name
stringclasses
429 values
text
stringlengths
0
767k
null
### Makampuni ya Toyota na Suzuki ya nchini Japani yakubaliana kuwa na uhusiano katika masuala ya teknolojia za magari. ### Toyota na Suzuki yanashindana lakini Suzuki imejikita zaidi katika utengenezaji na uuzaji wa magari yenye maumbo madogo. Wametangaza leo wakisema uhusiano wao utahusisha maeneo ya teknolojia r...
null
### ‘Kwenye nia siku zote pana njia’. Usemi huu unadhihirika baada ya ile bajaj yenye kutumia nishati ya Jua kuwasili nchini Uingereza baada ya kukwama nchini Ufarasa kwa zaidi ya wiki moja. Takribani wiki moja hivi TeknoKona ilikuhabarisha kuhusiana na bajaji iliyokwama safari yake kutokana na dereva wa bajaji hiyo k...
null
### Kampuni nguli katika utengenezaji wa magari, Volkswagen imeingia katika mgogoro mwingine baada ya makampuni yanayoiuzia vifaa kwa ajiri ya kutengeneza magari kugoma. **Makampuni ambayo yanaiuzia VW vifaa mbalimbali kwaajiri ya utengenezaji wa magari huko Ujerumani yameingia katika mgomo yakilazimisha kampuni hiyo...
null
Kampuni ya usafirishaji ya Uber inawekeza dola za kimarekani milioni 500 katika... Google kushirikiana na Fiat Chrysler. Kwa kipindi kirefu Google walishakuwa... Magari kuuzwa ni jambo la kawaida, ila fikiria kununua gari moja kati ya 64 tuu... Kampuni ya utengenezaji wa magari ya kijerumani ya Volkswagen inatarajiw...
null
### HTC ilikuwa moja ya majina makubwa katika ulimwengu wa teknolojia ya simu za mkononi. Kampuni hii ya Taiwan ilijulikana kwa uvumbuzi wake wa hali ya juu na uwezo wa kutoa simu zenye sifa za kipekee. Mnamo mwaka 2009, HTC ilivuma sana na simu yake ya HTC Hero, ambayo iliweka viwango vipya kwa simu za Android kwa kut...
null
HTC ilikuwa moja ya majina makubwa katika ulimwengu wa teknolojia ya simu za... Tumeshaingia nusu yapili ya mwaka 2022 si vibaya tukatazama matoleo mapya ya... Baada ya siku kadhaa ya kuondolewa kwenye soko la apps la Google PlayStore apps... Simu za HTC zina soko katika nchi nyingi tu na kuna watu ni wakereketwa wa...
null
HTC ilikuwa moja ya majina makubwa katika ulimwengu wa teknolojia ya simu za... Kwa sasa simu za iPhone 6, Samsung Galaxy S6 Na HTC One M9 ndio simu za juu... Inafahamika wazi kuwa simu za Android kama vile Samsung Galaxy ndio wapinzani... Kampuni ya LG mapema wiki hii imetoa simu mpya ya ubora wa juu kabisa ya LG-G...
null
### Instagram imetambulisha kipengele kipya kinachoruhusu watumiaji kuongeza wimbo kwenye profaili zao, hatua inayowawezesha kujieleza zaidi kupitia muziki. Sasa, unaweza kuchagua wimbo unaoupenda na kuuweka kwenye profaili yako ili wageni waone ladha yako ya muziki wanapotembelea ukurasa wako. ### Kipengele Hiki Kipy...
null
### Hivi karibuni tumeshuhudia mgogoro wa ubaguzi kupitia mifmu ya kidigitali ukiendelea, Huku Wanaigeria wanaoendesha huduma za usafiri mtandaoni kama Bolt na Uber wanakabiliwa na shambulio jipya kutoka kwa watu wa Afrika Kusini. Mapema wiki hii, raia wa Afrika Kusini walianza kutumia programu za Bolt na Uber kuagiza...
null
Katika ulimwengu wa teknolojia, majina mawili yanayotambulika zaidi ni Steve Jobs na Bill Gates. Licha ya kuwa wapinzani wakubwa katika biashara, safari yao imejaa nyakati za kushirikiana, kuhamasishana, na kuendeleza urafiki wa aina yake. Hii hapa ni hadithi ya maisha ya Miamba ya Teknolojia Steve Jobs na Bill Gates, ...
null
Katika ulimwengu wa teknolojia, majina mawili yanayotambulika zaidi ni Steve... Toleo jipya la programu endeshaji ya bure ya Ubuntu laanza kupatikana kupitia... Canonical, shirika linalomiliki programu endeshaji maarufu ya Ubuntu iliyo... Kwa sasa yamebakia kama masaa 48 hadi Ubuntu 11.10 ipate kuwa online kwa watu....
null
### Apple imekuwa ikijulikana kwa uvumbuzi na uzinduzi wa bidhaa ambazo hubadilisha tasnia nzima, lakini je, Vision Pro ni mojawapo ya mafanikio yao, au walichemsha? Hebu tuangalie kwa undani zaidi. #### Vision Pro ni Nini? Vision Pro ni kofia ya kweli halisi (VR) na ukweli ulioboreshwa (AR) kutoka Apple. Inalenga ku...
null
Katika ulimwengu wa sasa, teknolojia ya Artificial Intelligence (AI), Akili... Elon Musk na Apple wanagongana tena! Wakati huu, vita ni juu ya akili ya Mnemba... OpenAI, kampuni iliyounda ChatGPT, maarufu kwa uwezo wake wa kujibu maswali na... Sam Altman apigwa chini. Mkurugenzi Mtendaji wa OpenAI, kampuni ya ubunif...
null
## Inapata mwaka sasa tangu Infinix ilipoachia Infinix Zero Ultra, leo tutangalia simu mpya aina ya Infinix Zero 30 5G ambayo ndio simu ya kwanza kwa kampuni ya Infinix kuja na mabadiliko makubwa katika kipengele cha camera ikiwa na 4K 60fps. ** Utangulizi:** Infinix Zero 30 5G ilizinduliwa Septemba katika nchi mbal...
null
### Motorola inajiandaa kuzindua simu mpya mbili za Moto G mnamo Septemba. Moto G84 5G na Moto G54 5G zitakuwa nyongeza za hivi punde kwa safu maarufu ya Moto G ya Motorola. Motorola wamesema simu zote zinakuja na uwezo wa kudumu na chaji kwa siku mbili kwa matumizi ya kawaida. Simu zote zinauwezo wa kuchaji haraka (f...
null
OnePlus ni kampuni inayosifika kwa kuja na simu zenye sifa za kipekee sana,... Samsung wamefanya tukio lao la kutambulisha Simu za Samsung Galaxy Z Fold, Z... Ni wazi kwamba Galaxy Z Flip 5 inasubiriwa kwa hamu kabisa na hii inategemewa... Kwa sasa ni kama watu wameamka, hii ni moja ya mtazamo wa mteja (customer... ...
null
Truth Social, Mtandao wa kijamii wa Donald Trump kama Twitter umezinduliwa... Twitter inapanua ufikiaji wa Hali yake ya Usalama kwa kuleta beta kwa takriban... Instagram ya Meta inatambulisha njia mpya ya watu kuingiliana na Hadithi.... Joby Aviation inashirikiana na shirika la ndege la Japani ANA kuleta huduma za.....
null
Samsung wametambulisha rasmi matoleo yajayo ya familia ya simu zake maarufu... Kwa kipindi cha miezi kadhaa wengi wametuomba tuichambue simu ya Tecno Phantom... ASUS? Ndiyo, kampuni mashuhuri katika utengenezaji wa laptop inakuja na simu... Simu janja yenye uwezo wa kukaa na chaji kwa zaidi ya siku 10? Haraka haraka...
null
# Teknokona - Kona ya Teknolojia ## By TeknoKona - Kona ya Teknolojia Furahia mazungumzo kuhusu yanayojiri kuhusu teknolojia kila wiki. @Sehemu ya TechMsaada, www.techmsaada.com Teknokona Group LTD. ### Teknokona - Kona ya TeknolojiaNov 27, 2023 #### Kona ya Teknolojia - S01E03 - Mokiwa - Visu vya Damascus Usha...
null
# Teknokona - Kona ya Teknolojia ## By TeknoKona - Kona ya Teknolojia Furahia mazungumzo kuhusu yanayojiri kuhusu teknolojia kila wiki. @Sehemu ya TechMsaada, www.techmsaada.com Teknokona Group LTD. ### Teknokona - Kona ya TeknolojiaJul 26, 2023 #### Kona ya Teknolojia - S01E03 - Mokiwa - Visu vya Damascus Usha...
null
# Teknokona - Kona ya Teknolojia ## By TeknoKona - Kona ya Teknolojia Furahia mazungumzo kuhusu yanayojiri kuhusu teknolojia kila wiki. @Sehemu ya TechMsaada, www.techmsaada.com Teknokona Group LTD. ### Teknokona - Kona ya TeknolojiaJul 20, 2023 #### Kona ya Teknolojia - S01E03 - Mokiwa - Visu vya Damascus Usha...
null
Visit us: 8am to 6pm ( Mon - Fri) Have a question +255 674494636 It can be adjusted to accommodate your needs. Your IT rafiki. We are here to help you in person and online. From the team behind one of the oldest swahili technology blogs in Tanzania We are ready to provide you with professional, unbiased guidance r...
null
## Ndio kupitia Google.Com unaweza ukacheza michezo mingi tuu, hii watu wengi hawajui huku wachache wakiambulia ule mchezo (game) wakati hakuna intanet katika kivinjari cha chrome pekee. Kwa haraka haraka nakuletea michezo 6 ambayo utaweza icheza ndani ya mtandao wa matafuto yaani Google. **Michezo hii ina majina ka...
null
## Rockstar Games Inc ndio inamiliki gemu la GTA na mengine mengi, gemu hizi ni moja kati ya magemu ambayo yanafanya vizuri sana katika soko. Soko la magemu ni wazi linazidi kukua siku hadi siku na gemu la GTA nalo linazidi kukuwa na kuboreshwa kadri kila matoleo mapya yanavyotoka na ni zamu ya toleo la GTA 6. Kwa s...
null
## Nintendo ina sifa kubwa sana kwa upande wake wa teknolojia ya magemu na teknolojia zingine. Gemu ambalo ni maarufu sana ambalo linamilikiwa na kampuni ya Nintendo ni Super Mario. Chapa ya Super Mario imeleta faida kubwa sana katika kampuni hali ambayo inalifanya kampuni kuwa kifua mbele katika tasnia ya magemu. ...
null
## Kampuni ya Netflix sio ngeni katika ulimwengu wa magemu maana mpaka sasa kwa kupitia App yake ya Android na iOS huduma za magemu zinapatikana humo. Mpaka sasa Netflix ina magumu ya kutosha na hili linawafanya waingie katika soko hili wakiwa kifua mbele. Kama unakumbuka tulishawahi kuandika kuhusiana na Netflix kui...
null
### Mauzo ya PS5 ya Sony yazidi kupanda. PS5 inaendelea kufanya vizuri sokoni. Kifaa hichi spesheli kwa ajili ya upatikanaji na uchezaji wa magemu kimekuwa sehemu muhimu ya mapato ndani ya kampuni ya Sony. Katika mwaka wa mapato wa Sony ulioishia Machi 31, 2023 (ulianza April 2022), Sony wameonesha walipata mapato ya ...
null
Mauzo ya PS5 ya Sony yazidi kupanda. PS5 inaendelea kufanya vizuri sokoni.... Katika soko la magemu ni wazi kwamba Playstation ambao wanamilikiwa na kampuni... Nakala ya mauzo milioni 30 ni nyingi sana kwa kifaa cha kielektroniki,... Vifaa vya Playstation vimefanya sana vizuri katika soko na bado vinaendelea... Naa...
null
Mauzo ya PS5 ya Sony yazidi kupanda. PS5 inaendelea kufanya vizuri sokoni.... Sony ni moja kati ya chapa kubwa sana katika ulimwengu wa teknolojia, chapa hii... Katika soko la magemu ni wazi kwamba Playstation ambao wanamilikiwa na kampuni... Nakala ya mauzo milioni 30 ni nyingi sana kwa kifaa cha kielektroniki,... ...
null
## Nintendo ni moja kati ya makampuni makubwa kabisa katika maswala mazima ya magemu, kampuni ina magemu mengi ambayo inayamiliki ikiwemo lile maarufu kabisa la Super Mario. Kupitia Super Mario, kampuni ya Nintendo imejikuta ikipata faida ya 52% zaidi ukilinganisha na kipindi cha nyuma. Ongezeko la faida hilo limeto...
null
## Ni wazi kuna simu zenye RAM zenye GB kubwa lakini hatujawahi kuona ile ambayo inafika mpaka 24GB sio? Hakika hii ndio ya kwanza. Simu hii inaitwa RedMagic 8S Pro na imezinduliwa huko nchini China, japo kwa sasa inapatikana tuu katika soko hilo. Lakini kwa jinsi hali inavyozidi kwenda itaanza kupatikana kwa masoko...
null
## Niantic ni kampuni yenye jina kubwa katika ulimwengu wa magemu na mpaka sasa inatamba sana na gemu lake la Pokemon GO. Waandaaji hao wa gemu la Pokemon GO wametangazwa kwamba wataachisha kazi wafanyakazi 230 hii ikiwa ni namba kubwa sana kwa wakati mmoja. Kampuni pia imeeleza kusikitishwa kwako na uamuzi huo japo...
null
## Kampuni ya SEGA ni moja kati ya makampuni makubwa sana na ya muda mrefu kabisa katika tasnia ya magemu na kwa sasa inaitolea macho kampuni ya Rovio ambayo ndio watengenezaji wa gemu ya Angry Birds. Kwa upande mwingine nayo Gemu ya Angry Birds ni moja kati ya magemu ambayo yamejipatia umaarufu mkubwa sana na kwa up...
null
## Moja katika ya masoko muhimu sana na yenye hela nyingi katika teknolojia ni soko la magemu. Toleo lililoboreshwa la Resident Evil 4 (Remake) lenyewe limejikuta likivinja rekodi ya mauzo. Ni wazi kwamba yameshakuwepo matoleo mengi sana ya Resident Evil lakini toleo hili ndio linashikilia rekodi ya kuuza sana ndani ...
null
## Katika soko la magemu ni wazi kwamba Playstation ambao wanamilikiwa na kampuni ya Sony ndio kinara katika uwanja huo. Fununu hizi za kifaa kingine cha Playstation kwa maana ya PS5 zilianza kuvuma mwaka 2020 miezi michache tuu baadha ya toleo la PS5 kuingia sokoni. Kama umegundua siku hizi teknolojia nyingi zikiac...
null
## Nakala ya mauzo milioni 30 ni nyingi sana kwa kifaa cha kielektroniki, Playstation ni moja kati ya makampuni makubwa kabisa ambayo yanamilikiwa na kampuni ya Sony. Playstation 5 ilipofikisha mauzo ya nakala milioni 25 tulikuandikia >>HAPA<< na huu ulikua ni mwezi novemba mwaka 2022. Ukiachana na haya yote kampuni ...
null
## Vifaa vya Playstation vimefanya sana vizuri katika soko na bado vinaendelea kufanya hivyo. Playstation 5 nayo imefanya vizuri sana katika upande wa mauzo na kila kitu. Kwa sasa fununu ni nyingi kwamba kampuni hiyo inayomilikiwa na Sony ina mpango wa kuachia vifaa vingine ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa PS 5. Kin...
null
Juzi juzi tuu nimetoka kugusia kuhusiana na mauzo ya vifaa vya Playstation... Naaaam, mauzo ni makubwa sana sio? Vipi katika upande wa faida sasa? Ni wazi... Ni wazi kuwa kampuni ya Netflix imeweka nia yake ya kujiingiza katika soko la... Kampuni ya magemu ya Nintendo ni moja kati ya makampuni makubwa kabisa kuwahi....
null
Taarifa za hivi karibuni ni kwamba kampuni ya Playstation imenunua kampuni ya... Electronic Arts au maarufu kama EA ni kampuni nguli inayojishughulisha na... Sony ni kampuni kubwa ya kiteknolojia iliyopo nchini Japan inayotoa huduma... Kompyuta za magemu hutumika na watu kuchezea magemu pamoja na kutengenezea... Mo...
null
Kama bado ulikuwa hujaliona gemu la chess ambalo lipo katika app ya Facebook ya... Siku hizi teknolojia imekua sana hivyo ni vigumu kuuza kitu chochote mtandaoni... Mcheza gemu mmoja mwenye miaka 28 kutoka Siberia ameishttaki kampuni ya... Yakiwa masaa machache kabla ya filamu ya Starwars haijazinduliwa Google... W...
null
### Tukio la Made by Google 2024 limejawa na matoleo mapya yaliyoonyesha uwezo wa Google katika teknolojia za kisasa. Mwaka huu, kampuni imezindua bidhaa na vipengele vipya ambavyo vimevutia watumiaji wengi kote ulimwenguni. Katika dakika chache zijazo, tutakupitisha kwenye bidhaa hizo za kuvutia na mabadiliko muhimu y...
null
AndroidGoogleGoogle PixelsPixel Watch Mapitio ya Tukio la Made by Google 2024: Bidhaa na Mpya Yalivyovutia Zaidi. LanceBenson August 14, 2024 Tukio la Made by Google 2024 limejawa na matoleo mapya yaliyoonyesha uwezo wa... Google PixelsPixel WatchSaaTeknolojia Google Inaweza Ikaachia Saa Janja Za Pixel 3 (Pixel Watch ...
null
## Google iko katika mchakato wa kuachana na Google Play Movie & TV na kuenda katika kingine kabisa na hii ni wazi kabisa inaonyesha kwamba wanahamia kwingine. Mpaka sasa Google wamepeleka wayeja wa Android na iOS katika App ya Google TV ambayo moja kwa moja ndio mbadala wa Google Play Movies & TV. Kumbuka jambo hil...
null
### Ujio wa RCS kwa watumiaji wa iPhone. Apple imetangaza rasmi mpango wake wa kuasilia mfumo wa ujumbe utakaojumuisha uzoefu bora wa mawasiliano ya jumbe fupi kati ya simu za Android na iPhone. Mfumo huu mpya, unaojulikana kama RCS (Rich Communication Services), utawezesha watumiaji kutuma faili kubwa za picha na vid...
null
Google wameanza kusambaza teknolojia mpya ya SMS yenye lengo la kuwa ndio... Facebook Messenger katika mpango wake wa kuhakikisha kuwa inakuwa ndio namba... Pushbulet, ile app inayokupa taarifa kutoka kwenye simu yako kupitia kompyuta... Unapata matatizo ya mshituko wa moyo alafu hakuna huduma ya haraka ya usafiri.....
null
## Google licha ya kuwa ndio mtandao namba moja unaotembelewa duniani, chini ya kapeti kuna mambo mengi yanafanywa na kampuni hiyo ili kuhakikisha kuwa wanabakia kuwa namba moja. Kuna kipindi tuliandika kuhusiana na Google kuwalipa Apple mamilioni ya dola ilimradi kuhakikisha tuu wenyewe ndio wanakua chaguo la kwanza...
null
Google licha ya kuwa ndio mtandao namba moja unaotembelewa duniani, chini ya... Google Play store ndio soko kubwa kabisa la App mbalimbali duniani kuzidi yote.... Ni wazi kuwa katika soko la App la Google Play Store kuna App nyingi sana,... Dunia ya leo ni ya ushindani ambayo inapata msukumo mkubwa kutokana na ukuaj...
null
Google licha ya kuwa ndio mtandao namba moja unaotembelewa duniani, chini ya... Google wapiga marufuku uwepo wa apps za kurekodi mazungumzo ya simu kuwepo... Unaifahamu App ya Tiketi Mtandao? Kama hauifahamu ondoa shaka maana Teknokona... Ecobank ni benki ya kiafrika inayopatikana katika nchi 33 barani Afrika. Benki...
null
## Google Drive ilikua inategemewa kwa kiasi kikubwa sana katika kuhakikisha kuwa mtu unahamisha mazungumzo ya WhatsApp kutoka katika kifaa kimoja na kwenda katika kifaa kingine kwa watumiaji wa Android. Kama inavyojulikana hakuna kitu kibaya kama kutegemea njia moja na ukiangalia njia moja hiyo yenyewe sio kwamba in...
null
Google Drive ilikua inategemewa kwa kiasi kikubwa sana katika kuhakikisha kuwa... Google Drive ni njia moja wapo na maarufu sana ya kuhifadhia taarifa (picha,... Google Drive ni kiungo muhimu ambacho kinawezesha kuhifadhi vitu vyetu... Imekuwa ni jambo rahisi sana kutuma/kupokea kitu kupitia Google Drive hivyo... I...
null
### Watu wengi wamekuwa wakihangaika namna ya kuhamisha namba za simu kutoka simu ya Android kwenda simu ya iPhone au kutoka simu ya iPhone kwenda simu ya Android, licha ya hivyo kuna njia kadhaa za kurahisha zoezi hilo na kukwepa upotevu wa namba za simu pindi unapoamua kubadili simu kutoka Android kwenda iPhone. Ili...
null
### Watu wengi hulalamika pindi wanapotuma picha au video zao kupitia WhatsApp zinapungua ubora na wanapoweka picha au video kwenye WhatsApp status hupunguza ubora, hii imewekwa maalumu na WhatsApp kwa ajili ya kuzuia kujaza seva (servers) zao za kuhufadhia picha au video, kumbuka kwamba picha au video yenye ubora mkub...
null
### Watu wengi hufikiri simu haziwezi kupata wadudu (viruses) lakini ukweli ni kwamba simu inaweza kupata wadudu (viruses) kama ilivyo compyuta (computer), maana pia tunatumia simu zetu kufanyia kazi mbalimbali. wadudu (viruses) wapo wa aina nyingi na wana kazi mbalimbali. **Simu zote zina uwezo wa kupata wadudu (viru...
null
### Watumiaji wengi wa simu wamekuwa wakilalamika simu zao kujaa mapema na wengi wamekuwa wakisema simu zao zinajaa pasipo kuwa na vitu vingi ndani yake. hasa kwa watumiaji wa simujanja za Android (Android Smartphones) wengi wao wamekuwa wakikumbwa na hili tatizo la uhifadhi (storage) ya simu kujaa pasipo kupata majibu...
null
### Ili simu iendelee kutumika kwa mda mrefu inahitaji iwe na chaji ya kutosha, bila kuwa na chaji/charge ya kutosha simu itazima na utalazimika kuichaji mara kwa mara, kuna vitu vya msingi vya kuangalia pindi unapochaji simu yako ili kuifanya ikae na chaji (charge) kwa mda mrefu na kutunza betri (battery) ya simu ili ...
null
### Asilimia kubwa ya watu huuziwa simu zilizotumika bila ya wao kujua, unaweza kuona simu ipo kwenye box ukafikiri ni mpya lakini uhalisia ni kwamba simu nyingi tunazouziwa huwa zimetumika kisha kurudishwa tena kiwandani au kwenye maduka maalumu ya kampuni husika na kuwekwa kwenye box tayari kwa kuuzwa tena. Je simu...
null
### Unaweza ukatumiwa ujumbe kwa njia ya WhatsApp lakini huo ujumbe ukawa umefutwa kabla ya kuusoma, hii inaleta maswali mengi ambayo wengi tunakuwa na shauku ya kujua ulikuwa ni ujumbe wenye maana gani na hasa ikitokea aliyekutumia ujumbe asikwambie alitumia ujumbe wenye maana gani. Hili andiko ni kwa watumiaji wa si...
null
## Google bado wanaendelea kujiimarisha sana katika swala zima la ulinzi na usalama hasa kwa wateja wao, sasa wamekuja na jipya katika Chrome. Kingine pengine ambacho hukijui ni kwamba kila tarehe 28 mwezi wa kwanza makampuni yote ya kiteknolojia huwa yanasheherekea usiri, ulinzi na usalama wa taarifa za wateja wake ...
null
YouTube ni wazi kabisa kwamba haipatani kabisa na vizuizi vya matangazo na kwa... Chrome kutoka google ndio kivinjari (browser) ambacho ni maarufu sana na kina... Google bado wanaendelea kujiimarisha sana katika swala zima la ulinzi na... Kuna kipindi tulikuandikia kuhusiana Google, Microsoft na Apple katika mpango....
null
Google bado wanaendelea kujiimarisha sana katika swala zima la ulinzi na... Microsoft Edge ni moja kati kivinjari maarufu sana na ni moja kati ya kivinjari... Kivinjari cha Google Chrome ndio kivinjari kinachoongoza kutumiwa na watu... Kumbuka jukwaa la barua pepe la Gmail ndio jukwaa kubwa kabisa na lenye... Googl...
null
### Unakubaliana na mimi kwamba WhatsApp ni bure kutumia wala hatulipii, lakini ukweli ni kwamba WhatsApp ina sheria na masharti ambayo ukienda kinyume unaweza kufungiwa. Tutazungumzia mambo matano ambayo hupaswi kuyafanya kwenye WhatsApp, ukifanya mara kwa mara au hata mara moja tu utasababisha WhatsApp yako kufungiwa...
null
Betri (Battery) ni kitu muhimu sana kwenye simu ambapo watuamiaji wengi huwa... Soko Limeingiliwa? Pengine umezoea kuinywa tuu, je vipi kuitumia kama sehemu ya... Watumiaji wengi wa simujanja/smartphones zenye programu endeshi ya Android... Unaweza ukamtumia mtu picha na ukashangaa anajua sehemu ulipo, ni kitu ambac...
null
Ni wazi kuwa Android imejibadilisha kwa kiasi kikubwa na hii ukizingatia toleo... Kampuni ya Infinix imetangaza kuja na teknolojia ya kuchaji simu kwa nguvu ya... Unakumbuka kuna kipindi Apple na Android walikaa chini na wakatengeneza App... Ni mara nyingi sana watu kuanzisha jina katika mitandao ya kijamii au majuk...
null
CEO wa kampuni ya simu za Blackbery, Thorsten Heins anategemea... Samsung Galaxy SIV imetambulishwa rasmi nchini marekani masaa machache... Baada ya kuwa na mwaka mbovu kimapato kampuni ya HTC imeibuka na simu ya... Inasemekana kampuni ya Apple, watengenezaji wa simu za iPhone na tablet za iPad... Leo, WhatsApp ime...
null
### Maendeleo ya teknolojia yanaleta mapinduzi makubwa katika nyanja mbalimbali za maisha, ikiwemo soko la ajira. Kutokana na maendeleo ya kiteknolojia, sekta nyingi zimepitia mabadiliko ya haraka, na hii imekuwa na athari kubwa kwa wafanyakazi na waajiri pia. Katika makala hii, tutajadili jinsi teknolojia inavyobadili...
null
Maendeleo ya teknolojia yanaleta mapinduzi makubwa katika nyanja mbalimbali za... Kampuni ya Canal+, ambayo ni kampuni kubwa ya vyombo vya habari kutoka... Katika kuhakikisha kwamba jamii yake inapata teknolojia kwa bei nafuu zaidi... Rwanda wazindua simu janja za kisasa na bei nafuu zilizotengenezwa nchini humo.......
null
### Huduma ya intaneti ya Starlink ndani ya Kenya 😎 . Huduma ya intaneti ya kasi kwa njia ya satelaiti kutoka kampuni ya SpaceX imeanza kupatikana rasmi nchini Kenya. Muanzilishi wa SpaceX na Starlink, mmoja wa matajiri wakubwa duniani, Bwana Elon Musk alifurahia taarifa rasmi ya upatikanaji wa huduma hiyo kupitia ak...
null
SpaceX na rekodi za Anga, inaendelea kuweka rekodi za kitofauti na za kipekee... Misheni ya Polaris Dawn, inayoendeshwa na SpaceX, ni hatua kubwa katika... Elon Musk ni jina ambalo limejulikana sana katika ulimwengu wa teknolojia na... Huduma ya intaneti ya Starlink ndani ya Kenya 😎 . Huduma ya intaneti ya... Kwen...
null
IntanetiSpaceXStarlinkTanzaniaTCRATeknolojia Starlink ndani ya Kenya – Majirani waanza kunufaika na huduma ya intaneti ya kasi teknokona July 19, 2023 Huduma ya intaneti ya Starlink ndani ya Kenya 😎 . Huduma ya intaneti ya... AngaNASASpaceXStarlinkTeknolojia SpaceX yavunja rekodi iliyoiweka yenyewe Mato Eric July 24,...
null
IntanetiSpaceXStarlinkTanzaniaTCRATeknolojia Starlink ndani ya Kenya – Majirani waanza kunufaika na huduma ya intaneti ya kasi teknokona July 19, 2023 Huduma ya intaneti ya Starlink ndani ya Kenya 😎 . Huduma ya intaneti ya... appsIntanetiKompyutaMitandao ya SimuMtandao wa KijamiisimuTanzaniaTCRATCRATeknolojiaUchambuz...
null
### Tanzania inaongoza kwa sasa katika uagizaji wa magari yaliyotumika nchini Japani kwa ukanda wa Afrika Mashariki na kusini. Katika data ambazo Kona ya Teknolojia tumefanikiwa kuzipata zinaonesha Tanzania ikiwa nafasi ya nne kwa upokeaji wa magari yaliyotumika yanayouzwa na Japani. Nafasi ya kwanza ikichukuliwa na U...
null
## Tanzania imechaguliwa kati ya nchi 48 kati ya Nchi 193 Wanachama kuwa katika Baraza la Umoja wa Kimataifa wa Mawasiliano (ITU) kwa mwaka 2023 hadi 2026. Tanzania ni miongoni mwa nchi 13 zinazowakilisha Kanda ya Afrika. Baraza ni bodi inayoongoza ya Muungano ambayo imepewa jukumu la kuzingatia masuala mapana ya se...
null
TanzaniaTechnologyTEHAMATeknolojia Tanzania yachaguliwa Baraza la Umoja wa Kimataifa wa Mawasiliano (ITU) 2023 -2026 Tumain Magila May 28, 2023 Tanzania imechaguliwa kati ya nchi 48 kati ya Nchi 193 Wanachama kuwa katika... Mitandao ya SimuTanzaniaTeknolojia Kwanini Tanzania Inastahili Kiti Cha Baraza la Umoja wa Kima...
null
### Mfululizo wa simu za Redmi Note 12 unaendelea kuleta uwezo wa kipekee (mithili ya simu za kiwango cha juu) kwa simu za kiwango cha kati, kufafanua upya upigaji picha na matumizi mengine mengi yaliyozoeleka kwa watumiaji wa simu janja. ### Leo, Tarehe 20 Aprili 2023, Xiaomi imetangaza uzinduzi wa kimataifa wa mfulu...
null
Kampuni ya vifaa vya elektroniki na utengenezaji wa simu janja Xiaomi,... Mwezi Septemba una simu janja kadha kadha ambazo tayari zimeshazinduliwa na... Katika 10 bora ya kampuni ambazo zinafanya vizuri kwenye mauzo ya jumla kwa... Xiaomi bado wanaendeleza msururu wa simu janja na kuna taarifa kuwa Redmi Note...
null
### Teknolojia ya mawasiliano ya habari ndio kitovu cha maendeleo yote katika uchumi hai wa ulimwengu. Teknolojia inabadilika kwa kasi na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayatambua mabadiliko ya haraka yanayotokea sokoni. Katika ulimwengu wa sasa, ni nadra kupata huduma bila kuhusisha kipengele cha Teknolojia ya Hab...
null
### Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania PLC yawa ya kwanza nchini Tanzania kuzindua mfumo wa mawasiliano wenye kasi ya 5G, ilifanya hivyo jana tarehe 1 mwezi Septemba, mwaka 2022. Hafla ya uzinduzi huo ilifanyika jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom kwa sasa, Hilda Bujiku alitangaza ujio wa mfu...
null
5GIntanetiKompyutasimuTanzaniaTEHAMATeknolojiaVodacom Vodacom Tanzania yazindua mfumo wa mawasiliano wenye kasi ya 5G nchini. Joshua Maige September 2, 2022 Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania PLC yawa ya kwanza nchini Tanzania... 5GAndroidBlackberrysimuTeknolojia Hakuna tena mpango wa kuona ujio mpya wa BlackB...
null
Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania PLC yawa ya kwanza nchini Tanzania... Vodacom Business ni huduma mbalimbali zinazotolewa na mtandao wa simu wa... Tangu Julai Mosi ya mwaka huu nchini Tanzania matumizi ya nenosiri kwenye kadi... Ushirikiano kati ya Vodacom Tanzania na Mdundo.com umekuwa ukipikwa kwa muda.....
null
Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania PLC yawa ya kwanza nchini Tanzania... Imekuwa kama desturi kwa Microsoft kutoa toleo jipya la programu... Kampuni ya Xiaomi wiki iliyopita ilitangaza simu zao mpya, aina ya Xiaomi 12S,... Wiki iliyopita, kampuni ya Nothing ilizindua bidhaa yao ya pili, ikiwa ni simu,... Ka...
null
### Kongamano la Vijana wa Kidigitali Tanzania (TYDS) ni jukwaa la kitaifa linalo hamasisha vijana na kuwaongezea ujuzi wa kidijitali, ujuzi wa karne ya 21, na kujiamini ili kutambua uwezo wao katika uchumi jumuishi wa kidijital. Kongamano hili lilianzishwa mwaka 2019 likisimamiwa na Digital Opportunity Trust (DOT) pam...
null
IntanetiMaujanjaMtandao wa KijamiiTanzaniaTeknolojiaTYDSYouthZoom #TYDS2022: Hitimisho la Kongamano la Vijana wa Kidigitali Tanzania Semu Msongole August 18, 2022 Kongamano la Vijana wa Kidigitali Tanzania (TYDS) ni jukwaa la kitaifa linalo...
null
IntanetiMaujanjaMtandao wa KijamiiTanzaniaTeknolojiaTYDSYouthZoom #TYDS2022: Hitimisho la Kongamano la Vijana wa Kidigitali Tanzania Semu Msongole August 18, 2022 Kongamano la Vijana wa Kidigitali Tanzania (TYDS) ni jukwaa la kitaifa linalo... FacebookIntanetiTeknolojiaYouth Ukweli Wa Kuvutia Kuhusu Facebook! Historia...
null
### Utambulisho wa **TAIC2022. **Tanzania Annual ICT Conference (TAIC) ni Kongamano la wadau wa TEHAMA linalofanyika kila mwaka tangu mwaka 2017. ## Kongamano hili huhusisha wadau kutoka sekta mbalimbali Tanzania na wanaokutana kwaajili ya kufanya majadiliano ya mwenendo wa TEHAMA nchini pamoja na kuweka mikakati ya ...
null
TAICTanzaniaTEHAMATeknolojia #TAIC2022: Kongamano la Mwaka la TEHAMA Latangazwa Rasmi ! Semu Msongole July 14, 2022 Utambulisho wa TAIC2022. Tanzania Annual ICT Conference (TAIC) ni Kongamano...
null
### Kama wewe ni mtumiaji wa tovuti za manunuzi na taarifa muhimu za nchini basi utakuwa umefahamu ya kwamba kwa sasa ukitembelea tovuti ya ZoomTanzania utarushwa kupelekwa kwenye tovuti ya Kupatana.com. ZoomTanzania.com ni moja ya tovuti ya miaka mingi zaidi Tanzania. Ni tovuti iliyokuwa inamuwezesha mtembeleaji kupa...
null
## Pengine utakua umeshawahi kuisikia kampuni ya teknolojia ya huduma za kifedha kwa njia ya mtandao (fintech) inayojulikana kama NALA. Kampuni hii inamilikiwa na mtanzania na inajikita sana katika kurahisisha utumiaji na upokeaji wa hela ndani na nje ya nchi. Mpaka sasa ina matawi mengi katika nchi tofauti tofauti ...
null
## Huawei ni kampuni kubwa sana duniani inayojihusisha na maswala ya teknolojia, kwa sasa wamekuja na mashindano ya TEHAMA. Katika mashindano haya tunawakilishwa na wanafunzi kutoka katika chuo kikuu cha Dodoma na chuo kikukuu cha Dar es salaam. Haya yakiwa ni mashindano yaliyoandaliwa mahususi kwa nchi zilizo kusin...
null
### Zoezi la uandikishaji wa anwani za makazi linaendelea nchi nzima kwa lengo la kufanya maeneo yetu yaweze kutambulika kirahisi na hata kurahisisha upatikanaji wa huduma mbalimbali. Kuna masuala mengi ambayo Tanzania inazidi kwenda mbele na kukubaliana na ukuaji wa teknolojia halikadhalika kwenda nayo sambamba. Hiv...
null
### Shirika mama la mawasiliano na la kwanza nchini Tanzania kwa kifupi likifahamika kama TTCL limekuwa kwenye ulingo wa kupeleka huduma za simu na vitu vingine kwa zaidi ya miaka 50 na hadi leo bado lipo likiendelea kuwafikia wananchi. Kama ulikuwa hujui basi fahamu leo kuwa hakuna kampuni yoyote inayokuja kutaka ku...
null
Shirika mama la mawasiliano na la kwanza nchini Tanzania kwa kifupi... Tangu Julai Mosi ya mwaka huu nchini Tanzania matumizi ya nenosiri kwenye kadi... Umaarufu wa shirika la mawasiliano nchini Tanzania, TTCL umeongezeka mara dufu... Wakati watanzania wakiwa wanaendelea kukumbushwa kuhusu kwenda kusajili upya... M...
null
### Mdundo, huduma ya utiririshaji muziki inayolenga Afrika, inaweka benki kwenye ushirikiano zaidi na telcos katika bara zima ili kukuza mapato yake na msingi wa watumiaji. Mwaka jana, kampuni hiyo ilitia saini mikataba na MTN na Airtel nchini Nigeria, na Vodacom nchini Tanzania, ambayo inaonekana kuwa na faida baada ...
null
appsIntanetiMdundosimuTanzaniaTeknolojiaUchambuzi Mdundo anaangalia zaidi ushirikiano wa telco baada ya ukuaji wa mapato ya muziki kutoka Tanzania, Nigeria Semu Msongole February 12, 2022 Mdundo, huduma ya utiririshaji muziki inayolenga Afrika, inaweka benki kwenye...
null
### Chanzo kikuu cha mapato kwenye nchi yoyote ni kodi na kama hazikusanywi basi nchi hiyo itakuwa ndio mwanzo wa kuwa masikini. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imedhamiria kutanua wigo wa ukusanyaji kodi kwa kuwafikia wanaofanya biashara mtandaoni. Hivi karibuni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, S...
null
Mtandao wa KijamiiTanzaniaTeknolojiaTRA Tanzania: Wanaofanya biashara mtandaoni kulipa kodi Mato Eric February 8, 2022 Chanzo kikuu cha mapato kwenye nchi yoyote ni kodi na kama hazikusanywi basi... AirtelSamsungTanzaniaTRAZantel Jana Saba Saba! teknokona July 6, 2012 Jana nilitembelea maonyesho ya Saba Saba, hasa has...
null
### Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano ni chombo kilichoundwa kisheria chini ya Kifungu cha 37 cha Sheria ya Mamlaka ya Mawasiliano Na. 12 ya mwaka 2003 kwa madhumuni ya kulinda na kutetea maslahi na haki za mtumiaji wa huduma na bidhaa za mawasiliano Tanzania katika nyanja za Teknolojia ya Habari ...
null
Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano ni chombo kilichoundwa... Watazania wengi tuu wameshatapeliwa mtandaoni na kusababisha fedheha kiasi... Nchini Tanzania suala la usajili wa laini za simu kwa kutumia alama za vidole... Nchi nyingi tuu duniani zimeshafikia kwenye kasi ya 5G ambayo inaeleza kuwa....
null
### Vodacom Business ni huduma mbalimbali zinazotolewa na mtandao wa simu wa Vodacom zinazowawezesha wafanyabiashara wadogo kufanya kazi zao kwa uwezo mkubwa zaidi. Kwa kutumia ubunifu wa hivi punde Vodacom Business inakuwezesha kutumia nguvu ya teknolojia kukuza biashara yako. Vodacom ni mtandao wa simu unaoongoza k...
null
Unaifahamu App ya Tiketi Mtandao? Kama hauifahamu ondoa shaka maana Teknokona... Tanzania ni moja ya nchi nyingi tuu duniani ambazo wananchi wake wanatumia... Serikali ya Tanzania kupitia mashirika mbalimbali ya kimaendeleo inajihusisha... Kutokana na ukuaji wa teknolojia ya mawasiliano serikali ya Tanzania... Tovu...
null
Kuna mabadiliko ya vifurushi kwenye mtandao wa Tigo ambayo yameleta malalamiko... Ni wazi kumekuwa na malalamiko mengi sana kuhusiana na bando za simu.... Kampuni ya Tecno kutoa zawadi kwa watakaoilipia simu ya Tecno Camon 16s mapema,... Soko la simu limekuwa limekuwa na ushindani mkubwa na kupelekea makampuni ya......