name
stringclasses
429 values
text
stringlengths
0
767k
null
## Twitter ni moja kati ya mitandao mikubwa ya kijamii, licha ya kuwa mkubwa sana ni moja kati ya mtandao ambao unaaminika sana. Kumbuka mtandao huo umenunuliwa na Elon Musk, yule tajiri namba moja kwa sasa. Ununuzi huo umepelekea kuwa kuwa na mabadiliko kadha wa kadha ambayo tumeyaandika >>HAPA<< Kwa sasa moja kati...
null
### Elon Musk na Twitter zimekuwa moja ya mada maarufu sana katika miezi hii michache. Uamuzi wa tajiri namba moja kununua mtandao wa Twitter umekuja na changamoto mbalimbali – kuanzia siku aliyosema kwamba ana nia hiyo, jinsi ambavyo baadae akataka kubadili uamuzi, kitu ambacho kilisababisha uongozi wa Twitter kumfung...
null
## Twitter ni moja kati ya mitandao ya kijamii ambayo ina nguvu sana katika jamii, licha ya mtandao huo kuwa hivyo bado unazidi kujiboresha kwa kuongeza vipengele kadha wa kadha na kwa sasa ni eneo la video. Japokua mitandao mingi ya kijamii kwa muda tuu imekua ikitumia kipengele hichi kwa muda tuu, kipengele chenyew...
null
## Licha ya kuwa moja kati ya mtandao wa kijamii wenye mafanikio na nguvu kubwa bado mtandao wa Twitter hauchoki kuleta huduma mpya mabli mbali, sasa wanakuja na kitu kingine. Twitter imekua ikija na vipengele vipya kadha wa kadha, ni siku chache nyuma tuu tulaindika kuhusiana na huduma yake mpya ya Co-Tweet. Kwa sa...
null
### Bilionea Elon Musk aitaki Twitter tena, aamua kuvunja mkataba wa manunuzi ya mtandao huo wa kijamii baada ya kushindwa kujiridhisha na idadi halisi ya watumiaji wake. Ni kwa miezi kadhaa sasa ata kupitia akaunti yake ya Twitter Bwana Elon Musk alikua anasema ana wasiwasi na idadi ya watumiaji wa mtandao huo baada ...
null
## Twitter ni moja kati ya mitandao ya kijamii ambayo ni maarufu sana, mara kwa mara imekua ikija na maboresho kadha wa kadha na hata kuongeza vipengele vipya na sasa wanakuja na Co-Tweet. Kwa sasa mtandao huo wa kijamii unakuja na huduma ya Co-Tweet. Hebu *pata picha * watumaji wawili wa mtandao huo wakishirikia kat...
null
## Pengine unaweza ukawa unajiuliza ‘Closed Caption’ ni nini? Kwa uharaka haraka ni ule uwezo wa kutazama video huku unapata maandishi kwa chini? Kitu ambacho hapo awali Android na iPhone hazikuwa nacho katika App ya Twitter. Ikumbukwe kuwa huduma hii sio mpya maana mwaka jana mwishoni ndio ilizanza kupatikana ila ka...
null
## Mixed-Media Tweets ni mfumo wa kutuma tweet ikiwa na picha na video katika Tweet moja hiyo hiyo. Lakini ukiachana na hayo ni kwamba baadhi ya vipengele vya zamani pia vitafanyiwa maboresho kadha wa kadha. Inaelezeka kuwa kutakuwa na uwezo wa kuweka picha nne na video moja katika tweet moja kitu ambacho hapo awali...
null
## Nadhani habari za Elon Musk kuhusu kuinunua Twitter ushazipitia zote hapa na ile nyingine hapa, tumeshajua kashainunua sasa kama kawaida kuna maboresho/mabadiliko inabidi yatokee. Ni wazi kuwa Bwana Elon anataka Twitter ni ya malipo ya awamu (subscription) kwa taasisi kubwa na haswa zile za kiserikali. Aliweka hi...
null
### Elon Musk ni moja ya watu maarufu zaidi duniani ambao wanamatumizi makubwa ya mtandao wa kijamii wa Twitter. Uamuzi wake wa kutaka kununua kampuni hiyo na kuiondoa toka kwenye soko la hisa umeleta mazungumzo mengi mtandaoni – ya kupinga na mengine ya kuunga mkono. ### Elon Musk ni nani? Elon Musk ni mfanyabiash...
null
Twitter ni mtandao wa kijamii unaotumika na watu mbalimbali kubadilishana... Mtandao wa kijamii wa Twitter kama ilivyo mingine mtu anaweza akatumia kupitia... Twitter imekuwa ni miongoni mwa mitandao ya kijamii ambayo inafanyiwa maboresho... Uwepo akaunti za uwongo kwenye mitandao ya kijamii ni suala ambalo linakera...
null
Twitter mara kwa mara imekua ikifanya maboresho na kuongeza vipengele vingi... Umeshawahi kusikia kuhusiana na Twitter Blue? ushawahi kufikiria kulipia ili... Twitter ni moja ya mitandao ya kijamii ambao umejikita zaidi kuhabarisha,... Zaidi ya wiki mbili tuliandika kuhusu mpango mpya ambao Twitter imetaka... Twitt...
null
## Ni wazi kuwa mtandao wa snapchat ndio mtandao ambao ulileta mapinduzi katika eneo la story katika mitandao ya kijamii, ukiachana na hayo ni wale wateja wa Snapchat Plus kuna kingine wamepatiwa. Watumaiji wa mtandao wa kijamii wa Snapchat wale wa kulipia wameletewa vipengele vipya vingi kimojawapo kikiwa ni uwezo w...
null
Ni wazi kuwa mtandao wa snapchat ndio mtandao ambao ulileta mapinduzi katika... Huduma ya kulipia kutoka Snapchat inayokwenda kwa jina la Snapchat Plus ilikua... Kupitia kipengele hiki kipya kutoka katika mtandao wa kijamii wa Snapchat ni... Hali bado ni tete kwa makampuni mengi ya kiteknolojia, lakini hata hivyo ha...
null
## Hapa najua utakua na maswali mengie ya kujiuliza kuhusiana na Snapchat juu ya ndege zake za bila rubani,Pixy mahususi kabisa kwa upigaji wa picha kupitia mtandao wa Snapchat. Tangia Pixy ziingine sokoni ni miezi minne tuu imepita na niliandikia kuhusiana na hili >>HAPA<< Ni wazi hapa lazima ujiulize kwanini kampun...
null
## Huduma ya kulipia kutoka Snapchat inayokwenda kwa jina la Snapchat Plus ilikua mwishoni mwa mwezi wa sita mwaka 2022. Huduma hii, Snapchat Plus ni kama tuu Snapchat ya kawaida, ile tuliyoizoea lakini ikiwa imeongezewa baadhi ya vipengele vipya ambayo havipatikani katika ile ya kawaida. Wengi walikua hawana uhakik...
null
## Kupitia kipengele hiki kipya kutoka katika mtandao wa kijamii wa Snapchat ni kwamba wazazi watakua na uwezo mkubwa wa kufuatilia watoto wao katika mtandao huo. Hapa kampuni ya Snapchat imeweka nguvu kubwa katika usalama wa motto, na hapa kilichofanyika ni kwamba wamekuja na kipengele cha uangalizi/usimamizi kinach...
null
## Hali bado ni tete kwa makampuni mengi ya kiteknolojia, lakini hata hivyo hali ni mbaya kwa kila mtu sio? Snapchat wao wanaona ni bora tuu wapunguze baadhi ya wafanya kazi. Hii inatokana na kampuni ya Snapchat kuona kwamba kwa kiasi kikubwa sana inakua inapata mapato machache kwa kipindi hichi. Lakini kwa sasa jam...
null
## Snapchat ni mtandao maarufu sana wa kijamii, licha ya kampuni kuwa inafanya vizuri na kufahmika sana bado inaonekana kuna shida kidogo katika mapato. Ni sawa mapato yanapatikana na yanaongezeka tuu, ila sio kwa ile kasi ambayo ilikua inatarajiwa. Hii inamaana kwamba kama hali itaendelea hivi hivi ni ishara mbaya k...
null
## Snapchat ni moja kati ya mtandao wa kijamii wenye jina kubwa sana na unajihusisha na maswala ya video, picha, kupiga na kupokea simu n.k Hapo awali vipengele ambavyo vilikua vinapatikana katika App yake ya simu, vilikua havipatikani katika ile ya mtandaoni (kuingia kupitia kompyuta). Kutumia huduma ya Snapchat Plu...
null
## Kwa Snapchat sio kitu cha kushangaza sana kuja na teknolojia kama hizi si unakuambuka ile miwani inayojulikana kama *Spectacles*? Sasa hivi inakuja na *Drone* ambayo itakua mahususi kwa ajili ya kupiga *selfie* za hapa na pale pia na video ambazo moja kwa moja zitaweza kusambazwa katika mtandao huo wa kijamii. Dr...
null
### Snapchat ni moja ya mitandao ya kijamii ambao wengi waitumia Snapchat asilimia kubwa ni Wamarekani kundi la vijana na kama ilivyo kwa mitandao ya kijamii mingine uraibu wa matumizi upo njenje. Snapchat imekuwepo kwenye ushindani kwa miaka kadhaa sasa imekuwa ikifanyiwa ikifanyiwa maboresho ili kuifanya kuendana n...
null
## Snap Wanasema kwamba mtandao wao maarufu wa kijamii unaohusika na maswala ya picha na video wa Snapchat unakuwa kwa kasi sana ukilinganisha na kipindi cha nyuma. Ni wazi kwamba kuna kipindi Snapchat ilikua inakadiriwa kabisa kwamba inaweza kuporomoka sana ki matumizi hali ambayo ingewweza kupelekea hata kufilisika...
null
## Snapchat ni mtandao wa kijamii ambao ulikuja kwa kasi sana, ukiachana na ujuo wake huo bado ilianza kushuka kwa haraka ikawa kinyume cha watu walivyodhania. Kabla ya isntagram, WhatsApp na Facebook hazijaja na huduma ya ‘Stories’ Snapchat ndio ilikua inashika usukani. Ni wazi mapato na watumaiji wa snapchat walish...
null
### Ni wazi kuwa Snapchat ilikuja kwa kishindo kikubwa sana, wengi walikua na matagemeo makubwa sana kuhusiana na mtandao huu. Sio kwamba mtandao haufanyi vizuri, lakini haufanya vizuri sana kama ilivyokuwa matarajio ya wengi. Kwa sasa wengi wana Snapchat katika simu zao au wana Account za Snapchat lakini hawatumii m...
null
### Watumiaji wa Facebook Stories wafikia milioni 500 na zaidi. Hii ni idadi inayofikia apps zingine kama vile WhatsApp na Instagram, kwenye eneo la Stories apps hizi pia zinawatumiaji zaidi ya milioni 500. Kwenye apps za mitandao ya kijamii ni app ya Snapchat ndio ilikuja kwa mara ya kwanza na ubunifu wa huduma ya st...
null
### Watu wengi duniani wanatumia sehemu ya muda wao kutembelea mitandao ya kijamii jambo ambalo limebainika kuwa na madhara hasa kiafya lakini iwapo utatumia muda mchache kuperuzi basi utakuwa umepunguza msongo wa mawazo/upweke. Zipo tafiti mbalimbali ambazo zimeshawahi kufanyika na kubainisha madhara ambayo yanatoka...
null
### Mbali na kwamba wanafahamika kwa kuwa na programu tumishi inayolenga uchapishaji wa picha/picha mnato lakini pia Snapchat wana bidhaa nyingine (miwani janja) na zimekuwa zikifanya vyema tangu kuzinduliwa kwake. Snapchat wamezindua toleo la pili upande wa miwani janja ambapo bidhaa hizo zipo mbili, Veronica na Nic...
null
Kampuni ya Snap Inc imekuwa haifanyi vizuri sokoni na matokeo ya taarifa ya... Utajiri unaweza kutokana na sababu mbalimbali na sasa mwanamziki wa miondoko ya... Kampuni ya utafiti inayoheshimika nchini Marekani, eMarketer, imesema Facebook... Snapchat ni moja ya app maarufu ya mtandao wa kijamii, na yenye umaarufu ...
null
Miaka miwili iliyopita kama ungeniuliza kama Snapchat itakuwa maarufu kwa kiasi... Mara nyingi tunashindwa kusnapchat baadhi ya matukio katika mtandao wa kijamii... Kwa mara ya kwanza mtandao wa Snapchat umeshika mioyo ya vijana haswa wale wa... Snapchat imeendelea kuwakosha watumiaji wake kwa kuzidi kuwaletea mambo...
null
### Telegram, moja ya programu maarufu zaidi za kutuma ujumbe mfupi duniani, inakabiliwa na kizungumkuti kikubwa baada ya kukamatwa kwa mwanzilishi wake, Pavel Durov, nchini Ufaransa. Tukio hili limezua maswali mengi kuhusu Durov mwenyewe, sababu za kukamatwa kwake, na jinsi tukio hili linavyoathiri umaarufu wa Telegra...
null
### Kama ulikua unategemea Twitter iongeze idadi ya maneno katika Tweets, ondoa wazo hilo kwani hilo halitawezekana tena Hapo awali Twitter walitoa ripoti kuwa wanafikiria kuongeza idadi ya maneno katika Tweets watu watakazokuwa wanatuma. Namba ambayo ilifikiwa ni kwamba kampuni ilikua inafikiria kuifanya tweet moja ...
null
### Mtandao wa The Verge umeripoti kwamba tarehe 19/09/2016 Twitter itafanya maboresho mengine ambayo tayari yalikwisha tangazwa mwezi Mei, pamoja na yote mtandao huu sasa hautahesabia viambatanisho vilivyo ndani ya tweet katika hesabu ya tarakimu 140. kwa sasa majina, picha, video, GIF ama link hazitahesabiwa katika...
null
### Picha na linki hazitahesabiwa tena katika jumla ya herufi 140 ambazo ni kikomo cha idadi ya herufi katika tweet moja. ### Zamani utumiaji wa linki za tovuti pamoja na picha au video zilikuwa zinahusisha pia na upunguaji wa idadi ya herufi unazoweza andika kufikia kikomo cha herufi 140. Mkurugenzi wa Twitter Bwan...
null
Mitandao ya KijamiiMtandao wa KijamiiTelegram Kukamatwa kwa Mwanzilishi wa Telegram Kumezidisha Upakuaji wa Programu Hiyo: Lakini ni Je Mmiliki Wake (Pavel Durov) ni Nani na Sababu za Kukamatwa Kwake ni Zipi? LanceBenson August 27, 2024 Telegram, moja ya programu maarufu zaidi za kutuma ujumbe mfupi duniani,...
null
Mitandao ya KijamiiMtandao wa KijamiiTelegram Kukamatwa kwa Mwanzilishi wa Telegram Kumezidisha Upakuaji wa Programu Hiyo: Lakini ni Je Mmiliki Wake (Pavel Durov) ni Nani na Sababu za Kukamatwa Kwake ni Zipi? LanceBenson August 27, 2024 Telegram, moja ya programu maarufu zaidi za kutuma ujumbe mfupi duniani,...
null
Facebook Email or phone Password Forgotten account? Sign Up Notice You must log in to continue. Log in to Facebook Log in Forgotten account? Create new account English (UK) Polski Español Français (France) Italiano Lietuvių Română 中文(简体) Português (Brasil) Deutsch العربية Sign Up Log in Messenger Facebook Lite Video Pl...
null
End-to-end encryption and privacy controls. Message and call for free* around the world. Group conversations made simple. Say it with stickers, voice, GIFs and more. Reach your customers from anywhere. https://teknolojia.co.tz/?p=45909
null
### Telegram, moja ya programu maarufu zaidi za kutuma ujumbe mfupi duniani, inakabiliwa na kizungumkuti kikubwa baada ya kukamatwa kwa mwanzilishi wake, Pavel Durov, nchini Ufaransa. Tukio hili limezua maswali mengi kuhusu Durov mwenyewe, sababu za kukamatwa kwake, na jinsi tukio hili linavyoathiri umaarufu wa Telegra...
null
### Ulimwenguni hivi leo kuwa na mtandao wa intaneti wenye kasi ni msingi muhimu kwa maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Afrika, bara linaloendelea kwa kasi katika nyanja mbalimbali, lina baadhi ya nchi zinazojivunia kasi kubwa ya mtandao wa broadband. Hii inachangia kwa kiasi kikubwa katika ukuzaji wa biashara, elimu, a...
null
### Watafiti wanaoendesha uchunguzi katika eneo la Iceland, wanaamini kuwa wanaweza kupunguza hewa chafu inayochafua mazingira kwa kunasa hewa ya sumu ya Carbon Dioxide (CO2) na kuigeuza kuwa mawe. Wanasayansi hao waliyeyusha hewa hiyo ndani ya maji kupuliza mchanganyiko wake ardhini, ambako ilichanganyika na madini ...
null
IntanetiTeknolojiaUchambuzi Hizi Hapa Nchi 10 za Afrika Zinazoongoza kwa Kasi ya Mtandao wa Internet. LanceBenson August 21, 2024 Ulimwenguni hivi leo kuwa na mtandao wa intaneti wenye kasi ni msingi muhimu...
null
IntanetiTeknolojiaUchambuzi Hizi Hapa Nchi 10 za Afrika Zinazoongoza kwa Kasi ya Mtandao wa Internet. LanceBenson August 21, 2024 Ulimwenguni hivi leo kuwa na mtandao wa intaneti wenye kasi ni msingi muhimu...
null
Facebook Email or phone Password Forgotten account? Sign Up Notice You must log in to continue. Log in to Facebook Log in Forgotten account? Create new account English (UK) Polski Español Français (France) Italiano Lietuvių Română 中文(简体) Português (Brasil) Deutsch العربية Sign Up Log in Messenger Facebook Lite Video Pl...
null
End-to-end encryption and privacy controls. Message and call for free* around the world. Group conversations made simple. Say it with stickers, voice, GIFs and more. Reach your customers from anywhere. https://teknolojia.co.tz/?p=45885
null
### Ulimwenguni hivi leo kuwa na mtandao wa intaneti wenye kasi ni msingi muhimu kwa maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Afrika, bara linaloendelea kwa kasi katika nyanja mbalimbali, lina baadhi ya nchi zinazojivunia kasi kubwa ya mtandao wa broadband. Hii inachangia kwa kiasi kikubwa katika ukuzaji wa biashara, elimu, a...
null
### Ulimwengu wa teknolojia unaendelea kupiga hatua kwa kasi ya ajabu. Leo, tunashuhudia mabadiliko makubwa katika jinsi tunavyofanya utafutaji mtandaoni. Kampuni ya OpenAI, maarufu kwa mafanikio yake katika uwanja wa akili bandia, imezindua huduma mpya inayoitwa SearchGPT. ### SearchGPT ni nini? SearchGPT ni huduma...
null
### Unakumbuka kipindi ambacho zaidi ya asilimia 80 ya utumiaji wa intaneti ulihusisha kutumia huduma za Yahoo? Hii ilikuwa kama haupo kwenye barua pepe ya Yahoo basi upo kwenye huduma yake ya kuchati ya Yahoo Groups na Yahoo Messenger, ila kwa sasa inaweza pita miezi na miezi bila wengi kutumia huduma za Yahoo kabisa....
null
### Mwanamke mmoja nchini Marekani Eva Echeverria, mwenye miaka 63 ameshinda kesi ya madai dhidi ya kampuni ya Johnson & Johnson baada ya kusema kwamba amepata saratani/kansa ya kizazi baada ya kutumia poda ya Johnson’s Baby. Hukumu hiyo inayomzawadia dola za Kimarekani milioni 417 (dola 1 ni zaidi ya Tsh 2,200) mwan...
null
IntanetiTeknolojia SearchGPT ni kitu kipya cha #OpenAI: Mapinduzi ya Utafutaji Mtandaoni teknokona July 27, 2024 Ulimwengu wa teknolojia unaendelea kupiga hatua kwa kasi ya ajabu. Leo,... AIChatGPT Mapato ya OpenAI yanaongezeka, wapo njiani kuingiza dola bilioni 1 mwaka huu teknokona September 1, 2023 Mapato ya OpenAI...
null
IntanetiTeknolojia SearchGPT ni kitu kipya cha #OpenAI: Mapinduzi ya Utafutaji Mtandaoni teknokona July 27, 2024 Ulimwengu wa teknolojia unaendelea kupiga hatua kwa kasi ya ajabu. Leo,...
null
IntanetiTeknolojia SearchGPT ni kitu kipya cha #OpenAI: Mapinduzi ya Utafutaji Mtandaoni teknokona July 27, 2024 Ulimwengu wa teknolojia unaendelea kupiga hatua kwa kasi ya ajabu. Leo,...
null
Facebook Email or phone Password Forgotten account? Sign Up Notice You must log in to continue. Log in to Facebook Log in Forgotten account? Create new account English (UK) Polski Español Français (France) Italiano Lietuvių Română 中文(简体) Português (Brasil) Deutsch العربية Sign Up Log in Messenger Facebook Lite Video Pl...