text
stringlengths
1
1.32k
makamu mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya hiyo bwana mussa UNK alisema wataalamu wasije UNK kuwa kwa kuwa wao wamesoma ndiyo UNK wilaya yao na kusema wana uwezo wa kumtimua mtaalamu yeyote ambaye UNK kuwasaidia wananchi wa wilaya hiyo
tunajua wenzetu UNK na mna UNK lakini tunasema hatutakuwa na msamaha wala UNK mtendaji yeyote ambaye ameshindwa kazi
nasema sisi madiwani tukiamua UNK hapa hakuna mtu UNK hata awe waziri mkuu lazima UNK tu alisema bwana UNK
naye mbunge wa kilindi bibi beatrice shelukindo alisema anasikitika wanapata hati ya mashaka kwa makosa ambayo yangeweza kupatiwa ufumbuzi kwa kupeleka taarifa mkoani na kuwaasa watendaji waondoe kasoro hizo ambazo ni ndogo kuliko wilaya nyingine kwenye mkoa wa tanga
mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya kilindi bibi kudra UNK alikiri uzembe huo kutokea na kusema hizo ni changamoto ambazo watahakikisha UNK tena siku za usoni kwa kuhakikisha kila mtendaji anawajibika kwa uwezo wake wote
mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali mkoa wa tanga bwana john sabuni alisema wilaya ya kilindi imeshindwa kujibu hoja nane jambo UNK waone kama wameshindwa na yeye kuamua kupeleka taarifa kwa cag bila majibu yao lakini kama UNK majibu kwa wakati huenda wangepata hati safi
shaihidi wa kumi na moja wa kesi ya mauaji ya albino lyaku willy inayosikilizwa mahakama kuu tanzania mkoa wa shinyanga juzi aliiambia mahakama kuwa uchunguzi umebaini vinasaba vilivyokutwa kwenye vielelezo vya panga na jambia vina uhusiano na vinasaba vya washitakiwa katika kesi hiyo
shahidi huyo bibi gloria machuvewa kutoka ofisi ya mkemia mkuu wa serikali akiongozwa na wakili wa serikali bwana edwin kakolaki mbele ya jaji anayesikiliza kesi hiyo bwana gad mmjemas alidai kuwa vinasaba vilivyopatikana kwenye silaha hizo vinafanana na vilivyochukuliwa kutoka katika mate ya washitakiwa
mkemia huyo aliieleza mahakama kuwa katika kielelezo cha kwanza ambacho ni panga vilipatikana vinasaba vya washitakiwa mboje mawe sayi gamaya na sayi mafizi na katika kielelezo cha pili ambacho ni jambia vilipatikana vinasaba vya chenyenye kishiwa na alidai kuwa sehemu ya makali katika vielelezo vyote viwili vilipatik...
awali mahakama hiyo ililazimika kuhamia kwa muda katika hospitali ya mkoa wa shinyanga chumba cha kuhifadhia maiti ili kujiridhisha na ushahidi huo ambapo viungo vya marehemu vimehifadhiwa vikiwamo kichwa na miguu yote miwili
katika ushahidi huo bibi machuvewa aliidhibitishia mahakama kuwa marehemu alikatwa viungo hivyo kwa kutumia panga na jambia kwa mujibu wa vipimo
kesi hiyo inawakabiliwa washitakiwa wanne mboje mawe sayi gamaya sayi mafizi na chenyenye kishiwa ambao wanashitakiwa kwa kosa la mauaji ya lyaku yaliyotokea desemba mwaka jana katika mto kidamlida wilayani bariadi mkoani shinyanga
kadiri siku UNK kwenda idadi ya watoto wanaoishi katika mazingira magumu imekuwa UNK bila ufumbuzi tatizo hilo kupatikana
ongezeko hilo limekuwa UNK na mambo mbalimbali yakiwemo matatizo ya kifamilia umasikini kuhama kwa watu kutoka eneo moja kwenda lingine na tatizo la ukame katika baadhi ya mikoa
mpaka sasa jumla ya watoto wanaoishi katika mazingira magumu wanafikia mia sita na arobaini na nane mia saba na hamsini na nane ambao wapo katika halmashauri themanini na moja ambazo zinatumia mfumo wa kisasa wa ukusanyaji na utoaji wa taarifa za watoto
kati ya watoto hao UNK asilimia arobaini na mbili ndio wanaopata baadhi ya huduma za msingi na wengine wakikosa huduma hizo
kutokana na hali hiyo bado jamii ina wajibu wa kuhakikisha kuwa inashirikiana na serikali kuwasaidia watoto hao
mpango wa serikali sasa ni kuhakikisha kuwa ifikapo mwaka ishirini moja sifuri halmashauri zote nchini ziwe zimefikia kiwango cha kuwatambua watoto hao ili kuwa na idadi kamili na kutekeleza mpango mkakati ambao utawafanya watoto hao kupata huduma zote muhimu
jambo UNK ni juu ya ongezeko la watoto hawa
je jamii inashiriki vipi katika kupunguza ongezeko la watoto hao
pamoja na ukweli kwamba ongezeko la watoto hao linatokana na mambo mengi zipo sababu za msingi ambazo zinaweza kuzuilika ili kupunguza idadi hiyo
wapo watoto yatima ambao sababu zao UNK na jamii haina budi kuwajibika na watoto hao moja kwa moja
matatizo ya kifamilia ambayo huchangia wazazi UNK ni moja ya sababu inayosababisha ongezeko la watoto wa mitaani
asilimia kubwa ya wanaume ndio wanaoongoza kutelekeza familia na kuacha mzigo mkubwa kwa mama ambaye mwisho wa siku UNK kuingia mtaani kuomba msaada ili aweze kulea familia kwa kuipatia mahitaji muhimu
tatizo hili linaweza kumalizwa endapo kila mzazi UNK wajibu wake katika familia na kuwapatia watoto wake huduma muhimu kama elimu na malezi bora
nalazimika kusema hivyo kwa sababu hakuna mtoto anayezaliwa kwa bahati mbaya bali ni makubaliano ya pamoja baina ya mzazi wa kike na kiume hivyo kitendo cha kutelekeza familia ni dhambi kubwa kulingana na misingi ya imani
tatizo la ukame katika baadhi ya mikoa na kusababisha baa la njaa nalo ni moja ya kishawishi cha mzazi kutelekeza familia na kuhama makazi ili kutafuta kibarua au kufanya kazi ya kuombaomba ili kujipatia kipato
hali hiyo inaweza kudhibitiwa katika jamii kwani kitendo cha kuombaomba siyo suluhu ya kumaliza matatizo ya familia bali ni kuongeza matatizo katika familia na kuathiri watoto kwa kuwajengea mazingira na utamaduni wa kuombaomba mitaani pasipo kuwa na akili ya kutafuta UNK
ongezeko la watoto hao mitaani ni moja ya sababu iliyosababisha kuanzishwa kwa asasi mbalimbali zisizo za kiserikali ambazo zimekuwa UNK fedha kutoka kwa wafadhiri ili kuwahudumia watoto hao lakini jambo la kushangaza watoto wamekuwa mitaji ya asasi hizo huku walengwa wakiambulia patupu
asasi hizo zimekuwa zikipata kiasi kikubwa cha fedha kwa mgongo wa watoto hao lakini fedha hizo UNK kazi iliyokusudiwa na badala yake wamekuwa wakizitumia kujinufaisha
pamoja na UNK inayofanywa na asasi hizo jamii imekuwa ikiangalia na kuwaacha watoto hao wakiendelea kutaabika
ipo haja kwa serikali kuhakikisha kuwa UNK asasi hizo ambazo kila kukicha UNK bila kuwepo ufumbuzi wa ongezeko la watoto wa mitaani
kubanwa kwa asasi hizo UNK UNK wajibu walionao kwa watoto hao na kutumia fedha wanazopewa na wafadhili kwa malengo yaliyokusudiwa
idadi kubwa ya watoto ambao kama watapatiwa mahitaji muhimu kama elimu na malezi bora watachangia maendeleo ya taifa na kukuza uchumi wa nchi
kwa upande serikali inatakiwa kuliangalia suala hili kwa makini ili ongezeko la watoto hao liweze kupatiwa ufumbuzi wa haraka kwa kufanya utaratibu wa kuwatambua watoto katika maeneo yao ili waweze kusaidiwa badala ya kuendelea kutoa takwimu za ongezeko la watoto hao
hivi sasa serikali imeweka msukumo mkubwa katika sekta ya kilimo kwa kutenga fedha nyingi kama kilimo hicho UNK vizuri na kuwapatia wakulima pembejeo za kisasa ongezeko la watoto wao ambapo idadi kubwa wanatokea vijijini UNK
umefika wakati wa kila mwanajamii kuwajibika na kushiriki UNK tatizo hilo ambalo UNK sifa ya nchi
mamlaka ya udhibiti wa usafiri wa nchi kavu na majini inatarajia kutangaza kuwafutia leseni wamiliki wa daladala zinazofanya safari zake kati ya mbagala na kariakoo iwapo ingefika saa kumi na mbili jana jioni wakiendelea na mgomo wao
wamiliki wa wengi wa daladala hizo za mbagala kariakoo UNK mgomo wao tangu juzi wakipinga nauli ya shilingi mia mbili na hamsini kwa madai kuwa haiendani na gharama za uendeshaji
akizungumza na waandishi wa habari dar es salaam jana ofisa mfawidhi wa kanda maalum ya mashariki bwana UNK luhamba alisema baada ya saa kumi na mbili jioni wamiliki ambao watakuwa wanaendelea na mgomo UNK leseni
alisema sumatra inasikitishwa na kitendo cha chama cha wamiliki wa daladala mkoa wa dar es salaam kuendelea kukaidi agizo la mamlaka hiyo ya kuwataka wenye daladala kutoza nauli ya shilingi mia mbili na hamsini na badala yake kugoma wakidai nauli mia tatu na hamsini alisema kuwa mamlaka yake imeazimia kuzipa masaa mat...
jana tumekaa na UNK na kukubaliana mambo kadhaa wao UNK biashara bila kuangalia kuwa UNK ni wananchi wenye kipato cha chini alisema luhamba na kusisitiza kuwa watawachukulia hatua kali wale wote UNK kukaidi agizo la kutoza nauli shilingi mia mbili na hamsini alisema sheria ni msumeno na itaendelea kuwabana wamiliki wa...
bwana luhamba aliongeza kuwa mamlaka yake ilifanya utafiti wa kina na kubaini kuwa umbali wa gongo la mboto kariakoo na mbagala kariakoo UNK hivyo kitendo cha wamiliki wa daladala kushinikiza nauli ya shilingi mia tatu na hamsini kwa safari moja ni kutaka kukandamiza wananchi
kufuatia mgomo huo wakazi wa mbagala walilazimika kutumia usafiri wa magari madogo ya abiria kwa kulipa nauli ya shilingi moja sifuri sifuri sifuri waandishi wa gazeti hili walishuhudia wakazi hao wa mbagala ambao hawakuwa na uwezo wa kulipa nauli ya shilingi moja sifuri sifuri sifuri wakiwa wamejazana vituoni bila ku...
mgomo huo leo umeingia siku ya tatu
wakati huo huo bwana luhamba alisema mamlaka yake imeanzisha msako wa kusaka magari UNK aina hiace maarufu kama vipanya ambayo bado yanaendelea kutoa huduma zake maeneo ya mijini
wadai UNK na wakristo
wapania kuiadhibu ccm ishirini moja sifuri
waunda kamati ya utekelezaji baada ya mzozo wa wiki kadhaa kuhusu kuanzishwa kwa mahakama ya kadhi masheikh sasa UNK rais jakaya kikwete serikali na chama cha mapinduzi wakilalamika kuwa UNK na wakristo katika kila kitu ikiwemo kushindwa kuanzishwa kwa mahakama hiyo ya kiislam
kutokana na hali hiyo waislamu hao wametaka mahakama ya kadhi mkuu ianzishwe kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka ishirini moja sifuri la sivyo UNK kura chama hicho na wako tayari kuvunja maeneo yote ya wakristo UNK na serikali
masheikh hao walitoa maazimio hayo wakati wa kongamano la masheikh wa UNK wa dar es salaam lililofanyika baada ya sala ya ijumaa katika msikiti wa kichangani magomeni mapipa dar es salaam juzi
katika kongamano hilo pia UNK waislamu kufanya maandamano nchi nzima wakati wa usiku kwa nia ya kushinikiza serikali kutoa nafasi sawa katika sekta mbalimbali za umma ambazo walidai zinaongozwa na wakristo
shehe mohammed issa akitoa ufafanuzi wa maazimio ya mashehe mia nne na arobaini waliokutana julai sita mwaka huu katika msikiti wa mtoro dar es salaam alisema hawakubaliani na uonevu unaofanywa na wakristo katika idara mbalimbali za uongozi nchini hivyo wanaanza kurejesha heshima hiyo kwa nguvu
alisema ili kuonesha kuwa serikali ya tanzania ni ya wakristo hospitali ya ccbrt ya mikocheni ambayo ni ya wakristo imeanza kupewa ufadhili na serikali na inabadilishwa kuwa ya mkoa wa dar es salaam jambo ambalo serikali inao uwezo wa kutafuta eneo jingine bila kuhusisha dini hiyo
someni gazeti hili la jana alhamisi serikali imeanza kuwalipa mishahara madaktari wa hospitali ya ccbrt ambayo ni ya wakristo inatoa eneo la ekari saba kujenga hospitali ya mkoa kwa nini isitamke inawalipa mishahara madaktari wa hospitali ya kiislamu ya al UNK
aliuliza sheikh issa
alisema waislamu wamechoshwa na unyanyasaji wa serikali UNK na waislamu wachache UNK na wakristo kwa sababu hiyo wao wameamua kufuata maneno ya mungu katika UNK tukufu kuwa mwislamu UNK tamaa pale UNK haki yake UNK kwa sababu nyie mtakuwa washindi kama mtakuwa waumini wa kweli alisema shehe issa
wakristo UNK katika vita baridi UNK watoto wetu matokeo yake wapiga debe wauza UNK mafundi UNK ukiuliza majina yao utakuta ni waislamu alisema shehe issa
shehe huyo alidai kuwa chama UNK vuguvugu ya uhuru cha tanganyika african association kilikuwa cha waislamu ambao hawakuwa na UNK walimpa madaraka mwalimu julius nyerere ambaye UNK kuwa tanu mwaka elfu moja na mia tisa na hamsini na nne lakini aliwageuka waislamu na kuondoa madaraka ya kadhi mkuu mwaka elfu moja na mi...
mashehe hao waliounda jumuiya na taasisi za kiislamu tanzania waliendelea kudai kuwa baraza la waislamu tanzania ni chombo kilichowekwa na serikali kwa maslahi yake na si waislamu kwa sababu kinatumika UNK kifua serikali katika mambo ambayo waislamu wanataka yafanywe waziwazi
mtoa mada mwingine sheikh juma bakari alisema mahakama ya kadhi nchini ni lazima UNK sambamba na ahadi zilizowahi kuwekwa na viongozi wa serikali waliopita nchini
kama ilivyokuwa kwa wakristo kuutoa tamko lao la kutaka serikali UNK misamaha ya kodi kwa UNK na taasisi za kikristo na sisi tunasema hivi ccm na serikali yake ikishindwa kurejeshea waislamu mahakama ya kadhi iliyoahidiwa katika ilani ya uchaguzi ya mwaka ishirini sifuri tano bila kujali madhehebu wala vyama vya siasa...
alidai kuwa waziri mkuu bwana mizengo pinda alishindwa kusema ukweli kuhusu kauli aliyoitoa waziri wa katiba na sheria bwana mathias chikawe bungeni dodoma kuwa serikali haina mpango wa kuanzisha mahakama ya kadhi mkuu hiyo ndiyo kauli UNK UNK na si aliyoitoa waziri mkuu kupitia shehe mkuu mufti issa bin simba kuwa wa...
katibu wa baraza hilo sheikh ponda issa ponda katika barua yake kwa vyombo vya habari kuhusu mkutano huo alisema ni yao ni kuandaa umma wa waislamu kudai waziwazi baada ya kudai serikali ianzishe mahakama ya kadhi mkuu kwa ajili ya waislamu kwa miaka arobaini sasa
baraza hilo litakalokuwa na wajumbe kumi na mbili UNK na mwenyekiti sheikh husein UNK katibu sheikh ponda sheikh musa kundecha sheikh amrani kilemile sheikh muharami UNK sheikh ahmad twalib sheikh omari UNK shehe hussein UNK sheikh twaha UNK sheikh abdallah bawaziri sheikh khalid ally sheikh hashim UNK na sheikh juma ...
wakati huo huo mwandishi edmund mihale anaripoti kuwa imebainika kuwa endapo serikali UNK UNK wake wa kuzifutia msamaha wa kodi taasisi za dini baadhi ya makanisa UNK nchini UNK kifo cha asili uamuzi wa serikali wa UNK kodi taasisi hizo ulifikiwa mjini UNK kati ya viongozi wa dini na waziri mkuu bwana mizengo pinda ba...
maaskofu walikuwa mbogo katika suala hilo kwani lilikuwa UNK makanisa mengi zaidi kwani UNK kujiendesha kutokana na kuwa yamekuwa UNK asilimia sabini ya misaada hiyo katika kujiendesha katika huduma za kiroho kilisema chanzo hicho
alisema maaskofu walijipanga ipasavyo iwapo serikali ingeendelea kusimamia misimamo wake walipanga kutumia uwezo walionao kuhakikisha UNK bajeti ya serikali ya mwaka ishirini sifuri tisa kumi alisema waliamini bajeti hiyo ambayo waliamini kuwa ni UNK katika udini zaidi kwa kuwa upande wa dini moja ililenga kuua UNK na...
maaskofu walikuwa wakishangaa kuona kuwa serikali UNK masuala ya mahakama ya kadhi na oic kuwa UNK katika taratibu za sheria za serikali lakini la misamaha ya kodi inaonekana kuwa halina maana na kuamua kuifuta kilisema chanzo hicho
UNK kutokana na uamuzi huo wa serikali wa kufuta misamaha hiyo umetoa fundisho kubwa kwa UNK ya dini za kikristo ambayo tayari yameanza kujiimarisha kiuchumi kuhakikisha UNK utegemezi wa kiuchumi kwa kujiingiza katika biashara
uchunguzi uliofanywa gazeti hili umebaini kuwa tayari kanisa katoliki limeanza mikakati ya kujiimarisha kiuchumi tangu miaka ya themanini kwa kutoa maelekezo katika kwa mashirika ya UNK yaliyo chini himaya yake kujiimarisha kiuchumi
kampuni ya upatu ya deci nayo UNK kuwa ni moja ya mkakati wa makanisa ya kipentekoste wa kujiimarisha kiuchumi na kujivua utegemezi wa kiuchumi kutoka katika mashirika ya kigeni
tayari kampuni hiyo UNK kanisa lenye UNK ya shilingi milioni ishirini sifuri katika eneo la mabibo mwisho katika jiji la dar es salaam kutoka na faida iliyopatikana na upatu huo
abainisha nyara UNK
hoja ya kilango UNK mbawa moto UNK bungeni na mbunge wa same mashariki bibi anne kilango wakati akichangia mjadala wa bajeti ya makadirio na matumizi ya wizara ya maliasili na utalii umeibua mapya yanayoonesha jinsi taifa UNK mapato mengi kutokana na kukithiri kwa wizi wa nyara
wizi huo wa nyara uliokithiri ambao UNK juzi na bibi kilango UNK bungeni mjini dodoma na waziri wa maliasili na utalii bibi shamsa mwangunga wakati akitoa majumuisho ya hoja zilizotolewa na wabunge kwenye mjadala wa bajeti ya wizara yake
juzi akiwa mchangiaji wa kwanza katika mjadala wa bajeti ya makadirio na matumizi ya wizara ya maliasili na utalii bibi kilango UNK siri kuhusiana na jinsi tanzania UNK nyara huku akisisitiza amefanya utafiti na kubaini hilo
bibi kilango ambaye alikataa kuunga mkono hoja alitoa kusudio la kutaka kuwasilisha hoja binafsi ya kuundwa kamati juu ya suala hilo
alitaja nchi zinazoongoza kupokea nyara za serikali kutoka tanzania kuwa ni china singapore vietnam na hong kong
jana wakati akitoa majumuisho ya hotuba ya bajeti ya wizara yake bibi mwangunga alianza kwa kukiri kuwepo kwa vitendo vya wizi wa nyara za serikali UNK na bibi kilango
alisema kati machi na mei mwaka huu idara ya wanyama pori ilipokea taarifa kupitia interpol UNK dar es salaam kuwa kontena mbili zikiwa na meno ya tembo UNK kupitia bandari ya dar es salaam zilikamatwa nchini vietnam na UNK
alisema taarifa hizo pia UNK pia lusaka UNK task force hivyo idara kwa kushirikiana na jeshi la polisi kitengo cha interpol dar es salaam walifanya upelelezi na kuwabaini watuhumiwa tisa ambao walihusika kwenye mpango huo
alisema tayari watuhumiwa hao tayari UNK na kuhojiwa kati yao nane wanatarajiwa kuburutwa mahakamani
aidha alitoa maelezo ya makontena yaliyokamatwa akisema machi moja mwaka huu maofisa wa forodha wa bandari ya manila kusini walikamata tani tatu za meno ya tembo yakiwa yamefichwa kwenye makasha kumi na nane yakiwa ndani ya kontena moja namba ecmu moja sita nne mbili mbili nne sifuri bibi mwangunga alisema alisema mak...
alifafanua kuwa makontena UNK kama yamebeba mzigo wa vifurushi themanini vya plastic UNK
aliongeza kuwa machi nne huu maofisa hao forodha wa bandari ya manila kusini UNK walikamata tena meno ya tembo tani moja mia nne na themanini na tatu yakiwa yamefichwa kwenye makasha ndani ya kontena namba UNK sita mbili moja tisa tisa nne saba na men hayo yalisafirishwa oktoba ishirini na tano ishirini sifuri nane ku...
alifafanua kuwa mapema machi tano mwaka huu maofisa forodha wa vietnam walikamata vipande moja mia mbili na ishirini na nne vya meno ya tembo yenye uzito wa tani sita mia mbili na thebathini na mbili yakiwa yamefichwa kwenye takataka za plastiki ndani ya makasha mia moja na kumi na nne kwenye kontena namba ecmu moja s...
kufuatia kukithiri kwa hali hiyo alisema wizara yake hiyo ilifanya jitihada mbalimbali kukabiliana na matukio hayo ya kusafirisha nyara za serikali kupitia bandari ya dar es salaam
alisema tayari watuhumiwa watatu wamekamatwa na kuhojiwa
bibi mwangunga alisema wizara hiyo imeamua kutenga shilingi milioni ishirini na tano kwa ajili ya kuiwezesha timu ya upelelezi kutoka idara ya wanyamapori polisi interpol UNK es salaam na lusaka force kwenda vietnam kufuatilia na kupata vielelezo zaidi vitakavyosaidia kuendesha mashtaka dhidi ya watuhumiwa
aliongeza kuwa kumbukumbu nyingine pia zinaonesha kuwa julai nne mwaka ishirini sifuri sita maofisa forodha wa bandari ya UNK taiwan kusini walikamata meneo ya tembo tani tano mia mbili na kumi na saba yakiwa yamefichwa kwenye makasha kumi na nane yaliyokuwa ndani ya makontena UNK aprili ishirini na nne ishirini sifur...
hata hivyo waziri huyo alisema kuwa kufuatia taarifa hizo wizara yake kwa kushirikiana na UNK iliendesha upelelezi na kwenda nchini taiwan kufanya uhakiki na matokeo ya upelelezi huo yaliweza kubaini watuhumiwa kumi ambao walikamatwa na kuhojiwa
alisema kuwa kati ya hao watuhumiwa sita wamefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi tanga na kufunguliwa kesi namba mbili ya mwaka ishirini sifuri sita
alisema kesi hiyo bado inaendelea kusikilizwa na mashahidi sita wa upande wa mashitaka wametoa ushahidi wao
alisema kuwa mashahidi wengine watano bado hawajatoa ushahidi UNK na kuwasilishwa kwa ushahidi wa picha zilizopatikana katika uchunguzi uliofanyika huko nchini UNK
waziri huyo alisema kuwa biashara hiyo ya usafirishaji haramu wa meno ya tembo UNK nje ya nchi unatokana na wizara hiyo ya maliasili kutohusishwa kikamilifu katika mchakato wa kukagua vifurushi UNK katika makontena wakati wa kufunga UNK
hata hivyo hoja ya mbunge bibi kilango ilishindwa kuzuia bajeti hiyo UNK kutokana na mtoa hoja kuchelewa kuwasilisha taarifa yake iliyokuwa inalenga kuiomba serikali iunde kamati teule ya kuchunguza taarifa za kusafirishwa kwa nyara hizo za serikali nje ya nchi
UNK wa bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania bwana samweli sitta alisema hoja ya bibi kilango ya kutaka kuunda kamati teule imechelewa kumfikia mezani hivyo hoja hiyo haiwezi UNK
wauzaji wa vocha za simu wamesitisha utoaji huduma hiyo siku chache baada ya tamko la mamlaka ya mawasiliano tanzania kuwataka wateja kununua vocha kwa mujibu wa bei zilizoandikwa juu ya kadi hizo
hatua hiyo imetokana na taarifa iliyotolewa na mkurugenzi tcra bwana john nkoma aliyeagiza kuchukuliwa hatua za kisheria kwa mawakala na wauzaji wa rejareja waliopandisha bei kinyume cha utaratibu