name
stringclasses
429 values
text
stringlengths
0
767k
null
null
null
null
null
null
null
null
null
MABADILIKO ya matumizi ya teknolojia ya mawasiliano duniani yameleta mafanikio na athari kutokana na watu wanavyoitumia teknolojia hiyo. Sabato Kasika Mwandishi Mwandishi Wetu Yasmine Protace © 2024 IPPMEDIA.COM. ALL RIGHTS RESERVED
null
WENYEJI Tabora United wamelazimika kufunga mabao mawili ili kuweza kupata sare ya 2-2 dhidi ya Singida Black Stars katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa jana asubuhi, Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora. Mechi ililazimika kuchezwa jana badala ya juzi, kutokana na mvua kubwa iliyonyesha kwenye mikoa ya Tabo...
null
IKIWA ni takriban miaka zaidi ya 20 tangu kutokea ajali ya treni eneo la kati ya Stesheni ya Msagali na Igandu mkoani Dodoma, wakazi wa Mtaa wa Mathias, Kata ya Miyuji wamelilalamikia Shirika la Reli Tanzania (TRC) kuyatelekeza makaburi ya waathirika wa ajali hiyo, hata kutumika kama maficho ya vibaka. Ajali hiyo ilito...
null
Habari Mgombe ACT Wazalendo ajitoa kwenye kinyang'anyiro uchaguzi mitaa IKIWA imebaki siku moja kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa nchini, Mgombea wa Chama cha ACT Wazalendo katika kijijii cha Igung'wa kata ya Kitwana wilayani Kahama mkoani Shinyaga, William Nkwabii ameandika barua ya kujitoa katika nafasi hiyo na ...
null
MFANYABIASHARA Khamis Luwongo (38) anayetuhumiwa kumuua mkewe Naomi Marijani na kisha kuuchoma moto mwili wake amedai kuwa ni aibu Hospitali ya Taifa ya Afya ya akili, Mirembe kupeleka mahakamani taarifa mbili tofauti zinazohusiana na akili yake. Luwongo amedai hayo mbele ya Jaji Hamidu Mwanga wa Mahakama Kuu Kanda ya ...
null
WAZIRI wa Katiba na Sheria, Prof. Palamagamba Kabudi, ametoa angalizo kwamba kifungu kilichotumika katika kesi ya umri wa kuoa na kuolewa iliyofunguliwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Msichana Initiative, Rebeca Gyumi, hakikuwa sahihi. Prof. Kabudi alitoa kauli hiyo jana Dar es Salaam wakati akifungua kampeni ya ...
null
MSHAMBULIAJI wa Timu ya Taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na Pyramids FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Misri, Fiston Mayele, amesema lolote linawezekana kuhusiana na uamuzi wa kujiunga na Simba katika msimu ujao wa 2024/2025. Mayele alijiunga na Pyramids mwaka jana baada ya kuichezea Yanga kwa mafanikio ambapo...
null
KASHINDE Mwendesha (20) ni shujaa aliyeruka na kuchomoka viunzi akiyakimbilia mafanikio ya elimu na sasa ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine (SUA), akisoma shahada ya maendeleo ya jamii. Ameishi uhamishoni kwa miaka miwili akijiokoa na balaa la kuozwa na miaka 17 alipomaliza kidato cha nne. Ni ndoa zinazoath...
null
Katuni 8h ago Katuni 1d ago 2d ago Msamba 4d ago Katuni 5d ago Katuni 20 Nov 2024 KABWELA 16 Nov 2024 13 Nov 2024 12 Nov 2024 KABWELA 11 Nov 2024 Katuni 10 Nov 2024 08 Nov 2024 KABWELA 05 Nov 2024 Katuni 04 Nov 2024 Katuni 03 Nov 2024 Msamba 01 Nov 2024 Katuni 31 Oct 2024 Katuni 30 Oct 2024 29 Oct 2024 Katuni 28 Oct 20...
null
Rais Samia ashiriki Uzinduzi wa Shule ya Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Chief Zulu Picha:Ikulu Picha:Ikulu Picha:Ikulu Picha:Ikulu Picha:Ikulu Picha:Ikulu Picha:Ikulu Picha:Ikulu © 2024 IPPMEDIA.COM. ALL RIGHTS RESERVED
null
Burudani Serengeti Lite yazindua kampeni ya ‘Lite Your Imagination’ kuchochea ubunifu Kampuni ya Serengeti Breweries Limited (SBL) imezindua kampeni ya ‘Lite Your Imagination’ chini ya bia yake ya Serengeti Lite. Kampeni hii inalenga kuhamasisha vijana wa Kitanzania kuibua vipaji vya ubunifu, kujieleza kwa uhuru, na ku...
null
“Jumla ya watahiniwa 974,229 Sawa na 80.87%, watahiniwa wenye matokeo wamefaulu na kumaliza Elimu ya Msingi 2024, hivyo ufaulu wa jumla umeongezeka kwa 0.29%, Kati ya watahiniwa hao wavulana ni 449,057 Sawa na 81.85% na wasichana ni 525,172 Sawa na 80.05%, hivyo ufaulu wa wasichana umeshuka kwa 0.53% na ufaulu wa wavul...
null
Picha Kimataifa Vodacom yatoa msaada kwa wagonjwa wa Hospitali ya Rufaa Morogoro 17 Oct 2024 Kitaifa Hitimisho kilele Mbio za Mwenge 2024 14 Oct 2024 Kitaifa Rais Samia ashiriki Uzinduzi wa Shule ya Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Chief Zulu 24 Sep 2024 Kimataifa Exim yatangaza tena washindi 10 kampeni ya kidigital ...
null
Video Rais Dk. Samia aagiza kufanyika uchunguzi wa majengo Kariakoo Kitaifa 20 Nov 2024 By Mwandishi Wetu , Nipashe Published at 07:35 PM Nov 20 2024 Latest Videos Rais Dk. Samia aagiza kufanyika uchunguzi wa majengo Kariakoo 20 Nov 2024 Polisi wazuia mkutano wa Kiongozi wa ACT Mkuranga 20 Nov 2024 Benedicto asimulia a...
null
Tourism stakeholders would do better in diversifying, branding of attractions LATEST reports say that tourism stakeholders and environmental activists, with the participation of the Natural Resources and Tourism ministry, are organising what is said to be a ground-breaking tourism policy reform summit.
null
IDADI ya watu waliofariki dunia kutokana na ghorofa lililoporomoka, Kariakoo, jijini Dar es Salaam, imeongezeka na kufikia 29 baada ya miili tisa kubainika eneo hilo. Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Thobias Makoba, akizungumza leo, amesema hayo mbele ya waandishi wa habari, jijini hum...
null
Maoni Ya Mhariri Matumizi mabaya ya teknolojia ni janga Nov 26 2024 Kila la heri Simba, Yanga shindeni mechi zenu za kwanza nyumbani Nov 25 2024 Kampeni ziwe za kistaarabu, kashfa matusi viepukwe Nov 22 2024 Kasi kuhusu matumizi sahihi ya vyoo inapaswa kuongezwa Nov 21 2024 Kila mtu anahitaji kujua umuhimu kujua afya y...
null
WAKATI vyama vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji vikihitimisha kampeni zake leo, kupisha uchaguzi wa viongozi hao Novemba 27, wananchi wa kwa Sadala, Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, wameeleza kufurahishwa kwao na namna walivyojengewa uwezo na ujasiri wa kushughulika na viongoz...
null
JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya, linawashikilia watuhumiwa wawili ambao ni Ramadhan Mwakilasa (28) na Mariamu Mwashambwa (28), wakazi wa TEKU viwandani Jijini Mbeya, kwa tuhuma za mauaji ya mtoto Chloy Ramadhan (04) kwa kumpiga fimbo sehemu mbalimbali za mwili. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Kamishna Msaidizi wa Polisi...
null
KUNA baadhi ya mikoa nchini imekuwa ikitajwa kuongoza kwa kukithiri vitendo vya ukatili wa kijinsia, hususani kuanzia ngazi ya familia. Hiyo ni kutokana na jamii kuamini kuwa iko ndani ya mila na utamaduni wa makabila ya huko. Mbaya zaidi, jamii hizo zimekuwa zikichukulia kuwa ni jambo la kawaida na kuamua kufanya siri...
null
Gain unparalleled exposure and reach your target audience by advertising with us. Our platform offers a unique opportunity to showcase your brand, products, or services to a wide range of potential customers. With our highly engaged audience and strategic advertising placements, your message will be seen by the right p...
null
KATIKA kanuni za kiafya, matunda tunatajiwa kuwa yamo katika orodha muhimu ya mlo, kwa manufaa yetu kiafya. Hilo tunakubali tukiwa na walau ufahamu wa kihistoria, kwamba mtazamo mmojawapo ni kwamba tunapokula matunda, basi tujue tunalinda miili yetu. Tukirejea katika uhalisia wa kinachoendelea kimaisha ni kwamba, sasa ...
null
Makala Mtaalamu anaposisitiza umuhimu mbolea shambani, kuua viuatilifu kwenye udongo KWA walio wengi kilimo cha mboga ni lazima kuwa na eneo kubwa na lenye nafasi kwa ajili ya kuandaa bustani. Makala 12h ago Makala Binti anapotosa mipango ya kuozwa utotoni kisa mahari ya ng’ombe saba na Sh. 200,000 11h ago Makala Usich...
null
MABADILIKO ya matumizi ya teknolojia ya mawasiliano duniani yameleta mafanikio na athari kutokana na watu wanavyoitumia teknolojia hiyo. Mafanikio yaliyopatikana ni watu kupata fursa nyingi za kujifunza kupitia mitandao hasa inapotumika vizuri na wengine kutengeneza ajira ambazo zinawapatia vipato. Vile vile, matumizi ...
null
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kufunga Kampeni za Serikali za Mitaa leo kwa kishindo. Kimesema watanzania watashuhudia mabadiliko kwa sababu CCM imejipanga kushinda uchaguzi huo. Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa chama hicho, Amos Makalla, aliyasema hayo jana wakati wa kampeni zilizofanyika jimbo la Kinond...
null
The Guardian Limited (The Guardian) has firmly positioned itself as a model of excellence, proudly known as The Home of Great Newspapers in Tanzania. IPPMEDIA continues to uphold its esteemed reputation in print, broadcasting and online media. Established in the mid-1990s, The Guardian emerged as a pioneering force in ...
null
CHAMA cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), kimesema kukua kwa teknolojia hususan matumizi ya mitandao ya kijamii, kumeongeza kasi ya udhalilishaji wanawake na wasichana mitandaoni. Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA, Dk. Rose Reuben, amesema bado kuna changamoto zinazoibuka zikichagizwa na sheria mbalimbali, ambazo zina...
null
NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara John Mongella, amehitimisha kampeni za kuwanadi wagombea wa CCM mkoani Shinyanga, ambao watapeperusha bendera ya chama hicho kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, utafanyika kesho Novemba 27 kwa wananchi kupiga kura ya kuchagua Wenyeviti...
null
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema kuwa dini zina sehemu muhimu na ya kipekee katika kuendelea kujenga jamii yenye maadili, umoja, upendo, amani na mshikamano. Pia amewakumbusha waumini wa dini ya Kiislam kuendelea kujenga madrasa nyingi zaidi, ili kuwapatia watoto mafunzo ya kiimani yatakayowawezesha kuwa raia wema na w...
null
Kimataifa COP29; Machache yamepitiwa: Wawakilishi wa Afrika BAADHI ya mataifa yanayoendelea yamekosoa ofa ya ufadhili wa hali ya hewa ya uliofikia dola bilioni 300, yakisema ofa hiyo inashindwa kufikia kiwango, kulingana na changamoto watazokabiliana nazo katika miaka ijayo. 2d ago Saba wafariki ajali ya bajaji na lori...
null
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi, Uchumi na Uwekezaji Zanzibar, Sharif Ali Sharif amewataka vijana wa Kitanzania kubuni miradi inayoendana na sera za uwekezaji, ili kuwa sehemu ya kujenga uchumi wa nchi yao kwa vitendo. Sharif alisema hayo jana, jijini Dar es Salaam, wakati wa hafla ya utoaji wa Tuzo za Watendaji Wak...
null
HABARI njema kwa wanachama na mashabiki wa Simba ni kwamba, kiungo mkabaji asilia wa timu hiyo, Yusuph Kagoma, amepona na amerejea mazoezini na wenzake kwa ajili ya mchezo wa kesho dhidi ya Bravo do Maquis ya Angola. Mchezo huo wa raundi ya kwanza, hatua ya makundi, Kombe la Shirikisho, unaotarajiwa kupigwa kesho katik...
null
Soka Ramovic ataja mfumo Yanga kuimaliza Al Hilal MABINGWA wa Tanzania Bara, Yanga, leo saa 10:00 jioni watashuka kwenye Uwanja wa Banjamin Mkapa, Dar es Salaam kucheza mechi ya raundi ya kwanza, Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi dhidi ya Al Hilal Omdurman ya Sudan, huku Kocha Mkuu, Sead Ramovic, akisema hatowap...
null
JESHI la Polisi Mkoa wa Shinyanga, linamshikilia Juma Peter Mtobela, kwa tuhuma za kuuza mbegu za pamba za ruzuku gunia 30 katika kijiji cha Maganzo wilayani Kishapu, kwa mtu ambaye hakufahamika na bado wanamtafuta. Hayo yamebainishwa na Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga, Janeth Magomi, wakati akitoa taarifa ...
null
Michezo Ramovic ataja mfumo Yanga kuimaliza Al Hilal MABINGWA wa Tanzania Bara, Yanga, leo saa 10:00 jioni watashuka kwenye Uwanja wa Banjamin Mkapa, Dar es Salaam kucheza mechi ya raundi ya kwanza, Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi dhidi ya Al Hilal Omdurman ya Sudan, huku Kocha Mkuu, Sead Ramovic, akisema hato...
null
Katuni 8h ago Katuni 1d ago 2d ago Msamba 4d ago Katuni 5d ago Katuni 20 Nov 2024 KABWELA 16 Nov 2024 13 Nov 2024 12 Nov 2024 KABWELA 11 Nov 2024 Katuni 10 Nov 2024 08 Nov 2024 KABWELA 05 Nov 2024 Katuni 04 Nov 2024 Katuni 03 Nov 2024 Msamba 01 Nov 2024 Katuni 31 Oct 2024 Katuni 30 Oct 2024 29 Oct 2024 Katuni 28 Oct 20...
null
1. Terms By accessing this web site, you are agreeing to be bound by these web site Terms and Conditions of Use, all applicable laws and regulations, and agree that you are responsible for compliance with any applicable local laws. If you do not agree with any of these terms, you are prohibited from using or accessing ...
null
Biashara LICHA YA ZUIO LA BoT: Mikopo umiza mtandaoni yashika kasi SIKU tano baada ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kutangaza orodha ya programu tumizi (applications) 69 ambazo haziruhusiwi kutoa huduma ya mikopo mtandano, baadhi zimeendelea kutoa huduma hiyo huku matangazo yake yaliyodhaminiwa katika mitandao ya kijamii...
null
Kitaifa Mgombe ACT Wazalendo ajitoa kwenye kinyang'anyiro uchaguzi mitaa IKIWA imebaki siku moja kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa nchini, Mgombea wa Chama cha ACT Wazalendo katika kijijii cha Igung'wa kata ya Kitwana wilayani Kahama mkoani Shinyaga, William Nkwabii ameandika barua ya kujitoa katika nafasi hiyo na...
null
KWA Zanzibar, serikali inajivunia kufikia lengo la kuwa na kituo cha kutolea huduma za afya kila baada ya umbali kilomita tano. Hata hivyo, upatikanaji huduma za afya katika vituo hivyo ni si wa uhakika, mwandishi wa habari hizi anaripoti kinachojiri visiwani katika wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja. Katika Kisiwa ...
null
Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA, Visiwani Zanzibar, Salum Mwalimu amesema wananchi wanaweza kupata maendeleo endelevu ya kijamii na kiuchumi katika maeneo yao, iwapo watachagua viongozi waadilifu, watenda haki na wenye maono. Amesema hayo leo wakati akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Viwa...
null
WAKATI Watanzania Bara, wakijiandaa kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika kesho, suala la ushirikishwaji wa makundi yote na uwakilishi sawa limepewa kipaumbele. Wagombea, vyama vya siasa, na mashirika ya kijamii wanasisitiza umuhimu wa kuondoa vikwazo vinavyowakabili wanawake na vijana kama hatua muhimu...
null
KUPUKUTIKA nywele si jambo jema, wala la kupuuza. Usifurahie kipara kuna tatizo. Makala ya BBC Swahili inasema chakula unachokula ni muhimu katika kuufanya mwili kuwa na afya njema na kiakili pia, wakati hayo yakitokea mlo huo huathiri kila kitu kuanzia nywele, mifupa na ngozi pia. Kunyonyoka nywele sio jambo dogo, kad...
null
KWA miaka mingi, kumekuwa na kasumba iliyojengeka kwa watumishi wa umma au wafanyakazi wa sekta binafsi kukataa kwenda katika mikoa ya pembezoni pindi wanapopangiwa kwenda huko. © 2024 IPPMEDIA.COM. ALL RIGHTS RESERVED
null
IKIWA imebaki siku moja kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa nchini, Mgombea wa Chama cha ACT Wazalendo katika kijijii cha Igung'wa kata ya Kitwana wilayani Kahama mkoani Shinyaga, William Nkwabii ameandika barua ya kujitoa katika nafasi hiyo na kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM). Akiongea na Nipashe Digital leo, ...
null
KATIKA kuunga mkono juhudi za serikali za upandaji miti kwa lengo la utunzaji wa mazingira, kampuni ya Jubilee Insurance Tanzania, ikishirikiana na wanafunzi na walimu, imeshiriki katika upandaji miti zaidi ya 400 katika shule mbili mkoani Dar es Salaam. Kwa mujibu wa taarifa ya kampuni hiyo zoezi hilo limefanyika leo ...
null
Vodacom yatoa msaada kwa wagonjwa wa Hospitali ya Rufaa Morogoro Picha: Mpigapicha Wetu Picha:Mpigapicha Wetu Picha: Mpigapicha Wetu © 2024 IPPMEDIA.COM. ALL RIGHTS RESERVED
null
Kimataifa Mahakama yamgomea Naibu Rais Kenya MAHAKAMA ya Rufani nchini Kenya chini ya jopo la majaji watatu imekataa kuingilia kati mchakato wa kuondolewa madarakani kupitia ombi la kuzuia mchakato huo. 16 Oct 2024 Waziri Blinken ataka uchaguzi Senegal ufanyike haraka 14 Feb 2024 Siasa Zaidi Kitaifa Lissu, Biteko watun...
null
MAMIA ya wakazi wa Mbagala, Temeke, Dar es Slaam, wamejitokeza katika Hospitali ya Mbagala Rangi Tatu, kufanyiwa uchunguzi wa macho. Uchunguzi huo umefanywa na madaktari bingwa kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), kwa kushirikiana na wenzao hospitalini hapo. Mganga Mkuu wa Manispaa ya Temeke, Dk. Jonas Lulandala,...
null
Safu Jamii imalize uhaba wa walimu sayansi Sabato Kasika Nov 26 2024 Matumizi mabaya ya teknolojia ni janga Nov 26 2024 Mgeni rasmi kila mechi Ligi Kuu Bara sasa kumepitwa na wakati Adam Fungamwango Nov 25 2024 Kila la heri Simba, Yanga shindeni mechi zenu za kwanza nyumbani Nov 25 2024 Kasumba vijana kuhusu ajira miko...
null
KWA walio wengi kilimo cha mboga ni lazima kuwa na eneo kubwa na lenye nafasi kwa ajili ya kuandaa bustani. Wakifikiria kuwa kuna kutumia gharama kuliandaa, kununua mbolea, kuandaa vitalu na hata namna bora ya kuweka miundombinu ya umwagiliaji ikiwamo mifereji na mitaro ya kusambaza maji. Lakini, sasa unaweza kulima mb...
null
MWANZONI mwa mwaka huu, Tanzania ilikuwa na uhaba wa walimu 39,610 wa masomo ya sayansi na hisabati ambao ni sawa na asilimia 55.8. Hayo ni kwa mujibu wa Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Zainab Katimba. Ni taarifa anayoitoa bungeni jijini Dodoma akijibu swali la mmoja ...
null
LEO ni miaka mitatu na siku 14 tangu Rais Samia Suluhu aingie madarakani. Uteuzi na utenguzi wake wa viongozi umekuwa unatikisa serikalini na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ndani ya uongozi wake, kumekuwa na mabadiliko ya mara kwa mara ya uongozi ndani ya CCM, huku nafasi ya Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo ikiguswa ka...
null
RAIS Samia Suluhu Hassan ameweka wazi msimamo wake kichama na kiserikali, akionesha hana wa kumkumbatia, mwelekeo wake mkuu ni kila mtendaji wake kuwajibika. Katika ujumbe wa aina yake, unaobeba ishara ya itikadi ya uongozi wake, Rais Samia ametumia fursa hiyo kutoa tahadhari ya kiutendaji kuanzia kwenye chama chake, C...
null
Kitaifa Lissu, Biteko watunishiana kugombea njia ALIMANUSURA vurugu zitokee jana kwenye maandamano ya amani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) baada ya msafara wa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, kuingiliana na ule wa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Dotto Biteko. 21 Feb 2024 Cheo c...
null
Siasa Mahakama yamgomea Naibu Rais Kenya MAHAKAMA ya Rufani nchini Kenya chini ya jopo la majaji watatu imekataa kuingilia kati mchakato wa kuondolewa madarakani kupitia ombi la kuzuia mchakato huo. Kimataifa 16 Oct 2024 Kitaifa Lissu, Biteko watunishiana kugombea njia 21 Feb 2024 Kitaifa Cheo cha Zitto chavutia vigogo...
null
WAZIRI wa Katiba na Sheria, jana alizindua Kampeni ya siku 16 za Uanaharakati wa Kupinga Ukatili wa Kijinsia(MKUKI), iliyoratibiwa na Shirika la Wanawake na Maendeleo Afrika(WiLDAF). Baada ya uzinduzi huo, Mwenyekiti wa Mtandao huo, Dk.Monica Muhoja, aliwasilisha mbele ya Waziri, maombi matano kwa niaba ya MKUKI. Maomb...
null
Hitimisho kilele Mbio za Mwenge 2024 IKULU IKULU IKULU IKULU IKULU IKULU IKULU IKULU IKULU IKULU IKULU © 2024 IPPMEDIA.COM. ALL RIGHTS RESERVED
null
Maoni Jamii imalize uhaba wa walimu sayansi Sabato Kasika Nov 26 2024 Matumizi mabaya ya teknolojia ni janga Nov 26 2024 Mgeni rasmi kila mechi Ligi Kuu Bara sasa kumepitwa na wakati Adam Fungamwango Nov 25 2024 Kila la heri Simba, Yanga shindeni mechi zenu za kwanza nyumbani Nov 25 2024 Kasumba vijana kuhusu ajira mik...
null
MKUU wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, amezuia uhamisho wa walimu wa msingi na sekondari kufanyika katika wilaya zote mkoani kwake. Pia amewaagiza wakurugenzi wa halmashauri kuwahamisha mjini walimu walioko kwenye shule zenye idadi kubwa ya walimu, kupelekwa shule za vijijini na pembezoni, ambazo zinakabiliwa na upung...
null
Muungwana Lazima Nilonge Jamii imalize uhaba wa walimu sayansi Sabato Kasika Nov 26 2024 Mgeni rasmi kila mechi Ligi Kuu Bara sasa kumepitwa na wakati Adam Fungamwango Nov 25 2024 Tukielekea ‘Upingaji Ukatili Jinsia’, itukae vichwani, si vita lelemama Mwandishi Wetu Nov 22 2024 Msimu juisi, matunda sawa kiafya, ila yap...
null
SIKU tano baada ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kutangaza orodha ya programu tumizi (applications) 69 ambazo haziruhusiwi kutoa huduma ya mikopo mtandano, baadhi zimeendelea kutoa huduma hiyo huku matangazo yake yaliyodhaminiwa katika mitandao ya kijamii ya Facebook na Instagram yakishika kasi. Hivi sasa kila aliyepakua...
null
MATUMAINI ya ubingwa kwa timu ya KMKM SC yameendelea kuingia doa baada ya kupokea kichapo cha mabao 2-1 dhidi ya Mlandege FC katika mchezo wa 12 wa Ligi Kuu Zanzibar. Mchezo huo uliovuta mashabiki wengi uwanjani ulichezwa juzi, Jumapili katika dimba la Mau A majira ya saa kumi za alasiri. KMKM imeendelea kupata matokeo...
null
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), DK. Emmanuel Nchimbi amewaonya wagombea wa chama hicho watakaoshinda katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji kutotumia madaraka yao kuwaumiza wananchi. Amesema chama hakitakuwa na huruma kwa kiongozi wa namna hiyo na kwamba atachukuliwa hatua kali ikiwemo kute...
null
MABINGWA wa Tanzania Bara, Yanga, leo saa 10:00 jioni watashuka kwenye Uwanja wa Banjamin Mkapa, Dar es Salaam kucheza mechi ya raundi ya kwanza, Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi dhidi ya Al Hilal Omdurman ya Sudan, huku Kocha Mkuu, Sead Ramovic, akisema hatowapa wapinzani nafasi ya kupumua. Akizungumza jana ku...
null
WAKATI Simba ikijiandaa kwa Derby ya Kariakoo, dhidi ya Yanga Aprili 20, mwaka huu, uongozi wa klabu hiyo umeanza kuingia chimbo na kusaka nyota wa kuwasajili huku majina ya baadhi ya majina ya wachezaji watano ambao tayari mazungumzo yameanza, yakifahamika. Simba imekuwa katika presha kubwa kutokana na timu yao kutofa...
null
Soka Ramovic ataja mfumo Yanga kuimaliza Al Hilal MABINGWA wa Tanzania Bara, Yanga, leo saa 10:00 jioni watashuka kwenye Uwanja wa Banjamin Mkapa, Dar es Salaam kucheza mechi ya raundi ya kwanza, Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi dhidi ya Al Hilal Omdurman ya Sudan, huku Kocha Mkuu, Sead Ramovic, akisema hatowap...
null
LICHA ya kupoteza pointi tatu mbele ya Azam FC juzi katika mechi ya Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi, ameweka pembeni kipigo hicho na sasa jicho lake lipo katika mechi ijayo ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini. Katika m...
null
BAADA ya kushuhudia timu yake ikitolewa kwenye hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa msimu wa tano sasa, Kocha Mkuu wa Simba, Abdelhak Benchikha, ameweka wazi kuna kazi ya ziada inabidi kufanyika, ikiwamo kusajili washambuliaji wenye uwezo mkubwa wa kutumia nafasi zinazopatikana. Simba jana ilirejea nchi...
null
KATIKA kuhakikisha haitaki kupigana vikumbo kugombea wachezaji baada ya msimu kumalizika, Azam FC imeanza mchakato wa usajili mapema na tayari imetangaza kumnasa beki, Yoro Mamadou Diaby, kutoka Mali, ambaye pia ni mahiri katika ufungaji mabao. Taarifa imetolewa na Azam imesema imemsajili mchezaji huyo kutoka katika Ak...
null
Kitaifa Mgombe ACT Wazalendo ajitoa kwenye kinyang'anyiro uchaguzi mitaa IKIWA imebaki siku moja kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa nchini, Mgombea wa Chama cha ACT Wazalendo katika kijijii cha Igung'wa kata ya Kitwana wilayani Kahama mkoani Shinyaga, William Nkwabii ameandika barua ya kujitoa katika nafasi hiyo na...
null
CHUO cha Maendeleo ya wananchi Kibaha kinakabiliwa na vikwazo mbalimbali, ukiwamo uhaba wa karakana kwa ajili ya fani za umeme, useremala na ufundi wa ujenzi wa mabomba. Pia kinahitaji gari la usafiri na usafirishaji huku baadhi ya majengo yakiwa na uhitaji wa ukarabati. Mkuu wa chuo hicho, Joseph Nchimbi alibainisha h...
null
JESHI la Polisi mkoani Ruvuma linawashikilia watu wawili, akiwamo mfanyabiashara wa dawa za mifugo Nickson James (29), mkazi wa mtaa wa Buswelo, Manispaa ya Ilemela, mkoani Mwanza, wakidaiwa kukamatwa wakati wanasafirisha dawa za mifugo zinazodhaniwa ni bandia zenye thamani ya Sh. 78,986,099. Kamanda wa Polisi wa Mkoa ...
null
MAKAMU wa Rais Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Laetitia Ntagazwa amewataka mawakili kufanya kazi kwa weledi kwa kujitolea na kuacha maslahi ya pesa mbele katika kesi za muhimu zikiwemo za umma kwa Taifa. Ameyasema hayo Bagamoyo mkoani Pwani katika kufungwa kwa mafunzo ya siku mbili yaliyowakutanisha mawakili 100 ...
null
Dk Fredy Rutachunzibwa kutoka Hospitali ya Kairuki ni Mtanzania wa kwanza kufuzu mafunzo ya kutibu saratani kwa kutumia teknolojia ya HIFU (High-Intensity Focused Ultrasound), ameeleza namna tiba hiyo inavyotolewa bila upasuaji. HIFU ni teknolojia ya kisasa inayotumia mawimbi ya sauti yenye nguvu kuteketeza seli za sar...
null
MAHAKAMA Kuu Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi maarufu Mahakama ya Mafisadi, imekataa kupokea kielelezo cha flash yenye taarifa za miamala ya fedha za Manispaa ya Ilala kutokana na shahidi kushindwa kueleza kilichomo ndani yake. Uamuzi huo wa mahakama umetolewa mbele ya Jaji Sedikia Kisanya wakati shahidi wa tano w...
null
WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii jinsia Wanawake na Makundil Maalumu Dk. Dorothy Gwajima amewataka wazazi kujenga utamaduni wa kuandika mirathi ili kuepusha migogoro ya kifamilia dhidi ya watoto wao pindi wanapofariki. "Ndugu zangu wanaume kwa dhati ya moyo wangu hasa nyie wanaume niliyoyasikia na kuyashuhudia katika kuhud...
null
KAMPENI za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa zinaendelea. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema chama hicho ni "mpango wa Mungu" ndiyo maana licha ya vikwazo vingi kimeendelea kuwa imara. Wakati Mbowe anatoa kauli hiyo, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema uongozi wa Rais Samia Sul...
null
Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Njombe, Balozi , Dk. Pindi Chana amekinadi Chama cha Mapinduzi huku akiwaomba wananchi kuchagua wagombea wa CCM katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27,2024. Ameyasema hayo katika Mkutano wa hadhara uliofanyika Kata ya Lyamk...
null
Mbunge wa Vijana Mkoa wa Ruvuma (CCM) ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga anaendelea na kazi ya kuhamasisha Wananchi katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Ruvuma ili waweze kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27 mwaka huu. Baada ya ziara ya mafanik...
null
LICHA ya kuwapo katazo kisheria na taaluma ya mipangomiji kuhusu kuuza viwanja vya ukubwa wa mita 20 kwa 20, biashara hiyo bado imeshamiri mijini. Madalali wanaouza viwanja hivyo wanadai hawajui kuwapo katazo hilo, huku kukiwa na shida nyingine ya kiwanja kuuzwa kwa wateja wawili au zaidi. Sheria ya Mipangomiji Na. 8 y...
null
"Nowruz" ni siku ya kwanza ya mwaka wa jua wa Kiirani, ambayo inalingana na Machi 20 mwaka huu, ingawa sherehe hii kawaida huangukia Machi 21. Sherehe ya kuanza Mwaka Mpya wa Kiirani ni moja ya sherehe za zamani zaidi zilizobaki kutoka Iran ya kale. Asili yake inarudi nyuma kihistoria hadi karne ya sita kabla ya Kristo...
null
KAMPENI ya Ligi Kuu England ya 2023-24 imekuwa ya aina yake. Arsenal, Liverpool na Manchester City zote zipo katika vita ya farassi watatu kuwania taji la Ligi Kuu England. Ni wachezaji wachache tu ambao wameweza kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa msimu mara mbili katika maisha yao ya soka kwenye ligi hiyo. Orodha ya wach...
null
HUKU Lionel Messi na Cristiano Ronaldo wakiwa wameingia kwenye wakati wa mwisho wa maisha yao ya soka, mjadala kuhusu mwanasoka bora wa dunia sasa umekuwa ngumu zaidi. Kuna nyota wengi duniani kote, huku wachezaji wengi wenye vipaji vingi wakicheza barani Ulaya, lakini linapokuja suala la kulinganisha wale bora, uwanja...
null
WAKATI Ligi Kuu Tanzania Bara imemalizika, tayari baadhi ya timu zimeshaanza mchakato wa kusaka wachezaji wapya kwa ajili ya msimu ujao. Na hii haipo hapa nchini tu, hata Ulaya na kabla ya hapo, klabu zipo kwenye mikakati ya kusajili wachezaji ili kuongezea nguvu vikosi vyao. Hapa nchini tetesi mbalimbali zimeanza kusi...
null
KESI ya Jinai inayomkabili Mwanamziki na Rapa maarufu wa Marekani Sean John Combs maarufu kama P-Diddy inatarajiwa kusikilizwa Manhattan mjini New York Marekani, Mei 5, 2025. Tarehe hiyo imepangwa jana Alhamis Oktoba 10, 2024 na Jaji wa Mahakama ya Wilaya ya Marekani Arun Subramanian ikiwa ni mara ya tatu kwa rapa huyo...
null
MWANAMUZIKI chipukizi wa kizazi kipya, Salim Mkilindi, maarufu kama Rupia Boytz, ameachia singo yake ya kwanza inayoitwa ‘Zigo’ leo na unapatikana katika mtandao wa Boomplay. Akizungumza na BT, Rupia Boytz, amesema kwamba kazi hiyo ni ya kwanza kuitambulisha kwa mashabiki wa muziki na kwamba imetayarishwa katika ubora ...
null
WASANII wanaoshiriki kampeni ya kutoa elimu ya fedha kwa wananchi kutoka Shirika la Kijamii linalojishughulisha na utoaji wa Elimu ya Uraia (TACCI), lililopata semina ya elimu hiyo, wametakiwa kuwa mfano kwa jamii kwa kuzingatia sheria na kanuni za uendeshaji wa shughuli hizo. Hayo yameelezwa mkoani Morogoro na Kamishn...
null
FAINALI ya shindano la kusaka vipaji vya muziki Tanzania, Bongo Star Search (BSS), msimu wa 14, inatarajiwa kufanyika Januari 27, mwaka huu katika Ukumbi wa Were House jijini Dar es Salaam. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa Benchmark 360, Ritha Paulsen, maarufu Madam Ritha,...
null
Tourism stakeholders would do better in diversifying, branding of attractions LATEST reports say that tourism stakeholders and environmental activists, with the participation of the Natural Resources and Tourism ministry, are organising what is said to be a ground-breaking tourism policy reform summit.
null
MANENO yanayodaiwa kutokuwa na staha kulingana na mila na desturi za Kizanzibari, yameelezwa kumponza msanii wa muziki wa kizazi kipya, Zuhura Othman (Zuchu), kufungiwa kufanya shughuli za muziki visiwani humo kwa miezi sita na kutozwa faini ya Sh. milioni moja. Zuchu nampenda lakini akiwa kwenye ‘show’ hajiheshimu na ...
null
CISSY Houston (91), aliyekuwa mwimbaji mashuhuri wa nyimbo za injili na mamake Whitney Houston, amefariki dunia. Familia yake imesema katika taarifa. Houston, ni mwimbaji aliyeshinda Tuzo ya Grammy mara mbili, alimrithisha mwanaye Whitney uimbaji, akitamba duniani kote. Amefariki Jumatatu, nyumbani kwake New Jersey ali...
null
Kampuni ya Serengeti Breweries Limited (SBL) imezindua kampeni ya ‘Lite Your Imagination’ chini ya bia yake ya Serengeti Lite. Kampeni hii inalenga kuhamasisha vijana wa Kitanzania kuibua vipaji vya ubunifu, kujieleza kwa uhuru, na kuboresha maisha yao kupitia ubunifu. Uzinduzi wa kampeni hii uliofanyika jijini Dar es ...
null
RAIS Samia Suluhu Hassan, ametoa pongezi kwa kundi la ‘The Ramadhani Brothers’ kuandika historia ya kuwa Watanzania wa kwanza kushinda mashindano makubwa ya kusaka vipaji American Got Talents: Fantasy League. Katika ukurasa wake binafsi wa Instagram, Rais Samia ameandika: “Pongezi kwa vijana wetu Fadhili na Ibrahim (Th...
null
Wananchi Kibaoni wakimsubili Rais Samia Picha: Neema Hussein Picha: Neema Hussein Picha: Neema Hussein Picha: Neema Hussein Picha: Neema Hussein © 2024 IPPMEDIA.COM. ALL RIGHTS RESERVED
null
Rais Samia akizungumza na Watanzania waishio Korea Picha: Ikulu Picha: Ikulu Picha: Ikulu Picha: Ikulu Picha: Ikulu Picha: Ikulu Picha: Ikulu Picha: Ikulu Picha: ikulu Picha: Ikulu © 2024 IPPMEDIA.COM. ALL RIGHTS RESERVED