name stringclasses 429
values | text stringlengths 0 767k ⌀ |
|---|---|
null | For boys (na Labda wasichana pia wanahitaji kusikia haya! ): 1. Hakikisha unaoa. Kuoa ni lazima. Kuoa siyo lazima uwe na pesa. Ukikua kiasi cha kuzalisha mwanamke, oa! Mengine yatajipanga. Uoe nani sasa, sikia mtazamo wangu! 2. Oa tu mwanamke kama unampenda na una nia ya kuanzisha familia iliyo bora. Oa mwanamke atakay... |
null | Utamu Uchungu wa Mchezo wa Makachu Zanzibar, vifo, ulemavu wakudumu, wadai wanalipwa 20,000 wagawane watu 5, serikali yatoa kauli Mchezo wa makachu umeendelea kuwa maarufu zaidi duniani. Mastaa na watu mashuhuri wamekuwa wakivutiwa zaidi na mchezo huo maarufu Zanzibar. Taarifa za vifo, ulemavu wa kudumu pamoja kuwaingi... |
null | - - October 18, 2024 - 2:26 pm Yamemkuta Mchekeshaji wa Cheka Tu (Video) - September 26, 2024 - 1:57 pm Rayvanny nimempita – Lukamba (Video) - September 26, 2024 - 1:55 pm Siwezi kurudi kwa Diamond Platnumz – Lukamba (Video) - September 26, 2024 - 1:53 pm Diamond ni Role Model wangu-Lukamba (Video) - September 26, 2024... |
null | Raia wawili wa Uganda wamekamatwa kwa tuhuma za kuwatusi Rais Yoweri Museveni, mkewe Janet Museveni na mtoto wa Rais, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, kwenye mtandao wa kijamii wa TikTok. Jaji Stella Maris Amabilis aliamuru kuwa David Ssengozi, mwanzilishi wa Lucky Choice, mwenye umri wa miaka 21, na Isaya Ssekagiri mweny... |
null | Picha zinaonyesha wafuasi wa Donald Trump wenye furaha, wakisherehekea katika baadhi ya sehemu za Marekani huku mteuzi wao wa rais akisonga mbele katika matokeo yaliyotarajiwa. Wengine wamevalia kofia zilizoandikwa (Make America Great Again – kauli mbiu ya kampeni ya Trump), wengine wamejifunika bendera ya Marekani. Do... |
null | Kituo cha Kitaifa cha Ukuzaji Mtaala (NCDC) kimetangaza kuwa lugha ya Kiswahili itaanzishwa kama somo la lazima katika shule za msingi kwa awamu kuanzia mwaka ujao. Bi Grace Baguma, mkurugenzi wa NCDC, alisema uzinduzi utaanza magharibi mwa Uganda, haswa katika Jiji la Fort Portal, na wilaya za Kasese na Kabarole. Bi B... |
null | Orodha mpya ya magari yenye thamani zaidi Duniani imetolewa huku ikiwashangaza sana watu kwa Gharama za magari hayo, pia kampuni mpya zimeingia kwenye Orodha ya mwaka huu baada ya kukosekana kwenye Orodha ya mwaka Jana. Angalia hii video kujua Orodha ya magari hayo. |
null | Mshindi wa shindano la urembo la Miss Japan mzaliwa wa Ukraine amejivua taji lake baada ya ripoti ya gazeti la udaku kufichua uhusiano wake na mwanamume aliye katika ndoa. Karolina Shiino, 26, alitawazwa mshindi wa taji la Miss Japan wiki mbili zilizopita lakini ushindi wake ulizua mjadala wa umma kutokana na mizizi ya... |
null | Kuna ndege za Abiria, ndege za mizigo alafu kuna ndege za Mbwa kwa kifupi wamiliki wa Mbwa Nchini Marekani hawatoteseka tena pale wanapotaka kusafiri na Mbwa wao kwa kutumia usafiri wa ndege baada ya Shirika la ndege liitwalo BARK AIR kuanzisha huduma ya kusafiririsha Mbwa na wamiliki wake. Kutokana na Safari yake ya k... |
null | Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni wakati baadhi ya watu wakikemea vikali tabia ya kusema uongo, Fahamu kuwa kila mwaka ifikapo Novemba katika mji wa Santon, Uingereza HUFANYIKA shindano la kumtafuta mtu muongo zaidi Duniani “The World Biggest Liar”. Katika shindano hilo washiriki wanapima uwezo wao wa kusema uong... |
null | Mwanajeshi wa zamani wa jeshi la Marekani Esperance Fuerzina ametangazwa kuwa mwanamke mwenye Tattoo nyingi zaidi na kuingizwa kwenye kitabu cha rekodi za dunia za Guinness. Imemchukua miaka 10 kuchora zaidi ya 99.98% ya mwili wake michoro mbalimbali na bado hajatosheka anataka kuendelea zaidi. Tattoo zake huanzia kich... |
null | Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito wa kusitisha mapigano kati ya Israel na kundi la Hamas akisema hali ya Gaza ni ya kutisha na janga kubwa ambalo ulimwengu hauwezi kuendelea kupuuza. Kauli ya Guterres ilitolewa katika hotuba iliyosomwa na naibu wake katika mkutano wa Cairo unaolenga kuharakis... |
null | Mamia ya wananchi wameendelea kujitokeza kupiga kura kuchagua viongozi wa serikali za mitaa katika vituo sita ambavyo tumezunguka jijini Dar Es Salaam huku hali ya usalama kuanzia mitaani mpaka kwenye vitu ikiwa shwari. @bongo5tv imezungumza na baadhi ya wananchi na kusema zoezi la upigaji kura ni jepesi licha ya kutum... |
null | Usiku wa jana kumefanyika uzinduzi wa Shomax Tanzania ambapo Viongozi mbalimbali wa Kiserikali walishiriki pamoja na wadau mbalimbali wa maswala ya Tamthilia Licha ya kuonekana kuwa ni wazo la kipekee Waziri wa Habari Mhe Jerry Slaa amesema ujio wa Showmax Tanzania umeleta suluhusho la Maudhui Video Nzima ipo katika Ak... |
null | KISUGU ATAMBA KWA UJIO WA ELIE MPANZU Shabiki Nguli wa klabu ya Simba @mikoikisugu leo katika mahojiano na Bongo5 amewatambia wapinzani wao juu ya Usajili mpya wa Winga Elie Mpanzu kutokea AS Vita na anaamini kuwa usajili huo ndiyo utakaowapa Ubingwa wa Shirikisho pia Kisugu ameongelea ubora wa mchezaji wao mpya Leonel... |
null | Mtandao wa Wanawake laki moja waendelea kuhamasisha matumizi ya Nishati Safi wamuunga mkono Rais Samia Mlezi wa Mtandao wa Wanawake laki moja Tano Seif Mwera ameendelea kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya gesi ameyasema hayo alipokuwa katika Soko la Temeke Sterio alipokuwa akiongea na akina Mama lishe. Mama lishe w... |
null | MKURUGENZI wa Idara ya Elimu na Mafunzo ya Lishe kutoka Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC), Dk. Esther Nkuba amewataka waandishi wa habari nchini kuandika na kutangaza kwa weledi habari zinazohusu masuala ya chakula na lishe ili kufikisha ujumbe stahiki kwa jamii pasipo kupotosha. Dk. Nkuba alitoa rai hiyo hiv... |
null | Katika mahojiano yake na @el_mando_tz Mtangazaji Mkongwe kutoka @crownfmtz @salim_kikeke amezungumza sababu ya kurudi kufanya kazi Tanzania na kuachana na BBC. Mbali na hilo @salim_kikeke ametoa ya moyoni kuhusu Media za Tanzania, kwanza hazizingatii weledi au Ethics za Media kabisa na ndio maana hazitengenezi Waatanga... |
null | Wakati akifanya mahojiano na @el_mando_tz mkongwe wa Bongo Fleva @abbyskillz_tz amefunguka mengi sana kuhusu maisha yake ya muziki. Mbali na hilo amesimulia namna zamani walivyoishi na wenzake kama @officialalikiba @mrbluebyser1988 @queendarleen_ na @princedullysykes Kariakoo. Amesimulia pia namna alivyofanya video na ... |
null | ‘Nilivunja makubaliano na Baba, nikajua leo kitawaka’ Tariq Wiki iliyopita tuliripoti kutoroka kwa mtoto Tariq Mkamba ambaye alitoroka nyumbani kwao baada ya kutishiwa kwamba ataadhibiwa na baba yake baada ya kupoteza deodorants ambayo alinunuliwa. Mtoto huyo alitafutwa wiki nzima bila mafanikio mpaka pale alivyopatika... |
null | Siku ya Jumamosi yalitolewa Mafunzo kwa waandishi wa habari na Taasisi ya @msichanainitiative yenye lengo la “kujenga uanaharakati wa uandishi wa habari katika kutokomeza ndoa za utotoni Tanzania. Mafunzo haya yalitolewa na Dkt. Avemaria Emilius Semakafu-Mratibu wa Taifa TWCP/Ulingo ambapo alifafanua tofauti kati ya Ru... |
null | Mtangazaji huyo wa @crownfmtz @salim_kikeke akipiga story na @el_mando_tz ameulizwa kuhusu kuwa na share kwenye media hiyo. Lakini pia @salim_kikeke amesimulia kutafutwa na media zote kubwa Tanzania na kuzikataa lakini kuna media ilitaka kumtapeli mkataba akashtuka mwishoni. Unahisi ni media gani hiyo?? Kikeke pia amee... |
null | Steve Nyerere aunguruma kuhusu kauli za Mbunge Mpina Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao @stevenyerere2 amemvaa Mbunge wa Kisesa Mpina baada ya hivi kutoa taarifa ambayo amedai ina lengo la kukigawa chama cha Mapinduzi. Steve amewataka wana CCM kuacha kumjibu kwani anatafuta sababu kuelekea Uchaguzi ... |
null | @lukambaofficial wakati akipiga story na @el_mando_tz ameeleza namna treatment unazopewa ukifika kwa P Diddy. Pia ameongelea kwa undani mambo yote walipokuwa kwa P Diddy kwenye Mahojiano hayo. Anasema kuwa unapewa kila kitu ili upagawe kwanza. Mahojiano yote yapo kwenye akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive. Cameraman &... |
null | Co-founder wa Cheka Tu ambaye ni mdogo wake na Mchekeshaji @coy_mzungu Crey ametaja sababu zilizomfanya Diamond afanye nao kazi. Akipiga story na @el_mando_tz kwa mara ya kwanza ametaja sababu zilizomfanya Diamond ajiondoe Cheka Tu. Anaongeza kuwa mpaka sasa wanamuhitaji sana Diamond afanye nao kazi maana aliwasaidia k... |
null | Katika mazungumzo na Bongo5 tv @mcgarab amefunguka namna alivyoshirikiana na marehemu Gadner G Habash ambapo katika hilo ameweka wazi kwamba marehemu Gadner alikuwa akimsisitiza aende Clouds Media kwa ajili ya kutangaza halima ni huzuni kubwa Endelea kuwa karibu nasi kwa updates zote juu ya msiba huu mzito Video Nzima ... |
null | Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumzia Show za Wasanii kwenye Tamasha la Wasafi Festival la Mbeya. Anasema katika kitu cha kupongezwa wasanii wameanza kuwa wabunifu jukwaani ingawa bado kuna uhaba wa Show za Live. Anaongeza kuwa hata upande wa Sound na light za Jukwaa kuna kitu kimeong... |
null | - - September 26, 2024 - 11:00 am Lukamba aeleza sababu ya P Diddy kwakasirikia pamoja na Diamond Platnumz (Video) - August 28, 2024 - 11:55 am Huyu ndiye Binadamu mwenye tattoo nyingi zaidi Duniani - August 27, 2024 - 12:12 pm Leonardo agoma kuondoka kwa Kaka yake kisa Man Utd vs Liverpool (Video) - August 27, 2024 - ... |
null | - - October 30, 2024 - 12:02 pm Bibi harusi afariki Ukumbini akimuimbia Mumewe - October 18, 2024 - 2:26 pm Yamemkuta Mchekeshaji wa Cheka Tu (Video) - September 26, 2024 - 11:00 am Lukamba aeleza sababu ya P Diddy kwakasirikia pamoja na Diamond Platnumz (Video) - September 26, 2024 - 10:47 am Lukamba afunguka mazito I... |
null | Akipiga story na @el_mando_tz @lukambaofficial amesimulia mwanzo mwisho walivyofika kwa P Diddy na namna walivyopokelewa mpaka kula chakula. Anasema P Diddy alijaribu kuwaita wakaangalie Movie wote lakini Swizz Beats ambaye ndio alikuwa mwenyeji wao akigoma. Mahojiano yote yapo kwenye akaunti yetu ya YouTube ya Bongofi... |
null | - - September 26, 2024 - 11:00 am Lukamba aeleza sababu ya P Diddy kwakasirikia pamoja na Diamond Platnumz (Video) - September 26, 2024 - 10:57 am P Diddy tulimkatalia akatununia – Lukamba (Video) - September 26, 2024 - 10:52 am Lukamba ashindwa kujizuia afunguka A-Z waliyoyakuta kwa P Diddy wakiwa na Diamond (Video) -... |
null | Kupitia kwenye kipindi cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumzia tukio la Utoaji tuzo za TMA kwa wasanii wa Tanzania. Amezungumzia mambo mbalimbali ikiwemo malalamiko ya mashabiki kuhusu baadhi ya Tuzo ikiwemo ya Alikiba wakidai hakustahili. Mbali na hilo Jay Melody na Mbosso kukosa Tuzo haliyakuwa walifanya muziki m... |
null | Kwenye mahojiano ya @el_mando_tz @lukambaofficial anasema kuwa Diamond ndio Role Model wake kwenye muziki maana amejifunza mengi sana. Anaongeza atakuwa mkubwa kimuziki kama Diamons siku moja Afrika nzima ingawa siwezi kurudi kufanya naye kazi tena. Anaongeza kwenye suala la Exposure baada ya @diamondplatnumz anafuata ... |
null | Rais Samia Suluhu Hassan anahitimisha ziara yake ya kikazi ya siku sita katika Mkoa wa Morogoro, huku akiacha alama nne zitakazobaki kama kumbukumbu kwa wakazi wa mkoa huo. Katika ziara hiyo iliyoanza Agost 2-7, mwaka huu Pamoja na mambo mengine mkuu huyo wa nchi alizindua Kampeni ya ‘Tutunzabe Mvomemero 2023-2028, ’Da... |
null | Kwenye mahojiano ya @el_mando_tz @lukambaofficial anasema kuwa Diamond ndio Role Model wake kwenye muziki maana amejifunza mengi sana. Anaongeza atakuwa mkubwa kimuziki kama Diamons siku moja Afrika nzima ingawa siwezi kurudi kufanya naye kazi tena. Anaongeza kwenye suala la Exposure baada ya @diamondplatnumz anafuata ... |
null | Kwenye mahojiano ya @el_mando_tz @lukambaofficial anasema kuwa Diamond ndio Role Model wake kwenye muziki maana amejifunza mengi sana. Anaongeza atakuwa mkubwa kimuziki kama Diamons siku moja Afrika nzima ingawa siwezi kurudi kufanya naye kazi tena. Anaongeza kwenye suala la Exposure baada ya @diamondplatnumz anafuata ... |
null | Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz eo ametoa elimu ya bure namna wasanii na nyimbo zao zinavyoingiza pesa Spotify, Itunes na Apple Music kwa kila Streams. Anasema kuwa kwa namna nyimbo zinavyoingiza pesa wasanii wachache sana Tanzania wanatengeneza pesa kwa ukubwa na wengine bado hawanufaiki. A... |
null | Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz ameizungumzia ngoma mpya ya Nay wa Mitego na Darassa ya HUSTLE. Anasema kuwa wasanii wa Hip Hop wakiamua muziki wa Hip Hop utarudi kwenye ramani pale ulipokuwa zamani sema tu hawajaamua bado. Wimbo wa Nay Wa Mitego na Darassa Hustle umeshiba sana na ni funzo k... |
null | Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz ameuzungumzia video mpya ya Diamond Komasava. Anasema kuwa Video ya Komasava imekuja kutoa fundisho namna ya uwekezaji unavyotakiwa kuwa kwenye nyimbo. Diamond ametoa video bora ya muda wote Tanzania na Afrika kwa ujumla. Uchambuzi mzima upo katika akaunti yet... |
null | BRAND NEW VIDEO: Staa wa Bongo Fleva @marioo_tz ameachia video ya wimbo wake wa HAKUNA MATATA asubuhi ya leo. Video hiyo imeshutiwa sehemu mbalimbali za Kiutalii Tanzania ikiwemo Mlima Kilimanjaro, Zanzibar na kwingineko. Huenda hii ndio ikawa video bora ya mwaka?? Nenda kwenye akaunti yake ya Youtube kaitazame. |
null | Watanzania wametakiwa kuwapigia kura wasanii wa filamu ambao wametajwa kwenye tuzo za @zikomoawards . @tanzania_film_board wamesema wameona kuna umuhimu wa Watanzania kupiga Kura kwa wingi ili kuiheshimisha tasnia ya filamu Afrika. Watanzania wametakiwa kuwapigia kura wasanii wa filamu ambao wametajwa kwenye tuzo za @z... |
null | @lukambaofficial wakati akipiga story na @el_mando_tz ameeleza namna treatment unazopewa ukifika kwa P Diddy. Anasema kuwa unapewa kila kitu ili upagawe kwanza. Mahojiano yote yapo kwenye akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive. Cameraman & Editor @samirkakaa |
null | Kwenye mahojiano na @el_mando_tz Mkongwe wa Bongo Fleva amezungumzia maisha yao ya zamani na wasanii wenzake namna walivyoishi. @abbyskillz_tz ametaja tabia za kila msanii @officialalikiba @mrbluebyser1988 @princedullysykes na @queendarleen_ Mahojiano yote yapo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive. Cameraman & E... |
null | Majambazi watatu wameuawa baada ya kupambana na Jeshi la Polisi wakiwa katika harakati za kutaka kupora katika duka, eneo la Goba Dar es Salaam. Majambazi watatu wameuawa baada ya kupambana na Jeshi la Polisi wakiwa katika harakati za kutaka kupora katika duka, eneo la Goba Dar es Salaam. |
null | Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam linamshikilia Heri Julius Chisanga, umri 33, Myao fundi simu na mkazi wa Mburahati kwa tuhuma za kumuua Leonia Julius Ziota miaka 35, Mnyamwezi, mkazi wa Sinza, Msusi katika saluni iliyopo maeneo ya Sinza Kinondoni Jijini Dar es salaam. Tukio hilo lilitokea tarehe 17/06/202... |
null | Meli Iliyobeba Viuatilifu aina ya Salfa zaidi Ya Tani elfu Tano imewasili katika Bandari Ya Mtwara mapema asubuhi ya leo ambapo viuatilifu hivyo Vitagaiwa bure Kwa wakulima wa Zao la korosho. Akiongea na Bongo5 Kaimu Mkurugenzi wa Bodi ya Korosho amesema “Viuatilifu Hivyo aina ya Salfa vinasaidia kuikinga Mikorosho Isi... |
null | @lukambaofficial wakati akipiga story na @el_mando_tz ameeleza namna treatment unazopewa ukifika kwa P Diddy. Anasema kuwa unapewa kila kitu ili upagawe kwanza. Mahojiano yote yapo kwenye akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive. Cameraman & Editor @samirkakaa |
null | Kamanda Muliro amesema katika Oparesheni hiyo, watuhumiwa wengine wa makosa ya mtandao pia walikamatwa, ambao ni: Marry Samson Sibora @ ASHA ZUNGU miaka 23, Mzanaki, mkazi wa Sinza Mugabe na Zainabu Yahaya Omary @ official Manka , miaka 23, Mrangi, mkazi wa Buguruni Wanatuhumiwa kwa makosa ya usambazaji wa picha za ngo... |
null | Akipiga story na @el_mando_tz @lukambaofficial amesimulia mwanzo mwisho walivyofika kwa P Diddy na namna walivyopokelewa mpaka kula chakula. Anasema P Diddy alijaribu kuwaita wakaangalie Movie wote lakini Swizz Beats ambaye ndio alikuwa mwenyeji wao akigoma. Mahojiano yote yapo kwenye akaunti yetu ya YouTube ya Bongofi... |
null | Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Juni 23, 2022 atafanya ziara ya siku moja katika mkoa wa Arusha na Tanga ambapo atashuhudia zoezi la awamu ya Pili ya wananchi takribani 117 kutoka kaya 27 wanaohama kwa hiari yao wenyewe kutoka katika eneo la hifadhi ya Ngorongoro kuelekea kijiji cha Msomera, Handeni Mheshimiwa Majaliwa... |
null | Kesi inayomkabili msanii wa Bongo Fleva Faustina Charles Mfinanga alimaarufu Nandy imeendelea katika mahakam ya mwanzo Sinza jijini Dar Es Salaam siku ya leo tarehe 12-8-2022. Kesi hiyo ambayo imefunguliwa na Mtangazaji wa Clouds FM Burton Mwambe alimaarufu kama Mwijaku kwa madai kuwa alitumiwa vibaya na Nandy pasina m... |
null | Akizungumza na waandishi wa habari amesema yeye afeki kwenye swala la kuimba mara nyingi huwa anaimba maisha yake na ikitokea ni mziki wa kumsifia mwanamke basi anapenda ndo mana anamuimbia Kuhusu Malaika kumpokelea tuzo ya TMA harmonize amesema malaika ni mrembo na anavutia hivyo ana vigezo vyote Video Nzima ipo katik... |
null | Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Dkt. James Mataragio amesema nchi za Tanzania na Uganda zitaendelea kushirikiana katika uendelezaji wa miradi mbalimbali ya Nishati ikiwemo Sekta ya Mafuta na Gesi. Dkt. Mataragio ameyasema hayo Novemba 22, 2024 jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na Waandishi wa habari baada ya... |
null | Miradi ya Kilimo, Afya, Elimu, Umeme na Maji yaguswa Mbunge wa Vijana Mkoa wa Ruvuma (CCM) ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amempongeza Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa zaidi ya shilingi bilioni 24 kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo katika Wilaya Namtumbo mkoani Ruvuma. ... |
null | Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema kuwa imebaini kuwepo kwa majukwaa na programu Tumizi ‘Applications” zinazojihusisha na utoaji wa mikopo kidijitali bila ya kuwa na leseni na idhini kutoka BoT. Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa leo Alhamis na BoT, imeeleza kuwa majukwaa na Programu hizo zimeshin... |
null | Ampongeza Rais Samia kwa kuboresha mazingira ya Biashara nchini Wavutiwa na uwepo wa Rasilimali madini za kutosha Finland yaiahidi Tanzania ushirikiano kwenye utafiti wa madini Waziri wa Madini Anthony Mavunde amewakaribisha jumuiya ya wa Wafanyabiashara kutoka Nchini Finland kuwekeza kwenye sekta ya madini kwa kuwa nc... |
null | Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mgeni Hassan Juma amesema kuwa ili sekta ya madini iweze kuzalisha ajira zaidi na kuongeza mchango katika pato la Taifa ni lazima madini yaongezwe thamani. Aidha amesema kuwa ili Tanzania iweze kufikia azma ya kuwa kitovu cha madini barani Afrika ni lazima kujenga viwanda ... |
null | Mamia ya wakazi wa Mbagala iliyopo Manispaa ya Temeke, Jijini Dar es Salaam, jana wamejitokeza kwa wingi Hospitali ya Mbagala Rangi Tatu ili kufanyiwa uchunguzi wa macho unaofanywa na madaktari bingwa kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) bila malipo kwa kushirikiana na wenzao hospitalini hapo. Akizunguma hospitali... |
null | Jumuiya ya Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umeiomba Serikali kupitia Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kuufungia mtandao wa Twitter (X) kutokana na maudhui yake kutokuendana na mila na desturi za kitanzania . Ombi hilo limetolewa jana Juni 11, 2024 Jijini Dar es salaam na Mwenyekiti wa U... |
null | “Mashabiki wa Simba waelewe hakuna mtu ambaye anapinga jitihada zilizofanywa na Dewji , kila mtu anatambua mchango wake, Mjadala ambao tunajadili ni uhalali wa bodi ya Simba “ “Simba inatakiwa kuwa chini ya Mangungu lakini mashabiki hawataki kulisikia hilo , leo hii tunaambiwa Mo anarudi ! Je anakuja kuwa mwenyekiti wa... |
null | Akiongea kwa niaba ya Kamanda wa Jeshi la Polis Mkoa wa Dodoma Kamishna msaidizi mwandamizi SACP Anania Amo leo Agosti 13,2024 jijini Dodoma, amesema kuwa jeshi la polisi linaendelea kumuhoji Mlinzi huyo kuhusiana na Tukio hilo huku mwili wa marehemu ukiwa umehifadhiwa katika chumba cha kuhifadhia maiti kwaajili ya chu... |
null | Licha yakufanya vizuri Kimataifa mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka Nchini Kenya Eunice Kemunto ameachia kichupa kipya kinachokwenda kwa jina la I love you Sweetie ikiwa hii ni maalum kwa wapendanao Ifahamike mwimbaji huyu amewahi kutoa nyimbo kali zilizofanya vizuri ikiwemo,we give you glory,asante Bwana,nalindwa na ... |
null | Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, William Lukuvi amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia ombi la wananchi wa Ngorongoro la kutumia haki hao ya Kikatiba ya kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa katika maeneo yao yaliyopo kwenye Tarafa ya Ngorongoro.... |
null | Onyesho kubwa la mitindo lenye hadhi ya juu, Tanzania Fashion Festival linatarajiwa kurudi tena baada ya kusubiriwa kwa mwaka mzima na wapenzi wa mitindo nchini. Katika tangazo ambalo limetolewa hivi karibuni , linaonyesha tamasha la mitindo la mwaka huu litaongozwa na Smirnoff kama Mdhamini mkuu. Ikisabambazwa na Sere... |
null | Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) imetoa gawio kwa serikali la Sh. Bilioni 18.9 ikiwa ni utekelezaji wa jambo hilo kwa mujibu wa kifungu cha 10 cha sheria ya Msajili wa Hazina sura 370. Gawio hilo la Brela limetolewa leo Ikulu jijini Dar es Salaam na kupokelewa na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan waka... |
null | Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba SC Salim Abdallah Muhene (Try Again) ametangaza rasmi kung’atuka katika nafasi yake ya Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba SC uamuzi ambao unaashiria MO Dewji anarudi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi. “Sisi kama Viongozi imefikia hatua sasa tuiokoe Simba SC, mtu pekee a... |
null | Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) imefanikiwa kuendesha mafunzo ya ujasiriamali ya EMPRETEC kwa wafanyabiashara 83 jijini Dar es Salaam kama sehemu ya Mradi wa Kukuza Ujasiriamali wa Afrika (AFRAP), unaofadhiliwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB). Kati ya biashara 230 zilizovutiwa awali, 120 zilichaguliwa k... |
null | Mamake Mariah Carey Patricia na dada yake Alison walifariki siku moja mwishoni mwa juma, mwimbaji huyo wa Marekani amesema katika taarifa yake. “Moyo wangu umeumia sana kwa kumpoteza mama yangu wikendi hii iliyopita,” Carey alisema Jumatatu. “Cha kusikitisha zaidi, dada yangu pia alipoteza maisha siku hiyo hiyo.” Mwimb... |
null | -Asema falsafa ya Mhe Dkt Samia ni kutatua migogoro kwa kukaa mezani pamoja -Asisitiza kamwe migogoro haiwezi kusuluhishwa kwa mashinikizo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila leo Juni 24,2024 amefika eneo la Kariakoo maarufu kwa shughuli mbalimbali za kibiashara jijini humo kwa lengo la kujionea hali halisi ... |
null | Ofisi ya Rais Ikulu ya Zanzibar imesema kjuwa maoni yanayotolewa kuhusu kupendekerza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Mwinyi aongezewe muda wa kubaki madarakani kwa miaka saba badala ya mitano siyo ya Rais Mwinyi wala ya Chama cha Mapinduzi (CCM). Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Ma... |
null | Makampuni makubwa ya utengenezaji wa taulo za kike (pedi) nchini China, yamelazimika kuomba radhi baada ya kushutumiwa kuuza taulo za kike ambazo ni fupi kuliko zilivyo tangazwa. Hilo linakuja huku kukiwa na dhoruba ya hasira baada ya video za mitandao ya kijamii kuwaonyesha wanawake wa China wakipima urefu wa pedi, ku... |
null | Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Deloitte Africa Ruwayda Redfearn pamoja na mwenzake wa Kanda ya Afrika Mashariki Anne Muraya wakifurahia bidhaa zinazotengenezwa na kikundi cha Matumaini Yetu cha Zanzibar ambacho ni moja ya wanufaika wa Mradi wa USAID Kizazi Hodari Kanda ya Kusini wakati wa ziara ambayo ililenga kupat... |
null | Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa suala la matumizi bora ya nishati linapaswa kuwepo kwenye mipango ya Serikali katika nchi za Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ili kuwezesha nchi hizo kutumia umeme kwa ufanisi na hivyo kupunguza upotevu wa ... |
null | “Jonas Mkude, Clatous Chama na Augustine Okrah kiufundi hawakutakiwa kusajiliwa Yanga, Nafikiri ni mambo ya siasa tu, lakini hakukuwa na sababu ya kuchukua wachezaji wale. Ukitazama position ya Chama pale Yanga walishaenea, wako kina Pacome, Aziz na Maxi, hawa walitosha kabisa na hakukuwa na kitu kinachomiss, Yanga wal... |
null | Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa amesema hakuna mtu yeyote ambaye anaruhusiwa kuchangisha fedha kufuatia tukio la ajali ya kupomoka kwa grorofa la Kariakoo. Pia Waziri Mkuu Kassim Majaliwa baada ya kuzungumza katika eneo hilo akasema @_.niffer._ atafutwe ili aeleze nani ambaye alimpa m... |
null | Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amejibu tuhuma dhidi yake zilizoibuliwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu kuwa aliongoza kikosi kilichomshambulia kwa nia ya kumuua. Makonda amehoji ikiwa Tundu Lissu ambaye ni nguli wa sheria ana uhakika kuwa shambulio hilo liliongozwa ... |
null | Ukanda wa Afrika Kaskazini inawezekana ndio ukanda wenye wasanii wakubwa barani Afrika baada ya ukanda wa Afika Magharibu na Afrika Kusini. Kwa upande wa Youtube wasanii kutoka Misri, Morocco na Algeria ndio vinara kw akuwa na wafuasi wengi kwenye mtandao huo. 1. Mohamed Ramadan kutoka Misri ana wafuasi (Subscribee) mi... |
null | Wanaharakati wa haki za binadamu wametoa wito kwa mamlaka nchini Iran kumwachilia mwanamke aliyekuwa kizuizini baada ya kuvua nguo chuo kikuu, katika kile walichosema ni kupinga sheria za lazima za kuvaa hijab. Video ilisambaa kwenye mitandao ya kijamii siku ya Jumamosi ikimuonyesha mwanamke huyo akiwa amevaa nguo ya n... |
null | Ni wa michezo ya Kikapu,pete na wavu Wazazi na wanafunzi wamshukuru kwa ujenzi huo DC Shekimweri ahimiza matumizi ya kiwanja kuimarisha Afya bora na maadili Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Anthony Mavunde amekabidhi kwa uongozi wa Shule ya Sekondari Kiwanja cha Ndege kiwanja cha kisasa cha michezo ya mpira wa kikapu,pe... |
null | Mkoa wa Arusha umeibuka kinara wa jumla wa raundi ya tatu ya mashindano ya gofu ya Lina PG Tour baada ya wawakilishi wake Nuru Mollel kushika nafasi ya kwanza na Elisante Lemeris kushika nafasi ya pili kwa wachezaji wa kulipwa. Michuano hiyo iliandaliwa na familia ya Nkya na Chama cha cha Wanawake Tanzania (TLGU) ambap... |
null | Rais wa zamani Donald Trump ametoa moja ya mahojiano yake ya kwanza tangu jaribio la kumuua Jumamosi usiku, akisema ameandika upya kabisa hotuba yake ya mkutano ili kuzingatia ujumbe wa “umoja” badala ya kumkosoa Joe Biden. “Hotuba ambayo ningetoa Alhamisi itakuwa ya kufurahisha,” aliiambia Washington Examiner. “Kama h... |
null | Kutinga makundi kumeihakikisha Simba kubeba Dola 400,000 (zaidi ya Sh 1 bilioni), lakini ilivuna pia Sh 15 milioni za Rais Samia Suluhu Hassan kupitia kampeni ya ‘Goli la Mama’ kutokana na mabao matatu iliyofunga ambayo kila bao thamani yake ni Sh5 milioni. Join our mailing list to get the latest news! Related Articles... |
null | Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA) kimewataka wadau wa elimu, wazazi, walimu, viongozi, mashirika yasio ya kiserikali na maofisa wa serikali kushirikiana katika kushughulikia vikwazo vinavyowazuia watoto kuingia shuleni na kupata elimu bora. Hayo yamebainishwa leo jijini Dar es Salaam na Meneja wa Miradi na... |
null | Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza S. Johari amewataka Watumishi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuendelea kusimamia misingi ya Weledi na Ubora katika utekelezaji wa majukumu yao. Mwanasheria Mkuu wa Serikali ameyasema hayo wakati wa kikao maalumu na Watumishi wa Ofisi Mwanasheria Mkuu wa Serikali kilichofany... |
null | Tunawaomba Pamba waje wacheze mpira, wasije kucheza kama wametumwa, wasije kucheza mpira wa hovyo ili kuwaumiza wachezaji wetu ili washindwe kucheza mechi ya Kimataifa, tunaomba waamuzi wawe macho. Bado hatujasahau suala la Moses Phiri, linatuuma mpaka leo” Ahmed Ally kuangalia Video Kamili tembelea ukurasa wetu wa You... |
null | Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimejitokeza kumjibu tuhuma mbalimbali ambazo zinaendelea kwenye mitandao ya kijamii huku baada ya wadau wakidai Makamu Mwenyekiti wake, Tundu Lissu huku kikidai kuwa anakichafua chama. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimejitokeza kumjibu tuhuma mbalimbali ambazo ... |
null | Sikiliza anachosema @mwijaku sakata la msanii @harmonize_tz kwenda Kanisani kwa Pastor Tony kwa ajili ya maombi Video Nzima ipo katika Akaunti yetu ya Youtube ya Bongo5 Written and edited by #abbrah255 and @el_mando_tz Video Nzima ipo katika Akaunti yetu ya Youtube ya Bongo5 Written and edited by #abbrah255 and @el_man... |
null | Wakati rafiki wa Ruben Amorim Bruno Simao alipopendekeza waandae mechi ya majaribio katika klabu ya Ureno Belenense ili kuwaunganisha tena marafiki hao wawili wa utotoni, Ruben alijibu: “Siwezi, kwa sababu nina tatizo.” Amorim na Simao walicheza kandanda pamoja tangu wakiwa na umri wa miaka 9. Lakini baada ya miaka yao... |
null | - - September 26, 2024 - 10:52 am Lukamba ashindwa kujizuia afunguka A-Z waliyoyakuta kwa P Diddy wakiwa na Diamond (Video) - June 5, 2024 - 11:38 am Bibi wa miaka 63 kuzaa na Mjukuu wake wa miaka 26 - June 5, 2024 - 11:24 am Mke ampelekea Mume keki ya “Birthday” yenye Screenshot za mchepuko - April 17, 2024 - 3:36 pm ... |
null | Leo mara baada ya mchezo baina ya watani wa Jadi Yanga Princess dhidi ya Simba Queens semaji Ahmed Ally amewatolea ya Moyoni Yanga baada ya klabu yake ya Simba Queens kuibuka na Ushindi wa bao 1-0 katika Uwanja wa KMC Complex. Pia Semaji anasema yeye atazidi kuwaombea mabaya watani wao katika michezo yao yote watakaoch... |
null | Hapa Tanzania mtu yoyote ukimuuliza muigizaji wake bora wa muda wote atamtaja Steven Kanumba na asilimia kubwa wanaamini baada ya kufariki dunia hata Bongo Movie ilikufa pale pale. Alikuwa msanii ambaye aliwapa matumaini Watanzania kuhusu kuipeleka Tasnia Kimataifa zaidi maana Movie zake zilishaanza kufika mbali sana. ... |
null | Akizungumza na waandishi wa habari mapema leo @dotto_magari amegusia swala la msanii @harmonize_tz kwenda kanisani kuombewa ambapo katika hilo Dotto amesema “pale hajakosea amefata neno la Mungu maana mtu akifa anazikwa na dini zote “ Video Nzima ipo katika Akaunti yetu ya Youtube ya Bongo5 Written and edited by #abbra... |
null | Katika kuhakikisha wananchi wananufaika na uchimbaji madini, Mgodi wa Barrick Bulyanhulu uliopo katika wilaya za Kahama na Nyang’hwale mkoani Shinyanga umeendelea kuisaidia jamii zinazozunguka mgodi huo kwa kutekeleza miradi mbalimbali ikiwemo ujenzi wa shule, hospitali na barabara. Hayo yamebainishwa na Meneja Masuala... |
null | Baada ya Sitofahamu kubwa kuendelea juu ya kuendelea kubaki Kikosi Kocha Gamondi pamoja na Msaidizi wa na Benchi zima la Ufundi, Huu ndiyo msimamo wa klabu ya Yanga kwa Kocha Gamondi, Bonyeza link hapa chini kuangalia video kamili: Baada ya Sitofahamu kubwa kuendelea juu ya kuendelea kubaki Kikosi Kocha Gamondi pamoja ... |
null | Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imeeleza kuridhishwa kwake na hali ya usalama na afya mahali pa kazi katika kiwanda cha kutengeneza Nyaya za umeme na Transfoma cha Elsewedy Electric Kigamboni Jijini Dar es salaam na Kiwanda cha kutengeza gypsum cha Knauf Mkuranga Mkoani Pwani. Pongezi hizo zim... |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.