text
stringlengths
1
1.32k
kamanda mantage alifafanua kuwa siku ya tukio mtuhumiwa akiwa kwenye maeneo ya soko la kirando akitokea mjini sumbawanga alimkuta mama wa mtoto huyo bwana elizabeth musa akiwa amembeba mwanaye huku akiwa anapanga mkaa wa biashara
mtuhumiwa huyo alimshawishi mama wa mtoto kuwa si vyema kuendelea kupanga mkaa akiwa amembeba mtoto mgongoni kwani vumbi la mkaa linaweza kumdhuru na hivyo alimwomba amsaidie kumshika na mama wa mtoto akakubali ushauri huo
alisema mapema mtuhumiwa huyo alijitambulisha kwa mama huyu kuwa ni mtoto wa baba yake mdogo na kwa vile watoto wa baba yake huyo mdogo hawafahamu UNK
wakati akiendelea na biashara zake za mkaa mtuhumiwa huyo UNK na mtoto
baada ya kutomuona mama huyo alikimbilia kwenye kituo kidogo cha polisi cha kirando kutoa taarifa na msako ukaanza mara moja
kamanda mantage alisema kuwa baada ya msako mkali mtuhumiwa alikamatwa akiwa na mtoto huyo katika kitongoji hicho cha isaba UNK mwendo wa saa nne kwa boti kutoka katika kijiji cha UNK
mbunge wa igunga bwana rostam aziz amepata mpinzania katika kinyangganyiro cha ubunge katika uchaguzi mkuu wa mwaka ishirini moja sifuri baada ya bwana bakari nyorobi kutangaza azima yake ya kuwania nafasi hiyo kupitia chama cha mapinduzi
bwana nyorobi alitangaza azima yake hiyo kwenye mkutano wake na waandishi wa habari dar es salaam jana ambapo alisisitiza kuwa uamuzi huo ni wake mwenyewe na hakuna mtu aliyemtuma ili UNK bwana rostam
nimeamua kuwania nafasi hii kwa sababu katika jimbo letu mambo mengi yapo yapo sihitaji kuyataja mnayajua yanayoendelea
igunga ni ya UNK wenyewe na hivyo basi maendeleo ya igunga UNK na UNK mwenyewe mwenye uchungu wa maendeleo na eneo lake alisisitiza bwana nyorobi ambaye ni mganga wa tiba asili
mmoja wa wapambe wa bwana nyorobi aliyejitambulisha kwa jina la bwana edward haule alisema mwelekeo wa sasa wa serikali ni kutenganisha biashara na siasa hivyo kuwa na fursa ya kupata nafasi hiyo kutokana na mbunge wa sasa wa jimbo hilo kuwa mfanyabiashara
alisema mbunge wa igunga ana mambo mengi ya kufanya pia ni mfanyabiashara hivyo wameona atafutwe kijana wa kuchukua nafasi yake kwani mkakati wa serikali ni kutenganisha siasa na biashara
bwana nyorobi alidai kuwa amekuwa kwenye siasa kwa miaka kumi na mbili hivyo UNK na ana uwezo wa kuwatumikia wana igunga
alitaja kati ya mambo UNK kuwa ni vitendo vya ufisadi na muda wote amekuwa mstari wa mbele UNK vita
hata hivyo hakuwa tayari kuzungumzia suala hilo kwa undani pale alipobanwa na waandishi wa habari
alisema akiwa mtaalamu wa tiba za asili pindi akichaguliwa kuingia bungeni atatumia taaluma yake kueleza namna ya kukabiliana na vitendo vya mauaji ya albino
waziri mkuu mizengo pinda ametetea kitendo cha tume ya taifa ya uchaguzi kuchoma moto shahada za wapiga kura na kukataa UNK tume maalumu kuichunguza badala yake UNK chama cha wananchi kwenda mahakamani kama wana shaka
waziri mkuu alitoa kauli hiyo bungeni jana wakati akijibu swali la kiongozi wa upinzani bwana hamad rashid mohamed katika kipindi cha maswali ya papo kwa papo ambapo alisisitiza kwamba katika mazingira halisi ya sasa serikali na cuf haviwezi kufikia muafaka juu ya suala hilo kwa kuwa kila moja UNK mwenzake hivyo upand...
kwa mujibu wa sheria ya nec walichofanya ni kwa kutimiza tu sheria pale UNK ombe tume ina ofisi mbili moja ya ugavi na nyingine ya masuala ya daftari la kudumu la wapiga kura taarifa nilizopewa ni kwamba walikusanya kadi zaidi themanini sifuri sifuri sifuri sifuri za watu mbalimbali wengine walifariki na wengine UNK m...
katika mazingira ya kuviziana kila siku haihitaji tume maalumu na mimi nitasema hizo shahada zako si za kweli mimi nadhani nendeni tu mahakamani UNK UNK ushahidi lakini katika hali hii tutashindana na hatutapata jibu alisema bwana pinda
alisema hakukuwa na mizengwe yoyote katika utekelezaji wa shughuli hiyo kwa kuwa UNK sheria za nec na kwamba katika mazingira ya kawaida haikutarajiwa kuwa viongozi wa vyama vya siasa wangeweza kufika eneo hilo kwa kuwa ilikuwa ni utendaji wa kawaida wa nec katika swali lake la nyongeza bwana mohamed alisema kwa kuwa ...
wiki iliyopita bwana mohamed alimuuza waziri mkuu swali hilo na yeye akaahidi kufuatilia na kutoa jibu baadaye
UNK
co
tz UNK UNK UNK
UNK ni ya maelewano makubwa mazungumzo hayo kwa mujibu wa taarifa ya ikulu ya zanzibar UNK mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na haja ya kudumisha amani na utulivu nchini na maelewano na ushirikiano kati ya wananchi wote
viongozi hao wamezingatia haja ya kuzika tofauti zilizopo ambazo zinachangia kuwatenganisha wazanzibari na kutoa wito kwa viongozi wa vyama vyote vya siasa na wananchi kwa jumla kushirikiana katika kujenga nchi bila ya kujali itikadi zao za kisiasa
viongozi hao walifafanua kuwa wananchi wakishirikiana na kujenga nchi kwa pamoja watapiga hatua kubwa zaidi za maendeleo
katika mazungumzo hayo viongozi hao UNK umuhimu wa mchakato wa mazungumzo endelevu baina yao na vyama vyao kwa jumla
akizungumza na gazeti hili jioni jana msaidizi wa maalim seif bwana ismail UNK alisema mazungumzo yamekuwa ya mafanikio makubwa na wameahidi kufanya kazi kwa pamoja ili kuleta umoja na ushirikiano kwa maslahi ya wananchi wa zanzibar
wakati serikali ikitarajiwa kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa maazimio ishirini na tatu ya bunge kuhusu kashfa ya richmond jana iliwasilisha kwenye kamati ya bunge ya nishati na madini taarifa ya utekelezaji kuhusu mgodi wa makaa ya mawe kiwira huku taarifa zote UNK kuwaka moto leo
wakati taarifa ya kiwira UNK na kamati serikali imepata pigo baada ya taarifa yake kuhusu ticts kukataliwa na kamati ya bunge ya miundombinu kutokana na kutozingatia matakwa ya bunge na maslahi ya taifa
habari za ndani zilieleza kwamba taarifa hiyo iliwasilishwa kwenye kamati hiyo jana mchana baada ya kipindi cha maswali na majibu na waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu bwana philip marmo
tuliletewa taarifa ile na tumelijadili lakini tumeona halifai kwa kuwa ina mapungufu mengi ambayo UNK kama tulivyotaka UNK na UNK UNK kwanza serikalini kilisema chanzo chetu ndani ya kamati hiyo
mwenyekiti wa kamati hiyo bwana william shellukindo alikiri kupokea taarifa ya UNK huku akikataa kueleza chochote kwa kuwa kanuni hazimruhusu kuzungumza masuala ya kamati kwenye vyombo vya habari kabla ya kuwasilishwa bungeni
kuhusu richmond chanzo chetu kilisema kuwa serikali imeweka kiporo taarifa hiyo hadi leo kutokana na kile kilichodaiwa kuwa kanuni za bunge haziruhusu kamati moja kupokea taarifa mbili siku moja hivyo UNK ya kiwira na kuipa nafasi kupokea ya richmond leo
adai ni mtendaji mzuri kivuli chake kinatisha watu
asema chenge daktari hoseah ni watu safi hawana tuhuma
UNK spika sitta kwa kuruhusu mijadala ya ufisadi UNK kwa wabunge wa ccm katika kikao kati yao na kamati ya mzee ali hassan kumezidi kutoa sura mpya zaidi baada ya waziri wa nchi ofisi ya rais bibi sophia simba kuweka wazi msimamo wake wa kumtetea mbunge wa monduli bwana edward lowassa kuwa ni mwanaume shupavu habari z...
mheshimiwa lowassa ni mwanaume shupavu ni mtendaji mzuri sana kivuli chake kinatishia watu hana hatia yoyote alionewa tu kisiasa
makamba ni mchapa kazi na UNK sana ccm acheni mzee UNK kazi
pia UNK lawama spika wa bunge samuel sitta kwa kuruhusu mjadala wa richmond epa na mijadala kuhusu ufisadi kwamba kwa kufanya hivyo haitakii mema serikali ya ccm kwa kuwa angeweza kuzuia
ndio maana wajumbe wa nec walitaka kuchukua kadi yake ni busara tu za mwenyekiti UNK chanzo chetu UNK waziri huyo
waziri huyo ambaye pia ni mwenyekiti wa umoja wa wanawake tanzania UNK pia mwenyekiti wa ipp reginald mengi kuwa ni UNK wa chadema akiwataka wabunge wa ccm wanaonufaika na misaada yake chini ya vicoba UNK chadema habari zaidi zilieleza kwamba kama vile bibi simba alikuwa anatoa taarifa za serikali alieleza kamati hiyo...
kamati ya mwinyi iliundwa na halmashauri kuu ya ccm kuchunguza chanzo cha mpasuko miongoni mwa wabunge na UNK mjini dodoma tangu mwanzoni mwa wiki kwa ajili ya kazi hiyo
wajumbe wengine ni makamu mwenyekiti wa ccm na kada wa ccm abdulrahaman kinana
baadhi ya wachambuzi wa masuala ya kisiasa walihoji kama kauli za waziri simba ni msimamo wa ikulu au ni mawazo yake binafsi kwa kuwa inaaminika asingeweza kusema maneno hayo kwa uzito ule bila uhakika wa ikulu
habari kutoka katika kundi la wabunge vinara wa vita vya ufisadi zilieleza kwamba wameamua kukaa kimya kwanza kusubiri kundi linalodaiwa kuunga mkono ufisadi kumaliza kisha wataoa majibu kwa njia rahisi ili kuepusha mpasuko zaidi
kwa sasa hatutaki kuzungumza kitu chochote jana tulishambuliwa sana
UNK sana tena matusi ya nguoni UNK hata na watu ambao si wabunge lakini sisi kwanza tunashangaa ila kwa sasa tusubiri kwanza sisi tunajua wananchi wataoa jibu ambao ndio waathirika zaidi na ufisadi alisema mmoja wa wabunge hao
kikao hicho leo kinaendelea kwa siku ya tatu na bado haijulikani kama kitamalizika au kitaendelea pia kesho huku ila upande UNK msimamo wake
kufuatia kuwepo kwa vitendo vya wizi wa fedha za mapato ambao umekuwa ukifanywa na baadhi ya watendaji wa halmashauri ya wilaya ya bahi mkoani hapa halmashauri inatarajia kumpeleka mkaguzi wa mahesabu ya ndani katika vijiji hamsini na sita vya wilaya hiyo
lengo la kumpeleka mkaguzi huyo wa ndani katika vijiji hivyo ni kukagua vitabu vya mapato kwa watendaji wa halmashauri hiyo kwa lengo la kudhibiti ubadhirifu wa fedha
mkurugenzi wa halmashauri hiyo bibi beatrice UNK alitoa taarifa hiyo mjini hapa na kusema hatua hiyo imekuja kufuatia baadhi ya watendaji wa kata wilayani bahi kuiingizia hasara halmashauri hiyo kutokana na kukusanya fedha chini ya malengo
alisema kuwa ili kuweza kudhibiti wizi huo ambao umekuwa ukifanywa na baadhi ya watendaji hao mkaguzi huyo ataenda katika vijiji hivyo hamsini na sita kwa ajili yakufanya ukaguzi wa mahesabu ya mapato kwa watendaji hao
alifafanua kuwa halmashauri hiyo ya bahi hivi sasa imeanzisha utaratibu maalum wa kuwazawadia watendaji ambao watakuwa wakikusanya mapato yao vizuri ikiwa ni pamoja na kuwapa zawadi katika kukabiliana na tatizo hilo la wizi huo wa fedha za halmashauri hiyo
aliongeza kuwa kwa kuanza kutekeleza suala hilo wameshatoa jumla baiskeli tano na fedha taslimu shilingi thebathini sifuri sifuri sifuri kila mmoja katika kata za UNK UNK UNK ambapo watendaji wake walikusanya mapato vizuri zaidi ya asilimia sabini na tano mkurugenzi huyo alisema kuwa katika mwaka huu wa fedha ishirini...
na subira UNK morogoro moto mkubwa UNK hoteli ya kingstone iliyopo eneo la nane nane katika manispaa ya morogoro na kusababisha hasara kubwa ambayo bado haijaweza kufahamika mara moja
akizungumza na waandishi wa habari mkoani hapo jana mmiliki wa hoteli hiyo meja wa jwtz msabaha UNK alisema hoteli hiyo UNK usiku wa kuamkia jana majira ya saa tisa thebathini alfajiri
mmiliki huyo alisema moto huo ulianzia kwenye sehemu ya kaunta na baadaye kushika katika eneo lote la hoteli hiyo ambayo UNK kwa makuti hadi kwenda upande wa pili wa vyumba vya kulala wageni
alisema mara baada ya kuanza kuwaka kwa moto huo watu ambao hawakuweza kujulikana na ambao wanahisiwa kuwa ni vibaka walifika katika hoteli hiyo na kuiba vitu mbalimbali ambavyo alivitaja kuwa ni spika za muziki meza na viti na kusema thamani ya vitu hivyo bado haijajulikana
kufuatia tukio hilo mkuu wa wilaya ya morogoro bwana said mwambungu ameteua kamati ya muda UNK kwa muda wa wiki moja kwa ajili ya kuchunguza chanzo cha moto katika hoteli hiyo na kusaidia uongozi wa wilaya pamoja na watendaji wengine kujua ni namna gani wataweza kuzuia majanga mengine ya moto yasije yakatokea
mkuu huyo wa wilaya alisema kamati hiyo itaongozwa na mkurugenzi wa manispaa hiyo mkuu wa polisi wilaya afisa usalama wilaya meneja wa tanesco mkoa mhandisi wa ujenzi wa manispaa hiyo pamoja na mkuu wa kikosi cha zimamoto
aidha mwambungu alitoa wito kwa wamiliki wa majengo na taasisi kubwa katika manispaa hiyo kuhakikisha wanaweka miundo mbinu ya umeme vizuri kwa kutumia mafundi wenye uhakika pamoja na kuita tanesco kwa ajili ya ukaguzi kabla ya kuanza kazi ili kuweza kunusuru majanga ya moto yanayojitokeza mara kwa mara
mahakama ya hakimu mkazi kisutu imeombwa kutopokea maelezo ya onyo yanayodaiwa kutolewa na ofisa ugavi wa wizara ya maliasili bibi UNK moshi kwa kuwa hayahusiani na makosa aliyoshitakiwa nayo mahakamani hapo
mbali na hilo pia mahakama imeombwa kutangaza kuwa shahidi wa upande wa mashitaka ambaye ndiye alikuwa mpelelezi wa kesi hiyo kutoka takukuru hana sifa za kutoa maelezo hayo kwa kuwa makosa yanayowakabili washitakiwa hayo hayahusiani na makosa ya rushwa
hayo yalijitokeza jana mahakamani hapo mbele ya hakimu mkazi bwana UNK sanga wakati kesi hiyo ilipokuja kwa ajili ya kusikilizwa kesi inayowakabili maofisa wa wizara ya maliasili ambao wanadaiwa kuiba shilingi milioni mia moja na kumi na tisa tano malumbano hayo ya kisheria yalijitokeza baada ya shahidi wa pili wa upa...
akipinga kupokewa kwa maelezo hayo wakili wa utetezi bwana hudson ndusyepo alisema kuwa maelezo hayo yanaonesha mshitakiwa alionywa kwa makosa ya kutengeneza nyaraka kwa nia ya kumdanganya mwajiri wake tofauti na makosa yaliyoko mahakamani
alisema kuwa mbali na kumhoji kwa makosa mengine lakini shahidi huyo hana mamlaka ya kukamata wala kuchunguza makosa aliyoshitakiwa nayo mshitakiwa huyo kwa kuwa wenye mamlaka hayo ni polisi ambao UNK kwa sheria ya kanuni ya adhabu ambayo ndiyo ameshitakiwa nayo
kwa kuzingatia haya takukuru walitakiwa kuripoti polisi ili washughulikie suala hili kwani makosa yaliyoko mahakamani hapa hayahusiani na rushwa alisema bwana UNK
katika majibu ya upande wa mashitaka kuhusiana na pingamizi hilo walisisitiza kupokewa kwa maelezo hayo kwa kuwa lipo kosa linalohusiana na makosa ya rushwa ambalo liko kwenye sheria ya uhujumu uchumi
kutokana na malumbano hayo mahakama itatoa uamuzi wa kupokea maelezo hayo au la novemba ishirini na sita mwaka huu
washitakiwa wengine katika kesi hiyo ni bwana elias mziray bwana david UNK na bwana joseph rweyemamu ambao wote kwa pamoja wanakabiliwa na makosa ya kula njama kuiba na kusababisha hasara ya shilingi mia moja na kumi na tisa mia tano na thebathini sifuri sifuri sifuri wakiwa waajiri wa wizara hiyo
jumla ya wanafunzi wa ishirini na tano wa jamii ya wafugaji wa kimasai wilayani kiteto katika mkoa wa manyara wamepatiwa hifadhi na serikali kusubiri matokeo ya mtihani wa darasa la saba ikihofia wanaweza kuolewa kabla ya matokeo hayo kutangazwa
akizungumza na majira ofisini kwake mkurugenzi mtendaji wa halmashuri ya wilaya ya kiteto bibi UNK lyimo amesema hifadhi hiyo imetokana na ombi maalumu la madiwani lililotolewa kwenye kikao kuhusu hifadhi hiyo
hadi sasa jumla ya wanafunzi ishirini na tano wa kike wa jamii ya kifugaji wamasai ambao wamemaliza mtihani tumewapa hifadhi shule moja ya msingi katika kata ya UNK alisema na kuongeza pamoja na hifadhi hiyo bado kuna haja ya kutazamwa upya jinsi ya kuisaidia jamii kuona umuhimu wa kusomesha watoto wao sio kweli kuwa ...
alisema pamoja na serikali kuwapa hifadhi wanafunzi hao bado wazazi wana wajibu wa kusomesha kwa kuwa kufanya hivyo jamii itaendelea kubweteka kusubiri serikali ambayo hata hivyo UNK na watu tegemezi
bibi lyimo aliendelea kusema kuwa jamii ya wafugaji hao ina uwezo mkubwa wa kifedha kulingana na jamii zingine kutokana na shughuli zao za ufugaji hawana sababu ya kusubiri serikali UNK watoto wao
pamoja na kupatiwa hifadhi hiyo bado kuna kila sababu ya mzazi kumlinda mtoto huyo kwa kuwa bado yuko mikononi mwake na kama itabainika akapata mimba mzazi atawajibika kwa nafasi yake kisheria alisema akiwa hajafurahishwa na kitendo hicho
wanafunzi hao majira ilifuatilia kama wapo shuleni hapo na kubaini kuwa wengi wao wametoroka kwa kile kilichodaiwa kuchoshwa kukaa bweni bila kazi wakati wakisubiri matokeo
wenzetu wametoroka hawapo hapa hata sisi tumechoka kukaa bila kazi wala UNK hatuendi tuisheni tunakula na kulala tu UNK hata hivyo kuna tatizo la uhaba wa chakula shuleni wazazi wametakiwa kuchangia na hawatakubali alisema mmoja wa wanafunzi hao ambaye hakutaka jina lake litajwe
mwenyekiti mtendaji wa kampuni ya ipp bwana regnald mengi amemshauri waziri wa nchi ofisi ya rais bibi sophia simba kunyamaza kimya katika vita dhidi ya ufisadi kwa sababu akida kuwa siyo mwadilifu na kwamba hawezi kusimama kupinga vita dhidi ya ufisadi
vile vile amemshauri kabla hajazungumza aombe ushauri kutoka taasisi za serikali kama vile usalama wa taifa badala ya kupotosha ukweli
bwana mengi alisema hayo jana dar es salaam wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu tuhuma ambazo zimekuwa zikielekezwa kwake na baadhi ya viongozi wa chama cha mapinduzi kwamba yeye si mwanachama wa chama hicho na hatoi misaada ya hali na mali kwa chama
bwana mengi alipotakiwa na waandishi wa habari aeleze alichodai ni uchafu wa bibi
simba alisema kuwa uko wazi na hakuna asiyefahamu ambapo alimtolea mfano uchaguzi wa jumuiya ya wanawake wa chama cha mapinduzi jinsi alivyokuwa UNK kinyume na maadili
ndugu wanahabari kuna msemo wa kiingereza usemao don t UNK with a fool because people may not know the UNK between you the fool wenye maana kwamba usibishane na mjinga kwa sababu watu wanaweza kushindwa kufahamu tofauti yako na huyo mjinga
wakati mwingine UNK kujibu hoja UNK mtu UNK mambo kwa makusudi na kuanza kuropoka kwamba sitoi misaada kwa ccm hilo ni jambo UNK na watu binafsi na kwa malengo binafsi alisema
bwana mengi alisema kuwa viongozi wa ccm ambao ni waadilifu na wanaosimamia ukweli wanajua undani wa jambo hilo iwapo kama anachangia au la
kuhusu uwanachama wangu wa ccm napenda kuwaambia kwamba mimi ni mwanachama wa ccm tangu aprili kumi na nane mwaka elfu moja na mia tisa na sabini na saba na kadi yangu ni namba b laki moja na elfu ishirini na nne na mia tano na tisini na tano iliyotolewa na tawi la kisutu wilaya ya ilala mkoa wa dar es salaam alisema ...
bwana mengi alisema madai yote kwamba yeye si mwanachama au alijiunga na chama hivi majuzi kama inavyoelezwa na bibi
simba katibu wa ccm mkoa wa dar es salaam bwana shaaban nggenda na mwenyekiti wake bwana john guninita ni uongo uzushi na UNK wenye lengo la kudhoofisha juhudi za viongozi wa juu wa chama hicho na baadhi ya wanachama za kupiga ufisadi vita
alisema kuwa ameshangazwa na kauli ya bwana nggenda aliyoitoa juzi katika vikao vya chama dodoma kuwa katika ukaguzi wake alioufanya katika matawi ya kisutu hakuona jina lake wakati yeye ni UNK hai wa ccm alisema kuwa yeye na wenzake wamekuwa mstari wa mbele kuhakikisha kwamba chama kinaongozwa katika misingi yake ya ...
bwana mengi alisema kuwa wanaodai kuwa ndani ya ccm hakuna kiongozi msafi ni wazi kwamba UNK chama hicho hivi majuzi ambapo aliwashauri waondoke na kuwaachia chama chao kwa kuwa hawafahamu msingi wake imara
baadhi ya vyombo vya habari jana vilimkariri bibi simba akidai kwamba chama chao kilikuwa UNK bwana mengi kuwa ni kada wa ccm na kwamba tayari hata uamuzi wake wa kuamua kujiunga na chama hicho katika siku za hivi ulikuwa UNK
katika hatua ambayo haikutarajiwa waziri simba badala yake aliwataka wabunge wa ccm UNK na bwana mengi na kuunga mkono jitihada zake za kuchangia fedha za misaada katika maeneo mbalimbali nchini kufanya hivyo hivyo hata katika michango ya mabilioni iliyotolewa na rais jakaya UNK sehemu tofauti nchini
wabunge wapania kuendeleza mapambano
UNK asisitiza rostam anahusika richmond wabunge wengi mjini dodoma wamesikitishwa na hatua ya serikali kutowasilisha taarifa kuhusu kampuni ya richmond kama bunge UNK na kusema kuwa hatua hiyo inalenga kuzorotesha vita dhidi ya ufisadi
kinyume na matarajio ya wabunge na watanzania wengi serikali jana haikuweza kutoa maelezo kuhusu ripoti yake ambayo ilikataliwa na bunge katika mkutano wa uliopita kwa maelezo kwamba haikukidhi matarajio yao
wabunge waliohojiwa jana walisema hata hivyo kwamba wataendeleza mapambano dhidi ya ufisadi na kuhakikisha kwamba waliohusika katika kashfa hiyo wanachukuliwa hatua