text
stringlengths
1
1.32k
wakizungumza na majira dar es salaam jana wafanyabiashara hao walisema wameamua kusitisha huduma hiyo kutokana na bei UNK wao kuwa juu huku wao UNK kupandisha bei
vocha zimepanda kutoka shilingi mia nne na hamsini hadi shilingi mia nne na tisini katika maduka ya jumla tofauti na ilivyokuwa awali hivyo haiwezekani tukafanya biashara kwa faida ya shilingi kumi kinachotakiwa bei UNK kuanzia kwa mawakala alisema muuzaji wa reja reja bwana sadiki ndege
alisema kuwa wao kama wauzaji wadogo wanashindwa kuelewa nani mkweli kuhusu bei halisi ya vocha hizo hivyo kuzitaka kampuni husika kubainisha bei halisi za vocha zake
alisema bei za jumla UNK na mawakala ni vodacom shilingi mia nne na tisini tigo shilingi mia nne na themanini na tano zantel shilingi mia nne na themanini na zain shilingi mia nne na themanini na tatu ambapo faida ni kati ya shilingi kumi hadi ishirini naye mteja mwingine bwana godfrey emanuel alisema wamelazimika kua...
sisi UNK kampuni za simu kwani UNK kabisa kiwango kilichopanda na hata risiti za mawakala zinaonesha lakini wao wameshindwa UNK badala yake UNK alisema bwana emanuel
wakili wa maarufu wa kujitegemea profesa abdallah saffari amesema kuifananisha makahama ya kadhi na sheria za afrika ya kusini UNK uislam na waisalam wote nchini
kauli ya kufananisha mahakama hiyo na ile ya afrika ya kusini ilitolewa na waziri wa katiba na sheria bwana mathias chikawe wakati akiwasilisha bajeti ya wizara yake katika mkutano wa bunge unaoendelea mjini dodoma hivi karibuni
bwana chikawe alisema serikali itaingiza sheria za dini ya kiislam katika mfumo wa sheria za nchi
uamuzi huo umefikiwa baada ya kumalizika utafiti wa tume ya kurekebisha sheria kuhusu uanzishwaji wa mahakama hiyo nchini
akizungumza katika kipindi cha mambo leo kinachorushwa na kituo cha kumi sifuri tano times fm jana profesa saffari alisema kuanzishwa kwa mahakama hiyo ni haki ya waislam kwani ilikuwepo tangu enzi za ukoloni
wakoloni walijua umuhimu wa mahakama ya kadhi UNK leo kuna watu wanapinga ieleweke kuwa haki ya waisalam haihitaji ridhaa ya wakristo na haki ya wakristo haihitaji ridhaa ya waislam alisema profesa saffari
alisema ukristo uliletwa na wakoloni wa kiingereza ambao walikuwa wanaijua vizuri dini hiyo lakini wakaamua kuanzisha mahakama ya kadhi na UNK kwa kujua umuhimu wake hadi hapo ilipokuja kuondolewa katika mfumo wa serikali baada ya uhuru
profesa safari alisema wanaopinga mahakama ya kadhi hawana hoja bali ni UNK UNK tangu enzi ya ukoloni ambayo imekuwa UNK hadi sasa
alisema chuki imekuwa ikisababisha kuwepo upendeleo wa wazi kwa upande wa wakristo ambao wamekuwa UNK katika nyanja zote muhimu na kuwaacha waislam wakiwa kama watoto yatima ambao hawajui ni wapi watapeleka madai yao
wakati shughuli ya uopoaji miili ya abiria wa ndege ya yemeni iliyoanguka jirani na kisiwa cha comoro na maiti kuonekana eneo la tanzania imekwama mabaki zaidi ya waliokufa yameonekana UNK eneo la mafia na rufiji
miili hiyo ilionekana jana eneo la mafia chini bahari kuu kitongoji cha twana na kijiji cha UNK kata ya UNK wilayani rufiji
taarifa iliyotolewa jana na mkuu wa wilaya ya mafia bwana manzie magonchie ilisema wameshindwa kuopoa miili hiyo baada ya kukosekana vitendea kazi
alisema amewaagiza wananchi wa eneo la twana kuhakikisha UNK miti maiti hao ili wasiendelee UNK na dhoruba hadi hapo vifaa vya uopoaji UNK
shughuli ya uopoaji ilikwama kuanzia juzi kutokana na helikopta ya kikosi cha uokoaji kutoka ufaransa kuharibika na ile tanzania kupelekwa matengenezo alisema bwana UNK
alisema wanatarajia kupata helikopta nyingine kutoka ufaransa kuendelea na kazi hiyo
bwana magonchie alisema hadi sasa kisiwani hapo kuna miili ya watu sita UNK na kufanya jumla yao hadi sasa kufikia ishirini na mbili tangu operesheni hiyo UNK
alisema miili iliyopo kisiwani hapo UNK wakati wowote kupelekwa dar es salaam kuunganishwa na ya awali
ndege ya shirika la yemeni ilianguka juni thebathini huu eneo la bahari ya hindi kilomita chache kutoka pwani ya comoro na kusababisha vifo vya watu mia moja na hamsini na tatu binti mmoja wa miaka kumi na nne ndiye abiria pekee UNK
chama cha wananchi kimesema msuguano unaendelea hivi sasa kati ya serikali na waislam nchini kuhusu mahakama ya kadhi ni UNK ya ilani ya kisanii na kibabaishaji ya chama cha mapinduzi katika uchaguzi mkuu uliopita mwaka ishirini sifuri tano profesa lipumba aliyasema hayo wilayani ilemela mkoani mwanza alipokuwa akihut...
profesa lipumba alimshambulia rais jakaya kikwete na ccm kwa maelezo kuwa waliandaa ilani ya kisanii na kibabaishaji ndio maana UNK dalili za mgogoro wa kidini
alisema mwaka ishirini sifuri tano katika kampeni za uchaguzi ccm chini ya mwenyekiti wake wakati huo bwana benjamin mkapa akisaidiwa na rais kikwete waliandaa ilani iliyoainisha kuleta maisha bora kwa watanzania na yenye ahadi nyingi zisizotekelezeka
walisema kuwa wataleta mahakama ya kadhi na ahadi kemkem kwa dini zote mpaka kufikia viongozi wa dini kudai kuwa rais kikwete ni chaguo la mungu na hii ni baada ya kuisoma ilani ya ccm lakini ajabu sasa walianza kufuta msamaha wa kodi kwa taasisi za dini na kutangaza bungeni kuwa hawawezi kuweka mahakama ya kadhi
sasa kama walijua hawawezi kuweka mahakama ya kadhi kwa nini UNK katika UNK
sasa badala yake imekuwa migongano viongozi wa dini wamegombana na serikali wanafunzi vyuoni wamegombana na serikali madaktari wamegombana na serikali walimu wamegombana na serikali wastaafu wamegombana na serikali alisema profesa lipumba
wakati huo huo wakazi wa wilaya ya ilemela mkoani mwanza wamesema vitendo vya mauaji ya vikongwe na walemavu wa ngozi mkoani hapa UNK na umasikini uliokithiri
wakazi hao walisema hayo jana wakati wakizungumza na mwenyekiti wa chama cha wananchi profesa ibrahimu lipumba baada ya kumpokea kwa ajili ya uzinduzi wa operesheni zinduka mkoani humo
walisema rasilimali za mkoa zingetumika vizuri wananchi wake wasingekuwa katika hali mbaya waliyonayo sasa lakini kutokana na kukosa uongozi makini rasilimali zote za UNK na wageni
hatuna kipato cha kutosha ndio maana UNK vitendo vya ajabu ajabu kama mauaji ya vikongwe na albino lakini wananchi hawa UNK kupitia UNK zao na kupata mahitaji muhimu hususan ya afya na elimu hali isingekuwa hivi alisema mkazi mmoja wa hapa bwana richard shija mkoa wa mwanza ni miongoni mwa mikoa mikubwa hapa nchini tu...
mbona wengi wetu tuko masikini sana
kuna soko la kimataifa la kirumba UNK mapato makubwa kila siku mapato haya yanakwenda wapi
mji wetu UNK na na mapato yanayopatikana alisema bwana richard akizungumza kwenye mapokezi hayo katibu mkuu wa cuf maalim seif shariff hamad alisema kuwa ni wakati wa kuzinduka kwa watanzania na kuachana na uongozi UNK na badala yake wajipange kuweka viongozi waadilifu madarakani
wamarekani hawalali na njaa watanzania wanalala njaa wamarekani wanasoma vizuri watanzania hawapati elimu bora wamarekani wanakula na kuvaa vizuri watanzania mlo wa kubahatisha na UNK mitumba iliyokwisha UNK na wenzenu lakini pamoja na mazuri waliyonayo walichagua mabadiliko na wakafanya kweli
basi na nyinyi UNK
fanyeni mabadiliko alisema maalim seif
alisema kuwa jiji la mwanza lina barabara maeneo ya katikati ya mji tu lakini UNK nje kidogo ya jiji unakutana na barabara mbovu hiyo yote ni kwa sababu ya rushwa na uongozi mbovu
UNK UNK waliofanya vurugu uchaguzi icc serikali ya kenya UNK koffi annan na mke wa mandela siku chache baada ya baadhi ya wabunge kushika bango kutaka rais mstaafu bwana benjamini mkapa afikishwe mahakamani kujibu tuhuma mbalimbali za ufisadi UNK yanazidi kumwandama kiongozi huyo safari hii UNK UNK wakenya kwenye maha...
kwa mujibu wa gazeti la the nation la mwishoni mwa wiki iliyopita wakenya UNK na hatua ya aliyekuwa katibu mkuu wa umoja wa mataifa bwana koffi annan na timu yake akiwemo bwana mkapa kukabidhi orodha ya siri majina ya watu wanaodaiwa kuhusika kwenye machafuko ya uchaguzi mkuu uliopita nchini humo
imedaiwa kwamba bwana annan hakufanya maamuzi hayo peke yake bali kabla ya kufikia uamuzi huo mzito UNK timu iliyofanya kazi ya usuluhishi wa mgogoro huo akiwemo rais mkapa na mke wa rais wa zamani wa afrika kusini bibi UNK UNK na kwa pamoja UNK kukabidhi majina hayo icc uamuzi wa bwana annan kupeleka majina hayo icc ...
vyama vikuu nchini humo vya orange democratic movement na kile cha national unity nia yao ilikuwa kumaliza tatizo hilo bila kutolewa adhabu kwa wahusika
ilidaiwa kwamba kitendo cha serikali ya kenya kutotii kikomo cha muda uliowekwa na timu ya viongozi wa afrika waliokuwa wakiendesha mchakato wa usuluhishi mwaka jana ndicho kilimfanya bwana annan kuchukua hatua hiyo ambayo imeonekana UNK serikali ya kenya
habari zaidi zimeeleza kuwa serikali ya kenya imechukua uamuzi wa kutuma ujumbe kwa bwana annan na kujaribu kufanya UNK ya moja kwa moja na mwendesha mashitaka wa icc bwana luis moreno ocampo kuangalia uwezekano wa kumaliza tatizo hilo kiungwana
pamoja na serikali ya kenya kukasirishwa na UNK bwana annan baadhi ya vyama vya siasa nchini humo UNK hatua hiyo na kutaka jambo hilo UNK haraka
katika kile kinachoonekana kuunga mkono hatua ya bwana annan vyama hivyo UNK mahakama hiyo kuanika haraka hadharani majina ya watu wote wanatuhumiwa kuhusika na vurugu za uchaguzi huo
vyama hivyo UNK kuwa zaidi ya arobaini vimeweka msimamo wao wazi kwamba wakati huu ni muafaka kwa wote waliohusika na machafuko hayo kuwekwa hadharani
wiki moja iliyopita mawaziri wa serikali ya kenya waliahidi kuanzisha mahakama ambayo UNK watuhumiwa wa kati na wadogo wanaohusishwa na vurugu hizo
hatua hiyo imekuja katika kipindi cha mwezi mmoja baada ya bwana annan kuipa muda hadi kufikia agosti mwaka huu kuanzisha mahakama hiyo maalum na kuonya kwamba UNK hivyo UNK majina hayo mahakama ya kimataifa ya uhalifu
adaiwa kuvamiwa hotelini uingereza taarifa kuomba msaada UNK
tcra yachunguza kubaini wahusika wizi mpya wa kutumia mtandao wa UNK umeingia nchini na tayari ofisa mmoja wa wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi amehusishwa akidaiwa kuomba msaada mamilioni ya pesa kwa jamaa na marafiki baada ya kuvamiwa na kuporwa kila katika hoteli moja aliyofikia mjini london uingereza
uchunguzi uliofanywa na majira umebaini kuwa matapeli hao wamekuwa wakitumia mbinu za kitaalam kufungua anwani za barua pepe za watu mbalimbali wakiwemo vigogo na kusambaza ujumbe kwa watu UNK nao kuomba msaada wa haraka wa pesa
akizungumza na majira mmoja wa vigogo wa wizara ambaye jina lake UNK vibaya na matapeli hao hivi karibuni alieleza kusikitishwa kwake na mchezo huo mchafu na kuwataka ndugu marafiki na jamaa zake kujihadhari kutapeliwa na watu hao wasiojulikana
nilishangaa kupigiwa simu na watu UNK kutoka nchi mbalimbali UNK pole na kutaka ufafanuzi namna ya UNK baada ya kupata ujumbe feki wa barua pepe kutoka kwangu kuomba msaada wa mamilioni ya pesa haraka alisema bibi grace kibaya ofisa habari mkuu wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi
bibi kibaya alisema taarifa hizo UNK na kufuatilia kujua kulikoni mtu UNK ujumbe huo wa kumdhalilisha mbali ya malengo ya utapeli
alisema baadaye alibaini mtandao wake kuvamia na matapeli wa kimataifa wanaoendesha wizi kwa kutumia mitandao ya kompyuta ambao walifungua anuani ya barua pepe yake na kusambaza taarifa hizo
ujumbe UNK ulidai kuwa bibi kibaya yuko nchini uingereza na UNK na kunyangganywa kila kitu na majambazi hotelini hivyo anaomba msaada haraka wa pauni moja hamsini sifuri pole sana ndugu yangu mimi ni mzima wala siko uingereza
nimepokea simu kutoka india algeria nao wakieleza kuwa wamepokea ujumbe wangu wa e mail nikiomba msaada si kweli hata kidogo gazeti hili lilimkariri bibi kibaya UNK mmoja wa watu UNK simu kumpa pole na kutaka ufafanuzi
kwa upande wake meneja uhusiano wa mamlaka ya udhibiti mawasiliano tanzania bwana innocent UNK alipoombwa kutoa ufafanuzi kuhusu suala hilo alisema wanalifanyia utafiti ili kubaini matapeli hao
aliongeza kuwa tcra inafuatilia kujua idadi ya watu UNK ujumbe huo na namna matapeli hao walivyofanikiwa kupata anwani zao za barua pepe
hatuwezi kutoa taarifa zozote kwa sasa lakini tumepokea tatizo hilo na UNK kazi tutakapomaliza UNK ikiwa pamoja na kuwafikisha watuhumiwa katika vyombo husika alisema bwana UNK
katika siku za karibuni UNK tabia ya matumizi mabaya ya mitandao ya kompyuta hali inayotishia usalama na kupunguza ustaarabu wa teknolojia hiyo
hivi karibuni serikali ililazimika kutangaza msako mkali dhidi ya wamiliki wa mtandao wa ze utamu ambao umekuwa UNK watu mbalimbali wakiwemo viongozi
mamlaka udhibiti wa usafiri wa majini na nchi kavu UNK kufuta leseni za mabasi yote ya daladala UNK jijini dar es salaam endapo yataendelea na mgomo huo leo
sumatra kwa kushirikiana na jeshi la polisi wameweka doria katika maeneo ya UNK mtongani na mbagala ili kubaini daladala UNK mgomo huo ili hatua kali zichukuliwe dhidi yao
kauli ya kukamatwa na kufutiwa leseni daladala hizo ilitolewa jana jijini dar es salaam na ofisa mfawidhi wa kanda ya mashariki UNK bwana walkan luhamba wakati akizungumza na majira kuhusu mgomo huo ambao ulianzishwa kwa lengo la kutoza shilingi mia tatu na hamsini kwa ruti ya mbagala kariakoo
alisema daladala UNK kuendela kufanya mgomo wa kupinga nauli ya shilingi mia mbili na hamsini kwa ruti ya mbagala kariako UNK leseni kutokana na kukaidi amri ya serikali
nauli ya mbagala kariakoo nasema itaendelea kuwa ni shilingi mia mbili na hamsini kama mtu hataki nauli hiyo basi UNK gari lake barabarani na atakuwa UNK leseni yake kwa kuwa kila jambo lina utaratibu wake unaotakiwa UNK alisema bwana UNK
alisema doria hiyo inafanywa kwa makini na inaendeshwa na ofisa usalama wa jeshi la polisi kanda ya dar es salaam bwana mohamed mpinga kwa kushirikiana na sumatra ili kubaini daladala zote ziliendelea na mgomo
bwana walkan alisema hadi jana hali ya mgomo ilikuwa imepungua kwani daladala nyingi zilikuwa zikiendelea kufanya kazi lakini baadhi zilikuwa zinaendelea na mgomo huo na ndizo UNK
aidha alitoa UNK kwa vipanya ambavyo inavyoendelea kuingia katikati ya jiji pamoja na muda wake kuisha tarehe thebathini na moja juni mwaka huu alisema kuwa vikiendelea kuonekana katika maeneo hayo UNK na hatua kali kuchukuliwa
alisema vipanya hivyo vinatakiwa kufanya shughuli hiyo katika maeneo ya pembezoni ya jiji la dar es salaam kwa kuwa serikali ipo katika mkakati wa kuboresha usafiri wa abiria na kuondoa msongamano wa magari jijini
helikopta ya kikosi cha uokoaji cha ufaransa imerejea kuendelea na kazi ya uopoaji baada ya kufanyiwa matengenezo
mkuu wa wilaya ya mafia bwana manzie mangochie alisema jana kuwa kurejea helikopta hiyo kutawezesha kuendelea shughuli za uopoaji katika maeneo yote ya rufiji mafia na kilwa
hali inaendelea vizuri na juhudi za kutafuta miili iliyobakia zinaendelea katika eneo la UNK na tayari helikopta ya ufaransa imerejea na inaendelea kutafuta miili hiyo alisema bwana UNK
alisema tayari kikosi cha uokoaji kutoka ufaransa pamoja na meli UNK eneo hilo kutafuta miili zaidi
wakati huo huo watu waliokufa katika ajali ya ndege ya shirika la yemen na kuzikwa kilwa baada ya kuopolewa UNK na sasa inatarajiwa kupelekwa dar es salaam kwa UNK
mkuu wa wilaya ya mafia bwana manzie mangochie alisema maiti wawili waliobaki UNK dar es salaam muda wowote kuunganishwa na waliotangulia kwa ajili ya kupimwa vinasaba na kutambuliwa ndugu zao
ndege ya shirika la yemen ilianguka juni thebathini mwaka huu eneo la bahari ya hindi kilometa chache kutoka pwani ya comoro na kusababisha vifo vya watu mia moja na hamsini na tatu ambapo binti mmoja wa miaka kumi na nne aliyenusurika kifo katika ajali hiyo
rais jakaya kikwete ameteua majaji wapya kumi wa mahakama ya kuu ya tanzania ambapo uteuzi huo umeanza juni ishirini na sita mwaka huu
taarifa iliyotolewa na katibu mkuu kiongozi bwana philemon luhanjo dar es salaam jana UNK majaji hao kuwa ni bwana ferdinand wambali aliyekuwa msajili wa mahakama ya rufaa bibi UNK mbise aliyekuwa msajili wa mahakama kuu na bibi sekela moshi aliyekuwa mkurugenzi wa mahakama za wilaya hadi rufaa
wengine ni bibi fatuma masengi aliyekuwa mkurugenzi wa mahakama za mwanzo bwana sivangilwa mwangesi aliyekuwa naibu msajili mwandamizi mahakama ya rufani bibi UNK khaday aliyekuwa naibu msajili wa mahakama ya rufani na bwana moses UNK aliyekuwa msajili wilaya mahakama kuu mkoa wa iringa
taarifa hiyo UNK majaji wengine kuwa ni bibi hamisa UNK aliyekuwa msajili wilaya ya mahakama kuu mkoa wa mbeya bibi UNK mgaya aliyekuwa msajili wilaya mahakama kuu mkoa wa mwanza na profesa ibrahim juma aliyekuwa mwenyekiti wa tume ya kurekebisha sheria
jeshi la magereza nchini limetakiwa kusimamia na kufuata misingi ya haki za binadamu na utawala bora ili kuaminika katika jamii ili kuepuka lawama kwamba magereza ni kambi za UNK
hayo yalisemwa jana na naibu waziri wa mambo ya ndani balozi khamis kagasheki wakati wa akifungua mkutano mkuu wa wakuu wa magereza na makamishna wote nchini ulioanza dar es salaam jana
balozi kagasheki alikemea tabia ya unyanyasaji ya baadhi ya maofisa na wakuu wa magereza kwa askari wa ngazi za chini na wafungwa hali ambayo imejenga picha mbaya kwa jamii na kuonekana kuwa chombo hicho ni sehemu ya mateso na kuomba mabadiliko ya haraka yafanyike ikiwa ni pamoja na kuheshimu haki za wafungwa
amelitaka jeshi hilo kujiendesha kwa weledi kwa kuwahifadhi wafungwa na kuwafunza wahalifu kwenye magereza ili wawe raia wema wenye ujuzi wa kuisaidia jamii na kuwatunza mahabusu kwa kuhakikisha wanabaki salama
alisema baadhi ya watu wamekuwa na kejeli dhidi ya jeshi hilo kuhusu utendaji wake na kubainisha kuwa jamii imeendelea kupoteza imani kutokana na vipigo kwa wafungwa katika baadhi ya magereza na kuhoji ikiwa kuna maofisa wenye elimu ya kutosha kuendesha magereza hayo au ni wahitimu wa darasa la saba wenye elimu ndogo
awali akimkaribisha mgeni rasmi kamishna wa magereza nchini bwana augustino nanyaro alisema jeshi hilo lipo katika mikakati ya kujiendesha kisasa zaidi huku misingi ya utawala bora ikipewa kipaumbele pamoja na kusimamia haki za wafungwa
naye kamishna wa huduma za utekelezaji wa jeshi hilo kamishna aziza UNK alisema hivi sasa jeshi hilo litaendeshwa kisayansi kwa kuajiri wasomi ili UNK na hali ya sasa na kuwataka maofisa wa jeshi hilo kujiendeleza kielimu
jeshi la polisi nchini linawashikilia watu thebathini kwa tuhuma za kusababisha mapigano ya koo katika wilaya za rorya na tarime mkoani mara
kamanda wa polisi nchini igp said mwema aliwaambia waandishi wa habari jijini dar es salaam jana kuwa watu hao walikamatwa katika operesheni maalumu yenye lengo la kuimarisha hali ya usalama wilayani humo
alisema uchunguzi uliofanywa na jeshi hilo ulibaini kuwa watuhumiwa waliokamatwa ndio walikuwa vinara wa vurugu hizo za UNK
hawa ni watuhumiwa muhimu ambao tumebaini kuwa ni wahusika wakuu wa mapigano ya UNK yanayotokea mara kwa mara katika wilaya ya rorya na tarime alisema kamanda mwema na kusisitiza kuwa jeshi la polisi pekee halipaswi kuachiwa mzigo huo bali jamii ina wajibu wa kukomesha mapigano hayo
alisisitiza kuwa kwa sasa jeshi hilo limejipanga kuzuia mapigano hayo ambayo kama UNK yatasababisha watu wengi wasio na hatia kupoteza maisha
alisema uchunguzi wa awali uliofanywa na jeshi hilo umethibitisha kuwa mapigano hayo ya koo yalikuwepo tangu mwaka elfu moja na mia tisa na hamsini hadi elfu moja na mia tisa na sabini bila kupatiwa ufumbuzi wa kudumu
hali hiyo imesababisha kuendelea mara kwa mara
kutokana na mazingira hayo jeshi la polisi nchini UNK kuigawa wilaya ili kutekeleza majukumu yetu kwa ufanisi mkubwa na kudhibiti mapigano haya kwa urahisi zaidi alisema