Story_ID
stringlengths
8
8
context
stringlengths
445
11k
question
stringlengths
12
113
answers
dict
0247_swa
UFISADI Hebu mkwanza tujaribu kufafanua maana ya ufisadi. Sina ifafanuzi wa moja kwa moja lakini nitajaribu kukueleza yanayohusu dhana hii ya ufisadi. Ni hali ambapo jambo linahitajika kutendwa kwa njia inayofaa, hutendwa kwa kupitia misingi mbali mbali kama mkisingi ya ukoo na kadhalika. Licha ya kwamba Kenya tulijin...
Mshukiwa wa asipatiwe nini
{ "text": [ "Dhamana" ] }
0247_swa
UFISADI Hebu mkwanza tujaribu kufafanua maana ya ufisadi. Sina ifafanuzi wa moja kwa moja lakini nitajaribu kukueleza yanayohusu dhana hii ya ufisadi. Ni hali ambapo jambo linahitajika kutendwa kwa njia inayofaa, hutendwa kwa kupitia misingi mbali mbali kama mkisingi ya ukoo na kadhalika. Licha ya kwamba Kenya tulijin...
Kwa nini wasomi wachanga hawapati kazi
{ "text": [ "Wanaosimamia wizara wamepitisha miaka 55_60" ] }
0248_swa
JINAMIZI Mazingira yaliyonizunguka yaliogofya sana. Mamangu aliyenizaa aliniita kwa sauti nyororo kutoka jikoni, nami nikamwitikia. Niliambua nyayo zangu kuelekea upande wa sauti hiyo, mwendo wa wanguwangu nikijiamulia. Ama kweli, mtu hakatai wito, hukataa aitiwalo. Nilipofika jikoni, nilishtuka na kurudi nyuma ghafla...
Nini kilicho mwogofya
{ "text": [ "Mazingira" ] }
0248_swa
JINAMIZI Mazingira yaliyonizunguka yaliogofya sana. Mamangu aliyenizaa aliniita kwa sauti nyororo kutoka jikoni, nami nikamwitikia. Niliambua nyayo zangu kuelekea upande wa sauti hiyo, mwendo wa wanguwangu nikijiamulia. Ama kweli, mtu hakatai wito, hukataa aitiwalo. Nilipofika jikoni, nilishtuka na kurudi nyuma ghafla...
Mama alimwiita nani kwa sauti myororo
{ "text": [ "Mwanawe" ] }
0248_swa
JINAMIZI Mazingira yaliyonizunguka yaliogofya sana. Mamangu aliyenizaa aliniita kwa sauti nyororo kutoka jikoni, nami nikamwitikia. Niliambua nyayo zangu kuelekea upande wa sauti hiyo, mwendo wa wanguwangu nikijiamulia. Ama kweli, mtu hakatai wito, hukataa aitiwalo. Nilipofika jikoni, nilishtuka na kurudi nyuma ghafla...
Mama alimwiita mwana we kutoka wapi
{ "text": [ "Jikoni" ] }
0248_swa
JINAMIZI Mazingira yaliyonizunguka yaliogofya sana. Mamangu aliyenizaa aliniita kwa sauti nyororo kutoka jikoni, nami nikamwitikia. Niliambua nyayo zangu kuelekea upande wa sauti hiyo, mwendo wa wanguwangu nikijiamulia. Ama kweli, mtu hakatai wito, hukataa aitiwalo. Nilipofika jikoni, nilishtuka na kurudi nyuma ghafla...
Mtu hakatai wito hukataa nini?
{ "text": [ "Aitiwalo" ] }
0248_swa
JINAMIZI Mazingira yaliyonizunguka yaliogofya sana. Mamangu aliyenizaa aliniita kwa sauti nyororo kutoka jikoni, nami nikamwitikia. Niliambua nyayo zangu kuelekea upande wa sauti hiyo, mwendo wa wanguwangu nikijiamulia. Ama kweli, mtu hakatai wito, hukataa aitiwalo. Nilipofika jikoni, nilishtuka na kurudi nyuma ghafla...
Kwa nini alikua maisha ya dadake yalianza kutoweka
{ "text": [ "Alikuwa Kati ya watu aliowashuku na kumtisha" ] }
0281_swa
UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI Ukuaji wa lugha yoyote hutegemea sana ushirikiano wa kisiasa uliopo wa viongozi na taasisi za mataifa husika. Msingi wa kisiasa ni nguzo kuu ya ukuaji wa Kiswahili UMEKUWAPO na tumbojoto kuhusu mustakabali wa ufanisi wa umoja wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), baada ya ...
Nchi zipi mihimili na vitovu vya makuzi ya lugha
{ "text": [ "Tanzania na Kenya" ] }
0281_swa
UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI Ukuaji wa lugha yoyote hutegemea sana ushirikiano wa kisiasa uliopo wa viongozi na taasisi za mataifa husika. Msingi wa kisiasa ni nguzo kuu ya ukuaji wa Kiswahili UMEKUWAPO na tumbojoto kuhusu mustakabali wa ufanisi wa umoja wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), baada ya ...
Kamusi ya Tuki ilianza kutumika lini
{ "text": [ "Mwaka wa 1981" ] }
0281_swa
UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI Ukuaji wa lugha yoyote hutegemea sana ushirikiano wa kisiasa uliopo wa viongozi na taasisi za mataifa husika. Msingi wa kisiasa ni nguzo kuu ya ukuaji wa Kiswahili UMEKUWAPO na tumbojoto kuhusu mustakabali wa ufanisi wa umoja wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), baada ya ...
Maprofesa wangapi walishirikishwa katika warsha iliyoandaliwa katika Hotel ya Silver Springs
{ "text": [ "Sita" ] }
0281_swa
UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI Ukuaji wa lugha yoyote hutegemea sana ushirikiano wa kisiasa uliopo wa viongozi na taasisi za mataifa husika. Msingi wa kisiasa ni nguzo kuu ya ukuaji wa Kiswahili UMEKUWAPO na tumbojoto kuhusu mustakabali wa ufanisi wa umoja wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), baada ya ...
Yapita miaka mingapi tangu Sheikh Shaaban Robert alipofarika
{ "text": [ "Miaka hamsini" ] }
0281_swa
UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI Ukuaji wa lugha yoyote hutegemea sana ushirikiano wa kisiasa uliopo wa viongozi na taasisi za mataifa husika. Msingi wa kisiasa ni nguzo kuu ya ukuaji wa Kiswahili UMEKUWAPO na tumbojoto kuhusu mustakabali wa ufanisi wa umoja wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), baada ya ...
Kiswahili kimekuwa ajira kwa wengi katika mataifa yapi
{ "text": [ "Msumbiji, DR Congo, Malawi na Zambia" ] }
0286_swa
Polisi wamsaka pasta anayeshukiwa kumnajisi mwanafunzi. Polisi wa eneo la Olenguruone kuresoi Kusini wanamsaka mwanamume mmoja anyedaiwa kumnajisi na kumpachika mimba msichana wa shule.Mshukiwa ambaye mwathiriwa aliambia polisi kuwa ni pasta wa shule yao anasemekana kwenda mafichoni baada ya kugundua kuwa habari zi...
Polisi ni wa eneo gani
{ "text": [ "Olenguruone Kuresoi Kusini" ] }
0286_swa
Polisi wamsaka pasta anayeshukiwa kumnajisi mwanafunzi. Polisi wa eneo la Olenguruone kuresoi Kusini wanamsaka mwanamume mmoja anyedaiwa kumnajisi na kumpachika mimba msichana wa shule.Mshukiwa ambaye mwathiriwa aliambia polisi kuwa ni pasta wa shule yao anasemekana kwenda mafichoni baada ya kugundua kuwa habari zi...
Mshukiwa alikua nani
{ "text": [ "pasta wa shule" ] }
0286_swa
Polisi wamsaka pasta anayeshukiwa kumnajisi mwanafunzi. Polisi wa eneo la Olenguruone kuresoi Kusini wanamsaka mwanamume mmoja anyedaiwa kumnajisi na kumpachika mimba msichana wa shule.Mshukiwa ambaye mwathiriwa aliambia polisi kuwa ni pasta wa shule yao anasemekana kwenda mafichoni baada ya kugundua kuwa habari zi...
Msichani alikua miaka ngapi
{ "text": [ "17" ] }
0286_swa
Polisi wamsaka pasta anayeshukiwa kumnajisi mwanafunzi. Polisi wa eneo la Olenguruone kuresoi Kusini wanamsaka mwanamume mmoja anyedaiwa kumnajisi na kumpachika mimba msichana wa shule.Mshukiwa ambaye mwathiriwa aliambia polisi kuwa ni pasta wa shule yao anasemekana kwenda mafichoni baada ya kugundua kuwa habari zi...
Babaye mwathiriwa alichunguza akagundua ujauzito ni wa nani
{ "text": [ "mhubiri" ] }
0286_swa
Polisi wamsaka pasta anayeshukiwa kumnajisi mwanafunzi. Polisi wa eneo la Olenguruone kuresoi Kusini wanamsaka mwanamume mmoja anyedaiwa kumnajisi na kumpachika mimba msichana wa shule.Mshukiwa ambaye mwathiriwa aliambia polisi kuwa ni pasta wa shule yao anasemekana kwenda mafichoni baada ya kugundua kuwa habari zi...
Babaye mwathiriwa alikua mkulima wa nini
{ "text": [ "chai" ] }
0289_swa
Hujaacha mlemavu kumfungia mlango Wapenzi wa raggae wanamkumbuka marehemu Mighty King Kong, jina lake halisi Paul Otieno Imbaya aliyejiundia himaya kubwa ya mashabiki Nairobi, Uganda n ahata Mombasa. Aliwahi kuimba katika vilabu tofauti tofauti Nairobi na pia kushirikiana na Pressman Band na Them Mushrooms kabl...
Wapenzi wa Reggae wanamkumbuka nani
{ "text": [ "Mighty King Kong" ] }
0289_swa
Hujaacha mlemavu kumfungia mlango Wapenzi wa raggae wanamkumbuka marehemu Mighty King Kong, jina lake halisi Paul Otieno Imbaya aliyejiundia himaya kubwa ya mashabiki Nairobi, Uganda n ahata Mombasa. Aliwahi kuimba katika vilabu tofauti tofauti Nairobi na pia kushirikiana na Pressman Band na Them Mushrooms kabl...
Paul Otieno alijiundia nini
{ "text": [ "himaya kubwa" ] }
0289_swa
Hujaacha mlemavu kumfungia mlango Wapenzi wa raggae wanamkumbuka marehemu Mighty King Kong, jina lake halisi Paul Otieno Imbaya aliyejiundia himaya kubwa ya mashabiki Nairobi, Uganda n ahata Mombasa. Aliwahi kuimba katika vilabu tofauti tofauti Nairobi na pia kushirikiana na Pressman Band na Them Mushrooms kabl...
Aliachilia album yake ya kwanza lini
{ "text": [ "1999" ] }
0289_swa
Hujaacha mlemavu kumfungia mlango Wapenzi wa raggae wanamkumbuka marehemu Mighty King Kong, jina lake halisi Paul Otieno Imbaya aliyejiundia himaya kubwa ya mashabiki Nairobi, Uganda n ahata Mombasa. Aliwahi kuimba katika vilabu tofauti tofauti Nairobi na pia kushirikiana na Pressman Band na Them Mushrooms kabl...
Aligusa nini za wengi
{ "text": [ "nyoyo" ] }
0289_swa
Hujaacha mlemavu kumfungia mlango Wapenzi wa raggae wanamkumbuka marehemu Mighty King Kong, jina lake halisi Paul Otieno Imbaya aliyejiundia himaya kubwa ya mashabiki Nairobi, Uganda n ahata Mombasa. Aliwahi kuimba katika vilabu tofauti tofauti Nairobi na pia kushirikiana na Pressman Band na Them Mushrooms kabl...
Alipata ulemavu wa mguu kutokana na nini
{ "text": [ "sindano ya chanjo" ] }
0290_swa
Umuhimu wa mshikamano, udugu na umoja wa Kiislamu kote duniani Sifa zote njema anastahiki Mola Azzawajalla, Mwenye kuneemesha neema kubwakubwa na nyene ndogondogo. Swala na salamu zimwendee Mtume wetu Muhammad, natan lil 'alamiyn, maswahaba wake na watangu wema hadi siku ya kinah. Kuzaliwa kwa Muhammad bin Abdul Swal...
Qurani yatilia mkazo nini
{ "text": [ "Umoja na mshikamano baina ya waislamu na pia dini zigine" ] }
0290_swa
Umuhimu wa mshikamano, udugu na umoja wa Kiislamu kote duniani Sifa zote njema anastahiki Mola Azzawajalla, Mwenye kuneemesha neema kubwakubwa na nyene ndogondogo. Swala na salamu zimwendee Mtume wetu Muhammad, natan lil 'alamiyn, maswahaba wake na watangu wema hadi siku ya kinah. Kuzaliwa kwa Muhammad bin Abdul Swal...
quarani yawaagiza wafuasi wake wamwabudu nani
{ "text": [ "Mwenyezi Mungu" ] }
0290_swa
Umuhimu wa mshikamano, udugu na umoja wa Kiislamu kote duniani Sifa zote njema anastahiki Mola Azzawajalla, Mwenye kuneemesha neema kubwakubwa na nyene ndogondogo. Swala na salamu zimwendee Mtume wetu Muhammad, natan lil 'alamiyn, maswahaba wake na watangu wema hadi siku ya kinah. Kuzaliwa kwa Muhammad bin Abdul Swal...
Waislamu wanaimani gani
{ "text": [ "Wanaamini mwenyezi Mungu mmoja asiye na mshirika" ] }
0290_swa
Umuhimu wa mshikamano, udugu na umoja wa Kiislamu kote duniani Sifa zote njema anastahiki Mola Azzawajalla, Mwenye kuneemesha neema kubwakubwa na nyene ndogondogo. Swala na salamu zimwendee Mtume wetu Muhammad, natan lil 'alamiyn, maswahaba wake na watangu wema hadi siku ya kinah. Kuzaliwa kwa Muhammad bin Abdul Swal...
Kitabu cha waislamu wote ni kipi
{ "text": [ "Qurani tukufu" ] }
0290_swa
Umuhimu wa mshikamano, udugu na umoja wa Kiislamu kote duniani Sifa zote njema anastahiki Mola Azzawajalla, Mwenye kuneemesha neema kubwakubwa na nyene ndogondogo. Swala na salamu zimwendee Mtume wetu Muhammad, natan lil 'alamiyn, maswahaba wake na watangu wema hadi siku ya kinah. Kuzaliwa kwa Muhammad bin Abdul Swal...
waislamu hufunga lini
{ "text": [ "Mwezi mtukufu wa Ramdhani" ] }
0291_swa
Wakulima wa mahindi sasa wahofia hasara Wakulima wa mahindi katika eneo la Bonde la Ufa, huenda wakapata hasara kubwa kufuatia mvua kubwa inayoendelea kunyesha. Mvua hiyo imeharibu zao hilo na kutishia kusababisha uhaba wa chakula nchini. Uharibifu huo pia umeathiri mifumo ya usafiri katika maeneo mengi nchini, hal...
Wakulima wa mahindi Bonde la ufa watapata nini
{ "text": [ "hasara kubwa " ] }
0291_swa
Wakulima wa mahindi sasa wahofia hasara Wakulima wa mahindi katika eneo la Bonde la Ufa, huenda wakapata hasara kubwa kufuatia mvua kubwa inayoendelea kunyesha. Mvua hiyo imeharibu zao hilo na kutishia kusababisha uhaba wa chakula nchini. Uharibifu huo pia umeathiri mifumo ya usafiri katika maeneo mengi nchini, hal...
Shughuli ya kuvuna zao hilo ilianza lini
{ "text": [ "Oktoba" ] }
0291_swa
Wakulima wa mahindi sasa wahofia hasara Wakulima wa mahindi katika eneo la Bonde la Ufa, huenda wakapata hasara kubwa kufuatia mvua kubwa inayoendelea kunyesha. Mvua hiyo imeharibu zao hilo na kutishia kusababisha uhaba wa chakula nchini. Uharibifu huo pia umeathiri mifumo ya usafiri katika maeneo mengi nchini, hal...
Nani wamesema mvua imefanya kuwa vigumu kutumia mashine
{ "text": [ "wakulima" ] }
0291_swa
Wakulima wa mahindi sasa wahofia hasara Wakulima wa mahindi katika eneo la Bonde la Ufa, huenda wakapata hasara kubwa kufuatia mvua kubwa inayoendelea kunyesha. Mvua hiyo imeharibu zao hilo na kutishia kusababisha uhaba wa chakula nchini. Uharibifu huo pia umeathiri mifumo ya usafiri katika maeneo mengi nchini, hal...
Nini imefanya vigumu kwa trekta zao kufanya kazi
{ "text": [ "mvua" ] }
0291_swa
Wakulima wa mahindi sasa wahofia hasara Wakulima wa mahindi katika eneo la Bonde la Ufa, huenda wakapata hasara kubwa kufuatia mvua kubwa inayoendelea kunyesha. Mvua hiyo imeharibu zao hilo na kutishia kusababisha uhaba wa chakula nchini. Uharibifu huo pia umeathiri mifumo ya usafiri katika maeneo mengi nchini, hal...
Nani alisema hakuna mashine za kukausha mazao
{ "text": [ "Bw Wilson Kirwa" ] }
0297_swa
Wakulima walio karibu na uwanja wa ndege wafurushwa Wakaazi zaidi ya 50 wanaofanya kilimo karibu na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Moi mjini Mombasa wanaendelea kufurushwa eneo hilo na kuonywa dhidi ya kunyemelea ardhi hiyo. Aidha wasimamizi wa uwanja huo wa ndege wametangaza mpango wa kuweka ua katika eneo hilo. “T...
Mbona wakazi wanaoishi karibu na uwanja wa ndege wanafurushwa
{ "text": [ "Kwa sababu ya kunyemelea ardhi ya uwanja wa ndege" ] }
0297_swa
Wakulima walio karibu na uwanja wa ndege wafurushwa Wakaazi zaidi ya 50 wanaofanya kilimo karibu na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Moi mjini Mombasa wanaendelea kufurushwa eneo hilo na kuonywa dhidi ya kunyemelea ardhi hiyo. Aidha wasimamizi wa uwanja huo wa ndege wametangaza mpango wa kuweka ua katika eneo hilo. “T...
Wasimamizi wa uwanja wanamipango gani
{ "text": [ "Kuweka ua katika eneo hilo na kukarabati barabara" ] }
0297_swa
Wakulima walio karibu na uwanja wa ndege wafurushwa Wakaazi zaidi ya 50 wanaofanya kilimo karibu na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Moi mjini Mombasa wanaendelea kufurushwa eneo hilo na kuonywa dhidi ya kunyemelea ardhi hiyo. Aidha wasimamizi wa uwanja huo wa ndege wametangaza mpango wa kuweka ua katika eneo hilo. “T...
Uwanja wa ndege unasimamiwa na mamlaka gani
{ "text": [ "Mamlaka ya viwanja vya ndege Kenya (AA)" ] }
0297_swa
Wakulima walio karibu na uwanja wa ndege wafurushwa Wakaazi zaidi ya 50 wanaofanya kilimo karibu na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Moi mjini Mombasa wanaendelea kufurushwa eneo hilo na kuonywa dhidi ya kunyemelea ardhi hiyo. Aidha wasimamizi wa uwanja huo wa ndege wametangaza mpango wa kuweka ua katika eneo hilo. “T...
wakazi wanapfurushwa, wanajishughulisha na kilimo kipAya - 3 i
{ "text": [ "Ukulima wa mihogo, mikanju, minazi ndizi, papai na mapera" ] }
0297_swa
Wakulima walio karibu na uwanja wa ndege wafurushwa Wakaazi zaidi ya 50 wanaofanya kilimo karibu na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Moi mjini Mombasa wanaendelea kufurushwa eneo hilo na kuonywa dhidi ya kunyemelea ardhi hiyo. Aidha wasimamizi wa uwanja huo wa ndege wametangaza mpango wa kuweka ua katika eneo hilo. “T...
kwa nini wakazi hao wanalalamika
{ "text": [ "Kukosa kuarifiwa kuhusu mpago wa kuweka ua" ] }
0298_swa
Wauzaji vitabu walia wanapata hasara Wamiliki wa maduka ya vitabu mjini Mombasa wameitaka serikali iwaepushie hasara inayotokana na kubadilishwa kwa vitabu hivyo mara kwa mara. Walisema miaka ya sasa wizara ya elimu imekuwa na mazoea ya kubadilisha vitabu kabla ya shehena ya vitabu waliyonunua kuuza kumalizika madu...
Nani anahudumu katika duka kuu la vitabu la Coastal Emporium
{ "text": [ "Bw. Abbas Mohammed" ] }
0298_swa
Wauzaji vitabu walia wanapata hasara Wamiliki wa maduka ya vitabu mjini Mombasa wameitaka serikali iwaepushie hasara inayotokana na kubadilishwa kwa vitabu hivyo mara kwa mara. Walisema miaka ya sasa wizara ya elimu imekuwa na mazoea ya kubadilisha vitabu kabla ya shehena ya vitabu waliyonunua kuuza kumalizika madu...
Bi Halima ni nani
{ "text": [ "Mzazi wa mwanafunzi darasa la saba" ] }
0298_swa
Wauzaji vitabu walia wanapata hasara Wamiliki wa maduka ya vitabu mjini Mombasa wameitaka serikali iwaepushie hasara inayotokana na kubadilishwa kwa vitabu hivyo mara kwa mara. Walisema miaka ya sasa wizara ya elimu imekuwa na mazoea ya kubadilisha vitabu kabla ya shehena ya vitabu waliyonunua kuuza kumalizika madu...
Nani anayeuza vitabu katika duka kuu la Salmanji
{ "text": [ "Bi Amina Patel" ] }
0298_swa
Wauzaji vitabu walia wanapata hasara Wamiliki wa maduka ya vitabu mjini Mombasa wameitaka serikali iwaepushie hasara inayotokana na kubadilishwa kwa vitabu hivyo mara kwa mara. Walisema miaka ya sasa wizara ya elimu imekuwa na mazoea ya kubadilisha vitabu kabla ya shehena ya vitabu waliyonunua kuuza kumalizika madu...
Ipi ni lalama ya wauza vitabu kwa serikali
{ "text": [ "Kubadilishwabadilishwa kwa vitabu" ] }
0298_swa
Wauzaji vitabu walia wanapata hasara Wamiliki wa maduka ya vitabu mjini Mombasa wameitaka serikali iwaepushie hasara inayotokana na kubadilishwa kwa vitabu hivyo mara kwa mara. Walisema miaka ya sasa wizara ya elimu imekuwa na mazoea ya kubadilisha vitabu kabla ya shehena ya vitabu waliyonunua kuuza kumalizika madu...
Wamiliki wa maduka ya kuuza vitabu wameyafunga maduka hayo kwa hofu ya kupata nini
{ "text": [ "Hasara" ] }
0299_swa
Demu pabaya kujilipia mahari Kidosho wa hapa alikaripiwa na wazee kwa kuchukua mkopo kusaidia mumewe kulipa mahari. Duru zasema kuwa kidosho na mpenzi wake walifika kwa wazee kuomba baraka zao ili waanze maisha kama mume na mke baada ya kuhitimu chuoni. Kidosho alifanikiwa kupata ajira punde tu baada ya kukamilish...
Kidosho alikaripiwa kwa kuchukua nini
{ "text": [ "mkopo" ] }
0299_swa
Demu pabaya kujilipia mahari Kidosho wa hapa alikaripiwa na wazee kwa kuchukua mkopo kusaidia mumewe kulipa mahari. Duru zasema kuwa kidosho na mpenzi wake walifika kwa wazee kuomba baraka zao ili waanze maisha kama mume na mke baada ya kuhitimu chuoni. Kidosho alifanikiwa kupata ajira punde tu baada ya kukamilish...
Kidosho na mpenziwe walienda kuomba nini kwa wazee
{ "text": [ "baraka" ] }
0299_swa
Demu pabaya kujilipia mahari Kidosho wa hapa alikaripiwa na wazee kwa kuchukua mkopo kusaidia mumewe kulipa mahari. Duru zasema kuwa kidosho na mpenzi wake walifika kwa wazee kuomba baraka zao ili waanze maisha kama mume na mke baada ya kuhitimu chuoni. Kidosho alifanikiwa kupata ajira punde tu baada ya kukamilish...
Kidosho alifanikiwa kupata nini
{ "text": [ "ajira" ] }
0299_swa
Demu pabaya kujilipia mahari Kidosho wa hapa alikaripiwa na wazee kwa kuchukua mkopo kusaidia mumewe kulipa mahari. Duru zasema kuwa kidosho na mpenzi wake walifika kwa wazee kuomba baraka zao ili waanze maisha kama mume na mke baada ya kuhitimu chuoni. Kidosho alifanikiwa kupata ajira punde tu baada ya kukamilish...
Mzee alisema anataka kujengewa nini
{ "text": [ "nyumba ya kifahari" ] }
0299_swa
Demu pabaya kujilipia mahari Kidosho wa hapa alikaripiwa na wazee kwa kuchukua mkopo kusaidia mumewe kulipa mahari. Duru zasema kuwa kidosho na mpenzi wake walifika kwa wazee kuomba baraka zao ili waanze maisha kama mume na mke baada ya kuhitimu chuoni. Kidosho alifanikiwa kupata ajira punde tu baada ya kukamilish...
Kidosho aliamua kuchukua nini baada ya kuwaza
{ "text": [ "loni" ] }
0306_swa
UFAHAMU 4 Familia ni kiungo muhimu cha jamii. Familia zikiwa nzuri bila shaka jamii nzima itakuwa bora. Mzee Rhiga na mkewe Chao waliamini hivyo, nao wakaazimia kuwalea wana wao wawili kwa njia inayofaa. Mziwanda aliitwa Kilio naye mwanambee alikuwa ni Shuma. Wote walifuata maagizo ya wazazi wao. Walipobaleghe, kila...
Nini kiungo muhimu cha jamii
{ "text": [ "familia" ] }
0306_swa
UFAHAMU 4 Familia ni kiungo muhimu cha jamii. Familia zikiwa nzuri bila shaka jamii nzima itakuwa bora. Mzee Rhiga na mkewe Chao waliamini hivyo, nao wakaazimia kuwalea wana wao wawili kwa njia inayofaa. Mziwanda aliitwa Kilio naye mwanambee alikuwa ni Shuma. Wote walifuata maagizo ya wazazi wao. Walipobaleghe, kila...
Nani walibahatika kupendwa
{ "text": [ "wake" ] }
0306_swa
UFAHAMU 4 Familia ni kiungo muhimu cha jamii. Familia zikiwa nzuri bila shaka jamii nzima itakuwa bora. Mzee Rhiga na mkewe Chao waliamini hivyo, nao wakaazimia kuwalea wana wao wawili kwa njia inayofaa. Mziwanda aliitwa Kilio naye mwanambee alikuwa ni Shuma. Wote walifuata maagizo ya wazazi wao. Walipobaleghe, kila...
Uadui ulifika kiwango gani
{ "text": [ "cha kutisha" ] }
0306_swa
UFAHAMU 4 Familia ni kiungo muhimu cha jamii. Familia zikiwa nzuri bila shaka jamii nzima itakuwa bora. Mzee Rhiga na mkewe Chao waliamini hivyo, nao wakaazimia kuwalea wana wao wawili kwa njia inayofaa. Mziwanda aliitwa Kilio naye mwanambee alikuwa ni Shuma. Wote walifuata maagizo ya wazazi wao. Walipobaleghe, kila...
Ndugu wale waliandaa nini
{ "text": [ "karamu kubwa" ] }
0306_swa
UFAHAMU 4 Familia ni kiungo muhimu cha jamii. Familia zikiwa nzuri bila shaka jamii nzima itakuwa bora. Mzee Rhiga na mkewe Chao waliamini hivyo, nao wakaazimia kuwalea wana wao wawili kwa njia inayofaa. Mziwanda aliitwa Kilio naye mwanambee alikuwa ni Shuma. Wote walifuata maagizo ya wazazi wao. Walipobaleghe, kila...
Mbona Shuma alimpa mpwa wake jogoo mkubwa
{ "text": [ "ili waende wakamchinje" ] }
0309_swa
Hata hivyo, Mandela alipokuwa na umri wa miaka ishirini aligura kwao. Barobaro huyo alihamia kwenye mji mkuu wa Johannesburg. Amini usiamini, alitoroka kulazimishwa kuoa msichana ambaye wazazi wake walikuwa wamemchagulia bila kumhusisha. Maadamu ilikuwa mwiko kupinga uamuzi wa wazazi wake, aidha hapangekuwa na njia ...
Mandela aligura kwao akiwa na miaka mingapi?
{ "text": [ "20" ] }
0309_swa
Hata hivyo, Mandela alipokuwa na umri wa miaka ishirini aligura kwao. Barobaro huyo alihamia kwenye mji mkuu wa Johannesburg. Amini usiamini, alitoroka kulazimishwa kuoa msichana ambaye wazazi wake walikuwa wamemchagulia bila kumhusisha. Maadamu ilikuwa mwiko kupinga uamuzi wa wazazi wake, aidha hapangekuwa na njia ...
Mandela alihamia katika mji upi?
{ "text": [ "Johannesburg" ] }
0309_swa
Hata hivyo, Mandela alipokuwa na umri wa miaka ishirini aligura kwao. Barobaro huyo alihamia kwenye mji mkuu wa Johannesburg. Amini usiamini, alitoroka kulazimishwa kuoa msichana ambaye wazazi wake walikuwa wamemchagulia bila kumhusisha. Maadamu ilikuwa mwiko kupinga uamuzi wa wazazi wake, aidha hapangekuwa na njia ...
Mandela alitoroka nyumbani kwa sababu gani?
{ "text": [ "Aliletewa msichana wa kuoa" ] }
0309_swa
Hata hivyo, Mandela alipokuwa na umri wa miaka ishirini aligura kwao. Barobaro huyo alihamia kwenye mji mkuu wa Johannesburg. Amini usiamini, alitoroka kulazimishwa kuoa msichana ambaye wazazi wake walikuwa wamemchagulia bila kumhusisha. Maadamu ilikuwa mwiko kupinga uamuzi wa wazazi wake, aidha hapangekuwa na njia ...
Sisulu na Tambo walikuwa viongozi wa chama kipi?
{ "text": [ "ANC" ] }
0309_swa
Hata hivyo, Mandela alipokuwa na umri wa miaka ishirini aligura kwao. Barobaro huyo alihamia kwenye mji mkuu wa Johannesburg. Amini usiamini, alitoroka kulazimishwa kuoa msichana ambaye wazazi wake walikuwa wamemchagulia bila kumhusisha. Maadamu ilikuwa mwiko kupinga uamuzi wa wazazi wake, aidha hapangekuwa na njia ...
Mbona Mandela alichaguliwa kuwa kiongozi wa vijana?
{ "text": [ "Alikuwa na mvuto mkubwa" ] }
0310_swa
28. Giza lilitoweka kukaanza kuwa ……. na kukapendeza. A. mweupe B. peupe C. kweupe D. weupe 29. Kutokana na jina kilimo tutapata kitenzi. A. Ukulima B. Lima C. Mlinia D. Zaraa 30. Ni sentensi ipi iliyotumia kiunganishi sahihi? A. Mradi h...
Kando na maliasili, bara la Afrika lina nini
{ "text": [ "Madini" ] }
0310_swa
28. Giza lilitoweka kukaanza kuwa ……. na kukapendeza. A. mweupe B. peupe C. kweupe D. weupe 29. Kutokana na jina kilimo tutapata kitenzi. A. Ukulima B. Lima C. Mlinia D. Zaraa 30. Ni sentensi ipi iliyotumia kiunganishi sahihi? A. Mradi h...
Faida mojawapo ya madini ni ipi
{ "text": [ "Huleta pesa za kigeni" ] }
0310_swa
28. Giza lilitoweka kukaanza kuwa ……. na kukapendeza. A. mweupe B. peupe C. kweupe D. weupe 29. Kutokana na jina kilimo tutapata kitenzi. A. Ukulima B. Lima C. Mlinia D. Zaraa 30. Ni sentensi ipi iliyotumia kiunganishi sahihi? A. Mradi h...
Ni mataifa yapi huwa na hazina kubwa ya madini
{ "text": [ "Afrika kusini, Nigeria" ] }
0310_swa
28. Giza lilitoweka kukaanza kuwa ……. na kukapendeza. A. mweupe B. peupe C. kweupe D. weupe 29. Kutokana na jina kilimo tutapata kitenzi. A. Ukulima B. Lima C. Mlinia D. Zaraa 30. Ni sentensi ipi iliyotumia kiunganishi sahihi? A. Mradi h...
Huduma zipi huimarishwa maeneo kunakochimbwa madini
{ "text": [ "Barabara hutengenezwa, umeme kusambazwa" ] }
0310_swa
28. Giza lilitoweka kukaanza kuwa ……. na kukapendeza. A. mweupe B. peupe C. kweupe D. weupe 29. Kutokana na jina kilimo tutapata kitenzi. A. Ukulima B. Lima C. Mlinia D. Zaraa 30. Ni sentensi ipi iliyotumia kiunganishi sahihi? A. Mradi h...
Taja mifano miwili ya maliasili
{ "text": [ "Miti na maziwa" ] }
0417_swa
Ushauri wa Kocha Mulee kwa Harambee Aliyekuwa kocha wa Harambee Stars Jacob 'Ghost' Mulee akizungumza na kikosi cha Ushuru FC mwaka jana. Kocha huyo ametoa mawaidha kwa Harambee inayojifua kwa AFCON. Huku zikiwa zimesalia siku saba tu kabla ya kuanza kwa michuano ya Mataifa ya Afrika (AFCON), kocha wa zamani wa Haram...
Jacob alitaka vijana watumie jukwaa hilo kufanya nini
{ "text": [ "kujitengenezea maisha" ] }
0417_swa
Ushauri wa Kocha Mulee kwa Harambee Aliyekuwa kocha wa Harambee Stars Jacob 'Ghost' Mulee akizungumza na kikosi cha Ushuru FC mwaka jana. Kocha huyo ametoa mawaidha kwa Harambee inayojifua kwa AFCON. Huku zikiwa zimesalia siku saba tu kabla ya kuanza kwa michuano ya Mataifa ya Afrika (AFCON), kocha wa zamani wa Haram...
Michuano ilifanyika nchi gani
{ "text": [ "Tunisia" ] }
0417_swa
Ushauri wa Kocha Mulee kwa Harambee Aliyekuwa kocha wa Harambee Stars Jacob 'Ghost' Mulee akizungumza na kikosi cha Ushuru FC mwaka jana. Kocha huyo ametoa mawaidha kwa Harambee inayojifua kwa AFCON. Huku zikiwa zimesalia siku saba tu kabla ya kuanza kwa michuano ya Mataifa ya Afrika (AFCON), kocha wa zamani wa Haram...
Harambee stars itakua miongoni mwa timu zitakazowania nini
{ "text": [ "ubingwa" ] }
0417_swa
Ushauri wa Kocha Mulee kwa Harambee Aliyekuwa kocha wa Harambee Stars Jacob 'Ghost' Mulee akizungumza na kikosi cha Ushuru FC mwaka jana. Kocha huyo ametoa mawaidha kwa Harambee inayojifua kwa AFCON. Huku zikiwa zimesalia siku saba tu kabla ya kuanza kwa michuano ya Mataifa ya Afrika (AFCON), kocha wa zamani wa Haram...
Maskauti lengo lao ni nini
{ "text": [ "kupata wachezaji" ] }
0417_swa
Ushauri wa Kocha Mulee kwa Harambee Aliyekuwa kocha wa Harambee Stars Jacob 'Ghost' Mulee akizungumza na kikosi cha Ushuru FC mwaka jana. Kocha huyo ametoa mawaidha kwa Harambee inayojifua kwa AFCON. Huku zikiwa zimesalia siku saba tu kabla ya kuanza kwa michuano ya Mataifa ya Afrika (AFCON), kocha wa zamani wa Haram...
Sio wanasoka wote wameangukiwa na bahati ya kufanya nini
{ "text": [ "kuonyesha vipaji vyao" ] }
0421_swa
Ukosefu wa vyoo wazua hofu ya maradhi Kaunti VIONGOZI katika Kaunti ya Marsabit wameelezea hofu yao kuhusu hali duni ya usafi katika eneo hilo kutokana na ukosefu wa vyoo. Wakazi wengi wamekuwa wakijisaidia vichakani na maeneo ya wazi kwa kukosa vyoo. Kulingana na Naibu Gavana katika kaunti hiyo, Bw David Saruni, ut...
Hali duni ya usafi imesababishwa na nini
{ "text": [ "ukosefu wa vyoo" ] }
0421_swa
Ukosefu wa vyoo wazua hofu ya maradhi Kaunti VIONGOZI katika Kaunti ya Marsabit wameelezea hofu yao kuhusu hali duni ya usafi katika eneo hilo kutokana na ukosefu wa vyoo. Wakazi wengi wamekuwa wakijisaidia vichakani na maeneo ya wazi kwa kukosa vyoo. Kulingana na Naibu Gavana katika kaunti hiyo, Bw David Saruni, ut...
Nani wamekua wakijisaidia vichakani
{ "text": [ "wakazi wengi" ] }
0421_swa
Ukosefu wa vyoo wazua hofu ya maradhi Kaunti VIONGOZI katika Kaunti ya Marsabit wameelezea hofu yao kuhusu hali duni ya usafi katika eneo hilo kutokana na ukosefu wa vyoo. Wakazi wengi wamekuwa wakijisaidia vichakani na maeneo ya wazi kwa kukosa vyoo. Kulingana na Naibu Gavana katika kaunti hiyo, Bw David Saruni, ut...
Naibu Gavana wa kaunti ya Marsabit ni nani
{ "text": [ "Bw David Saruni" ] }
0421_swa
Ukosefu wa vyoo wazua hofu ya maradhi Kaunti VIONGOZI katika Kaunti ya Marsabit wameelezea hofu yao kuhusu hali duni ya usafi katika eneo hilo kutokana na ukosefu wa vyoo. Wakazi wengi wamekuwa wakijisaidia vichakani na maeneo ya wazi kwa kukosa vyoo. Kulingana na Naibu Gavana katika kaunti hiyo, Bw David Saruni, ut...
Wadau walipaswa kutafuta suluhisho kwa matatizo ya nini
{ "text": [ "maji" ] }
0421_swa
Ukosefu wa vyoo wazua hofu ya maradhi Kaunti VIONGOZI katika Kaunti ya Marsabit wameelezea hofu yao kuhusu hali duni ya usafi katika eneo hilo kutokana na ukosefu wa vyoo. Wakazi wengi wamekuwa wakijisaidia vichakani na maeneo ya wazi kwa kukosa vyoo. Kulingana na Naibu Gavana katika kaunti hiyo, Bw David Saruni, ut...
Idadi kubwa ya wenyeji hawana nini
{ "text": [ "vibuyu vya maji" ] }
0423_swa
Kilio wachumaji 20,000 wachai wakipoteza ajira Takriban watu 20,000 wanaofanya kazi katika kampuni za majanichai nchini wamefutwa kazi kwa muda wa mwaka mmoja uliopita kutokana na athari za janga la virusi vya corona katika sekta hiyo. Kampuni hizo, ambazo nyingi ni za kigeni, zimeanza kutumia mashine maalum za kuchum...
Watu wamefutwa kazi kutokana na athari za janga la
{ "text": [ "korona" ] }
0423_swa
Kilio wachumaji 20,000 wachai wakipoteza ajira Takriban watu 20,000 wanaofanya kazi katika kampuni za majanichai nchini wamefutwa kazi kwa muda wa mwaka mmoja uliopita kutokana na athari za janga la virusi vya corona katika sekta hiyo. Kampuni hizo, ambazo nyingi ni za kigeni, zimeanza kutumia mashine maalum za kuchum...
Kampuni zinatumia nini kuchuma majani chai
{ "text": [ "Mashine" ] }
0423_swa
Kilio wachumaji 20,000 wachai wakipoteza ajira Takriban watu 20,000 wanaofanya kazi katika kampuni za majanichai nchini wamefutwa kazi kwa muda wa mwaka mmoja uliopita kutokana na athari za janga la virusi vya corona katika sekta hiyo. Kampuni hizo, ambazo nyingi ni za kigeni, zimeanza kutumia mashine maalum za kuchum...
Wafanyikazi wanataka kuandaa nini na usimamizi wa kampuni
{ "text": [ "kikao" ] }
0423_swa
Kilio wachumaji 20,000 wachai wakipoteza ajira Takriban watu 20,000 wanaofanya kazi katika kampuni za majanichai nchini wamefutwa kazi kwa muda wa mwaka mmoja uliopita kutokana na athari za janga la virusi vya corona katika sekta hiyo. Kampuni hizo, ambazo nyingi ni za kigeni, zimeanza kutumia mashine maalum za kuchum...
Wafanyikazi wanaomba wanaoagiza mashine watozwe nini
{ "text": [ "ushuru" ] }
0423_swa
Kilio wachumaji 20,000 wachai wakipoteza ajira Takriban watu 20,000 wanaofanya kazi katika kampuni za majanichai nchini wamefutwa kazi kwa muda wa mwaka mmoja uliopita kutokana na athari za janga la virusi vya corona katika sekta hiyo. Kampuni hizo, ambazo nyingi ni za kigeni, zimeanza kutumia mashine maalum za kuchum...
Kampuni zinatafuta vibarua wanalipwa pesa ngapi kwa siku
{ "text": [ "300" ] }
0426_swa
Basari ni za matajiri tu? Gavana wa Lamu, Fahim Twaha ambaye alijitolea kumfadhili mwanafunzi Kisa cha msichana Diana Nyaboke kutoka Bungoma aliyenyimwa basari kumwezesha kujiunga na kidato cha kwanza kimeanika uozo ambao umezonga utaratibu wa ugavi wa fedha hizo. Msichana huyo alikosa karo kumwezesha kujiunga na s...
Diana Nyamboke ametoka kaunti gani
{ "text": [ "Bungoma" ] }
0426_swa
Basari ni za matajiri tu? Gavana wa Lamu, Fahim Twaha ambaye alijitolea kumfadhili mwanafunzi Kisa cha msichana Diana Nyaboke kutoka Bungoma aliyenyimwa basari kumwezesha kujiunga na kidato cha kwanza kimeanika uozo ambao umezonga utaratibu wa ugavi wa fedha hizo. Msichana huyo alikosa karo kumwezesha kujiunga na s...
Diana Nyamboke alizoa alama ngapi
{ "text": [ "401" ] }
0426_swa
Basari ni za matajiri tu? Gavana wa Lamu, Fahim Twaha ambaye alijitolea kumfadhili mwanafunzi Kisa cha msichana Diana Nyaboke kutoka Bungoma aliyenyimwa basari kumwezesha kujiunga na kidato cha kwanza kimeanika uozo ambao umezonga utaratibu wa ugavi wa fedha hizo. Msichana huyo alikosa karo kumwezesha kujiunga na s...
Wanafunzi wengi hawafikishi ndoto zao kwa kukosa nini
{ "text": [ "Ufadhili" ] }
0426_swa
Basari ni za matajiri tu? Gavana wa Lamu, Fahim Twaha ambaye alijitolea kumfadhili mwanafunzi Kisa cha msichana Diana Nyaboke kutoka Bungoma aliyenyimwa basari kumwezesha kujiunga na kidato cha kwanza kimeanika uozo ambao umezonga utaratibu wa ugavi wa fedha hizo. Msichana huyo alikosa karo kumwezesha kujiunga na s...
Ni nani ameingilia uvuvi kukidhi mahitaji ya familia yao
{ "text": [ "Mata Kaja" ] }
0426_swa
Basari ni za matajiri tu? Gavana wa Lamu, Fahim Twaha ambaye alijitolea kumfadhili mwanafunzi Kisa cha msichana Diana Nyaboke kutoka Bungoma aliyenyimwa basari kumwezesha kujiunga na kidato cha kwanza kimeanika uozo ambao umezonga utaratibu wa ugavi wa fedha hizo. Msichana huyo alikosa karo kumwezesha kujiunga na s...
Ni kinaya basari inapewa nani
{ "text": [ "Matajiri" ] }
0498_swa
MJADALA KUHUSU MADHARA YASABABISHWAYO NA JANGA LA KORONA Virusi vya korona ni jamii kubwa ya virusi vinavyojulikana kusababisha magonjwa yanayoanzisha homa ya kawaida hadi homa kali. Virusi vya corona vya sasa viligunduliwa mwezi Disemba mwaka wa elfu mbili na kumi na tisa Wuhan, China. Ghafla bin vuu, makundi ya ...
Ni nini ambayo janga la Corono limezorotesha
{ "text": [ "elimu" ] }
0498_swa
MJADALA KUHUSU MADHARA YASABABISHWAYO NA JANGA LA KORONA Virusi vya korona ni jamii kubwa ya virusi vinavyojulikana kusababisha magonjwa yanayoanzisha homa ya kawaida hadi homa kali. Virusi vya corona vya sasa viligunduliwa mwezi Disemba mwaka wa elfu mbili na kumi na tisa Wuhan, China. Ghafla bin vuu, makundi ya ...
Ni idadi ngapi ya watu ilikatazwa kuhudhuria matanga na harusi
{ "text": [ "zaidi ya ishirini" ] }
0498_swa
MJADALA KUHUSU MADHARA YASABABISHWAYO NA JANGA LA KORONA Virusi vya korona ni jamii kubwa ya virusi vinavyojulikana kusababisha magonjwa yanayoanzisha homa ya kawaida hadi homa kali. Virusi vya corona vya sasa viligunduliwa mwezi Disemba mwaka wa elfu mbili na kumi na tisa Wuhan, China. Ghafla bin vuu, makundi ya ...
Nini iliaminika inaweza beba virusi vya corona inaposafirishwa
{ "text": [ "matunda" ] }
0498_swa
MJADALA KUHUSU MADHARA YASABABISHWAYO NA JANGA LA KORONA Virusi vya korona ni jamii kubwa ya virusi vinavyojulikana kusababisha magonjwa yanayoanzisha homa ya kawaida hadi homa kali. Virusi vya corona vya sasa viligunduliwa mwezi Disemba mwaka wa elfu mbili na kumi na tisa Wuhan, China. Ghafla bin vuu, makundi ya ...
baada ya michezo ya olimpiki kuhairishwa yalikua yaanze lini
{ "text": [ "mwisho wa Julai" ] }
0498_swa
MJADALA KUHUSU MADHARA YASABABISHWAYO NA JANGA LA KORONA Virusi vya korona ni jamii kubwa ya virusi vinavyojulikana kusababisha magonjwa yanayoanzisha homa ya kawaida hadi homa kali. Virusi vya corona vya sasa viligunduliwa mwezi Disemba mwaka wa elfu mbili na kumi na tisa Wuhan, China. Ghafla bin vuu, makundi ya ...
Corono iliongeza idadi ya ulalahoi katika nchi tofauti aje
{ "text": [ "watu wengi walipoteza ajira na waliobaki walilipwa mshahara nusu" ] }
0499_swa
MJADALA KUHUSU MADHARA YANAYOSABABISHWA NA JANGA LA CORONA Kwa yakini, asiyejua maana haambiwi maana, kinyume cha haya, mimi nitakuambia maana ya corona. Corona ni kundi la virusi vinavyopatikana kwa wanyama kama vile popo na paka. Aidha, virusi hivi hupitikana kwa binadamu. Ingawa virusi vya corona vimekuwa duniani ...
Virusi vya korona hupatikana katika wanyama gani
{ "text": [ "Popo na paka" ] }
0499_swa
MJADALA KUHUSU MADHARA YANAYOSABABISHWA NA JANGA LA CORONA Kwa yakini, asiyejua maana haambiwi maana, kinyume cha haya, mimi nitakuambia maana ya corona. Corona ni kundi la virusi vinavyopatikana kwa wanyama kama vile popo na paka. Aidha, virusi hivi hupitikana kwa binadamu. Ingawa virusi vya corona vimekuwa duniani ...
Virusi vilivyosababisha maradhi ya uviko-19 vilijitokeza katika mji upi China
{ "text": [ "Wuhan" ] }
0499_swa
MJADALA KUHUSU MADHARA YANAYOSABABISHWA NA JANGA LA CORONA Kwa yakini, asiyejua maana haambiwi maana, kinyume cha haya, mimi nitakuambia maana ya corona. Corona ni kundi la virusi vinavyopatikana kwa wanyama kama vile popo na paka. Aidha, virusi hivi hupitikana kwa binadamu. Ingawa virusi vya corona vimekuwa duniani ...
Uwele wa uviko-19 ulifika Kenya tarehe ngapi
{ "text": [ "13/02/2020" ] }
0499_swa
MJADALA KUHUSU MADHARA YANAYOSABABISHWA NA JANGA LA CORONA Kwa yakini, asiyejua maana haambiwi maana, kinyume cha haya, mimi nitakuambia maana ya corona. Corona ni kundi la virusi vinavyopatikana kwa wanyama kama vile popo na paka. Aidha, virusi hivi hupitikana kwa binadamu. Ingawa virusi vya corona vimekuwa duniani ...
Ni naibu gavana wa kaunti gani aliyekufa kutokana na korona
{ "text": [ "Kaunti ya Kericho" ] }
0499_swa
MJADALA KUHUSU MADHARA YANAYOSABABISHWA NA JANGA LA CORONA Kwa yakini, asiyejua maana haambiwi maana, kinyume cha haya, mimi nitakuambia maana ya corona. Corona ni kundi la virusi vinavyopatikana kwa wanyama kama vile popo na paka. Aidha, virusi hivi hupitikana kwa binadamu. Ingawa virusi vya corona vimekuwa duniani ...
Mbali na uhaba wa kazi, janga la korono lilichangia ukosefu wa nini
{ "text": [ "Chakula" ] }
0500_swa
MJADALA KUHUSU MADHARA YASABABISHLAYO NA JANGA LA CORONA. Korona ni kundi la virusi vinavyoweza kusababisha magonjwa kwa wanyama na binadamu. Virusi vya korona husababisha maradhi ya UVIKO-19. Ungaminiwa kuwa ulitoka Wuhan, nchini China, katika mkoa wa Hubei: Shirika la Afya Duniani ilitangazo kuwa Uviko-19 umeenea du...
Maradhi ya UVIKO19 yalitokea wapi kwa mara ya kwanza
{ "text": [ "Wuhan China" ] }
0500_swa
MJADALA KUHUSU MADHARA YASABABISHLAYO NA JANGA LA CORONA. Korona ni kundi la virusi vinavyoweza kusababisha magonjwa kwa wanyama na binadamu. Virusi vya korona husababisha maradhi ya UVIKO-19. Ungaminiwa kuwa ulitoka Wuhan, nchini China, katika mkoa wa Hubei: Shirika la Afya Duniani ilitangazo kuwa Uviko-19 umeenea du...
Virusi vya corona vilishinikiza kufungwa kwa kitu gani
{ "text": [ "Shule" ] }
0500_swa
MJADALA KUHUSU MADHARA YASABABISHLAYO NA JANGA LA CORONA. Korona ni kundi la virusi vinavyoweza kusababisha magonjwa kwa wanyama na binadamu. Virusi vya korona husababisha maradhi ya UVIKO-19. Ungaminiwa kuwa ulitoka Wuhan, nchini China, katika mkoa wa Hubei: Shirika la Afya Duniani ilitangazo kuwa Uviko-19 umeenea du...
Ni nini kimedororesha uchumi
{ "text": [ "janga la corona" ] }
0500_swa
MJADALA KUHUSU MADHARA YASABABISHLAYO NA JANGA LA CORONA. Korona ni kundi la virusi vinavyoweza kusababisha magonjwa kwa wanyama na binadamu. Virusi vya korona husababisha maradhi ya UVIKO-19. Ungaminiwa kuwa ulitoka Wuhan, nchini China, katika mkoa wa Hubei: Shirika la Afya Duniani ilitangazo kuwa Uviko-19 umeenea du...
Nchini, kumekuwa na uhaba wa nini
{ "text": [ "Maharagwe" ] }
0500_swa
MJADALA KUHUSU MADHARA YASABABISHLAYO NA JANGA LA CORONA. Korona ni kundi la virusi vinavyoweza kusababisha magonjwa kwa wanyama na binadamu. Virusi vya korona husababisha maradhi ya UVIKO-19. Ungaminiwa kuwa ulitoka Wuhan, nchini China, katika mkoa wa Hubei: Shirika la Afya Duniani ilitangazo kuwa Uviko-19 umeenea du...
Ni vipi janga la corona lilileta matatizo ya uchukuzi
{ "text": [ "Ndege hazikuruhusiwa kubeba abiria katika maeneo mbalimbali" ] }
0501_swa
MJADALA KUHUSU MADHARA YANAYOSABABISHWA NA JANGA LA CORONA Corona ni jamii kubwa ya virusi vinavyosababisha maradhi kwa wanyama na binadamu . Virusi vipya vya Corona viligunduliwa mwaka elfu mbili na kumi na tisa huko Wuhan, China. Delta na Alpha ini aina za virusi vya Corona ambazo husababisha maradhi ya ugonjwa wa ...
Ugonjwa wa Uviko-19 umeenea kwa zaidi ya mataifa mangapi
{ "text": [ "Mia moja themanini" ] }
0501_swa
MJADALA KUHUSU MADHARA YANAYOSABABISHWA NA JANGA LA CORONA Corona ni jamii kubwa ya virusi vinavyosababisha maradhi kwa wanyama na binadamu . Virusi vipya vya Corona viligunduliwa mwaka elfu mbili na kumi na tisa huko Wuhan, China. Delta na Alpha ini aina za virusi vya Corona ambazo husababisha maradhi ya ugonjwa wa ...
Athari za uviko -19 ziliwachochea wananchi wa Kilifi kuanza ufugaji wa nini
{ "text": [ "Kuku" ] }
0501_swa
MJADALA KUHUSU MADHARA YANAYOSABABISHWA NA JANGA LA CORONA Corona ni jamii kubwa ya virusi vinavyosababisha maradhi kwa wanyama na binadamu . Virusi vipya vya Corona viligunduliwa mwaka elfu mbili na kumi na tisa huko Wuhan, China. Delta na Alpha ini aina za virusi vya Corona ambazo husababisha maradhi ya ugonjwa wa ...
Uviko-19 ulichangia wanafunzi kupewa likizo ndefu ya zaidi ya miezi mingapi
{ "text": [ "Miezi minane" ] }