name stringclasses 429
values | text stringlengths 0 767k ⌀ |
|---|---|
null | ## Mtandao wa kijamii wa Telegram unakuja na huduma ya kulipia na kujiunga na mitandao mingine katika huduma za Premium.
Huduma hii ya kulipia itaitwa Telegram Premium na ni wazi kabisa kwamba itakua na vipengele vingine ambavyo havitakuwepo kwenye Telegram ya bure.
Vipengele hivyo ambavyo vitaongezwa ni kama vile u... |
null | ### Telegram-prgramu tumishi ambayo si maarufu kama ilivyo kwa hizo nyingine ambazo tunazifahamu na pengine hili linaweza likakushangaza lakini ndio imekuwa ya kwanza kushushwa mara bilioni moja duniani kote.
Kwa mujibu zilizotolewa hivi karibuni na *Sensor Tower* zinaonyesha programu imeshushwa mara bilioni 1 duniani... |
null | ## Ni wazi kwamba ukichana na ukubwa wa mtandao wa Telegram bado mtandoa huo unabaki kuwa mmoja kati ya mitandao ya kijamii bora zaidi kutokana na vipengele vyake.
Huduma ya video call kwa sasa inapewa kipaumbele sana na makampuni mbali mbali na hii imekua kubwa zaidi kutoka na janga la CORONA.
Mitandao kama Zoom am... |
null | ### Ni wazi kuwa Whatsapp au Telegram zina mitazamo tofauti kwa faragha ya watumiaji na data. Ikiwa wasiwasi wa faragha ni kipaumbele au watumiaji wanapenda kuepuka kawaida, basi Telegram inapaswa kuwa chaguo nzuri.
Walakini, inapaswa kusema kuwa WhatsApp haiko nyuma sana. Zote **WhatsApp** na **Telegram** zinajivunia... |
null | ### Telegram ni programu tumishi ambayo ina vitu vingi vizuri na maboresho mengi ndio huwa yanaonekana huko kwanza lakini si maarufu kwa watu wengi lakini wanaotumia basi wanafurahi sana!.
Ukizungumzia uwezo wa kuwa na washiriki hata elfu tano au zaidi, mazungumzo ya siri, kutuma kitu cha hata GB 2 pamoja na vitu ving... |
null | ### Uwezo wa kupiga simu katika mfumo wa picha jongefu sasa umefika kwenye Telegram baada ya watumiaji kuuliza mara nyingi tuu na kwa miaka kadhaa.
Ni miaka minne sasa tangu Teleram waweke uwezo wa mtu kupiga simu kwa njia ya sauti tu na hatimae sasa watu wanaweza wakafurahia kufanya mawasiliano kwa njia ya picha mnat... |
null | ### Tayari watafiti wengi wamekubali ya kwamba kuna usalama mkubwa kwenye app ya Telegram kwenye suala zima la data za watumiaji. Telegram wanaenda hatua zaidi katika suala hili.
Kuanzia sasa watu wanaotumia toleo jipya la Telegram wanauweza wa kufuta si ujumbe waliotuma wao tuu kwenye mazungumzo (chat), bali wanaweza... |
null | ### App maarufu ya Telegram imeendelea kupata misukosuko baada ya serikali ya Iran kuipiga marufuku nchini humo na badala yake kuzindua programu tumishi mpya yenye maudhui kama ya Telegram.
Kulingana na ripoti ya *Al Jazeera* serikali ya Iran inawahimiza wananchi wake kutumia programu tumishi mpya waliyoizindua siku ... |
null | ### Mtandao maarufu wa Telegram mwishoni mwa wiki ulipotea takribani dunia nzima baada ya kupata joto kali zaidi katika *server* zao hivyo kupelekea kushindwa kufanya kazi kama ilivyo kawaida yake.
Muanzilishi na mkurugenzi wa Telegram, Bw. *Pavel Durov* alitoa taarifa kwa umma kwamba hali hiyo ilitokana na shambuliz... |
null | ### Apple waiondoa app ya Telegram kwenye soko lake la Apps maarufu kwa jina la App Store. Inasemekana uamuzi huo umefanyika ghafla baada ya timu yake kugundua kuna kitu hakipo sawa kwenye app hiyo.
Taarifa hiyo ilitolewa na Bwana Pavel Durov, muanzilishi wa app ya Telegram, ambayo ni app maarufu hasa kwa watu wanaoja... |
null | ## Twitter ni moja kati ya mitandao ya kijamii ambayo ina nguvu kubwa sana ukilinganisha na mitandao mingi tuu, hata watumiaji wake wengi hutofautiana tabia za kimtandao na watumiaji wa mitandao mingine.
Kwa sasa Twitter imefanya upendeleo kwa watumiaji wa iOS na wamewaletea kipengele kingine kipya cha Picture-In-Pic... |
null | ## Kama wewe ni mtumiaji mzuri wa mtandao wa Twitter Blue utagundua kuwa kuna mabadiliko yamefanyika na kwa kiasi kikubwa yanahusisha picha na maneno.
Twitter Blue mara kwa mara imekua ikijitahidi katika kuboresha vipengele au hata kuleta vile vipya zaidi ambavyo kwa namna moja au nyingine vitawafaa watumiaji wa mtan... |
null | ## Mmiliki wa Twitter bw. ELon Musk ameweka wazi kwa hadhira kwamba mtandao wa kijamii wa WhatsApp unachukua taarifa za watu bila idhini kwa kupitia kinasa sauti.
Taarifa hizo zinachukuliwa na mtandao wa WhatsApp kwa njia ya kinasa sauti (microphone) ambacho kipo katika simu ya mtumiaji na hii imetokea kwenye simu ya... |
null | ## Twitter ni mtandao wa kijamii ambao ni mkubwa sana na wenye hadhi ya kipekee. Mtandao huu unatumika kwa mambo mengi sana lakini kubwa sana ni chombo cha mawasiliano sio?
Ukiachana na hayo mtandao huu umekua na mabadiliko mengi baada ya kumpata boss mpya ambae ni Elon Musk na aliinunua Twitter kwa mabilioni ya dola... |
null | ## Pata picha huduma ya WhatsApp Business ikiwa ni ya kulipia, unahisi ni vipengele gani ambavyo vitaongezwa ili kuendana na hali halisi ya malipo hayo?.
Kwa haraka haraka hapa ni lazima kwa mtandao huo kuweza kuongeza vipengele ambavyo havipo katika App ya kawaida ya WhatsApp Business.
Kipengele hiki kinapewa jina ... |
null | ### WhatsApp Business imekuwa msaada mkubwa kwa watu wengi hasa wale wanaopenda kutenganisha mawasiliano ya kawaida na yale yanayohusiana na biashara bila kusahau maboresho ambayo yamekuwa yakifanyika huko.
Wengi ambao wanatumia WhatsApp ambayo imetengezwa kwa maudhui ya kibiashara wanafahamu namna mtu anavyoweza kuwe... |
null | #### Je, unafahamu kuwa unaweza kushirikisha(kushare) picha na video zenye ubora wa juu(HD) kwenye Status yako ya WhatsApp? Fuata mtitiriko huu ili uweze kufanya huvyo na uwafurahishe watazamaji wako kwa picha maridadi!
**Hatua za Kushiriki Media ya HD kwenye Hali:**
**Anza chat Mwenyewe:**Fungua WhatsApp na utafute ... |
null | ### Whatsapp Plus ni programu isiyo rasmi ambayo inaruhusu watumiaji kuungana na kila mmoja kwa njia za hali ya juu zaidi.
Nyongeza ya hivi karibuni kwenye programu tumizi hii ya ujumbe wa simu ni toleo la **‘Plus’**, ambalo linaongeza idadi ya huduma za hali ya juu ambazo hufanya iwe ya kipekee ikilinganishwa na mwen... |
null | ### Pengine kwa sababu moja au nyingine yupo mtu ambaye usingependa aone picha unazoweka instagram? Instagram imekuwa inapata umaarufu zaidi hasa hapa kwetu kwa siku za hivi karibuni watu wengi wamejiunga na katika hali ya kawaida siyo kila aliyejiunga ungependa aone picha zako kwa hiyo hapa nitakuonesha jinsi ya kumbl... |
null | ### Leo tunakuletea app inayokuwezesha kudownload/shusha video za YouTube kwenda kwenye simu yako ya Android – kama video au kama MP3.
App ya Peggo inakuwezesha kupakua sauti ya video za YouTube kwenda moja kwa moja kwenye simu yako kama MP3 au video. Video unaweza zipakua katika kiwango cha HD moja kwa moja kwenye si... |
null | JinsiMaujanjawhatsapp Jinsi ya Kushare Picha na Video za HD kwenye Staus ya WhatsApp. LanceBenson April 14, 2024 Je, unafahamu kuwa unaweza kushirikisha(kushare) picha na video zenye ubora wa... |
null | Facebook
Email or phone
Password
Forgotten account?
Sign Up
Notice
You must log in to continue.
Log in to Facebook
Log in
Forgotten account?
Create new account
English (UK)
Polski
Español
Français (France)
Italiano
Lietuvių
Română
中文(简体)
Português (Brasil)
Deutsch
العربية
Sign Up
Log in
Messenger
Facebook Lite
Video
Pl... |
null | End-to-end encryption and privacy controls.
Message and call for free* around the world.
Group conversations made simple.
Say it with stickers, voice, GIFs and more.
Reach your customers from anywhere.
https://teknolojia.co.tz/?p=45675 |
null | #### Je, unafahamu kuwa unaweza kushirikisha(kushare) picha na video zenye ubora wa juu(HD) kwenye Status yako ya WhatsApp? Fuata mtitiriko huu ili uweze kufanya huvyo na uwafurahishe watazamaji wako kwa picha maridadi!
**Hatua za Kushiriki Media ya HD kwenye Hali:**
**Anza chat Mwenyewe:**Fungua WhatsApp na utafute ... |
null | ### Kupoteza akaunti yako ya Instagram kwa udukuzi ni jambo ambalo linaweza kuleta wasiwasi mkubwa na kuvuruga sio tu faragha yako, bali pia shughuli zako kwenye mtandao huo maarufu. Ingawa Instagram inafanya juhudi kuhakikisha usalama kupitia Mchakato wa mifumo ya la ulizigi na taratibu za ukaguzi wa Usalama, ni muhim... |
null | Facebook
Email or phone
Password
Forgotten account?
Sign Up
Notice
You must log in to continue.
Log in to Facebook
Log in
Forgotten account?
Create new account
English (UK)
Polski
Español
Français (France)
Italiano
Lietuvių
Română
中文(简体)
Português (Brasil)
Deutsch
العربية
Sign Up
Log in
Messenger
Facebook Lite
Video
Pl... |
null | End-to-end encryption and privacy controls.
Message and call for free* around the world.
Group conversations made simple.
Say it with stickers, voice, GIFs and more.
Reach your customers from anywhere.
https://teknolojia.co.tz/?p=45667 |
null | ### Kupoteza akaunti yako ya Instagram kwa udukuzi ni jambo ambalo linaweza kuleta wasiwasi mkubwa na kuvuruga sio tu faragha yako, bali pia shughuli zako kwenye mtandao huo maarufu. Ingawa Instagram inafanya juhudi kuhakikisha usalama kupitia Mchakato wa mifumo ya la ulizigi na taratibu za ukaguzi wa Usalama, ni muhim... |
null | ## Instagram kwa sasa ni moja kati ya mitandao ya kijamii ambayo ni maarufu sana na yenye wafuasi wengi wengi sana duniani.
Mitandao kama hii (Instagram) huwa inawafanya watu kuwa katribu na kurahisisha mawasaliano kwa njia ya maandishi, sauti au video.
Kumbuka kwa haraka haraka ilikua video moja ikipandishwa katika... |
null | ## Instagram ni mtandao wa kijamii wenye umaarufu mkubwa sana na umejikita Zaidi katika maswala ya picha na video.
Kwa kawada tulizoea kwamba katika mtandao huo kuna huduma ya video za kawaida na zile za Reel, mara nyingi video za real huwa zinakua na mambo mengi kidogo tofauti na hizi za kawaida.
Mpaka sasa huduma ... |
null | TikTok ni moja kati ya mtandao wa kijamii mkubwa kabisa na wenye nguvu kubwa...
Kipengele hiki ni kizuri sana na kitakua kinafanya kazi kama huduma ya Airdrop...
WhatsApp kupitia huduma yake ya channels imeongeza vipengele kadhaa ili...
Mara nyingi mtandao wa kijamii wa WhatsApp umekua ikufuata nyendo za mtandao wa.... |
null | Instagram kwa sasa ni moja kati ya mitandao ya kijamii ambayo ni maarufu sana...
Je niwe na app gani kuhariri picha kwa simu kwa urahisi zaidi? Ikiwa unataka...
Kwa mantiki hiyo ni kwamba chini ya 8% ndio zinapigwa na kamera za kawaida? Hii...
WhatsApp ni mtandao wa kijamii ambao umewafikia watu wengi sana na imekua... |
null | Facebook
Email or phone
Password
Forgotten account?
Sign Up
Notice
You must log in to continue.
Log in to Facebook
Log in
Forgotten account?
Create new account
English (UK)
Polski
Español
Français (France)
Italiano
Lietuvių
Română
中文(简体)
Português (Brasil)
Deutsch
العربية
Sign Up
Log in
Messenger
Facebook Lite
Video
Pl... |
null | End-to-end encryption and privacy controls.
Message and call for free* around the world.
Group conversations made simple.
Say it with stickers, voice, GIFs and more.
Reach your customers from anywhere.
https://teknolojia.co.tz/?p=45486 |
null | ## Instagram kwa sasa ni moja kati ya mitandao ya kijamii ambayo ni maarufu sana na yenye wafuasi wengi wengi sana duniani.
Mitandao kama hii (Instagram) huwa inawafanya watu kuwa katribu na kurahisisha mawasaliano kwa njia ya maandishi, sauti au video.
Kumbuka kwa haraka haraka ilikua video moja ikipandishwa katika... |
null | ## Kama unapitia katika post za mtandao wa X ambao zamani ulikua unajulikana kama Twitter na unashangaa kuna post unaziona zinatokana na akaunti ambazo hujazifuata (follow) usishangae.
Sio kwamba kila mtu ambae anatumia X amekutana na hii adha maana imetokea kwa baadhi ya watu tuu.
Ni watu wengi lakini wametoa malal... |
null | ## Username ni kitu cha kawaida kabisa katika mitandao ya kijamii na ndio kinachotumika kututambulisha, huduma kama hii inatumika hata katika mtandao wa Telegram, hivyo basi na WhatsApp wameona wasibaki nyuma.
WhatsApp licha ya umaarufu wake wote ilikua haijaanzisha kipengele hichi cha kutumia Username, mpaka sasa wa... |
null | ## YouTube ni mtandao wa kijamii namba moja katika maswala ya video, mtandao huu ni maarufu sana na mara kwa mara kuna matangazo yanapita katika video hizo.
Ni wazi matangazo yanakera na kuna muda yanakera sana ila kwa mitandao ya kijamii hii ndio njia kuu ya kuhakikisha kuwa makampuni hayo (mfano YouTube) yanajipati... |
null | ## Mtandao wa WhatsApp unahakikisha kuwa unawapa watumiaji wake aina nyingi za kuwasiliana ukiachana na kutuma ujumbe wa maandishi tuu.
Njia zipo nyingi tuu kama vile kutuma picha,sauti, kupiga simu za sauti au zile za video na kwa sasa WhatsApp wana mpango na kuja na kipengele kingine ambacho kitahusisha kutumiana v... |
null | ## WhatsApp ni moja kati ya mitandao wa kijamii ambayo ni maarufu sana na ina watumiaji wengi, mara kwa mara mtandao huo umekua ukifanya maboresho kadha wa kadha.
Maboresho haya katika mtandao huwa yanasiaidia katika kuhakikisha kuwa watumiaji wa WhatsApp wanapata kile kilichobora wakiwa wanatumia huduma hiyo.
Kwa s... |
null | ## YouTube ni mtandao wa kijamii maarufu sana ambao unajihusisha na maswala mazima ya kuonesha video. Mpaka sasa ni moja kati ya mitandao ambayo inafuatiliwa sana kwa kupata watumiaji wengi.
Huduma nyingi ambazo zinaonesha video za vitu mbalimbali mara nyingi huwa video hizo zinaambatana na matangazo mbalimbali, hivy... |
null | Kwa sasa katika mtandao wa kijamii wa WhatsApp ukiwa umetuma ujumbe kimakosa...
Mitandao ya kijamii ambayo inaongelewa hapa katika maswala ya tiki ya bluu ni...
Licha ya kuwa wawili hawa ni wapinzani/washindani wakubwa sana ni mara chache...
WhatsApp ni mtandao wa kijamii ambao umewafikia watu wengi sana na imekua n... |
null | WhatsApp ni moja kati ya mtandao wa kijamii ambao ni maarufu sana na unapendwa...
Ni wazi kwamba tunaingia katika mtandao wa Netflix kwa kutumia akaunti zetu...
Kwa sasa kama utaangalia filamu au mchezo wa kuigiza katika mtandao wa Netflix...
wafanyakazi wengi wanazidi kufyeka katika makampuni yanayojihusisha na...
... |
null | Hapo zamani simu za mikononi zilikua zikishutumia kuwa ni moja kati ya...
Twitter ni mtandao wa kijamii wa pili kwa ukubwa duniani. Maarufu kwa...
Tukubali ukweli ni wachache sana huwa wanafurahia kupokea mialiko ya kucheza...
Unataka ku’chat’ na rafiki yako kupitia Facebook kwenye simu yako?...
Jana mtandao wa Fac... |
null | ### Nawezaje kurudisha WhatsApp yangu? – Hili ni moja la swali ambalo tumekuwa tukilipata sana kutoka kwa wasomaji wetu. Kumekuwa na ukuaji wa tatizo la kufungiwa akaunti za WhatsApp hasa kwa watumiaji wa simu za Android, na mara nyingi umehusisha na utumiaji wa apps zisizo rasmi.
Ingawa tayari tumeshaandika na kutoa ... |
null | ### Mwezi wa kenda kwa Apple hufaaamika kuwa mahususi kwa ajili ya kutoa toleo jipya la iPhone inayofuata. Mwaka huu huenda tukaona bidhaa hizo mnamo Septemba 14.
Mwaka hadi mwaka mwezi Septemba Apple huzindua toleo jipya la iPhone isipokuwa tu mwaka jana ambapo janga la virusi vya Korona lilisababishwa kusogezwa mbel... |
null | We use cookies to understand, secure, operate, and provide our services.
Learn more about uses and controls in our Cookie Policy.
Your browser or device may offer settings that allow you to choose whether browser cookies are set and to delete them.
These controls vary by browser, and manufacturers may change both th... |
null | ### Kampuni ya Liquid Telecom ipo katika hatua za mwisho kufanikisha mradi mpya wa kutandaza mkongo wa mawasiliano wa baharini ambao pamoja na kuunganisha kusini mwa Afrika pia utaunganisha na Mashariki ya kati pamoja na Ulaya.
Iwapo mkongo huu utakamilika basi itakuwa ni habari nzuri kwa watumiaji na watoa huduma wa... |
null | ### Miezi michache iliyopita kuna teknolojia ya nchini China ilijipatoa umaarufu sana, ilikuwa teknolojia ya mabasi yanayoruhusu magari mengine kupita chini yake. Teknolojia hii inalenga kupunguza uhitaji wa njia spesheli kwa mabasi ya mwendokasi.
Soma zaidi: Basi linalopita juu ya magari lafanyiwa majaribio China.
N... |
null | Facebook
Email or phone
Password
Forgotten account?
Sign Up
Notice
You must log in to continue.
Log in to Facebook
Log in
Forgotten account?
Create new account
English (UK)
Polski
Español
Français (France)
Italiano
Lietuvių
Română
中文(简体)
Português (Brasil)
Deutsch
العربية
Sign Up
Log in
Messenger
Facebook Lite
Video
Pl... |
null | End-to-end encryption and privacy controls.
Message and call for free* around the world.
Group conversations made simple.
Say it with stickers, voice, GIFs and more.
Reach your customers from anywhere.
https://teknolojia.co.tz/?p=45092 |
null | ### Nawezaje kurudisha WhatsApp yangu? – Hili ni moja la swali ambalo tumekuwa tukilipata sana kutoka kwa wasomaji wetu. Kumekuwa na ukuaji wa tatizo la kufungiwa akaunti za WhatsApp hasa kwa watumiaji wa simu za Android, na mara nyingi umehusisha na utumiaji wa apps zisizo rasmi.
Ingawa tayari tumeshaandika na kutoa ... |
null | ## Mara nyingi watu tunakua na mitandao mingi ambayo mara nyingine huwa inafanya kazi sawa kwa mfano unaweza ukawa unahifadhi namba kwa kutumia Android huku unahifadhi zingine kupitia iOS.
Kama unatumia huduma ya Outlook na pia ukawa unatumia pia ya Google kwa upande wa kalenda kuna namna unaweza ukaunganisha kalenda... |
null | ### Teknolojia inazidi kuwa tamu zaidi. Baada ya Microsoft kukubali kuwekeza nguvu zake kwenye programu-endeshaji nyingine za Apple na Google, sasa inaonekana Google nao wanaenda upande wa pili na kujiweka moja-kwa-moja kwenye biashara inayoiweka Microsoft juu zaidi kwa kutangaza ‘Plugin’ ya Drive kwenye Microsoft Offi... |
null | ### Mwaka 2018 kampuni ya Microsoft ilikua haifanyi vizuri, hali ambayo iliathiri kwa kiasi kikubwa wanunuzi katika kampuni hiyo.
Timu hiyo ya watu wasiopungua 200 iliundwa rasmina Microsoft katika hatua za kuhakikisha kuwa wanunuzi wanarudi kwa tena kwa kiasi kikubwa katika kampuni hiyo.
Timu hii ilivyoundwa iliund... |
null | ### Kutuma vitu kwa njia ya WhatsApp ni jambo lililozoeleka hivi sasa na hivyo watu wanaweza kutuma/kupokea kitu (nyimbo, picha, nyaraka, n.k) kwa njia ya WhatsApp bila tatizo lolote lakini kulingana na ukubwa wa kitu chenyewe.
Uwezo wa kutuma kitu ambacho kinazidi ukubwa wa MB 16 imekuwa ni changamoto kwa wale wote ... |
null | GoogleJinsiMaujanjaMicrosoftOutlook Jinsi Ya Kuhamisha Outlook Calendar Na Kutumika Katika Google! Hashiman (@hashdough) Nuh July 11, 2023 Mara nyingi watu tunakua na mitandao mingi ambayo mara nyingine huwa inafanya...
GoogleTeknolojia Google Goals; Njia ya kufikia malengo yako kwa kalenda janja Nickson April 15, 201... |
null | GoogleJinsiMaujanjaMicrosoftOutlook Jinsi Ya Kuhamisha Outlook Calendar Na Kutumika Katika Google! Hashiman (@hashdough) Nuh July 11, 2023 Mara nyingi watu tunakua na mitandao mingi ambayo mara nyingine huwa inafanya...
Barua pepeMicrosoft Outlook Lite Hii Hapa, Ni 5MB Tuu Kwa Ajili Ya Android! Hashiman (@hashdough) N... |
null | Facebook
Email or phone
Password
Forgotten account?
Sign Up
Notice
You must log in to continue.
Log in to Facebook
Log in
Forgotten account?
Create new account
English (UK)
Polski
Español
Français (France)
Italiano
Lietuvių
Română
中文(简体)
Português (Brasil)
Deutsch
العربية
Sign Up
Log in
Messenger
Facebook Lite
Video
Pl... |
null | End-to-end encryption and privacy controls.
Message and call for free* around the world.
Group conversations made simple.
Say it with stickers, voice, GIFs and more.
Reach your customers from anywhere.
https://teknolojia.co.tz/?p=44843 |
null | ## Mara nyingi watu tunakua na mitandao mingi ambayo mara nyingine huwa inafanya kazi sawa kwa mfano unaweza ukawa unahifadhi namba kwa kutumia Android huku unahifadhi zingine kupitia iOS.
Kama unatumia huduma ya Outlook na pia ukawa unatumia pia ya Google kwa upande wa kalenda kuna namna unaweza ukaunganisha kalenda... |
null | ### Je niwe na app gani kuhariri picha kwa simu kwa urahisi zaidi? Ikiwa unataka kupiga picha zako ziwe nzuri zaidi, unahitaji apps zenye uwezo mzuri wa kuhariri picha kwa urahisi bila kuathiri ubora na ubunifu katika matokeo. Apps hizi zitakusaidia kufanya picha zako zipate muonekano mzuri zaidi, na zingine kufikia ki... |
null | Canva is your free photo editor, logo maker, collage maker, and video editor in one graphic design app! Design faster with powerful magic AI tools built-in, like the AI image generator that allows you to transform text to image in just a few minutes Make stunning social media posts, videos, presentations, or flyers, cr... |
null | # Canva: AI Photo & Video Editor 4+
## Design, Collages & Logo Maker
## Canva
-
- Free
- Offers In-App Purchases
## Screenshots
## Description
Canva is an all-in-one visual communication platform that empowers the world to design. It’s a simple way to create beautiful presentations, infographics, videos, t-shirt... |
null | ### Adobe ni kampuni ya kimataifa inayohusika na utengenezaji wa programu mbalimbali za kompyuta maalum kwaajili ya kuunda michoro (Graphics), picha, video, sauti na programu za uchapishaji. Programu za kompyuta zinazotengenezwa na Adobe zimegawanyika katika makundi yafuatayo, Programu za kuunda michoro, proramu za kut... |
null | The quick and easy create anything app. Free. Quickly make stunning social posts, images, videos, flyers and more.
DREAM IT. MAKE IT. EASY. Jump-start your creativity with Generate image, powered by generative AI. Quickly turn your text prompts into extraordinary photo art, and watch your imagination come to life with... |
null | # Adobe Express: Graphic Design 4+
## Logo, Flyer, Post, Template AI
## Adobe Inc.
-
- Free
- Offers In-App Purchases
## Screenshots
## Description
The quick and easy create-anything app. Quickly make stunning social posts, images, videos, flyers and more.
DREAM IT. MAKE IT. EASY.
Jump-start your creativity wi... |
null | Screen Master is a free, easy-to-use, no rooting required screenshot & photo markup tool. With Screen Master, you can capture screen by touching the floating button or shaking device, lets you take screenshot on your tablet, phone or other Android device the easy way!
Screen Master also provides a variety of annotati... |
null | Snapseed is a complete and professional photo editor developed by Google.
== KEY FEATURES==
• 29 Tools and Filters, including: Healing, Brush, Structure, HDR, Perspective (see list below)
• Opens JPG and RAW files
• Save your personal looks and apply them to new photos later
• Selective filter brush
• All... |
null | # Snapseed 4+
-
- Free
## Screenshots
## Description
Snapseed is a complete and professional photo editor developed by Google.
== KEY FEATURES==
• 29 Tools and Filters, including: Healing, Brush, Structure, HDR, Perspective (see list below)
• Opens JPG and RAW files
• Save your personal looks and apply them to... |
null | PhotoDirector is an all-in-one photo editing app that allows you to ** animate photos ** with a wide range of AI-powered effects. Also, easily edit your photos using ** object eraser **, ** photo background changer **, and even more photo editing tools with just a few taps. Get ready to use bokeh and dispersion, and le... |
null | # PhotoDirector: AI Photo Editor 4+
## AI Image Enhancer, Background
## CyberLink
### Designed for iPhone
-
- Free
- Offers In-App Purchases
## iPhone Screenshots
## Description
Being an AI-powered editor, PhotoDirector is revolutionizing the way of editing photos with various cutting-edge features. With just a... |
null | You need to enable JavaScript to run this app. |
null | Google Photos is the home for all your photos and videos, automatically organized and easy to share.
- “The best photo product on Earth” – The Verge
- “Google Photos is your new essential picture app” – Wired
The official Google Photos app is made for the way you take photos today and includes essential features l... |
null | # Google Photos: Backup & Edit 4+
## Smart Photo and Video Storage
-
- Free
- Offers In-App Purchases
## Screenshots
## Description
Google Photos is a smarter home for all your photos and videos, made for the way you take photos today.
“The best photo product on Earth” – The Verge
“Google Photos is your new ess... |
null | Join the Picsart community of over 150 million creators around the world. With the Picsart AI photo editor and video editor, you can bring your creativity to life. Create with AI tools, make professional-level collages, design and add stickers, quickly remove and swap backgrounds, choose from hundreds of stylised photo... |
null | # Picsart AI Photo Video Editor 12+
## Poster, Logo, & Collage Maker
## PicsArt, Inc.
### Designed for iPad
-
- Free
- Offers In-App Purchases
## Screenshots
## Description
Ignite your creative potential with Picsart — the all-in-one, AI-powered design studio that’s free and easy to use. From pro-quality busine... |
null | ### Tumetoka mbali na teknolojia na kwa hakika kuna watu sasa hivi wamesahau tabu ya kutaka kujua namba inayompigia namba ni ya nani (iwapo haijaihifadhi kwenye simu).
TrueCaller ni app maarufu duniani inayowawezesha watumiaji wake kutambua majina ya watu au makampuni wanayotaka kuwasiliana nayo au yanayowapigia simu... |
null | Unleash your creativity with **Pixlr AI Art Photo Editor** (formerly Pixlr Express) – your go-to **free photo editor** powered by advanced **AI technology**. Join over 18 million creators worldwide who trust Pixlr to transform their images with ease and precision. Whether you're a beginner or a seasoned photographer, P... |
null | # Pixlr AI Art Photo Editor 4+
## Image Retouch, Design Collages
## Pixlr Pte Ltd
-
- Free
- Offers In-App Purchases
## Screenshots
## Description
Unleash your creativity with Pixlr AI Photo Editor (formerly Pixlr Express) – a free and easy photo editor with powerful AI capabilities, trusted by more than 18 mill... |
null | Facebook
Email or phone
Password
Forgotten account?
Sign Up
Notice
You must log in to continue.
Log in to Facebook
Log in
Forgotten account?
Create new account
English (UK)
Polski
Español
Français (France)
Italiano
Lietuvių
Română
中文(简体)
Português (Brasil)
Deutsch
العربية
Sign Up
Log in
Messenger
Facebook Lite
Video
Pl... |
null | End-to-end encryption and privacy controls.
Message and call for free* around the world.
Group conversations made simple.
Say it with stickers, voice, GIFs and more.
Reach your customers from anywhere.
https://teknolojia.co.tz/?p=44824 |
null | ### Je niwe na app gani kuhariri picha kwa simu kwa urahisi zaidi? Ikiwa unataka kupiga picha zako ziwe nzuri zaidi, unahitaji apps zenye uwezo mzuri wa kuhariri picha kwa urahisi bila kuathiri ubora na ubunifu katika matokeo. Apps hizi zitakusaidia kufanya picha zako zipate muonekano mzuri zaidi, na zingine kufikia ki... |
null | ## WhatsApp mara kwa mara imekua ikileta vipengele vipya au kuboresha vile ambavyo tayari vipo kwa kuvifanyia masasisho (Updates).
Kwa sasa WhatsApp wanakuja na kipengele kipya ambacho kinajikita zaidi katika swala zima la ulinzi na usalama ndani ya App hiyo hususani katika eneo la kupigiwa simu.
Labda niulize swali... |
null | ### Palipo na watu wengi ni dhahiri kuwa vitu vingi vinaweza kutokea kutokea kutokana na kwamba kila mtu ana hulka yake kitu ambacho kinaweza kuleta mambo yanayokera.
Katika Dunia ya leo iliyojaa utandawazi WhatsApp imekuwa ni moja ya kiungi muhimu katika mawasilaiano ya haraka na mepesi kubwa zaidi kwa gharama nafuu... |
null | ### Mortal Kombat ni gemu la kupigana lenye zaidi ya wachezaji 37 na linaloruhusu watu wawili kucheza kwa pamoja kupitia mtandao au bila mtandao. Unaweza kupakua au kunua gemu hili mtandaoni na kucheza kupitia kompyuta yako au runinga lako.
Gemu la Mortal Kombat lilitengenezwa na kampuni ya Midway Games mwaka 1992. L... |
null | JinsiMaujanjaMitandao ya KijamiiMtandao wa Kijamiiwhatsapp WhatsApp: Zima Kuita Kwa Sauti Kwa Namba Zisizojulikana, Ukipigiwa Simu (WhatsApp Call)! Hashiman (@hashdough) Nuh June 21, 2023 WhatsApp mara kwa mara imekua ikileta vipengele vipya au kuboresha vile ambavyo... |
null | Facebook
Email or phone
Password
Forgotten account?
Sign Up
Notice
You must log in to continue.
Log in to Facebook
Log in
Forgotten account?
Create new account
English (UK)
Polski
Español
Français (France)
Italiano
Lietuvių
Română
中文(简体)
Português (Brasil)
Deutsch
العربية
Sign Up
Log in
Messenger
Facebook Lite
Video
Pl... |
null | End-to-end encryption and privacy controls.
Message and call for free* around the world.
Group conversations made simple.
Say it with stickers, voice, GIFs and more.
Reach your customers from anywhere.
https://teknolojia.co.tz/?p=44805 |
null | ## WhatsApp mara kwa mara imekua ikileta vipengele vipya au kuboresha vile ambavyo tayari vipo kwa kuvifanyia masasisho (Updates).
Kwa sasa WhatsApp wanakuja na kipengele kipya ambacho kinajikita zaidi katika swala zima la ulinzi na usalama ndani ya App hiyo hususani katika eneo la kupigiwa simu.
Labda niulize swali... |
null | ## Kumbuka tovuti (website) nyingi zina mionekano miwili yaani ule wa kwenye simu janja na ule wa kwenye kompyuta.
Kingine cha kufahamu katika hili– website — ni kwamba unaweza ukawa na uwezo wa kulazimisha muonekano wa tovuti wa kwenye kompyuta uonekane katika simu janja.
Ni wazi kwamba kuna vitu vingi ambavyo unaw... |
null | ## Simu za Nokia zimechangia kuuza kwa asilimia 3.5 katika soko la Ulaya katika robo ya kwanza ya mwaka 2018 na kupelekea kushika nafasi ya tano kwa uuzaji wa simu nyingi.
Kulingana na uchambuzi na utafiti wa kampuni ya *Canalys* Nokia imeuza simu milioni 1.6 na kufanikiwa kusafirisha simu milioni 6.3. |
null | ### Kuna wasomaji waliotaka kujua sifa za Tecno M3 na P3, na wengine walitaka kufahamu tofauti zake, hivyo leo tunakuleta uchambuzi mdogo juu ya simu hizo. Tunategemea inaweza kuwasaidia wengine wengi waliokuwa wanafikiria kununua simu hizi.
### Kwa kuanzia simu zote mbili ni simu janja za kiwango cha chini na hivyo n... |
null | ### Sio wewe tuu unaweza kupiga picha za selfi bali ‘ata watu wa zamani wanaweza’ kupiga picha hizo siku hizi 🙂 . Hivi karibuni mitandao ya kijamii imezongwa na picha za watu wenye miaka mingi sana – Mamia ya miaka. Hii yote ilianza baada ya mbunifu Olivia Muus utembelea katika Nyumba ya sanaa (gallery) huko Copenhage... |
null | AndroidIPhoneJinsiKivinjariMaujanja Jinsi Ya Kufanya Tovuti (Website) Kuwa Na Muonekano Wa Kompyuta Katika Simu Yako! #iPhone #Android Hashiman (@hashdough) Nuh April 18, 2023 Kumbuka tovuti (website) nyingi zina mionekano miwili yaani ule wa kwenye simu... |
null | Facebook
Email or phone
Password
Forgotten account?
Sign Up
Notice
You must log in to continue.
Log in to Facebook
Log in
Forgotten account?
Create new account
English (UK)
Polski
Español
Français (France)
Italiano
Lietuvių
Română
中文(简体)
Português (Brasil)
Deutsch
العربية
Sign Up
Log in
Messenger
Facebook Lite
Video
Pl... |
null | End-to-end encryption and privacy controls.
Message and call for free* around the world.
Group conversations made simple.
Say it with stickers, voice, GIFs and more.
Reach your customers from anywhere.
https://teknolojia.co.tz/?p=44552 |
null | ## Kumbuka tovuti (website) nyingi zina mionekano miwili yaani ule wa kwenye simu janja na ule wa kwenye kompyuta.
Kingine cha kufahamu katika hili– website — ni kwamba unaweza ukawa na uwezo wa kulazimisha muonekano wa tovuti wa kwenye kompyuta uonekane katika simu janja.
Ni wazi kwamba kuna vitu vingi ambavyo unaw... |
null | ## Kila lenye mwanzo linakuaga na mwisho sio? Kwa sasa ni zamu ya kivinjari ambacho kilijipatia umaarufu sana miaka ya nyuma yaani internet explorer.
Internet explorer ilianza kutumika mwaka 1995 na kikijipatia umaarufu kwa kasi na kuwa ndio kivinjari pendwa kwa watu wengi.
Miaka inabadilika, teknolojia inazidi kuku... |
null | ## Microsoft Edge ni moja kati kivinjari maarufu sana na ni moja kati ya kivinjari chenye watumiaji wengi sana.
Kivinjari hiki kimekua kikijiboresha mara kwa mara na hivi sasa kinakuja na uwezo wa kuhariri picha kabla ya kuzishusha katika kifaa chako (kompyuta).
Hii yote inatokea huko mtandaoni, yaaani ukiwa unaingi... |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.