name
stringclasses
429 values
text
stringlengths
0
767k
null
Kampuni ya teknolojia Meta imezindua rasmi teknolojia mpya ya akili mnemba... Katika tukio kubwa la Meta Connect 2024, la tarehe 25 Septemba, Meta wamiliki... Threads ni mtandao ambao hauna muda mrefu sana na umalikiwa na kampuni ya Meta... Ni wazi kwamba mitandao mingi ya kijamii ambayo inamilikiwa na Meta (Faceboo...
null
Kampuni ya teknolojia Meta imezindua rasmi teknolojia mpya ya akili mnemba... Katika tukio kubwa la Meta Connect 2024, la tarehe 25 Septemba, Meta wamiliki... Threads ni mtandao ambao hauna muda mrefu sana na umalikiwa na kampuni ya Meta... Ni wazi kwamba mitandao mingi ya kijamii ambayo inamilikiwa na Meta (Faceboo...
null
Kampuni ya teknolojia Meta imezindua rasmi teknolojia mpya ya akili mnemba... Teknolojia ya mawasiliano ya habari ndio kitovu cha maendeleo yote katika... Zoezi la uandikishaji wa anwani za makazi linaendelea nchi nzima kwa lengo la... Shirika mama la mawasiliano na la kwanza nchini Tanzania kwa kifupi... Baraza la...
null
Usalama wa Barua Pepe. Katika dunia ya sasa ya teknolojia, usalama wa mtandaoni... Gmail ni moja kati ya jukwaa kubwa kabisa ambalo linahusisha na maswala mazima... Gmail ndio mtoaji wa huduma ya barua pepe ambae ni maarufu na anatumika Zaidi... Gmail ni jukwaa kubwa ambalo kwa sasa limevuka kabisa ile hali ya kutum...
null
Elon Musk ameendelea kusukuma mipaka ya maendeleo ya teknolojia kupitia mtandao... Hivi karibuni, mtandao wa X umetambulisha kipengele kipya kinachoitwa... Kama unapitia katika post za mtandao wa X ambao zamani ulikua unajulikana kama... Kuna muda una mengi ya kuongea katika mtandao wa kijamii lakini unaishia kusema...
null
Katika juhudi za kuendelea kuwa jukwaa bora zaidi kwa watumiaji na... Mtandao wa Snapchat licha ya ukubwa wake wote, mtandao huu wa kijamii ulikua... Ni wazi kuwa mtandao wa snapchat ndio mtandao ambao ulileta mapinduzi katika... Mitandao ya kijamii inazidi kutushangaza, pengine teknolojia hii sio mpya... Hapa naju...
null
### Telegram, moja ya programu maarufu zaidi za kutuma ujumbe mfupi duniani, inakabiliwa na kizungumkuti kikubwa baada ya kukamatwa kwa mwanzilishi wake, Pavel Durov, nchini Ufaransa. Tukio hili limezua maswali mengi kuhusu Durov mwenyewe, sababu za kukamatwa kwake, na jinsi tukio hili linavyoathiri umaarufu wa Telegra...
null
### Ulimwenguni hivi leo kuwa na mtandao wa intaneti wenye kasi ni msingi muhimu kwa maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Afrika, bara linaloendelea kwa kasi katika nyanja mbalimbali, lina baadhi ya nchi zinazojivunia kasi kubwa ya mtandao wa broadband. Hii inachangia kwa kiasi kikubwa katika ukuzaji wa biashara, elimu, a...
null
### Ulimwengu wa teknolojia unaendelea kupiga hatua kwa kasi ya ajabu. Leo, tunashuhudia mabadiliko makubwa katika jinsi tunavyofanya utafutaji mtandaoni. Kampuni ya OpenAI, maarufu kwa mafanikio yake katika uwanja wa akili bandia, imezindua huduma mpya inayoitwa SearchGPT. ### SearchGPT ni nini? SearchGPT ni huduma...
null
**Je, unakumbuka siku ulipofungua barua pepe yako ya Yahoo kwa mara ya kwanza?** Labda ulikuwa mwanafunzi, mzazi, au mfanyabiashara. Huenda ulifurahia kuungana na marafiki, kupata habari, au kuendesha biashara yako. Lakini je, uliwahi kufikiria kuwa ingeweza kutokea kuwa taarifa zako zote za kibinafsi zingekuwa wazi kw...
null
DataMtandaoTeknolojiayahoo Udukuzi wa Data Kubwa Kabisa kuwahi kutokea katika Historia: Yahoo Kuhakiwa (2013-2014) LanceBenson July 25, 2024 Je, unakumbuka siku ulipofungua barua pepe yako ya Yahoo kwa mara ya kwanza?... appsFacebookGoogleIntanetiMtandao wa KijamiisimuTeknolojiaUchambuziyahooYouTube 5 Bora ya tovuti z...
null
### Je unafahamu Google na Microsoft wanatumia umeme mwingi kuliko ata Tanzania? Teknolojia imebadilisha maisha yetu kwa njia nyingi, lakini inakuja na gharama zake. Makampuni makubwa ya teknolojia kama Google na Microsoft hutumia umeme mwingi kuendesha vituo vyao vya data, ambavyo vinaendesha huduma zote tunazozipenda...
null
Kwenye soko la simu za mkononi, kampuni mbalimbali zimekuwa zikishindana kwa... Tukio la Made by Google 2024 limejawa na matoleo mapya yaliyoonyesha uwezo wa... Kama wewe ni mtumiaji wa App ya Google Photos basi fahamu uwezo wa kuhariri... Event ya Made by Google imekaribia kufanyika, na wapenzi wa teknolojia kote.....
null
### Katika zama hizi za kidijitali, mitandao ya kijamii imegeuka kuwa jukwaa muhimu la kujenga na kuendeleza ushawishi. Ikiwa una ndoto ya kuwa maarufu katika mitandao ya kijamii, makala hii itakupa mwongozo wa hatua kwa hatua wa jinsi ya kufikia lengo lako. *Kumbuka, kufanikiwa katika nyanja hii kunahitaji juhudi, ub...
null
### Fursa mpya kwa watumiaj wa mtandao wa jumbe fupi, WhatsApp, kuanzia sasa, unaweza kutumia akaunti mbili kwenye programu moja ya WhatsApp hii baada ya kuleta kipengele hicho kwenye mabosheresho yake hivi kabirubuni. Hii ni habari njema hasa kwa watu wanaotaka kutofautisha mawasiliano ya maisha kibinafsi na yale ya k...
null
### TikTok, mtandao maarufu wa video fupi, huenda ikajiingiza katika eneo la picha kwa kuja na programu ya kushirikisha(kushare) picha “TikTok Photos” Taarifa za hivi karibuni zinaonesha mtandao huo unamilikiwa na Kampuni kutoka China iitwayo ByteDance upo mbioni kutambulisha progaramu mpaya ambayo itakuwa imekita kwen...
null
### Hivi karibuni, mtandao wa X umetambulisha kipengele kipya kinachoitwa Makala(Article) itakayoruhusu kuchapisha maudhui marefu yenye herufi hadi laki moja. Lakini je, huu ni uvumbuzi wenye tija au la? Twende tuone! Kipengele hiki kipya ambacho kinapatikana kwa watumiaji wa kulipia (X Premium+) na mashirika yaliyoth...
null
## Threads ni mtandao ambao hauna muda mrefu sana na umalikiwa na kampuni ya Meta ambao inamiliki mitandao ya Facebook, Instagram na WhatsApp. Threads inaonyesha ukuaji mkubwa huku mtandao wa x (zamani twitter) namba zikionyesha kuwa mtandao huo unasua sua. Threads katika soko la App la App Store iko namba 4 na namb...
null
Threads ni mtandao ambao hauna muda mrefu sana na umalikiwa na kampuni ya Meta... Ngoja kwanza, sio hashtags kabisa lakini vile vile huwezi sema sio hashtag... Threads ni moja kati ya mtandao wa kijamii mpya ambao ujio wake uliwaacha watu... Threads ndio mtandao wa kijamii ambao umekuja na kuvunja rekodi kwa kupata....
null
## TikTok ni moja kati ya mtandao wa kijamii mkubwa kabisa na wenye nguvu kubwa sana kwa sasa ukilinganisha na mitandao mingi tuu. Mara kwa mara mtandao wa TikTok umekua ukifanya maboresho kadha wa kadha katika kuhakikisha kuwa watumiaji wake wanapata kile wanachostahili. Ni wazi kwamba mtandao huu ambao umejikita s...
null
## Kipengele hiki ni kizuri sana na kitakua kinafanya kazi kama huduma ya Airdrop au hata Quick Share katika mtandao huo wa WhatsApp. Kipengele hiki hakitategemea sana kwa watumiaji kuwa na namba ya WhatsApp ya mtu ambae anamtumijia vitu hivyo. Kipengele hiki kitakua kinafanya kazi baada ya simu hizo kusogeleana kwa...
null
Apple Music ni moja katika ya masoko ya muziki yanalipa vizuri wasanii na... Mara nyingi mtandao wa kijamii wa WhatsApp umekua ikufuata nyendo za mtandao wa... Sticker ni vitu vya kawaida sana katika mitandao ya kijamii, hata katika... WhatsApp ni moja kati ya huduma ya kurahisisha mawasaliano duniani na ni moja... ...
null
App ya Threads inayomilikiwa na kampuni ya Meta, wamiliki wa Facebook,... Elon Musk vs Mark Zuckerberg kuzichapa ulingoni. Moja ya habari iliyosambaa... WhatsApp mara kwa mara imekua ikileta vipengele vipya au kuboresha vile ambavyo... Kipengele hiki kutokea instagram wengi walikua wanakisubiria kwa hamu sana,... K...
null
Leo, WhatsApp imetangaza kupitia Twitter kwamba programu yao maarufu ya... Kampuni ya mawasiliano ya Airtel imeleta mfumo wa malipo raisi zaidi kwa ajili... Mfumo wa World Wide Web umefikisha miaka 21 wiki wii, na kwa wale wasiomjua... Kampuni ya Vodacom masaa machache yaliyopita kupitia ukurasa wake wa Facebook... ...
null
YouTube Hype ni kipengele kipya kinachokuja kwa watumiaji wa YouTube kwenye... YouTube ni wazi kabisa kwamba haipatani kabisa na vizuizi vya matangazo na kwa... YouTube ni moja kati ya mitandao ya kijamii yenye umaarufu mkubwa na... Moja ya kitu ambacho kinawashangaza wengi ni kwamba mtandao huo wa YouTube... YouTu...
null
Kama wewe ni mtumiaji wa App ya Google Photos basi fahamu uwezo wa kuhariri... Maisha yetu yanazidi kuwa rahisi na hii yote inasababishwa na ukauji wa... Fikiria unaweza ukawa unatumia simu yako ya iPhone kupiga picha na kurekodi... Ukuaji wa teknolojia ambao unaenda sambamba na utandawazi leo hii si ajabu...
null
Katika zama hizi za kidijitali, Telegram huonekana kama ni alama ya usalama kwenye mawasiliano. Umaarufu wake umepanda kwa kasi hadi kufikia watumiaji milioni 500, ukivutia kwa usalama wake na usiri wa watumiaji. Lakini, sifa hizi njema zimegeuka kuwa kivuli cha giza, kwani Telegram inazidi kuwa kitovu cha shughuli za ...
null
### Katika hatua ya kihistoria, Bunge la Marekani limepitisha muswada ambao unaweza kusababisha TikTok kupigwa marufuku nchini Marekani. Muswada huu unapendekeza kuwa kampuni mama ya TikTok kutoka China, ByteDance, itapewa miezi sita kuuza sehemu yake kubwa ya umiliki au programu hiyo itazuiliwa nchini Marekani. Ingaw...
null
## Kwa sasa Shazam imerahisisha mno katika swala zima la kutambua nyimbo fulani na hili linafanyika kwa njia ya kutumia spika za masikio tuu. Shazam ilinunualiwa na Apple kwa mamilioni ya dola za kimarekani na kampuni ya Apple mwaka 2017, kusoma vizuri kuhusiana na hili gusa >>HAPA<< Kutokana na toleo jipya (update)...
null
appsShazam Sasa Unaweza Ku Shazam Kwa Kutumia Spika Za Masikio (Ear/HeadPhone)! Hashiman (@hashdough) Nuh February 1, 2024 Kwa sasa Shazam imerahisisha mno katika swala zima la kutambua nyimbo fulani na...
null
## Apple wanakuja kufanya mapinduzi ya hali ya juu kabisa katika teknolojia ya kompyuta kwa kuleta kifaa cha Vision Pro. Vision Pro inatarajiwa kuingia katika soko hivi karibuni (matarajio februari 2) na makampuni mengi yamekua yakifanya juu chini ili kuhakikisha App zao zinapatikana humo Kumbuka kifaa hiki kinatumi...
null
Apple imekuwa ikijulikana kwa uvumbuzi na uzinduzi wa bidhaa ambazo hubadilisha... Apple wanakuja kufanya mapinduzi ya hali ya juu kabisa katika teknolojia ya... Vision Pro ni kifaa cha Apple ambacho kinasubiriwa kwa hamu sana na kifaa hiki... Kifaa hiki – Vision Pro– kilishatambulishwa kabisa na kampuni ya Apple......
null
Apple wanakuja kufanya mapinduzi ya hali ya juu kabisa katika teknolojia ya... Majukwaa makubwa kabisa ambayo yanaonyesha filamu yanayomilikiwa na kampuni ya... Kongamano la Vijana wa Kidigitali Tanzania (TYDS) ni jukwaa la kitaifa linalo... Zoom ni kampuni kubwa ambayo inajihusisha na huduma ya mikutano ya kimtanda...
null
## WhatsApp kupitia huduma yake ya channels imeongeza vipengele kadhaa ili kuhakikisha kuwa watu maarufu, chapa (brands) na vioo vya jamii kuweza kuwasiliana vizuri na mashabiki zao. Kumbuka WhatsApp Channels ni njia nzuri sana ya kuwasiliana kwa pande zote mbili na mara nyingi mawasiliano hayo yamekaa kwa njia ya ta...
null
## Mara nyingi mtandao wa kijamii wa WhatsApp umekua ikufuata nyendo za mtandao wa kijamii wa Telegram lakini sio katika hili. Hapo awali mara kwa mara tulikua tukiona vipengele vingi katika mtandao wa kijamii wa WhatsApp vilikua vinatumika toka zamani katika mtandao wa kijamii wa Telegram. Kipengele cha View Once n...
null
## Aseeeeh!, WhatsApp wanatoa maboresho mengi katika mtandao wao kijamii na ukifuatilia ndani ya kipindi cha miezi miwili tuu nimeandika maboresho na vipengele vipya vingi kutoka kwa mtandao huu. Mtandao wa WhatsApp ni moja kati ya mitandao maarufu sana ambayo inajihusisha na meseji za papo kwa papo na sasa hivi inak...
null
## Ni wazi kwamba mitandao mingi ya kijamii ambayo inamilikiwa na Meta (Facebook, Instagram na WhatsApp) ina mahusiano ya moja kwa moja. Mfano mzuri ni kwamba unaweza kutuma status katika mtandao wa WhatsApp na ikaenda moja kwa moja katika mtandao wa Facebook ambayo yote inamilikiwa na Meta. Kipegnele ambacho kinaen...
null
Ni wazi kwamba mitandao mingi ya kijamii ambayo inamilikiwa na Meta (Facebook,... Kampuni ya Meta, wamiliki wa Facebook, Instagram na Whatsapp imetangaza rasmi... Hii haitushangazi sana kwa sababu mtandao wa Messenger unamilikiwa na kampuni,... Telegram-prgramu tumishi ambayo si maarufu kama ilivyo kwa hizo nyingine...
null
## Ni mwisho wa mwaka na makampuni mengi huwa yanatoa takwimu za mwaka mzima, Apple nao wameweka orodha ya washindi katika Nyanja mbalimbali. Apple ni moja kati ya kampuni kubwa sana ambalo linajihusisha na maswala mazima ya kiteknolojia na orodha nzima ni hii hapa chini. Zifuatazo ni App/Gemu 14 ambazo zimeibuka kd...
null
Ndio kupitia Google.Com unaweza ukacheza michezo mingi tuu, hii watu wengi... Bobby Kotick amekua na kampuni ya Activision Blizzard kwa muda na sasa na mpaka... Ni mwisho wa mwaka na makampuni mengi huwa yanatoa takwimu za mwaka mzima,... XBox ni moja kati ya kifaa cha magemu chenye watumiaji wengi na umaarufu mkubw...
null
## Mtandao wa WhatsApp kwa muda sasa umekua ukiwashangaza wengi maana uko tofauti na mitandao mingine ambayo inamilikiwa na kampuni la Meta. Mitandao mingine yote ambayo inamilikiwa na kampuni la Meta yote ina huduma za matangazo lakini WhatsApp pekee imeonekana ikiwa tofauti. Hili linaenda kubadilika hivi karibuni ...
null
WhatsApp bado inazidi kujiimarisha kabisa kwa kuhakikisha kuwa hakuna sababu... Threads ni moja kati ya mtandao wa kijamii mpya ambao ujio wake uliwaacha watu... TikTok ni moja kati ya mitandao ya kijamii yenye majina makubwa sana, licha ya... Shaquille O’Neal ni mchezaji wa zamani wa ligi kuu ya kikapu inayojulikan...
null
WhatsApp huwa wanatoa maboresho kadha wa kadha ilimradi kuhakikisha kwamba... WhatsApp licha ya ukubwa ambayo mpaka sasa inayo, bado haijawahi kupumzika... Watu wengi hupenda kutumia mbadala wa programu halali ya WhatsApp, hizi... Watu wengi tunatumia kompyuta kutazama filamu na sinema (movies) mbalimbali,... Mara ...
null
Game ya Mwanadada Kim Kardashian ‘Kim Kardashian;... Si mara nyingi unakutana na programu rahisi kutumia na ya kufurahisha kama BBC... Leo kampuni mashuhuri kwa utofauti na mfumo wa kipekee wa kuingiza sokoni... Je, wewe ni mshabiki wa mpira wa miguu au michezo mingine kama mpira wa kikapu... Unapokua namba 3 katik...
null
## Rekodi hii ilikua inashikiliwa na Apple kwa miaka kadhaa huku makampuni mengine yakiwa yanafutia, Microsoft wao walikua wanafuatia katika namba hiyo. Sio Apple na Microsoft tuu, makampuni mengi ya kiteknolojia huwa yanafanya vizuri sana katika orodha za makampuni yanayofanya vizuri duniani katika orodha ya thamani...
null
## App ya WordPad ni ya muda mrefu sana na ilikua inakuja moja kwa moja katika kompyuta zenye programu endeshi ya windows. Kwa kipindi cha zaidi ya miaka 29 programu hii ya wordpad imekua ikipatikana ndani ya programu endeshi ya windows kutoka microsoft katika kompyuta zote. Kwa sasa Microsoft imeseama inaachana kab...
null
App ya WordPad ni ya muda mrefu sana na ilikua inakuja moja kwa moja katika... Ni wazi kwamba mpaka sasa kuna vivinjari vingi sana na makampuni mengi ya... Hii ni habari mbaya kwa wapenzi wa Windows 10, Kwa haraka haraka ni kwamba... Mtangazo, matangazo, matangazo…..! Pengine hili limeshazoeleka sana huko... Imekuw...
null
## Bobby Kotick amekua na kampuni ya Activision Blizzard kwa muda na sasa na mpaka kufikia disemba 29 atakua ameshakamilisha mambo yote kuhusiana na kampuni hiyo. Kingine ni kwamba sio yeye tuu katika kampuni ya Activision Blizzard ambae anaagana na kampuni hiyo bali kuna wafanyakazi wengine nao wanaondoka katika kam...
null
## Ni wazi kwamba mpaka sasa kuna vivinjari vingi sana na makampuni mengi ya teknolojia yanamiliki vivinjari hata wao Samsung hivyo hivyo. Ukichana na kivinjari cha Samsung, kampuni ambayo inaongoza kwa kivinjari chenye watumiaji wengi ni Google ambacho kivinjari chake ni chrome. ‘Samsung Internet’ ni kivinjari amba...
null
Ni wazi kwamba mpaka sasa kuna vivinjari vingi sana na makampuni mengi ya... Mtangazo, matangazo, matangazo…..! Pengine hili limeshazoeleka sana huko... Lengo kubwa ni kuiweza kuitambua/kuipata App bora kabisa kwa mwaka 2022 kwenye... Toleo jipya la programu endeshi kutoka kwenye familia ya Windows inapata wateja...
null
## XBox ni moja kati ya kifaa cha magemu chenye watumiaji wengi na umaarufu mkubwa kabisa, kifaa hichi kinatumika na watu katika kucheza gemu. XBox inamilikiwa na kampuni ya Microsoft na imetimiza miaka 22 tangia iingie sokoni mwaka 2001 novemba 15. Maamuzi haya ya kampuni ya Microsoft kuingia katika hii sekta ya ma...
null
Katika ulimwengu wa teknolojia, mambo mapya ya kushangaza hayakomi. hasa katika... XBox ni moja kati ya kifaa cha magemu chenye watumiaji wengi na umaarufu mkubwa... A wonderful serenity has taken possession of my entire soul, like these sweet mornings of spring which I enjoy with my whole heart. I am alone, and feel...
null
## Microsoft kwa kifua mbele kabisa imeweka wazi kwamba ilikua na mpango wa kuuza mtandao wake wa Bing kwa Apple lakini Google wao ndio walisababisha dili hilo lisifanikiwe. Licha ya kuwa ni makampuni makubwa (Apple, Google Na Microsoft) sana bado yanauziana bidhaa na huduma mbalimbali baina yao. Miaka kadhaa nyuma ...
null
AppleBingGoogleMicrosoftTeknolojia Microsoft Ilitaka Kuiuza Bing Kwa Apple Ikashindikana, Wailaumu Vikubwa Google! Hashiman (@hashdough) Nuh September 30, 2023 Microsoft kwa kifua mbele kabisa imeweka wazi kwamba ilikua na mpango wa kuuza... BingMicrosoft Bing Imevuka Zaidi Ya Watumiaji Milioni 100 Kwa Siku! #Microsof...
null
## Ni wazi kwamba kampuni za magemu zinafanya vizuri sana kwa kipindi hichi na ni wazi kwamba makampuni kama vile Xbox na Nintendo yanaweza nunuana kama yakifikia makubaliano. Nintendo ni moja kati ya kampuni kubwa sana katika Nyanja nzima ya magemu na kwa taarifa zilizotoka zimeonyesha dhahiri kwamba walikua na mpan...
null
Ni wazi kwamba kampuni za magemu zinafanya vizuri sana kwa kipindi hichi na ni... Nintendo ina sifa kubwa sana kwa upande wake wa teknolojia ya magemu na... Nintendo ni moja kati ya makampuni makubwa kabisa katika maswala mazima ya... Dola bilioni 62.3 ni nyingi sana kwa dunia ya sasa kwa kitu chochote, Nintendo... ...
null
## Surface Duo ndio tabiti ya kwanza ya kujikunja (fold) kutoka kwao Microsoft na kwa mara ya kwanza kabisa ilikua imeachiwa mwaka 2020. Kwa sasa ni wazi kabisa kwa Surface Duo imefikia mwisho wake kabisa na Microsoft wanaachana kabisa nayo. Kinacho washangaza wengi ni kwamba kifaa hiko kilipata masasisho (update) m...
null
Surface Duo ndio tabiti ya kwanza ya kujikunja (fold) kutoka kwao Microsoft na... Samsung kampuni nguli kabisa katika teknolojia za kurahisisha mawasiliano... Kwa kutumia akili bandia (AI) ni wazi kwamba vifaa vyetu vya kieletroniki... OnePlus kwa sasa ni kampuni ambayo inasifika vikubwa kwa simu janja zake ambazo.....
null
Surface Duo ndio tabiti ya kwanza ya kujikunja (fold) kutoka kwao Microsoft na... Samsung kampuni nguli kabisa katika teknolojia za kurahisisha mawasiliano... Kwa kutumia akili bandia (AI) ni wazi kwamba vifaa vyetu vya kieletroniki... OnePlus kwa sasa ni kampuni ambayo inasifika vikubwa kwa simu janja zake ambazo.....
null
### Microsoft imetangaza kuwa itaondoa programu ya uandishi/uhariri ya WordPad kutoka kwa matoleo yajayo ya Windows. Programu hii imekuwepo katika matoleo yote ya Windows kuanzia Windows 95, lakini haijapata masasisho/maboresho kwa kipindi kirefu. Kwa sasa Microsoft inashauri watumiaji wa programu hiyo kuhamia kwenye ...
null
appsMicrosoftMicrosoft OfficeTeknolojia WordPad itaondolewa katika matoleo yote yajayo ya #WindowsOS – #Microsoft teknokona September 5, 2023 Microsoft imetangaza kuwa itaondoa programu ya uandishi/uhariri ya WordPad... AndroidappsMicrosoft Office Microsoft Office ya kwenye simu yawezeshwa muonekano wa giza Mato Eric ...
null
## Visual Studio inamilikiwa na kampuni ya Microsoft na imekua ikipatikana katika Os mbali mbali lakani kwa sasa inaonekana dhahiri kwamba inapumzishwa dhahiri katika Mac. Visual Studio kazi yake kubwa ni mfumo unaokwenda kwa jina la Integrated Development Environment (IDE) ambao umeandaliwa na kampuni ya Microsoft ...
null
## Akili bandia ni nyingi sana siku hizi na huwa zinatofautiana baina ya moja na nyingine. Hali hii inaonyesha dhahiri kwamba teknolojia inazidi kukua siku hizi na hata Microsoft wao wameamua kuja na Copilot. Copilot sio kwamba itakua inatumiaka na App zote zinazomilikiwa na Microsoft la-ha-sha, bali yenyewe itakua i...
null
## Bing ni kama Google tuu kwa maana kwamba ni ‘Search Engine’ yaani ni sehemu ya matafuto katika mtandao. Bing inamilikuwa na kampuni ya Microsoft na huwa kwa kiasi kikubwa inaonekana katika kivinjari cha Edge. Licha ya kwamba Google ndio ambao wanaongoza kutumika zaidi kwa matafuto ya mtandao bado Edge na yenyewe i...
null
## Hii ni habari mbaya kwa wapenzi wa Windows 10, Kwa haraka haraka ni kwamba Microsoft inawataka watu wahamie katika Windows 11. Microsoft ni moja ya kampuni kubwa kabisa katika Nyanja ya teknolojia na ina bidhaa na huduma nyingi sana ambazo zinafanya kampuni kuwa moja kati ya kampuni kubwa kabisa duniani moja wapo ...
null
## Microsoft ni kampuni kubwa sana ambayo inajihusisha na mambo mazima ya kiteknolojia, mara kwa mara imekua inanunua makampuni mengi na sasa ni zamu ya Fungible. Fungible ni kampuni changa ambayo kwenye soko ina miaka 6 tuu, lakini imenunuliwa na Microsoft kwa kiasi cha dola milioni 190 za kimarekani. Fungible ni k...
null
## Microsoft waitaka Netflix mazima. Microsoft ni moja kati ya makampuni makubwa ambayo mara kwa mara yamekua yakiyanunua makampuni mengine mengi na kuwa chini yake. Kitu kimoja ambacho kiko wazi tena kipo kwa makampuni haya mawili (Microsoft na Netflix) ni kwamba wote wawili wanajiwekeza zaidi katika maswala mazima ...
null
Kampuni ya Netflix sio ngeni katika ulimwengu wa magemu maana mpaka sasa kwa... Moja kati ya mtoaji mkubwa wa huduma ya ku’stream, Netflix imekuja na... Netflix ndio kinara wa huduma za burudani kwa njia ya ku’stream, kampuni... Ni wazi kwamba tunaingia katika mtandao wa Netflix kwa kutumia akaunti zetu... Ni wazi ...
null
## Mtandao wa Snapchat licha ya ukubwa wake wote, mtandao huu wa kijamii ulikua haupatikani katika katika soko la App la Microsoft Store. Ukiachana na App katika vifaa kama simu na tabiti bado Snapchat ilifanya maboresho katika Snapchat ya mtandao ili angalau iendane na App ya kwenye simu lakini bado kuna baadhi ya v...
null
## Mtangazo, matangazo, matangazo…..! Pengine hili limeshazoeleka sana huko mitandaoni lakini katika yale maeneo ambayo mwanzo hatukuona matangazo yakionekana huwa tunashangaa kidogo na sasa ni kwenye Windows 11. Repoti mbalimbali zilitoka watu wakilalamika kuwa wamekua wakipata matangazo kadha wa kadha katika eneo h...
null
Huawei ina program endeshi (OS) ambayo sio Android na imeendaliwa rasmi katika... Chromebook ni kompyuta mpakato (Laptop) zenye sifa nzuri na nyingi zinasifika... Mtangazo, matangazo, matangazo…..! Pengine hili limeshazoeleka sana huko... Honor ni chapa ambayo mara ya kwanza kabisa ilikua inamilikiwa na kampuni ya.....
null
Swiftkey ni moja kati ya keyboard za mbadala ambazo unaweza kuzipata katika... Store hiyo mpya ya Microsoft iitakua ni mahususi kwa magemu ya kwenye simu na... Ni wazi kwamba huduma zote ambazo ni za Microsoft zinapatikana katika mtandao,... Swiftkey ni huduma ya keyboard katika vifaa mbalimbali ikiwemo simu na vifa...
null
Utiririshaji wa video ni kitendo cha kuangalia video moja kwa moja mtandaoni... Microsoft inashikilia tovuti kadhaa ambazo zilikuwa zikitumiwa na kikundi cha... Katika makampuni ya kiteknolojia, Apple ilikua imewaacha wenzake mbali sana... Microsoft kuifungia LinkedIn nchini China ni Jambo ambalo limetokea baada ya....
null
Je unafahamu ya kuwa kuna mambo mengine ambayo hayataenda kawaida kama... Kampuni ya Microsoft imeamua kufanya toleo la programu maarufu ya uandishi ya... Kwanza kampuni za Nokia Na Microsoft Ni makampuni mawili tofauti, wengi... Bill Gates ni mwekezaji wa marekani, Programa wa kompyuta, Mwekezaji na... Siku si nyi...
null
Elon Musk ametangaza kwamba Tesla iko tayari kuleta mapinduzi makubwa katika... Nikola Tesla ni jina kubwa katika sayansi na teknolojia. Alizaliwa 1856, Tesla... Tanzania inaongoza kwa sasa katika uagizaji wa magari yaliyotumika nchini... Sony na Honda kupitia katika ushirika wao wa toka mwaka 2022 kwa sasa wako... ...
null
Elon Musk ametangaza kwamba Tesla iko tayari kuleta mapinduzi makubwa katika... Nikola Tesla ni jina kubwa katika sayansi na teknolojia. Alizaliwa 1856, Tesla... Magari ya umeme ni magari yanayotumia mota moja au zaidi ya umeme inayotoa... Hapa ni kwamba kuna habari zilikua zinasambaa chini chini kwamba bilionea wa....
null
### Tesla ni kampuni ya kiteknolojia inayounda na kutengeneza magari ya umeme pamoja na betri zake. Kampuni hii inatengeneza pia na vifaa maalum kwaajili ya kuvuna na kutunza umeme wa jua. Dhamira kuu ya kampuni hii ni kuharakisha ulimwengu kutumia nishati endelevu (Sustainable energy). Kampuni ya Tesla ilianzishwa m...
null
SpaceXTeknolojiaTesla Elon Musk: Nabii wa Teknolojia – Safari ya Kuvunja Mipaka Kutoka PayPal Hadi Tesla, SpaceX na Twitter LanceBenson July 13, 2024 Elon Musk ni jina ambalo limejulikana sana katika ulimwengu wa teknolojia na... GariMagariTeknolojiaTeslaUchambuzi Tesla inauza Cyberquad ATV kwa ajili ya watoto Semu Ms...
null
Muonekano wa kawaida wa tovuti ya Familia ya Kifalme ya Uingereza umebadilika... Kongamano la Vijana wa Kidigitali Tanzania (TYDS) ni jukwaa la kitaifa linalo... WhatsApp ni moja kati ya mitandao ya kijamii maarufu unaomilikiwa na kampuni ya... Utambulisho wa TAIC2022. Tanzania Annual ICT Conference (TAIC) ni Kongam...
null
### Serikali ya jimbo la California nchini Marekani imesema inategemea uwepo wa magari yanayojiendesha yenyewe bila dereva ndani kufikia mwezi Aprili mwaka huu. Kwa muda mrefu makampuni yanayofanya majaribio ya magari yanayojiendesha yenyewe yamekuwa yakikutana na hitaji la kisheria la Calfornia ya kwamba lazima ndani...
null
### Watu wengi wanaona wakati ajali barabarani inapotokea, abiria wanaokaa kando ya dereva wanakabiliwa na hatari kubwa zaidi, na abiria wanaokaa nyuma ni salama zaidi. ### Je, mtazamo huu ni sahihi? Polisi wa Japan wamechambua idadi ya watu waliofariki kwenye ajali za barabarani na kugundua kuwa mtazamo huo si sahi...
null
Moja kati ya simu ambazo ni ghali mpaka hivi leo tangu kutoka kwake basi iPhone... Serikali ya India imepiga marufuku programu maarufu ya TikTok pamoja na... Baada ya miezi ya kadhaa ya tetesi hatimaye wamiliki wa app ya WhatsApp... Hivi karibuni Huawei ilitoa taarifa kwa waandishi wa habari kuhusu uzinduzi wa... K...
null
### Mradi wa kuunda gari lenye kasi zaidi duniani umefufuliwa na tayari gari hilo limeshavunja rekodi ya kwenda maili moja ndani ya sekunde 3.6 🙄 🙄 🙄 . **Mpango wa kuunda gari hilo lililopewa jina ‘Bloodhound’ ulikwama miezi ya karibuni kutokana na matatizo ya kifedha** lakini mfadhili mpya amepatikana na tayari l...
null
Simu janja zimekuwa msaada kwetu kwa mambo mengi ambayo zimekuwa zikirahisisha... WhatsApp Desktop imekuwa ni mkombozi wa watu wengi tuu ulimwenguni ambao kazi... Katika ulimwengu wa sasa teknolojia ya 5G inaendelea kushika kasi kwani... Wale wanaojua kufanya mengi kwenye WhatsApp si haba wameshawahi kuweka... Ni u...
null
### Moja kati ya huduma za usafirishaji wa kukodisha ulijpiatia umaarufu kutokana na mambo mbalimbali hasa kwa dereva katika ufanisi wake wa kazi, Uber ni moja kati ya huduma hizo na kizuri zaidi nchini Tanzania Uber ipo na inasaidia sana. Uber ni kampuni ambayo imekuwa ikikumbwa na **misukosuko, kashfa mbalimbali**,...
null
Kumbuka tulishawahi andika kuhusu App ya UberEats, App ambao inawawezesha watu... Kama kawaida lawama nyingi huwa zinawafikia maderva tuu ambao wanaendesha... kampuni inayojihusisha na biashara ya usafirishaji wa kukodi lakini... Kampuni ya huduma ya usafiri ya Uber imekuja na mfumo rasmi wa utoaji wa... Mamlaka ya...
null
### Utengenezaji wa magari yanayotumia nishati ya umeme ni teknolojia ambayo imeonekana kuwa rafiki na mazingira hivyo kufanya kampuni nyingi tu kutengeneza magari ambayo yanaendeshwa kwa umeme na si mafuta (petroli/dezeli). *Volkswagen *(VW) imeamua kuwekeza katika magari yanayotumia nishati ya umeme badala ya kuend...
null
Amazon na Hyundai wametangaza ushirikiano wa kimkakati ambao utajumuisha uuzaji... Tanzania inaongoza kwa sasa katika uagizaji wa magari yaliyotumika nchini... Sony na Honda kupitia katika ushirika wao wa toka mwaka 2022 kwa sasa wako... Vyombo vya usafiri tunavyotumia leo hii ni matokeo ya maendeleo ya kiteknolojia...
null
### Kampuni ya Japan ya kutengeneza matairi imesanifu tairi lisilohitaji kuingizwa upepo, na imepata mafanikio katika kuongeza maisha na usalama wa tairi na kupunguza kelele zilizotolewa na tairi wakati gari linapoendeshwa. Kabla ya hapo, makampuni mengine yaliwahi kusaini matairi ya aina hiyo, lakini hayatumiwi kwa w...
null
#### Teknolojia ya magari inayoonekana kuja kwa kasi sana katika nchi zilizo katika dunia ya kwanza ni dhahiri kuwa magari hayo yamekuwa mbadala wa nguvu kazi kwani haihitaji uwepo wa dereva ili kuweza kufika safari yake. Udukuzi katika magari yanayojendesha yenyewe ni jambo ambalo makampuni yanaunda magari hayo yamek...
null
#### Katika hali ya kukabiliana na hali ya hewa chafu inayosababishwa na magari yanayotumia dizeli/petroli Uingereza nayo imeonekana kufuata nyayo za Ufaransa. Mwisho ni mwaka 2040 kwa magari yanayotumia mafuta huko Uingereza. Moja kati ya vitu ambavyo vimekua vikiathiri mabadiliko ya tabia ya nchi duniani kote ni he...
null
### Kampuni ya Tesla imeanza uzalishaji wa magari ya bei naafu ya umeme yanayokwenda kwa jina la Model 3, Elon Musk ambaye ndiye mkurugenzi mtendaji ameonesha picha za gari ya kwanza katika mlolongo wa aina hii ya magari. Gari hilo la umeme ambalo ndio la gharama ya chini linategemewa kuuzwa kwa karibu shilingi milion...
null
Black Friday ni nini? Ijumaa Nyeusi ama Black Friday kama inavyoitwa kwa... Kampuni ya Netflix mwishoni mwa wiki iliyopita ilipandisha bei ya baadhi ya... Apple waiondoa app ya Telegram kwenye soko lake la Apps maarufu kwa jina la App... NASA imefanikiwa kukipata chombo chake ambacho kilipotea miaka miwili iliyopita...
null
### Ufaransa ni nchi kubwa sana na inajiweza katika mambo mengi kama vile kiuchumi. Ukiachana na kuwa taifa kubwa kuna mambo mengi ambayo raisi mpya wa nchi hiyo anataka kuyaboresha. Baada ya mambo hayo ni ikiwemo na hili la kutaka mpaka kufikia mwaka 2040 kusiwe na magari yoyote ambayo yanatumia nishati ya petrol au...
null
### Volvo ni kampuni kubwa sana duniani ambalo linajihusisha na utengenezaji na uuzaji wa magari. Kampuni hilo kutoka Sweden, limetoa taarifa ya aina yake ambayo itabadilisha teknolojia kwa ujumla. Volvo imesema mpaka kufikia 2021 itakua tayari imeshatoa magari yake ambayo yanatumia umeme. Magari ambayo yatatoka yata...
null
Kwa zaidi ya miaka miwili sasa dunia nzima imekuwa ikipambana na janja la... Hii ni habari ya kusikitisha hasa kwa wana teknolojia wengi maana bwana John... Tangazo la kazi na ahadi ya mishahara minono limetolewa na Huawei. Kama upo... Makampuni makubwa hayawezi kuacha kutangaza bidhaa zake, lakini pia mara zote... ...
null
### Tulikua tumeshazoea ile hali ya kwamba tunatumia App ya Uber katika simu zetu na tunaita usafiri ambao unatuhusu moja kwa moja lakini kwa sasa kuna mabadiliko Kipengele hiki kipya kutoka Uber kinatoa kipaumbele kwa watu ambao wanaelekea uzeeni yaani wale wa miaka 65 na kuendelea. Inasemekana kuwa asilimia kumi y...
null
### Katika mahojiano na mtandao wa Bloomberg, mkurugenzi mtendaji wa Apple bwana Tim Cook amethibitisha tetesi ambazo zimekuwako kwa muda mrefu sasa juu ya kampuni hiyo kutengeneza gari . Kuthibitishwa kwa uwepo wa kampuni hiyo katika kinyang’anyiro hiki cha utengenezaji wa magari bora kunaongeza chachu na ushindani ...
null
### Teknolojia na biashara ya magari yanayojiendesha yenyewe inakua kwa kasi sana. Tayari makampuni nguli kama vile Google, na Tesla yashafika mbali sana kwenye teknolojia hiyo, na sasa kampuni ya Apple imepata kibali cha kufanyanyia majaribio magari yake pia. **Magari hayo ambayo yanatarajia kuleta ushindani kwa Goo...
null
### Inaonekana teknolojia ya magari yanayojiendesha yenyewe inavutia makampuni mengi zaidi kwa sasa. Kampuni ya NVIDIA inafanya majaribio ya magari hayo pia katika jiji la Calfornia nchini Marekani. NVIDIA ni kampuni kongwe katika masuala ya teknolojia za kielektroniki – wakiwa maarufu zaidi kwa teknolojia ya kadi za ...