global_id
stringlengths
1
4
messages
listlengths
1
201
label
stringclasses
20 values
7000
[ { "role": "assistant", "content": "Kong'oli ni neno litumikalo katika mtandao. Linatumika kuashiria kitendo cha kufungua tovuti tofauti kwa kubonyeza puku ya tarakishi. Watu wengi zaidi hutumia neno la kubofya kwa tendo hilohilo. Kwa upande mwingine neno la kong'oli si rasmi sana.\n\nHistoria ya Kongo'li\nM...
wiki:sw
7001
[ { "role": "assistant", "content": "Tarakilishi, ngamizi au Kompyuta ni mashine au chombo cha kielektroniki chenye uwezo wa kupokea na kukusanya taarifa (data), na halafu kuzishughulikia kulingana na kanuni za programu ya kompyuta inayopewa. Inafuata hatua za mantiki katika kazi hii. Hapo hutoa matokeo ya ka...
wiki:sw
7002
[ { "role": "assistant", "content": "Kwa miji mingine inayoitwa \"Tripoli\" tazama makala ya maana Tripoli\n\nTripoli ni mji mkuu wa Libya. \n\nJina la Kiarabu ni طرابلس (tarāblus) au طرابلس الغربية (tarābulus al-gharbiyya - Tripoli ya Magharibi kwa sababu ya Tripoli ya mashariki huko Lebanon) lina asili ya l...
wiki:sw
7003
[ { "role": "assistant", "content": "Kwa maana nyingine ya neno \"Niger\" tazama Niger (maana)\n\nNiger (pia Nijeri) ni nchi kubwa zaidi ya Afrika ya Magharibi kwa eneo, lakini 80% ni katika jangwa la Sahara. \n\nImepakana na Algeria na Libya upande wa kaskazini, Mali na Burkina Faso upande wa magharibi, Cha...
wiki:sw
7004
[ { "role": "assistant", "content": "Mogadishu (kwa Kisomali Muqdisho; kwa Kiitalia Mogadiscio) ni mji mkuu wa Somalia. Iko ufukoni wa Bahari Hindi ikiwa na wakazi milioni 2.590 (2017).\n\nHistoria\nMogadishu imeundwa mnamo mwaka 900 BK ikawa mji wa kaskazini kabisa wa utamaduni wa Waswahili kwenye pwani ya A...
wiki:sw
7005
[ { "role": "assistant", "content": "Vitenduli ni ndege wadogo wa jenasi Uraeginthus katika familia ya Estrildidae ambao wana rangi buluu. Kuna spishi mbili zingine kwa jenasi hii ambazo zinaitwa tunguhina na zina rangi kahawianyekundu, lakini wataalamu wengine wanaziweka katika jenasi Granatina. Vitenduli wa...
wiki:sw
7006
[ { "role": "assistant", "content": "Tunguhina ni ndege wadogo wa jenasi Uraeginthus katika familia ya Estrildidae ambao wana rangi kahawianyekundu na viraka buluu au zambarau. Kuna spishi tatu zingine kwa jenasi hii ambazo zinaitwa vitenduli na zina rangi buluu. Wataalamu wengine wanaweka spishi mbili za tun...
wiki:sw
7007
[ { "role": "assistant", "content": "Morisi ni kisiwa karibu na Afrika, pia ni nchi inayoitwa rasmi Jamhuri ya Morisi (kwa Kiingereza: Republic of Mauritius, kwa Kifaransa: République de Maurice). Ni nchi ya visiwa katika Bahari Hindi takriban Km 900 mashariki kwa Madagaska na km 4000 kusini-magharibi kwa Bar...
wiki:sw
7008
[ { "role": "assistant", "content": "Antanànarìvo (matamushi [An/ta/na/ri/vo], Umma 1,403,449 (2001 sensa), ni Mji Mkuu wa Madagaska, kwa Mkoa wa Antananarivo.\n\nPia mji huu wajulikana kwa jina la Kifaransa kama Tananarive ama kwa kifupi ni Tana. Antanànarivo iko kati ya kisiwa kulingana na usabaa wa kisiwa,...
wiki:sw
7009
[ { "role": "assistant", "content": "Port Louis ni mji mkuu wa jamhuri ya Morisi. Ikiwa na wakazi 170,000 ni mji mkubwa wa taifa hili la visiwani katika Bahari Hindi. \n\nKiwanja cha ndege cha kimataifacha Sir Seewoosagur Ramgoolam kipo 30 km kusini ya mji. Kutoka Port Louis kuna feri kwenda Saint Denis mji ...
wiki:sw
7010
[ { "role": "assistant", "content": "Maskarena ni funguvisiwa katika Bahari Hindi takriban 900 km mashariki ya Madagaska. Kwa jumla ni visiwa vya dola la Morisi pamoja na kisiwa cha Kifaransa cha Réunion.\n\nVisiwa muhimu ni Morisi, Réunion, Rodrigues na Cargados Carajos. \n\nAsili ya jina ni nahodha Mreno Pe...
wiki:sw
7011
[ { "role": "assistant", "content": "Shomoro ni ndege wadogo wa jenasi Passer katika familia ya Passeridae ambao wana rangi ya nyeusi, nyeupe, majivu na kahawia. Ndege hawa huitwa korobindo pia, lakini jina hili litumike afadhali kwa kuita ndege wa jenasi Petronia. Shomoro wenye kichwa kijivu huitwa jurawa. N...
wiki:sw
7012
[ { "role": "assistant", "content": "Burkina Faso ni nchi ya Afrika ya Magharibi isiyo na pwani kwenye bahari yoyote. \n\nImepakana na nchi zifuatazo: Mali upande wa kaskazini, Niger upande wa mashariki, Benin, Togo, Ghana na Côte d'Ivoire upande wa kusini.\n\nHistoria\n\nHistoria ya awali\n\nKoloni la Wafara...
wiki:sw
7013
[ { "role": "assistant", "content": "Wagadugu (kwa Kifaransa huandikwa Ouagadougou) ni mji mkuu wa Burkina Faso, na pia mji mkubwa kabisa wa nchi hiyo na wa mkoa wa Centre. \n\nMwaka 2019 idadi ya wakazi ilikuwa milioni 2,453,496, lakini mji unakua haraka.\n\nWagadugu iko katika jimbo la Kadiogo. Kuna ofisi z...
wiki:sw
7014
[ { "role": "assistant", "content": "Gambia (jina rasmi: Republic of The Gambia) ni nchi ndogo kabisa ya Afrika bara. Eneo lake lote linazungukwa na Senegal kwa kufuata mwendo wa mto Gambia hadi Bahari ya Atlantiki. \n\nKimsingi nchi yote ni maeneo ya kandokando ya mto huo; urefu ni takriban km 500, upana kat...
wiki:sw
7015
[ { "role": "assistant", "content": "\"Esta é a Nossa Pátria Bem Amada\" (\"Hii ni nchi yetu tunayoipenda\") ni wimbo wa kitaifa wa Guinea Bisau. Ilitungwa na Amílcar Cabral ikawa wimbo rasmi wakati wa uhuru mwaka 1974. \nIlikuwa pia wimbo wa taifa wa Cabo Verde hadi 1996.\n\nManeno ya Kireno \nSol, suor e o ...
wiki:sw
7016
[ { "role": "assistant", "content": "Guinea-Bisau (pia: Ginebisau) ni nchi ndogo katika Afrika ya Magharibi. \n\nIko mwambaoni kwa Bahari Atlantiki ikipakana na Senegal upande wa kaskazini na Guinea upande wa kusini.\n\nJiografia \nGuinea-Bisau ni kati ya nchi ndogo sana za Afrika ikiwa na eneo la kilomita mr...
wiki:sw
7017
[ { "role": "assistant", "content": "Jamhuri ya Kidemokrasia ya São Tomé na Príncipe (kifupi: Sao Tome na Principe) ni nchi ndogo inayoundwa na visiwa vichache vilivyoko katika Bahari ya Atlantiki mbele ya pwani ya Afrika ya Magharibi katika Ghuba ya Guinea. Ilikuwa koloni la Ureno hadi mwaka 1975.\n\nEneo la...
wiki:sw
7018
[ { "role": "assistant", "content": "Sao Tome ni mji mkuu wa nchi ya visiwa ya Sao Tome na Principe, karibu na Afrika ya Magharibi. \n\nJina limetokana na lile la Kireno la Mtakatifu Thoma. \n\nMji ulianzishwa na Ureno mwaka 1485 kwenye pwani ya kaskazini-mashariki ya kisiwa chenye jina lilelile katika ghuba ...
wiki:sw
7019
[ { "role": "assistant", "content": "Biladi, Biladi, Biladi (بلادي بلادي بلادي, yaani \"Nchi yangu\") ni wimbo wa taifa wa Misri tangu mwaka 1979.\n\nNota na maneno vimetungwa Sayed Darwish (1892-1932).\n\nKwa Kiarabu cha Misri \n\n Biladi biladi biladi laki hubbi wa fuadi\n Biladi biladi biladi laki hubbi wa...
wiki:sw
7020
[ { "role": "assistant", "content": "\"Oh Uganda, Land of Beauty\" ni wimbo wa taifa wa Uganda tangu mwaka 1962. Sauti na maneno vimetungwa na George Wilberforce Kakoma.\n\nKwa Kiingereza \nOh Uganda! may God uphold thee,\nWe lay our future in thy hand.\nUnited, free,\nFor liberty\nTogether we'll always stand...
wiki:sw
7021
[ { "role": "assistant", "content": "Accra ni mji mkuu wa Ghana ukiwa na wakazi 1 650 000. Accra ni kitovu cha uchumi, biashara na mawasiliano ya nchi. Iko ndani ya mkoa wa Accra Kuu.\n\nHistoria\nAccra ilianzishwa na Waga katika karne ya 15 BK kama kituo cha biashara na Wareno. Wareno walijenga boma kwa ajil...
wiki:sw
7022
[ { "role": "assistant", "content": "Cabo Verde (kwa Kiing. Cape Verde) ni nchi ya visiwa katika bahari ya Atlantiki mbele ya pwani ya Afrika ya Magharibi. \n\nUmbali wake na Senegal ni km 460.\n\nJiografia\nEneo la visiwa vyake kwa jumla ni km² 4,033.\n\nFunguvisiwa lake lina visiwa 15 katika vikundi viwili:...
wiki:sw
7023
[ { "role": "assistant", "content": "Kisiwa cha Lamu ni sehemu ya funguvisiwa la Lamu pamoja na visiwa vya Pate na Manda karibu na mwambao wa Kenya katika Bahari Hindi.\n\nKisiwani Lamu kuna mji wa Lamu na vijiji vya Shela, Kipangani na Matondoni. Shela imekuwa mahali pa utalii ambako watu wa nje wamejenga ny...
wiki:sw
7024
[ { "role": "assistant", "content": "Pate ni kisiwa kikubwa cha funguvisiwa la Lamu mbele ya pwani ya Kenya katika Bahari Hindi. Pate ni kisiwa ambacho ni karibu na Somalia. \n\nWakati ya maji kujaa Pate inagawanywa katika sehemu mbili kwa mtaro wa bahari karibu na Siyu; wakati wa maji kupwa mtaro huwa pakavu...
wiki:sw
7025
[ { "role": "assistant", "content": "Moroni (kwa Mwandiko wa Kiarabu: موروني) ni mji mkuu pia mji mkubwa wa Komori wenye wakazi 60,200.\n\nMji uko upande wa magharibi wa kisiwa cha Ngazija (Grande Comore). Kuna bandari kwa usafiri kwa meli kwenda visiwa vingine vya Bahari Hindi pia bara la Afrika ya Masharik...
wiki:sw
7026
[ { "role": "assistant", "content": "Leonard \"Mambo“ Mbotela ni mtangazaji mashuhuri wa redio nchini Kenya. Amejulikana kwa huduma yake ya zaidi ya miaka 40 tangu mwaka 1964. Alikuwa mtangazaji wa habari na michezo, haswa soka. Tangu mwaka 1966 amekuwa hewani na kipindi chake \"Je, Huu ni Ungwana?\".\n\nLeo...
wiki:sw
7027
[ { "role": "assistant", "content": "William Booth (10 Aprili 1829 – 20 Agosti 1912) ni Mkristo aliyeanzisha Jeshi la Wokovu na kuwa mkurugenzi wake wa kwanza (1878 – 1912).\n\nMaisha\n\nUtoto na Ujana\nBooth alizaliwa katika kijiji cha Sneiton, wilaya ya Nottingham, nchi ya Uingereza. Alikuwa mmoja wa watoto...
wiki:sw
7028
[ { "role": "assistant", "content": "Aidani wa Lindisfarne (Ireland, 590 hivi - Northumberland, Uingereza, 31 Agosti 651) ndiye aliyeanzisha kituo cha utawa na kuwa askofu wake wa kwanza kwenye kisiwa cha Lindisfarne. Kabla hajafika Northumbria alikuwa mtawa katika kwenye kisiwa cha Iona katika nchi ya Uskoti...
wiki:sw
7029
[ { "role": "assistant", "content": "Alfred Nobel (21 Oktoba 1833 – 10 Desemba 1896) alikuwa mhandisi na mwenye viwanda wa nchi ya Sweden. \n\nMwaka wa 1867 aligundua jinsi ya kutengeneza baruti kali. Pia aliboresha utoneshaji wa mafuta. Akafaulu kiuchumi akawa tajiri na wakati uleule mwenye wasiwasi kuhusu m...
wiki:sw
7030
[ { "role": "assistant", "content": "Fridtjof Nansen (10 Oktoba 1861 – 13 Mei 1930) alikuwa mpelelezi wa maeneo ya ncha ya Kaskazini, mwanazuolojia na mwanasiasa kutoka nchi ya Norwei. Katika safari yake ya miaka 1888-89 alikuwa mpelelezi wa kwanza kuvuka kisiwa cha Greenland kutoka Mashariki kwenda Magharibi...
wiki:sw
7031
[ { "role": "assistant", "content": "Paulo Diakono (takriban 720 - 13 Aprili 799) alikuwa mmonaki Mbenedikto, shemasi na mwanahistoria aliyetoka kabila la Walongobardi. \n\nKati ya miaka 782 na 787 aliishi ikuluni mwa mfalme Karolo Mkuu. \n\nAliandika historia ya maaskofu wa mji wa Metz, historia ya Walangoba...
wiki:sw
7032
[ { "role": "assistant", "content": "Adolphe Adam (24 Julai 1803 – 3 Mei 1856) alikuwa mtunzi wa nyimbo kutoka nchini Ufaransa. Adam alikuwa mtoto wa mtunzi na mpiga kinanda maarufu huko ufaransa, lakini baba yake hakupenda mtoto wake afuate kazi yake ya muziki. \n\nAdolphe alichaguliwa kama profesa katika C...
wiki:sw
7033
[ { "role": "assistant", "content": "William wa Ockham (takriban 1285 – 9 Aprili 1349 au 1350) alikuwa mtawa wa shirika la Ndugu Wadogo kutoka nchi ya Uingereza.\n\nNi maarufu hasa kama mwanateolojia na mwanafalsafa, lakini alijihusisha sana na siasa pia. \n\nAlikuwa mmojawapo wa waanzishaji wa mantiki ya kis...
wiki:sw
7034
[ { "role": "assistant", "content": "Patrice Lumumba (2 Julai 1925 – 17 Januari 1961) alikuwa mwanasiasa na kiongozi wa uhuru wa nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. \n\nMwaka wa 1958 alikuwa miongoni mwa waanzishaji wa Chama cha Taifa la Kongo (kwa Kifaransa: Mouvement National Congolais). \n\nMwaka wa ...
wiki:sw
7035
[ { "role": "assistant", "content": "George Gershwin (26 Septemba 1898 – 11 Julai 1937) alikuwa mtungaji wa muziki na mpiga kinanda kutoka nchi ya Marekani. Alitunga nyimbo nyingi zilizoathiriwa na mitindo ya Jazz. Pia alitunga opera moja iitwayo Porgy na Bess. Aliaga dunia mapema baada ya kupatwa na kansa ya...
wiki:sw
7036
[ { "role": "assistant", "content": "Tuzo ya Nobel ya Fizikia hutolewa kila mwaka kufuatana na wasia ya Alfred Nobel na kamati ya Taasisi ya Taaluma ya Sayansi ya Sweden.\n\nTangu mwaka 1901 tuzo imepokelewa na wataalamu wafuatao:\n\n1901\tWilhelm Conrad Röntgen \n\n1902\tHendrik Antoon Lorentz na Pieter Zeem...
wiki:sw
7037
[ { "role": "assistant", "content": "Tuzo ya Nobeli ya Kemia hutolewa kila mwaka kufuatana na wasia wa Alfred Nobel na Kamati ya Taasisi ya Taaluma ya Sayansi ya Sweden.\n\nTangu mwaka 1901 tuzo imepokelewa na wataalamu wafuatao:\n\n1901\tJacobus Henricus van’t Hoff \n\n1902\tHermann Emil Fischer \n\n1903\tSv...
wiki:sw
7038
[ { "role": "assistant", "content": "Tuzo ya Nobel ya Tiba au Fiziolojia hutolewa kila mwaka kufuatana na wasia ya Alfred Nobel na kamati ya Taasisi ya Taaluma ya Sayansi ya Sweden.\n\nTangu mwaka 1901 tuzo imepokelewa na wataalamu wafuatao:\n\n 1901 Emil von Behring\n 1902 Ronald Ross\n 1903 Niels Ryberg Fin...
wiki:sw
7039
[ { "role": "assistant", "content": "Tuzo ya Nobel ya Amani inatolewa na kamati ya Nobel ya Norway iliyochaguliwa na Bunge ya Norway kufuatana na wasia ya Alfred Nobel. \n\nTangu mwaka 1901 tuzo imepokelewa na watu wafuatao au taasisi zifuatazo:\n\n1901\tHenri Dunant na Frederic Passy \n\n1902\tElie Ducommun ...
wiki:sw
7040
[ { "role": "assistant", "content": "Lilongwe ni mji mkuu wa Malawi wenye wakazi 597,619 (sensa ya mwaka 2003). Yenyewe iko kusini magharibi mwa nchi, magharibi mwa Mto Malawi karibu na mpaka wa Malawi na Msumbiji na Zambia. Lilongwe mahali pake ni (-13.98333, 33.78333).\n\nHistoria \nMji huo ulianza kama ki...
wiki:sw
7041
[ { "role": "assistant", "content": "Uholanzi ni nchi ya Ulaya ya Magharibi. Imepakana na Ujerumani upande wa mashariki, Ubelgiji upande wa kusini na Bahari ya Kaskazini (North Sea) upande wa magharibi na kaskazini. \n\nUholanzi ni sehemu ya \"Ufalme wa Nchi za Chini\" (Kingdom of the Netherlands) pamoja na v...
wiki:sw
7042
[ { "role": "assistant", "content": "Akinwande Oluwole (au \"Wole\" Soyinka) ni mwandishi Mnigeria na mshindi Mwafrika wa kwanza wa Tuzo ya Nobel ya fasihi (mwaka wa 1986). Wengi wanamwona ndiye mwandishi bora wa michezo ya kuigizwa Afrika.\n\nAlizaliwa tarehe 13 Julai 1934 kwa wazazi Wayoruba huko Abeokuta, ...
wiki:sw
7043
[ { "role": "assistant", "content": "Kanuni ya Heisenberg ya Utovu wa Hakika (kwa kifupi: Kanuni ya Utovu wa Hakika) ni kanuni muhimu katika fizikia ya kwanta. Inasema kwamba haiwezekani kupima sifa mbili zinazotegemeana za kipande kimoja cha elementi kwa uhakika kabisa. Baadhi ya sifa hizo kuna mahali na mwe...
wiki:sw
7044
[ { "role": "assistant", "content": "San Marino (kwa Kiitalia maana yake ni \"Mtakatifu Marino\") ni kati ya nchi ndogo kabisa duniani. Eneo lake lote limo ndani ya mipaka ya Italia, kati ya wilaya za Rimini na Pesaro-Urbino, karibu na mwambao wa bahari ya Adria.\n\nEneo lote la km² 61,19 ni la milima.\n\nHis...
wiki:sw
7045
[ { "role": "assistant", "content": "Toni Morrison (18 Februari 1931 – 5 Agosti 2019) alikuwa mwandishi wa kike nchini Marekani na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi ya mwaka 1993.\n\nAlizaliwa kwa jina la Chloe Anthony Wofford tarehe 18 Februari 1931 huko Lorain, Ohio - 2019 kama mtoto wa pili wa familia ya ...
wiki:sw
7046
[ { "role": "assistant", "content": "Vesuvio ni volkeno nchini Italia. Iko karibu na jiji la Napoli. \n\nNi volkeno hai iliyoendelea kuwa na milipuko mara kwa mara tangu mlipuko wake wa kwanza iliyojulikana mwaka 79 BK. \n\nLeo hii inaonekana kuwa ni volkeno yenye hatari sana kwa sababu baada ya muda bila mil...
wiki:sw
7047
[ { "role": "assistant", "content": "Hifadhi ya Taifa ya Nyerere (awali: Selous, matamshi: \"saluu\") ni hifadhi ya taifa kubwa kuliko yote nchini Tanzania, pia ni kati ya hifadhi ya wanyama kubwa kabisa duniani. Hifadhi imeanzishwa mwaka wa 2019; kabla ya kupandishwa hadhi na kuwa hifadhi, ilikuwa pori teng...
wiki:sw
7048
[ { "role": "assistant", "content": "Nagib Mahfuz (1911 - 2006) (kwa Kiarabu: نجيب محفوظ) alikuwa mwandishi nchini Misri aliyepokea Tuzo ya Nobel mwaka 1988 akiwa mshindi wa pili kutoka Afrika aliyepokea tuzo hiyo. Katika muda wa miaka 70 ya kazi alitunga riwaya 34, hadithi fupi zaidi ya 350, makumi ya mswada...
wiki:sw
7049
[ { "role": "assistant", "content": "Kwa kisiwa kinachoitwa Kreta kwa lugha ya Kigiriki, ona hapa Krete\n\nKreta (pia kasoko, kwa Kiingereza: crater) ni uwazi kwenye ardhi uliotokana na mlipuko au mshtuko wa kugongwa na gimba.\n\nKreta ina umbo la duara; katikati ni kama shimo na ukingo wake unainuliwa juu ya...
wiki:sw
7050
[ { "role": "assistant", "content": "Chamko la volkeno hutokea kama lava (zaha) na gesi kutoka vilindi vya ganda la Dunia zinatoka nje ya ardhi. Kutegemeana na tabia ya magma (mwamba wa joto katika hali ya kiowevu) na mazingira chamko hilo linaweza kuwa kama mlipuko au kama kumwaga kwa lava ya moto inayosamba...
wiki:sw
7051
[ { "role": "assistant", "content": "Kamerun ni volkeno hai na mlima mkubwa nchini Kamerun wenye kimo cha m 4095 juu ya UB. Majina mengine ni Fako (jina la kilele cha juu) au Mongo ma Ndemi (\"Mlima Mkubwa\").\n\nMlima uko karibu na Ghuba ya Guinea ya Atlantiki na mji wa bandari Douala.\n\nMilipuko imeripotiw...
wiki:sw
7052
[ { "role": "assistant", "content": "Mlima Rungwe ni volkeno iliyozimika ya Tanzania kusini magharibi ikikadiriwa ya kwamba mlipuko wake wa mwisho ulitokea mnamo miaka 2000 hadi 5000 iliyopita. \n\nUkiwa na kimo cha m 2960 ni mlima mkubwa wa Tanzania ya Kusini.\n\nMlima unasimama juu ya ncha ya kaskazini ya Z...
wiki:sw
7053
[ { "role": "assistant", "content": "Kaldera ni shimo kubwa ya mviringo iliyotokea wakati volkeno inaporomoka ndani yake baada ya mlipuko. \n\nKaldera hutokea kama chumba cha magma chini ya volkeno kimetoa nje yaliyomo yake yote na kuacha uwazi mkubwa (nafasi) ardhini. Mlima juu yake unaporomoka ndani ya nafa...
wiki:sw
7054
[ { "role": "assistant", "content": "Selsiasi (sentigredi, Celsius) ni kipimo cha halijoto kinachotumika zaidi duniani. Alama yake ni °C.\n\nKipimo hiki hutumia skeli ya vizio 100 kati ya 0 °C na 100 °C. 0 °C ni halijoto ya kuganda kwa maji kuwa barafu. 100 °C ni halijoto ya maji kuchemka, yote kwa shindikizo...
wiki:sw
7055
[ { "role": "assistant", "content": "K ni herufi ya 11 katika katika alfabeti ya Kilatini ambayo ni pia mwandiko wa Kiswahili cha kisasa. Asili yake ni Kappa ya alfabeti ya Kigiriki.\n\nMaana za K \n kati ya vipimo sanifu vya kimataifa K ni alama ya Kelvini (kiwango cha halijoto)\n Katika Kemia K ni alama ya ...
wiki:sw
7056
[ { "role": "assistant", "content": "Kelvini ni Kizio cha SI kwa halijoto. Alama yake ni K.\n\nKiwango chake kinaanza kwenye sifuri halisi (= -273.15 °C) pasipo mwendo wowote wa molekuli. Kizio kimoja cha Kelvini ni sehemu ya 1/273.16 ya tofauti kati ya sifuri halisi (=0 K) na kiwango utatu cha maji (+0.01 °C...
wiki:sw
7057
[ { "role": "assistant", "content": "Visiwa vya Kirimba (Kireno: Quirimbas, Ilhas de Querimba) ni funguvisiwa katika Bahari Hindi mbele ya mwambao wa Msumbiji wa kaskazini, kusini ya rasi ya Delgado. Inafuata mwendo wa pwani kwa umbali wa 180 km hadi mji wa Pemba. Umbali na pwani ni kati ya 12 na 20 km.\n\nId...
wiki:sw
7058
[ { "role": "assistant", "content": "Jiji la Mbeya ni mji mkubwa kusini-magharibi mwa Tanzania yenye hadhi ya jiji yenye Postikodi namba 53100. \n\nMbeya ni kitovu cha Nyanda za Juu za Kusini ambazo ni eneo la uzalishaji wa mazao mengi. \n\nNi makao makuu ya mkoa.\n\nJiografia\nMji umeenea katika bonde kati ...
wiki:sw
7059
[ { "role": "assistant", "content": "Tukuyu ni mji mdogo na makao makuu ya wilaya ya Rungwe katika mkoa wa Mbeya, Tanzania. \n\nIko mita 1300 juu ya UB, karibu na mlima wa Rungwe ikitazama beseni la Ziwa Nyasa.\n\nHistoria\n\nTukuyu ilianzishwa mnamo 1901 wakati wa ukoloni wa Kijerumani. Wajerumani waliwahi k...
wiki:sw
7060
[ { "role": "assistant", "content": "Mto ni mwendo asilia wa maji yanayofuata njia yake kwenye mtelemko hadi mdomoni wake.\n\nChanzo \n\nChanzo cha mto mara nyingi ni chemchemi au ziwa au maungano ya vijito vidogo. Mto hufuata mwendo wake kwa mtelemko hadi mwisho wake baharini au ziwani au kwa mto mwingine. K...
wiki:sw
7061
[ { "role": "assistant", "content": "Mto wa Kongo (kati ya miaka 1971 na 1997 uliitwa zaidi \"Zaire\") ni mto mkubwa wa Afrika ya kati. Ni mto mrefu wa pili katika Afrika baada ya Nile. Pia ni mto wenye kina kirefu zaidi duniani. \n\nBeseni la Kongo pamoja na matawimto yake ni eneo kubwa la pili duniani la ms...
wiki:sw
7062
[ { "role": "assistant", "content": "Niger ni mto mkubwa kabisa wa Afrika ya Magharibi na mto mrefu wa tatu barani Afrika ukiwa na mwendo wa km 4.374. Njia yake ni kama upinde ikianza Guinea katika nyanda za juu za Futa Djallon kuelekea kaskazini-mashariki kupitia Mali hadi Niger. Karibu na mji wa Timbuktu in...
wiki:sw
7063
[ { "role": "assistant", "content": "Binadamu (pia mwanadamu) ni neno lenye asili ya Kiarabu linalomaanisha \"Mwana wa Adamu\", anayeaminiwa na dini za Uyahudi, Ukristo na Uislamu kuwa ndiye mtu wa kwanza.\n\nBinadamu kadiri ya sayansi \nKisayansi jina hilo linaweza kutumika kwa maana ya Homo sapiens ili kumt...
wiki:sw
7064
[ { "role": "assistant", "content": "Elbe ni mto mkubwa nchini Ujerumani na Ucheki.\n\nInaanza kwa jina la Kicheki \"labe\" katika milima ya Krkonoše (Kijer.: Riesengebirge) karibu na mpaka wa kaskazini ya Ucheki.\n\nInapita sehemu kubwa ya Ujerumani wa Mashariki na Kaskazini na kuishia katika Bahari ya Kaska...
wiki:sw
7065
[ { "role": "assistant", "content": "Mto wa Senegal ni kati ya mito mirefu ya Afrika ukiwa na urefu wa kilometa 2272 pamoja na tawimto mrefu la Bafing.\n\nMto Senegal wenyewe unaanza karibu na mji wa Bafoulabe (Mali) kwenye maungano ya mito miwili ya Bafing na Bakoye ambayo yote ina chanzo huko Guinea.\n\nUre...
wiki:sw
7066
[ { "role": "assistant", "content": "Wadi Draa (pia: \"Oued Dra\") ni mto mrefu wa Moroko. Unaanza katikati ya nchi kwenye milima ya Atlasi yanapoungana matawimto ya Dadès and Imini. \n\nMwanzoni unaelekea kusini mashariki hadi Tagunit halafu kusini-magharibi ukifuata mpaka wa Algeria na Moroko hadi mdomo wak...
wiki:sw
7067
[ { "role": "assistant", "content": "Delta ya barani ni eneo nchini na mbali na bahari ambapo mto unapanuka kwa umbo la delta. \n\nKupanuka huku kunatokea kama mto unafika penye mtelemko mdogo kama tambarare au beseni. Kutokana na uhaba wa mtelemko kasi ya maji inapungua na mashapo yanatelemka chini yakijenga...
wiki:sw
7068
[ { "role": "assistant", "content": "Zambezi ni kati ya mito mirefu ya Afrika ikishika nafasi ya nne baada ya Nile, Kongo na Niger. Ni mto mrefu wa Afrika wa kuingia Bahari Hindi. \n\nBeseni lake lina km² 1,570,000 au nusu ya mto Nile. Chanzo chake kiko Zambia, halafu mto unapita Angola mpakani na Namibia, Bo...
wiki:sw
7069
[ { "role": "assistant", "content": "Nasaba ya Han (kwa Kichina cha asili: 漢朝 ; Kichina rahisi: 汉朝; Hanyu Pinyin: Hàn cháo; Wade-Giles: Han Ch'au; 206 KK – 220 BK) ilitawala Uchina baada ya nasaba ya Qin, na ilitangulia Madola Matatu. Utawala huu ulianzishwa na familia maarufu iliyofahamika kama ukoo wa Liu. ...
wiki:sw
7070
[ { "role": "assistant", "content": "Ufalme wa Bizanti (kwa Kigiriki: Βυζαντινή Αυτοκρατορία) ni neno linalotumika kutaja Dola la Roma lilivyoendelea mashariki mwa eneo la kandokando ya bahari ya Mediteranea katika Zama za Kati, ukiwa na makao yake makuu kwenye mji wa Konstantinopoli (ulioitwa pia Bizanti) na...
wiki:sw
7071
[ { "role": "assistant", "content": "Historia ya awali (kwa Kiingereza: prehistory) ni kipindi kirefu sana cha historia, kikichukua miaka yote tangu binadamu walipotokea duniani mpaka historia andishi ilipoanza (huko Mesopotamia miaka 3,300 hivi KK). \n\nIngawa muda ni mrefu sana na ni wa msingi kwa historia ...
wiki:sw
7072
[ { "role": "assistant", "content": "Ubangi ni tawimto mkubwa wa mto Kongo na kati ya mito mirefu ya Afrika.\n\nChanzo chake ni maungano ya mito Mbomou na Uele kwenye mpaka wa Jamhuri ya Afrika ya Kati (J.A.K.) na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (J.K.K.). \n\nMto waelekea kwanza magharibi halafu magharibi-ku...
wiki:sw
7073
[ { "role": "assistant", "content": "Roma ya Kale ni ustaarabu uliokua kutoka katika mji Roma, ulioanzishwa katika rasi ya Italia kabla ya karne ya 9 KK. \n\nKatika kipindi cha karne kumi na mbili cha uhai wake, ustaarabu wa Roma ulibadilika toka kuwa dola-mji, kwanza ufalme halafu jamhuri ya Roma yenye athir...
wiki:sw
7074
[ { "role": "assistant", "content": "Misri ya Kale ni ustaarabu uliokuwepo Afrika kaskazini, sambamba na mto Naili, kuanzia kwenye delta au mdomo wa Naili, toka kaskazini mwa Misri kwenda kusini hadi Jebel Barkal, kwenye maporomoko ya nne, wakati wa kupanuka kwake (Karne ya 15 KK). \n\nUstaarabu huo ulidumu k...
wiki:sw
7075
[ { "role": "assistant", "content": "Nile ya buluu ni tawimto kubwa la mto Nile. Inaanza katika Ziwa Tana kwenye nyanda za juu za Ethiopia na kutelemka hadi Sudan. Mdomo wake uko mjini Khartum inapounganika na Nile nyeupe na kuunda mto wa Nile wenyewe.\n\nKwa jumla Nile ya bluu inabeba maji mengi kushinda Nil...
wiki:sw
7076
[ { "role": "assistant", "content": "Ruvuma (pia: Rovuma) ni mto mrefu wa Tanzania na Msumbiji. Mpaka kati ya Tanzania na Msumbiji unafuata mwendo wake kwa km 730.\n\nChanzo chake kiko mashariki kwa mji wa Songea katika milima ya Matagoro upande wa mashariki wa Ziwa la Nyasa. Unaelekea magharibi kati ya vilim...
wiki:sw
7077
[ { "role": "assistant", "content": "Rufiji ni mto mkubwa wa Tanzania. Chanzo kiko Tanzania ya kusini-magharibi katika maungano ya matawimto ya mto Kilombero (Ulanga) na mto Luwegu. \n\nUnafikia Bahari Hindi kwa njia ya delta yake takriban km 200 kusini kwa Dar es Salaam karibu na kisiwa cha Mafia. Urefu wa R...
wiki:sw
7078
[ { "role": "assistant", "content": "Shire ni mto unaotoka katika Ziwa Nyasa (au: ziwa Malawi) ikipeleka maji yake katika Mto Zambezi. \n\nKiasi chake cha maji kinategemea kiwango cha maji ziwani. Katika miaka ya 1930 iliwahi kukauka kwa muda; tangu siku zile ilikuwa na maji siku zote.\n\nShire inatoka kwenye...
wiki:sw
7079
[ { "role": "assistant", "content": "Oranje (kwa Kiingereza Orange River) ni mto mrefu wa Afrika Kusini. \n\nChanzo chake ni katika milima ya Maloti (Drakensberg) nchini Lesotho. Mdomo uko Atlantiki mpakani kati ya Afrika Kusini na Namibia.\n\nPale inapokaribia mpaka wa Nambibia Oranje imechimba mfereji mrefu...
wiki:sw
7080
[ { "role": "assistant", "content": "Bia ni kinywaji cha pombe kinachotengenezwa kwa maji, nafaka hasa shayiri, hopi kwa ladha na hamira kama chachu. Kiwango cha alikoholi ndani yake ni kati ya asilimia 2 - 6.\n\nBia katika Afrika ya Mashariki \nKimsingi bia si tofauti sana na kinywaji kinachoitwa \"pombe la ...
wiki:sw
7081
[ { "role": "assistant", "content": "Kasai ni tawimto refu la Kongo unaoanza kwenye Nyanda za Juu za Bie za Angola. Chanzo kiko kwenye 12° kus/19° kask. kaskazini ya mji wa Luena. Inaelekea magharibi km 400 inapogeukia kaskazini. Sasa iko mpaka kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Angola kwa 483 km. Ka...
wiki:sw
7082
[ { "role": "assistant", "content": "Shebeli (pia: Shabelle, Scebelli, Shabell, Shebele) ni tawimto la mto Juba linalobeba maji yake kutoka nyanda za juu za Ethiopia kuelekea Bahari ya Uhindi ingawa mara nyingi inakauka katika jangwa la Somalia kabla ya kufikia mdomo wake.\n\nChanzo cha Shebeli kiko katika mi...
wiki:sw
7083
[ { "role": "assistant", "content": "Juba (pia: Jubba, Giuba, Ganane au Genale; kwa Kisomali Wabiga Jubba) ni mto mkubwa wa Somalia wenye maji mwaka wote. Chanzo chake ni katika nyanda za juu za Ethiopia. Unaanzia karibu na mpaka wa Ethiopia, ambao Mto Dawa na mto Ganale Dorya inaungana, halafu unatiririkia k...
wiki:sw
7084
[ { "role": "assistant", "content": "Kismayu (pia: Kismayo au kwa Kisomali: Kismaayo) ni mji katika mkoa wa Jubbada Hoose wa Somalia mwambaoni mwa Bahari Hindi. Uko karibu na mdomo wa mto Juba. Kismayu ndio mji mkubwa katika eneo la Jubbaland. Mji wenyewe uko km 528 kusini magharibi mwa mji mkuu Mogadishu. \...
wiki:sw
7085
[ { "role": "assistant", "content": "Okavango (pia: Okovango; katika Angola: Kubango au Cubango) ni mto wa Afrika ya kusini-magharibi. Unaanza nchini Angola katika milima ya Bié inapojulikana kwa jina la Kubango. Mwendo wake wa km 1600 ni kusini tu hadi jangwa la Kalahari unapoishia kwenye delta ya barani. Ka...
wiki:sw
7086
[ { "role": "assistant", "content": "Kubango (pia: Cubango) ni jina la mto Okavango katika nchi ya Angola.\n\nChanzo cha mto ni kwenye kimo cha m 1780 juu ya UB katika nyanda za juu za Bie mashariki kwa Huambo, kilomita chache kusini kwa Nova Vila. \n\nHaielekei baharini bali kusini inapoishia katika jangwa ...
wiki:sw
7087
[ { "role": "assistant", "content": "Kishoroba cha Caprivi ni kanda nyembamba ya eneo la Namibia inayoelekea mashariki kwenye pembe la kaskazini-mashariki kabisa ya nchi Namibia kati ya Botswana upande wa kusini na Angola pamoja na Zambia upande wa kaskazini. Kishoroba hicho kina urefu wa km 450, upana ni mar...
wiki:sw
7088
[ { "role": "assistant", "content": "Mapatano baina Uingereza na Ujerumani kuhusu Afrika na Helgoland (kifupi mkataba wa Helgoland-Zanzibar) yalifanywa kati ya Ujerumani na Uingereza tarehe 1 Julai 1890. Pande zote mbili zilielewana juu ya mipaka ya makoloni yao au maeneo walimotaka kuwa na athira kuu katika ...
wiki:sw
7089
[ { "role": "assistant", "content": "Funguvisiwa la Lamu ni kundi la visiwa katika Bahari Hindi mbele ya pwani ya Kenya kaskazini ambavyo ni sehemu ya Kaunti ya Lamu, Kenya. \n\nVisiwa vikubwa ni Pate, Manda na Lamu. Visiwa vidogo ni pamoja na Kiwayu na Manda Toto. \n\nMji mkubwa zaidi ni Lamu kwenye Kisiwa ...
wiki:sw
7090
[ { "role": "assistant", "content": "Witu ni mji mdogo, kata na tarafa katika kaunti ya Lamu, eneo bunge la Lamu Magharibi, mashariki mwa Kenya.\n\nMji huu upo kilomita 5 (maili 3) magharibi mwa msitu wa Witu, barabarani kutoka Malindi kwenda Lamu, takriban katikati ya mto Tana na Lamu.\n\nKatika karne ya 19 ...
wiki:sw
7091
[ { "role": "assistant", "content": "Tana ni jina la mto mrefu kuliko yote ya Kenya ukiwa na urefu wa takriban km 650. \n\nChanzo chake ni milima ya Aberdare magharibi kwa Nyeri. Mwanzoni unelekea mashariki, halafu inapinda kuzunguka Mlima Kenya upande wa kusini. Kisha huingia ndani ya mabwawa ya Masinga na K...
wiki:sw
7092
[ { "role": "assistant", "content": "Helgoland ni fungukisiwa ndogo cha Kijerumani katika Bahari ya Kaskazini takriban 70 km mbele ya Ujerumani bara. Ina visiwa viwili: Helgoland yenyewe ni kisiwa kinachokaliwa na watu halafu kisiwa kisicho na watu cha \"Düne\" (= tuta la mchanga). Kisiwa kikuu kina urefu wa ...
wiki:sw
7093
[ { "role": "assistant", "content": "Ziwa Chad ni ziwa kubwa lisilo na njia ya kutoka lenye kina kidogo katika kanda la Sahel, kando ya jangwa kubwa la Sahara, kule ambako nchi za Chad, Kamerun, Niger na Nigeria zinapopakana, hivi kwamba eneo lake limegawanywa kati ya nchi hizo. Ziwa Chad lina umuhimu mkubwa ...
wiki:sw
7094
[ { "role": "assistant", "content": "Ziwa Rukwa ni ziwa kubwa la magadi nchini Tanzania. Liko upande wa kusini magharibi wa nchi, karibu na Zambia, kati ya Ziwa Tanganyika na Ziwa Nyasa.. \n\nEneo la ziwa hubadilika mara kwa mara kufuatana na wingi wa mvua inayonyesha katika beseni yake.\n\nJiografia\nZiwa li...
wiki:sw
7095
[ { "role": "assistant", "content": "Kwando (au: Cuando; kabla ya mdomo pia Linyanti halafu Chobe) ni mto wa Afrika ya Kusini na tawimto la Zambezi. Chanzo chake kiko nyanda za juu za Bié (Angola) inapoelekea kusini-mashariki. Inakuwa mpaka kati ya Angola na Zambia kwa km 140, halafu inapita Kishoroba cha Cap...
wiki:sw
7096
[ { "role": "assistant", "content": "Gambia ni mto unaoanza katika milima ya Futa Djalon huko Guinea. Unafuata njia ya kunyoka hadi Atlantiki. Mdomo wake ni pana sana.\n\nBaada ya kutoka katika Futa Djallon mto unaelekea kaskazini-magharibi kupitia mkoa wa Tambakunda katika Senegal halafu mbuga wa wanyama wa ...
wiki:sw
7097
[ { "role": "assistant", "content": "Maziwa ya Afrika ni mengi. Baadhi ya yale muhimu zaidi yameorodheshwa humu kieneo.\n\nMaziwa ya Afrika Kaskazini \n\nZiwa Chad\n\nZiwa Nasser\n\nZiwa Bitter\n\nZiwa Abiad\n\nZiwa Kundi\n\nZiwa No\n\nZiwa Nubia\n\nZiwa Um-Badr\n\nMaziwa ya Afrika Mashariki \n\nZiwa Nyanza\n...
wiki:sw
7098
[ { "role": "assistant", "content": "Ziwa Turkana ni ziwa kubwa lililopo katika kaskazini yabisi ya Kenya. Halina mto unaotoka, hivyo maji yanayoingia yanapotea kwa njia ya uvukizaji. Kwa jumla ni ziwa la Kenya lakini ncha ya kaskazini iko ndani ya Ethiopia. Ni pia ziwa la jangwani liliko kubwa kuliko yote du...
wiki:sw
7099
[ { "role": "assistant", "content": "Chari (Shari) ni mto mkubwa unaoishia katika Ziwa Chad. Unaanza katika Jamhuri ya Afrika ya Kati ukielekea kaskazini na kuingia nchi ya Chad. Baada ya kupita mji mkuu N'Djamena mto uunaunda mpaka na Kamerun halafu unaishia katika Ziwa Chad.\n\nChari inatiririsha 90% ya maj...
wiki:sw