name
stringclasses
429 values
text
stringlengths
0
767k
null
## Kivinjari cha Safari ni maarufu sana katika vifaa kutoka Apple, kwa sasa kina watumiaji zaidi ya bilioni moja duniani kote. Wengine wanasema kuwa namba hiyo ya idadi mbona ilifikiwa mapema tuu lakini ni kwamba kampuni haikutaka kuliweka hilo wazi. Kingine ambacho kimefanya namba hiyo kuongezeka sana ni kwamba kiv...
null
### Watumiaji wa WhatsApp Web ni wengi tuu duniani kote wanaongezeka kila siku halikadhalika inazidi kuboreshwa kila mara ili kwenda na wakati lakini pia kuzudi kuongeza watu wanaoitumia. Mimi ni mmoja kati ya wengi tuu ambao watumia WhatsApp Web katika mawasiliano yangu na nimekuwa nikishududia maboresho kila baada y...
null
## Ni wazi kwamba kuna taarifa zingine za kimtandao ni siri, lakini licha ya hili ni wazi kwamba ni vizuri kwa mtu kufuta taarifa zake mara kwa mara pindi anapomaliza kutumia kompyuta Taarifa hizi zinaweza zikawa kama ni nywila n.k. vile vile fikiria kwa mfano kama watu wanatumia kompyuta ya aina moja? hapa ndio jamb...
null
### Kama kuna kipengele ambacho katika miezi ya karibuni kimepata umaarufu wa aina yake (hasa kwa wale ambao wanafahamu kitu hicho kipo ndani ya programu tumishi yenye watumiaji wengi zaidi) ni “WhatsApp ya Giza” lakini sasa mpango huo umeenda mbali zaidi na kupatikana kwenye kivinjari cha Google Chrome, Firefox, Safar...
null
### Kutokana na ukuaji wa teknolojia wataalam mbalimbali wameendelea kutafuta njia zaidi ya moja ambayo itamuwezesha mtu kufanya kitu kilekile ambacho anaweza kukifanya kwa kutumia simu. Tukiwa tukaribia kumaliza mwaka 2018 Google waneleta maboresho kidogo katika kuwarahisishia watumiaji wa rununu za Android kuweka k...
null
### Kusoma vitu kwenye mtandao kwa kutumia kompyuta ni kitu cha kawaida sana na kuna wakati unataka uweze kuutunza ukurasa fulani wenye habari ambayo unataka kuja kuisoma baadae lakini inakuwa changamoto kidogo kwako. Unaweza ukafikia uwamuzi wa kutafuta mtaalam wa masuala ya kompyuta au mtu ambae ni mtundu mtundu kw...
null
### Unakumbuka siku chache zilizopita tuliandika habari kuhusu kivinjari cha UC Browser kuondolewa katika soko la apps la Google Play store?Lakini leo tunakujuza kwamba rasmi kivinjari hicho kimerudishwa katika soko hilo kama ilivyokuwa awali. UC Browser iliondolewa katika soko la Google Play kwa taarifa zilizoelezwa ...
null
### Bing kuzidi kukua. Tovuti namba mbili katika huduma ya utafutaji ya Bing itazidi kujikita na kukua katika eneo la utafutaji kwa watumiaji wa kompyuta. ### Haya yamesemwa na mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Microsoft inayomiliki Bing, Bwana Satya Nadella. Huduma ya Bing ni ya pili nyuma ya Google, katika huduma za u...
null
### Ile kero ambayo ilikuwa ikiwasumbua wengi wakati wa kuperuzi kwenye kivinjari cha Safari (vifaa vinavyotumia iOS) ipo mbioni kuisha mara tu toleo jipya la iOS 11 litakapotoka. Kwa kitendo cha Apple kuamua kufungia yale matangazo ambayo hayana hata mpangilio maalum wa kutokea ni dhahiri shairi linakera kupita kias...
null
### Mozilla ni kampuni isiyo ya kibiashara ambayo ina mchango mkubwa sana japokuwa watu wengi hawalijui hili. Mozilla — samahani, namaanisha **Moz://a** — inatoa huduma ya ‘open web’ hii inamaanisha kuwa bidhaa zake nyingi zinapatika bure katika mtandao. Mozilla ndio kampuni ambayo inamiliki kivinjari cha Firefox, m...
null
### Pengine labda unajua ni kipi bora kuliko vyote mpaka sasa, lakini ni vyema kujua vingine pia. Katika kifaa chako cha Android wewe unatumia kivinjari kipi? Je hiko unachotumia ndio bora kuliko vingine? Leo TeknoKona kama kawaida yetu tunataka kukupatia vile vitano (5) bora zaidi. Kama unatumia moja kati ya hivi ba...
null
AndroidappsKivinjari Flynx: Okoa Muda na Kivinjari Kinachoelea! #Apps ecay June 2, 2016 Mfumo-endeshaji wa Android una soko kubwa sana la apps linaloweza... ChromeKivinjariMozilla Kivinjari (Browser) Gani Cha Kuchagua Kwa Matumizi Yako! Hashiman (@hashdough) Nuh March 22, 2016 Huwezi ingia katika mtandao kwa lengo lak...
null
## WhatsApp ni moja kati ya mitandao ya kijamii yenye umaarufu mkubwa sana bila kusahau ubora wake unaifanya kila siku kuaminika kama njia ya mawasiliano. Ndani ya mtandao huo wa WhatsApp huwa watu wanatumiana vitu mbalimbali kama vile miziki, video na mafaili mengine ambayo kwa namna moja au nyingine inasababisha uj...
null
## Mitandao ya kijamii inazidi kutushangaza, pengine teknolojia hii sio mpya japokuwa ni ngeni kwa watu wengi, sasa Snapchat inakuja na teknolojia hii. Pata picha kama unaweza ukatumia kamera mbili kwa wakati mmoja, yaani kuchukua video au picha kwa kutumia kamera ya mbele na ya nyuma katika mtandao wa Snapchat. Kip...
null
#### Facebook watangaza kuingiza utumiaji wa hashtags kwenye mtandao wao maarufu duniani. Hashtags au alama ya reli kwa kiswahili ni mfumo unaotumika katika mitandao mingi ya kijamii kama Twitter, Instagram na Google Plus. Kupitia hashtags watumiaji wataweza kupanga masuala wanayozungumzia na ata pia kuweza kutafuta ha...
null
### Mtandao wa kijamii wa Facebook kuja na app ya kamera ili kusaidia kuwafanya watu wapost picha nyingi zaidi kwenye mtandao huo. ### Data za mtandao huo zinaonesha watumiaji wa mtandao huo siku hizi hawapost picha na maneno (status) kwa wingi ukilinganisha na zamani. Suala la watu kuwa katika mtandao wa kijamii na ...
null
JinsiMaujanjaMitandao ya KijamiiMtandao wa Kijamiiwhatsapp Jinsi Ya Kuongeza Ujazo Uhifadhi Katika App Ya WhatsApp! Hashiman (@hashdough) Nuh March 25, 2023 WhatsApp ni moja kati ya mitandao ya kijamii yenye umaarufu mkubwa sana bila...
null
Facebook Email or phone Password Forgotten account? Sign Up Notice You must log in to continue. Log in to Facebook Log in Forgotten account? Create new account English (UK) Polski Español Français (France) Italiano Lietuvių Română 中文(简体) Português (Brasil) Deutsch العربية Sign Up Log in Messenger Facebook Lite Video Pl...
null
End-to-end encryption and privacy controls. Message and call for free* around the world. Group conversations made simple. Say it with stickers, voice, GIFs and more. Reach your customers from anywhere. https://teknolojia.co.tz/?p=44491
null
## WhatsApp ni moja kati ya mitandao ya kijamii yenye umaarufu mkubwa sana bila kusahau ubora wake unaifanya kila siku kuaminika kama njia ya mawasiliano. Ndani ya mtandao huo wa WhatsApp huwa watu wanatumiana vitu mbalimbali kama vile miziki, video na mafaili mengine ambayo kwa namna moja au nyingine inasababisha uj...
null
### Hata kama siyo mtaalamu wa teknolojia, naamini unatumia simu na unazijua laini za simu (SIM card), SIM card kwa lugha nyingine zinaitwa laini za simu, hizi ni kadi ndogo ambazo huwekwa kwenye simu ili kusaidia kuunganishwa na mtoa huduma ili kupata mawasiliano, watoa huduma kama Airtel, Vodacom, Tigo, Halotel n.k, ...
null
“Mmetisha @airtel_tanzania nimenunua luku kwa Airtel Money dk 0 nimepata tokens” Airtel Tanzania (@Airtel_TZ)
null
### Je aliwezaje? Fahamu gari la Steve Jobs halikuwahi kuwekwa namba za usajili/yaani plate number. Steve Jobs alikuwa anapendelea kutumia gari aina ya Mercedes ikiwa haina namba za usajili. Steve Jobs alikuwa mbunifu na mkurugenzi wa kampuni ya Apple aliyefariki mwaka 2011. Soma pia Kwa muda mrefu, miaka na miaka ...
null
### Ushawahi kujiuliza kama YouTube inalipa kwa mambo mengine nje ya muziki na vichekesho? Fahamu mtoto mwenye miaka 6 raia wa Korea Kusini anayefahamika kwa jina la Boram Ki amenunua jengo lenye thamani ya dola za kimarekani milioni 8 (zaidi ya Tsh bilioni 16) kwa pesa anazotengeneza kwa sababu ya YouTube. Kwa mujibu...
null
### Mpaka kufikia hivi sasa simu nyingi tu zimeshaweza kuruhusiwa kushusha Androi 9 Pie lakini kitu ambacho kinawafanya wateja wa LG kwa upande w rununu kuonekana kuwa nyuma kuhusu kutumia simu zao zikiwa na toleo hilo la kenda kwa mfumo endeshi wa Android. Ukiangazia kwa jicho la karibu kabisa simu za LG ambazo zina...
null
Facebook Email or phone Password Forgotten account? Sign Up Notice You must log in to continue. Log in to Facebook Log in Forgotten account? Create new account English (UK) Polski Español Français (France) Italiano Lietuvių Română 中文(简体) Português (Brasil) Deutsch العربية Sign Up Log in Messenger Facebook Lite Video Pl...
null
End-to-end encryption and privacy controls. Message and call for free* around the world. Group conversations made simple. Say it with stickers, voice, GIFs and more. Reach your customers from anywhere. https://teknolojia.co.tz/?p=44448
null
### Hata kama siyo mtaalamu wa teknolojia, naamini unatumia simu na unazijua laini za simu (SIM card), SIM card kwa lugha nyingine zinaitwa laini za simu, hizi ni kadi ndogo ambazo huwekwa kwenye simu ili kusaidia kuunganishwa na mtoa huduma ili kupata mawasiliano, watoa huduma kama Airtel, Vodacom, Tigo, Halotel n.k, ...
null
### Watu wengi hununua simu zilizotumika kwa mda (used phones) kutokana na hali ya kutomudu gharama kubwa za kununua simu mpya, japo kununua simu mpya ni vizuri zaidi ila kutokana na bei kuwa juu wengi huamua kusubiri ili wapate ambazo zimetumika kwa mda mfupi hasa simu za hali ya juu (high end smartphones). unatakiwa...
null
# iPhone Designed to be loved. Designed to be loved. iPhone 16 Pro The ultimate iPhone. A total powerhouse. As amazing as ever. Apple Intelligence not applicable A16 Bionic chip with 5-core GPU Camera Control not applicable Dual-camera system 48MP Main camera 2x Telephoto 12MP Ultra Wide camera Up to 26 h...
null
### Google Drive ni kiungo muhimu ambacho kinawezesha kuhifadhi vitu vyetu (vikiwemo vile kutoka kwenye WhatsApp) mbalimbali kwa njia ya mtandao na kuweza kuvikia muda wowote na mahali popote pale. Kwa wale ambao tumekuwa tunapenda vitu vyetu kutoka kwenye WhatsApp kwenda Google Drive naamini kabisa utakuwa umechagua ...
null
### Kazi nyingi za siku hizi zinafanyika kwenye kompyuta hata hivyo, maisha yetu yanaonekana kuhamia kwenye simu janja. Wafanyakazi wenzetu, familia, jamaa na marafiki wanatupata kwa meseji, picha na sauti kwenye hizi simu. Ingawa tunapenda tuendelee kufurahaia huduma hizi wakati wote, maisha inabidi yaendelee na ndiy...
null
Facebook Email or phone Password Forgotten account? Sign Up Notice You must log in to continue. Log in to Facebook Log in Forgotten account? Create new account English (UK) Polski Español Français (France) Italiano Lietuvių Română 中文(简体) Português (Brasil) Deutsch العربية Sign Up Log in Messenger Facebook Lite Video Pl...
null
End-to-end encryption and privacy controls. Message and call for free* around the world. Group conversations made simple. Say it with stickers, voice, GIFs and more. Reach your customers from anywhere. https://teknolojia.co.tz/?p=44412
null
### Watu wengi hununua simu zilizotumika kwa mda (used phones) kutokana na hali ya kutomudu gharama kubwa za kununua simu mpya, japo kununua simu mpya ni vizuri zaidi ila kutokana na bei kuwa juu wengi huamua kusubiri ili wapate ambazo zimetumika kwa mda mfupi hasa simu za hali ya juu (high end smartphones). unatakiwa...
null
### Watu wengi hupenda kutumia mbadala wa programu halali ya WhatsApp, hizi programu mbadala huitwa “WhatsApp Mods” zipo za aina nyingi kama GBWhatsApp, FMWhatsApp, WhatsApp Plus, WhatsApp Go n.k, ni ukweli kwamba kutumia mbadala wa WhatsApp yaani kutumia WhatsApp mods unaweza kufanya mambo ambayo Whatsapp ya kawaida h...
null
### Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya magari yanayotumia mfumo wa umeme ya Tesla, amesema walishajaribu kuwauzia Apple kampuni ya Tesla ila Tim Cook alizingua. Inasemekana kwa wakati huo kampuni ya Tesla ilikuwa kwenye changamoto mbalimbali. Kama Apple wangekubali kufanya mazungumzo na Bwana Elon Musk na kununua kampuni h...
null
### Simu janja nyingi zimekuwa zikikabiliwa na tatizo la kutokaa na umeme kwa muda mrefu kitu ambacho kinasababisha mtu kufikiriakubadilisha betri kitu ni gharama lakini si pale ambapo kuna punguzo la bei. Mwezi Desemba ni mzuri kwa yeyote yule ambae antumia iPhone kwani kampuni husika imetangaza punguzo la bei kwa b...
null
### Soko maarufu kwa ajili ya kuweza kupakua programu tumishi zilizohakikiwa na rasmi zipo kwenye “Google Playstore” kwa simu yoyote ambayo inatumia mfumo endeshi wa Android. Katika siku za karibuni Google wameboresha muonekano wa soko lao mahususi kwa programu tumishi mbalimbali ambazo zimetengenezwa kufanya kazi kw...
null
Facebook Email or phone Password Forgotten account? Sign Up Notice You must log in to continue. Log in to Facebook Log in Forgotten account? Create new account English (UK) Polski Español Français (France) Italiano Lietuvių Română 中文(简体) Português (Brasil) Deutsch العربية Sign Up Log in Messenger Facebook Lite Video Pl...
null
End-to-end encryption and privacy controls. Message and call for free* around the world. Group conversations made simple. Say it with stickers, voice, GIFs and more. Reach your customers from anywhere. https://teknolojia.co.tz/?p=44407
null
### Watu wengi hupenda kutumia mbadala wa programu halali ya WhatsApp, hizi programu mbadala huitwa “WhatsApp Mods” zipo za aina nyingi kama GBWhatsApp, FMWhatsApp, WhatsApp Plus, WhatsApp Go n.k, ni ukweli kwamba kutumia mbadala wa WhatsApp yaani kutumia WhatsApp mods unaweza kufanya mambo ambayo Whatsapp ya kawaida h...
null
Ni ukweli uliowazi kuwa hatupo mbali kufanya simu zetu kuwa mbali nasi na isiwe... Mawasiliano yangu ya WhatsApp yamekuwa ni rahisi sana kwangu kutokana na uwezo... Kampuni ya Xiaomi wiki iliyopita ilitangaza simu zao mpya, aina ya Xiaomi 12S,... Katika matoleo ya simu, kampuni huweka umakini mkubwa katika toleo kub...
null
### Kuna namna ya kutumia intaneti bila kuhifadhi historia / taarifa, hii ina faida nyingi hasa pale unapotumia kompyuta isiyo ya kwako. Hii ni teknolojia ambayo ipo kwenye kivinjari/Browser kama Google Chrome, Opera n.k Kwa kawaida wakati unatumia kivinjari/Browser kuingia kwenye mtandao/Internet taarifa zako zote h...
null
### Baada ya kuingia katika ulimwengu wa teknolojia na simu janja wengi tumekutana na majina haya ya teknolojia za mawasiliano za 1G, 2G, 3G, 4G na 5G. Haya ni majina ambayo yana maana kubwa katika uwezo wa mtandao wako aidha katika huduma za intaneti au ata zile za ujumbe mfupi na upigaji simu. Tuanze na hiyo G: G ...
null
### Je ni mambo gani ni muhimu sana ya kuangalia wakati wa kufanya maamuzi ya kununua TV / Runinga? Leo tutakupa ushauri bora ili kuhakikisha unapata kitu ulichokuwa unakitegemea. Kumekuwa na maswali mengi sana juu ya vitu vya kuangalia kabla ya kununua Runinga/Television (TV), mvutano mkubwa juu ya vitu kama Smart TV...
null
### Betri ya simu kuisha chaji haraka limekuwa tatizo kubwa kwa watumiaji wa simujanja, maana apps ni nyingi na matumizi ni mengi. Kwa sasa imewalazimu watu kuwa na powerbank au kununua simu ya ziada, lakini je kuna namna ya kuboresha na kufanya betri la simu lisiishe chaji haraka? Tujifunze. ### Vifuatavyo ni baadhi...
null
### Umewahi kujiuliza ni kwanini huwezi kutoa betri kwenye simujanja za kisasa kwa urahisi? ### Kampuni za simu walianza kuleta simu ambazo mtumiaji wa kawaida hawezi zitoa kwa urahisi (non removable) kutokana na sababu mbalimbali. Leo tuzielezea zile muhimu. Simu nyingi zamani zilitengenezezwa katika namna ilikuwa ...
null
### Simu janja zimekuwa msaada kwetu kwa mambo mengi ambayo zimekuwa zikirahisisha shughuli kadha wa kadha kwenye ulimwengu huu wa teknolojia. Ile taa ya kuongeza mwangaza pembeni ya kamera ya nyuma ni tochi pia ambayo unaweza kuiwasha kiurahisi kabisa. Uwepo wa taa pembeni ya kamera imekuwa na kazi zaidi ya moja na ...
null
Kampuni kubwa ya mitandao ya kijamii ya Facebook imeona watumiaji wake wa kila... Mwanamume mmoja amehukumiwa kifungo cha miezi 26 jela kwa kuhusika katika njama... ### Elon Musk aliahidi kumpa kijana wa Florida $5,000 kufuta akaunti ya Twitter inayofuatilia ndege yake Jack Sweeney, mwenye umri wa miaka 19 kutoka Fl...
null
Google itawekeza kiasi cha dola bilioni 1 kwa kampuni ya simu ya Airtel ya... Kama ulikuwa mfuatiliaji mzuri wa sakata la Bharti Airtel Tanzania pamoja na... Kampuni ya mawasiliano ya simu ya Airtel Tanzania imetangaza kujiunga na mfumo... Kampuni ya Mawasiliano ya Simu ya Airtel imekanusha madai kwamba inaondoka......
null
#### Vifurushi vya BIS ndiyo watu wangu huwa wanazungumzia kama BBM, lakini huwa wanakosea. Ulipii huduma ya BBM (Blackberry Messenger) bali unacholipia huwa ni huduma ya BIS (Blackberry Internet Service), ambayo ukishajiunga unapata mlolongo wa huduma nyingine nyingi za intaneti katika simu yako ya Blackberry kama kuw...
null
Tumia kompyuta yako kama mtaalam/mzoefu, hii itakusaidia katika kumaliza kazi... Apple ID (ile barua pepe inayokufanya uweze kushusha vitu sokoni) imekua gumzo... WhatsApp haihitaji utambulisho kabisa na ni App ya kutuma na kupokea ujumbe... Google play ni moja kati ya Soko kubwa la kushusha App nyingi za bure na za...
null
Zipo sababu nyingi za kutafuta mtu zikiwemo undugu (kama mtoto wako) na unataka... Zamani sana ilikuwa vigumu sana kufanya lolote kubwa zaidi ya kusoma na... Kama ushawahi kutaka kuweka mipangilio (settings) za barua pepe katika app au... Ikiwa kwa makusudi au hata bahati mbaya umefuta data zako katika memori kadi y...
null
## Meta ambayo inamiliki mitandao ya kijamii kama vile Facebook, Instagram, WhatsApp n.k imelazimishwa kuuza kwa hasara kampuni yake ya Giphy kwa bei rahisi na kuwa katika sehemu ya hasara. Kampuni ya Giphy inajulikana kwa umaarufu wake wa kutengeneza GIF za aina mbalimbali ambazo zinatumika katika mitandao mingi ya ...
null
## Pengine kampuni mama ya Facebook, Meta inapitia magumu sana kuliko tunavyodhani. Licha ya kuandika kuhusiana na kupunguza wafanyakazi wake >>HAPA<< lakini bado wanaachana na baadhi ya bidhaa zake. Bidhaa zote mbili –kutoka Meta– ni vifaa janja na hii ni tofauti kabisa na bidhaa zake zile za mtadaoni au huduma zake...
null
### Kampuni ya magemu ya Nintendo ni moja kati ya makampuni makubwa kabisa kuwahi kutokea katika soko la magemu kwa sasa imeziweka pembeni. Hapa ni kwamba kinachofanyika ni kwamba kampuni ya Nintendo imeacha kabisa kutoa ruhusa ya watu ku’log in kwa kupitia mitandao ya Twitter na Facebook. Hautaweza kuingia katika a...
null
Hii haitushangazi sana kwa sababu mtandao wa Messenger unamilikiwa na kampuni,... Kumbuka Meta ndio inamiliki mitandao ya kijamii mikubwa ile ya Instagram,... Facebook ni moja kati ya mitandao ya kijamii maarufu sana na mkongwe, licha ya... Mtandao wa kijamii wa facebook umekuja na mpangilio mpya katika makundi... ...
null
Facebook licha ya kuwa moja ya mtandao wa kijamii mkubwa na mkongwe sana kwa... Makampuni mbalimbali ikiwa ni pamoja na Facebook na Google nchini Marekani... Leo ukiongelea makampuni ambayo yana thamani kubwa katika soko kwa sasa huwezi... Facebook nao wameona wasibaki nyuma kabisa katika teknolojia ya saa janja.......
null
Masaa machache baadae kampuni ya Facebook inc inategemea kuzindua rasmi mtazamo... Tulishaandika kuhusu uamuzi wa ajabu uliochukuliwa na mtandao wa kijamii wa... Ndiyo, hicho ndicho kilichotokea. Miezi kadhaa iliyopita Facebook walizindua... Hapa kuna habari mmoja ambayo ndiyo ya uhakika zaidi nayo ni kwamba Faceboo...
null
## Hii haitushangazi sana kwa sababu mtandao wa Messenger unamilikiwa na kampuni, Meta ambayo pia inamiliki mtandao wa WhatsApp. Nadhani teknolojia hii kwa sasa sio ngeni mpaka sasa, pengine umeshawahi hata kuisikia tuu na pia hapo nyuma tulishawahi kuandika kuhusu teknolojia ya End-To-End Encryption soma zaidi kwa k...
null
## Kumbuka Meta ndio inamiliki mitandao ya kijamii mikubwa ile ya Instagram, WhatsApp na Facebook. Licha ya mitandao hii kuwa mikubwa lakini bado kampuni imeporomoka kimapato. Katika robo ya pili ya mwaka inaonyesha kuwa mapato ya kampuni ya Meta yameshuka kwa asilimia 1 ambayo hata hivyo ilikua ni chini kabisa ya ma...
null
## Meta ndio inamiliki makampuni mengine kama vile Facebook, Instagram na Messenger, kwa sasa wapo katika hatua za kutambulisha stoo yao ya mtandaoni ya kununua Avatar. Hapa kinachofanyika ni kwamba watumijai wa mitandao hii wana uwezo wa kununua nguo kwa ajili ya avatar zao huko mtandoani Kwa sasa makampuni kama vi...
null
### Suala la tozo kwenye miamala ya simu imekuwa ni mwiba kwa Watanzania kiasi kuibuka malalamiko mengi ambayo yamesababisha biashara kuyumba vilivyo lakini sasa serikali imesikia na kupunguza tozo. **Julai, 15 2021** itakumbukwa na wananchi wengi wa Tanzania kwani ndio tarehe ambayo tozo kwenye miamala ya simu ilianz...
null
### Huduma ya kuweka namna za siri kwenye kadi zetu za simu limekuwepo kwa miongo mingi tuu halikadhalika wengi tuu waliachana na matumizi kadi fulani ya simu kutokana na kupoteza namba za PUK! Mimi ni mmojawapo wa watu ambao nilikuwa napata changamoto sana tuu hasa pale ambapo nilikuwa nasahau namba za PUK ama kwa na...
null
Airtel TanzaniaHalotelMitandao ya SimuTanzaniaTeknolojiaTigoTTCLVodacom Matumizi ya nenosiri kufungua kadi ya simu #Tanzania #MitandaoYaSimu Andrew Komba July 5, 2021 Tangu Julai Mosi ya mwaka huu nchini Tanzania matumizi ya nenosiri kwenye kadi... Airtel TanzaniaMitandao ya SimuTanzaniaTeknolojia Airtel Tanzania yapu...
null
Tangu Julai Mosi ya mwaka huu nchini Tanzania matumizi ya nenosiri kwenye kadi... Mwezi Novemba mwaka jana zilitoka taarifa kuhusu ushirikiano kati ya VISA na... Wakati watanzania wakiwa wanaendelea kukumbushwa kuhusu kwenda kusajili upya... Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, TCRA imetoa tangazo kwa wateja wote wanaot...
null
### Ushirikiano kati ya Vodacom Tanzania na Mdundo.com umekuwa ukipikwa kwa muda sasa na hatimae wawili hao wamefikia makubaliano ya kufanya kazi pamoja. Mdundo ambao wanamiliki tovuti (mdundo.com) halikadhalika programu tumishi inayopatikana kwenye App Store/Playstore mahususi kwa ajili ya huduma za muziki kutoka kwa...
null
**Nchini** Tanzania** suala la usajili wa ****laini za simu kwa kutumia alama za vidole si jambo la hiari bali ni lazima.** Usajili wa laini kwa alama za vidole ambao unaenda sambamba na mtu kuwa namba za NIDA ambazo zinamwzesha mtumiaji kuweza kutambulika katika mfumo wa kielektroniki kuwa huyo aliyesajili ndio mmili...
null
### Tigo na Zantel Tanzania ni kampuni za mawasiliano ambazo zimekuwa zikifanya kazi kwa miaka mingi tuu na kuweza kufikia wateja mijini na vijijini lakini pia visiwani Zanzibar. Tigo Tanzania ni moja ya kampuni ya mawasiliano yenye wateja wengi (ya pili baada ya Vodacom Tanzania) ambayo imekuwa ikitoa huduma tangu mw...
null
Tigo na Zantel Tanzania ni kampuni za mawasiliano ambazo zimekuwa zikifanya... Kuja kwa uwezo wa kuhama mtandao wa simu bila kubadili namba ya simu umekuja na... Vyanzo vya habari vya Reuters vimeripoti ya kuwa kampuni ya simu ya Zantel... Ushindani wa makampuni ya simu unazidi kuonekana na kuwa faida kwa watumiaji ...
null
### Hivi leo ukimuuliza Mtanzania anayetumia simu ya mkononi kitu ambacho kinamuumiza roho kwa walio wengi ni gharama mpya za mawasiliano (hususani vifurushi vya intaneti) ambazo zimeanza kutumia rasmi Aprili, 2 2021 kufuatia mabadiliko madogo ya kanuni kwa kampuni za simu zilizotolewa na TCRA wiki chache zilizopita. ...
null
## Ni wazi kumekuwa na malalamiko mengi sana kuhusiana na bando za simu. Malalamiko mengi yamekuwa yakihusina na bando la internet.. kwamba wateja wanaweka bando hizo na zinawahi kuisha. TCRA na wizara husika zina tamko gani? Malalamiko hayo hayo yamekuwa yakihusisha makampuni yanayotoa huduma hizo (mfano tigo, airte...
null
### Virusi vya Corona vimekuwa tishio kwenye mataifa mengi duniani ikiwemo Tanzania na hali hiyo imesababisha shughuli mbalimbali kusitishwa angalau kwa kipindi cha mwezi mmoja lakini janga hilo halijatuzuia kutumia vifaa vyetu vya kidijiti. Je, tutasalimika? Ni siku mbili sasa tangu taifa la Tanzania kupitia mamlaka ...
null
### Gharama za mawasiliano ni nafuu lakini zinakuwa ni rahisi zaidi iwapo unakuwa unatumia kadi ya simu iliyounganishwa kupata huduma za kipekee (tofauti na nyningine) au kwa lugha iliyozoeleka “Laini za chuo” ambazo huwa zinakuwa zina vifurushi vinavyolenga kumrahishia mawasiliano huyu anayeitumia lakini hasa mwanafun...
null
### Kwa miaka kadhaa sasa nchini Tanzania idadi kubwa ya watu wanashiriki kwenye michezo ya kubashiri na anayebahatika anajishindia zawadi mbalimbali. Michezo hiyo imeongeza ukaribu baina ya makampuni husika hivyo basi kutanua wigo wa biashara. Kila leo wapo washindi wanaojishindia fedha taslimu, pikipiki, n.k jambo ...
null
BIKOMichezo ya kubashiriMitandao ya SimuTanzania BIKO na Vodacom Tanzania wakubalina kufanya biashara zaidi Mato Eric July 25, 2019 Kwa miaka kadhaa sasa nchini Tanzania idadi kubwa ya watu wanashiriki kwenye...
null
BIKOMichezo ya kubashiriMitandao ya SimuTanzania BIKO na Vodacom Tanzania wakubalina kufanya biashara zaidi Mato Eric July 25, 2019 Kwa miaka kadhaa sasa nchini Tanzania idadi kubwa ya watu wanashiriki kwenye...
null
### Katika ulimwengu wa sasa mtindo wa kutembea na pesa nyingi mfukoni si kitu kizuri kabisa na mbadala wake umekuwa makampuni ya mitandao ya simu halidhalika taasisi za fedha. Ndio, na hivi sasa wateja wa Vodacom Tanzania hasa M-Pesa wanafurahi sasa. KIla sekunde inayopita basi kuna mahali muamala wa pesa unafanyika...
null
M-PesaMitandao ya SimuTanzaniaTeknolojia Vodacom na TPB kusaidia wateja wanapopungukiwa na salio Mato Eric July 11, 2019 Katika ulimwengu wa sasa mtindo wa kutembea na pesa nyingi mfukoni si kitu... IntanetiM-PesaMitandao ya SimuTanzaniaTeknolojia Kwa ushirikiano na MasterCard, sasa lipia malipo ya mtandaoni kwa kupit...
null
### Gharama za mawasiliano ni moja ya sababu ambazo zinawafanya watu kuhama/kuwa na kadi za simu kutoka mitandao tofauti tofauti na mwisho wa siku unakuwepo ushindani kuhakikisha kila mtu anavutia wateja kwa namna yake. Airtel Tanzania imekuwa ikitoa huduma za mawasiliano mijini na vijini kwa miaka mingi sasa na imek...
null
### Umaarufu wa shirika la mawasiliano nchini Tanzania, TTCL umeongezeka mara dufu katika miaka miaka ya karibuni ukilinnganisha na muongo mmoja uliopita. Idadi ya watumiaji wa kadi za simu-TTCL inatazamiwa kuongezaeka baada ya kuwa ni LAZIMA kwa watumishi wa serikali kutumia mtandao huo wa simu. TTCL ambayo inaoneka...
null
Mwezi Novemba mwaka jana zilitoka taarifa kuhusu ushirikiano kati ya VISA na... Halotel kupitia HaloPesa wameendelea kufikiria siku hadi siku ili kufikia lengo... Kampuni ya Halotel imetangaza kuondoa gharama za kutuma fedha huku ikiwazawadia... Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari na Halotel imesema hivi sasa ...
null
Wakati watanzania wakiwa wanaendelea kukumbushwa kuhusu kwenda kusajili upya... Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, TCRA imetoa tangazo kwa wateja wote wanaotumia... Moja ya siri kuhusu kufanikiwa kwenye biashara yoyote ile ni kuwa mbunifu na... Vodacom Tanzania wamekuwa wakija na huduma mbalimbali kama njia ya kuvutia...
null
Huduma ya ulipaji matibabu ya Safaricom, M-Tiba imetambuliwa ulimwenguni kama... Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), limetoa gawio la Tsh. 1.5 bilioni kwa... Karibu miongo miwili iliyopita simu za mezani zilikuwa zikitumika sana sehemu... Nyaakti za asubuhi, mchana mpaka jioni kasi ya intaneti kwa mitandao mingi...
null
## App hii ya Outlook Lite ni mahususi kwa simu za Android ambazo zinatumia hazina uwezo mkubwa au zina matumizi madogo ya intaneti. Wakati App hii, Outlook Lite imetangazwa kama iko njiani kuja tuliandika kuhusu jambo hilo >>HAPA<< hebu pitia tena. Hapa hakuna kitu cha kushangaza sana kwani App hii ni kama App ile ...
null
### Siku hazilingani na kila kitu kina changamoto zake. Watumiaji wa soko la Coinbase wameonja shubiri ambayo haikutegemewa hata kidogo na hii inafuatia mara baada ya kupokea ujumbe uliowashtua. Daima teknolojia haijaacha kuwa na panda shuka kwa maana ya changamoto mbalimbali ambazo zimekuwa zikipatiwa ufumbuzi. *Coin...
null
### Katika njia mojawapo ya kufanya mawasiliano na mtu yeyote na popote duniani ni kwa kutumia na barua pepe. Mbali na hilo matumizi ya simu janja ama vifaa vya kidijiti linafanya mtu aweze kutuma jumbe kwa urahisi na haraka zaidi. Kutokana na ukuaji wa teknolojia ambapo mtu anaweza akawa anatumia barua pepe (Yahoo, H...
null
### Kwa jinsi teknolojia ilivyokuwa na inavyozidi kukua si kitu cha ajabu kuona mtu akatumia picha jongefu kutoka mtandao wowote na kujifunza jambo fulani bila ya kupata msaada wa ana kwa ana. Mara nyingi wengi wetu tumekuwa tukipata changamoto sana pale tunapotaka kumtumia mtu picha mnato ambayo ni kubwa kuliko kiko...
null
### Google wanategemea kuja na maboresha makubwa ya kimuonekano na utendaji katika huduma yao ya barua pepe ya Gmail. Moja ya uwezo unaotegemewa ni mtu kuweza kutuma barua pepe zinazofutika baada ya muda flani. Maboresho ya kimuonekano yanakuja kwenye huduma mbalimbali za Google, hii ikiwa ni pamoja na huduma zingine ...
null
### Mawasiliano kwa njia ya barua pepe ni jambo ambalo limezoeleka na kutumiwa na wengi kasi cha kwamba kuamnika kutokana na uharaka wa kupata majibu kuhusiana na kile ulichowasiliana na mtu kwa barua pepe. Jambo la mtu mwingine kutumia barua pepe yako bila ya wewe kujua kwa njia ya udukuzi au mtu ameweza kujua nywil...
null
### Hata wajanja wanaweza danganyika. Imefahamika rasmi ya kwamba makampuni nguli ya mtandao, Google na Facebook waibiwa mabilioni kupitia wizi wa mtandao. Katika kipindi cha miaka miwili Google na Facebook walijikuta wakilipa kiasi cha takribani dola milioni 100 za kimarekani kwa mwizi mmoja baada ya kufanikiwa kudan...
null
### Gmail imekuwa ni chaguo la kwanza la wengi katika swala zima la matumizi ya barua pepe, licha ya hivyo bado mtandao una zaidi wa watumiaji bilioni moja. Hilo likiwa katika akili yako, kumbuka unaweza kuutumia mtandao hup kwa urahisi kabisa kwa kutumia njia njia za mkato na ujanja ujanja flani ambao kwa namna moja...
null
### Inaweza ikawa hatuwezi kujitumia ushauri kwa matendo yetu mabaya tuliyofanya zamani lakini teknolojia imefanya tuweze kujitumia barua pepe katika miaka kadhaa ijayo Barua pepe hii sio lazima itufikie sio bali tunaweza hata kuwatumia watu wengine mbalimbali. Usije ukashangaa mtu katangulia mbele za haki miaka kadh...
null
### Gmail ni njia nzuri zaidi ya kusoma barua pepe. Ukiachana na hili ndio njia ambayo inatumika na watu wengi katika kutuma na kupokea barua pepe zaidi duniani ukilinganisha na huduma zingine kama vile Yahoo. Kama unavyojua baadhi yetu tuna vyanzo vingi sana vya kusoma barua pepe zetu. Vyanzo hivi viko tofauti tofau...
null
### Ukiangalia kwa siku tuu mtu unaweza pokea barua pepe nyingi sana za spam au zile ambazo huna mpango nazo (hazihitajiki). Unaweza ukawa unapokea namba kubwa sana ya barua pepe hizo lakini hivi haufikirii kuwa Inbox yako haitakiwa kupagha ghadhabu hiyo ya kupata zile usizokuwa na mango nazo? Bila ya kushangaa hivi ...
null
### Bwana Ray Tomlinson mgunduzi rasmi wa teknolojia ya barua pepe afariki dunia akiwa na umri wa miaka 74. ### Kuna uwezekano umetumia huduma ya barua pepe kwa miaka mingi bila kumfahamu mtu aliyekuja na njia hii ya mawasiliano. Marehemu Ray Tomlinson ndiyo aliyekuja na njia hiyo ya mawasiliano **mwaka 1971** – iki...
null
### Barua pepe (E-mail) ni njia nzuri sana ya kuwasiliana na inatumika sana katika kuwasiliana kibiashara. Ni vigumu sana kujua kama barua pepe yako imesomwa kama usipopata majibu ya aina yeyote kwa yule uliemtumia. ### Kama ulikua unaisubiria kwa hamu barua pepe kutoka upande wa pili alafu ukaona haiji lazima utakuw...
null
AirtelBarua pepeBISBlackberryIntanetisimuTanzania Airtel: Wapanga Gharama Raisi Zaidi Kwa Ajili ya Blackberry! teknokona August 17, 2012 Kampuni ya mawasiliano ya Airtel imeleta mfumo wa malipo raisi zaidi kwa ajili... Barua pepeFacebookteknokona Facebook Wazidi Kulaumiwa! teknokona July 2, 2012 Tulishaandika kuhusu u...
null
## Kuna muda una mengi ya kuongea katika mtandao wa kijamii lakini unaishia kusema kwa uchache kulingana na uchache wa maneno ambao umewekwa katika mtandao husika, kwa upande wa Twitter blue kidogo hili limebadilika. Twitter Blue ni huduma ya Twitter ambayo ni ya kulipia na inakua na utofauti kidogo ukilinganisha na ...