Story_ID stringlengths 8 8 | context stringlengths 445 11k | question stringlengths 12 113 | answers dict |
|---|---|---|---|
0179_swa | MJADALA KUHUSU SABABU MBALIMBALI ZA WANAFUNZI KATIKA SHULE ZA UPILI KUPUUZA MASOMO YA KIUFUNDI
Elimu ni mfumo wa mafunzo yanayopatikana shuleni, vyuoni na maishani. Masomo ni mafunzo ya kutafuta ubingwa wa fani fulani maalumu. Masomo ya kiakademia ni mafunzo yanayotoa elimu au utaalamu maalum. Masomo ya kiufundi ni ma... | Masomo huimarisha endeleo yapi? | {
"text": [
"Kiuchumi"
]
} |
0179_swa | MJADALA KUHUSU SABABU MBALIMBALI ZA WANAFUNZI KATIKA SHULE ZA UPILI KUPUUZA MASOMO YA KIUFUNDI
Elimu ni mfumo wa mafunzo yanayopatikana shuleni, vyuoni na maishani. Masomo ni mafunzo ya kutafuta ubingwa wa fani fulani maalumu. Masomo ya kiakademia ni mafunzo yanayotoa elimu au utaalamu maalum. Masomo ya kiufundi ni ma... | Wanajamii wanamtazamo hasi kuhusu masomo yapi? | {
"text": [
"Masomo ya ufundi kama vile ya sayansikimu na uhunzu"
]
} |
0180_swa | JINA LA MWANAFUNZI FATMAH MOHAMMED
JINA LA MWALIMU BENSON NJOROGE
SHULE UPILI AL-FARSY
PWANI 86209 MOMBASA
0702880134
BARUA PEPE al-farsyict@gmail.com
FORM 1N ADM NO: 2081
MJADALA KUHUSU ATHARI ZA SHUGHULI ZA KISIASA NCHINI
Siasa hutokea mahali popote ambapo binadamu huchagua kiongozi. Humpa fursa wananchi
k... | Nani huchagua kiongozi | {
"text": [
"mwananchi"
]
} |
0180_swa | JINA LA MWANAFUNZI FATMAH MOHAMMED
JINA LA MWALIMU BENSON NJOROGE
SHULE UPILI AL-FARSY
PWANI 86209 MOMBASA
0702880134
BARUA PEPE al-farsyict@gmail.com
FORM 1N ADM NO: 2081
MJADALA KUHUSU ATHARI ZA SHUGHULI ZA KISIASA NCHINI
Siasa hutokea mahali popote ambapo binadamu huchagua kiongozi. Humpa fursa wananchi
k... | Shughuli za kisiasa huleta maambukizi ya corona vipi | {
"text": [
"wanasiasa wanapokuwa katika shughuli hawafuati taratibu sahihi za kiafya"
]
} |
0180_swa | JINA LA MWANAFUNZI FATMAH MOHAMMED
JINA LA MWALIMU BENSON NJOROGE
SHULE UPILI AL-FARSY
PWANI 86209 MOMBASA
0702880134
BARUA PEPE al-farsyict@gmail.com
FORM 1N ADM NO: 2081
MJADALA KUHUSU ATHARI ZA SHUGHULI ZA KISIASA NCHINI
Siasa hutokea mahali popote ambapo binadamu huchagua kiongozi. Humpa fursa wananchi
k... | ni lini tutakuwa na uchaguzi mkubwa humu nchini | {
"text": [
"mwaka elfi mbili ishirini na mbili"
]
} |
0180_swa | JINA LA MWANAFUNZI FATMAH MOHAMMED
JINA LA MWALIMU BENSON NJOROGE
SHULE UPILI AL-FARSY
PWANI 86209 MOMBASA
0702880134
BARUA PEPE al-farsyict@gmail.com
FORM 1N ADM NO: 2081
MJADALA KUHUSU ATHARI ZA SHUGHULI ZA KISIASA NCHINI
Siasa hutokea mahali popote ambapo binadamu huchagua kiongozi. Humpa fursa wananchi
k... | wananchi wanaombwa wapige kura vipi | {
"text": [
"kwa amani"
]
} |
0180_swa | JINA LA MWANAFUNZI FATMAH MOHAMMED
JINA LA MWALIMU BENSON NJOROGE
SHULE UPILI AL-FARSY
PWANI 86209 MOMBASA
0702880134
BARUA PEPE al-farsyict@gmail.com
FORM 1N ADM NO: 2081
MJADALA KUHUSU ATHARI ZA SHUGHULI ZA KISIASA NCHINI
Siasa hutokea mahali popote ambapo binadamu huchagua kiongozi. Humpa fursa wananchi
k... | amani haiji ila kwa ncha ya nini | {
"text": [
"upanga"
]
} |
0181_swa | MJADALA KUHUSU ATHARI ZA SHUGHULI ZA KISIASA NCHINI
Aghalabu binadamu hawezi kuishi bila uchumi, jamii na siasa· Vigezo hivi vyote hutegemeana kwa ufanisi. Siasa ni utaratibu kuhusu utawala wa nchi unaotumika kuleta maendeleo nchini na wanasiasa wakishirikiana na raia. Katika siasa za Kenya, kuna aina nyingi za vyeo am... | Shughuli za kisasa huleta nini nchini | {
"text": [
"Maendeleo "
]
} |
0181_swa | MJADALA KUHUSU ATHARI ZA SHUGHULI ZA KISIASA NCHINI
Aghalabu binadamu hawezi kuishi bila uchumi, jamii na siasa· Vigezo hivi vyote hutegemeana kwa ufanisi. Siasa ni utaratibu kuhusu utawala wa nchi unaotumika kuleta maendeleo nchini na wanasiasa wakishirikiana na raia. Katika siasa za Kenya, kuna aina nyingi za vyeo am... | Vijana wanaajiriwa kama nani | {
"text": [
"Walinzi"
]
} |
0181_swa | MJADALA KUHUSU ATHARI ZA SHUGHULI ZA KISIASA NCHINI
Aghalabu binadamu hawezi kuishi bila uchumi, jamii na siasa· Vigezo hivi vyote hutegemeana kwa ufanisi. Siasa ni utaratibu kuhusu utawala wa nchi unaotumika kuleta maendeleo nchini na wanasiasa wakishirikiana na raia. Katika siasa za Kenya, kuna aina nyingi za vyeo am... | Utaratibu unatumika kuletea maendeleo unaitwaje | {
"text": [
"Siasa"
]
} |
0181_swa | MJADALA KUHUSU ATHARI ZA SHUGHULI ZA KISIASA NCHINI
Aghalabu binadamu hawezi kuishi bila uchumi, jamii na siasa· Vigezo hivi vyote hutegemeana kwa ufanisi. Siasa ni utaratibu kuhusu utawala wa nchi unaotumika kuleta maendeleo nchini na wanasiasa wakishirikiana na raia. Katika siasa za Kenya, kuna aina nyingi za vyeo am... | Wanasiasa hushirikiana na nani | {
"text": [
"Raia"
]
} |
0181_swa | MJADALA KUHUSU ATHARI ZA SHUGHULI ZA KISIASA NCHINI
Aghalabu binadamu hawezi kuishi bila uchumi, jamii na siasa· Vigezo hivi vyote hutegemeana kwa ufanisi. Siasa ni utaratibu kuhusu utawala wa nchi unaotumika kuleta maendeleo nchini na wanasiasa wakishirikiana na raia. Katika siasa za Kenya, kuna aina nyingi za vyeo am... | Kampuni hufaidika vipi kutoka kwa wanasisa | {
"text": [
"Kampuni inayotengeneza unga hupata faida raia wanapopewa unga"
]
} |
0182_swa | MJADALA KUHUSU ATHARI ZA SHUGHULI ZA KISIASA NCHINI
Maisha ya binadamu yana ncha tatu; kijamii, kiuchumi na kisiasa. Kipengele cha kisiasa ndicho chenye umuhimu zaidi kuliko vipengele vingine kwani ndicho kinachofanya vipengele vingine vitie fora. Penye siasa kamavu pana uhusiano mzuri. Siasa ni mgawanyo wa madaraka na... | Maisha ya binadamu yana ncha ngapi | {
"text": [
"Tatu"
]
} |
0182_swa | MJADALA KUHUSU ATHARI ZA SHUGHULI ZA KISIASA NCHINI
Maisha ya binadamu yana ncha tatu; kijamii, kiuchumi na kisiasa. Kipengele cha kisiasa ndicho chenye umuhimu zaidi kuliko vipengele vingine kwani ndicho kinachofanya vipengele vingine vitie fora. Penye siasa kamavu pana uhusiano mzuri. Siasa ni mgawanyo wa madaraka na... | Ni ncha ipi ya maisha ya binadamu yenye umuhimu zaidi | {
"text": [
"Ncha ya kisiasa"
]
} |
0182_swa | MJADALA KUHUSU ATHARI ZA SHUGHULI ZA KISIASA NCHINI
Maisha ya binadamu yana ncha tatu; kijamii, kiuchumi na kisiasa. Kipengele cha kisiasa ndicho chenye umuhimu zaidi kuliko vipengele vingine kwani ndicho kinachofanya vipengele vingine vitie fora. Penye siasa kamavu pana uhusiano mzuri. Siasa ni mgawanyo wa madaraka na... | Athari hasi na chanya zimeletwa na nini | {
"text": [
"Siasa"
]
} |
0182_swa | MJADALA KUHUSU ATHARI ZA SHUGHULI ZA KISIASA NCHINI
Maisha ya binadamu yana ncha tatu; kijamii, kiuchumi na kisiasa. Kipengele cha kisiasa ndicho chenye umuhimu zaidi kuliko vipengele vingine kwani ndicho kinachofanya vipengele vingine vitie fora. Penye siasa kamavu pana uhusiano mzuri. Siasa ni mgawanyo wa madaraka na... | Mchele, pojo na maharagwe ni vyakula ghushi vilivyotolewa na nani | {
"text": [
"Wanasiasa"
]
} |
0182_swa | MJADALA KUHUSU ATHARI ZA SHUGHULI ZA KISIASA NCHINI
Maisha ya binadamu yana ncha tatu; kijamii, kiuchumi na kisiasa. Kipengele cha kisiasa ndicho chenye umuhimu zaidi kuliko vipengele vingine kwani ndicho kinachofanya vipengele vingine vitie fora. Penye siasa kamavu pana uhusiano mzuri. Siasa ni mgawanyo wa madaraka na... | Shughuli za kisiasa hususan mikutano ilieneza uwele upi | {
"text": [
"Uviko -19"
]
} |
0183_swa | ATHARI ZA KORONA KATIKA JAMII
Ugonjwa wa korona ni ugonjwa unaoenezwa na virusi. Ugonjwa huu unadhariwa kuibuka huko Wuhan nchini China. Virusi vya korona humfanya mtu kutaabika katika upumuaji wa hewa, kukosa hisia ya kuonja au kununa na vilevile huhisi joto jingi na baridi kali mwilini. Ugonjwa wa korona hutambulika... | Korona huenezwa kwa njia ipi? | {
"text": [
"Virusi"
]
} |
0183_swa | ATHARI ZA KORONA KATIKA JAMII
Ugonjwa wa korona ni ugonjwa unaoenezwa na virusi. Ugonjwa huu unadhariwa kuibuka huko Wuhan nchini China. Virusi vya korona humfanya mtu kutaabika katika upumuaji wa hewa, kukosa hisia ya kuonja au kununa na vilevile huhisi joto jingi na baridi kali mwilini. Ugonjwa wa korona hutambulika... | Korona iliibuka wapi mwanzo? | {
"text": [
"Wahun"
]
} |
0183_swa | ATHARI ZA KORONA KATIKA JAMII
Ugonjwa wa korona ni ugonjwa unaoenezwa na virusi. Ugonjwa huu unadhariwa kuibuka huko Wuhan nchini China. Virusi vya korona humfanya mtu kutaabika katika upumuaji wa hewa, kukosa hisia ya kuonja au kununa na vilevile huhisi joto jingi na baridi kali mwilini. Ugonjwa wa korona hutambulika... | Korona hutambulika kwa jina lipi? | {
"text": [
"Uviko-19"
]
} |
0183_swa | ATHARI ZA KORONA KATIKA JAMII
Ugonjwa wa korona ni ugonjwa unaoenezwa na virusi. Ugonjwa huu unadhariwa kuibuka huko Wuhan nchini China. Virusi vya korona humfanya mtu kutaabika katika upumuaji wa hewa, kukosa hisia ya kuonja au kununa na vilevile huhisi joto jingi na baridi kali mwilini. Ugonjwa wa korona hutambulika... | Kilicho na wema hakikosi nini? | {
"text": [
"Dosari"
]
} |
0183_swa | ATHARI ZA KORONA KATIKA JAMII
Ugonjwa wa korona ni ugonjwa unaoenezwa na virusi. Ugonjwa huu unadhariwa kuibuka huko Wuhan nchini China. Virusi vya korona humfanya mtu kutaabika katika upumuaji wa hewa, kukosa hisia ya kuonja au kununa na vilevile huhisi joto jingi na baridi kali mwilini. Ugonjwa wa korona hutambulika... | Korona imechangia ongezeko la nini? | {
"text": [
"Ufisadi miongoni mwa viongozi serikalini"
]
} |
0184_swa | NAMNA YA KUIMARISHA KILIMO NCHINI
Kilimo huleta chakula cha kutosha kwa wananchi, ni njia ya serikali kupata pesa. Kadhalika, kilimo huweza kuimarishwa kwa njia nyingi kama vile wakulima wafadhili Elimu kwa wakulima na hata mbinu mpya za kuimarisha ukulima.
Kwanza, wakulima wafadhiliwe, kupewa pembejo za kilimo kama... | nini huletea serikali pesa kadhalika | {
"text": [
"ukulima"
]
} |
0184_swa | NAMNA YA KUIMARISHA KILIMO NCHINI
Kilimo huleta chakula cha kutosha kwa wananchi, ni njia ya serikali kupata pesa. Kadhalika, kilimo huweza kuimarishwa kwa njia nyingi kama vile wakulima wafadhili Elimu kwa wakulima na hata mbinu mpya za kuimarisha ukulima.
Kwanza, wakulima wafadhiliwe, kupewa pembejo za kilimo kama... | nani anapaswa kusaidia wakulima kuuza mazao | {
"text": [
"serikali/kampuni ya ulimaji"
]
} |
0184_swa | NAMNA YA KUIMARISHA KILIMO NCHINI
Kilimo huleta chakula cha kutosha kwa wananchi, ni njia ya serikali kupata pesa. Kadhalika, kilimo huweza kuimarishwa kwa njia nyingi kama vile wakulima wafadhili Elimu kwa wakulima na hata mbinu mpya za kuimarisha ukulima.
Kwanza, wakulima wafadhiliwe, kupewa pembejo za kilimo kama... | mbinu za kisasa ni kama gani | {
"text": [
"kutumia tingatinga"
]
} |
0184_swa | NAMNA YA KUIMARISHA KILIMO NCHINI
Kilimo huleta chakula cha kutosha kwa wananchi, ni njia ya serikali kupata pesa. Kadhalika, kilimo huweza kuimarishwa kwa njia nyingi kama vile wakulima wafadhili Elimu kwa wakulima na hata mbinu mpya za kuimarisha ukulima.
Kwanza, wakulima wafadhiliwe, kupewa pembejo za kilimo kama... | ni wakati gani wa kuanzisha mradi wa unyunyuziaji maji | {
"text": [
"wakati wa ukame"
]
} |
0184_swa | NAMNA YA KUIMARISHA KILIMO NCHINI
Kilimo huleta chakula cha kutosha kwa wananchi, ni njia ya serikali kupata pesa. Kadhalika, kilimo huweza kuimarishwa kwa njia nyingi kama vile wakulima wafadhili Elimu kwa wakulima na hata mbinu mpya za kuimarisha ukulima.
Kwanza, wakulima wafadhiliwe, kupewa pembejo za kilimo kama... | mkulima anaweza kupata hasara vipi | {
"text": [
"wakinunua bidhaa za ukulima ghali na kuuza ghali kwa wananchi"
]
} |
0185_swa | NAMNA ZA KUIMARISHA KILIMO NCHINI.
Zaraa ni awamu ya kisomo ya kitamaduni inayopokezwa kutoka kizazi kimoja hadi kingine haswa baina ya wanakabila la kibantu. Kilimo huhusisha upanzi wa mimea na kuweka kwa wanyama kama vile ng'ombe na kuku ili kupalilia ongezeko la chakula cha umma nchini na kuliangamiza baa la njaa ... | Kilimo huhusisha upanzi wa nini? | {
"text": [
"Mimea"
]
} |
0185_swa | NAMNA ZA KUIMARISHA KILIMO NCHINI.
Zaraa ni awamu ya kisomo ya kitamaduni inayopokezwa kutoka kizazi kimoja hadi kingine haswa baina ya wanakabila la kibantu. Kilimo huhusisha upanzi wa mimea na kuweka kwa wanyama kama vile ng'ombe na kuku ili kupalilia ongezeko la chakula cha umma nchini na kuliangamiza baa la njaa ... | Nini huzuia ufanisi wa nchi? | {
"text": [
"Umaskini"
]
} |
0185_swa | NAMNA ZA KUIMARISHA KILIMO NCHINI.
Zaraa ni awamu ya kisomo ya kitamaduni inayopokezwa kutoka kizazi kimoja hadi kingine haswa baina ya wanakabila la kibantu. Kilimo huhusisha upanzi wa mimea na kuweka kwa wanyama kama vile ng'ombe na kuku ili kupalilia ongezeko la chakula cha umma nchini na kuliangamiza baa la njaa ... | Vidudu vipi huvamia mimea? | {
"text": [
"Nzige"
]
} |
0185_swa | NAMNA ZA KUIMARISHA KILIMO NCHINI.
Zaraa ni awamu ya kisomo ya kitamaduni inayopokezwa kutoka kizazi kimoja hadi kingine haswa baina ya wanakabila la kibantu. Kilimo huhusisha upanzi wa mimea na kuweka kwa wanyama kama vile ng'ombe na kuku ili kupalilia ongezeko la chakula cha umma nchini na kuliangamiza baa la njaa ... | Mimea huhitaji nini? | {
"text": [
"Maji"
]
} |
0185_swa | NAMNA ZA KUIMARISHA KILIMO NCHINI.
Zaraa ni awamu ya kisomo ya kitamaduni inayopokezwa kutoka kizazi kimoja hadi kingine haswa baina ya wanakabila la kibantu. Kilimo huhusisha upanzi wa mimea na kuweka kwa wanyama kama vile ng'ombe na kuku ili kupalilia ongezeko la chakula cha umma nchini na kuliangamiza baa la njaa ... | Zaraa hupokezwa kwa njia ipi? | {
"text": [
"Kutoka kizazi kimoja hadi kingine haswa baina ya makabila ya kibantu"
]
} |
0186_swa | NAMNA MBALIMBALI ZA KUIMARISHA KILIMO NCHINI
Kilimo ni njia au sayansi ya kulima ikijumuisha upandaji wa mimea na kufuga kwa wanyama kwa madhumuni ya kupata chakula, pesa na faida nyenginezo. Kilimo ndio uti wa mgongo wa nchi ya Kenya. Kwa juhudi za serikali, kilimo kiko sawa na kuna aina ainati za kukuza, kuimarisha... | Ni nini sayansi ya kulima | {
"text": [
"kilimo"
]
} |
0186_swa | NAMNA MBALIMBALI ZA KUIMARISHA KILIMO NCHINI
Kilimo ni njia au sayansi ya kulima ikijumuisha upandaji wa mimea na kufuga kwa wanyama kwa madhumuni ya kupata chakula, pesa na faida nyenginezo. Kilimo ndio uti wa mgongo wa nchi ya Kenya. Kwa juhudi za serikali, kilimo kiko sawa na kuna aina ainati za kukuza, kuimarisha... | Ni nini mtu huchagua wakati wa kupanda | {
"text": [
"Mbegu"
]
} |
0186_swa | NAMNA MBALIMBALI ZA KUIMARISHA KILIMO NCHINI
Kilimo ni njia au sayansi ya kulima ikijumuisha upandaji wa mimea na kufuga kwa wanyama kwa madhumuni ya kupata chakula, pesa na faida nyenginezo. Kilimo ndio uti wa mgongo wa nchi ya Kenya. Kwa juhudi za serikali, kilimo kiko sawa na kuna aina ainati za kukuza, kuimarisha... | Ni mbegu zipi zilizo bora | {
"text": [
"Za kisasa"
]
} |
0186_swa | NAMNA MBALIMBALI ZA KUIMARISHA KILIMO NCHINI
Kilimo ni njia au sayansi ya kulima ikijumuisha upandaji wa mimea na kufuga kwa wanyama kwa madhumuni ya kupata chakula, pesa na faida nyenginezo. Kilimo ndio uti wa mgongo wa nchi ya Kenya. Kwa juhudi za serikali, kilimo kiko sawa na kuna aina ainati za kukuza, kuimarisha... | Ni nini itajengwa kupitisha maji | {
"text": [
"Mtaro"
]
} |
0186_swa | NAMNA MBALIMBALI ZA KUIMARISHA KILIMO NCHINI
Kilimo ni njia au sayansi ya kulima ikijumuisha upandaji wa mimea na kufuga kwa wanyama kwa madhumuni ya kupata chakula, pesa na faida nyenginezo. Kilimo ndio uti wa mgongo wa nchi ya Kenya. Kwa juhudi za serikali, kilimo kiko sawa na kuna aina ainati za kukuza, kuimarisha... | Kwa nini tupande vyakula asili | {
"text": [
"Kuzuia magonjwa"
]
} |
0187_swa | NAMNA YA KUIMARISHA KILIMO NCHINI
Kilimo ni mojawapo ya biashara kuu hapa nchini kwetu inayotustahimili Kimaisha. Hivi ni kumaanisha kuwa ukulima ni uti wa mgongo humu nchini.Tunasema hivyo kwa sababu kupitia Kilimo wananchi wanaweza kupata chakula inayokidhi masilahi ya afya yetu. Ila hivi karibuni tumekuwa tukishuhu... | Kilimo ni nini nchini | {
"text": [
"Biashara"
]
} |
0187_swa | NAMNA YA KUIMARISHA KILIMO NCHINI
Kilimo ni mojawapo ya biashara kuu hapa nchini kwetu inayotustahimili Kimaisha. Hivi ni kumaanisha kuwa ukulima ni uti wa mgongo humu nchini.Tunasema hivyo kwa sababu kupitia Kilimo wananchi wanaweza kupata chakula inayokidhi masilahi ya afya yetu. Ila hivi karibuni tumekuwa tukishuhu... | Ni vipi kilimo kinaweza endelezwa katika sehemu kame | {
"text": [
"Kupitia unyunyuziaji wa mimea maji"
]
} |
0187_swa | NAMNA YA KUIMARISHA KILIMO NCHINI
Kilimo ni mojawapo ya biashara kuu hapa nchini kwetu inayotustahimili Kimaisha. Hivi ni kumaanisha kuwa ukulima ni uti wa mgongo humu nchini.Tunasema hivyo kwa sababu kupitia Kilimo wananchi wanaweza kupata chakula inayokidhi masilahi ya afya yetu. Ila hivi karibuni tumekuwa tukishuhu... | Ni pembejeo zipi wakulima wanafaa kufadhiliwa nazo | {
"text": [
"Mbegu na mbolea"
]
} |
0187_swa | NAMNA YA KUIMARISHA KILIMO NCHINI
Kilimo ni mojawapo ya biashara kuu hapa nchini kwetu inayotustahimili Kimaisha. Hivi ni kumaanisha kuwa ukulima ni uti wa mgongo humu nchini.Tunasema hivyo kwa sababu kupitia Kilimo wananchi wanaweza kupata chakula inayokidhi masilahi ya afya yetu. Ila hivi karibuni tumekuwa tukishuhu... | Ni mimea ipi inawezastahimili ukame na kiangazi | {
"text": [
"Nazi, mihogo, viazi vitamu na mahindi ya katumani"
]
} |
0187_swa | NAMNA YA KUIMARISHA KILIMO NCHINI
Kilimo ni mojawapo ya biashara kuu hapa nchini kwetu inayotustahimili Kimaisha. Hivi ni kumaanisha kuwa ukulima ni uti wa mgongo humu nchini.Tunasema hivyo kwa sababu kupitia Kilimo wananchi wanaweza kupata chakula inayokidhi masilahi ya afya yetu. Ila hivi karibuni tumekuwa tukishuhu... | Ni mbinu gani ya kisasa ya kuhifadhi vyakula vilivyobakia | {
"text": [
"Ujenzi wa maghala"
]
} |
0188_swa | NAMNA YA KUIMARISHA KILIMO NCHINI.
Kilimo ni uti wa mgongo wa taifa letu. Inategemewa na watu wanaotoka katika maeneo mbalimbali nchini Kenya. Hatua ya serikali ya kuimarisha kilimo itawafanya vijana kupata kazi hata walio katika maeneo duni nchini.
Hata hivyo, ili kuimarisha sekta hii ya Kilimo, mambo mengi yanahit... | Ni nini uti wa mgongo wa taifa letu | {
"text": [
"Kilimo"
]
} |
0188_swa | NAMNA YA KUIMARISHA KILIMO NCHINI.
Kilimo ni uti wa mgongo wa taifa letu. Inategemewa na watu wanaotoka katika maeneo mbalimbali nchini Kenya. Hatua ya serikali ya kuimarisha kilimo itawafanya vijana kupata kazi hata walio katika maeneo duni nchini.
Hata hivyo, ili kuimarisha sekta hii ya Kilimo, mambo mengi yanahit... | Nini kitafanya vijana kupata kazi | {
"text": [
"Serikali kuimarisha kilimo"
]
} |
0188_swa | NAMNA YA KUIMARISHA KILIMO NCHINI.
Kilimo ni uti wa mgongo wa taifa letu. Inategemewa na watu wanaotoka katika maeneo mbalimbali nchini Kenya. Hatua ya serikali ya kuimarisha kilimo itawafanya vijana kupata kazi hata walio katika maeneo duni nchini.
Hata hivyo, ili kuimarisha sekta hii ya Kilimo, mambo mengi yanahit... | Nini huongeza rotuba ardhini | {
"text": [
"Kutumia mbolea"
]
} |
0188_swa | NAMNA YA KUIMARISHA KILIMO NCHINI.
Kilimo ni uti wa mgongo wa taifa letu. Inategemewa na watu wanaotoka katika maeneo mbalimbali nchini Kenya. Hatua ya serikali ya kuimarisha kilimo itawafanya vijana kupata kazi hata walio katika maeneo duni nchini.
Hata hivyo, ili kuimarisha sekta hii ya Kilimo, mambo mengi yanahit... | Ni wakati gani mwafaka wa kutumia mradi wa unyunyuziaji maji | {
"text": [
"wakati kuna ukame"
]
} |
0188_swa | NAMNA YA KUIMARISHA KILIMO NCHINI.
Kilimo ni uti wa mgongo wa taifa letu. Inategemewa na watu wanaotoka katika maeneo mbalimbali nchini Kenya. Hatua ya serikali ya kuimarisha kilimo itawafanya vijana kupata kazi hata walio katika maeneo duni nchini.
Hata hivyo, ili kuimarisha sekta hii ya Kilimo, mambo mengi yanahit... | Ni kwanini maonyesho ya kilimo yapewe kipaumbele kufikishwa mashinani | {
"text": [
"maonyesho haya yatawafanya watu kuingia katika kilimo biashara"
]
} |
0190_swa | NAMNA MBALIMBALI ZA KUIMARISHA KILIMO NCHINI
Kilimo ni uti wa mgongo wa nchi yetu ya Kenya, kuna ukulima wamazao na ukulima wa wanyama. Kenya ni mojawapo za nchi ambazo asilimia kubwa ya uchumi wa nchi hutokana na zaraa. Aidha ufugaji na upananzi wa mimea, hutufanya tujikimu kwa ukame, hivyo basi kupiga teke baa la n... | Nini mti wa mgongo wa Kenya | {
"text": [
"kilimo"
]
} |
0190_swa | NAMNA MBALIMBALI ZA KUIMARISHA KILIMO NCHINI
Kilimo ni uti wa mgongo wa nchi yetu ya Kenya, kuna ukulima wamazao na ukulima wa wanyama. Kenya ni mojawapo za nchi ambazo asilimia kubwa ya uchumi wa nchi hutokana na zaraa. Aidha ufugaji na upananzi wa mimea, hutufanya tujikimu kwa ukame, hivyo basi kupiga teke baa la n... | Somo gani lifanywe la lazima | {
"text": [
"la kilimo"
]
} |
0190_swa | NAMNA MBALIMBALI ZA KUIMARISHA KILIMO NCHINI
Kilimo ni uti wa mgongo wa nchi yetu ya Kenya, kuna ukulima wamazao na ukulima wa wanyama. Kenya ni mojawapo za nchi ambazo asilimia kubwa ya uchumi wa nchi hutokana na zaraa. Aidha ufugaji na upananzi wa mimea, hutufanya tujikimu kwa ukame, hivyo basi kupiga teke baa la n... | Kina nani waajiriwe katika kila kata | {
"text": [
"maafisa wa kilimo"
]
} |
0190_swa | NAMNA MBALIMBALI ZA KUIMARISHA KILIMO NCHINI
Kilimo ni uti wa mgongo wa nchi yetu ya Kenya, kuna ukulima wamazao na ukulima wa wanyama. Kenya ni mojawapo za nchi ambazo asilimia kubwa ya uchumi wa nchi hutokana na zaraa. Aidha ufugaji na upananzi wa mimea, hutufanya tujikimu kwa ukame, hivyo basi kupiga teke baa la n... | Wakulima wasaidiwe kuuza mazao yao wapi | {
"text": [
"nchi za nje"
]
} |
0190_swa | NAMNA MBALIMBALI ZA KUIMARISHA KILIMO NCHINI
Kilimo ni uti wa mgongo wa nchi yetu ya Kenya, kuna ukulima wamazao na ukulima wa wanyama. Kenya ni mojawapo za nchi ambazo asilimia kubwa ya uchumi wa nchi hutokana na zaraa. Aidha ufugaji na upananzi wa mimea, hutufanya tujikimu kwa ukame, hivyo basi kupiga teke baa la n... | Mbona mradi wa unyunyiziaji maji uanzishwe? | {
"text": [
"kuwafanya wakulima kutia bidii zaidi"
]
} |
0192_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI ZA KUKABILI UFISADI NCHINI
Ufisadi ni kitendo ambacho hakistahili kutendwa katika jamii. Ufisadi hujitokeza katika aina nyingi kama kuzunguka mbuyu, kukubali kuzunguka mbuyu na huleta shida nui katika maisha yetu. Mtu hujiingiza katika ufisadi kwa sababu ya tamaa ya kumiliki mali nyingi,... | Ni kitendo kipi ambacho hakistahili kutendwa katika jamii | {
"text": [
"Ufisadi"
]
} |
0192_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI ZA KUKABILI UFISADI NCHINI
Ufisadi ni kitendo ambacho hakistahili kutendwa katika jamii. Ufisadi hujitokeza katika aina nyingi kama kuzunguka mbuyu, kukubali kuzunguka mbuyu na huleta shida nui katika maisha yetu. Mtu hujiingiza katika ufisadi kwa sababu ya tamaa ya kumiliki mali nyingi,... | Ufisadi huleta nini katika maisha yetu | {
"text": [
"Shida"
]
} |
0192_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI ZA KUKABILI UFISADI NCHINI
Ufisadi ni kitendo ambacho hakistahili kutendwa katika jamii. Ufisadi hujitokeza katika aina nyingi kama kuzunguka mbuyu, kukubali kuzunguka mbuyu na huleta shida nui katika maisha yetu. Mtu hujiingiza katika ufisadi kwa sababu ya tamaa ya kumiliki mali nyingi,... | Mgala muue na umpe nini | {
"text": [
"Haki yake"
]
} |
0192_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI ZA KUKABILI UFISADI NCHINI
Ufisadi ni kitendo ambacho hakistahili kutendwa katika jamii. Ufisadi hujitokeza katika aina nyingi kama kuzunguka mbuyu, kukubali kuzunguka mbuyu na huleta shida nui katika maisha yetu. Mtu hujiingiza katika ufisadi kwa sababu ya tamaa ya kumiliki mali nyingi,... | Chanda chema huvikwa nini | {
"text": [
"Pete"
]
} |
0192_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI ZA KUKABILI UFISADI NCHINI
Ufisadi ni kitendo ambacho hakistahili kutendwa katika jamii. Ufisadi hujitokeza katika aina nyingi kama kuzunguka mbuyu, kukubali kuzunguka mbuyu na huleta shida nui katika maisha yetu. Mtu hujiingiza katika ufisadi kwa sababu ya tamaa ya kumiliki mali nyingi,... | Kwa nini mtu hujiingiza katika ufisadi | {
"text": [
"Kwa sababu ya tamaa ya kumiliki mali nyingi"
]
} |
0193_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI ZA KUKABILI UFISADI NCHINI
Ufisadi ni tabia au tendo baya na maovu yanayofanyika nchini. Kuna aina nyingi ya ufisadi kama vile ukabila, ubaguzi wa rangi, kuzembea majukumu, kufuja mali ya umma na kadhalika. Haya yote yanaweza kukabiliwa kwa njia zifuatazo:
Kwanza, serikali lazima ibun... | Serikali ibuni taasisiya kampeni dhidi ya nini | {
"text": [
"ufisadi"
]
} |
0193_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI ZA KUKABILI UFISADI NCHINI
Ufisadi ni tabia au tendo baya na maovu yanayofanyika nchini. Kuna aina nyingi ya ufisadi kama vile ukabila, ubaguzi wa rangi, kuzembea majukumu, kufuja mali ya umma na kadhalika. Haya yote yanaweza kukabiliwa kwa njia zifuatazo:
Kwanza, serikali lazima ibun... | Maafisa wa umma wenye ufisadi wafanyiwe nini | {
"text": [
"wafutwe kazi"
]
} |
0193_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI ZA KUKABILI UFISADI NCHINI
Ufisadi ni tabia au tendo baya na maovu yanayofanyika nchini. Kuna aina nyingi ya ufisadi kama vile ukabila, ubaguzi wa rangi, kuzembea majukumu, kufuja mali ya umma na kadhalika. Haya yote yanaweza kukabiliwa kwa njia zifuatazo:
Kwanza, serikali lazima ibun... | Wafisadi watakaposhtakiwa wawekwe wapi | {
"text": [
"kizimbani"
]
} |
0193_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI ZA KUKABILI UFISADI NCHINI
Ufisadi ni tabia au tendo baya na maovu yanayofanyika nchini. Kuna aina nyingi ya ufisadi kama vile ukabila, ubaguzi wa rangi, kuzembea majukumu, kufuja mali ya umma na kadhalika. Haya yote yanaweza kukabiliwa kwa njia zifuatazo:
Kwanza, serikali lazima ibun... | Katika Bibilia nani anapinga ufisadi | {
"text": [
"Musa"
]
} |
0193_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI ZA KUKABILI UFISADI NCHINI
Ufisadi ni tabia au tendo baya na maovu yanayofanyika nchini. Kuna aina nyingi ya ufisadi kama vile ukabila, ubaguzi wa rangi, kuzembea majukumu, kufuja mali ya umma na kadhalika. Haya yote yanaweza kukabiliwa kwa njia zifuatazo:
Kwanza, serikali lazima ibun... | Mbona si vizuri viongozi kupokea rushwa | {
"text": [
"hivi huwaumiza sana wananchi"
]
} |
0194_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI ZA KUKABILIANA NA UFISADI NCHINI
Naam, ufisadi ni utoaji au upokeaji wa hongo ili mtu aweze kutimiza matakwa yake. Kwa hakika ufisadi umeleta balaa na beluwa katika jamii moja hadi nyengine. Kwa kweli ufisadi ni kitendo ambacho kinastahili kupelekwa jahanamu katika jamii hii yetu ya sas... | Ufisadi ni utoaji na upokeaji wa nini | {
"text": [
"Hongo"
]
} |
0194_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI ZA KUKABILIANA NA UFISADI NCHINI
Naam, ufisadi ni utoaji au upokeaji wa hongo ili mtu aweze kutimiza matakwa yake. Kwa hakika ufisadi umeleta balaa na beluwa katika jamii moja hadi nyengine. Kwa kweli ufisadi ni kitendo ambacho kinastahili kupelekwa jahanamu katika jamii hii yetu ya sas... | Ufisadi umeleta nini | {
"text": [
"Balaa na beluwa"
]
} |
0194_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI ZA KUKABILIANA NA UFISADI NCHINI
Naam, ufisadi ni utoaji au upokeaji wa hongo ili mtu aweze kutimiza matakwa yake. Kwa hakika ufisadi umeleta balaa na beluwa katika jamii moja hadi nyengine. Kwa kweli ufisadi ni kitendo ambacho kinastahili kupelekwa jahanamu katika jamii hii yetu ya sas... | Umoja ni nguvu utengano ni nini | {
"text": [
"Udhaifu"
]
} |
0194_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI ZA KUKABILIANA NA UFISADI NCHINI
Naam, ufisadi ni utoaji au upokeaji wa hongo ili mtu aweze kutimiza matakwa yake. Kwa hakika ufisadi umeleta balaa na beluwa katika jamii moja hadi nyengine. Kwa kweli ufisadi ni kitendo ambacho kinastahili kupelekwa jahanamu katika jamii hii yetu ya sas... | Serikali inapaswa kuchukua nini | {
"text": [
"Hatua ya haraka"
]
} |
0194_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI ZA KUKABILIANA NA UFISADI NCHINI
Naam, ufisadi ni utoaji au upokeaji wa hongo ili mtu aweze kutimiza matakwa yake. Kwa hakika ufisadi umeleta balaa na beluwa katika jamii moja hadi nyengine. Kwa kweli ufisadi ni kitendo ambacho kinastahili kupelekwa jahanamu katika jamii hii yetu ya sas... | Kwa nini ushari utolewe | {
"text": [
"Ili kuleta amani na umoja katika jamii"
]
} |
0195_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI ZA KUKABILI UFISADI NCHINI
Ufisadi ni upokeaji au utoaji wa hongo. Ufisadi ni tendo ambalo huleta uharibifu katika jamii. Ni dhahiri Shahiri kwamba Kutokana na ufisadi, hali ya maisha imezidi kuwa ngumu, hivo basi, chuki na uhasama kuenea baina ya jamii tofauti tofauti hapa nchini. Seri... | Ufisadi ni upokeaji wa nini | {
"text": [
"Hongo"
]
} |
0195_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI ZA KUKABILI UFISADI NCHINI
Ufisadi ni upokeaji au utoaji wa hongo. Ufisadi ni tendo ambalo huleta uharibifu katika jamii. Ni dhahiri Shahiri kwamba Kutokana na ufisadi, hali ya maisha imezidi kuwa ngumu, hivo basi, chuki na uhasama kuenea baina ya jamii tofauti tofauti hapa nchini. Seri... | Vijana wataunda vikundi wapi | {
"text": [
"Mtandaoni"
]
} |
0195_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI ZA KUKABILI UFISADI NCHINI
Ufisadi ni upokeaji au utoaji wa hongo. Ufisadi ni tendo ambalo huleta uharibifu katika jamii. Ni dhahiri Shahiri kwamba Kutokana na ufisadi, hali ya maisha imezidi kuwa ngumu, hivo basi, chuki na uhasama kuenea baina ya jamii tofauti tofauti hapa nchini. Seri... | Nafasi itolewe Kwa wanahabari kuripoti nini | {
"text": [
"Ufisadi"
]
} |
0195_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI ZA KUKABILI UFISADI NCHINI
Ufisadi ni upokeaji au utoaji wa hongo. Ufisadi ni tendo ambalo huleta uharibifu katika jamii. Ni dhahiri Shahiri kwamba Kutokana na ufisadi, hali ya maisha imezidi kuwa ngumu, hivo basi, chuki na uhasama kuenea baina ya jamii tofauti tofauti hapa nchini. Seri... | Serikali inafaa kuifanya ya nani mali iliyotaifishwa | {
"text": [
"Umma"
]
} |
0195_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI ZA KUKABILI UFISADI NCHINI
Ufisadi ni upokeaji au utoaji wa hongo. Ufisadi ni tendo ambalo huleta uharibifu katika jamii. Ni dhahiri Shahiri kwamba Kutokana na ufisadi, hali ya maisha imezidi kuwa ngumu, hivo basi, chuki na uhasama kuenea baina ya jamii tofauti tofauti hapa nchini. Seri... | Kwa nini wafanyikazi wa umma watangaze mali yao | {
"text": [
"Kuzuia ufisadi"
]
} |
0196_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI KUKABILIANA UFISADI NCHIINI
Ufisadi ni upokeaji wa mali au hongo katika mashirika ya umma, ya serikali na sekta za kibinafsi. Pamoja na kujifahamisha na maana hii tujue kwamba ufisadi huu una madhara yake kibao. Awali husababishwa kwa kuzoroteka kwa maadili katika jamii. Pili hudumisha ... | Serikali inapaswa kushirikisha nani katika swala la ufisadi | {
"text": [
"watu wa kanisani/msikitini"
]
} |
0196_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI KUKABILIANA UFISADI NCHIINI
Ufisadi ni upokeaji wa mali au hongo katika mashirika ya umma, ya serikali na sekta za kibinafsi. Pamoja na kujifahamisha na maana hii tujue kwamba ufisadi huu una madhara yake kibao. Awali husababishwa kwa kuzoroteka kwa maadili katika jamii. Pili hudumisha ... | Ni sheria gani mahakama inapaswa kuweka kwa wafisadi | {
"text": [
"kifo/maisha gerezani"
]
} |
0196_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI KUKABILIANA UFISADI NCHIINI
Ufisadi ni upokeaji wa mali au hongo katika mashirika ya umma, ya serikali na sekta za kibinafsi. Pamoja na kujifahamisha na maana hii tujue kwamba ufisadi huu una madhara yake kibao. Awali husababishwa kwa kuzoroteka kwa maadili katika jamii. Pili hudumisha ... | Ni nani hutoa pesa ili wanahabari wauawe | {
"text": [
"wafisadi"
]
} |
0196_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI KUKABILIANA UFISADI NCHIINI
Ufisadi ni upokeaji wa mali au hongo katika mashirika ya umma, ya serikali na sekta za kibinafsi. Pamoja na kujifahamisha na maana hii tujue kwamba ufisadi huu una madhara yake kibao. Awali husababishwa kwa kuzoroteka kwa maadili katika jamii. Pili hudumisha ... | Ni wakati gani mtu atajulikana kuwa anafanya ufisadi | {
"text": [
"anapotangaza utajiri wake"
]
} |
0196_swa | MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI KUKABILIANA UFISADI NCHIINI
Ufisadi ni upokeaji wa mali au hongo katika mashirika ya umma, ya serikali na sekta za kibinafsi. Pamoja na kujifahamisha na maana hii tujue kwamba ufisadi huu una madhara yake kibao. Awali husababishwa kwa kuzoroteka kwa maadili katika jamii. Pili hudumisha ... | Mbona wanahabari wapate ulinzi kwa serikali | {
"text": [
"wanaogopea maisha yao kwa kuwa wafisadi hutoa pesa wauawe"
]
} |
0198_swa |
MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI YA. KUPAMBANA NA . UFISADI NCHINI
Lahaula! Ubadhirifu wa mali ya umma, ulaji wa rushwa udanganyifu, ukabila na hata wizi wa mitihani au wa kura wote ni ufisadi uliokithiri na hatuna budi kuuzika katika kaburi la sahau. La sivyo,inchi na jamii itaangamia Ima fa ima , bega kwa bega ni s... | Ni nani wanapora mali ya umma | {
"text": [
"Viongozi wa nchi"
]
} |
0198_swa |
MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI YA. KUPAMBANA NA . UFISADI NCHINI
Lahaula! Ubadhirifu wa mali ya umma, ulaji wa rushwa udanganyifu, ukabila na hata wizi wa mitihani au wa kura wote ni ufisadi uliokithiri na hatuna budi kuuzika katika kaburi la sahau. La sivyo,inchi na jamii itaangamia Ima fa ima , bega kwa bega ni s... | Ni nini inapaswa kufanyikia wafisadi wakipatikana | {
"text": [
"kuwakamata"
]
} |
0198_swa |
MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI YA. KUPAMBANA NA . UFISADI NCHINI
Lahaula! Ubadhirifu wa mali ya umma, ulaji wa rushwa udanganyifu, ukabila na hata wizi wa mitihani au wa kura wote ni ufisadi uliokithiri na hatuna budi kuuzika katika kaburi la sahau. La sivyo,inchi na jamii itaangamia Ima fa ima , bega kwa bega ni s... | Nani anafaa kujumuishwa katika kampeni hizi za ufisadi | {
"text": [
"wanafunzi"
]
} |
0198_swa |
MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI YA. KUPAMBANA NA . UFISADI NCHINI
Lahaula! Ubadhirifu wa mali ya umma, ulaji wa rushwa udanganyifu, ukabila na hata wizi wa mitihani au wa kura wote ni ufisadi uliokithiri na hatuna budi kuuzika katika kaburi la sahau. La sivyo,inchi na jamii itaangamia Ima fa ima , bega kwa bega ni s... | Ni lini mtu anaweza shtakiwa na kupelekwa mahakamani | {
"text": [
"asipoeleza utajiri wake"
]
} |
0198_swa |
MJADALA KUHUSU NAMNA MBALIMBALI YA. KUPAMBANA NA . UFISADI NCHINI
Lahaula! Ubadhirifu wa mali ya umma, ulaji wa rushwa udanganyifu, ukabila na hata wizi wa mitihani au wa kura wote ni ufisadi uliokithiri na hatuna budi kuuzika katika kaburi la sahau. La sivyo,inchi na jamii itaangamia Ima fa ima , bega kwa bega ni s... | Mbona ni muhimu kuweka kamera katika ofisi za umma | {
"text": [
"ili kunasa ufisadi unaoendelea katika ofisi za serikali"
]
} |
0199_swa |
MAELEZO KUHUSU MATATIZO YANAYOWAKUMBA WANAFUNZI KATIKA SHULE ZA UPILI NCHINI
Matatizo ni hali ya msongamano wa mambo Masaibu haya yanaweza Kujidhihirisha mahali popote, wakati wowote. Matatizo pia huweza kuwa katika shule ainati za sekondari humu nchini Tukiweza kusema kuwa matatizo ni mojawapo ya mambo kwa binadamu ... | Mbinu hufuata nini? | {
"text": [
"Mwendo"
]
} |
0199_swa |
MAELEZO KUHUSU MATATIZO YANAYOWAKUMBA WANAFUNZI KATIKA SHULE ZA UPILI NCHINI
Matatizo ni hali ya msongamano wa mambo Masaibu haya yanaweza Kujidhihirisha mahali popote, wakati wowote. Matatizo pia huweza kuwa katika shule ainati za sekondari humu nchini Tukiweza kusema kuwa matatizo ni mojawapo ya mambo kwa binadamu ... | Barabara mbovu husababisha nini? | {
"text": [
"Ajali"
]
} |
0199_swa |
MAELEZO KUHUSU MATATIZO YANAYOWAKUMBA WANAFUNZI KATIKA SHULE ZA UPILI NCHINI
Matatizo ni hali ya msongamano wa mambo Masaibu haya yanaweza Kujidhihirisha mahali popote, wakati wowote. Matatizo pia huweza kuwa katika shule ainati za sekondari humu nchini Tukiweza kusema kuwa matatizo ni mojawapo ya mambo kwa binadamu ... | Azidiye zaidi hufanya nini? | {
"text": [
"Huzidiwa"
]
} |
0199_swa |
MAELEZO KUHUSU MATATIZO YANAYOWAKUMBA WANAFUNZI KATIKA SHULE ZA UPILI NCHINI
Matatizo ni hali ya msongamano wa mambo Masaibu haya yanaweza Kujidhihirisha mahali popote, wakati wowote. Matatizo pia huweza kuwa katika shule ainati za sekondari humu nchini Tukiweza kusema kuwa matatizo ni mojawapo ya mambo kwa binadamu ... | Nani waziri wa elimu nchini Kenya? | {
"text": [
"Matiang'i"
]
} |
0199_swa |
MAELEZO KUHUSU MATATIZO YANAYOWAKUMBA WANAFUNZI KATIKA SHULE ZA UPILI NCHINI
Matatizo ni hali ya msongamano wa mambo Masaibu haya yanaweza Kujidhihirisha mahali popote, wakati wowote. Matatizo pia huweza kuwa katika shule ainati za sekondari humu nchini Tukiweza kusema kuwa matatizo ni mojawapo ya mambo kwa binadamu ... | Nani hufunza wanafunzi? | {
"text": [
"Walimu waliohitimu katika lugha"
]
} |
0201_swa | TAARIFA KUHUSU MASAIBU YANAYOWAKUMBA WANAFUNZI SHULENI
Dunu yangu ya habari imeniarifu Kuhusu masaibu yanayowakumba wanafunzi katika shule aina ginati. Masaibu haya yawakumbayo yanaweza kuleta matokeo duni mno, wanafunzi kuacha shule na hata wengine wao kuchukia shule. Ni dhahiri kuwa kuna haja ya kuyasuluhish masaib... | Duru yangu ya habari imeniharifu kuhusu nini | {
"text": [
"Masaibu yanayowakumba wanagenzi"
]
} |
0201_swa | TAARIFA KUHUSU MASAIBU YANAYOWAKUMBA WANAFUNZI SHULENI
Dunu yangu ya habari imeniarifu Kuhusu masaibu yanayowakumba wanafunzi katika shule aina ginati. Masaibu haya yawakumbayo yanaweza kuleta matokeo duni mno, wanafunzi kuacha shule na hata wengine wao kuchukia shule. Ni dhahiri kuwa kuna haja ya kuyasuluhish masaib... | Ni dhahiri kuwa kuna haja ya nini | {
"text": [
"Kuyasuluhisha masaibu haya"
]
} |
0201_swa | TAARIFA KUHUSU MASAIBU YANAYOWAKUMBA WANAFUNZI SHULENI
Dunu yangu ya habari imeniarifu Kuhusu masaibu yanayowakumba wanafunzi katika shule aina ginati. Masaibu haya yawakumbayo yanaweza kuleta matokeo duni mno, wanafunzi kuacha shule na hata wengine wao kuchukia shule. Ni dhahiri kuwa kuna haja ya kuyasuluhish masaib... | Hali ya masomo inaweza kuchangia pakubwa katika nini | {
"text": [
"Masomo"
]
} |
0201_swa | TAARIFA KUHUSU MASAIBU YANAYOWAKUMBA WANAFUNZI SHULENI
Dunu yangu ya habari imeniarifu Kuhusu masaibu yanayowakumba wanafunzi katika shule aina ginati. Masaibu haya yawakumbayo yanaweza kuleta matokeo duni mno, wanafunzi kuacha shule na hata wengine wao kuchukia shule. Ni dhahiri kuwa kuna haja ya kuyasuluhish masaib... | Nani hujiunga na vikundi vibaya wafikiapo umri wa kuvunja ungo | {
"text": [
"Vijana"
]
} |
0201_swa | TAARIFA KUHUSU MASAIBU YANAYOWAKUMBA WANAFUNZI SHULENI
Dunu yangu ya habari imeniarifu Kuhusu masaibu yanayowakumba wanafunzi katika shule aina ginati. Masaibu haya yawakumbayo yanaweza kuleta matokeo duni mno, wanafunzi kuacha shule na hata wengine wao kuchukia shule. Ni dhahiri kuwa kuna haja ya kuyasuluhish masaib... | Kwa nini kuna haja ya kuyasuluhisha masaibu haya | {
"text": [
"Ili kumpa mwanafunzi wakati murua katika masomo"
]
} |
0202_swa | MJADALA KUHUSU SABABU ZA KUZOROTA KWA MAADILI KATIKA JAMII
Naam, ya mgambo ikilia , bila shaka jambo lipo. Kabla unga haujazidi maji, inapaswa kurekebisha mambo yote yanayofanya kuzorota kwa maadili kwani yakishamwagika hayawezi..kuzoleka : Wahenga na watu wazamani walikuwa na maadili kama vile heshima, ushujaa, huru... | Yakisha mwagika hufanya nini | {
"text": [
"Hayazoleki"
]
} |
0202_swa | MJADALA KUHUSU SABABU ZA KUZOROTA KWA MAADILI KATIKA JAMII
Naam, ya mgambo ikilia , bila shaka jambo lipo. Kabla unga haujazidi maji, inapaswa kurekebisha mambo yote yanayofanya kuzorota kwa maadili kwani yakishamwagika hayawezi..kuzoleka : Wahenga na watu wazamani walikuwa na maadili kama vile heshima, ushujaa, huru... | Chombo kipi ambacho hupotosha watu | {
"text": [
"Simu"
]
} |
0202_swa | MJADALA KUHUSU SABABU ZA KUZOROTA KWA MAADILI KATIKA JAMII
Naam, ya mgambo ikilia , bila shaka jambo lipo. Kabla unga haujazidi maji, inapaswa kurekebisha mambo yote yanayofanya kuzorota kwa maadili kwani yakishamwagika hayawezi..kuzoleka : Wahenga na watu wazamani walikuwa na maadili kama vile heshima, ushujaa, huru... | Taja mfano mmoja wa maadili | {
"text": [
"Heshima"
]
} |
0202_swa | MJADALA KUHUSU SABABU ZA KUZOROTA KWA MAADILI KATIKA JAMII
Naam, ya mgambo ikilia , bila shaka jambo lipo. Kabla unga haujazidi maji, inapaswa kurekebisha mambo yote yanayofanya kuzorota kwa maadili kwani yakishamwagika hayawezi..kuzoleka : Wahenga na watu wazamani walikuwa na maadili kama vile heshima, ushujaa, huru... | Filamu gani ambyao hukosesha wanajamiimaadili | {
"text": [
"Televisheni"
]
} |
0202_swa | MJADALA KUHUSU SABABU ZA KUZOROTA KWA MAADILI KATIKA JAMII
Naam, ya mgambo ikilia , bila shaka jambo lipo. Kabla unga haujazidi maji, inapaswa kurekebisha mambo yote yanayofanya kuzorota kwa maadili kwani yakishamwagika hayawezi..kuzoleka : Wahenga na watu wazamani walikuwa na maadili kama vile heshima, ushujaa, huru... | Siku hizi maadili yamezorata kwa nini | {
"text": [
"Wazazi wengi Hawa a wakati wa kukaa na mwana wao"
]
} |
0203_swa |
MAELEZO KUHUSU NJIA MBALIMBALI ZA KUIMARISHA UCHUKUZI NCHINI
Uchukuzi ni hali ya usafirishaji wa bidhaa, abiria na huduma mbalimbali Kutoka sehemu moja hadi nyingine. Kila nchi, yenye kuendelea au iliyo endelea inahitaji uchukuzi ili kusonga mbele kimaendeleo. Hii ni kwa sababu, kupitia uchukuzi tunaweza kupata bidha... | Hali ya usafirishaji wa bidhaa, abiria na huduma huitwaje | {
"text": [
"Uchukuzi"
]
} |
0203_swa |
MAELEZO KUHUSU NJIA MBALIMBALI ZA KUIMARISHA UCHUKUZI NCHINI
Uchukuzi ni hali ya usafirishaji wa bidhaa, abiria na huduma mbalimbali Kutoka sehemu moja hadi nyingine. Kila nchi, yenye kuendelea au iliyo endelea inahitaji uchukuzi ili kusonga mbele kimaendeleo. Hii ni kwa sababu, kupitia uchukuzi tunaweza kupata bidha... | Nini husafirisha vitu vizito | {
"text": [
"Reli"
]
} |
0203_swa |
MAELEZO KUHUSU NJIA MBALIMBALI ZA KUIMARISHA UCHUKUZI NCHINI
Uchukuzi ni hali ya usafirishaji wa bidhaa, abiria na huduma mbalimbali Kutoka sehemu moja hadi nyingine. Kila nchi, yenye kuendelea au iliyo endelea inahitaji uchukuzi ili kusonga mbele kimaendeleo. Hii ni kwa sababu, kupitia uchukuzi tunaweza kupata bidha... | Nchi za afrka zimeathiriwa na nin | {
"text": [
"Ufisadi"
]
} |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.