text stringlengths 1 1.32k |
|---|
alisema mgawanyo wa wilaya hiyo utahusisha mkoa wa kipolisi wa tarime na rorya ambapo kila wilaya itakuwa na mikoa mitatu ya kipolisi na sasa wapo katika hatua za mwisho kupeleka maofisa katika mikoa hiyo |
wakati huo huo mfanyabiashara maarufu wa simu za mkononi bwana zahoro hamis ametoa msaada wa simu za mkononi kumi sifuri kwa jeshi la polisi ili kusadia mawasiliano katika eneo lenye mgogoro la tarime na rorya |
simu hizo UNK jana kwa kamanda mwema zina thamani ya zaidi ya shilingi milioni nne |
UNK UNK milioni tisa meneja uhusiano wa mgodi wa dhahabu wa north mara uliopo nyamongo wilayani tarime juzi alivamiwa na watu wanaodaiwa kuwa majambazi na UNK vitu mbalimbali vyenye thamani ya shilingi milioni tisa moja akizungumza na majira kwa njia ya simu jana kaimu kamanda wa polisi mkoani mara stephano buyuya ali... |
bwana buyuya lisema kuwa janese alikumbwa na mkasa huo asubuhi wakati akitaka kuingia ofisini kwake baada ya kuegesha gari yake |
alisema meneja huyo alivamiwa na watu wali waliokuwa na mapanga na marungu na kufanikiwa kumnyangganya kila kitu alichokuwa nacho ndani ya begi lake zikiwemo dola mia nne na sabini za marekani |
pia alisema baadhi ya vitu UNK ni pamoja na simu ya mkononi kamera moja ya video na kompyuta iliyokuwa na kumbukumbu za ofisi yake na baadhi ya mambo ya UNK |
alisema kuwa majambazi hayo UNK baada ya tukio na polisi inaendelea na msako huo |
baada ya tukio hilo meneja huyo alipelekwa hospitali ya tarime kwa matibabu tukio hilo limekuja siku moja baada ya watu wawili kuuawa katika mapigano ya wananchi na polisi baada ya kutaka kuvamia mgodi huo na kufanya uhalifu wa kuiba dhahabu |
spika wa bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania bwana samuel sitta UNK mbunge wa kigoma kaskazini bwana zitto kabwe kuadhibiwa mbali ya shinikizo kubwa kutoka kwa baadhi ya wabunge kutaka achukuliwe hatua kwa kukaidi kauli ya mwenyekiti wa bunge bwana zuberi ali maulidi hivi karibuni |
akizungumzia suala hilo bungeni jana spika sitta alisema bwana zitto UNK kanuni yoyote ya bunge UNK kufuta kauli yake ingawa kimsingi na taratibu mbunge alipaswa kufuata kanuni na sheria na si kubishana na kiti kama UNK |
bwana sitta alifafanua kuwa kwa kuzingatia msingi huo juni ishirini na nne mwaka huu bwana zitto hakuathiri kanuni yoyote kwa matamshi yake kwamba naibu waziri alijibu ovyo ovyo |
baada ya spika kutoa kauli hiyo mmoja wa wabunge alisimama na kuomba mwongozo wake akidai adhabu aliyopewa ni ndogo na kuwa hailingani na kosa alilofanya bwana zitto |
kutokana na kauli hiyo spika sitta aliendelea kusimamia kauli yake akisema zitto hakuathiri kanuni yoyote ya bunge tatizo ni kwamba aliendelea kukaidi maagizo ya kiti kwa hiyo atatakiwa aombe radhi na shauri litakuwa limekwisha alisema spika sitta |
hata hivyo alisema kuwa kwa mjibu wa kanuni ya sitini na saba spika anaposimama wakati mbunge anachangia mbunge huyo anapaswa kuketi mahali pake na bunge linatakiwa libaki kimya ili spika aweze kutoa maelekezo au taarifa UNK kuitoa |
aidha spika anawajibika kutilia nguvu kanuni za bunge na anaweza kumtaka mbunge yeyote UNK utaratibu UNK |
alisema kwamba kitendo cha bwana zitto kuendelea kusimama na kubishana na kiti si cha kukubalika aliongeza kuwa kitendo hicho kinatoa UNK mbaya kwa jamii |
alifafanua kuwa bwana zitto alikuwa anaelezea hisia zake na kwa mujibu wa kanuni za bunge spika hana mamlaka ya kumzuia mbunge UNK hisia zake |
aidha spika sitta aliwataka wabunge kujijengea uwezo wa kuhimili mijadala mizito ya kisiasa na UNK kunyanyaswa pindi wabunge wanapotoa hisia zao |
wabunge wanakazi ngumu ya kuwawakilisha wananchi wao na wakati mwingine hulazimika kuwa wakali pale utekelezaji UNK kutekelezwa kwa wakati hasa kwa uzembe wa baadhi ya watendaji alisema |
hata hivyo bwana sitta alisema kuwa kitendo cha kumwadhibu mbunge kutokana na kuonesha hisia zake kinapaswa kuangaliwa kwa undani kujua mbunge alikuwa katika hali na wakati gani |
kuna baadhi ya wabunge wamekuwa wakilalamikia mambo kadhaa kwa serikali bila kupata ufumbuzi wa aina yoyote kwa miaka mitatu hivyo mbunge kama huyo hana budi kuonesha hisia zake ili wapiga kura wake waridhike na uwakilishi wake bungeni |
alisema bwana sitta |
hata hivyo alisema kuwa kanuni za bunge zimewekwa wazi kuwa mbunge yeyote ambaye UNK na uamuzi wa spika anaweza kuwasilisha sababu za kutoridhika kwake kwa katibu wa bunge ambaye atawasilisha malalamiko kwa kamati ya kanuni kupitia kwa spika |
akifafanua zaidi kuhusu lugha ya kuudhi alisema katika mabunge mengi duniani kanuni za mijadala zinazuia matumizi ya lugha za kuudhi kwa maeneo mengine lugha isiyo kuwa ya UNK |
alisema kwamba katika kanuni za bunge la tanzania kanuni ya sitini na nne UNK mambo yasiyoruhusiwa bungeni katika UNK |
aliyataja mambo hayo kuwa ni pamoja na kutotumia lugha ya kuudhi au UNK watu wengine ambayo ipo katika kanuni ya sitini na nne |
alisema uamuzi wa maneno gani ni ya kuudhi na yapi siyo ya kuudhi upo ndani ya mamlaka ya kiti uamuzi huo huzingatia hali halisi ya mjadala hulka ya mbunge mchangiaji na utamaduni wa mbunge huyo |
hata hivyo bwana sitta alifafanua kuwa ni jambo la kawaida kuwa katika mazingira ya pekee pale ambapo mjadala UNK moto mzungumzaji anaweza kujibu kwa akitumia maneno makali |
katika hilo alisema kuwa wabunge pamoja na mawaziri ni binadamu na wanaweza kuwa na hisia kali katika mambo UNK |
kwa hiyo kutafsiri kanuni hiyo UNK maneno ya kuudhi kwa wigo UNK kunaweza kuathiri uhuru wa UNK uliopo katika ibara ya kumi sifuri ya katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania |
isitoshe bunge ni uwanja wa siasa za ushindani ambapo katika kutetea maslahi ya UNK migongano ya UNK na hata ya lugha haiwezi UNK UNK wabunge wazungumze bungeni mithili ya mashahidi mahakamani utakuwa umeondoa ladha ya mijadala bungeni |
alisema kuwa ipo mifano kadhaa katika mabunge UNK ambapo katika mazingira hayo wabunge wamenukuliwa wakitoa maneno makali kwa tafsiri finyu unaweza kuita ni ya kuudhi au hata ya matusi |
alisema kwamba mathalani katika bunge la new zealand baadhi ya wabunge katika nyakati tofauti wamenukuliwa katika hansard wakitamka maneno yafuatayo bila kuchukuliwa hatua alisema mwaka elfu moja na mia tisa na arobaini na tisa baadhi ya mawaziri walitajwa kuwa ni sungura UNK na wasio na maamuzi ya kujitegemea wakati ... |
mwaka huo huo mbunge mmoja alimweleza mbunge mwingine kuwa ni UNK UNK akirejea kutoka kwenye mazishi |
akiongeza mifano zaidi alisema mwaka elfu moja na mia tisa na sitini na sita wakati mbunge mmoja akichangia hoja baadhi ya wabunge walimpigia kelele kuwa amalize na kukaa chini mbunge huyo aliwajibu UNK mdomo mwenyewe sokwe mkubwa |
alisema hata katika house of UNK mijadala UNK moto maneno makali hutumika alisema kwa mfano mwaka elfu moja na mia nane na arobaini na sita bwana benjamin UNK alimshambulia waziri mkuu sir robert UNK kwa kumwambia kuwa miaka thebathini na arobaini waziri huyo ameishi kwa kutumia mawazo na akili za wenzake na maisha ya... |
habari hii imeandaliwa na pendo mtibuche na peter masangwa na shukrani UNK mkuu wa jeshi la ulinzi la afrika kusini jenerali godfrey ngwenya ameishukuru tanzania kwa mchango wake mkubwa katika ukombozi wa bara la afrika |
taarifa iliyotolewa jana na kurugenzi ya mwasiliano ikulu ilisema jenerali ngwenya alitoa shukrani hizo baada ya kukutana na rais jakaya kikwete ikulu dar es salaam |
tanzania ilitoa mchango mkubwa siyo tu katika ukombozi wa afrika kusini bali katika kulikomboa bara la afrika jenerali alimwambia rais kikwete |
alimwambia rais kikwete jinsi afrika kusini UNK mchango wa tanzania katika ukombozi wa afrika kusini na nchi nyingine hasa zile za kusini mwa afrika |
UNK tanzania kwa kweli tunarudi nyumbani |
UNK hapa UNK sote hapa iwe ni anc pac UNK UNK zanu kila mtu alikuwa hapa alisema jenerali ngwenya na kuongeza tunashukuru na kutathmini mchango wa tanzania katika kutuwezesha kufikia malengo yetu alisema jenerali ngwenya katika mazungumzo hayo UNK pia na mkuu wa majeshi wa tanzania jenerali davis UNK |
naye rais kikwete alimweleza jenerali ngwenya kuhusu hatua zinazochukuliwa na serikali kuhifadhi historia ya ukombozi na vyama vya ukombozi kama ilivyotokea katika tanzania |
shughuli zote za vyama vya ukombozi kusini mwa afrika UNK pale kongwa kabla ya kusambaa katika maeneo mengine ya nchi yetu hii ni historia ya heshima sana katika nchi na bara letu hivyo tutahakikisha kuwa UNK historia hiyo alisema rais kikwete |
aliongeza kuwa kama inawezekana vyama UNK uhuru kutokea tanzania na serikali ya tanzania vinaweza kwa pamoja kuanzisha aina ya taasisi ya elimu ambayo itaendeleza historia hiyo yenye heshima kubwa |
thomas dominick na benjamin masese wafanyakazi wa kampuni ya reli tanzania wamepinga kauli ya waziri wa miundombinu daktari shukuru kawambwa juu ya utendaji kazi wa kampuni hiyo |
walisema hayo jana dar es salaam kupitia katibu mkuu wa trawu bwana sylvester rwegasira wakati akizungumza na waandishi wa habari juu ya kauli ya daktari kawambwa aliyoitoa hivi karibuni bungeni akisifu utendaji kazi wa trl akitoa msimamo wa wafanyakazi wa shirika hilo bwana rwegasira alisema taarifa ya daktari kawamb... |
majibu ya kawambwa si sahihi hata kidogo kwani shirika hili linakabiliwa na madeni makubwa na uendeshaji wake bado ni mbovu kabisa lakini pia utendaji nao bado si mzuri wafanyakazi wanakata tamaa kabisa kwani walikuwa UNK wakijua kuwa serikali tayari imebaini tatizo la kampuni hiyo alisema bwana rwegasira na kuongeza ... |
bwana rwegasira alisema kuwa majibu ya daktari kawambwa ni ya kushangaza kwa kuwa mambo mazito UNK kuwa mepesi kama kuishiwa mafuta katika injini ya gari moshi la abiria ambapo alidai kuwa lilikuwa ni tatizo la kiufundi |
waziri anashangaza kwani kampuni za mafuta UNK kukopesha tena mafuta katika kampuni hii lakini yeye anasema eti lilikuwa ni tatizo la kiufundi |
hatuelewi hii kampuni ni kwa nini UNK namna hii huku ikiwa haina uwezo wa kujiendesha na matokeo yake wafanyakazi wanaendelea kupata tabu alisema |
akizungumzia mapato na matumizi ya shirika hilo bwana rwegasira alisema kuwa wastani wa mapato yanayopatikana kwa mwezi ni shilingi bilioni tatu nne na matumizi ni zaidi ya shilingi bilioni nne tano hivyo kuwepo utofauti mkubwa kati ya mapato na matumizi |
alisema kuwa mbali na mapato hayo kuwa kidogo theluthi ya mapato hayo hupelekwa nchini india kwa ajili ya malipo ya injini mabehewa na menejimenti UNK kutoka huko |
kwa mtindo huu wa trl wa kutolipa madeni itafika mahali mzigo huu UNK na serikali ambayo imeonesha wazi kuikumbatia alisema bwana rwegasira |
bwana rwegasira alisema kuwa matatizo mengi yanayojitokeza katika uendeshaji wa shirika hilo UNK kuwa unatokana na mkataba mbovu ambao haukuzingatia maslahi ya taifa na kutoa mwanya mkubwa kwa mwekezaji kujifanyia anavyotaka |
UNK serikali mahakama kuu na gladness mboma walimu kumi na tano wilayani bukoba vijijini mkoani kagera UNK viboko na aliyekuwa mkuu wa wilaya ya bukoba bwana UNK mnali UNK serikali mahakamani wakitaka kulipwa fidia ya shilingi bilioni tatu |
akizungumza na gazeti hili kwa njia ya simu katibu wa chama cha walimu tanzania mkoa wa kagera bwana aron masalu alisema hatua hiyo imekuja baada ya serikali kushindwa kujibu notisi ya siku tisini ambayo ilitolewa na chama hicho |
tumefungua kesi tayari UNK kulipwa shilingi bilioni tatu na kinachosubiriwa sasa ni kupangiwa jaji wa kuisikiliza |
tunataka kupata haki yetu alisema bwana UNK |
alisema kuwa kesi hiyo imefunguliwa katika mahakama kuu ya tanzania kanda ya bukoba ambako tukio hilo lilitokea na kila mwalimu anadai fidia ya shilingi milioni ishirini sifuri naye naibu katibu mkuu wa cwt bwana ezekiah oluoch alisema caha hicho kimeamua kuchukua hatua ya kufungua kesi hiyo kutokana na serikali kushi... |
hawakutaka kujibu notisi wala kutuita kwa kufanya mazungumzo ya kuangalia namna gani wangeweza kuwalipa walimu hao fidia uamuzi UNK ni wa kwenda mahakamani alisema bwana oluoch |
alifafanua kuwa walimu hao wanastahili kulipwa fidia hiyo kutokana na udhalilishwaji uliofanywa na aliyekuwa mkuu wa wilaya hiyo bwana mnali ambaye alishirikiana na koplo wa jeshi la ulinzi la wananchi kuwacharaza viboko walimu |
bwana oluoch alisisitiza kuwa viongozi wanaotakiwa kubanwa katika fidia hiyo ni katibu mkuu wizara ya ulinzi na jeshi la kujenga taifa kwani ndiye mwajiri wa koplo UNK amri ya UNK viboko pamoja na waziri mkuu kutokana na wakuu wa wilaya kuwa chini yake |
hivi karibu walimu kumi na tano wa shule za msingi wa bukoba vijijini UNK viboko na aliyekuwa mkuu wa wilaya ya bukoba kwa madai ya kusababisha wilaya hiyo kufanya vibaya katika mitihani ya kumaliza elimu ya msingi mwaka jana |
hatua hiyo UNK serikali na rais jakaya kikwete UNK kazi mara moja bwana mnali baada ya tukio hilo |
na john daniel dodoma spika wa bunge bwana samuel sitta amepokea taarifa ya kamati ya bunge iliyokwenda wilayani tarime mkoani mara kuchunguza hali tete ya mazingira ya mgodi wa north mara unaomilikiwa na kampuni ya barick na kudaiwa kusababisha madhara kwa watu na mifugo |
vyanzo vyetu vilieleza kwamba spika sitta alipokea taarifa hiyo saa tano asubuhi katika ofisi yake ndogo ndani ya jengo la bunge kwa masikitiko kutokana na kile kinachodaiwa hali mbaya iliyoshuhudiwa na kamati hiyo ambayo ni tofauti na taarifa zilizokuwa zikitolewa awali na viongozi mbalimbali wa kampuni hiyo na wale ... |
wiki iliyopita mwenyekiti wa kamati alikutana na mheshimiwa spika kumpa muhtasari wa ziara yao kwa ufupi si kumpa taarifa kama ilivyodaiwa na baadhi ya vyombo vya habari ilikuwa ni kumpa tu hali halisi wakati walipokuwa wanamalizia ripoti yao spika UNK ampe taarifa UNK baada ya wao UNK na leo hii kabla hajaondoka na t... |
akizungumza na majira kwa njia simu spika sitta alikiri kupokea taarifa hiyo na kueleza kwamba hawezi kuzungumzia lolote kwa kuwa hakupata nafasi ya kuipitia kutokana na muda kwa kuwa amekabidhiwa saa tano asubuhi muda mfupi kabla ya kuanza safari yake nje ya nchi |
ni kweli leo saa tano asubuhi kamati iliyotumwa na bunge kwenda tarime UNK taarifa yao si rahisi kuzungumzia lolote leo kwa kuwa ni ndefu na ina viambatanisho vingi lakini siku chache zijazo UNK na kujua kila kitu |
unajua bado kuna baadhi ya taarifa UNK kutoka ofisi ya mkemia mkuu wa serikali ambaye pia alikuwa katika ziara ya kamati ya bunge UNK taarifa ya vile vipimo na nyaraka zote kamati ya uongozi itaamua nini kifanyike alisema spika sitta |
alipoulizwa kama taarifa hiyo itajadiliwa na bunge kwa kuwa wananchi wana shauku kujua kilichopo ndani alisema yeye kama kiongozi muwazi haoni sababu taarifa hiyo UNK na bunge |
kamati ya uongozi itaamua nini cha kufanya lakini katika dunia ya utandawazi na utawala bora hakuna cha kuficha ni muhimu kwa bunge kulijadili na kama kuna tatizo lolote tutazungumza na serikali ili kulipatia ufumbuzi mzuri tu alisema bwana sitta |
kuhusu ziara yake alisema amealikwa nchini nigeria kama kiongozi mkuu wa mabunge ya jumuiya ya madola na baadaye atakwenda UNK UNK kwa shughuli za kikazi |
salum pazzy na aziza masoud katika hali isiyokuwa ya kawaida waziri wa nishati na madini bwana william ngeleja jana alipokewa kwa mabango na wakazi wa ubungo kisiwani wakishinikiza kulipwa fidia zao mara moja kutokana athari za mitambo iliyopo eneo hilo |
kizaazaa hicho kiliibuka wakati waziri huyo alipofika eneo hilo kwa ajili ya uzinduzi wa mtambo wa kusindika gesi asilia unaoendeshwa kwa ushirikiano wa shirika la maendeleo ya petroli na kampuni ya nishati afrika |
akizungumza kwa niaba ya wakazi hao mbele ya bwana ngeleja mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa ubungo kisiwani bwana UNK manyotondimbo alisema kuwa kutoka na athari zitokanazo na uwepo wa mitambo ya umeme na gesi katika eneo hilo tangu desemba ishirini sifuri tatu serikali iliahidi kuwalipa fidia ili wahame katika eneo ... |
aliongeza kuwa kutokana na uamuzi huo wakazi hao UNK na serikali kwani UNK katika mpango wa serikali wa leseni za makazi na hawawezi kuendesha shughuli za kiuchumi hali inayowafanya waishi kama wakimbizi katika eneo hilo |
tangu mwaka ishirini sifuri nne UNK katika eneo hili UNK suala letu hadi kwa waziri mkuu na tamisemi lakini UNK na sasa tunaambiwa wizara ya nishati na madini ndiyo inashughulikia suala letu kwa kuwa leo umekuja tumeamua kutumia nafasi hii kufikisha ujumbe wetu kwani tumechoka kusubiri alisema |
aidha bwana manyotondimbo alisema kuwa wakazi hao wanapata athari nyingi ikiwa ni pamoja na majengo yao kupata nyufa kelele joto hewa chafu na kushindwa kupangisha nyumba zao hivyo hawanufaiki kiuchumi kama wananchi wengine |
hali hiyo UNK bwana ngeleja kufanya kazi ya ziada kuwatuliza wakazi hao waliokuwa na jazba huku wakionesha mabango yenye ujumbe UNK serikali juu ya hatma yao ambapo walidai kuwa serikali imekuwa UNK UNK wakati tathmini ya nyumba zao UNK zaidi ya miaka minne iliyopita |
UNK wakazi wa eneo hili kwani UNK changamoto kwani hata sisi huwa UNK ni kweli tatizo lenu ni la muda mrefu tatizo ni uhaba wa bajeti kwa hiyo serikali inaangalia uwezekano wa kupata fedha kutoka vyanzo mbalimbali na tunashirikiana kwa ukaribu na mbunge wenu bwana charles keenja muwe na subira majibu UNK yeye alisema |
hata hivyo wakazi hao walionesha kutoridhika na majibu ya bwana ngeleja ambapo waliendelea kuzomea huku wakisema hawamtambui bwana keenja kwani tangu wamchague mwaka ishirini sifuri tano hawajawahi kumuona jimboni na kuongeza kuwa mwakani UNK kura zao |
wakati huo huo bwana ngeleja alisema kuwa uzinduzi wa mitambo hiyo ni hatua ya juu katika kuendeleza matumizi ya nishati nchini ambapo utasaidia kuokoa fedha nyingi za kigeni na kuepuka uharibifu wa mazingira |
aidha bwana ngeleja UNK UNK na pat kwa juhudi zao katika UNK maendeleo ya nishati nchini ambapo mradi huo utawezesha matumizi ya nishati ya gesi kwa matumizi ya magari na ya nyumbani |
aliongeza kuwa mtambo huo una uwezo wa kuzalisha megawati mia mbili na tisini na moja na UNK ya shilingi bilioni tatu na awamu ya pili ya mradi huo itagharimu shilingi bilioni thebathini ambapo utapunguza matumizi ya mkaa kutoka magunia thebathini sifuri sifuri sifuri zinazotumika sasa kwa siku hadi kufikia chini ya m... |
na john daniel dodoma waziri mkuu mizengo pinda ametoa ufafanuzi kuhusu suala la uanzishwaji wa mahakama ya kadhi nchini na kuliambia bunge kuwa si busara kwa serikali kutumia fedha zake kuendesha chombo hicho |
tumeona si busara sana kwa suala hili kuanzishwa na serikali kwa kuwa ni la kidini ni vizuri wao wenyewe UNK serikali itafanya kila linalowezekana ili kusaidia UNK lakini si vizuri dola kutumika kuianzisha kwa kuwa ni ya kidini alisema bwana pinda |
akijibu maswali ya papo kwa papo bungeni jana waziri mkuu alisema kuwa vichwa vya habari vya magazeti mbalimbali nchini ndicho chanzo cha upotoshwaji wa mchakato huo hivyo kuzua hofu kubwa kwa UNK |
alisema kimsingi serikali ilikuwa inaendelea na mchakato si kuzika suala hilo kama ilivyoripotiwa na ilivyotafsiriwa hapo awali |
baada ya swali lile kuwasilishwa hapa bungeni zile UNK zilionesha pia tofauti kweli lakini UNK ni kwamba tumeunda kamati na UNK waislamu nao waunde kamati ili kamati hii UNK kazi ya kuangalia uanzishaji wake |
lakini si kweli kwamba tulisema hatuwezi kuanzisha mahakama hii wala UNK hivyo serikali UNK tatizo na jambo hili |
alisema alipokutana na viongozi wa dini hiyo chini mufti shaban bin simba walifikia muafaka mzuri na kumweleza mufti nia ya serikali kuhusu jambo hilo na kuwaomba waislam watulie wakati mchakato ukiendelea |
naye mbunge wa mkanyageni bwana mohamed habib mnyaa aliuliza swali la aina yake pale alimtaka waziri mkuu kueleza kama kuna amiri jeshi wakuu wawili nchini kwa madai kwamba katiba ya tanzania visiwani itambue kuwepo kwa vikosi vya smz huku rais amani abeid karume akipigiwa mizinga ishirini na moja na vikosi hivyo |
akijibu swali hilo waziri mkuu alisema jamhuri ya muungano wa tanzania ina jeshi moja tu la ulinzi na amiri jeshi mmoja tu ambaye ni rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania |
kuhusu tamko la chama cha walimu tanzania kutishia kufanya tukio la kihistoria mbunge wa viti maalum bibi suzan lyimo aliitaka serikali kutoa kauli kuhusu tishio hilo linalohusu ucheleweshaji wa malipo ya madai mbalimbali ya walimu nchini |
akijibu swali hilo waziri pinda alisema serikali UNK walimu kuendelea kuwa wavumilivu wakati mchakato wa kuwalipa unaendelea na kuonya kuwa mgomo si suluhisho la matatizo |
nataka UNK walimu kuwa mgomo si suluhu ya matatizo yao ni kuwaumiza tu wanafunzi malipo ya madai yao yapo katika bajeti hii lakini pia serikali haijatulia wapo waliolipwa na wale ambao bado ndio wamo kwenye bajeti hii mimi UNK tu wavute subira alisema waziri mkuu |
UNK miguu mtoto aliyekuwa akioga na juddy ngonyani mpanda katika hali isiyokuwa ya kawaida askari wa kikosi cha usalama barabarani wilaya ya mpanda mkoani rukwa pc omary amenusurika kufa baada ya kupinduka mtoni wakati akiendesha gari UNK dereva mmoja akimtuhumu kufanya makosa |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.