name stringclasses 429
values | text stringlengths 0 767k ⌀ |
|---|---|
null | Rais wa Marekani Joe Biden Jumatatu alianza mkondo wa mwisho wa msimu wa sherehe akiwa madarakani kweye White House kwa kutoa msamaha kwa bata mzinga wawili ambao hawatachinjwa wakati wa Sikukuu ya Kutoa Shukurani mwishoni mwa wiki, wakiwa kusini mwa jimbo la Minnesota. Rais mteule wa Marekani Donald Trump ameondolewa ... |
null | No media source currently available Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo. |
null | Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Embed share JARIDA LA WIKIENDI: Nchi Tajiri zatakiwa kuwajibika kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa by VOA Swahili – Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika Embed share The code has been copied to your clipboard. width px height px The... |
null | Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Tufuate Lugha Search Videos Mubashara Mubashara Search Iliyopita Ijayo Breaking News Jumanne, Novemba 26, 2024 Local time: 19:36 Videos Videos 23 Novemba 2024 Mwanamuziki Chris Stapleton atwaa tuzo 4 za muziki wa Country 18 Novemba 2024 Je ... |
null | Boti hiyo ilikuwa imebeba watalii 31 kutoka nchi tofauti ikiwa pia na wafanyakazi 13, mamlaka ya jimbo la bahari ya Shamu imesema. Watu 16 hawajulikani walipo, 12 wakiwa raia wa kigeni na wanne wakiwa raia wa Misri. Ripoti zinasema kuwa boti hiyo inamilikiwa na raia wa Misri. Miongoni mwa watalii waliokuwa ndani ni kut... |
null | Jumanne 26 Novemba 2024 - Julai 28, 2023 JARIDA LA WIKI JULY 29 2023 - Agosti 24, 2021 Kenyatta ashauri makamu wake ajiuzulu - Februari 23, 2021 Tundu Lissu amkosoa Magufuli - Februari 23, 2021 Lisu amkosoa Magufuli kuhusu Covid-19 - Mei 15, 2019 Freedom House report on NGOs - Septemba 21, 2018 Kwa nini wapinzani wakim... |
null | Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameliomba baraza la usalama leo Jumatatu, msaada wake katika kuwalinda raia katika nchi ya Sudan iliyokumbwa na vita, lakini amesema hali sio nzuri kupelekwa kwa kikosi cha Umoja wa Mataifa. “Watu wa Sudan wanaishi na jinamizi la ghasia, huku maelfu ya raia waliuawa na w... |
null | Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Embed share Rais mteule wa Marekani Trump akiwashukuru wafuasi wake by VOA Swahili – Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika Embed share The code has been copied to your clipboard. width px height px The URL has been copied to your clipboard... |
null | Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Tufuate Lugha Search Mubashara Mubashara Search Iliyopita Ijayo Breaking News Jumanne, Novemba 26, 2024 Local time: 19:36 VOA60 Afrika Matukio Kuhusu Jumanne 26 Novemba 2024 Calendar ? Novemba 2024 Jumapili Jumatatu Jumanne Jumatano Alhamis... |
null | Watu hao walikuwa miongoni mwa zaidi ya nusu milioni ambao wamevuka mpaka na kuingia Sudan Kusini, ambayo inajitahidi kuwapatia hifadhi watu wanaowasili nchini humo. Renk iko kiasi cha kilometa 10 kutoka Sudan, ambako mapigano yalizuka mwezi Aprili mwaka jana kati ya mkuu wa jeshi Abdel Fattah al-Burhan na naibu wake w... |
null | Hotuba ya Makamu Rais yakukubali matokeo Kiungo cha moja kwa moja Makamu Rais wa Marekani atoa hotuba ya kukubali matokeo Makamu Rais wa Marekani na mgombea kwa tiketi ya Demokratik Kamala Harris akitoa hotuba ya kukubali kushindwa na mpinzani wake Mrepublikan na hivi sasa mteule Donald Trump. Makundi - Afrika - Mareka... |
null | Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Tufuate Lugha Search Zulia Jekundu Mubashara Mubashara Search Iliyopita Ijayo Breaking News Jumanne, Novemba 26, 2024 Local time: 19:36 Zulia Jekundu Samuel Jackson apokea tuzo ya heshima kutoka Makumbusho ya sanaa ya kisasa-Moma Wasanii ma... |
null | Marekani imewazuia maafisa wanne wa zamani wa serikali ya Malawi kuingia nchini, kwa sababu ya kuhusika kwao katika ufisadi mkubwa, Wizara ya Mambo ya Nje ilisema Jumatano. Viongozi hao ni aliyekuwa mwanasheria mkuu na katibu wa sheria Reyneck Matemba, mkurugenzi wa zamani wa manunuzi ya umma na utwaji wa mali, John Su... |
null | No media source currently available VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo... |
null | JARIDA LA WIKIENDI: Nchi Tajiri zatakiwa kuwajibika kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa Kiungo cha moja kwa moja Huenda kutakuwepo na marekebisho kwenye mkataba unaoratibu malengo ya pamoja ya mataifa NCQG baada ya maazimio katika mkutano wa COP 29 kupendekeza dola bilioni 220 za kupambana na mabadiliko ya hali y... |
null | JARIDA LA WIKIENDI: Nchi Tajiri zatakiwa kuwajibika kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa Kiungo cha moja kwa moja Huenda kutakuwepo na marekebisho kwenye mkataba unaoratibu malengo ya pamoja ya mataifa NCQG baada ya maazimio katika mkutano wa COP 29 kupendekeza dola bilioni 220 za kupambana na mabadiliko ya hali y... |
null | Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Papa Francis na wengine wametoa wito kwa mataifa kusitisha uzalishaji na matumizi ya mabomu ya ardhini wakati ambapo uwepo wa mabomu hayo unaongezeka duniani. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema katika ujumbe wake kwa wajumbe katika tathmini ya tano ya mkataba wa kimataifa... |
null | Zuma, ambaye anawania kwa kitiki ya chama cha upinzani, alikata rufaa dhidi ya uamuzi wa maafisa wa tume ya uchaguzi waliomkatalia kugombea kutokana na kupatikana na hatia mwaka 2021. Jumatatu, Zuma mwenye umri wa miaka 81 alikuwa mahakamani mjini Johannesburg wakati mawakili wakijadi kesi hiyo. “Ikiwa raia wanataka ni... |
null | - 26 Novemba 2024 Somaliland kufanya uchaguzi Jumatano - 25 Novemba 2024 Serekali ya DRC yatakiwa kuondoa utawala wa kijeshi - 20 Novemba 2024 Alfajiri - 14 Novemba 2024 Alfajiri - 12 Novemba 2024 Alfajiri - 11 Novemba 2024 Nigeria yatishiwa na kundi jipya la wenye silaha |
null | Ninatoa wito nchi wanachama kutimiza wajibu wao na kuhakikisha wanafuata mkataba wa kimataifa unaopiga marufuku mabomu Mamlaka ya Bandari, Bahari, na Mto Madagascar (APMF) imesema boti hizo zilisafiri kutoka Somalia kuelekea eneo la Ufaransa. Maelfu ya wafuasi wa waziri mkuu wa zamani wa Pakistan aliyefungwa jela Imran... |
null | RSS/Podcast Jiandikishe kwa VOA Swahili RSS, ili kupata habari na ripoti ambazo zitaletwa moja kwa moja kwenye kompyuta yako. Ukurasa wa msaada. Jiandikishe kwa VOA Swahili RSS, ili kupata habari na ripoti ambazo zitaletwa moja kwa moja kwenye kompyuta yako. Ukurasa wa msaada. |
null | Mailing list subscription New E-mail Newsletter subscriber? Sign up below: Mailing Lists: VOA newsletter are free of charge. To sign up, check the boxes next to the e-mail newsletter you would like to receive. To unsubscribe, you will find the instructions at the bottom of the E-mail newsletter |
null | Marekani - 26 Novemba 2024 Trump kuondolewa mashitaka yaliokuwa yakimkabili mahakamani - 25 Novemba 2024 Trump aeleza kuwa na wasi wasi kuhusu vita vya Ukraine - 24 Novemba 2024 Israel imelaani mauaji ya raia wake aliyeuawa UAE - 22 Novemba 2024 Dhoruba kubwa California yasababisha kukatika umeme na mafuriko - 22 Novem... |
null | Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Embed share by VOA Swahili – Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika Embed share The code has been copied to your clipboard. width px height px The URL has been copied to your clipboard No live streaming currently available 0:00 0:00 Live XS... |
null | - 26 Novemba 2024 Jioni - 25 Novemba 2024 Jioni - 23 Novemba 2024 Umoja wa Ulaya wamwita balozi wake kutoka Niger - 22 Novemba 2024 LIVE TALK: Wimbi la vyama vya upinzani kushinda uchaguzi mkuu - 21 Novemba 2024 Jioni - 20 Novemba 2024 Mpinzani wa Museveni afikishwa kwenye mahakama ya kijeshi Uganda - 19 Novemba 2024 J... |
null | Uchaguzi Marekani: Ukusanyaji maoni waonyesha ni vigumu kumtabiri mshindi Kiungo cha moja kwa moja JARIDA LA WIKIENDI: Linaangazia siasa za Marekani kelekea siku ya uchaguzi mkuu ambapo Wamarekani watafanya maamuzi kumchagua atakayeongoza White Houuse. Makundi - Afrika - Marekani - Afya - Hali ya HIV/Ukimwi Afrika - Uc... |
null | Arif Husain, ambaye ni mchumi mkuu kwenye Shirika la Chakula Duniani WFP, amesema kuwa hali ni mbaya zaidi kwenye Ukanda wa Gaza, Sudan, Sudan Kusini, Haiti na Mali, ambako mamilioni ya watu wapo kwenye hatari zaidi ya ukosefu wa usalama wa chakula, ikiwa na maana kwamba hali ya njaa kuu unashuhudiwa. Huko Gaza, mashir... |
null | Majaji nchini Afrika Kusini leo Jumanne wataamua ikiwa rais wa zamani Jacob Zuma ataruhusiwa kugombea kwenye uchaguzi wa Mei. |
null | Rasimu hiyo inazitaka pande zinazopigana nchini Sudan zisitishe uhasama na kuzitaka kuruhusu upelekaji salama wa misaada, wa haraka na bila vikwazo kote kwenye mstari wa mbele na mipakani. Mgogoro wa Sudan ulianza Aprili 2023 kutokana na mapambano ya madaraka kati ya jeshi la Sudan na Vikosi vya Msaada wa Haraka vya ki... |
null | RSS/Podcast Jiandikishe kwa VOA Swahili Podcast kutumiwa sauti moja kwa moja. Unaweza kusikiliza kwenye kompyuta yako au kuingiza kwenye kifaa cha mkononi cha kupata sauti, ili uwe nayo. Ukurasa wa msaada. Jiandikishe kwa VOA Swahili Podcast kutumiwa sauti moja kwa moja. Unaweza kusikiliza kwenye kompyuta yako au kuing... |
null | Dunia - 25 Novemba 2024 Maelfu ya wafuasi wa Imran Khan waandamana Pakistan - 24 Novemba 2024 Israel imelaani mauaji ya raia wake aliyeuawa UAE - 22 Novemba 2024 Kim Jong Un aishutumu Marekani kuongeza mivutano - 22 Novemba 2024 Rais wa China Xi Jinping afanya ziara fupi nchini Morocco - 22 Novemba 2024 Dhoruba kubwa C... |
null | - 25 Novemba 2024 Utata unakumba juhudi za rais kubadilisha katiba DRC - 21 Novemba 2024 Kwa Undani - 20 Novemba 2024 Kwa Undani - 18 Novemba 2024 Kwa Undani - 15 Novemba 2024 Kwa Undani - 13 Novemba 2024 Kwa Undani - 12 Novemba 2024 Kwa Undani - 11 Novemba 2024 Marekani imeamurisha Rwanda kuondoa wanajeshi wake DRC |
null | Matukio - Novemba 22, 2024 Taarifa za upelelezi Sudan zaonyesha vita vimeleta madhara makubwa - Novemba 20, 2024 Mwanasiasa maarufu wa upinzani Uganda akamatwa Kenya - Novemba 19, 2024 Rais Biden aahidi dola bilioni 4 kwa ajili ya kusaidia nchi maskini - Novemba 18, 2024 Duniani Leo - Novemba 15, 2024 Wachimbaji madini... |
null | Sekta za Uchumi na uwajibikaji nchini Malawi vinaisihi serikali kushughulikia dosari katika mfumo wa ununuzi wa umma. Kulingana na ripoti ya shirika la Transparency International ya mwaka 2023, mataifa mengi ya Afrika yanashuhudia kudumaa kwa juhudi za kupambana na ulaji rushwa, au kushindwa kupiga hatua dhidi ya ufisa... |
null | Huenda kutakuwepo na marekebisho kwenye mkataba unaoratibu malengo ya pamoja ya mataifa NCQG baada ya maazimio katika mkutano wa COP 29 kupendekeza dola bilioni 220 za kupambana na mabadiliko ya hali ya hewa Ushawishi wa wanawake katika uongozi, Tanzania ni nchi pekee yenye rais mwanamke katika nchi wanachama wa Jumuiy... |
null | Afrika itarajie nini baada ya Donald Trump kurejea madarakani? Kiungo cha moja kwa moja Viongozi wa nchi za Afrika watuma salamu za pongezi kwa rais mteule wa Marekani kufuatia ushindi katika uchaguzi mkuu wa Marekani ambapo alichaguliwa tena kuwa rais ya nchi hiyo kwa mara ya pili. Makundi - Afrika - Marekani - Afya -... |
null | Kenya - 12 Novemba 2024 Huldah mzaliwa wa kwanza wa Kenya kujiunga na bunge la Minnesota - 31 Oktoba 2024 Kenya yapiga hatua muhimu kuelekea kupata mkopo wa IMF - 29 Oktoba 2024 Rais Ruto akutana na Mkurugenzi wa CIA - 15 Oktoba 2024 Mahakama Kenya yaamua kesi ya Gachagua iendelee - 15 Oktoba 2024 Kenya yaanza zoezi la... |
null | Ripoti ya ajenda ya Malawi ya 2021 kuhusu Miradi ya Miundombinu ya Umma inaelezea jinsi rushwa ilivyokithiri katika sekta ya umma ya Malawi. Sekta ya ujenzi ikiathiriwa zaidi. Bango linalowaonya waendeshaji magari kuhusu mashimo yaliyopo kiasi cha kilomita mia moja na mbili au zaidi na hii ni kwenye barabara ya M1 Mala... |
null | Hotuba ya Makamu Rais yakukubali matokeo Kiungo cha moja kwa moja Makamu Rais wa Marekani atoa hotuba ya kukubali matokeo Makamu Rais wa Marekani na mgombea kwa tiketi ya Demokratik Kamala Harris akitoa hotuba ya kukubali kushindwa na mpinzani wake Mrepublikan na hivi sasa mteule Donald Trump. Makundi - Afrika - Mareka... |
null | Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari. Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida ... |
null | Rais ajaye wa Marekani Donald Trump akiwashukuru wafuasi wake baada ya kuchaguliwa na wananchi kuwa rais wa 47. Trump alikuwa na ujumbe wa kujenga umoja kwa wale waliohudhuria mkusanyiko huo wa mkesha wa matokeo ya uchaguzi huko Florida. Endelea kusikiliza.. Forum |
null | Mchezaji maarufu wa mpira wa kikapu wa NBA Dikembe Mutombo, ambaye alikuwa mmoja wa wachezaji bora wa safu ya ulinzi katika historia ya NBA na balozi wa muda mrefu wa kimataifa wa mchezo huo amefariki dunia Jumatatu (Septemba 30, 2024) baada ya kuugua ugonjwa wa saratani ya ubongo. Alikuwa na umri wa miaka 58. Familia ... |
null | No media source currently available Every four years, the United States presidential election captures the world’s attention. In 2024, Vice President Kamala Harris, the Democratic nominee, and former President Donald Trump, the Republican pick, will face off as the main contenders for the top spot. |
null | Fibroids zinavyoleta athari katika afya ya uzazi kwa wanawake Fibroids ya shingo ya kizazi ni ukuaji wa uvimbe katika shingo ya uzazi. Uvimbe huu unatofautiana kwa idadi na ukubwa lakini sio saratani. Wanawake wanapitia hali hii huenda wakashuhudia kutokwa na damu nyingi wakati wa hedhi. Ugonjwa huu unaweza kusababisha... |
null | Raia wapatao 22 wa Somalia walikufa wakati boti mbili za wahamiaji zilipozama katika pwani ya Madagascar mwishoni mwa wiki, Waziri wa Habari wa Somalia Daud Aweis alisema. Mamlaka ya Bandari, Bahari, na Mto Madagascar (APMF) imesema boti hizo zilisafiri kutoka Somalia kuelekea eneo la Ufaransa la Bahari ya Hindi la May... |
null | Sites by region - English Worldwide EnglishLearning English - Eastern & Central Europe ShqipBosanskiМакедонскиSrpskiУкраїнська - Eurasia ՀայերենAzerbaijaniქართულიРусский - East & Southeast Asia BurmeseBahasa Indonesiaខ្មែរKhmer한국어ລາວไทยབོད་ཡིགTiếng Việt - Central Asia O‘zbek - South Asia বাংলাدریپښتووی او اې ډيوه ريډیو... |
null | Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Tufuate Lugha Search Mubashara Mubashara Search Duniani Leo Video Tube Iliyopita Ijayo Breaking News Jumanne, Novemba 26, 2024 Local time: 19:37 live Duniani Leo Video Tube Embed Embed The code has been copied to your clipboard. width px he... |
null | Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo. Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa w... |
null | Habari - 26 Novemba 2024 Trump kuondolewa mashitaka yaliokuwa yakimkabili mahakamani - 25 Novemba 2024 Trump aeleza kuwa na wasi wasi kuhusu vita vya Ukraine - 25 Novemba 2024 Maelfu ya wafuasi wa Imran Khan waandamana Pakistan - 24 Novemba 2024 Israel imelaani mauaji ya raia wake aliyeuawa UAE - 23 Novemba 2024 Umoja ... |
null | Hayo yamesemwa na Jumapili na chaguo lake la mshauri wa kitaifa kwenye masuala ya usalama Michael Waltz. Waltz ambaye kwa sasa ni mbunge wa Florida ameambia televisheni ya Fox kipindi cha “Fox News Sunday” kwamba uamuzi wa utawala unaoondoka wa Rais Joe Biden wa kuruhusu Ukraine kutumia vilipuzi vya ardhini kama njia y... |
null | Hali hiyo ilipelekea serikali kufunga shughuli kwenye mji huo pamoja na kukata kwa muda huduma za internet. Khan ameomba wafuasi wa chama chake cha Tehreek-e-Insaf au PTI, kukusanyika kwenye bustani ya umma ya D-Chowk, mjini Islamabad, na waendelee kubaki hapo hadi pale serikali itakapo sikia kilio chao. Serikali ya mu... |
null | Serikali ya DRC na Uganda zimeanza kuwarejesha raia waliokwama wakiwa wamejiunga na kundi la ADF wakiwaunganisha na jamii zao. Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C. #habari Serikali ya DRC na Uganda zimeanza kuwarejesha raia waliokwama wakiwa wamejiunga na kundi la ADF wa... |
null | Misri imesema Jumatatu kwamba zaidi ya watu darzeni moja, wengi wao wakiwa raia wa kigeni, hawajulikani walipo baada ya boti ya kitalii kuzama kwenye bahari ya Shamu, huku wengine 28 wakiokolewa. Ninatoa wito nchi wanachama kutimiza wajibu wao na kuhakikisha wanafuata mkataba wa kimataifa unaopiga marufuku mabomu Mamla... |
null | - masaa 2 yaliopita VOA Express - Novemba 26, 2024 Somaliland kufanya uchaguzi Jumatano - Novemba 25, 2024 Utata unakumba juhudi za rais kubadilisha katiba DRC - Novemba 25, 2024 Serekali ya DRC yatakiwa kuondoa utawala wa kijeshi - Novemba 24, 2024 Je Nifanyeje? - Novemba 23, 2024 Je Nifanyeje? - Novemba 23, 2024 Umoj... |
null | Jaji wa Mahakama ya Washington, Tanya Chutkan Jumatatu aliondoa mashitaka ya kuingilia matokeo ya uchaguzi wa rais wa 2020 dhidi ya Trump. Hatua hiyo ni kufuatia ushauri kutoka kwa mwendesha mashtaka maalum wa Marekani Jack Smith, aliyewasilisha waraka mahakamani, kwamba sera ya muda mrefu ya idara ya mahakama inaondoa... |
null | No media source currently available Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C. #habari |
null | JARIDA LA WIKIENDI: linaangazia ushawishi wa Wanawake katika uongozi Afrika Mashariki Kiungo cha moja kwa moja Ushawishi wa wanawake katika uongozi, Tanzania ni nchi pekee yenye rais mwanamke katika nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, wakati huo huo Uganda Makamu wa Rais na Waziri Mkuu wote ni wanawake, na n... |
null | Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Tufuate Lugha Search Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mubashara Mubashara Search Iliyopita Ijayo Breaking News Jumanne, Novemba 26, 2024 Local time: 19:37 Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Back to top XS SM MD LG |
null | Rwanda - 22 Septemba 2024 Mtoto wa Museveni amesema hakuna raia atawahi kuwa rais wa Uganda - 12 Agosti 2024 Rais Paul Kagame aanza rasmi muhula wake wa nne - 16 Julai 2024 Wanyarwanda wampongeza Kagame - 16 Julai 2024 Kagame ashinda katika uchaguzi wa urais Rwanda - 15 Julai 2024 Uchaguzi wa Rwanda kufanyika leo |
null | Makundi - Afrika - Marekani - Afya - Hali ya HIV/Ukimwi Afrika - Uchaguzi Kenya 2013 - Kesi za Wakenya Mbele ya ICC - Fainali za Kombe la Afrika 2015 - Ziara ya Rais Obama Kenya, Julai 23-26 - Tanzania Yaamua 2015 - Uchaguzi Marekani 2016 - Ziara ya Papa barani Afrika - Uchaguzi Uganda 2016 - Mauaji Orlando - YALI 2016... |
null | Jumanne 26 Novemba 2024 - Juni 11, 2024 Je mtu yeyote anaweza kuwa rais wa Marekani? - Aprili 25, 2024 Asilimia 88 ya Wamarekani wanaunga mkono kuhalalishwa bhangi - Machi 05, 2024 Je, nini Super Tuesday? - Machi 05, 2024 Misaada ya kimataifa yaanza kuwasili Sudan - Februari 12, 2024 Polisi wapambana na waandamanai Kin... |
null | Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C. #habari Matukio - Novemba 25, 2024 Duniani Leo - Novemba 22, 2024 Taarifa za upelelezi Sudan zaonyesha vita vimeleta madhara makubwa - Novemba 19, 2024 Rais Biden aahidi dola bilioni 4 kwa ajili ya kusaidia nchi maskini - Novemba 18, ... |
null | Makundi - Afrika - Marekani - Afya - Hali ya HIV/Ukimwi Afrika - Uchaguzi Kenya 2013 - Kesi za Wakenya Mbele ya ICC - Fainali za Kombe la Afrika 2015 - Ziara ya Rais Obama Kenya, Julai 23-26 - Tanzania Yaamua 2015 - Uchaguzi Marekani 2016 - Ziara ya Papa barani Afrika - Uchaguzi Uganda 2016 - Mauaji Orlando - YALI 2016... |
null | Jiji la New York City lakabiliwa na uhaba wa wafanyakazi wa Ujenzi Kiungo cha moja kwa moja Shirika lisilotafuta faida linasaidia wahamiaji kupata mafunzo kuhus ajira. Mafunzo haya hutolewa kuwaandaa wafanyakazi kufahamu masuala ya usalama katika viwanja vya ujenzi. Hii ni hatua ya kukabiliana na uhaba wa wafanyakazi w... |
null | Wachambuzi wasifu jinsi rais Kenyatta anavyotumia muda wake kuteuwa kwa makini watu wenye sifa ya ikuweza kuiongoza serikali mpya. Rais mpya wa Ken ya Uhuru Kenyatta has ameapishwa mbele ya umati mkubwa wa watu walomshangiria na kupeperusha bendera ya Kenya, mjini Nairobi. Mahakama ya juu nchini Kenya ilithibitisha kuw... |
null | Uchunguzi na msako unaendelea katika wilaya ya Kasese magharibi ya Uganda kufuatia ghasia kati ya polisi na vijana na kusababisha vifo vya watu 7 na wengine kujeruhiwa. Kwa mujibu wa taarifa ya mwandishi wetu Kennes Bwire, aliyeko Kampala, Uganda, vitu vilivyoibiwa ni pamoja na tarakilishi na karatasi zinazoelezwa kuwa... |
null | Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Tufuate Lugha Search Mubashara Mubashara Search Iliyopita Ijayo Breaking News Jumanne, Novemba 26, 2024 Local time: 19:37 Matukio ya Dunia Matukio Kuhusu Cameroon mabingwa wa AFCON 2017 6 Februari, 2017 Embed Cameroon mabingwa wa AFCON 2017... |
null | Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Tufuate Lugha Search Mubashara Mubashara Search Iliyopita Ijayo Breaking News Jumanne, Novemba 26, 2024 Local time: 19:37 Matukio ya Dunia Matukio Kuhusu Rais Obama ameshtumu matamshi ya mgombea wa urais Donald Trump 15 Juni, 2016 Embed Rai... |
null | AFCON 2017 Jumanne 26 Novemba 2024 - Februari 06, 2017 Cameroon mabingwa wa AFCON 2017 - Februari 06, 2017 Cameroon mabingwa wa Kombe la Afrika -AFCON 2017 - Januari 17, 2017 Mji wa Port-Gentil wakaribisha Kombe la Afrika 2017 - Januari 14, 2017 CAN 2017: Senegal na Tunisia ziko tayari kwa mchuano wao wa kwanza |
null | Hotuba ya Rais mteule Donald Trump Makamu Rais Harris atoa hotuba ya kukubali matokeo - 26 Novemba 2024 Trump kuondolewa mashitaka yaliokuwa yakimkabili mahakamani - 25 Novemba 2024 Trump aeleza kuwa na wasi wasi kuhusu vita vya Ukraine - 25 Novemba 2024 Maelfu ya wafuasi wa Imran Khan waandamana Pakistan - 24 Novemba ... |
null | Rais wa zamani wa Marekani apata ushindi wa Chama chake cha Republikan katika Jimbo la New Hampshire inayomsogeza karibu kuchuana tena na Rais Joe Biden katika uchaguzi mwezi Novemba 2023. Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C. #habari |
null | Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Tufuate Lugha Search Mubashara Mubashara Search Iliyopita Ijayo Breaking News Jumanne, Novemba 26, 2024 Local time: 19:37 Video Matukio Kuhusu Sehemu ya tatu: Vijana na mtazamo kwa ushoga 23 Julai, 2015 Embed Sehemu ya tatu: Vijana na mtaza... |
null | No media source currently available Wabrazil wa vitongoji vya watu maskini walalamika kutokana na maisha magumu wanaokabiliana nao licha ya kufanikiwa kwa michezo ya Olimpik |
null | Rais wa Marekani, Barack Obama, atakuwepo mjini Orlando leo kufanya kile “White House” ilichokiita “wajibu wake wa kufariji na kutoa pole kwa jumuiya hiyo inayopitia kipindi kigumu." Biden hakufafanua zaidi lakini alisema katika siku za hivi karibuni Rais Barack Obama atalizungumzia swala hilo kwa kina. Obama anataraji... |
null | No media source currently available Akitembelea Sauti ya Amerika Katibu Mkuu wa chama cha CUF, Tanzania azungumzia mauwaji ya Orlando ambako watu 49 waliuliwa na 53 kujeruhiwa. |
null | Makundi - Afrika - Marekani - Afya - Hali ya HIV/Ukimwi Afrika - Uchaguzi Kenya 2013 - Kesi za Wakenya Mbele ya ICC - Fainali za Kombe la Afrika 2015 - Ziara ya Rais Obama Kenya, Julai 23-26 - Tanzania Yaamua 2015 - Uchaguzi Marekani 2016 - Ziara ya Papa barani Afrika - Uchaguzi Uganda 2016 - Mauaji Orlando - YALI 2016... |
null | Vipengele vitano vimefanyiwa marekebisho ikiwepo kutaka watu watakaopatikana kufanya mapenzi ya jinsia moja kuadhibiwa na wala sio kuwadhibu watu kwa sababu wanashukiwa kufanya ushoga kutokana na wanavyoonekana. Watakaopatikana na makosa watahukumiwa kati ya miaka 20 gerezani, kifungo cha Maisha au adhabu ya kifo Mswad... |
null | Tanzania Yaamua 2015 Jumanne 26 Novemba 2024 - Novemba 04, 2015 Kikwete, Seif wakutana Dar es salaam - Oktoba 30, 2015 Kikwete ajibu swali kuhusu kuondoka madarakani - Oktoba 29, 2015 Ukawa wapinga matokeo ya uchaguzi Tanzania - Oktoba 28, 2015 Lowassa agomea matokeo - Oktoba 28, 2015 Baada ya Uchaguzi wa Tanzania |
null | Makundi - Afrika - Marekani - Afya - Hali ya HIV/Ukimwi Afrika - Uchaguzi Kenya 2013 - Kesi za Wakenya Mbele ya ICC - Fainali za Kombe la Afrika 2015 - Ziara ya Rais Obama Kenya, Julai 23-26 - Tanzania Yaamua 2015 - Uchaguzi Marekani 2016 - Ziara ya Papa barani Afrika - Uchaguzi Uganda 2016 - Mauaji Orlando - YALI 2016... |
null | Ziara ya Rais Obama Kenya, Julai 23-26 Jumanne 26 Novemba 2024 - Julai 21, 2015 Ripoti ya Mwai Gikonyo, Nairobi, Kenya - Julai 20, 2015 Maandalizi ya Kumpokea Rais Obama Nairobi - Julai 18, 2015 Mfumo wa kamera za usalama kutumika jijini Nairobi. - Julai 17, 2015 Ziara ya kwanza ya Obama huko Kenya na Ethiopia - Julai ... |
null | Vijana viongozi wa Afrika YALI walipokutana na Rais Obama siku ya Jumatano mjini Washington walimuimbia na kumtakia kila la kheri katika siku yake ya kuzaliwa Alhamisi Oguzti 4. Tuonge na wanachama wa #YALI kutoka Afrika Mashariki hapa Washington, DC |
null | Antonio alizungumza na waandishi habari baada ya Rais Kagame kukutana na mwenyeji wake Joao Lourenco katika ikulu Lunda kwa mazungumzo juu ya ushirikiano kati ya nchi zao mbili. "Wakati wa mkutano huo walikubaliana kwamba Rais Kagame ataweza kukutana na Rais Tshisekedi katika wakati utakaofikiwa na wapatanishi," amesem... |
null | Mwendesha mashitaka wa ICC aomba kuahirisha kesi dhidi ya Kenyatta ICC ilimshutumu Barasa kwa kuwahonga mashahidi katika kesi ya Naibu Rais wa Kenya, William Ruto katika ghasia za baada ya uchaguzi mkuu nchini Kenya ambazo zilisababisha watu 1,300 kufariki na maelfu kukoseshwa makazi Ruto asema waendesha mashtaka wa IC... |
null | Makundi - Afrika - Marekani - Afya - Hali ya HIV/Ukimwi Afrika - Uchaguzi Kenya 2013 - Kesi za Wakenya Mbele ya ICC - Fainali za Kombe la Afrika 2015 - Ziara ya Rais Obama Kenya, Julai 23-26 - Tanzania Yaamua 2015 - Uchaguzi Marekani 2016 - Ziara ya Papa barani Afrika - Uchaguzi Uganda 2016 - Mauaji Orlando - YALI 2016... |
null | Angalia ziara ya Papa Francis Afrika. Akitembelea Kenya, Uganda, na Central African Republic. Papa Francis ametoa wito wa Umoja huko Jamhuri ya Afrika ya Kati na kuwataka wananchi kutoruhusu tofauti za kidini kuwagawanya, akiwa katika kituo cha mwisho cha ziara yake ya Afrika. Papa Francis awataka Waganda kuwasaiudia w... |
null | No media source currently available Rais mteule wa Marekani Donald Trump akijitayarisha kuchukua uwongozi, maandamano dhidi yake yanaendelea |
null | Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Tufuate Lugha Search Mubashara Mubashara Search Iliyopita Ijayo Breaking News Jumanne, Novemba 26, 2024 Local time: 19:38 Video Matukio Kuhusu Rais Obama akitoa hotuba kuhusu mauaji mjini Orlando 14 Juni, 2016 Embed Rais Obama akitoa hotuba... |
null | Makundi - Afrika - Marekani - Afya - Hali ya HIV/Ukimwi Afrika - Uchaguzi Kenya 2013 - Kesi za Wakenya Mbele ya ICC - Fainali za Kombe la Afrika 2015 - Ziara ya Rais Obama Kenya, Julai 23-26 - Tanzania Yaamua 2015 - Uchaguzi Marekani 2016 - Ziara ya Papa barani Afrika - Uchaguzi Uganda 2016 - Mauaji Orlando - YALI 2016... |
null | Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo. Ratiba: Monday-Friday Saa (kwa saa za huku): 06:00 UTC saa ya kimataifa 0300 Muda: 30 Sikiliza: Podcast Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Af... |
null | Makundi - Afrika - Marekani - Afya - Uchaguzi Kenya 2013 - Kesi za Wakenya Mbele ya ICC - Fainali za Kombe la Afrika 2015 - Ziara ya Rais Obama Kenya, Julai 23-26 - Tanzania Yaamua 2015 - Uchaguzi Marekani 2016 - Ziara ya Papa barani Afrika - Uchaguzi Uganda 2016 - Mauaji Orlando - YALI 2016 - Rio 2016 - AFCON 2017 |
null | Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Tufuate Lugha Search Mubashara Mubashara Search Iliyopita Ijayo Breaking News Jumanne, Novemba 26, 2024 Local time: 19:38 Video Matukio Kuhusu Sehemu ya pili: Marekani inasimamia kuonyesha uvumilivu kwa jamii za mashoga 22 Julai, 2015 Embed... |
null | Ungana na mwandishi wetu Kennes Bwire akikuletea ripoti kamili... Mamlaka ya Mawasiliano Chad yato kanuni mpya ya uchaguzi, wadau waikosoa Wakati Chad inajitayarisha kwa uchaguzi mkuu mwezi Disemba 2024, Mamlaka ya Mawasiliano nchini humo Hama imeshutumu wasimamizi wa vyombo vya habari kwa kuchapisha video ambazo hazij... |
null | No media source currently available Baadhi ya miji mikubwa ya Marekani iliendelea kushuhudia maandamano kwa siku ya nne mfululizo ya kupinga kuchaguliwa kwa rais mteule Donald Trump na baadhi ya sera zake. |
null | No media source currently available Papa Francis awataka Waganda kuwasaiudia wenzao katika kumtumikia Mungu |
null | Makundi - Afrika - Marekani - Afya - Hali ya HIV/Ukimwi Afrika - Uchaguzi Kenya 2013 - Kesi za Wakenya Mbele ya ICC - Fainali za Kombe la Afrika 2015 - Ziara ya Rais Obama Kenya, Julai 23-26 - Tanzania Yaamua 2015 - Uchaguzi Marekani 2016 - Ziara ya Papa barani Afrika - Uchaguzi Uganda 2016 - Mauaji Orlando - YALI 2016... |
null | Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Tufuate Lugha Search Mubashara Mubashara Search Iliyopita Ijayo Breaking News Jumanne, Novemba 26, 2024 Local time: 19:38 Video Matukio Kuhusu Kikwete, Seif wakutana Dar es salaam 4 Novemba, 2015 Embed Kikwete, Seif wakutana Dar es salaam E... |
null | Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Tufuate Lugha Search Mubashara Mubashara Search Iliyopita Ijayo Breaking News Jumanne, Novemba 26, 2024 Local time: 19:38 VOA Mitaani Matukio Kuhusu Papa alenga ufisadi wakati wa ziara yake Kenya 28 Novemba, 2015 Embed Papa alenga ufisadi w... |
null | Matukio - Februari 09, 2015 CAN_Hereve_Renard_Ivory_Coast_480 - Februari 05, 2015 CAN_Coach_Renard_Cote_d_ivore_press - Novemba 30, 2014 Polisi wa Misri wa wafurusha waandamanaji Cairo - Novemba 25, 2014 Kama huna kazi Kisumu - Oktoba 29, 2014 Rais Mohamud wa Somalia atembelea Barawe - Oktoba 16, 2014 Ebola yazusha was... |
null | No media source currently available Waziri Mkuu wa Tanzania Majaliwa Kassim Majaliwa, alifanya ziara ya ghafla Ijuma Novemba 27, 2015 katika bandari ya Dar Es Salaam na kutangaza hatua za kuwafukuza maafisa waandamizi wa Mamlaka ya Mapato TRA, kutokana na ubadhirifu. |
null | JARIDA LA WIKI JULY 29 2023 Kiungo cha moja kwa moja Wiki hii tunaangazia mkutano kati ya rais wa Russia Vladimir Putin na viongozi wa nchi za Afrika, mapinduzi nchini Niger na Maandamano nchini Israel. Mtayarishaji na msimulizi wa kipindi ni Kennes Bwire Makundi - Afrika - Marekani - Afya - Hali ya HIV/Ukimwi Afrika -... |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.