sw |
6851 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Shelisheli ni funguvisiwa na jamhuri katika Bahari Hindi, mashariki kwa mwambao wa Afrika Mashariki na kaskazini kwa Madagaska.\n\nJiografia \n\nShelisheli ina visiwa 115; 32 kati ya hivyo ni visiwa vikubwa kidogo vyenye milima, vingine ni vidogo na huitwa \"Visiwa vya nje... | wiki:sw |
6852 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Haile Selassie (kwa Kige'ez: ቀዳማዊ ኃይለ ሥላሴ, qädamawi haylä səllasé, [ˈhaɪlə sɨlˈlase]; 23 Julai 1892 – 27 Agosti 1975) alikuwa Kaisari au Negus Negeste wa Ethiopia. Kabla ya kuwa mfalme aliitwa Ras Tafari Makonnen. Jina lake la kifalme lina maana ya \"Utukufu wa Utatu (Mtak... | wiki:sw |
6853 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Kampala ni mji mkuu wa Uganda, pia mojawapo ya wilaya za nchi. Iko karibu na ziwa kubwa la Nyanza Viktoria, mita kama 1,189 juu ya UB. \n\nKampala ni mji mkubwa wa Uganda ikiwa na wakazi 1,208,544 (2002).\n\nUNDIO, UNEP, Benki ya Uchumi na East Africa Development Bank (EA... | wiki:sw |
6854 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Jamhuri ya Italia (kwa Kiitalia: Repubblica Italiana) ni nchi ya Ulaya Kusini inayoenea katika sehemu kubwa ya Rasi ya Italia na baadhi ya visiwa vya jirani kwenye Bahari ya Kati. \n\nEneo lake ni km² 302,072.84 ambalo lina wakazi 59,236,213 (31-12-2020): ni nchi ya 23 dun... | wiki:sw |
6855 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Gideon Byamugisha ni kasisi Mwanglikana wa Uganda na mchungaji wa kwanza Mwafrika aliyetangaza wazi ya kwamba ameambukizwa UKIMWI.\n\nMaisha\nAlizaliwa Buranga Ndorwa, Wilaya ya Kabale, Uganda wa Magharibi tarehe 29 Agosti 1959 akasomea ualimu kwenye Chuo Kikuu cha Makerer... | wiki:sw |
6856 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Chuo Kikuu cha Makerere ni chuo kikuu cha kwanza cha Afrika ya Mashariki na chuo kikuu kikubwa cha Uganda.\n\nKimeanzishwa wakati wa ukoloni mwaka 1922 kama shule ya ufundi kwa wanafunzi 14. Kozi za kwanza zilikuwa pamoja na useremala, ujenzi na umekanika. \n\nShule ikawa ... | wiki:sw |
6857 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Ngũgĩ wa Thiong'o (amezaliwa 5 Januari 1938) ni mwandishi Mkenya aliyeandika kwa Kiingereza lakini siku hizi anatumia lugha ya Gikuyu. \n\nMaandishi yake ni pamoja na riwaya, tamthilia, hekaya, insha na uhakiki. Ameanzisha gazeti la lugha ya Gikuyu Mũtiiri. \n\nTangu mwaka... | wiki:sw |
6858 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Kwa matumizi mengine ya jina hili tazama Kilwa\n\nKilwa Kivinje ni mji mdogo katika Wilaya ya Kilwa ufukoni wa Bahari Hindi. Kiutawala ni sehemu ya kata ya Kivinje Singino. \n\nWakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, mji ulilikuwa na wakazi wapatao 15,061. Msimbo wa po... | wiki:sw |
6859 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Kwa matumizi mengine ya jina hili tazama Kilwa\n\n \n\nWilaya ya Kilwa iko katika Mkoa wa Lindi, takriban kilometa 220 kusini mwa Dar es Salaam. Kilwa imepakana na Mkoa wa Pwani upande wa kaskazini, Bahari ya Hindi upande wa mashariki, wilaya ya Lindi Vijijini upande wa ku... | wiki:sw |
6860 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Wilaya ya Pangani ni kati ya wilaya za Mkoa wa Tanga katika Tanzania yenye Postikodi namba 21300. \n\nImepakana na wilaya ya Muheza upande wa Kaskazini, Wilaya ya Handeni upande wa magharibi, wilaya ya Bagamoyo (Mkoa wa Pwani) upande wa kusini na Bahari Hindi upande wa ma... | wiki:sw |
6861 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Historia ya Rwanda inahusu eneo la Afrika Mashariki ambalo wakazi wake leo wanaunda Jamhuri ya Rwanda.\n\nHistoria ya kale\nWakazi wa kwanza huaminiwa kuwa wawindaji wa jamii ya Wasani. \n\nKatika karne za kwanza BK walifika wahamiaji Wabantu wenye ujuzi wa kilimo na uhunz... | wiki:sw |
6862 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Ceuta (tamka: the-uta; kwa Kiarabu: سبتة sabta) ni mji wa Kihispania kwenye pwani ya Mediteranea ambao upande wa bara unazungukwa na eneo la Moroko. Ceuta iko karibu na mji wa Tetouan upande wa Moroko. Umbali na Hispania ni km 21 kuvuka mlango wa bahari wa Gibraltar. \n\nP... | wiki:sw |
6863 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Ella Fitzgerald (25 Aprili 1917 – 15 Juni 1996) alifahamika kama muimbaji wa kike wa muziki wa Jazz (Lady of songs).\nElla Fitzgerald au mama Ella sauti yake ilikuwa ni muhimu sana kwenye muziki wa Jazz na hata mitindo mingine ya muziki katika karne ya ishirini.\n\nElla Fi... | wiki:sw |
6864 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Simba Wanyika ilikuwa bendi nchini Kenya iliyoundwa mwaka wa 1971 na ndugu kutoka Tanzania, Wilson Kinyonga na George Kinyonga. Bendi hii ilivunjika mwaka wa 1994. Simba Wanyika na bendi zingine mbili zilizotoka kwayo, Les Wanyika na Super Wanyika Stars, zilikuwa bendi mas... | wiki:sw |
6865 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Ziwa Nyasa (katika Malawi: Lake Malawi; katika Msumbiji: Niassa) ni kati ya maziwa makubwa ya Afrika ya Mashariki likiwa na nafasi ya tatu baada ya Viktoria Nyanza na Ziwa Tanganyika.\n\nEneo la Ziwa \nEneo la ziwa ni km² 29,600. \n\nLina urefu wa km 560 na upana wa km 5... | wiki:sw |
6866 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Mafia ni funguvisiwa la Tanzania, pamoja na jina la kisiwa kikubwa ndani yake, linalotazama mwambao wa Afrika ya Mashariki km 130 kusini kwa Dar es Salaam karibu na mdomo wa Mto Rufiji. \n\nUmbali wake na bara ni km 16. \n\nKisiwa kikuu kina urefu wa km 49 na upana wa km 1... | wiki:sw |
6867 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Mafia ni moja kati ya wilaya 6 za mkoa wa Pwani katika Tanzania yenye postikodi namba 61700. Eneo lake ni hasa Kisiwa cha Mafia na visiwa vidogo karibu nacho. Mji mkuu na makao makuu ya wilaya ni Kilindoni. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, wilaya ilikuwa na waka... | wiki:sw |
6868 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Ziwa Tanganyika ni moja ya maziwa makubwa ya Afrika ya Kati likienea mpakani mwa Tanzania, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Burundi na Zambia. \n\nNi ziwa kubwa la pili duniani kwa wingi wa maji matamu baada ya Ziwa Baikal (Siberia) kwa kuzingatia kiasi cha maji ndani yak... | wiki:sw |
6869 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Ethiopia (kwa Kiamhara ኢትዮጵያ Ityopp'ya; kwa Kiswahili pia \"Uhabeshi\") ni nchi ya Afrika ya Mashariki iliyoko kwenye Pembe ya Afrika. \n\nNchi zinazopakana na Ethiopia ni Sudan na Sudan Kusini upande wa magharibi, Eritrea na Jibuti kaskazini, Somalia mashariki na Kenya up... | wiki:sw |
6870 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Yoweri Kaguta Museveni (* 1944 Ntungamo, Wilaya ya Ntungamo, Uganda) ni Rais wa Uganda tangu 29 Januari 1986. Alichukua madaraka baada ya kushinda vita vya msituni chini ya kundi la National Resistance Movement na kushinda katika chaguzi za urais za mwaka 1996, 2001 na 200... | wiki:sw |
6871 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Jeshi ni jumla ya watu wanaopewa mamlaka ya kutumia nguvu ya silaha kutetea nchi kwa niaba ya dola au kutekeleza maagizo ya serikali dhidi ya maadui wa nje.\n\nNeno linatumika hasa kwa kutaja jeshi la ardhi, jeshi la wanamaji na jeshi la anga.\n\nKazi ya jeshi\nKazi ya jes... | wiki:sw |
6872 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Elimuanga (pia: astronomia, kutoka maneno ya Kigiriki ἄστρον astron \"nyota\" na νόμος nomos \"sheria\") ni elimu juu ya magimba ya ulimwengu kama vile nyota, sayari, miezi, vimondo, nyotamkia, galaksi kuhusu nyendo zao, nafasi, umbali, ukubwa na sheria zinazotawala tabia ... | wiki:sw |
6873 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Sayari (kwa Kiingereza planet) ni kiolwa kikubwa cha angani kinachozunguka jua (au nyota nyingine) na kung'aa kutokana na nuru ya jua iliyoakisiwa, tofauti na nyota na jua zinazong'aa peke yake. Kwa macho inaonekana kama nyota, lakini baada ya kuitazama kwa muda wa mwaka i... | wiki:sw |
6874 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Nyota kwa mang'amuzi na lugha ya kawaida ni nuru ndogo zinazoonekana angani wakati wa usiku.\n\nNyota ni magimba makubwa \nHali halisi nyota ni vitu sawa na Jua letu ambalo ni nyota mojawapo. Kwa kutumia darubini na vifaa vya kisayansi imegunduliwa ya kwamba ni magimba mak... | wiki:sw |
6875 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Daniel Toroitich arap Moi (2 Septemba 1924 - 4 Februari 2020) alikuwa Rais wa Kenya kutoka mwaka 1978 mpaka 2002.\n\nMaisha na mwanzo wa siasa \nMoi alizaliwa Sacho, wilaya ya Baringo, Mkoa wa Bonde la Ufa, na alilelewa na mama yake Kimoi Chebii, kufuatia kuaga dunia mapem... | wiki:sw |
6876 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Kasi ya nuru (pia: kasi ya mwanga, kwa Kiingereza speed of light) ni kasi yake iliyopimwa hata imekubaliwa kuwa nuru inakwenda karibu kilomita laki tatu kwa sekunde moja katika ombwe. Kama nuru inapitia katika hewa kasi yake inapungua.\n\nKatika nadharia ya uhusianifu ya ... | wiki:sw |
6877 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Galaksi (ing. galaxy) ni kundi la nyota nyingi zinazoshikamana pamoja katika anga ya ulimwengu kutokana na graviti yao. Nyota hupatikana angani katika makundi kama mawingu makubwa sana. \n\nKuna galaksi nyingi sana ulimwenguni. Kwa wastani kila galaksi imekadiriwa kuwa na ... | wiki:sw |
6878 | [
{
"role": "assistant",
"content": "TX Moshi William (jina halisi: Shaban Ally Mhoja Kishiwa) alikuwa mmoja wa wanamuziki mahiri wa muziki wa dansi nchini Tanzania aliyeweza kurekodi albamu 13. \n\nAlizaliwa Tanga mwaka 1958 na kufariki dunia 29 Machi 2006 na kuacha mke mmoja na watoto wanne. \n\nKwa miaka ... | wiki:sw |
6879 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Nyotamkia (kometi, pia nyota msafiri, shihabu, Kiing. comet) ni gimba dogo la angani linalozunguka Jua kwa njia ya duaradufu yenye sehemu kubwa mbali na Jua na sehemu ndogo karibu na Jua. Pale inapokaribia Jua inaotesha \"mkia\" unaoipa jina lake la \"nyota yenye mkia\". M... | wiki:sw |
6880 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Kwa maana nyingine, tazama: Dedan Kimathi (kata).\n\nDedan Kimathi (Thenge, tarafa ya Tetu, kaunti ya Nyeri, 31 Oktoba 1920 - 18 Februari 1957) alikuwa Mkenya aliyeongoza harakati za kundi la Mau Mau za kutwaa ardhi iliyokuwa iko mikononi mwa wakoloni toka Uingereza. \n\n... | wiki:sw |
6881 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Fasihi simulizi ni kazi ya sanaa inayotumia mdomo (tofauti na maandishi kama kwenye fasihi andishi) kama njia kuu ya kufikisha ujumbe. Ni sehemu ya msingi ya utamaduni na vipengele vyake vingi vinafanya kazi kama katika fasihi kwa jumla.\n\nKatika jamii isiyo na uandishi n... | wiki:sw |
6882 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Bujumbura, ni mji mkuu wa Burundi unaokadiriwa kuwa na idadi ya wakazi 300,000. Mji upo kaskazini mashariki mwa Ziwa Tanganyika, na ni mji mkubwa zaidi Burundi, kitovu cha mawasiliano na uchumi nchini humo. \n\nBujumbura ni mji pekee Burundi ambao una bandari ya kupakia ma... | wiki:sw |
6883 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Maumau lilikuwa kundi la wapiganaji wa Kenya waliokuwa wakipinga utawala wa kikoloni wa Waingereza toka mwaka 1952 hadi 1960. \n\nKundi lilianzishwa mwaka wa 1946, na viongozi wa hao mashujaa walikuwa Jomo Kenyatta, Jaramogi Oginga Odinga, Paul Ngei, Ronald Ngala, Harry Th... | wiki:sw |
6884 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Bonde la Ufa kwenye fani ya jiolojia ni bonde ambalo limetokana na mwendo wa mabamba ya gandunia mahali yanapoachana. \n\nBonde la Ufa la Afrika ya Mashariki ni mojawapo kati ya mabonde maarufu zaidi duniani. \n\nMabonde ya ufa hutokana na mvutano wa tektoniki. Mwendo huu ... | wiki:sw |
6885 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Vita Kuu ya Dunia ni jina linalotumika kwa ajili ya vita inayohusu nchi nyingi katika sehemu mbalimbali za dunia badala ya eneo la nchi kadhaa pekee. \n\nKwa kawaida vita mbili za karne ya 20 huitwa \"Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia\" (1914-1918) na \"Vita Kuu ya Pili ya Dunia... | wiki:sw |
6886 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Kemia (labda jina limetokana na neno la Kiarabu al-kemia) ni sayansi ya mata kwa kiwango cha atomi. \n\nKemia yahusu tabia ya elementi na viungo vya atomi, ni somo la kujua mabadiliko ya mata na uhusiano wa mata na mata ndogo tofauti, na pia huhusika wa nishati. \n\nKimsin... | wiki:sw |
6887 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Hugh Masekela (amezaliwa 4 Aprili 1939) ni mpulizaji mashuhuri wa tarumbeta wa Muziki ya Jazz. Alizaliwa mji wa Wilbank, Afrika Kusini. Hugh Masekela anafahamika ulimwenguni kote kwa aina ya kupiga Jazz la mtindo wa Afri Jazz na hasa upulizaji wake wa tarumbeta; uongozi wa... | wiki:sw |
6888 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Thomas Jefferson (2 Aprili 1743 – 4 Julai 1826) alikuwa Rais wa tatu wa Marekani kuanzia mwaka wa 1801 hadi 1809. \n\nPia alikuwa mwandishi wa katiba ya Marekani aliyetumia nadharia ya John Locke na kupanga hoja za kupinga Marekani kuendelea kuwa chini ya mfumo wa utawala ... | wiki:sw |
6889 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Pasaka ni sikukuu muhimu katika dini za Uyahudi na Ukristo. Jina la Pasaka limetokana na neno la Kiebrania \"פסח\" (tamka: pasakh).\n\n Pasaka ya Kiyahudi ni ukumbusho wa ukombozi wa Wanaisraeli kutoka Misri wakati wa Musa mnamo miaka ya 1200 KK.\n\n Pasaka ya Kikristo ni ... | wiki:sw |
6890 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Kwa matumizi tofauti ya jina hili angalia Pasaka, pia Pasaka ya Kiyahudi na Kipindi cha Pasaka\n\nPasaka ya Kikristo ni sikukuu ambayo Wakristo karibu wote hufanya kila mwaka ukumbusho wa kufufuka kwake Yesu Kristo siku ya tatu baada ya kusulubiwa, kufa na kuzikwa kwake.\n... | wiki:sw |
6891 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Pasaka ya Kiyahudi (pia Passah au Pessah; Kiing. Passover) ni kati ya sikukuu muhimu zaidi za dini ya Uyahudi. Sikukuu hiyo inakumbuka Wanaisraeli walivyotoka katika utumwa walimokuwemo huko Misri.\n\nPasaka ya Kiyahudi imekuwa na athira kubwa juu ya sherehe ya Pasaka ya K... | wiki:sw |
6892 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Kalenda ya Juliasi ni kalenda iliyoanzishwa katika Dola la Roma kwa amri ya Julius Caesar mnamo mwaka 46 KK Ilichukua nafasi ya kalenda ya Kirumi iliyotangulia. \n\nKalenda ya Juliasi ilibadilishwa na kalenda ya Gregori kuanzia karne ya 16 BK lakini ilikuwa kalenda rasmi ... | wiki:sw |
6893 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Kalenda ya Mwezi ni kalenda inayohesabu miezi kufuatana na mwendo wa Mwezi kwenye anga. Mwezi una muda wa siku 29,5 kutoka mwezi mpya hadi mwezi mpya. Faida yake ni ya kwamba mwezi unaonekana na watu wote. Hali hii inasaidia kuelewana haraka kati ya watu juu ya tarehe fula... | wiki:sw |
6894 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Jamhuri ya Madagaska (au Madagasikari) inaenea katika kisiwa cha Madagaska (pia: Bukini) kilichopo katika Bahari Hindi mashariki kwa pwani ya Afrika.\n\nJina \nJina Madagaska lina maana ya \"Kisiwa kikubwa\" na linatokana na lugha ya wenyeji, Wamalagasi ambao waongea Kima... | wiki:sw |
6895 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Itifaki (kutoka neno la Kiarabu; pia \"protokali\", kutoka Kiingereza \"protocol\") ni orodha au mpangilio wa visa unaotumika katika kuendesha sherehe, mkutano, mjadala na kadhalika kutokana na utaratibu uliowekwa. Mathalani katika shughuli za mikutano ni kiongozi gani ana... | wiki:sw |
6896 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Gaius Julius Caesar (tamka gayus yulius kaesar - 100 - 44 KK) alikuwa kiongozi wa kisiasa na wa kijeshi wa Roma ya Kale.\n \nAnakumbukwa hasa kwa mafanikio mbalimbali yanayoonekana kuathiri dunia hadi leo.\n\nBaadhi ya mafanikio hayo ni:\n\n Kama kiongozi wa kijeshi alitek... | wiki:sw |
6897 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Gallia ni jina la kihistoria kwa ajili ya Ufaransa pamoja na maeneo ya jirani.\n\nEneo la Gallia\nGallia ilikuwa jina la kilatini kwa ajili maeneo yaliyokaliwa na \"Wagallia\". Hili ilikuwa namna jinsi Waroma wa Kale walivyowaita majirani wao Wakelti.\n\nKijiografia eneo h... | wiki:sw |
6898 | [
{
"role": "assistant",
"content": "{| border=\"1\" cellpadding=\"2\" cellspacing=\"0\" align=\"right\" width=\"330px\" style=\"margin-left:15px; border-collapse:collapse; border-color:#f2f2f4\"\n\n|+Jamhuri ya Kiarabu ya Misri (Kiswahili)Gumhūriyyat Misr al-ʿarabiyya (Kiarabu)</font>\n\n| align=\"center\" c... | wiki:sw |
6899 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Libya ni nchi ya Afrika ya Kaskazini kwenye Bahari ya Mediteraneo, inayopakana na Misri, Sudan, Niger, Chad, Algeria na Tunisia. \n\nEneo kubwa la nchi (90%) ni sehemu ya jangwa la Sahara. Chini yake kuna akiba kubwa ya petroli, ambayo ndiyo utajiri wa nchi.\n\nMiji mikuu ... | wiki:sw |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.