name stringclasses 429
values | text stringlengths 0 767k ⌀ |
|---|---|
null | WAHARIRI zaidi ya 50 wanachama wa Jukwaa la Wahariri (TEF), jana walipata fursa kutoka Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) ya kupima afya zao eneo la moyo na shinikizo la damu ili waweze kujua hali zao na kuepuka vifo vya ghafla vinavyosababishwa na magonjwa yasiyo ya kuambukiza. JKCI imetoa ofa hiyo ili wahariri ... |
null | HIVI karibuni Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu alitoa tamko kwa hospitali zote za serikali zinazozuia miili ya marehemu kuchukuliwa na ndugu zao kwa sababu ya kukosa pesa za kuikomboa. Agizo hilo la Waziri Ummy linatokana na usumbufu wanaokumbana nao ndugu wa marehemu wanapotaka kuchukua miili ya ndugu zao kwa ajili ya kwe... |
null | ZAMANI waliitwa wageni wa heshima, siku hizi wanaitwa wageni rasmi. Ni watu au viongozi wanaokuja uwanjani kwa ajili ya sababu maalum, ikiwamo kutoa zawadi na kukabidhi kombe. Huu ni utamaduni wa tangu miaka ya nyuma, lakini ukiangalia kwa wenzetu ambao walioanzisha soka wameshaachana na hayo. Ukiangalia ligi mbalimbal... |
null | JUMAMOSI ya Novemba 16, Watanzania walianza siku kwa majonzi na hofu, baada ya jengo la ghorofa nne kuporomoka Kariakoo jijini Dar es Salaam na kuua watu 16 kwa taarifa za juzi jioni. Jengo hilo limesababisha idadi kubwa ya watu kunaswa kwenye vifusi na bado kazi ya uokoaji inaendelea. Kwa muda wa siku tano juhudi za k... |
null | Muungwana Lazima Nilonge Jamii imalize uhaba wa walimu sayansi Sabato Kasika Nov 26 2024 Mgeni rasmi kila mechi Ligi Kuu Bara sasa kumepitwa na wakati Adam Fungamwango Nov 25 2024 Tukielekea ‘Upingaji Ukatili Jinsia’, itukae vichwani, si vita lelemama Mwandishi Wetu Nov 22 2024 Msimu juisi, matunda sawa kiafya, ila yap... |
null | KOCHA aliyeipa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa misimu mitatu mfululizo na msimu uliopita na kuifikisha hatua ya robo fainali ya mashindano ya kimataifa ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Miguel Gamondi, ametimuliwa. Gamondi alichukua mikoba ya Nasreddine Nabi, alikuwa mmoja wa makocha wenye misimamo, na aliitengeneza Ya... |
null | MWAKA 2008 Edward Lowassa wakati huo akiwa Waziri Mkuu, alijiuzulu nafasi hiyo kwa kile kilichoelezwa kuwa ni kashfa ya kutuhumiwa kuhusika kuibeba kampuni ya Richmond, ambayo licha ya kupewa jukumu la kuzalisha umeme, haikufanya hivyo na nchi ikazidi kubaki gizani. Mwanasiasa huyo alijua umuhimu wa kutotengeneza maadu... |
null | UTAFITI unaofanyika hivi karibuni umebaini kuwa kwa kila saa unayoketi iwe kuangalia runinga au kupiga gumzo kijiweni unapunguza uhai wako kwa dakika 22. Sasa kazi kwako angalia unatumia saa ngapi kupiga umbea, kushinda kijiweni kwenye biashara za wenzako, au kuangalia runinga ukiwa umekaa na ufanya mahesabu dakika uli... |
null | NIMEBAHATIKA kuhudhuria mkutano wa wadau wa habari kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa uliopangwa kufanyika Novemba 27, mwaka huu. Mkutano huo ulioandaliwa na Wizara ya Habari, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, ulipokea mada mbalimbali kuhusu wajibu wa vyombo vya habari kwenye uchaguzi. Moja ya mada hizo ni wajib... |
null | MAMBO yanazidi kuiva katika kikao cha kupigania hali ya hewa iboreke duniani, huko mjini Baku, nchini Azerbaijan, nchi zinazoendelea, ikiwamo Tanzania zinaona mada zinavyozigusa moja kwa moja. Kwa namna ya pekee, bendera ya kongole inauangukia Umoja wa Mataifa, mwasisi na mwendeshaji wa vikao hivyo. Kwa ujumla wake, si... |
null | KISIWA hicho cha Guam kina buibui aina ya guam mara 40 zaidi ya visiwa jirani na idadi kubwa ya nyoka wavamizi na waharibifu mahali hapo, waliojaa katika misitu ambayo ni makazi ya ndege. Miaka mitano iliyopita, kuliandaliwa mkutano katika kisiwa hicho cha Guam, eneo lenye uchafu mwingi wa kijani kibichi, Magharibi mwa... |
null | NOVEMBA 19, mwaka huu, ikiwa ni mwezi mmoja tu kabla ya miaka 63 ya Uhuru, timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars, ilifanikiwa kutinga fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) kwa mara ya nne. Lilikuwa ni bao la dakika ya 60 lililowekwa wavuni na winga wa Kimataifa, Simon Msuva, anayecheza soka la kulipwa katika Klabu ya Al... |
null | “HIYO siku naikumbuka sana. Ni kama jana tu kwangu maana donda lilianza kama utani. Kilianza kimchubuko kidogo ambacho kilisababishwa na kujikwaa kwenye kimti mguuni. Hata sikuchukulia maanani maana nilijua itakuwa kama siku zote ni kimchubuko cha kawaida kitapona ndani ya siku moja au mbili, hivyo maisha yakaendelea k... |
null | KAMPENI za uchaguzi wa serikali za mitaa, zinaanza kesho hadi Jumanne ijayo Novemba 26. Ni muda kwa wagombea wa vyama mbalimbali vya siasa kumwaga sera na kile walichotumwa na vyama vyao kukitangaza majukwaani. Wakati kampeni zinaanza, wanawake 12 kutoka baadhi ya kata za Dar es Salaam, wamepata Sh. milioni 1.2 kwa aji... |
null | Kwa hakika uchawi na mambo ya kishirikina huwa yamesimika mizizi katika sehemu nyingi za Afrika, jina langu ni Julius, nilililewa katika mkoa wa magharibi mwa Kenya katika kauti ya Busia ambapo suala zima la uchawi lilikuwa limekidhiri. Baba yetu ambaye ni marehemu alikuwa na ugomvi na jirani yetu mmoja kabla ya kifo c... |
null | CHAMA tawala nchini Senegal cha PASTEF, kimejitangazia kupata ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa bunge uliofanyika Jumapili iliyopita. Ni chama kilichompinga rais wa zamani wa nchi hiyo, Macky Sall na kumtoa madarakani na kimekuwa na umaarufu mkubwa miongoni mwa vijana wa nchi hiyo. Chama hicho kinaamini kuwa hatua... |
null | NI miongo saba na nusu imepita sasa, eneo katikati ya Bahari ya Caspian kuna kisiwa kilichojengwa kwa nguvu na mkono wa mwanadamu, juu ya bahari. Nyenzo zake ni nguzo za minara ya chuma ya kustaajabisha, mabomba, madaraja ya mbao, majengo ya kutoka enzi ya Jamhuri ya Kisoviet (USSR), ambazo hazionekani kwenye ramani. H... |
null | JAJI Tujilane Chizumila, ana simulizi tangu akiwa na umri wa miaka 12 akiwa mkimbizi. Ameishi Tanzania wakiwa ni wakimbizi pamoja na wazazi wake, kutoka nchini Malawi. Leo hii ana umri miaka 71), anaisimulia Nipashe, jijini Dar es Salaam, kuhusu safari yake kutumishi masuala mbalimbali kama vile, jinsia, diplomasia na ... |
null | HIVI karibuni, Waziri mwenye dhamana ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa, alinikumbusha jambo zuri sana katika historia ya nchi. Mchengerwa alisema kiini cha kuwa na ofisi hiyo, ni kutokana na wazo la Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere la kupeleka madaraka kwa wananc... |
null | TANGANYIKA na Zanzibar zilipoungana na kuunda Jamhuri ya Muugano Tanzania, Rais Dk. Samia Suluhu Hasan, ana ufafanuzi wake kuhusu mitaji yake ya maendeleo, akiitaja kadhaa; ushirikiano wa kihstoria, umoja wa pande hizo mbili na kundi la vijana. “Fikra zangu hutawaliwa na picha ya vijana wanne kutoka pande zote mbili za... |
null | ZANZIBAR ina safari ndefu kufikia azma ya azimio la Maputo linaloangazia uwakilishi wa usawa wa kijinsia wa uwiano wa 50/50 barani Afrika kwenye medani za kisiasa na uongozi wa umma. Idadi ya wawakilishi wanawake wakuchaguliwa katika majimbo kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 si kubwa hivyo wanahitaji waongezeke. Kwa m... |
null | MAMIA ya Watanzania wakiongozwa na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Damas Ndumbaro, Jumatatu iliyopita walimiminika kwenye viwanja wa Leaders, jijini Dar es Salaam, kumuaga mwanamuziki maarufu na mkongwe nchini, Kikumbi Mwanza Mpango Mwema, maarufu kama King Kiki na kuzikwa siku hiyo hiyo kwenye Makaburi ya Kinond... |
null | HADI sasa mpango wa serikali nchini ifikapo mwaka 2030 ni kuwa na umeme wa zaidi ya megawati 5,000 kutoka vyanzo tofauti, ikiwamo kutoka kwenye nishati jadidifu za jotoardhi, jua na upepo. Hayo ni miongoni mwa mambo kadhaa yaliyoelezwa mjini Dar es Salaam mwishoni mwa mwezi uliopita, kwenye Kongamano la Jotoardhi Afrik... |
null | Rais wa Burundi, Evariste Ndayishimiye, ametangaza kuachiliwa huru wafungwa kutoka katika magereza mbalimbali nchini humo. Wale ambao wataachiliwa katika ngazi ya kitaifa ni 5442, sawa na asilimia 41 ya wafungwa 13,211. Kati yao 136 wamefungwa wakiwa na matatizo ya akili. Aliwapa wanaosimamia utekelezaji wa kifungu hik... |
null | WATU saba wamefariki dunia baada ya bajaji waliyokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori eneo la Mpemba, Tunduma wilayani Momba, mkoani hapa. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, Kamishna Msaidizi Mwandamizi (SACP) Augustine Senga, alisema jana ajali hiyo ilitokea juzi saa 3:15 usiku, wakati dereva wa bajaji yenye ... |
null | MAHAKAMA Kuu nchini Kenya, imeondoa amri iliyokuwa inazuia Naibu Rais Mteule Kithure Kindiki kuapishwa. Jopo la majaji watatu liliongozwa na Jaji Eric Ogola na Fredah Mugambi limetoa maagizo hayo hii leo. Naibu wa Rais aliyeondolewa madarakani Rigathi Gachagua,alikuwa amewasilisha ombi mahakamani kuzuia mrithi wake kuc... |
null | Kimataifa COP29; Machache yamepitiwa: Wawakilishi wa Afrika BAADHI ya mataifa yanayoendelea yamekosoa ofa ya ufadhili wa hali ya hewa ya uliofikia dola bilioni 300, yakisema ofa hiyo inashindwa kufikia kiwango, kulingana na changamoto watazokabiliana nazo katika miaka ijayo. 2d ago Saba wafariki ajali ya bajaji na lori... |
null | KITUO cha Kitaifa cha Ukuzaji Mtaala (NCDC), kimetangaza kuwa lugha ya Kiswahili itaanzishwa kama somo la lazima katika shule za msingi kwa awamu kuanzia mwaka ujao. Mkurugenzi wa NCDC, Grace Baguma, alisema uzinduzi utaanza magharibi mwa Uganda, haswa katika jiji la Fort Portal, na wilaya za Kasese na Kabarole. Baguma... |
null | SEHEMU ya kwanza ya makala hii iliangazia namna mwendesha pikipiki alivyookuwa natafuta mkaa porini na kukumbwa na changamoto. Makala hii ya pili inaangazia athari za matumizi ya mkaa na suluhisho la nishati mbadala. Endelea...… SEIF, baada amechukua uamuzi wa kuacha kufanya kazi hiyo, sasa anawashawishi wenzake kuacha... |
null | Makamu wa Rais wa Equatorial Guinea, Teodoro Obiang Nguema Mangue amesema Serikali ya Nchi hiyo itawatimua kazini maafisa na watumishi wote wa Umma ambao ni miongoni mwa Wanawake zaidi ya 400 waliorekodiwa wakifanya mapenzi na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kitaifa la Upelelezi wa Fedha (ANIF) la Nchini humo, Baltasar E... |
null | BAADHI ya mataifa yanayoendelea yamekosoa ofa ya ufadhili wa hali ya hewa ya uliofikia dola bilioni 300, yakisema ofa hiyo inashindwa kufikia kiwango, kulingana na changamoto watazokabiliana nazo katika miaka ijayo. Muda mfupi baada ya makubaliano hayo kupitishwa mapema huko Baku, Azerbaijan, kundi la Afrika la Wapatan... |
null | SALAMU za pongezi zimeanza kumfikia Donald Trump, kwa mgombea wa chama cha Republican. Pongezi hizo zilianza kumiminika kutoka kwa wakuu wa nchi tofauti duniani, mara tu Trump alipotangaza ushindi wake katika uchaguzi wa rais wa Marekani. Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, amempongeza mgombea wa chama cha Republic... |
null | NI mwenye kujiamini, maadili mema. Rais mpya wa Botswana, Duma Boko, ndivyo anavyotafsiriwa hivyo nchini mwake. Amepata ushindi kwa kuking’oa chama kilichokuwa mamlakani. Boko mwenye umri wa miaka 54, amebobea kwenye haki za binadamu na ni wakili. Elimu yake ya uanasheria ilianzia nchini mwake, hatimaye kwenda Shule Ku... |
null | MKUU wa Jeshi la Nigeria, Jenerali Taoreed Lagbaja (56), amefariki dunia baada ya kuugua. Rais wa nchi hiyo Bola Tinubu, ametangaza juu ya kifo hicho. Anaelezwa kuwa aliaga dunia usiku wa kuamkia leo, Novemba 06,2024 jijini Lagos. Maelezo kamili kuhusu ugonjwa wake hayakutolewa. CHANZO: BBC © 2024 IPPMEDIA.COM. ALL RIG... |
null | KAMPUNI ya DP World ya Dubai imeanza rasmi kazi ya kushusha na kupakia makontena kwenye bandari ya Dar es Salaam. Taarifa iliyotolewa jana na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Plasduce Mbossa, ilibainisha hayo huku ikielekeza wateja wa bandari hiyo kuhusu masuala mbalimbali yakiwemo nam... |
null | MAMLAKA Ya Usimamizi wa Bandari (TPA) imetoa tangazo kwa watumishi wa Bandari ya Dar es Salaam likiwataka kuchagua ama kubaki katika ajira TPA au kusitisha mikataba na kujiunga na ajira mpya katika kampuni ya DP World. Taarifa ya TPA iliyotolewa Machi 20, mwaka huu, na Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Plasduce Mbossa, imesema O... |
null | MAMLAKA ya Ukanda Maalumu wa Uwekezaji na Mauzo nje ya Nchi (EPZA), imewataka wawekezaji wa ndani na nje kuchangamkia fursa kubwa katika uzalishaji wa bidhaa mbalimbali zitokanazo na korosho kwa ajili ya kuuza nje ya nchi na kuchangia pato la taifa na uchumi wa nchi. Tanzania inasifika kwa kuwa na korosho nzuri duniani... |
null | WAKALA wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), umetangaza kuja na mpango mpya wa kutoa huduma ya usafiri katika majiji ya Arusha, Tanga, Dodoma, Mbeya na Mwanza. Mtendaji Mkuu wa DART, Dk. Athuman Kihamia, amesema serikali ina mpango wa kutoa huduma hiyo ya mabasi katika majiji yote nchini ili kukabiliana na msongamano wa wa... |
null | Naibu Waziri wa Madini Dk. Steven Kiruswa amekutana na kuzungumza na Ujumbe kutoka Marekani uliongozwa na Naibu Waziri wa Nishati wa Nchi hiyo Joshua Volz ambapo pia ameambatana na viongozi waandamizi kutoka Wizara ya Nishati ya Marekani pamoja na viongozi waandamizi wa Ofisi ya Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania. Kik... |
null | TIMU ya soka ya vijana ya umri chini ya miaka 20 ya Yanga (u-20), inaongoza katika Kundi A, ikicheza michezo minne, ikishinda mitatu, sare moja, ikifunga jumla ya mabao 13 na kuruhusu nyavu zake kutikiswa mara tatu. Kwa mujibu wa msimamo uliotolewa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa timu za vijana ambaz... |
null | BAADA ya kuwapo kwa sintofahamu ya huenda Timu ya Soka ya Taifa (Taifa Stars), itaondolewa kushiriki Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025), Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limesema taarifa hizo si za kweli. Taifa Stars imefuzu kushiriki AFCON 2025 baada ya kumaliza katika nafasi ya pili kwenye... |
null | SIMBA inatarajia kuutumia mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Pamba Jiji FC utakaochezwa leo kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini, Mwanza kama sehemu ya maandalizi ya mechi ya mashindano ya kimataifa ya Kombe la Shirikisho Afrika, imeelezwa. Mechi hiyo ya kwanza ya hatua ya makundi ya michuano ya Kombe la Shirikis... |
null | BAADA ya kufanya sherehe ya wiki nzima kwa kuifunga Yanga mabao 3-1 Novemba 7, mwaka huu, sasa kikosi cha Tabora United kimeanza rasmi mazoezi kujiandaa na mchezo ujao dhidi ya Singida Black Stars huku kikitamba kuwa timu hiyo itakipata kile ambacho kiliwakuta wenzao katika mechi hiyo itakayopigwa Uwanja wa Ali Hassan ... |
null | KOCHA Mkuu wa Yanga, Sead Ramovic, amesema ameshamaliza kazi ya kuisoma Al Hilal Omdurman ya Sudan na ameweka mipango kabambe namna ya kuikabili kesho kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa katika mechi ya raundi ya kwanza, Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi. Akizungumza juzi jioni akiwa kwenye maandalizi ya kuelekea kw... |
null | BAO pekee la Leonel Ateba limeipa Simba pointi tatu muhimu mbele ya wenyeji Pamba Jiji FC katika mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara iliyochezwa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini, Mwanza jana na kuendelea kukaa kileleni katika msimamo wa ligi hiyo. Matokeo hayo yanaifanya Simba kufikisha pointi 28 baada ya kucheza michez... |
null | WAKATI dirisha dogo la usajili likikaribia, Kocha Mkuu wa Simba, Fadlu Davids, tayari amepenyeza faili la usajili akitaja maeneo anayotaka yaongezewe nguvu kwa ajili ya kufanya vizuri katika Ligi Kuu Tanzania Bara na mashindano ya kimataifa wanayoshiriki, imefahamika. Taarifa za ndani zimesema Fadlu ameweka wazi maeneo... |
null | HATIMAYE kikosi cha JKT Tanzania kinatarajia kurejea dimbani baada ya siku 29 kucheza dhidi ya Prisons katika mechi ya Ligi Kuu Bara itakayochezwa leo kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, Dar es Salaam. Utakuwa ni mchezo wa kwanza kwa timu hiyo, tangu Oktoba 26, mwaka huu, ilipocheza mechi ya mwisho dhidi ya Dodoma... |
null | TIMU ya Soka ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars), imepangwa Kundi C pamoja na mabingwa watetezi, Afrika Kusini (Banyana Banyana), Ghana na Mali katika Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (WAFCON). Fainali za WAFCON zitafanyika kuanzia Julai 5 hadi 26, mwakani nchini Morocco. Katika droo iliyofanyika jijini Rabat juzi,... |
null | BAADA ya timu yake kupata ushindi wa mabao 6-2 dhidi ya Gets Program, Kocha Mkuu wa Simba Queens, Yussif Basigi, amesema amefurahishwa na matokeo hayo na anaamini wachezaji wake wataendelea kupambana katika kila mechi wanayocheza. Ushindi huo umeifanya Simba Queens iliyoshinda mechi zote tano ilizocheza ifikishe pointi... |
null | Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Damas Ndumbaro amehimiza watanzania kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa ili kupata viongozi wa mitaa na vijiji kwa kuwa uchaguzi huo ndio muhimu zaidi kulinganisha na uchaguzi mwingine. Dk. Ndumbaro ametoa rai hiyo wilayani Njombe wakati akizungumza na wananchi wa jimbo la ... |
null | BAADA ya kufunga bao pekee lililoipeleka Tanzania katika Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025), zitakazofanyika mwakani nchini Morocco, na kufikisha idadi ya mabao 24 kuifungia timu hiyo, winga, Simon Msuva, amesema ataifikia rekodi ya kupachika mabao mengi kwa taifa lake. Bao hilo lililofungwa na Msuva ju... |
null | MABADILIKO katika benchi la ufundi la Yanga, yameonekana 'kumtisha', Kocha Mkuu wa Al Hilal Omdurman ya Sudan, Florent Ibenge, ambaye amesema yeye alijiandaa kupambana na aliyekuwa Kocha Mkuu, Miguel Gamondi na si Mjerumani, Sead Ramovic Yanga ilitangaza kuchana na Gamondi wiki iliyopita na Ramovic kutoka TS Galaxy ya ... |
null | WAKATI Mkurugenzi mpya wa Ufundi wa Yanga, Abdihamid Moallin, akikutana na wachezaji wa timu hiyo kwa mara ya kwanza, uongozi wa vigogo hao umesema wameshamaliza 'hesabu' za kuhakikisha wanapata ushindi katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Hilal kutoka Sudan. Yanga itawakaribisha Al Hilal iliyoko chini y... |
null | MABINGWA watetezi wa mashindano ya Kombe la FA, Yanga wataanza kutetea taji hilo kwa kuwakaribisha Copco FC kutoka jijini, Mbeya katika hatua ya 64 bora wakati Simba itawavaa Kilimanjaro Wonderers, imefahamika. Bingwa wa mashindano hayo hupata tiketi ya kuiwakilisha Tanzania Bara katika michuano ya kimataifa ya Kombe l... |
null | WAKATI wachezaji wa Kagera Sugar wameapa kuondoka na pointi tatu katika mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Azam FC itakayochezwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam, Kocha Rachid Taoussi, amesema michezo miwili ya kirafiki waliocheza imesaidia kuwaweka vyema nyota wake ili kupambana kusaka ushindi leo. A... |
null | KOCHA Mkuu wa Simba, Fadlu Davids, amesema mechi ya Ligi Kuu iliyochezwa juzi kati ya timu yake dhidi ya Pamba Jiji na kushinda bao 1-0, Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza, imempa mwanga na mbinu za kuwaangamiza wapinzani wao, Bravos do Maquis kutoka Angola. Simba itawaalika Bravos do Maquis katika mechi ya kwanza ya hatua y... |
null | MKURUGENZI mpya wa Ufundi wa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga, Abdihamid Moallin, amesema ataifanya timu hiyo kuwa kubwa barani Afrika, lakini pia kuzalisha wachezaji wenye vipaji na 'kulisha' klabu nyingine duniani. Moallin alitangaza kuachana na KMC FC inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara kama Kocha ... |
null | KOCHA Mkuu wa Simba, Fadlu Davids, amewapa kazi mastraika wake wawili, Leonel Ateba na Steven Mukwala, kuwamaliza Waangola, Bravo do Maquis, katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika, unaotarajiwa kuchezwa keshokutwa, Jumatano katika Uwanja wa Benjamin Mkapa. Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, kocha huyo raia wa ... |
null | VITA ya ubingwa wa Ligi Kuu Zanzibar imezidi kupamba moto huku kukiwa hakuna mbabe ambaye amepata ushindi kwa asilimia 100. Timu ambazo hazijaonja machungu ya kupoteza hadi sasa ni nne tu, ambazo ni KVZ FC, Mlandege FC, Malindi SC na Chipukizi FC, lakini hazijashinda kwa asilimia 100, kwani zote kuna mechi zimebanwa mb... |
null | HUKU akisifu ubora wa watani wao wa jadi katika mechi ya 'Derby ya Kariakoo' juzi, Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi, amefichua mbinu ambayo huwa anaitumia dhidi ya Simba kuwa ni kuwashambulia pembeni hasa dakika 30 za mwisho, kwani mabeki wake mara nyingi huwa wanakuwa wameshachoka. Akizungumza baada ya mechi ya wat... |
null | BAADA ya kumaliza dabi yao Jumamosi iliyopita, Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, vigogo wa soka nchini, Simba na Yanga leo watashuka tena dimbani kucheza mechi zao za Ligi Kuu Tanzania Bara. Hata hivyo, wakati Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi akisema haoni kama timu yake inaweza kushinda idadi kubwa ya mabao ... |
null | Mwenyekiti wa Bunge la Bonanza na Mbunge wa Jimbo la Makete, Festo Sanga, ametangaza kuwa Bunge limeandaa bonanza litakalojumuisha mashabiki wa timu za Simba na Yanga, likitarajiwa kufanyika Januari 25, 2025, katika Viwanja vya John Melin, Miyuji, Dodoma. Bonanza hilo litashirikisha michezo mbalimbali kwa timu hizo mbi... |
null | Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dk. Pindi Chana ameielekeza Menejimenti ya Shamba la Miti Sao Hill kuweka utaratibu wa kujisajili katika bima kwa lengo la kukabiliana na hasara zinazotokana na miti kuungua kwa moto. Waziri Dk.Chana ameyasema hayo leo Novemba 25,2024 alipofanya ziara ya kikazi katika Shamba la Mit... |
null | MAMLAKA ya Bandari Tanzania (TPA) itawapunguzia gharama za uhifadhi mizigo waathirika wa jengo lililoporomoka Kariakoo, jijini Dar es Salaam Novemba 16, mwaka huu. Kaimu Mkurugenzi wa Bandari ya Dar es Salaam, Abed Gallus, alitoa ahadi hiyo jana kwa waandishi wa habari na kueleza kwamba TPA ina utaratibu wa kuwapunguzi... |
null | RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amebainisha mikakati ya serikali kuhusu ukuaji uchumi wa Zanzibar na kueleza kuwa inaendelea kuwawekea mazingira rafiki wafanyabiashara wote wanaotumia bandari ya Zanzibar. Dk. Mwinyi amesema hayo jana alipozindua, kutia saini na kushuhudia utiaji wa saini Mpango wa Maboresho y... |
null | WAZIRI wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba, amekiagiza Chuo cha Kodi (ITA), kufanya utafiti maalum ili kubaini namna ya kukusanya kodi ya biashara za mtandaoni. Katika taarifa yake iliyosomwa kwa niaba yake na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Elijah Mwandumbya, wakati wa mahafali ya 17 ya ITA, Dar es Salaam juzi, Dk. Nchem... |
null | MKURUGENZI wa Elimu Ofisi ya Rais Tamisemi Dk. Emmanuel Shindika amewataka wahitimu katika chuo cha Maendeleo ya Wananchi Kibaha kujiunga na vikundi vya uzalishaji mali ambavyo vitakuwa njia ya mafanikio itakayopapatia fursa ya kuunganisha ujuzi na kutumia rasilimali zitakazopatikana kwenye maeneo yao. Shindika ameyase... |
null | JESHI la Polisi linawashikilia watoto wawili kwa tuhuma za kurusha mawe na kuharibu kwa kuvunja vioo viwili vya treni ya mwendokasi (SGR) katika Kijiji cha Manase, wilayani Chamwino. Katika taarifa iliyotolewa jana na Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, DCP David Misime, watoto hao walirusha mawe wakati treni hiyo inapi... |
null | NAIBU Waziri wa Fedha, Hamad Chande, amewataka wadau wote wa takwimu rasmi kushirikiana na serikali katika kukokotoa viashiria vya maendeleo. Amewataka kutathmini hatua zilizopigwa katika Dira ya Maendeleo ya Taifa inayoisha mwaka 2025 na hatua zilizopigwa katika Malengo ya Maendeleo Endelevu yanayoisha mwaka 2030. Cha... |
null | WAFANYAKAZI 25 wa kutoka nchini Marekani chini ya Mtandao wa Kimataifa wa Wafanyakazi wa Kujitolea (PEACECORPS) wameapishwa kwa ajili ya kuanza kazi hiyo nchini. Akizungumza katika hafla fupi ya uapisho mapema wiki hii jijini Tanga, Balozi wa Marekani Nchini, Michael Battle, alisema wafanyakazi hao wapo tayari kuihudum... |
null | BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC), imetambulisha kampeni yake ya ‘Shinda Mechi Zako Kinamna Yako na NBC Shambani’ kwa wakulima na wafugaji wa Wilaya za Rungwe na Kyela mkoani Mbeya ikiwa ni muendelezo wa jitihada za benki hiyo kuchochea kasi ya ukuaji wa sekta za kilimo na ufugaji nchini kupitia uchumi jumuishi unaochag... |
null | BENKI Kuu ya Tanzania (BoT), imeonya kuhusu matumizi ya fedha za kigeni nchini kwenye mauzo ya bidhaa au huduma kuwa ni kinyume cha Sheria ya Benki Kuu Kifungu cha 26. Onyo hilo limetolewa wakati ikishuhudiwa baadhi ya wauza bidhaa na watoa huduma kutaka kulipwa kwa fedha za kigeni hasa dola hali inayoleta usumbufu kwa... |
null | WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, amevitaka vyuo vya biashara nchini kufanya mapitio ya mitaala ili kuwajenga wasomi wenye uwezo wa kutumia elimu zao kujiajiri, badala ya kuendelea kusubiri nafasi chache za ajira serikalini. Majaliwa alisema hayo jana jijini hapa kwenye kongamano la kitaaluma la kuwasilisha matokeo ya utaf... |
null | WALIMU wa Shule ya Sekondari ya Jumuiya ya Wazazi (CCM) Meta, iliyoko katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya, wamegoma kufundisha na kusimamia mitihani, kwa madai ya kutolipwa mishahara yao kwa zaidi ya miaka mitatu. Wakizungumza na waandishi wa habari juzi walimu hao walisema, wamechoshwa na hali ngumu ya maisha inayowak... |
null | WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Balozi Pindi Chana, ameipongeza Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) kwa jitihada za kutangaza vivutio vya utalii nchini. Pia amesisitiza kuwa juhudi hizo ni maono ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kutekeleza falsafa ya 4R inayojikita katika Maridhiano, Ustahamilivu, Mageuzi na na Kujenga Upya Taif... |
null | NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Dk. James Mataragio amesema Tanzania na Uganda zitaendelea kushirikiana katika uendelezaji miradi mbalimbali ya nishati, ikiwamo sekta ya mafuta na gesi. Dk. Mataragio aliyasema hayo juzi jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari baada ya kushiriki Jukwaa la Kib... |
null | WATU saba wamefariki dunia baada ya bajaji waliyokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori eneo la Mpemba, Tunduma wilayani Momba, mkoani hapa. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, Kamishna Msaidizi Mwandamizi (SACP) Augustine Senga, alisema jana ajali hiyo ilitokea juzi saa 3:15 usiku, wakati dereva wa bajaji yenye ... |
null | WAKATI Mkurugenzi mpya wa Ufundi wa Yanga, Abdihamid Moallin, akikutana na wachezaji wa timu hiyo kwa mara ya kwanza, uongozi wa vigogo hao umesema wameshamaliza 'hesabu' za kuhakikisha wanapata ushindi katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Hilal kutoka Sudan. Yanga itawakaribisha Al Hilal iliyoko chini y... |
null | KAMPENI za uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliopangwa kufanyika Novemba 27, mwaka huu, zimepamba moto huku vyama vinayoshiriki vikinadi sera na wagombea wao ili kushawishi wananchi kuwachagua. Wakati kampeni hizo zikiendelea, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema hakitacheka na mtu katika kushika dola huku Chama cha Demokra... |
null | CHAMA cha ACT Wazalendo kimeeleza kusikitishwa na mwenendo wa usikilizwaji wa rufani za wagombea ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Waziri wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa. Mchengerwa aliagiza utekelezaji wa agizo kufanyika kwa mapitio ya kuenguliwa kwa wagombea. Kupit... |
null | Kitaifa Mbowe atema nyongo baada ya kuachiwa MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, pamoja na wafuasi 11 waliokuwa wanashikiliwa na polisi, wameachiwa kwa dhamana, huku akisema haoni sababu mahsusi za kushikiliwa kwao. 2d ago Mwalimu awataka wagombea kutowatoza wananchi fedha za mihur... |
null | Maoni Ya Mhariri Kasumba vijana kuhusu ajira mikoa ya pembezoni imepitwa na wakati Nov 24 2024 Ulinzi katika miundombinu SGR uimarishwe ili kudhibiti uhalifu Nov 10 2024 Sheria udhibiti ajira kwa wageni iongezewe meno Nov 3 2024 Hatua zichukuliwe kuwaokoa watoto katika majanga haya Oct 27 2024 Kumuenzi Nyerere ni kuyai... |
null | NAIBU Waziri wa Fedha, Hamad Chande, amewataka wadau wote wa takwimu rasmi kushirikiana na serikali katika kukokotoa viashiria vya maendeleo. Amewataka kutathmini hatua zilizopigwa katika Dira ya Maendeleo ya Taifa inayoisha mwaka 2025 na hatua zilizopigwa katika Malengo ya Maendeleo Endelevu yanayoisha mwaka 2030. Cha... |
null | Wafanyabiashara wanaochoma nyama katika eneo la kwa Mrombo, Kata ya Murieti, mkoani Arusha, wamelalamikia kufanya biashara zao katika mazingira magumu, na licha ya kulipa ushuru, bado eneo hilo halijafanyiwa maboresho kwa muda mrefu. Akizungumza kwa niaba ya wafanyabiashara wenzake leo Jumapili, Mwijuma Mbaruku, amesem... |
null | MBUNGE wa Simanjiro (CCM) mkoani Manyara, Christopher Ole Sendeka, amefunguka alivyojinusuru na dereva wake kushambuliwa kwa risasi kuwa ni baada ya kujibu mapigo. Akisimulia shambulio hilo lilivyotokea juzi ambalo tayari Jeshi la Polisi limepeleka timu ya wataalam wa uchunguzi wa matukio kutoka makao makuu ya polisi, ... |
null | “HIYO siku naikumbuka sana. Ni kama jana tu kwangu maana donda lilianza kama utani. Kilianza kimchubuko kidogo ambacho kilisababishwa na kujikwaa kwenye kimti mguuni. Hata sikuchukulia maanani maana nilijua itakuwa kama siku zote ni kimchubuko cha kawaida kitapona ndani ya siku moja au mbili, hivyo maisha yakaendelea k... |
null | MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amewaomba mawakili nchini kusimama na kufungua mashauri yenye maslahi kwa umma kuwatetea wagombea wote walioenguliwa katika kinyang’anyiro cha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa bila kufuata vigezo vya kikanuni ili haki ichukue mkondo wake. Lissu... |
null | NIMEBAHATIKA kuhudhuria mkutano wa wadau wa habari kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa uliopangwa kufanyika Novemba 27, mwaka huu. Mkutano huo ulioandaliwa na Wizara ya Habari, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, ulipokea mada mbalimbali kuhusu wajibu wa vyombo vya habari kwenye uchaguzi. Moja ya mada hizo ni wajib... |
null | Wachezaji timu ya Kitunda FC wakiwa mazoezini PICHA: JUMANNE JUMA © 2024 IPPMEDIA.COM. ALL RIGHTS RESERVED |
null | Kimataifa Saba wafariki ajali ya bajaji na lori WATU saba wamefariki dunia baada ya bajaji waliyokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori eneo la Mpemba, Tunduma wilayani Momba, mkoani hapa. 2d ago Watoto walivyogeuka kitegauchumi mitaani 20 Oct 2024 Wananchi wabomoa nyumba ya mtuhumiwa wakagawana tofali 13 Oct 2... |
null | KESI inayowakabili mkazi wa Dar es Salaam, Bharat Nathwani (57), maarufu kwa jina la Chiku na mke wake Sangita Bharat Nathwani (54) inatarajiwa kuanza kusikilizwa ushahidi Februarri 19 mwaka huu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, ambako wakituhumiwa kwa mashitaka manne likiwemo la kujeruhi na kutoa ... |
null | 1. Terms By accessing this web site, you are agreeing to be bound by these web site Terms and Conditions of Use, all applicable laws and regulations, and agree that you are responsible for compliance with any applicable local laws. If you do not agree with any of these terms, you are prohibited from using or accessing ... |
null | Soka Fadlu: Tutaimaliza Bravos KOCHA Mkuu wa Simba, Fadlu Davids, amesema mechi ya Ligi Kuu iliyochezwa juzi kati ya timu yake dhidi ya Pamba Jiji na kushinda bao 1-0, Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza, imempa mwanga na mbinu za kuwaangamiza wapinzani wao, Bravos do Maquis kutoka Angola. 2d ago Twiga Stars, Ghana kundi moja... |
null | Habari Mbowe atema nyongo baada ya kuachiwa MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, pamoja na wafuasi 11 waliokuwa wanashikiliwa na polisi, wameachiwa kwa dhamana, huku akisema haoni sababu mahsusi za kushikiliwa kwao. Kitaifa 2d ago Kimataifa Saba wafariki ajali ya bajaji na lori 2d a... |
null | WAKATI vyama vya upinzani vikilalama kukatwa kwa wagombea wake, vimesimamisha wagombea 30,977 pekee kati ya nafasi 80,430 zinazowaniwa katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa, aliyasema hayo jana jijin... |
null | Katuni 2d ago Msamba 10 Nov 2024 03 Nov 2024 Msamba 27 Oct 2024 Msamba 06 Oct 2024 Msamba 29 Sep 2024 Msamba 22 Sep 2024 Msamba 08 Sep 2024 Msamba 11 Aug 2024 28 Jul 2024 Msamba 21 Jul 2024 Msamba 30 Jun 2024 23 Jun 2024 Msamba 16 Jun 2024 Msamba 09 Jun 2024 Msamba 02 Jun 2024 Msamba 26 May 2024 Msamba 19 May 2024 13 M... |
null | The Guardian Limited (The Guardian) has firmly positioned itself as a model of excellence, proudly known as The Home of Great Newspapers in Tanzania. IPPMEDIA continues to uphold its esteemed reputation in print, broadcasting and online media. Established in the mid-1990s, The Guardian emerged as a pioneering force in ... |
null | Michezo Fadlu: Tutaimaliza Bravos KOCHA Mkuu wa Simba, Fadlu Davids, amesema mechi ya Ligi Kuu iliyochezwa juzi kati ya timu yake dhidi ya Pamba Jiji na kushinda bao 1-0, Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza, imempa mwanga na mbinu za kuwaangamiza wapinzani wao, Bravos do Maquis kutoka Angola. Soka 2d ago Soka Yanga yakamilish... |
null | MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, pamoja na wafuasi 11 waliokuwa wanashikiliwa na polisi, wameachiwa kwa dhamana, huku akisema haoni sababu mahsusi za kushikiliwa kwao. Juzi mchana, Mbowe na wafuasi 12 walikamatwa na Jeshi la Polisi mkoani Songwe kwa madai ya kufanya mkutano wa k... |
null | MAMIA ya Watanzania wakiongozwa na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Damas Ndumbaro, Jumatatu iliyopita walimiminika kwenye viwanja wa Leaders, jijini Dar es Salaam, kumuaga mwanamuziki maarufu na mkongwe nchini, Kikumbi Mwanza Mpango Mwema, maarufu kama King Kiki na kuzikwa siku hiyo hiyo kwenye Makaburi ya Kinond... |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.