name stringclasses 429
values | text stringlengths 0 767k ⌀ |
|---|---|
null | Viongozi wa chama kikuu cha upinzani, Chadema wakiwemo mwenyekiti wa chama Freeman Mbowe na naibu wake Tundu Lissu na wafuasi wao, walikamatwa kabla ya mkutano wa vijana uliokuwa umepangwa kufanyika Jumatatu katika mji wa kusini magharibi wa Mbeya. Makundi ya haki za binadamu na wapinzani wa serikali walikosoa kukamatw... |
null | Watu wasiojulikana walimteka nyara, kumpiga na kumjeruhi vibaya afisa mwandamizi wa chama cha upinzani nchini Tanzania Chadema kabla ya kumtupa msituni, chama chake kilisema siku ya Jumapili, mwezi mmoja baada ya kutekwa nyara na kuuawa kwa kiongozi mwingine wa chama hicho. Kesi zinazoripotiwa huenda zikachafua taswira... |
null | Kuzinduliwa kwa safari hizo kunatarajiwa kuleta manufaa mbalimbali katika kukuza biashara na uchumi nchini humo kutokana na treni hiyo kutarajiwa kuongeza ufanisi katika Bandari ya Dar es Salaam na kurahisisha usafirishaji wa mizigo. Akizungumza wakati wa ufunguzi huo Rais Samia amesema treni hiyo itaongeza ufanisi wa ... |
null | Wakati huo huo wataalamu wanasisitiza elimu zaidi kuendelea kutolewa juu ya matumizi sahihi ya viwatilifu vya kilimo kwakuwa matumizi yasiyosahihi ni moja ya sababu ya kutoweka kwa vyakula hivyo. Moja ya changamoto inayokumba jamii nyingi hivi sasa ni kutoweka kwa vyakula vya asili ambavyo vimekuwa chanzo muhimu cha li... |
null | Huku wadau wa utalii nchini humo wakiitaka serikali kuboresha miundombinu mbalimbali ikiwemo miundombinu ya barabara zinazioelekea kwenye vivutio vya utalii ili kurahisisha shughuli za utalii na kuchochea ukuaji wake. Tanzania ni miongoni mwa nchi ambayo inakuwa kwa kasi katika sekta ya utalii barani Afrika, huku sekta... |
null | Wemetoa wito kwa serikali na wadau mbalimbali kuuelimisha umma juu ya umuhimu wa kushiriki katika utawala ili kuimarisha misingi ya demokrasia. Wachambuzi hao wamesema ili kupatikana kwa Demokrasia ya kweli kunahitaji kuwepo kwa ushiriki mkubwa wa wananchi katika utawala pamoja na wananchi kufuatilia uwajibikaji wa vio... |
null | Mkutano ulioandaliwa na Taasisi ya kimataifa inayofuatilia haki za vijana katika masuala ya ardhi kwa ushirikiano na umoja wa Afrika (AU) na shirika la maendeleo la ujerumani (GIZ), unalenga kuwakutanisha pamoja vijana na wadau wengine wakiwemo viongozi wa serikali na taasisi za kiraia, ili kujadili namna ya kuwezeja v... |
null | Awali mwenyekiti CHADEMA, Freeman Mbowe alisema, kitendo cha kuenguliwa kwa wagombea wake wangeweza kuamua kususia uchaguzi huo, lakini amesema ni vyema kuingia katika ushindani wa kisiasa. ‘’Yote yaliyofanyika katika mchakato mzima wa uchaguzi wa serikali za mitaa, hatuna lugha nyepesi ya kutumia, bali kuelezea kuwa u... |
null | Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za mitaa nchini Tanzania, zimefunguliwa rasmi Novemba 20, huku kukiwa na sintofahamu kwa baadhi ya wagombea kutoka vyama vya upinzani ambao wameenguliwa, wakiwemo wale wa vyama cha CHADEMA na ACT Wazalendo. Zaidi ya vijana 500 kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika Jumatatu wamekutana Jijin... |
null | Balozi wa Marekani nchini Tanzania Michael Battle amesisitiza kwamba Marekani haitaacha kukosoa ukiukwaji wa haki za binadamu na kuminywa kwa demokrasia endapo utatokea katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki, akisisitiza kwamba ni muhimu kwa utawala kuchukua kila juhudi na kuhakikisha kwamba raia wa Tanzania wanafurahia ... |
null | Waliokamatwa ni pamoja na mwenyekiti wa chadema Freeman Mbowe na naibu wake Tundu Lissu, wote wakiwa wagombea wa zamani wa urais. Makada wengine kadhaa wa chama walikamatwa pia, kulingana na maafisa wa chama hicho. Ni miongoni mwa wanachama 469, wakiwemo viongozi na vijana wanachama, waliokamatwa kote nchini, Chadema k... |
null | Ripoti hiyo pia imesema vyama vingi vya siasa kunyimwa ruzuku ya serikali, ni miongoni mwa matatizo yanayoikabili demokrasia ya Tanzania. Kwa mujibu wa ripoti hiyo, licha ya kuwepo kwa ongezeko la ushiriki wa wanawake katika siasa na vyombo vya maamuzi ya kisiasa, bado haijafikia viwango vya kitaifa na kimataifa huku s... |
null | Wakidai waathirika waliuawa kwa kupigwa risasi baada ya kukutwa katika maeneo ya mgodi huo huku wakishangazwa na ukimya wa serikali katika kukemea vitendo hivyo. Wakati hali ya wasiwasi ikizidi kuongezeka miongoni mwa wananchi wanaoishi katika maeneo hayo, mmoja wa wakazi wa eneo hilo Anna Julius mjane anayeishi katika... |
null | Rais Samia ametoa salamu hizo siku ya Jumapili Septemba 8, 2024 kupitia ukurasa wake wa mtandao. Kiongozi huyo ameandika kwamba, amepokea kwa usikitifu mkubwa kifo cha kiongozi huyo wa Chadema na kutaka uchunguzi wa kina na haraka ufanyike. "Nimeagizia vyombo vya uchunguzi kuniletea taarifa ya kina kuhusu tukio hili ba... |
null | Tawi la vijana wa Chadema lilikuwa limetangaza siku ya Jumamosi kwamba vijana wapatao 10,000 walitarajiwa kukutana katika mji wa kusini magharibi wa Mbeya kuadhimisha siku ya kimataifa ya vijana leo Jumatatu chini ya kauli mbiyu “chukua udhibiti wa mstakabali wako.” Lakini Awadh Haji, mkuu wa polisi anayehusika na oper... |
null | Shirika la habari la serikali ya China Xinhua, limeripoti kwamba rais Xi Jinping ameshuhudia hafla ya kusaini makubaliano ya kukarabati kilomita 1,860 katika ya China na Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia, TAZARA. Marais wa Tanzania na Zambia pia walihudhuria utiaji saini huo. Viongozi hapo wako Beijing kuhudhuria m... |
null | Wakisema hatua hiyo itasaidia kupunguza ndoa za utotoni huku wakisema uwepo wa sheria hiyo umekuwa kichochezi kikuu cha ndoa za utotoni kutokana na baadhi ya wazazi kutumia sheria hiyo kukandamiza haki za watoto wao. Tafiti zilizofanywa na taasisi ya Msichana Initiative nchini Tanzania zimebainisha kuwa katika kila mat... |
null | Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania siku ya Jumatatu Septemba 9, 2024, umetoa taarifa inayowahimiza maafisa wa Tanzania kufanya uchunguzi huru, wazi na wa haraka kuhusiana na mauaji hayo. Mauaji ya Kibao, afisa wa chama cha upinzani cha Chadema, yametokea mwezi mmoja baada ya viongozi wengine wa chama hicho kukamatwa w... |
null | Licha ya marufuku rasmi, Chadema kiliapa kusonga mbele na maandamano ya kupinga kile kinadai ni utekaji nyara na mauaji ya wanachama wake yanayofanywa na maafisa wa usalama. Polisi wa kuzima ghasia walikuwa wamejipanga jijini kote wakiwa na mabomu ya kurusha maji ya kuwasha ili kuzuia mikusanyiko, na mwenyekiti wa Chad... |
null | Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe na naibu wake Tundu Lissu na maafisa wengine wakuu waliachiliwa kwa dhamana Jumanne kufuatia kukamatwa kwao kabla ya mkutano wa vijana wanachama ulikuwa umepangwa kufanyika siku ya Jumatatu katika mji wa kusini magharibi wa Mbeya. Naibu katibu mkuu wa chama Benson Kigaila alisema, Li... |
null | Wataalamu wa afya wameitaka serikali kushirikiana na wadau kuhakikisha elimu na chanjo zinatolewa vijijini na mijini ili kuepuka maambukizi mapya. Wananchi hao wanasema kukosekana kwa elimu kunasababisha wengi wao kuchelewa kugundua na kutibu ugonjwa na kuufanya usambae na kusababisha ongezeko la maambukizi. Pia wananc... |
null | Mwenyekiti wa Chama kikuu cha upinzani CHADEMA Freeman Mbowe alikamatwa mtaani, wakati naibu wake Tundu Lissu alikamatwa nyumbani kwake kufuatia mipango ya kuandamana kupinga mauaji na utekaji kwa wakosoaji wa serikali. Watetezi wa haki za binadamu wanasema, serikali ya rais Samia Suluhu Hassan inawalenga wapinzani kab... |
null | Alhamisi 21 Novemba 2024 - Novemba 20, 2024 Mwanasiasa maarufu wa upinzani Uganda akamatwa Kenya - Novemba 19, 2024 Rais Biden aahidi dola bilioni 4 kwa ajili ya kusaidia nchi maskini - Novemba 18, 2024 Duniani Leo - Novemba 15, 2024 Wachimbaji madini haramu wakwama kwenye mgodi Afrika Kusini - Novemba 13, 2024 Duniani... |
null | - Novemba 15, 2024 Wachimbaji madini haramu wakwama kwenye mgodi Afrika Kusini - Novemba 13, 2024 Duniani Leo - Novemba 13, 2024 Mkutano wa COP29 wahudhuriwa na mataifa takriban 200 Azerbaijan - Novemba 11, 2024 Mkutano wa COP29 waanza Azerbaijan - Novemba 08, 2024 Rais Biden awataka Wamarekani kukubali matokeo ya ucha... |
null | Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Tufuate Lugha Search Mubashara Mubashara Search Iliyopita Ijayo Breaking News Jumanne, Novemba 26, 2024 Local time: 19:42 Duniani Leo Subscribe Subscribe Video Podcast Matukio Articles Kuhusu Sorry! No content for 2 Novemba. See content fro... |
null | Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Tufuate Lugha Search Mubashara Mubashara Search Iliyopita Ijayo Breaking News Jumanne, Novemba 26, 2024 Local time: 19:42 Duniani Leo Subscribe Subscribe Video Podcast Matukio Articles Kuhusu Jumatano 6 Novemba 2024 Calendar ? Novemba 2024 ... |
null | Matukio - Novemba 25, 2024 Duniani Leo - Novemba 22, 2024 Taarifa za upelelezi Sudan zaonyesha vita vimeleta madhara makubwa - Novemba 20, 2024 Mwanasiasa maarufu wa upinzani Uganda akamatwa Kenya - Novemba 19, 2024 Rais Biden aahidi dola bilioni 4 kwa ajili ya kusaidia nchi maskini - Novemba 18, 2024 Duniani Leo |
null | Ijumaa 15 Novemba 2024 - Novemba 15, 2024 Wachimbaji madini haramu wakwama kwenye mgodi Afrika Kusini - Novemba 13, 2024 Duniani Leo - Novemba 13, 2024 Mkutano wa COP29 wahudhuriwa na mataifa takriban 200 Azerbaijan - Novemba 11, 2024 Mkutano wa COP29 waanza Azerbaijan - Novemba 08, 2024 Rais Biden awataka Wamarekani k... |
null | Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Tufuate Lugha Search Mubashara Mubashara Search Iliyopita Ijayo Breaking News Jumanne, Novemba 26, 2024 Local time: 19:42 Duniani Leo Subscribe Subscribe Video Podcast Matukio Articles Kuhusu Jumatatu 4 Novemba 2024 Calendar ? Novemba 2024 ... |
null | - Novemba 22, 2024 Taarifa za upelelezi Sudan zaonyesha vita vimeleta madhara makubwa - Novemba 20, 2024 Mwanasiasa maarufu wa upinzani Uganda akamatwa Kenya - Novemba 19, 2024 Rais Biden aahidi dola bilioni 4 kwa ajili ya kusaidia nchi maskini - Novemba 18, 2024 Duniani Leo - Novemba 15, 2024 Wachimbaji madini haramu ... |
null | - Novemba 08, 2024 Rais Biden awataka Wamarekani kukubali matokeo ya uchaguzi - Novemba 07, 2024 Rais Biden amkaribisha Rais mteule Trump White House - Novemba 05, 2024 Duniani Leo - Novemba 04, 2024 Wamarekani kumchagua rais wa 47 katika ushindani mkali - Oktoba 25, 2024 Duniani Leo - Oktoba 24, 2024 Duniani Leo |
null | Jumatatu 18 Novemba 2024 - Novemba 18, 2024 Duniani Leo - Novemba 15, 2024 Wachimbaji madini haramu wakwama kwenye mgodi Afrika Kusini - Novemba 13, 2024 Duniani Leo - Novemba 13, 2024 Mkutano wa COP29 wahudhuriwa na mataifa takriban 200 Azerbaijan - Novemba 11, 2024 Mkutano wa COP29 waanza Azerbaijan - Novemba 08, 202... |
null | Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Tufuate Lugha Search Mubashara Mubashara Search Iliyopita Ijayo Breaking News Jumanne, Novemba 26, 2024 Local time: 19:42 Duniani Leo Subscribe Subscribe Video Podcast Matukio Articles Kuhusu Sorry! No content for 2 Novemba. See content fro... |
null | Jumatano 30 Oktoba 2024 - Oktoba 25, 2024 Duniani Leo - Oktoba 24, 2024 Duniani Leo - Oktoba 21, 2024 Waandamanaji Maputo walaani mauaji ya wakili wa upinzani - Oktoba 17, 2024 Israel yafanya uchunguzi kufuatia kuuwawa kwa kiongozi wa Hamas |
null | - Oktoba 25, 2024 Duniani Leo - Oktoba 24, 2024 Duniani Leo - Oktoba 21, 2024 Waandamanaji Maputo walaani mauaji ya wakili wa upinzani - Oktoba 17, 2024 Israel yafanya uchunguzi kufuatia kuuwawa kwa kiongozi wa Hamas - Oktoba 11, 2024 Ruto aahidi kupeleka maafisa wengine 600 wa polisi Haiti |
null | Alhamisi 14 Novemba 2024 - Novemba 13, 2024 Duniani Leo - Novemba 13, 2024 Mkutano wa COP29 wahudhuriwa na mataifa takriban 200 Azerbaijan - Novemba 11, 2024 Mkutano wa COP29 waanza Azerbaijan - Novemba 08, 2024 Rais Biden awataka Wamarekani kukubali matokeo ya uchaguzi - Novemba 07, 2024 Rais Biden amkaribisha Rais mt... |
null | Jumatano 13 Novemba 2024 - Novemba 13, 2024 Duniani Leo - Novemba 13, 2024 Mkutano wa COP29 wahudhuriwa na mataifa takriban 200 Azerbaijan - Novemba 11, 2024 Mkutano wa COP29 waanza Azerbaijan - Novemba 08, 2024 Rais Biden awataka Wamarekani kukubali matokeo ya uchaguzi - Novemba 07, 2024 Rais Biden amkaribisha Rais mt... |
null | - Novemba 11, 2024 Mkutano wa COP29 waanza Azerbaijan - Novemba 08, 2024 Rais Biden awataka Wamarekani kukubali matokeo ya uchaguzi - Novemba 07, 2024 Rais Biden amkaribisha Rais mteule Trump White House - Novemba 05, 2024 Duniani Leo - Novemba 04, 2024 Wamarekani kumchagua rais wa 47 katika ushindani mkali - Oktoba 25... |
null | Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Tufuate Lugha Search Duniani Leo Mubashara Mubashara Search Iliyopita Ijayo Breaking News Jumanne, Novemba 26, 2024 Local time: 19:43 Duniani Leo SUBSCRIBE: Video Podcast Back to top XS SM MD LG |
null | Tizama Duniani Leo kwa habari na siasa za Kenya, Tanzania, Afrika, Washington, D.C., na kote duniani kwa Kiswahili kupitia voaswahili.com/duniani-leo. Tizama Duniani Leo kwa habari na siasa za Kenya, Tanzania, Afrika, Washington, D.C., na kote duniani kwa Kiswahili kupitia voaswahili.com/duniani-leo. |
null | Russia yakosolewa kwa kuweka kura ya turufu huko Sudan dhidi ya ulinzi wa raia. Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C. #habari Russia yakosolewa kwa kuweka kura ya turufu huko Sudan dhidi ya ulinzi wa raia. Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerik... |
null | Msumbiji bado yagubikwa na taharuki kufuatia ghasia ya kupinga uchaguzi uliofanyika nchini humo. Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C. #habari Msumbiji bado yagubikwa na taharuki kufuatia ghasia ya kupinga uchaguzi uliofanyika nchini humo. Matangazo ya Duniani Leo kutoka ... |
null | - Novemba 22, 2024 Taarifa za upelelezi Sudan zaonyesha vita vimeleta madhara makubwa - Novemba 20, 2024 Mwanasiasa maarufu wa upinzani Uganda akamatwa Kenya - Novemba 19, 2024 Rais Biden aahidi dola bilioni 4 kwa ajili ya kusaidia nchi maskini - Novemba 18, 2024 Duniani Leo - Novemba 15, 2024 Wachimbaji madini haramu ... |
null | - Novemba 08, 2024 Rais Biden awataka Wamarekani kukubali matokeo ya uchaguzi - Novemba 07, 2024 Rais Biden amkaribisha Rais mteule Trump White House - Novemba 05, 2024 Duniani Leo - Novemba 04, 2024 Wamarekani kumchagua rais wa 47 katika ushindani mkali - Oktoba 25, 2024 Duniani Leo - Oktoba 24, 2024 Duniani Leo |
null | Matukio - Novemba 25, 2024 Duniani Leo - Novemba 22, 2024 Taarifa za upelelezi Sudan zaonyesha vita vimeleta madhara makubwa - Novemba 20, 2024 Mwanasiasa maarufu wa upinzani Uganda akamatwa Kenya - Novemba 19, 2024 Rais Biden aahidi dola bilioni 4 kwa ajili ya kusaidia nchi maskini - Novemba 15, 2024 Wachimbaji madini... |
null | Mkutano wa COP29 wamaliza wiki moja sasa huku ukosoaji ukiendelea kuzuka. Matukio - Novemba 25, 2024 Duniani Leo - Novemba 22, 2024 Taarifa za upelelezi Sudan zaonyesha vita vimeleta madhara makubwa - Novemba 20, 2024 Mwanasiasa maarufu wa upinzani Uganda akamatwa Kenya - Novemba 19, 2024 Rais Biden aahidi dola bilioni... |
null | Alhamisi 7 Novemba 2024 - Novemba 07, 2024 Rais Biden amkaribisha Rais mteule Trump White House - Novemba 05, 2024 Duniani Leo - Novemba 04, 2024 Wamarekani kumchagua rais wa 47 katika ushindani mkali - Oktoba 25, 2024 Duniani Leo - Oktoba 24, 2024 Duniani Leo |
null | Jumatatu 11 Novemba 2024 - Novemba 11, 2024 Mkutano wa COP29 waanza Azerbaijan - Novemba 08, 2024 Rais Biden awataka Wamarekani kukubali matokeo ya uchaguzi - Novemba 07, 2024 Rais Biden amkaribisha Rais mteule Trump White House - Novemba 05, 2024 Duniani Leo - Novemba 04, 2024 Wamarekani kumchagua rais wa 47 katika us... |
null | Ijumaa 22 Novemba 2024 - Novemba 22, 2024 Taarifa za upelelezi Sudan zaonyesha vita vimeleta madhara makubwa - Novemba 20, 2024 Mwanasiasa maarufu wa upinzani Uganda akamatwa Kenya - Novemba 19, 2024 Rais Biden aahidi dola bilioni 4 kwa ajili ya kusaidia nchi maskini - Novemba 18, 2024 Duniani Leo - Novemba 15, 2024 Wa... |
null | Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Tufuate Lugha Search Mubashara Mubashara Search Iliyopita Ijayo Breaking News Jumanne, Novemba 26, 2024 Local time: 19:43 Duniani Leo Subscribe Subscribe Video Podcast Matukio Articles Kuhusu Jumanne 26 Novemba 2024 Calendar ? Novemba 2024 ... |
null | Wamarekani wamekuwa na wasiwasi jinsi utawala mpya utakavyokuwa. Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C. #habari Wamarekani wamekuwa na wasiwasi jinsi utawala mpya utakavyokuwa. Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C. #habari |
null | Jumanne 19 Novemba 2024 - Novemba 19, 2024 Rais Biden aahidi dola bilioni 4 kwa ajili ya kusaidia nchi maskini - Novemba 18, 2024 Duniani Leo - Novemba 15, 2024 Wachimbaji madini haramu wakwama kwenye mgodi Afrika Kusini - Novemba 13, 2024 Duniani Leo - Novemba 13, 2024 Mkutano wa COP29 wahudhuriwa na mataifa takriban ... |
null | Jumatano 20 Novemba 2024 - Novemba 20, 2024 Mwanasiasa maarufu wa upinzani Uganda akamatwa Kenya - Novemba 19, 2024 Rais Biden aahidi dola bilioni 4 kwa ajili ya kusaidia nchi maskini - Novemba 18, 2024 Duniani Leo - Novemba 15, 2024 Wachimbaji madini haramu wakwama kwenye mgodi Afrika Kusini - Novemba 13, 2024 Duniani... |
null | Alhamisi 31 Oktoba 2024 - Oktoba 25, 2024 Duniani Leo - Oktoba 24, 2024 Duniani Leo - Oktoba 21, 2024 Waandamanaji Maputo walaani mauaji ya wakili wa upinzani - Oktoba 17, 2024 Israel yafanya uchunguzi kufuatia kuuwawa kwa kiongozi wa Hamas |
null | Jumanne 5 Novemba 2024 - Novemba 05, 2024 Duniani Leo - Novemba 04, 2024 Wamarekani kumchagua rais wa 47 katika ushindani mkali - Oktoba 25, 2024 Duniani Leo - Oktoba 24, 2024 Duniani Leo - Oktoba 21, 2024 Waandamanaji Maputo walaani mauaji ya wakili wa upinzani |
null | Ijumaa 1 Novemba 2024 - Oktoba 25, 2024 Duniani Leo - Oktoba 24, 2024 Duniani Leo - Oktoba 21, 2024 Waandamanaji Maputo walaani mauaji ya wakili wa upinzani - Oktoba 17, 2024 Israel yafanya uchunguzi kufuatia kuuwawa kwa kiongozi wa Hamas |
null | Marekani yaipa Uganda fedha na dozi ya chanjo ili kupambana na ugonjwa wa Mpox. Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C. #habari Marekani yaipa Uganda fedha na dozi ya chanjo ili kupambana na ugonjwa wa Mpox. Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerik... |
null | Jumatatu 25 Novemba 2024 - Novemba 25, 2024 Duniani Leo - Novemba 22, 2024 Taarifa za upelelezi Sudan zaonyesha vita vimeleta madhara makubwa - Novemba 20, 2024 Mwanasiasa maarufu wa upinzani Uganda akamatwa Kenya - Novemba 19, 2024 Rais Biden aahidi dola bilioni 4 kwa ajili ya kusaidia nchi maskini - Novemba 18, 2024 ... |
null | <title>Talking US Elections: A Conversation with African Students - Oktoba 31, 2024</title> <description>Every four years, the United States presidential election captures the world’s attention. In 2024, Vice President Kamala Harris, the Democratic nominee, and former President Donald Trump, the Republican pick, will f... |
null | Jumanne 29 Oktoba 2024 - Oktoba 25, 2024 Duniani Leo - Oktoba 24, 2024 Duniani Leo - Oktoba 21, 2024 Waandamanaji Maputo walaani mauaji ya wakili wa upinzani - Oktoba 17, 2024 Israel yafanya uchunguzi kufuatia kuuwawa kwa kiongozi wa Hamas |
null | - Novemba 15, 2024 Wachimbaji madini haramu wakwama kwenye mgodi Afrika Kusini - Novemba 13, 2024 Duniani Leo - Novemba 13, 2024 Mkutano wa COP29 wahudhuriwa na mataifa takriban 200 Azerbaijan - Novemba 11, 2024 Mkutano wa COP29 waanza Azerbaijan - Novemba 08, 2024 Rais Biden awataka Wamarekani kukubali matokeo ya ucha... |
null | Hofu yaendelea kuzuka na kutanda wakati raia wa Senegal wanatarajiwa kupiga kura za bunge siku ya Jumapili. Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C. #habari Hofu yaendelea kuzuka na kutanda wakati raia wa Senegal wanatarajiwa kupiga kura za bunge siku ya Jumapili. Matangazo ... |
null | - Novemba 25, 2024 Duniani Leo - Novemba 22, 2024 Taarifa za upelelezi Sudan zaonyesha vita vimeleta madhara makubwa - Novemba 20, 2024 Mwanasiasa maarufu wa upinzani Uganda akamatwa Kenya - Novemba 19, 2024 Rais Biden aahidi dola bilioni 4 kwa ajili ya kusaidia nchi maskini - Novemba 18, 2024 Duniani Leo - Novemba 15,... |
null | Ijumaa 8 Novemba 2024 - Novemba 08, 2024 Rais Biden awataka Wamarekani kukubali matokeo ya uchaguzi - Novemba 07, 2024 Rais Biden amkaribisha Rais mteule Trump White House - Novemba 05, 2024 Duniani Leo - Novemba 04, 2024 Wamarekani kumchagua rais wa 47 katika ushindani mkali - Oktoba 25, 2024 Duniani Leo - Oktoba 24, ... |
null | Jumatatu 28 Oktoba 2024 - Oktoba 25, 2024 Duniani Leo - Oktoba 24, 2024 Duniani Leo - Oktoba 21, 2024 Waandamanaji Maputo walaani mauaji ya wakili wa upinzani - Oktoba 17, 2024 Israel yafanya uchunguzi kufuatia kuuwawa kwa kiongozi wa Hamas - Oktoba 11, 2024 Ruto aahidi kupeleka maafisa wengine 600 wa polisi Haiti |
null | Tukio hilo, limetumika katika kusaidia shughuli kwa ajili ya mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na AFrika (FOCAC), likilenga kuimarisha mabadilishano ya vyombo vya habari na ushirikiano kati ya China na Afrika, Wakati huo huo tukio hilo likidaiwa kuimarisha mabadilishano ya kiutamaduni na mafunzo ya pamoja ... |
null | Kwa mujibu wa shirika la habari la Reuters, mvua kubwa ambazo zimekuwa zikinyesha katika wiki za karibuni zilisababisha kuporomoka kwa sehemu ya aneo hilo, ambalo ndilo pekee linalotumika kutupa takataka mjini humo, na kupelekea kufunikwa kwa baadhi ya nyumba zilizokuwa karibu, wakati wenyewe walipokuwa wamelala. Mamla... |
null | Mamia ya watu nchini Uganda walikusanyika kwenye ukumbi karibu na kijiji cha Bukwo, Uganda ili kuhudhuria mazishi hayo. Mauaji ya Cheptegei yalifanyika baada ya kurejea kutoka kwenye michezo ya Olimpiki mjini Paris, ambako alishiriki mbio za marathon Agosti 11 na kushika nafasi ya 44. Wiki tatu baada ya kumalizika kwa ... |
null | "Rais wetu Bobi Wine amejeruhiwa kwa risasi mguuni na polisi huko Bulindo! Amepelekwa hospitali kwa ajili ya matibabu ya dharura. Tutaliarifu taifa kuhusu hali yake," unasomeka ujumbe huo. Video zilizobandikwa kwenye mitandao ya kijamii zinaonyesha Bobi Wine, akiwa na fahamu, na jeraha lenye damu kwenye mfupa wa tibia ... |
null | Kundi la kuwawezesha wanawake lililoko katikati mwa Uganda linajaribu kubadili hilo. Somo la msingi la Kiingereza, linafundishwa kwa wafanyakazi wa zamani serikali na watoto wao. Wakimbizi hawa wanaozungumzza lugha ya Kiarabu kutoka Sudan ambao wana hamu kubwa ya kujifunza Kiingereza ili kurahisisha kipindi chao cha mp... |
null | Watu 14 waliuwawa kwa kupigwa na radi kwenye kambi ya wakimbizi kaskazini mwa Uganda, polisi walisema leo Jumapili. Tukio hilo lilitokea siku ya Jumamosi katika wilaya ya Lamwo. Msemaji wa polisi Kituuma Rusoke alisema watu wengine 34 walijeruhiwa. Waathirika bado hawajatambuliwa, aliongeza. Wakazi katika kambi ya Pala... |
null | Mke wa mwanasiasa maarufu nchini Uganda Winnie Byanyima, ambaye mumewake alikamatwa katika nchi jirani ya Kenya amesema mwishoni mwa wiki kwamba hatarajii kuwa mume wake atapata haki katika mahakama ya kijeshi ambako ameshitakiwa. Mwanasiasa maarufu wa upinzani wa Uganda alikamatwa wakati wa uzinduzi wa kitabu nchini K... |
null | Serikali ya Uganda na kampuni ya ujenzi ya Uturuki ya Yapi Merkezi walitia saini mkataba wa kujenga sehemu ya reli yenye urefu wa kilomita 272, katika jitihada za kukuza biashara ya kikanda, afisa mmoja wa Uganda alisema Jumatatu. Mratibu wa mradi wa Reli ya Standard Gauge nchini Uganda, Perez Wamburu, alisema makubali... |
null | Watoto waliokuwa wakitafuta kuni nje ya kijiji cha Kabanga jirani na mji wa Mpigi, takribani kilometa 40 magharibi mwa mji mkuu Kampala, walifanya ugunduzi huo wa kutisha siku ya Jumatatu, kulingana na vyombo vya habari vya ndani. Polisi wamesema wakazi waliwaambia maafisa kuwa kulikuwa na maboksi yaliyokuwa na vitu vi... |
null | Uamuzi huo uliosubiriwa kwa muda mrefu katika kesi ya Thomas Kwoyelo ulitolewa Jumanne na jopo la Mahakama Kuu katika mji wa kaskazini wa Gulu, ambako LRA iliwahi kuendesha uasi wake. Ilikuwa kesi ya kwanza ya ukatili kusikilizwa chini ya kitengo maalum cha Mahakama Kuu ambacho kinafuatilia uhalifu wa kimataifa. Haikuf... |
null | Kizza Besigye amekuwa mpinzani wa rais Yoweri Museveni kwa muda mrefu katika chaguzi nne na kushindwa mara zote, ingawa alipinga matokeo akishutumu kulikuwa na wizi wa kura na vitisho kwa wapiga kura. Amekamatwa mara nyingi kabla ya sasa. Msemaji wa jeshi la Uganda hakupatikana mara moja kutoa maoni yake, wakati msemaj... |
null | Watu 42, akiwemo mtangazaji maarufu wa radio na televeshini na vijana watatu viongozi wa maandamano hayo, walifikishwa kwa haraka mahakamani na kuwekwa rumande chini ya ulinzi wa polisi kwa mashtaka yakiwemo yale “ya kuwa kero”, walisema. Rais Yoweri Museveni, ambaye ameliongoza kimabavu taifa hilo la Afrika Mashariki ... |
null | Idadi ya vifo kufuatia mlipuko wa lori la mafuta karibu na mji mkuu wa Uganda Kampala wiki iliyopita imeongezeka na kufikia 24, serikali imesema leo Jumapili. Nchi hiyo maskini ya Afrika Mashariki imeshuhudia majanga kadhaa kama hayo katika miaka ya hivi karibuni, huku watu wakikimbilia kuiba mafuta kutoka kwenye malor... |
null | Wakili wa kiongozi wa upinzani nchini Uganda alisema Jumamosi kwamba inaonekana mamlaka za Kenya ilihusika pakubwa katika kukamatwa kwa Kizza Besigye na kumuondoa nchini kinyume cha sheria jijini Nairobi. Uganda inakabiliwa na ukosoaji wa kimataifa kufuatia kutekwa kutoka mji mkuu wa Kenya kwa kiongozi mkongwe wa upinz... |
null | Mawaziri wameanza mkutano kwa kutoa wito wa kuimarishwa juhudi za kuhakikisha utulivu barani humo na kuimarisha kiwango cha elimu. Mkutano wa viongozi utaanza Jumamosi, tarehe 17 Februari ukigubikwa zaidi na suala la mapinduzi ya Gabon, Burkina Faso, Mali na Nigeri na hali ya kisiasa nchini Senegal, ikiwa ni miongoni m... |
null | Kabla ya mkutano huo katika mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa, mkuu wa tume ya Umoja wa Afrika, Moussa Faki Mahamat, alitoa tahadhari kutokana na ghasia zinazoyakumba mataifa mengi, barani Afrika na sehemu nyingine za dunia. Sudan imekuwa katika hali mbaya, Faki amesema, huku pia akiangazia tishio la wenye masimamo mka... |
null | Waziri mkuu wa Ethiopia yuko nchini Kenya kwa ziara ya kiserikali, na amekutana na mwenyeji wake rais Ruto ambako wamejadili masuala ya kidiplomasia, usalama na ushirikiano wa kiuchumi na utalii. Viongozi hao wawili, ambao hawakuzungumza na wandishi wa habari jijini Nairobi siku ya Jumatano, walikuwa pia na majadiliano... |
null | Jumanne 26 Novemba 2024 - Novemba 22, 2024 Fibroids zinavyoleta athari katika afya ya uzazi kwa wanawake - Oktoba 20, 2024 Tunaangazia ugonjwa wa Polio na athari zake katika jamii - Oktoba 15, 2024 Ni namna gani jamii inaangazia huduma ya kiroho katika uponyaji. - Oktoba 02, 2024 Hali ya ulaji chakula kupita kiasi inav... |
null | Program hiyo ilitangazwa na wizara ya Afya ya Umma na kuungwa mkono na Taliban, inalenga kuwapatia chanjo takriban watoto milioni 3.3 ambao wamekaa bila ya kupatiwa chanjo tangu mwaka 2018, mara ya mwisho wafanyakazi wa afya hawakuwa na na uwezo wa kufika maeneo ya nchi Tunaangazia ugonjwa wa Polio na athari zake katik... |
null | Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Tufuate Lugha Search Mubashara Mubashara Search Iliyopita Ijayo Breaking News Jumanne, Novemba 26, 2024 Local time: 19:44 Video Matukio Kuhusu Milipuko ya magonjwa hasa Kipindupindu inavyoathiri jamii nchini Sudan. 22 Septemba, 2024 Embed M... |
null | No media source currently available Lupus ni ugonjwa unaoshambulia mfumo wa kinga ya mwili ambao unasababisha mwili kushambulia tishu pamoja na viungo vyake. Ugonjwa huu sugu husababisha mwili kuvimba. Ona maoni Forum |
null | Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Tufuate Lugha Search Mubashara Mubashara Search Iliyopita Ijayo Breaking News Jumanne, Novemba 26, 2024 Local time: 19:44 Video Matukio Kuhusu Ni namna gani jamii inaangazia huduma ya kiroho katika uponyaji. 15 Oktoba, 2024 Embed Ni namna g... |
null | Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Tufuate Lugha Search Mubashara Mubashara Search Iliyopita Ijayo Breaking News Jumanne, Novemba 26, 2024 Local time: 19:44 Video Matukio Kuhusu Maendeleo yanayoangazia tiba katika mapambano dhidi ya HIV na Ukimwi 3 Agosti, 2024 Embed Maendel... |
null | Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Tufuate Lugha Search Mubashara Mubashara Search Iliyopita Ijayo Breaking News Jumanne, Novemba 26, 2024 Local time: 19:44 Video Matukio Kuhusu Changamto za uraibu au dawa za kulevya miongoni mwa vijana katika jamii 16 Septemba, 2024 Embed C... |
null | Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Tufuate Lugha Search Mubashara Mubashara Search Iliyopita Ijayo Breaking News Jumanne, Novemba 26, 2024 Local time: 19:44 Video Matukio Kuhusu Mapambo ya maua asili ndani ya nyumba na faida zake kwa afya ya binadamu. 1 Septemba, 2024 Embed ... |
null | No media source currently available Utaratibu wa mwanamke kushika mimba kwa niaba ya mtu au wanandoa wengine ambapo wakina mama wanaoamua kubebeshwa mimba kwa utaratibu huu wanapatiwa aina ya matibabu ya uzazi ambapo mayai yanachanganywa na mbegu za kiume nje ya mwili wa mwanamke. Ona maoni Forum |
null | Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Tufuate Lugha Search Mubashara Mubashara Search Iliyopita Ijayo Breaking News Jumanne, Novemba 26, 2024 Local time: 19:44 Video Matukio Kuhusu Hali ya ulaji chakula kupita kiasi inavyoongezeka barani Afrika 2 Oktoba, 2024 Embed Hali ya ulaj... |
null | Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Tufuate Lugha Search Mubashara Mubashara Search Iliyopita Ijayo Breaking News Jumanne, Novemba 26, 2024 Local time: 19:44 Maisha na Afya Matukio Articles Kuhusu Ubora wa viwango vya hewa tunayovuta na athari zake kwa afya zetu 4 Juni, 2024 ... |
null | Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Tufuate Lugha Search Mubashara Mubashara Search Iliyopita Ijayo Breaking News Jumanne, Novemba 26, 2024 Local time: 19:44 Maisha na Afya Matukio Articles Kuhusu Mamilioni ya watu duniani hawana fursa za kiafya kupitia msaada wa kiteknolojia... |
null | Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Tufuate Lugha Search Mubashara Mubashara Search Iliyopita Ijayo Breaking News Jumanne, Novemba 26, 2024 Local time: 19:44 Video Matukio Kuhusu Athari za unywaji pombe kupita kiasi unavyoathiri Afya zetu 6 Julai, 2024 Embed Athari za unywaji... |
null | Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Tufuate Lugha Search Mubashara Mubashara Search Iliyopita Ijayo Breaking News Jumanne, Novemba 26, 2024 Local time: 19:44 Video Matukio Kuhusu Unafahamu sababu zinazopelekea Keloid mwilini mwako na matibabu yake? 8 Oktoba, 2024 Embed Unafah... |
null | Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Tufuate Lugha Search Mubashara Mubashara Search Iliyopita Ijayo Breaking News Jumanne, Novemba 26, 2024 Local time: 19:44 Maisha na Afya Matukio Articles Kuhusu Ugonjwa wa homa ya ndege na athari zake kwa binadamu 29 Julai, 2024 Embed Ugonj... |
null | Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Embed share Fibroids zinavyoleta athari katika afya ya uzazi kwa wanawake by VOA Swahili – Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika Embed share The code has been copied to your clipboard. width px height px The URL has been copied to your cli... |
null | Matukio - Novemba 22, 2024 Fibroids zinavyoleta athari katika afya ya uzazi kwa wanawake - Oktoba 20, 2024 Tunaangazia ugonjwa wa Polio na athari zake katika jamii - Oktoba 15, 2024 Ni namna gani jamii inaangazia huduma ya kiroho katika uponyaji. Forum |
null | Upatikanaji viungo Nenda habari kuu Nenda katika urambazaji Nenda katika tafuta Tufuate Lugha Search Mubashara Mubashara Search Iliyopita Ijayo Breaking News Jumanne, Novemba 26, 2024 Local time: 19:45 Maisha na Afya Matukio Articles Kuhusu Afya za wakimbizi na ustawi wake katika kambi wanazoishi 21 Juni, 2024 Embed Af... |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.