name stringclasses 429
values | text stringlengths 0 767k ⌀ |
|---|---|
null | WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Jakaya Kikwete ametoa wito kwa waajiri na Wafanyakazi kujenga tabia ya kupima afya mara kwa mara ili kupunguza athari zinazotokana na magonjwa ya kuambukiza kama kisukari na shinikizo la damu. Kauli hiyo ameitoa jana Oktoba 19,2024 wak... |
null | BAADA ya kuchapwa mabao 3-1 na Maafande wa Mafunzo FC katika mechi ya Ligi Kuu Zanzibar iliyochezwa kwenye Uwanja wa nje wa Amaan (Annex B), Kocha Msaidizi wa Tekeleza, Juma Salum, amesema washambuliaji ndio tatizo katika kikosi chake. Tekeleza kutoka Pemba imepoteza mechi ya pili mfululizo kwenye uwanja huo na kuendel... |
null | KIKOSI cha timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars, leo saa 4:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki, kitajitupa kwenye Uwanja wa de la Capitale, jijini Nouakchott, nchini Mauritania kucheza mechi ya mtoano, kwa ajili ya kutafuta tiketi ya kucheza fainali za mataifa kwa wachezaji wanaocheza Ligi za ndani (CHAN), huku Kocha... |
null | KOCHA wa Timu ya KVZ FC, Ali Mohmed Ameir, amesema haridhishwi na matokeo anayoendelea kuyapata kwenye Ligi Kuu Zanzibar. KVZ FC juzi ilipata sare nne mfululizo baada ya kufungana 1-1 katika mchezo wake wa tano dhidi ya Zimamoto SC, mchezo uliochezwa kwenye dimba la New Amaan Complex. Akizungumza baada ya mchezo huo, A... |
null | UONGOZI wa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga ya jijini, Dar es Salaam umesema kiwango cha timu yao hakijashuka na ushindani unaoonekana katika mechi za ligi hiyo wanazocheza unatokana na wapinzani wao kuimarika zaidi msimu huu, imeelezwa. Akizungumza na gazeti hili jana, Ofisa Habari wa Yanga, Ali Kamw... |
null | KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi, amesema muda wa wiki mbili uliosalia unatosha kabisa kuwasoma na kuwaangalia wapinzani wake Simba, kabla ya kupanga mikakati kwa wachezaji wake kukabiliana nao, Oktoba 19, mwaka huu, Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Akizungumza jijini Dar es Salaam, Gamondi, alisema pamoja n... |
null | TIMU ya Soka ya Taifa (Taifa Stars) inatarajia kuwakaribisha Sudan katika mechi ya marudiano ya kusaka tiketi ya kucheza fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN) itakayochezwa leo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Stars inahitaji ushindi wa mabao 2-0 na kuendelea, ili kuiondoa S... |
null | BAADA ya timu zao kupata ushindi kwenye michezo ya juzi, makocha wa Azam FC, Rachid Taoussi na wa Singida Black Stars, Patrick Aussems, wamesema msimu huu wanautaka ubingwa wa Tanzania Bara ambao kwa misimu 11 imekuwa ikihodhiwa na klabu za Simba na Yanga. Wakizungumza mara baada ya mechi zao zilizochezwa Dar es Salaam... |
null | BAADA ya sare ya kushangaza dhidi ya Coastal Union, Kocha Mkuu wa Simba, Fadlu Davids, amesema hawana wa kumlaumu katika mchezo huo, huku akisema ana kazi ya kufanya ili kubadili mitazamo ya wachezaji wake. Akizungumza baada ya kumalizika kwa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya timu hiyo dhidi ya Coastal Union, ik... |
null | UWANJA wa soka wa New Amaan Complex, visiwani hapa unatarajiwa kufungwa kuanzia kesho kwa muda ili kuruhusu mchakato wa ukarabati kufanyika, imeelezwa. Ofisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi ya Shirikisho la Soka Zanzibar (ZFF),Issa Kassim, aliliambia gazeti hili jana kufuatia uamuzi huo, mechi za Ligi Kuu zilizotarajiwa ... |
null | BAO alilofunga Jumatano iliyopita kwenye Uwanja wa Sokoine Mbeya dhidi ya KenGold, limempa kiburi beki wa kati wa Yanga, Ibrahim Hamad 'Bacca', akisema ndoto yake sasa ni kuwa na mwendelezo wa kufunga mabao kwa ajili ya kusaka ufungaji bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Akizungumza jijini Dar es Salaam, Bacca, alisema bao... |
null | SIKU moja baada ya kumtangaza kocha mpya Mjerumani, Sead Ramovic, uongozi wa Yanga umetamba wanajipanga kulipa kisasi katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Hilal kutoka Sudan itakayochezwa Novemba 26, mwaka huu kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara... |
null | TIMU ya Taifa ya vijana ya umri chini ya miaka 20 (Ngorongoro Heroes), inatarajia kuikaribisha Rwanda katika mechi ya Kundi A itakayochezwa leo, kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam. Ngorongoro Heroes yenye pointi sita sawa na Sudan ndio vinara wa Kundi A wakati Rwanda iko katika nafasi ya nne, ikiwa na pointi ... |
null | TIMU ya Soka ya Taifa ya Tanzania chini ya miaka 20, leo itafungua michuano ya kuwania Kombe la Afrika Mashariki kwa vijana chini ya umri huo, itakapokipiga dhidi ya Kenya, mechi ikichezwa, Uwanja wa KMC Complex, Mwenge, Dar es Salaam. Mchezo huo utafanyika saa 10:00 jioni, huku Kocha Mkuu wa kikosi hicho, Charles Boni... |
null | VIONGOZI wa Klabu ya Simba na Coastal Union wamekutana jana mchana jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuzungumza kuhusu sakata la usajili la mchezaji Lameck Lawi ili kufikia makubaliano kama walivyoagizwa na Kamati ya Hadhi na Sheria ya Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF). Agizo la kikao hicho lilitolewa na k... |
null | RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kilipata wabunge 115 na madiwani wengi kwa sababu ya umaarufu na kukubalika kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa. Lowassa alikuwa kiongozi mlezi ambaye aliwalea vijana wengi kwenye siasa ambao kwa sasa w... |
null | Kitaifa Samia asema umaarufu wake uliibeba Chadema RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kilipata wabunge 115 na madiwani wengi kwa sababu ya umaarufu na kukubalika kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa. 18 Feb 2024 Siasa Zaidi © 2024 IPPMEDI... |
null | BENKI Kuu ya Tanzania (BoT), imetangaza kuondoa noti mbalimbali za zamani kwenye mzunguko na kuwataka Watanzania kubadilisha kupitia ofisi za benki hiyo na benki za biashara kuanzia Januari, mwakani. Noti hizo ni ya Sh. 20, 200, 500, 1000, 2000, 5000 na 10,000 kwa matoleo ya mwaka 1985 hadi 2003 na noti ya Sh. 500 iliy... |
null | WACHIMBAJI wa madini katika mikoa ya Songwe na Mbeya, kwa kushirikiana na kampuni ya MC Edwin Luvanda Branding and Entateiment, wamemtunuku tuzo Rais Samia Suluhu Hassan, kutambua mchango wake katika kukuza sekta ya madini nchini. Tuzo hiyo waliikabidhi juzi kwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera, wakati wa hafla ya us... |
null | WATANZANIA wanaoishi nje ya nchi (Diaspora) sasa wanaweza kufanya maendeleo mbalimbali wakiwa bado nje ya nchi huko ikiwemo kuwekeza na kusaidia familia zao kwa urahisi zaidi. Hatua hiyo inakuja baada kampuni ya teknolojia ya kifedha inayosimamia programu ya kifedha kwa Waafrika Kuda kupewa leseni ya Mtoa Huduma za Mal... |
null | NAIBU Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Sospeter Mtwale amesema wanaendelea kuboresha utoaji wa huduma za jamii kwa kushirikiana na wizara za kisekta ili kukuza uchumi, kuleta maendeleo na kuimarisha ustawi wa mwananchi mmoja mmoja na wa taifa kwa ujumla. Mtwale aliyasema hayo ... |
null | WANAWAKE wametakiwa kujiunga katika vikundi ili kupata elimu ya biashara na mikopo itakayowawezesha kujikwamua kiuchumi na kuondokana na umaskini. Mwenyekiti wa Umoja wa Wafanyabiashara Wauza Mazao Wanawake Sokoni Kariakoo (UWASOKA), Ashura Mhala aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam wakati wakihamasisha watu kujiun... |
null | SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC), limetoa mapendekezo kwa Kamati ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma (PIC), kushawishi sera inayoleta unafuu wa kodi katika vifaa vya ujenzi na kuondoa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kwa wanunuzi, ili kuchochea Watanzania wengi kumiliki nyumba. Wakati NHC ikitoa ombi hilo, Kamati ... |
null | SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar, imesema itaendelea kukuza mazingira rafiki ya biashara na uwekezaji na kuweka mkazo wa kurahisisha michakato, kuimarisha mifumo ya udhibiti na kutoa motisha za kuvutia uwekezaji. Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, aliyasema hayo alipofungua Maonesho ya Utalii na Uwekezaji Zanzi... |
null | MAKAMU wa Rais, Dk. Philip Mpango, ameihamasisha sekta binafsi na wadau wengine wa maendeleo wa kimataifa kuchangamkia fursa za uwekezaji zinazopatikana Tanzania. Miongoni mwa fursa hizo ni uchumi wa buluu kwa faida za kiuchumi na hifadhi ya mazingira ikiwa ni sehemu ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Dk. Mpang... |
null | Kwa mara ya kwanza Duniani na kwa kushirikiana na @mastercard, Benki ya NMB (@nmbtanzania) imezindua rasmi mfumo wa malipo wa Lipa kwa QR link (QR pay by link with click to pay), ambapo wateja na wale ambao sio wateja wa NMB kutoka popote duniani wanaweza kufanya malipo kwa kadi zao kwa kuscan QR za NMB. Mfumo huu utao... |
null | WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Balozi Pindi Chana, amezipongeza hifadhi za Serengeti na Mlima Kilimanjaro, kwa kushinda tuzo za utalii za Bara la Afrika, huku akimshukuru Rais Samia Suluhu Hassan, kuendelea kuitangaza sekta ya utalii duniani kupitia Filamu ya Tanzania: The Royal Tour na Amazing Tanzania. Kwa mujibu wa ... |
null | MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema serikali itaendelea kuimarisha sekta ya uwekezaji na shughuli za biashara ili kukuza uchumi na kuongeza fursa nyingi za ajira kwa vijana. Amesema tayari serikali imesajili na kutenga zaidi ya miradi 330 yenye thamani ya mtaji wa USD bili... |
null | Kamati ya Bunge Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imeshindwa kufanya ukaguzi katika jengo la Kituo cha Biashara Kimataifa linalojengwa Ubungo kutokana na uchache wa kofia ngumu. Kamati hiyo ikiwa pamoja na Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, wabunge na wataalamu walifika katika jengo hilo jana majira ya ... |
null | Waziri wa Nchi Ofisi ya waziri Mkuu (Sera Bunge na Uratibu) William Lukuvi ambaye pia ni Mbunge wa Isimani amesema Serikali kupitia Benki ya Dunia imetoa fedha kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Afya Mahuninga. Ametoa Kauli hiyo wakati wa ziara yake kukagua miradi ya maendeleo katika Jimbo la Isimani lilopo mkoani Iringa... |
null | SERIKALI imetenga zaidi ya Sh. trilioni moja kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa meli katika Ziwa Tanyanyika na Ziwa Victoria ili kuwezesha huduma ya usafiri na usafirishaji kuwa bora katika maziwa hayo. Hivyo, imehamamisha wawekezaji wa sekta ya usafiri na usafirishaji kuendelea kuwekeza Tanzania kutokana na amani na ... |
null | MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha, Mutallah Mbillu,ametoa msaada wa dawa za kuogeshea mifugo lita 12,ikiwa ni mpango mkakati wa serikali kudhibiti na kukabiliana na magonjwa yanayoathiri mifugo ukiwamo wa ndigana baridi. Amesema hayo,wakati akiongoza zoezi la kuogesha mifugo katik... |
null | Waziri Majaliwa akabidhi cheti cha Kijiji kwa viongozi Lindi PICHA: WIZARA YA ARDHI © 2024 IPPMEDIA.COM. ALL RIGHTS RESERVED |
null | Amesisitiza “ Wafugaji tujue kwamba nchi na dunia inabadilika ni vizuri tukabadilika sasa kabla mabadiliko yenyewe hayatulazimisha kubadilika kama tumeamua ufugaji ni maisha yetu lazima tuamini maisha yamebadilika tuwe na mifugo yenye tija ambayo itatuletea fedha zitakazoweza kubadilisha maisha yetu.” Ameendelea kusema... |
null | MKURUGENZI Mtendaji wa Benki ya CRDB,Abdulmajid Nsekela,amesema benki hiyo imefanikiwa kuvuka mipaka kimataifa kwa kuwekeza nje ya nchi kwa kuwa kabla ya kufanya uwekezaji huo,walifanya utafiti wa kutosha ambao ulisaidia benki kufanikiwa na kufikia malengo. Alisema hayo jana jijini Arusha,wakati akitoa mada katika kika... |
null | Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali inaendelea kuimarisha upatikanaji wa umeme nchini ambapo inatekeleza mradi wa ujenzi wa kituo cha kupokea umeme cha Tunduru ambacho utekelezaji wake umefikia asilimia 50. Rais Samia ameyasema hayo jana Septemba 28, 2024 wakati akihitimish... |
null | MKUU wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha leo Oktoba 6,2024, amezima jaribio la kumtorosha mtoto mwenye umri wa miaka 13 aliyeachishwa masomo yake kwa ajili ya kwenda Dar es Salaam kutumikishwa. Utoroshaji huo umefanywa na mawakala ambao walimdanganya mtoto huyo kuwa wanampeleka kwa shangazi yake. Amesema baada ya kupata taa... |
null | NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko, amezindua taarifa za utendaji katika sekta ndogo za umeme, gesi asilia na mafuta kwa mwaka 2022/ na kutoa maelekezo mahsusi kwa wizara na taasisi mbalimbali kufanyia kazi taarifa hizo zinazoonyesha mafanikio na changamoto katika sekta ya nishati. Akizindua taarif... |
null | Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga amewataka wananchi kuendelea kuunga mkono jitihada za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan katika matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia. Kapinga ameyasema hayo leo Septemba 08, 2024 jijini Dar es Salaam wakati wa Tamasha la AZIMIO LA KIZIMKAZI ambalo limetu... |
null | WATU 14 wamefariki dunia na wengine 12 kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha magari matatu, likiwamo lori na costa. Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama ya Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, alisema ajali hiyo ilitokea usiku wa kuamkia jana katika eneo la Kikavu, wilayani Hai, mkoani Kilimanjaro. Alisema lori aina ya FAW leny... |
null | Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema wananchi wanaoishi katika maeneo ambayo yana miradi mikubwa ya nishati watanufaika na miradi hiyo kupitia upatikanaji wa huduma mbalimbali. Kapinga amesema hayo Agosti 30, 2024 bungeni jijini Dodoma alipokuwa akijibu swali la Ally Kasinge Mbunge wa Kilwa Kusini ambaye ali... |
null | Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga amesema serikali itaendelea kuwaunga mkono na kushirikiana na wadau wote wa elimu nchini ili kutimiza lengo la kufikisha elimu stahiki kwa makundi yote ya wananchi mijini na vijijini. Kapinga ameyasema hayo jana Agosti 17, 2024 wakati wa Maadhimisho ya Miaka 25 ya kusajiliwa kwa Shu... |
null | Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imewapa tuzo na vyeti maalum Wakandarasi waliofanya vizuri kupitia Mradi wa Kupeleka Umeme maeneo ya Pembezoni mwa Miji Awamu ya Tatu (Peri Urban III) kote nchini ndani ya muda uliopangwa na kwa ubora unatakiwa. Awali, Mkurugenzi Mkuu wa REA, Mhandisi, Hassan, Saidy alisema utendaji ma... |
null | Moja ya maagizo ya Serikali kuelekea katika safari matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia nchini ni taasisi zikiwemo shule kuachana na matumizi ya nishati zisizo safi na salama kama kuni na mkaa wa asili na kuanza kutumia nishati safi ya kupikia ikiwemo gesi. Shule ya Sekondari ya Hasnuu Makame, iliyopo Mkoa wa Kusini Ung... |
null | KIWANGO cha kujua kusoma na kuandika kwa watu wenye umri wa miaka 15 na kuendelea nchini kimeongezeka kwa asilimia 83.0 mwaka 2022 kutoka 78.1 2012. Hiyo ni kwa mujibu wa takwimu zitokanazo na sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022, ambazo zimeonyesha kuwa Tanzania imepiga hatua kubwa katika sekta ya elimu. Akizungumza ... |
null | MAMIA ya wananchi wa Wilaya ya Kinondoni wamejitokeza kwa wingi kupata huduma ya msaada wa kisheria bure iliyotolewa na Shirika la Citizen Foundation kwa kushirikiana na Mama Samia legal Aid Campaign katika viwanja vya Tanganyika Packers jijini Dar es Salaam. Akizungumza wakati wa utoaji wa huduma jana Mkurugenzi wa Ma... |
null | KATIBU wa NEC,Itikadi,Uenezi na Mafunzo,Amos Makalla,amesema CCM itahakikisha uchaguzi unakuwa huru na haki. Aidha,amesema chama hicho kina mtaji wa utekelezaji wa Ilani ya CCM 2020-2025 hivyo hakihitaji kubebwa bali kinaalama kila mahali ambazo ni mtaji. Akizungumza jana na wananchi wa Monduli katika mji wa Mto wa Mbu... |
null | Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeitaka Wizara ya Nishati kuendelea kuusimamia ipasavyo Mradi wa Kuzalisha Umeme kwa Julius Nyerere (JNHPP) ili ukamilike kwa wakati. Hayo yameelezwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Kirumbe Ng'enda jana Septemba 07, 2024 wakati wa ziara ya kukagua hatua za utekelezaj... |
null | RAIS Samia Suluhu Hassan na mgeni wake, Rais wa Jamhuri ya Guinea-Bissau, Umaro Sissoco Embaló, wamejadiliana mambo mbalimbali yaliyojikita katika uchumi, uhusiano wa kikanda na kimataifa pamoja na ulinzi na usalama barani Afrika ili kukuza zaidi ushirikiano kati ya nchi zao. Viongozi hao pia wameshuhudia utiaji saini ... |
null | RAIS Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi kutokupuuzia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, watumie fursa hiyo kugombea na kuchagua viongozi watakaowaletea maendeleo, kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. Samia ametoa kauli hiyo jana wakati akizungumza na wananchi mkoani Mwanza, akielekea Geita kwa ajili ya kufunga maonesho... |
null | RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema serikali isitupiwe lawama kutokana na vitendo vya utekaji na mauaji ya watoto vinavyoendelea hivi sasa nchini bali jamii inapaswa kuwajibika ili kukomesha hali hiyo. Amesema jamii inapaswa kuwajibika ili kukomesha hali hiyo, huku akiwaomba machifu kuyakemea katika maeneo yao kwa sababu... |
null | MPENZI Msomaji, bado tunaendelea kujadili vituko ndani ya ndoa zetu. Ukiona mwanandoa anatoa siri za ndani, hilo ni tatizo kubwa. Jamaa mmoja akatuma ujumbe mfupi kupitia simu ya kiganjani akisema: Mimi naitwa Jumanne (jina la pili tunalo), ninapatikana Mlandizi, Pwani. “Nimeoa mke ila cha ajabu mambo yetu ya ndani huw... |
null | TAARIFA za habari kwenye televisheni, redio, mitandao ya kijamii zinaarifu kutekwa kwa mtoto wa miaka sita, Macaire, mwanafunzi wa darasa la kwanza katika shule moja Mbezi Dar es Salaam. (0716 350534) Mashuhuda wanasema alinyakuliwa na mwanaume mmoja aliyeshiba, kujaa misuli na kukimbilia kwenye gari lililokuwa pembeni... |
null | TATIZO la shinikizo la damu likiambatana na magonjwa mengine yasiyo ya kuambukiza, yanaongezeka kwa kasi kubwa na kuwa tishio duniani kiuchumi na kijamii hasa kwenye sekta ya afya. Uchumi hutegemea rasilimali watu lakini magonjwa haya yamekuwa sababu kubwa ya kupunguza nguvu kazi kupitia majanga yanayosababishwa nayo. ... |
null | Nimeishi na mume wangu katika raha na shida, hakuna wakati ambao nimewahi kukata tamaa juu yake anapokosa riziki, najua leo amekosa ila kesho atapata, na hiyo ndio ilikuwa imani yangu hadi tunaoana. Baada ya kuoana maisha yalikuwa chini sana kiuchumi kutokana alikuwa akifanya kazi ya kuendesha pikipiki (Bodaboda), ni k... |
null | KATIKA sehemu ya kwanza ya ripoti hii jana, kulikuwa na ufafanuzi wa kina juu ya uhaba wa walimu nchini, nchi ikiwa na walimu 68 tu wenye sifa wanaofundisha somo Uraia kidato cha kwanza hadi cha nne katika shule za sekondari Tanzania Bara. Katika toleo la leo, linaangazia uamuzi wa serikali kufuta somo hilo katika shul... |
null | SERIKALI kupitia mamlaka za serikali za mitaa, kwa maana ya halmashauri, imekuwa ikitenga asilimia 10 ya mapato ya ndani, kwa ajili ya kutoa mikopo kwa makundi maalumu ya wanawake, vijana na wenye ulemavu. Mikopo hiyo hutolewa kwa makundi hayo kupitia vikundi vilivyoundwa, kwa ajili ya kuwawezesha kufanya uwekezaji kat... |
null | USWAHILINI kuna mambo! Yoyote ambaye anaishi maeneo yenye mkusanyiko wa jamii atakubaliana na hili. Ni kweli kuwa kuishi sehemu zenye hadhi au wenyewe wanaita 'Uzunguni', kuna raha yake, lakini pia kuna karaha yake pia. Na tunaoishi kwenye mkusanyiko wa jamii, wenyewe wanaita 'Uswahilini' kuna uzuri wake na ubaya wake ... |
null | INAWEZEKANA kabisa waliosema hakuna mwanamke mbaya duniani walikuwa sahihi kabisa. Wanasema mwanamke kama anapewa matunzo, ikiwemo chakula, mavazi na akaishi kwa amani bila mikwaruzo, vituko na vipigo, basi anapendeza mithili ya malkia. Kuna baadhi ya wanaume wanashindwa kutekeleza majukumu yao kwa wake zao na kuwafuat... |
null | TAARIFA za habari kwenye televisheni, redio, mitandao ya kijamii zinaarifu kutekwa kwa mtoto wa miaka sita, Macaire, mwanafunzi wa darasa la kwanza katika shule moja Mbezi Dar es Salaam. Mashuhuda wanasema alinyakuliwa na mwanaume mmoja aliyeshiba, kujaa misuli na kukimbilia kwenye gari lililokuwa pembeni mwa barabara ... |
null | “SIKUJUA kama nitakuwa mhanga (mwathirika) wa kiharusi.” Alisikika mgonjwa mwenye miaka 45 mwenye familia ya watoto wawili na mume aliyepata ahueni na kuweza kuongea kidogo huku akiwa hawezi kutembea kabisa katika kitengo cha dharura usiku wa manane. Imeandikwa Na Dk. Mabula Budodi “Nilikuwa nadhania kiharusi kinawapat... |
null | MAPENZI ni ridhaa ya mtu mwenyewe kutamani au kumpenda mwingine. Hakuna yeyote anayelazimishwa au kushikiwa fimbo kupenda. Mapenzi huwa yanazuka tu na wala hayajulikani yametokea wapi. Mtu anaweza kumpenda yeyote yule bila ya kuwa na kitu chochote kile ambacho kimemvutia. Yeyote anayempenda mtu kwa sababu ya kitu, basi... |
null | MACHAPISHO mbalimbali yanaeleza kuhusu Uraibu kuwa ni neno la Kiarabu ambalo kwa lugha ya kiingereza linajulikana kama “addiction” likiwa na maana ya hali inayopatikana wakati roho au mwili unahitaji mno kuwa na hisia fulani kiasi cha kuwa na matatizo katika kutekeleza shughuli mpaka kufikia tena hisia inayolengwa. Vil... |
null | KWA wasomaji wapya, wiki iliyopita nilizungumzia kuhusu kauli za kibaguzi za kunyoosheana vidole vya Utanganyika na Uzanzibari kwamba zinasababishwa na ukosefu wa elimu ya uraia. Katika mwendelezo huo, niliahidi leo kumalizia mjadala huu kwa kuangazia chanzo cha ubaguzi huu na suluhisho la kudumu. Baada ya Muungano, kw... |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.