global_id stringlengths 1 4 | messages listlengths 1 201 | label stringclasses 20
values |
|---|---|---|
6900 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Tripoli ni neno la asili ya Kigiriki (Τρίπολις - Trípolis au Τρίπολη - Trípoli) linalomaanisha \"miji mitatu\" au \"mji mwenye sehemu tatu\". Asili yake ni maungano ya miji mitatu ya jirani kuwa mji au dola moja. Katika lugha ya Kiarabu neno limekuwa \"Trablus\" au \"Tarab... | wiki:sw |
6901 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Maulid (pia: maulidi, kwa kirefu: Maulid an-Nabii) ni sikukuu ya dini ya Uislamu ya kuadhimisha kuzaliwa kwake Mtume Muhammad takriban mwaka 570 BK.\n\nNeno lenyewe ni la asili ya Kiarabu kutokana na مولد النبي , maulid an-nabi, au ميلاد النبي , milaad an-nabi). Sikukuu in... | wiki:sw |
6902 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Mayotte ni eneo la ng’ambo la Ufaransa (kwa Kifaransa: Départment de Mayotte). Linaundwa na visiwa vya Mahore na Pamanzi pamoja na vingine vidogo. Eneo hili kijiografia ni hasa muungo wa funguvisiwa la Komoro lakini si kisiasa. \n\nMayotte iko katika kaskazini ya Mfereji w... | wiki:sw |
6903 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Funguvisiwa ni kundi la visiwa vinavyokaa sehemu pamoja baharini. Mara nyingi kundi la namna hiyo lina asili moja, kama vile kuwa mabaki ya kisiwa kikubwa zaidi kilichogawika kutokana na mmomonyoko wa ardhi yake au kuwa na asili ya volkeno.\n\nAtolli inaweza kuonekana pia ... | wiki:sw |
6904 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Lamu ni neno la kutaja mahali pafuatapo katika Kenya:\n\n Lamu (mji) - ni kati ya miji ya kale sana ya Waswahili kwenye pwani ya Afrika ya Mashariki; uko kwenye orodha ya UNESCO ya \"Urithi wa Dunia\"\n Lamu (kisiwa) ni kisiwa chenye mji wa Lamu\n Lamu (funguvisiwa) ni fun... | wiki:sw |
6905 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Wilaya ni mgawanyo wa kiutawala au eneo lililotengwa kwa ajili ya utawala. Mikoa ya Tanzania na Kenya imegawiwa kwa wilaya. \n\nAsili ya neno ni Kiarabu \"ولاية\" (wilaayatun - Kituruki: vilayet). Katika Dola la Osmani \"vilayet\" ilikuwa ngazi ya kwanza ya mgawanyo wa kiu... | wiki:sw |
6906 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Mmomonyoko (kwa Kiingereza erosion) ni hali ya kuvunjika au kumegekamegeka kwa udongo au mwamba kutokana na athira ya upepo, maji, barafu, joto au mwendo wa ardhi. Kazi za binadamu zimekuwa pia sababu muhimu ya mmomonyoko.\n\nKatika mazingira yanayokaliwa na binadamu, na h... | wiki:sw |
6907 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Kwa \"wali\" kama chakula tazama wali (chakula)\n\nLiwali au wali ni cheo cha msimamizi wa eneo fulani.\n\nCheo cha Kiarabu\nAsili ni neno la Kiarabu \"الوالي\" al-wali linalomaanisha mtawala wa mahali au eneo asiyejitegemea bali aliyeteuliwa na serikali kushughulikia mamb... | wiki:sw |
6908 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Urithi wa Dunia ni maeneo yenye thamani kubwa ya kiutamaduni au kimazingira duniani yanayoangaliwa na shirika la UNESCO. \n\nHadi Septemba 2023 sehemu 1,172 katika nchi 166 zimekubaliwa. Nchi zinazoongoza kwa wingi wa mahali ni Italia (59) na China (57) zikifuatwa na Ujeru... | wiki:sw |
6909 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Somalia (kwa Kisomali: Soomaaliya), ambayo inajulikana rasmi kama Jamhuri ya Shirikisho ya Somalia, ni nchi kwenye pwani ya Afrika ya Mashariki katika Pembe ya Afrika. \n\nKijiografia, imezungukwa upande wa kaskazini-mashariki na Ethiopia na Jibuti, na upande wa magharibi ... | wiki:sw |
6910 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Barafuto huitwa pia \"mto wa barafu\". Ni kanda kubwa la barafu iliyoanza kutambaa kutokana na uzito wake ikifuata graviti kwenye mtelemko. Kwa sababu hiyo barafuto zinapatikana hasa mlimani.\n\nAsili ya barafu ya barafuto \n\nBarafuto zimetokana na theluji inayokaa miaka ... | wiki:sw |
6911 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Utaridi (alama: ; kwa Kiingereza Mercury) ni sayari iliyo karibu zaidi na jua letu katika mfumo wa Jua.\n\nJina la sayari \nJina lake limetokana na Kiarabu عطارد (soma ʿuṭaarid) inayomaanisha \"mwendo wa haraka\" kwa sababu kasi ya Utaridi inapita mwendo wa sayari nyingine... | wiki:sw |
6912 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Mshtarii (alama: ; pia Mshiteri, Mushtarii au Mshatira, kutokana na Kiarabu المشتري al-mushtari; na hata Jupita kutokana na Kiingereza Jupiter) ni sayari ya tano toka kwenye jua katika Mfumo wa jua na sayari zake.\n\nMshtarii ni sayari kubwa kabisa ya jua letu. Masi yake i... | wiki:sw |
6913 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Laki (pia Lakhi) ni neno lenye asili ya Kihindi linalotumika kutaja namba 100,000, ambayo inafuata 99,999 na kufuatwa na 100,001. Inaweza kuandikwa pia 105.\n\nKwa mfano, Mji una wakazi laki tano, yaani mia tano elfu. \n\nNamba 650,000 inaweza kusomwa \"laki sita na nusu\"... | wiki:sw |
6914 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Mwezi (alama: ) ni gimba la angani linalozunguka sayari, sayari kibete au asteroidi fulani. Kuna miezi mingi katika anga-nje. Vipindi vya kuonekana kwa mwezi wa Dunia vilisababisha matumizi ya \"mwezi\" kama majira ya wakati.\n\nMabadiliko ya kuonekana kwake yalisababisha ... | wiki:sw |
6915 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Mwezi ni mojawapo wa vipindi kumi na mbili vya mwaka. Muda wa mwezi unategemea aina ya kalenda inayotumika.\n\nMwezi kama kipimo cha wakati \n\nUso wa mwezi jinsi unavyoonekana duniani hubadilikabadilika. Mwezi mpevu unaonekana kama duara kamili la kung'aa lakini baada ya ... | wiki:sw |
6916 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Kalenda ni utaratibu wa kupanga wakati. Hupatikana kama orodha ya vipindi vya wakati kama vile siku, juma, mwezi na mwaka. Kalenda mbalimbali zimejua pia vipindi vya miaka kadhaa.\n\nKalenda inayotumika zaidi leo kimataifa ni kalenda ya Gregori iliyo muhimu kwa uchumi na b... | wiki:sw |
6917 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Sudan (jina rasmi: Jamhuri ya Sudan) ni nchi ya tatu kwa ukubwa katika bara la Afrika na ya kumi na sita duniani\n\nImepakana na Misri kaskazini, Bahari ya Shamu kaskazini-mashariki, Eritrea na Ethiopia mashariki, Sudan Kusini kusini-mashariki, Afrika ya Kati na Chadi magh... | wiki:sw |
6918 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Jamhuri ya Zimbabwe (iliyojulikana wakati wa ukoloni kama Rhodesia ya Kusini) ni nchi isiyo na bahari iliyoko upande wa kusini wa Bara la Afrika, kati ya mto Zambezi na mto Limpopo. \n\nImepakana na Afrika ya Kusini upande wa kusini, Botswana upande wa magharibi, Zambia up... | wiki:sw |
6919 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Handeni ilikuwa wilaya ya Mkoa wa Tanga katika Tanzania hadi kugawiwa katika Wilaya ya Handeni Mjini na Wilaya ya Handeni Vijijini mnamo mwaka 2012. \n\nImepakana na wilaya ya Kilindi upande wa magharibi, wilaya ya Korogwe na Mkoa wa Kilimanjaro upande wa kaskazini, wilaya... | wiki:sw |
6920 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Wilaya ya Rungwe ni kati ya wilaya 8 za Mkoa wa Mbeya katika Tanzania yenye Postikodi namba 53500. Imepakana na Wilaya ya Mbeya vijijini upande wa kaskazini, Mkoa wa Iringa upande wa mashariki, Wilaya ya Kyela upande wa kusini-mashariki, Wilaya ya Ileje kwa kusini-magharib... | wiki:sw |
6921 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Ukitafuta mji wa New Zealand uone Kurow.\n\nKurów ni kijiji katika Poland ya Kusini-Mashariki kwenye mto wa Kurowka. Iko katikati ya miji ya Pulawy na Lublin katika wilaya ya Lublin. Ina wakazi 2811 (2005).\n\nKatika karne ya 15 BK kijiji kilipewa cheo cha mji chini ya she... | wiki:sw |
6922 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Angola ni nchi kubwa iliyopo upande wa kusini magharibi wa bara la Afrika ikipakana na Namibia, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Zambia. Upande wa magharibi kuna pwani ndefu ya Bahari Atlantiki. Mkoa wa Kabinda umetenganika na sehemu nyingine za nchi na unapakana na Jam... | wiki:sw |
6923 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Shilingi ya Kenya (KES au Ksh) ni fedha za Kenya. Shilingi moja imegawanywa kwenye senti mia moja. \n\nShilingi ya Kenya ilianzishwa mwaka 1966 baada ya kuvunjwa kwa bodi ya fedha ya Afrika ya Mashariki iliyosimamia fedha ya pamoja ya Kenya, Tanzania na Uganda iliyoitwa Ea... | wiki:sw |
6924 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Jamhuri ya Kamerun (pia: Cameroon) ni jamhuri ya muungano katika Afrika ya Magharibi.\n\nImepakana na Nigeria, Chadi, Jamhuri ya Afrika ya Kati, Jamhuri ya Kongo, Gabon, Guinea ya Ikweta na Ghuba ya Guinea.\n\nLugha rasmi na lugha za taifa ni Kifaransa (kinachoongoza kwa z... | wiki:sw |
6925 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Sarafu (kar. صرافة badilisha) ni kipande cha metali iliyotolewa na serikali ya nchi kama namna ya pesa. Mara nyingi sarafu ina umbo la duara kama kisahani. Kuna pia sarafu za pembe tatu, pembe nne au pembe zaidi. \n\nZamani sarafu ilikuwa umbo la kawaida ya pesa. Sarafu z... | wiki:sw |
6926 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Kiolwa cha angani (pia: gimba la angani, kwa Kiingereza: astronomical object au celestial body) ni jina la jumla kwa ajili ya vitu vinayopatikana katika anga ya ulimwengu. \n\nKwa Kiingereza istilahi \"object\" (kiolwa) na \"body\" (gimba) mara nyingi hutumiwa kama visawe.... | wiki:sw |
6927 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Nebula ni neno linalotumika kwa ajili ya kutaja eneo angavu na jeupejeupe linaloonekana angani ama kwa macho au kwa darubini. \n\nZamani hata galaksi ziliweza kuitwa \"nebula\". Galaksi ya Andromeda iliyokuwa galaksi ya kwanza kutambuliwa angani ilikuwa inaitwa \"Andromeda... | wiki:sw |
6928 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Utegili (pia: plasma) katika lugha ya fizikia, ni hali ya nne ya maada. Hali hiyo ni kama gesi ila ni ya kiioni. Nyinginezo ni hali mango (imara), kiowevu (majimaji) na gesi (kama hewa).\n\nMfano wa maada mango ni jiwe la mwamba, maada kiowevu ni maji, na maada gesi ni hew... | wiki:sw |
6929 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Yuri Alexeyevich Gagarin (kwa Kirusi Юрий Алексеевич Гагарин; 9 Machi 1934 huko Klushino karibu na Smolensk, Urusi - 27 Machi 1968) alikuwa mwanaanga wa kwanza katika historia yaani mtu wa kwanza aliyefika kwenye Anga-nje.\n\nAlimwoa Valentina Goryachova akawa na mabinti w... | wiki:sw |
6930 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Jamhuri ya Afrika ya Kati (kwa Kisango Ködörösêse tî Bêafrîka) ni nchi ya bara bila pwani katika Afrika ya Kati. \n\nImepakana na Chadi upande wa kaskazini, Sudan na Sudan Kusini upande wa mashariki, Jamhuri ya Kongo na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo upande wa kusini na ... | wiki:sw |
6931 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Algeria (pia: Aljeria; kwa Kiarabu: الجزائر al-Jazā’ir; kwa Kiberber: Dzayer, ⴷⵣⴰⵢⴻⵔ; kwa jina rasmi \"Jamhuri ya kidemokrasia ya watu wa Algeria\") ni nchi ya Afrika ya Kaskazini-Magharibi. Imepakana na bahari ya Mediteranea, Moroko, Sahara ya Magharibi, Mauretania, Mali,... | wiki:sw |
6932 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Melilla (tamka: me-li-ya; kwa Kiarabu: مليلية, Meliliya; jina rasmi: Ciudad Autónoma de Melilla = Mji wa kujitawala wa Melilla) ni mji wa Hispania kwenye pwani ya Mediteranea unaozungukwa na eneo la Moroko upande wa bara. Umbali na Hispania bara ni takriban km 170 kuvuka b... | wiki:sw |
6933 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Jamhuri ya Guinea ya Ikweta (kwa Kiswahili pia: Ginekweta) ni nchi mojawapo ndogo ya Afrika iliyopo upande wa magharibi wa Afrika ya Kati. \n\nImepakana na Kamerun upande wa kaskazini, Gabon upande wa kusini na mashariki, na Ghuba ya Guinea upande wa magharibi, ambapo visi... | wiki:sw |
6934 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Ziwa la Tana ni ziwa kubwa la Ethiopia ambalo ni asili ya Nile ya Buluu. Beseni lake liko takriban km 370 kaskazini-magharibi kwa Addis Ababa katika nyanda za juu za Ethiopia. \n\nUmbo la ziwa limebadilika katika karne iliyopita kutokana na mashapo. Kamusi ya mwaka 1888 il... | wiki:sw |
6935 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Jangwa ni eneo kavu lenye mvua au usimbishaji kidogo tu. Kutokana na ukavu kuna mimea michache tu, pia wanyama wachache. Wanyama walioko hufanya shughuli zao hasa wakati wa usiku. Kipimo cha usimbishaji kinachotambulika kimataifa ni kiwango cha chini ya mm 250 kwa mwaka. U... | wiki:sw |
6936 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Usimbishaji (kwa Kiingereza: precipitation) ni maji yanayonyesha kutoka hewa hadi ardhini. \n\nMaji hayo ni pamoja na mvua, theluji, mvua ya mawe na umande.\n\nUsimbishaji unaanza pale ambapo hewa yenye joto na mvuke hupanda juu. Juu zaidi halijoto yake inapungua na mvuke ... | wiki:sw |
6937 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Uvukizaji (pia: mvukizo; ing. evaporation) katika fizikia ni mwendo wa kiowevu (majimaji) kugeuka gesi.\n\nKuna dutu kama maji zinazoanza kuvukiza kabla ya kufikia kiwango cha kuchemka. Viowevu vyote huvukiza vikifikia kiwango maalumu cha kuchemka. \n\nKama molekuli katika... | wiki:sw |
6938 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Moroko (pia Maroko, kwa Kiarabu المغرب), au kirefu Ufalme wa Moroko (المملكة المغربية al-mamlaka al-maghribiya yaani \"ufalme wa magharibi\") ni nchi ya Afrika ya Kaskazini-Magharibi. \n\nImepakana na bahari za Atlantiki na Mediteranea; upande wa bara imepakana na Algeria ... | wiki:sw |
6939 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Historia ya Moroko inahusu eneo ambalo leo ni nchi ya Afrika kaskazini-magharibi.\n\nMoroko ya Kale \nHabari za kimaandishi za kwanza ni kutoka karne za kwanza KK. Wafinisia walijenga miji yao pwani lakini eneo la ndani lilibaki nchi ya Waberber waliounda ufalme wa Maureta... | wiki:sw |
6940 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Changarawe ni mawe madogo. Kama ukubwa wa kila kijiwe ni chini ya 2 mm ndipo mchanga. Kama ni kubwa zaidi kuliko 60-75 mm (kawaida hutofautiana kati ya nchi na nchi) si changarawe tena ni jiwe. \n\nChangarawe imetokea kutokana na mmomonyoko wa mawe au mwamba. Idadi kubwa y... | wiki:sw |
6941 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Tuta la mchanga ni kilima cha mchanga kilichojengwa na upepo kwa kupuliza na kusukuma punje za mchanga. Kama halishikwi na mimea inaweza kuhamahama.\n\nMatuta ya mchanga hutokea penye mchanga usiofunikwa na udongo au mimea ya kutosha. \n\nMifano ni:\n\n Kando la bahari: ma... | wiki:sw |
6942 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Sahara ni jangwa kubwa kaskazini mwa Afrika. Ni jangwa kubwa kabisa barani, ni la kwanza duniani kati ya majangwa joto na jangwa la tatu kwa ukubwa ulimwenguni baada Bara la Antaktiki na Aktiki. \n\nIna eneo la kilometa za mraba 9,200,000, sawa na eneo la Marekani au karib... | wiki:sw |
6943 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Jamhuri ya Gabon (kifupi: Gabon) ni nchi huru ya Afrika magharibi ya kati. \n\nImepakana na Guinea ya Ikweta, Kamerun, Jamhuri ya Kongo na Ghuba ya Guinea. \n\nNchi hii ina umma mdogo, madini na mali kwa wingi, na wafanyabiashara kutoka nchi za kigeni wameweza kufanya Gabo... | wiki:sw |
6944 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Utendi (pia: utenzi; kutoka kitenzi \"kutenda\") ni aina ya ushairi na tanzu mojawapo ya fasihi simulizi. Kwa kawaida, utendi husimulia maisha na matendo ya mhusika shujaa au wa visasili. \n\nMaarufu katika fasihi ya Ulaya, kuna tendi kama wimbo wa Troya, wimbo wa Odisei n... | wiki:sw |
6945 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Ali Hassan Mwinyi (amezaliwa 8 Mei 1925) alikuwa Rais wa pili wa Tanzania kuanzia mwaka 1985 hadi 1995. Aliyemtangulia ni Mwalimu Julius Nyerere, na aliyemfuata ni Benjamin Mkapa. Pia alikuwa mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuanzia mwaka 1990 hadi 1996.\n\nKabla ya... | wiki:sw |
6946 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Hamad bin Muhammad bin Juma bin Rajab el Murjebi (amejulikana zaidi kwa jina la Tippu Tip; 1837 – 14 Juni 1905) alikuwa mfanyabiashara mashuhuri katika Afrika ya Mashariki na ya Kati wakati wa karne ya 19. \n\nAlikutana na wapelelezi mashuhuri kama David Livingstone, Henry... | wiki:sw |
6947 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Lugha za Kibantu ni kundi la lugha ambalo ni tawi la lugha za Niger-Kongo. \n\nLugha za Kibantu huzungumzwa hasa katika nchi za Nigeria, Kamerun, Guinea ya Ikweta, Gabon, Jamhuri ya Kongo, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Rwanda, Burundi, Uganda, Kenya, Tanzania, Komori, ... | wiki:sw |
6948 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Abuja ni mji mkuu wa Nigeria. Idadi ya wakazi wake imekadiriwa kuwa watu 178,462 . Mwaka wa 1976, serikali ya Nigeria iliamua kuanzisha mji mkuu mpya badala ya Lagos. Wakachagua katikati ya nchi, na mipango ya ujenzi ikaundwa chini ya makampuni matatu ya Marekani: PRC Corp... | wiki:sw |
6949 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Windhoek ni mji mkuu wa Namibia, na uko mahali pa 22.56 S 17.09 E. Idadi ya wakazi wake ni takriban 230,000. Mji huu ni kituo muhimu kwa biashara ya ngozi za kondoo. Zamani ulikuwa makao makuu ya mtemi wa kabila la Nama aliyewashinda kabila la Waherero wakati wa karne ya 1... | wiki:sw |
6950 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Koigi Wamwere ni mwanasiasa, mwanaharakati, na mwandishi kutoka nchi ya Kenya. Koigi alizaliwa mwaka wa 1949 huko Bahati, wilaya ya Nakuru. Koigi anajulikana kwa kujaribu kupindua serikali za Jomo Kenyatta na Daniel arap Moi. Koigi aliwekwa kizuizini na watawala hawa, na ... | wiki:sw |
6951 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Lusaka ni mji mkuu wa Zambia. Jiji la Lusaka liko Kusini ya Kati ya Zambia, na mahali pake ni 15°25' Kusini, 28°17' Mashariki . Iko futi 4200 (au mita 1400) juu ya UB. Idadi ya wakazi wake imekadiriwa kuwa watu 1,391,000 (mwaka wa 2000). \n\nMji wa Lusaka ulianzishwa mwak... | wiki:sw |
6952 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Kunguru ni ndege wakubwa kiasi wa familia Corvidae. Spishi nyingine huitwa vinubi. Wanatokea mabara yote isipokuwa Antakitiki. Spishi nyingi ni nyeusi au nyeusi pamoja na rangi ya nyeupe, kijivu au kahawa; nyingine zina rangi mbalimbali kama buluu, pinki n.k. Hula nusra ki... | wiki:sw |
6953 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Kwa maana nyingine ya neno hili angalia Mali (maana)\n\nMali (kwa Kifaransa: République du Mali = Jamhuri ya Mali) ni nchi ya Afrika ya Magharibi. \n\nImepakana na Algeria, Mauritania, Niger, Burkina Faso, Cote d'Ivoire na Senegal. Mali haina pwani kwenye bahari yoyote. \n... | wiki:sw |
6954 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Aleksander Mashuhuri (au Aleksanda Mkuu, kwa Kigiriki Μέγας Αλέξανδρος, inayoandikwa kwa alfabeti yetu Megas Aleksandros) aliishi tangu Julai 356 KK hadi tarehe 11 Juni 323 KK.\n\nMfalme wa Masedonia (336 – 323 KK), anajulikana kama mmoja kati ya amiri jeshi waliofanikiwa ... | wiki:sw |
6955 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Wolfgang Amadeus Mozart (Salzburg, 27 Januari 1756 – Vienna, 5 Disemba 1791) alikuwa mtunzi mashuhuri wa opera na mpigaji wa ajabu sana wa piano kutoka nchini Austria. \n\nLicha ya kuwa na maisha mafupi (alifariki akiwa na umri wa miaka 35 tu), alitunga zaidi ya nyimbo 800... | wiki:sw |
6956 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Sokrates (, 470 KK – 399 KK) alikuwa mwanafalsafa Mgiriki (mtu wa Athens). \n \nNje ya falsafa, anajulikana hasa kwa kifo chake. Alifariki kutokana na kunywa sumu baada iliyokuwa adhabu yake kwa kupatikana na hatia katika mahakama ya watu wa Athens. Ilidaiwa kwamba mafunz... | wiki:sw |
6957 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Chingis Khan (pia: Genghis Khan; takriban 1162 – 18 Agosti 1227) alikuwa kiongozi wa Wamongolia aliyeunda Milki ya Wamongolia iliyoendelea kutawala eneo kubwa kuanzia China pamoja na Asia ya Kati hadi Urusi na Mashariki ya Kati.\n\nKuunganisha makabila ya Wamongolia \nAliz... | wiki:sw |
6958 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Visiwa vya Kanari (kwa Kihispania: Islas Canarias) ni funguvisiwa la Afrika ya Kaskazini katika bahari ya Atlantiki. Viko baharini km 150 magharibi kwa Moroko. Umbali na Hispania ni masaa mawili kwa ndege.\n\nVisiwa vikubwa ni saba: \n\nEl Hierro, La Gomera, La Palma na Te... | wiki:sw |
6959 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Jamhuri ya Benin ni nchi huru katika Afrika ya Magharibi. Awali iliitwa Dahomey. \n\nInapakana na Bahari ya Atlantiki upande wa Kusini, nchi ya Togo upande wa Magharibi, nchi ya Nigeria upande wa Mashariki na nchi za Burkina Faso na Niger upande wa Kaskazini. \n\nHaihusian... | wiki:sw |
6960 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Atlantiki ni bahari kubwa inayotenganisha Amerika upande wa magharibi na Afrika na Ulaya upande wa mashariki. Eneo lake ni kilometa za mraba 106,200,000 au sehemu ya tano ya uso wa dunia pamoja na bahari za pembeni kama bahari ya Baltiki na Mediteranea. Hivyo ni bahari kub... | wiki:sw |
6961 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Bahari ni eneo kubwa lenye maji ya chumvi. Katika Kiswahili cha kila siku neno hili hutumiwa pia kwa kutaja magimba madogo zaidi ya maji kama vile ziwa. \n\nKwa maana ya kijiografia bahari hasa ni bahari kuu ya dunia (kwa Kiingereza ocean) yaani maeneo makubwa ya maji ya c... | wiki:sw |
6962 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Mita (pia: meta) ni kipimo cha urefu ambacho kimekuwa kipimo sanifu cha kimataifa. \n\nNeno limetokana na Kigiriki μέτρον/métron (kipimo, pia chombo cha kupimia), kwa kupitia Kiingereza \"metre, meter\".\n\nKutokana na maana hiyo \"mita\" inataja pia mitambo ya kupima maji... | wiki:sw |
6963 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Mita ya mraba (m²) ni kipimo cha eneo kinachotumika zaidi kimataifa; eneo lenye upana na urefu wa mita moja\n\nMsingi wake ni kipimo cha urefu cha mita (m).\n\n1 m² ni sawa na:\n\n eneo la mraba yenye urefu wa mita moja kila upande\n 0.000 001 kilomita za mraba (km²)\n 10,... | wiki:sw |
6964 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Kilomita (pia: kilometa) ni kipimo cha urefu. Kinamaanisha urefu wa mita 1,000. Kifupi chake ni km.\n\nKilomita ni kipimo cha kawaida katika maisha ya kila siku cha kupimia umbali usio karibu. Umbali kati ya miji hupimwa kwa kilomita.\n\nKilomita ni sehemu ya vipimo vya SI... | wiki:sw |
6965 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Johann Sebastian Bach (21 Machi 1685 hadi 28 Julai 1750) alikuwa mtungaji wa muziki na mpiga piano na kinanda cha filimbi kutoka nchi ya Ujerumani. Alitunga muziki za aina zote, iliyotumika kidini na kidunia. Alitunga muziki kwa kwaya, chombo kimoja cha muziki, na kundi la... | wiki:sw |
6966 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Ee Mungu Nguvu Yetu ni Wimbo wa Taifa katika Jamhuri ya Kenya.\n\nHistoria\n\nKiswahili \n1\nEe Mungu nguvu yetu\nIlete baraka kwetu\nHaki iwe ngao na mlinzi\nNa tukae na undugu\nAmani na uhuru\nRaha tupate na ustawi.\n\n2\nAmkeni ndugu zetu\nTufanye sote bidii\nNasi tujit... | wiki:sw |
6967 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Dahomey ilikuwa jina la jamhuri ya Benin hadi mwaka 1975 lakini hasa jina la ufalme wa Afrika ya Magharibi katika eneo la Benin ya kusini ya leo.\n\nMwanzo wa Ufalme wa Dahomey\n\nDahomey ilianzishwa na Waaja baada ya uhamisho wao kutoka Togo kuja Benin ya leo. Jina la Dah... | wiki:sw |
6968 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Bibi Titi Mohammed (1926 - 5 Novemba 2000) alikuwa mmoja wa wanawake wa kwanza mzalendo kushika nafasi za ubunge na uwaziri nchini Tanzania. Pia alikuwa kati ya wanawake wa kwanza kujiunga na harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika.\n\nMwaka 1969 Bibi Titi Mohammed alika... | wiki:sw |
6969 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Theluji (kutoka Kiarabu ثلج, thalj) ni aina ya pekee ya barafu ya maji. Inapatikana kama usimbishaji unaotelemka kwa maumbile ya barafu ya fuwelia. Fuwele za theluji ni ndogo; muundo wa fuwele unaonekana kwa macho matupu kama fuwele ni kubwa. Vipande vyake ni vyembamba san... | wiki:sw |
6970 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Elimu kwa maana pana ni tendo au uzoefu wenye athari ya kujenga akili, tabia ama uwezo wa kimaumbile wa mtu binafsi. Katika dhana ya kiufundi, elimu ni njia ambayo hutumiwa makusudi na jamii kupitisha maarifa, ujuzi na maadili kutoka kwa kizazi kimoja hadi kingine.\n\nWali... | wiki:sw |
6971 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Hekaya za Abunuwasi ni mkusanyo wa hadithi fupi zinazosimulia habari za Abunuwas. Hadithi hizi hazina uhusiano halisi na Abu Nuwas, mshairi Mwarabu aliyeishi Baghdad mnamo mwaka 800 BK. \n\nAbunuwasi wa hekaya ni mjanja anayeshindana mara kwa mara na tabia mbaya za watu we... | wiki:sw |
6972 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Bunge la Umoja wa Afrika ni mkutano wa wawakilishi wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika. \n\nWabunge wake 265 hawapigwi kura na raia wa nchi wanachama bali wanateuliwa na bunge za nchi wanachama. Kwa sasa kazi ya bunge ni kutoa ushauri tu kwani haina mamlaka ya kutunga she... | wiki:sw |
6973 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Christopher Mtikila (1950-2015) alikuwa mchungaji wa Kikristo na mwanasiasa nchini Tanzania kama kiongozi wa chama cha upinzani cha Democratic Party (DP).\n\nMaisha\nMtikila alizaliwa Iringa, kusini mwa Tanzania, mwaka 1950.\n \nMwanzoni mwa miaka ya 1990, mchungaji Mtik... | wiki:sw |
6974 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Barafu ni maji yaliyoganda. Maji huganda yakishikwa na baridi na kufikia 0 °C. \n\nBarafu inaeleweka ni maji ya mgando. Hata kiowevu kingine kinaweza kushika baridi na kuganda kuwa barafu, ila kama maziwa yanaganda tunayaita \"barafu ya maziwa\". Pia hewa ya kaboni inaweza... | wiki:sw |
6975 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Botswana (yaani: Utswana) ni nchi huru iliyoko Kusini mwa Afrika. Jina rasmi ni Jamhuri ya Botswana. \n\nMji mkuu wa Botswana ni Gaborone.\n\nJiografia \n\nBotswana haina pwani kwenye bahari yoyote. Imepakana na Zambia, Zimbabwe, Afrika Kusini na Namibia. Mpaka baina ya ta... | wiki:sw |
6976 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Bendera ni kitambaa chenye rangi mbalimbali. Mara nyingi ina umbo la pembenne, pia la mraba au pembetatu. Ina kazi ya kitambulisho au alama ya mawasiliano.\n\nBendera kama kitambulisho \nMara nyingi bendera ni alama ya kitambulisho cha taifa au jumuiya nyingine. \n\nNchi ... | wiki:sw |
6977 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Ufalme wa Lesotho, au Lesotho, ni nchi ndogo inayozungukwa na Afrika Kusini pande zote. Haina pwani kwenye bahari yoyote.\n\nJina Lesotho lamaanisha eneo la Basotho (wakazi 99.7%), watu ambao wanaongea lugha ya Kisotho, ambayo ni lugha rasmi pamoja na Kiingereza. Wakati wa... | wiki:sw |
6978 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Shirikisho la Mataifa (kwa Kiingereza: League of Nations) lilikuwa umoja wa madola 63 ya dunia kati ya 1920 na 1946 BK. \n\nUmoja huo ulianzishwa na mataifa washindi wa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia. Katika miaka 1920-1930 mataifa mengine yalijiunga nao. \n\nShirikisho la Ma... | wiki:sw |
6979 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Diego Garcia ni atolli ya Kiingereza katika Bahari Hindi, kati ya Tanzania na Indonesia. Ni sehemu ya funguvisiwa la Chagos na leo kisiwa pekee chenye wakazi ambao ni wanajeshi wa Marekani. Ni kituo kikubwa cha kijeshi cha Marekani katika Bahari Hindi.\n\nKati ya miaka 185... | wiki:sw |
6980 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Ol Doinyo Lengai (maana kwa Kimaasai ni \"Mlima wa Mungu\") ni mlima wenye asili ya volkeno katika Tanzania ya Kaskazini. Iko takriban km 120 kaskazini-magharibi kwa Arusha na km 25 kusini kwa Ziwa Natron.\n\nMlima una kimo cha m 2690 juu ya UB. \n\nNi volkeno ya pekee dun... | wiki:sw |
6981 | [
{
"role": "assistant",
"content": "M ni herufi ya 13 katika alfabeti ya Kilatini ambayo ni pia mwandiko wa Kiswahili cha kisasa. Asili yake ni Mi ya alfabeti ya Kigiriki.\n\nMaana za M \n Kama kipimo sanifu cha kimataifa m humaanisha mita kama kiwango cha umbali.\n Kati ya namba za Kiroma M ni alama ya 1,00... | wiki:sw |
6982 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Herufi za Kiarabu ni maandishi maalumu ya lugha ya Kiarabu. Nje ya Kiarabu lugha mbalimbali zinaandikwa kwa herufi za Kiarabu, hasa lugha za nchi zenye Waislamu wengi, ingawa herufi hizo zilibuniwa kabla ya dini hiyo kuenea. Kati ya lugha hizo kuna Kiajemi, Kikurdi, Kimala... | wiki:sw |
6983 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Bagamoyo ni mji mwambaoni mwa Bahari Hindi katika Tanzania takriban km 75 kaskazini kwa Dar es Salaam na km 45 magharibi kwa kisiwa cha Unguja.\n\nVyanzo vidogo\nBagamoyo iko kati ya miji ya kale kabisa ya Waswahili katika Tanzania ya leo. Magofu ya Kaole (msikiti na makab... | wiki:sw |
6984 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Jibuti (kwa Kiarabu جيبوتي) ni mji mkuu na mji mkubwa nchini Jibuti ukiwa na wakazi 400,000. \n\nMji wenyewe uko kwenye rasi inayogawa Ghuba ya Aden kutoka Ghuba ya Tadjoura. Yenyewe iko 11°36' kaskazini, 43°10' mashariki (11.60, 43.1667).\n\nHistoria\nMji huo ulianzishwa ... | wiki:sw |
6985 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Asmara (pia Asmera) ni mji mkuu na makazi makubwa nchini Eritrea, watu 579,000 wakiwa wanaishi mjini humu. \n\nNguo, nyama, pombe, viatu na seramiki ni mojawapo ya vifaa vinavyotoka mji wa Asmara. \n\nAsmara yenyewe kijiografia iko 15°20' kaskazini, 38°55' mashariki (15.33... | wiki:sw |
6986 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Mungu Ibariki Afrika ni wimbo wa taifa wa Tanzania. Jina linatokana na maneno yake ya kwanza. \n\nAsili yake ni wimbo Nkosi Sikelel' iAfrika wa Afrika Kusini. Enoch Sontonga ndiye mtunzi wake mwaka 1897. \n\nSehemu ya wimbo huu inatumika pia katika nyimbo za taifa za Afrik... | wiki:sw |
6987 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Saint Helena (maana kwa Kiingereza: Mtakatifu Helena) ni kisiwa cha bahari ya Atlantiki ya kusini chenye eneo la km² 122. \n\nUmbali na Angola ni km 1.868, ni km 3.290 hadi Brazil (Amerika ya Kusini). \n\nKisiwa, chenye asili ya kivolkeno, kimo ndani ya beseni la Angola la... | wiki:sw |
6988 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Jamestown ni bandari na mji mkuu wa eneo la ng'ambo la Uingereza linaloundwa na visiwa vidogo vya Saint Helena, Ascension na funguvisiwa la Tristan da Cunha. Mji uko kisiwani St. Helena katika bahari ya Atlantiki takriban km 1.868 kutoka pwani ya Angola. Idadi ya wakazi in... | wiki:sw |
6989 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Pasifiki ni bahari kubwa kuliko zote duniani.\n\nPasifiki iko kati ya Bara la Amerika upande wa mashariki na Bara la Asia / Australia upande wa magharibi. \n\nEneo lake ni kilometa za mraba milioni 179.7 ambayo si bahari kubwa tu bali pia ni eneo kubwa kuliko nchi kavu yot... | wiki:sw |
6990 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Vibarabara au bendera ni ndege wadogo wa familia ya Emberizidae. Wana domo fupi na nene lifaalo kula mbegu. Kichwa chao kina bombwe bainifu kwa kawaida. Vibarabara wanatokea Afrika, Asia na Ulaya. Spishi nyingine za familia hii zinatokea Amerika. Vibarabara hula mbegu laki... | wiki:sw |
6991 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Sahara ya Magharibi ni eneo la Afrika ya Kaskazini-Magharibi kwenye mwambao wa Bahari Atlantiki upande wa magharibi. \n\nImepakana na Moroko upande wa kaskazini, Algeria upande wa mashariki na Mauretania upande wa kusini.\n\nIlitangazwa nchi huru mwaka 1976 kama Jamhuri ya... | wiki:sw |
6992 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Polisario ni vuguvugu la harakati za wenyeji asilia ya Sahara ya Magharibi kuipatia nchi yao uhuru. \n\n\"Polisario\" ni kifupi cha jina la Kihispania Frente Popular de Liberación de Saguía el Hamra y Río de Oro (\"Harakati ya watu kwa aijili ya Uhuru wa Saguia el Hamra na... | wiki:sw |
6993 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Mohammed Abdelaziz ni katibu mkuu wa Polisario na rais wa Jamhuri ya Sahara ya Kidemokrasia ya Kiarabu inayodai kuwa dola la Sahara ya Magharibi.\n\nAlikuwa kati ya viongozi wa kwanza wa Polisario iliyopigania uhuru wa Sahara ya Magharibi. Alichaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa ... | wiki:sw |
6994 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Namibia ni nchi ya Afrika ya Kusini kwenye pwani ya Atlantiki. \n\nImepakana na Angola, Zambia, Zimbabwe Botswana na Afrika Kusini. \n\nImepata uhuru wake kutoka Afrika Kusini mwaka 1990 baada ya vita vya ukombozi. \n\nMji mkuu ni Windhoek (wakazi 431,000 hivi mwaka 2020).... | wiki:sw |
6995 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Mauritania ni nchi ya Afrika kaskazini-magharibi. Upande wa magharibi kuna pwani ya bahari ya Atlantiki, upande wa kusini imepakana na Senegal, upande wa mashariki na Mali na Algeria, upande wa kaskazini na Sahara ya Magharibi inayotawaliwa na Moroko. \n\nJina limeteuliwa ... | wiki:sw |
6996 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Mlima Kenya (Kikuyu: Kĩrĩnyaga; Kiembu: Kirenia; Kimaasai: Ol Donyo Keri; Kimeru: Kirimara) ndio mrefu zaidi nchini Kenya. Mlima huu una urefu wa mita 5,199. Mlima huu unatokana na volkeno zimwe ikikadiriwa ya kwamba mlipuko wake wa mwisho ulitokea mnamo miaka milioni 2.6 ... | wiki:sw |
6997 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Visiwa vya Madeira ni funguvisiwa la Ureno katika bahari ya Atlantiki mbele ya pwani ya Afrika. Iko takriban km 1000 kusini kwa Lisbon na 600 magharibi kwa Moroko. \n\nJina la Madeira lamaanisha \"ubao\" kwa Kireno. \n\nKisiwa kikubwa kinaitwa Madeira vilevile. Karibu nach... | wiki:sw |
6998 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Addis Ababa (pia Addis Abeba; kwa Kiamhara አዲስ አበባ, \"Ua Jipya\"; kwa Kioromo Finfinne) ni mji mkuu wa Ethiopia na wa Umoja wa Afrika. \n\nIna hadhi ya mji wa kujitawala (ras gez astedader) kama jimbo la Ethiopia. \n\nMji wenyewe una watu kutoka makabila 80, wakiongea lugh... | wiki:sw |
6999 | [
{
"role": "assistant",
"content": "Dodoma ni mji mkuu wa Tanzania na pia ni Jiji. \n\nIlitangazwa kuwa mji mkuu wa Tanzania mwaka 1973, lakini mnamo tarehe 26 Aprili 2018 katika maadhimisho ya miaka 54 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar, rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya tano John Maguf... | wiki:sw |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.