name stringclasses 429
values | text stringlengths 0 767k ⌀ |
|---|---|
null | SHAMSA FORD NA MUMEWE WATANGAZA KUJA KIVINGINE Muiguzaji Maarufu ajulikanaye kama Shamsa Ford Leo mapema wakiwa na Mumewe kama Wageni rasmi kwenye Mahafari ya Pili ya @berokids_daycare kwa wanafunzi wa Awali amefunguka mengi zaidi kwa mashabiki wake na wadau wanaomfuatilia kwenye Sanaa yake. Pia ameahidi kuja na Filamu... |
null | Burudani RECAP:Alikiba, Diamond walisusa uzinduzi wa Album ya Marioo (Video) Ally Juma 1 week ago 1 week ago RECAP: Sean Paul alijibu swali bila kujua alichoulizwa?? (Video) 1 week ago RECAP:Sean Paul kweli hamjui Diamond?? (Video) 1 week ago RECAP:Zuchu kwa Ngoma ya Wale wale Mashabiki watamzoea (Video) 1 week ago REC... |
null | RECAP: Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz ameizungumzia ngoma mpya ya ZUCHU ya WALE WALE aliyomshirikisha Boss wake Diamond Platnumz. Anasema wimbo huo una ujumbe mkubwa sana na inawezekana ukawa miongoni mwa nyimbo zenye Inspiration lakini watu hawajaupa sikio kwa sababu Zuchu ameachia nyimbo ... |
null | Kampuni ya Vodacom Tanzania Plc kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi wamekuja na kampeni kabambe kwaajili ya kukabiliana na matukio ya mtandaoni. Zoezi limefanywa kwa lengo la kuwasaidia watumiaji wa mtandao namna ya kutambua na kuepuka matapeli katika mitandao ya simu. “Matapeli wanatumia njia nyingi na hapa nitazielez... |
null | Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. Tulia Ackson kwa masikitiko makubwa ametangaza kifo cha Mbunge wa Kigamboni, Dkt. Faustine Ndugulile kilichotokea usiku wa kuamkia leo November 27, 2024 Nchini India alipokuwa akipatiwa matibabu. Dkt. Tulia amesema “Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Mbunge wa Kigambon... |
null | Idadi ya waliofariki dunia katika tukio la ghorofa lililoporomoka Kariakoo yaongezeka na kufikia 29. Idadi hiyo imetolewa na Msemaji wa Serikali Bw.Thobias Makoba wakati akitoa taarifa kuhusu hali ya uokoaji katika eneo hilo ambapo amesema kuanzia saa nane leo Novemba 26, Kariakoo itarejea katika hali ya kawaida isipok... |
null | Dulla Makabila kupitia mahojiano aliyofanya na @bongo5tv ametamba kwa kujiita mfalme na kutaja vigezo ambavyo ukitaka kujiita mfalme lazima uwe navyo. Moja ya kigezo alichotaja na kutoa nyimbo kubwa lakini pia nyimbo anazotoa zinakaa on trending katika mtandao wa YouTube kushinda Bongo flava. Lakini kigezo kingine ameg... |
null | Afrobeats sensation, Kizz Daniel continues to celebrate a decade of musical excellence with the release of two highly anticipated singles, ‘Marhaba’ and ‘We Must’. These new tracks are part of the ongoing festivities surrounding his ‘Vado At 10’ anniversary, commemorating ten years of groundbreaking hits, global recogn... |
null | Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetupilia mbali maombi ya Serikali yaliyowasilishwa wiki iliyopita juu ya kiapo cha ziada kupinga dhamana ya mgombea uenyekiti Kanda ya Pwani, Boniface Jacob Licha uamuzi huo Mahakama imesogeza mbele uamuzi juu ya dhamana mpaka tarehe 07 Oktoba 2024. Jacob Maarufu kama BoniYai, Mkazi wa... |
null | Msanii mkongwe wa muziki BongoFleva @princedullysykes amefunga mengi katika mahojiano aliyofanya na @bongo5tv ambapo moja ya kitu alichoweka bayana na kuhusu kuwablock vijana (wasanii wapya) ambao wanakuwa hawamuheshimu. Mkongwe huyo ambaye ameachia wimbo mpya wiki hii SuperStar, amedai katika kuepuka stress kutokana n... |
null | Dulla Makabila ajibu kuhusu ndoa zake kuvunjika mara kwa mara kila anapooa, amesema sio kwamba anapenda kuoa bali anapenda mke na sio ndoa. Pia Dulla Makabila ameweka wazi sababu ya hitaji la mke katika maisha yake, amesema kuwa anahitaji mke kwasababu ya kutunzwa na mwanamke. Dulla Makabila ameweka bayana kuwa anapend... |
null | - - October 3, 2024 - 1:23 pm Dulla Makabila ajigamba kuwa na waganga wazuri(Video) - October 3, 2024 - 1:19 pm Dulla Makabila afunguka mazito kuhusu ndoa zake(Video) - October 1, 2024 - 2:13 pm Rado:Steve Nyerere sio msanii bali ni shabiki na mchekeshaji(Video) - October 1, 2024 - 12:24 pm Rado amchana Nay wa Mitego,D... |
null | Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Utalii, Dr. Florian Mtey (Kushoto) pamoja na Mkurugenzi wa Mahusiano wa SBL, John Wanyancha (Kulia) wakisaini hati za makubaliano za ushirikiano huo. Sherehe zilizofanyika chuoni hapo tarehe 30/Septemba/2024 Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Utalii, Dr. Florian Mtey (Kushoto) pamoja na Mkurugenzi wa... |
null | Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Maryprisca Mahundi amesema nchi inakwenda kushuhudia mageuzi makubwa ya utunzaji wa mazingira kupitia Mkakati wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia ambao kinara wake ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Mahundi ameyasema hayo... |
null | Akipiga story na @el_mando_tz @lukambaofficial amesimulia mwanzo mwisho walivyofika kwa P Diddy na namna walivyopokelewa mpaka kula chakula. Anasema P Diddy alijaribu kuwaita wakaangalie Movie wote lakini Swizz Beats ambaye ndio alikuwa mwenyeji wao akigoma. Mahojiano yote yapo kwenye akaunti yetu ya YouTube ya Bongofi... |
null | - - November 5, 2024 - 1:35 pm RECAP: Darasa walimuonea sana, Young Lunya hakustahili (Video) - October 22, 2024 - 9:44 am RECAP: Kwanini Mashabiki wanazilalamikia Tuzo za Alikiba na Nandy?? Hawakustahili?? Fahamu - September 26, 2024 - 1:57 pm Rayvanny nimempita – Lukamba (Video) - September 26, 2024 - 1:55 pm Siwezi ... |
null | - - September 26, 2024 - 11:00 am Lukamba aeleza sababu ya P Diddy kwakasirikia pamoja na Diamond Platnumz (Video) - September 26, 2024 - 10:57 am P Diddy tulimkatalia akatununia – Lukamba (Video) - September 26, 2024 - 10:55 am P Diddy alituita tukaangalie Movie – Lukamba (Video) - September 26, 2024 - 10:52 am Lukamb... |
null | Kwenye mahojiano yake na @el_mando_tz Lukamba ameeleza kwa urefu namna alivyopambana kujitafuta kwenye Uigizaji. Anasema alipewa milioni 8 na Baba yake na zote akazipeleka kwenye kuigiza movie na akapata hasara. Anasema alipoipeleka movie yake kwa Muhindi akaulizwa kuna muigizaji gani mkubwa?? Akawa hana hivyo ikabidi ... |
null | Asma Ali Hassan Mwinyi ambae ni Mkurugenzi wa Asma Mwinyi Foundation ana wakaribisha Watanzania wote katika Stop GBV Marathon Dec 1Half itakayofanyika Visiwani Zanzibar na Mgeni Rasmi atakua Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Lengo la Stop GBV Half Marathon Zanzibar nikupinga Ukatili wa kijinsia kwa Wanawake na watoto |
null | Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz ameizungumzia kauli ya Harmonize kuwa Huwezi kushinda Tuzo ya GRAMMY Kupitia wimbo wa kusalimia watu. @el_mando_tz ameita hilo ni dongo mojakwamoja kwa Diamond Platnumz kupitia wimbo wake wa KOMASAVA ambao maudhui ni salamu. Anasema kuwa Harmonize amemkejeli D... |
null | “Ahmed Ally amenikosea sana,anatumia umaarufu wake kunichafua,Mimi siyo kiongozi Wa kwanza kushabikia Yanga” Mh Said Mtanda: “Ahmed Ally amenikosea sana,anatumia umaarufu wake kunichafua,Mimi siyo kiongozi Wa kwanza kushabikia Yanga” Mh Said Mtanda: |
null | Mchambuzi na mchezaji wa Jemedari Saidi leo ameshikwa pabaya baada ya kuitupia dongo Yanga wadau mbalimbali wamvaaa. Kuangalia Video kamili tembelea Ukurasa wetu wa Youtube Bongo5 Mchambuzi na mchezaji wa Jemedari Saidi leo ameshikwa pabaya baada ya kuitupia dongo Yanga wadau mbalimbali wamvaaa. Kuangalia Video kamili ... |
null | DONGE NONO MWANZA Naambiwa hapa kuna vigogo wameweka ahadi ya donge nono kwa wachezaji wa Pamba ili wapate ushindi dhidi ya Mnyama leo. Vigogo hao wametoa ahadi ya Sh 50 milioni ikiwa Pamba watapata ushindi leo dhidi ya Simba. Bonyeza link kuangalia Video kamili: |
null | Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz ameizungumzia kauli ya Harmonize kuwa Huwezi kushinda Tuzo ya GRAMMY Kupitia wimbo wa kusalimia watu. @el_mando_tz ameita hilo ni dongo mojakwamoja kwa Diamond Platnumz kupitia wimbo wake wa KOMASAVA ambao maudhui ni salamu. Anasema kuwa Harmonize amemkejeli D... |
null | DJ mkali wa amapiano kutoka nchini Afrika Kusini DJ @char4prezzy Jumamosi hii ya Disemba 07, atakuwa kwenye list ya watakaokonga nyoyo za wote watakaojitokeza kwenye usiku wa kiburudani wa Bata la Disemba unalofanyika Viwanja vya Leaders, Dar Es Salaam. Baada ya kushuka Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere Dj huyo amesema... |
null | KUELEKEA siku ya uchangiaji damu duniani Juni 14 wananchi wametakiwa kuchangia damu hasa wenye makundi adimu ya damu. Mwito huo umetolewa jana Jijini Dar es Salaam na Ofisa Uhamasishaji Mpango wa Damu Salama Kanda ya Mashariki, Evelyn Dielly wakati wa zoezi la uchangiaji damu lililo ratibiwa na Benki ya Equity. Dielly ... |
null | Kwa mara nyingine Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila imefanya huduma ya Ubingwa Bobezi ya upasuaji wa kupandikiza figo kwa wagonjwa wawili ambapo figo imevunwa kutoka kwa mchangiaji kwa kutumia utaalam na njia ya kisasa ya tundu dogo (Hand Assisted Laparascopic Donor Nephrectomy), utaalam ambao unatumika Muhimbili... |
null | HOSPITALI ya Muhimbili tawi la Mloganzila, imewataka watanzania wenye shida ya magoti na nyonga wajitokeze kwaajili ya kambi ya upasuaji kutoka kwa wataalamu wa ndani watakaoshirikiana na wabobezi kutoka nchini India. Kambi hiyo ya itakayoanza tarehe 26 mwezi huu hadi tarehe 30 itafanyika kwenye hospitali ya Mloganzila... |
null | KUELEKEA siku ya uchangiaji damu duniani Juni 14 wananchi wametakiwa kuchangia damu hasa wenye makundi adimu ya damu. Mwito huo umetolewa jana Jijini Dar es Salaam na Ofisa Uhamasishaji Mpango wa Damu Salama Kanda ya Mashariki, Evelyn Dielly wakati wa zoezi la uchangiaji damu lililo ratibiwa na Benki ya Equity. Dielly ... |
null | Je, tunapaswa kuwa na wasiwasi kuhusu Homa ya Nyani? Kuenea kwa kasi kwa ugonjwa wa Homa ya nyani inayojulikana kama mpox – barani Afrika kumetangazwa kuwa dharura ya kimataifa. Aina mpya ya virusi hivyo ndio kinachotia watu wasiwasi , lakini bado kuna maswali mengi ambayo hayajajibiwa. Je, inaambukiza zaidi? Hatujui. ... |
null | Aina mpya ya homa ya nyani imesababisha mamia ya vifo katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC), na imeenea katika maeneo ya Afrika ya Kati na Mashariki. Mapema mwezi huu, Shirika la Afya Duniani (WHO) lilitangaza mlipuko huo kuwa dharura ya kiafya kwa umma kimataifa. Husababishwa na aina mpya na kali zaidi ya mpox ... |
null | Kulingana na uchunguzi wa kitaifa uliofanywa na Advanced Dermatology kutoka Illinois, Marekani umebaini kuwa idadi ya wanaochukia tattoo walizochora yaongezeka. Katika uchunguzi huo uliofanywa kwa kipindi cha mwaka mmoja ulibaini kuwa idadi ya waliotaka kufuta tattoo zao imefikia asilimia 51 ikiipiku idadi ya awali iki... |
null | Mahakama Kuu kanda ya Mwanza imemuachia huru aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dk. Yahaya Nawanda katika kesi ya kulawiti iliyokuwa ikimkabili. Uamuzi huo wa mahakama umetolewa leo na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa mahakama hiyo, Erick Marley baada ya kupitia maelezo na vielelezo vya ushahidi. Hakimu Marley amesema katika ke... |
null | Tazama Nyota wa Muziki Sean Paul alivyowasili Uwanja wa Ndege wa Terminal 3 mchana wa leo akiwa na timu yake si mchezo kukabiliana na jopo la wasanii wa Bongo pamoja na Chley wa Afrika ya Kusini Video Nzima ipo katika Akaunti yetu ya Youtube ya Bongo Five Written and edited by #abbrah255 and @el_mando_tz |
null | Shabiki wa klabu ya Yanga na Manchester United Bright Mwakasege ameshinda Sh20 million kupitia kasino maarufu ya LEONBET kwenye mchezo pendwa wa Aviator. Ushindi huu wa Mwakasege ambaye ni mkazi wa Dar es Salaam, umetokana na dau lake la Sh200 tu kwa kupata odds au multiplier x100000 – kitu ambacho ni nadra sana kutoke... |
null | NAIBU Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, ametoa wito kwa wamiliki wa maduka ya dawa kuhakikisha vyeti vya wafamasia vinavyotumika kwenye maduka hayo vimeambatana na uwepo wa wahusika kwa kujiriwa katika maduka hayo. Akizungumza jana wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 54 wa Chama cha Wafamasia Tanzania (PST), Dkt. M... |
null | Mkurugenzi wa Mawasiliano Benki ya CRDB na Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Bank Foundation, Tully Esther Mwambapa (wapili kushoto) akiwa na tuzo ya Benki Bora Tanzania kwa mwaka 2024 ambayo benki hiyo imetunukiwa katika tuzo za taasisi bora za fedha duniani za “The Banker” zinazotolewa na gazeti la Financial Times la nchin... |
null | Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko amewaasa wahasibu barani Afrika kuisimamia taaluma yao kikamilifu ili kuendeleza umuhimu na mchango na ukuaji wa uchumi duniani. Ameyasema hayo leo Desemba 04, 2024 wakati akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kufungaji Mk... |
null | SEOUL, KOREA Waziri wa Maji Mhe Jumaa Hamidu Aweso(MB) amewasili Seoul nchini Korea Kusini kwa mualiko maalumu wa Benki ya Exim ya Korea na mfuko wa mashirikiano ya kiuchumi wa Korea (EDCF) ambapo anatarajia kukutana na Makamu wa Rais wa Benki hiyo tarehe 06 Desemba 2024 kujenga mashirikiano zaidi baada ya uwekezaji wa... |
null | TRA yatoa ufafanuzi wafanyakazi wake kushambuliwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kuwa inasikitika kuutaarifu umma kuwa gari yake yenye namba za usajili STL 9923, ikiwa na watumishi watatu katika doria za kawaida za udhibiti na ukamataji wa magendo na magari yalioyoingia nchini kinyume na taratibu za forodha n... |
null | WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelekeza Maadhimisho ya Miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara kwa Mwaka 2024 yafanyike katika ngazi ya mikoa na Fedha zilizotengwa katika kila taasisi kwa ajili ya Maadhimisho hayo zielekezwe katika kutoa huduma za kijamii. Amesema kuwa kila mkoa uha... |
null | Urusi imeripotiwa kutuma hadi wanajeshi 200 nchini Equatorial Guinea kulinda kiti cha urais, huku ikiendelea kupanua uwepo wake barani Afrika. Ripoti za vyombo vya habari zinasema kwamba Warusi wanafundisha wanajeshi waandamizi katika miji mikuu miwili ya nchi hiyo – mji mkuu Malabo na Bata. Ripoti za wanajeshi wa Urus... |
null | Rais wa Marekani Joe Biden ametoa ruhusa kwa Ukraine kutumia makombora ya masafa marefu yaliyotolewa na Marekani kuishambulia Urusi. Afisa mmoja wa Marekani ameithibitishia CBS kuhusu ruhusa hiyo, ambayo ni mabadiliko makubwa ya sera ya Marekani, juu ya vita hivyo. Kwa miezi kadhaa, Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky a... |
null | Gazeti la Korea Kusini la Korea Herald linaripoti, likimnukuu balozi wa zamani wa Korea Kusini nchini Urusi, kwamba badala ya usambazaji wa risasi na kutuma wanajeshi kushiriki katika vita vya Urusi na Ukraine, viongozi wa DPRK watapokea kutoka Moscow takribani tani 600-700 za mchele kwa mwaka na upatikanaji wa teknolo... |
null | FAHAMU MACHACHE KUHUSU UCHAGUZI WA MAREKANI. Matokeo ya uchaguzi wa Marekani wakati mwingine hutangazwa ndani ya saa chache baada ya vituo kufungwa. Na katika baadhi ya kinyang’anyiro cha urais mshindi alitangazwa usiku wa siku ya uchaguzi, au mapema asubuhi iliyofuata. Mgombea wa chama cha Democratic, Kamala Harris, M... |
null | Kamala Harris amezungumza katika mkutano wa hadhara kwenye Chuo Kikuu cha Jimbo la Michigan huko East Lansing. “Nitafanya kila niwezalo kumaliza vita huko Gaza.” Harris amesema. Huu ni ujumbe uliokusudiwa katika mkutano huko Michigan, nyumbani kwa idadi kubwa ya Waarabu wenye asili ya Marekani nchini humo. Donald Trump... |
null | Katika moja ya tukio kubwa linalofuatiliwa na karibia dunia mzima ni Uchaguzi wa Taifa la Marekani unaoendelea sasa. Uchaguzi huu inawezekana ndio uchaguzi pekee duniani unaofuatilia na mataifa na watu wasioishi marekani kuliko hata chaguzi za mataifa yao. Unahisi ni kwanini Uchaguzi wa Taifa la Marekani unakuwa kivuti... |
null | Biden ametoa hotuba kwa taifa baada ya aliyekuwa rais wa nchi hiyo Donald Trump kuponea chupu chupu jaribio la mauaji. Biden alianza hotuba yake kwa kuwaambia “Wamarekani wenzake” juu ya “haja ya kutuliza joto la siasa zetu”. “Milio ya risasi jana kwenye mkutano wa hadhara wa Donald Trump huko Pennsylvania inatutaka so... |
null | Angalia maandamaano ya Chadema jinsi Mh Mbowe na baadhi ya viongozi wa Chadema wakikamwatwa na Jeshi la Polisi kwenye Maandamano. Bonyeza link hii kuangalia video kamili: Angalia maandamaano ya Chadema jinsi Mh Mbowe na baadhi ya viongozi wa Chadema wakikamwatwa na Jeshi la Polisi kwenye Maandamano. Bonyeza link hii ku... |
null | Issa Tambuu anaeleza kuwa Dotto Magari anavyotamba kwamba anashea kwenye magari anayouza Issa Tambuu kwamba hana shea yeyote hata ili jina la Dotto Magari amepa yeye alikuwa anaitwa Dotto Ketto Join our mailing list to get the latest news! Related Articles Check Also Close |
null | Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz leo amzungumzia Msanii wa Konde Gang Ibraah baada ya kuachia wimbo wake wa NAFUNGA MWAKA. Anasema kuwa Ibraah ameonyesha njaa kubwa sana kwenye game ya Bongo Fleva baada ya kuanza kuitafuta nafasi yake kwenye kiwanda cha Bongo Fleva. Anaongeza namna Ibraah ali... |
null | Akizungumza na Bongo5 tv Issa Tambuu amesema yeye ndo aliyetambulisha Dotto Magari Mjini toka mwaka 2019 yale maneno yake yalikuwa yananivutia sana alikuwa akinikuta sehemu ananitania ndio nikaanza kuposti maneno yake mpaka kuja kufungu Account yake Video nzima katika akaunti yetu ya youtube ya Bongo5 Written and edite... |
null | Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amzengumzia kuhusu kauli ya Sean Paul ya kusema Hamjui Diamond. Anasema kuwa watu wanapenda kukuza mambo madogo na kuyafanya yawe makubwa wakati lilikuwa suala dogo sana. Anasema kuwa baada ya kusikiliza mahojiano ya Sean Paul na namna alivyojibu swali inaonek... |
null | Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amemzungumzia CEO wa lebo ya Konde Gang Harmonize kufuatia matukio kadhaa yaliyoibuka kuhusu yeye na Malaika. Anasema mpaka sasa inawezekana Harmonize ndio msanii anayetafutwa mitandaoni kuliko msanii yoyote kutokana na Attention anazozifanya hasa kuhusu mambo... |
null | Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumzia tukio la uzinduzi wa Album ya Marioo ya THE GODSON ambapo mastaa wengi walihudhuria. Anasema licha ya kuhushuriwa na mastaa wengi story kubwa imekuwa kwanini Diamond hakuhudhuria wala hakupost Album ya Marioo?? Diamond, Jux ambao ni watu wa karibu... |
null | Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezumgumzia sakata la Niffer na Diva ambapo walitiwa kwenye mikono ya Sheria kwa kuvunja Sheria. Kosa lao ni moja tu, walichangisha michango bila Kibali kutoka Serikali na hii yote ni kutokana na kutokujja Sheria pia Elimu juu ya Mambo ya Kiserikali. @el_mand... |
null | Inawezekana unampenda au humpendi, unamkubali au humkubali hilo haliwezi kuzuia ukali wake, ukweli ni kwamba Zuhuru Othman Soud alimaarufu @officialzuchu ndio msanii bora kwa sasa kwa upande wa wasanii wa kike sio tu Tanzania bali Afrika Mashariki nzima. Achana na tuzo aliyochukua ya TMA mwaka huu kwamba msanii bora wa... |
null | Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz ameizungumzia ngoma mpya ya Vanillah wa Kings Music na Ibraah wa Konde Gang. Amewapongeza kuwa kutengeneza numbers Audimack ndani ya masaa nani tu na kufanya Collabo ambayo wengi waliamini ni ngumu. Ukija kwenye upande wa wimbo wao, kwa level zao na ukubwa wao... |
null | Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz ameizungumzia kauli ya ZUCHU kuwa ameachana na DIAMOND. Anasema kuwa ni ngumu sana DIAMOND kuachana na ZUCHU kwa sababu ya kulinda biashara yake ambayo ni ZUCHU. Anaongeza kuwa siku Diamond akiachana na Zuchu watu hawatajua ila ukiona wanatangaza ujue kuna pro... |
null | Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezumgumzia sakata la Niffer na Diva ambapo walitiwa kwenye mikono ya Sheria kwa kuvunja Sheria. Kosa lao ni moja tu, walichangisha michango bila Kibali kutoka Serikali na hii yote ni kutokana na kutokujja Sheria pia Elimu juu ya Mambo ya Kiserikali. @el_mand... |
null | Kupitia ukurasa wake wa Instagram @staminashorwebwenzi ameandika kuwa:- “HAPPY BIRTHDAY TO ME MUNGU ATUJALIE AFYA,NGUVU, BARAKA NA MAFANIKIO TELE TUENDELEE KUISHI KWA UPENDO NA AMANI ZAWADI YANGU KWENU TAYARI NIMEWAPA. ALBUM YA MSANII BORA WA HIP HOP IMETOKA TAYARI NA INAPATIKANA KWENYE DIGITAL PLATFORM ZOTEEEEEEE. NAS... |
null | Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz ameizungumzia KIKI ya Hemed na Luludiva ambayo inahusiana na movie yao. Anasema hii ni moja ya Kiki ambayo ilisukwa kwa akili kubwa mno, watu wengi hawakujua ni kiki mpaka pale walipoona wapo kwenye Press pamoja wakizindua Movie. Anaongeza kuwa hii kiki inahus... |
null | Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz ameizungumzia KIKI ya Hemed na Luludiva ambayo inahusiana na movie yao. Anasema hii ni moja ya Kiki ambayo ilisukwa kwa akili kubwa mno, watu wengi hawakujua ni kiki mpaka pale walipoona wapo kwenye Press pamoja wakizindua Movie. Anaongeza kuwa hii kiki inahus... |
null | Omary Mwanga alimaarufu @marioo_tz kwa sasa sio jina lenye uwalakini tena kwenye game ya muziki wa Bongo Fleva hasa Afrika Mashariki. Ni msanii ambaye tayari amejenga Uaminifu kwa Watanzania na wapenzi wa muziki wa Bongo Fleva kwa sasa na mashabiki zake. Inawezekana ukitaja wasanii watatu Bora kwa sasa kwa hiki kizazi ... |
null | Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz ameizungumzia Album ijayo ya Marioo ya THE GODSON ambayo itatoka November 28, mwaka 2024. Amezungumzia ngoma zilizopo humu ambapo kuna collabo 10 kwa wasanii wa nje na wasanii wa Ndani, wasanii wa ndani kuna Alikiba, Harmonize, Aslay na Stans. Kimataifa kuna K... |
null | Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz ameizungumzia ngoma mpya ya Vanillah wa Kings Music na Ibraah wa Konde Gang. Amewapongeza kuwa kutengeneza numbers Audimack ndani ya masaa nani tu na kufanya Collabo ambayo wengi waliamini ni ngumu. Ukija kwenye upande wa wimbo wao, kwa level zao na ukubwa wao... |
null | Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz ameizungumzia kauli ya ZUCHU kuwa ameachana na DIAMOND. Anasema kuwa ni ngumu sana DIAMOND kuachana na ZUCHU kwa sababu ya kulinda biashara yake ambayo ni ZUCHU. Anaongeza kuwa siku Diamond akiachana na Zuchu watu hawatajua ila ukiona wanatangaza ujue kuna pro... |
null | Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz ameizungumzia Album ijayo ya Marioo ya THE GODSON ambayo itatoka November 28, mwaka 2024. Amezungumzia ngoma zilizopo humu ambapo kuna collabo 10 kwa wasanii wa nje na wasanii wa Ndani, wasanii wa ndani kuna Alikiba, Harmonize, Aslay na Stans. Kimataifa kuna K... |
null | Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz ameizungumzia ngoma mpya ya Vanillah wa Kings Music na Ibraah wa Konde Gang. Amewapongeza kuwa kutengeneza numbers Audimack ndani ya masaa nani tu na kufanya Collabo ambayo wengi waliamini ni ngumu. Ukija kwenye upande wa wimbo wao, kwa level zao na ukubwa wao... |
null | Mwanamuziki Mkongwe Kikumbi Mwanza Mpango King Kikii amefariki dunia. Mwanamuziki huyo ambaye ameugua kwa muda mrefu, amefariki usiku wa kuamkia leo katika Hospital ya Taifa ya Muhimbili ambako alikuwa amelazwa. Atakumbukwa King Kikii kwa wimbo wake uliotamba mno wa Kitambaa Cheupe. Pumzika kwa amani Mzee wa Kitambaa C... |
null | Teknolojia ya Artificial Intelligence (AI) kwa Kiswahili Akili Mnemba inatarajiwa kuathiri karibu 40% ya kazi za watu mbalimbali kulingana na uchambuzi mpya wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF). Mkurugenzi mkuu wa IMF Kristalina Georgieva anasema “katika hali nyingi, AI itazidisha ukosefu wa usawa kwa ujumla”. Bi Geo... |
null | Tarehe 13 Januari, mashindano ya 34 ya Kombe la Mataifa yaAfrika (AFCON) yalianza kwa sherehe nzuri huko Abidjan, Côte d’Ivoire. TECNO, kama mdhamini rasmi, iliweka historiana maonyesho yake ya kuvutia ya teknolojia na sanaa, ikiletaonyesho la kipekee la kurusha drone 1,000 kwenye anga ya bara la Afrika. Hii burudani y... |
null | Promosheni ya Infinix PAA NA MANOTI Yazidi kupamba moto ambapo kwa simu yoyote utakayonunua hautaondoka mikono mitupu zawadi zinaendelea kutolewa ikiwem punguzo kubwa la bei kwa simu za NOTE 40 na NOTE 40 pro, usafiri wa ndege kwenda na kurudi kwa safari za ndani na nje ya nchi bure, pesa taslimu Shillingi 2,000,000, L... |
null | Wembamba wa HOT 50 Pro+ Wakosha Wengi. Usiku wa kuamkia leo kumefanyika tukio la Uzinduzi wa simu mpya ya Infinix #HOT50Series ambapo tukio Hilo liliambata na burudani ya muziki toka kwa wasanii wakubwa viwanja vya Mabibo Hosteli. kwa mujibu @infinixmobiletz HOT 50 Pro+ ndio simu nyembamba zaidi kwa sasa ikiwa na wigo ... |
null | TECNO kwa Mwaka huu wa 2023 imeachia Toleo la CAMON 20 ya Magic Skin na CAMON 20 Toleo la Bwana Dooble. Hamna tofauti kubwa ya features za ndani kati ya simu hizi isipokuwa TECNO CAMON 20 Toleo la Bwana Dooble ni 5G zote yani CAMON 20 Pro ya Doodle ni 5G na CAMON 20 Premier ya Doodle ni 5G. Utofauti wa simu hizi unapat... |
null | Dar es salaam, Septemba 26, 2023 – Infinix leo imetangaza uzinduzi wa simu mpya ya Infinix ZERO 30 5G, simu mahiri ya kwanza kwa kampuni hiyo kuwa na kamera ya mbele yenye uwezo wa video wa Ultra HD (4K/60FPS) na Megapixel 50. Inaangazia safu ya vipengele vya kipekee vya utayarishaji wa video, Infinix ZERO 30 5G huwawe... |
null | Mfululizo wa TECNO CAMON 20 Toleo la Mr Doodle huleta pamoja mchoro wa aina ya “tambi ya grafiti” ya MrDoodle na uwezo wa hali ya juu wa upigaji picha ili kuunda simu mahiri yenye mtindo wa hali ya juu, ya kitaalamu ya kupiga picha. TECNO, chapa ya teknolojia ya kibunifu inayofanya kazi katika zaidi ya masoko 70 ya kim... |
null | ‘Infinix Zero 30 5G’ ni simu kali ambayo inaweza kurekodi video ya 4K kwa 60fps kutumia lens mpya ya 50MP kwa camera ya mbele. Pia simu hii ina kamera kali, unaweza kuitumia kurekodi video zenye uwezo mkubwa mfano video za YouTube, TV na mitandaoni. Inatumia sensor ya ISOCELL HM6 ambayo ina ukubwa wa 1/1.67’’ ambayo in... |
null | Marimba Music Chart (MMC) ni chart rasmi ya muziki wa kizazi kipya Tanzania, ambayo huandaliwa na BONGO 5 kila wiki kutokana na Chart za Radio mbalimbali za Tanzania. HII NDIO CHART RASMI YA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA TANZANIA WIKI HII (9/11/2015) VIGEZO: MMC inatumia Chart za radio mbalimbali za Tanzania (sample) kuchuja ... |
null | Marimba Music Chart (MMC) ni chart rasmi ya muziki wa kizazi kipya Tanzania, ambayo huandaliwa na BONGO 5 kila wiki kutokana na Chart za Radio mbalimbali za Tanzania. HII NDIO CHART RASMI YA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA TANZANIA WIKI HII (28/11/2015) VIGEZO: MMC inatumia Chart za radio mbalimbali za Tanzania (sample) kuchuja... |
null | Marimba Music Chart (MMC) ni chart rasmi ya muziki wa kizazi kipya Tanzania, ambayo huandaliwa na BONGO 5 kila wiki kutokana na Chart za Radio mbalimbali za Tanzania. HII NDIO CHART RASMI YA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA TANZANIA WIKI HII (21/11/2015) VIGEZO: MMC inatumia Chart za radio mbalimbali za Tanzania (sample) kuchuja... |
null | Marimba Music Chart (MMC) ni chart rasmi ya muziki wa kizazi kipya Tanzania, ambayo huandaliwa na BONGO 5 kila wiki kutokana na Chart za Radio mbalimbali za Tanzania. HII NDIO CHART RASMI YA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA TANZANIA WIKI HII (03/10/2015) VIGEZO: MMC inatumia Chart za radio mbalimbali za Tanzania (sample) kuchuja... |
null | Marimba Music Chart (MMC) ni chart rasmi ya muziki wa kizazi kipya Tanzania, ambayo huandaliwa na BONGO 5 kila wiki kutokana na Chart za Radio mbalimbali za Tanzania. HII NDIO CHART RASMI YA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA TANZANIA WIKI HII (12/12/2015) VIGEZO: MMC inatumia Chart za radio mbalimbali za Tanzania (sample) kuchuja... |
null | Marimba Music Chart (MMC) ni chart rasmi ya muziki wa kizazi kipya Tanzania, ambayo huandaliwa na BONGO 5 kila wiki kutokana na Chart za Radio mbalimbali za Tanzania. HII NDIO CHART RASMI YA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA TANZANIA WIKI HII (17/10/2015) VIGEZO: MMC inatumia Chart za radio mbalimbali za Tanzania (sample) kuchuja... |
null | Marimba Music Chart (MMC) ni chart rasmi ya muziki wa kizazi kipya Tanzania, ambayo huandaliwa na BONGO 5 kila wiki kutokana na Chart za Radio mbalimbali za Tanzania. HII NDIO CHART RASMI YA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA TANZANIA WIKI HII (9/11/2015) VIGEZO: MMC inatumia Chart za radio mbalimbali za Tanzania (sample) kuchuja ... |
null | Marimba Music Chart (MMC) ni chart rasmi ya muziki wa kizazi kipya Tanzania, ambayo huandaliwa na BONGO 5 kila wiki kutokana na Chart za Radio mbalimbali za Tanzania. HII NDIO CHART RASMI YA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA TANZANIA WIKI HII (7/12/2015) VIGEZO: MMC inatumia Chart za radio mbalimbali za Tanzania (sample) kuchuja ... |
null | Abedinego Damian aka Belle 9 amepata msiba mzito. Baba yake mzazi amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. Meneja wake, Jahz Zamba, ameiambia Bongo5 kuwa Mzee Damian amefariki dunia baada ya kugongwa na boda boda iliyokuwa kwenye mwendo mkali huko mjini Morogoro alikokuwa anaishi. Alivunja mguu mmoja pale pale na kujeruhi... |
null | Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Godzilla amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumatano majira ya saa 10 alfajiri nyumbani kwao salasala jijini Dar Es Salaam. Dada wa marehemu, Joyce Mbunda akiongea na Bongo5 amethibitisha taarifa hizo ambapo amesema Godzilla alikuwa anasumbuliwa na tumbo. Mwili wa Godzilla kwa sasa um... |
null | Watu zaidi ya 28 wameuawa na wengine zaidi ya 300 kujeruhiwa baada ya kutokea mlipuko wa bomu Jumanne hii kwenye mji mkuu wa Afghanistan, Kabul. Msemaji wa wizara ya mambo ya ndani wa nchi hiyo, Sediq Sediqi amesema mtu aliyejitolea mhanga alijilipua akiwa kwenye gari. Shambulio hilo liliilenga ofisi ya timu ya ulinzi ... |
null | Polisi takriban saba wameuawa usiku wa kuamkia leo kwa kupigwa risasi huko Mkuranga mkoani Pwani. Taarifa za awali zimedai kuwa polisi hao walikuwa wakijianda kutoka doria ya barabarani na kurudi kituoni. Vyanzo vimedai kuwa majambazi hayo yalilishambulia gari walimokuwa kwa kumpiga risasi dereva na gari kupinduka kabl... |
null | Ajali mbaya ya gari iliyohusisha mabasi mawili ya kampuni ya City Boys imesababisha vifo vya takriban watu 29 Jumatatu hii. Ajali hiyo imetokea mchana ambapo moja basi namba T531 BCE likitokea Dar kwenda Kahama na jingine namba T 247 likitoka Kahama kwenda Dar yote ya City Boys yaligongana uso kwa uso. Abiria mmoja ali... |
null | TECNO CAMON 16 ni simu mpya kabisa kutoka kampuni ya TECNO ambayo imezinduliwa hivi karibuni na kuingia rasmi katika soko la Tanzania. Simu hii yenye kamera nne nyuma ina uwezo mkubwa wa kupiga picha katika mazingira mbalimbali ikiwezeshwa na kamera kuu yenye MP48, ambapo tayari walioitumia kamera ya CAMON 16 wanaeleza... |
null | Kuna msemo unaosema hakuna aijuae kesho zaidi ya Mungu pekee, na pia kuna wakati mwingine wahenga husema kesho haina rafiki. Hii imetokea kwa Said Ally kijana ambaye hakuijua kesho yake iko vipi na hakuwahi kufikiria ipo siku atapoteza macho yake katika tukio lililomtokea Buguruni Sheli jijini Dar es Salaam na kuchomwa... |
null | Msichana mmoja nchini Malaysia anayekadiriwa kuwa na miaka 16 amejiua kwa kujirusha kutoka ghorofa ya 3 kwa kile kilichoelezwa kuwa ni msongo wa mawazo uliotokana na mtandao wa Instagram. Kwa mujibu wa Polisi mjini Kuching, wamesema tukio hilo limetokea jana katika kisiwa cha Borneo ambapo wamedai kuwa masaa mawili yal... |
null | Katika mazungumzo na waandishi wa habari @marioo_tz ameweka wazi kuhusu kolabo yake na msanii @diamondplatnumz kwamba ikifika muda sahihi wa ngoma ya Diamond akiwa na yeye itatoka na itakuwa ya kitofauti Video Nzima ipo katika Akaunti yetu ya Youtube ya Bongo5 Written and edited by #abbrah255 |
null | Huwezi kuamini lakini ni kweli, tangu mwaka 2020 njia zote za usafiri wa Umma nchini Luxembourg kama vile mabasi na treni ni BURE kabisa. Ilianza rasmi mwaka 29 Februari 2020, ambapo malipo kwa usafiri wa Umma yalifutwa kwa wakazi na hata watalii wanaotembelea nchi hiyo, maneno mengine hauhitaji kununua tiketi kwa ajil... |
null | Si jambo la kushangaza kama ukitembelea mataifa mbalimbali na kukuta magari ya kubebea wanafunzi (School Bus) yakawa na rangi ya kufanana, yaani rangi ya njano. Fahamu kuwa rangi hiyo kwenye mabasi ya smule iliidhinishwa April Mwaka 1939 na mtaalamu wa elimu aliyefahamika kwa mina Frank W. Cyr. Sababu kubwa ikiwa njano... |
null | Je wajua Uyoga aina ya Matsutake ndio Uyoga wenye gharama kubwa zaidi duniani ambao nusu kilo huuzwa kwa Dollar 500(sawa na shilingi milioni moja na laki tatu za kitanzania). Uyoga huu unapatikana zaidi nchi za Japan, Korea, China na hata Marekani, lakini ule unaovunwa eneo la Kyoto nchini Japan ndio unaoheshimiwa na w... |
null | Mtaa wa Raha Leo ulipata umaarufu mkubwa Zanzibar kutokana mkongwe wa muziki wa taarab Fatma Binti Baraka maarifu kama Bi. Kidude ambaye alifariki dunia mwaka 2013 akiwa na umri wa miaka 103. “Yalaiti napenda pasi kifani tofauti sikutilii moyoni sikuachi leo na kesho peponi…” ni sehemu ya mashairi yaliyopo kwenye wimbo... |
null | Binti wa Mfalme wa Dubai, Sheikha Mahra Mohammed Al Maktoum ametangaza kumuacha mumewe Sheikh Mana Mohammed Rashid Al Maktoum kupitia mtandao wake wa kijamii wa Instagram. Ujumbe wake huo ulianza kusema ‘Mume wangu Mpendwa” na kumalizia kwa maneno “Ninakupa talaka, nina kupa talaka na ninakupa talaka”, ukionekana kutum... |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.