text stringlengths 1 1.32k |
|---|
kwa upande wake bibi makame aliwaeleza waandishi wa habari zanzibar kuwa suala hilo linahitaji kuzingatia taratibu za nchi UNK viongozi wanaweza kupigwa mawe iwapo wataamua bila ya kuzingatia matakwa ya katiba na pia ni vigumu UNK kwa njia ya mkato |
na kulwa mzee shahidi wa nane upande wa mashitaka katika kesi ya mauaji ya ubungo mrakibu wa polisi abdallah dunia amedai vocha iliyotumika aliyoikuta ndani ya gari la majambazi UNK kuwajua baadhi ya washitakiwa waliohusika katika tukio hilo |
bwana dunia alidai hayo jana mahakama kuu ya tanzania mbele ya jaji projest rugazia wakati akitoa ushahidi kwa kuongozwa na wakili wa serikali bibi evetha mushi |
shahidi alidai namba hiyo ya simu UNK na simu za baadhi ya washitakiwa aliomba kielelezo hicho cha vocha UNK na mahakama ilikubali |
pia alidai aprili ishirini na tatu ishirini sifuri sita siku tatu baada ya tukio la ubungo kutokea alipata taarifa kuwa mwanajeshi alihusika |
alimtaja mwanajeshi anayedaiwa kuhusika kuwa ni mt elfu saba na mia saba na hamsini na nne pte nazareth amulike alikwenda nyumbani kwake kurasini shimo la UNK saa kumi alfajiri kumkamata lakini hawakukuta chochote kumuhusisha na tukio hilo |
alidai kambini kwa mshitakiwa walikuwa wakijua yuko shinyanga katika michezo lakini hakwenda kwa sababu zilizoonekana kutokuwa si za msingi |
akihojiwa na upande wa utetezi shahidi alikiri kwamba katika maelezo aliyoandika baada ya tukio kuna baadhi ya vitu UNK lakini katika ushahidi wake kortini alivieleza na vingine UNK katika kuandika |
washitakiwa katika kesi hiyo ni mashaka mahenge rashid lembresi john mndasha martine mndasha philipo mushi jackson issa haji kiweru yassin juma hamisi mjata musa mustafa mt elfu saba na mia saba na hamsini na nne pte nazareth amulike mt laki saba na elfu sitini na moja na mia sita na ishirini na moja emmanuel lameck U... |
wanadaiwa aprili ishirini ishirini sifuri sita kwa makusudi walimuua evarist manyoni aliyekuwa mfanyakazi wa nmb tawi la wami na katika mashitaka ya pili walimuua askari d elfu sita na mia tatu na sitini na moja pc abdallah maro |
kesi inaendelea leo |
waziri mkuu bwana mizengo pinda amezitaka mamlaka zinazosimamia ubora wa bidhaa nchini kutokuwa kikwazo cha wajasiriamali kuthibitisha ubora wa bidhaa zao |
mamlaka hizo ni pamoja na shirika la viwango tanzania na mamlaka ya chakula dawa tanzania |
bwana pinda aliyasema hayo dar es salaam juzi jioni wakati akizindua maonesho ya nguvukazi juakali yanayoshirikisha nchi zote za afrika mshariki isipokuwa burundi |
bwana pinda alisema kuwa bidhaa nyingi alizoziona katika mabanda UNK hazina nembo ya mashirika ya viwango huku baadhi ya wajasiliamali wakionesha kukata tamaa katika uthibitishaji wa bidhaa zao |
kutokana na maelezo UNK kutoka kwa baadhi ya wajasiliamali hasa wazawa wameonesha kukata tamaa katika uthibitishaji wa bidhaa zao ninawaomba tfda tbs na wengine kuwasaidia wajasiliamali hawa badala ya kuwa kikwazo kwao alisema bwana pinda katika hatua nyingine amewataka waandaaji wa maonesho hayo kuwa na mfumo wa kuto... |
pia alizitaka nchi washiriki kutenga sehemu maalumu ya wajasiriamali hao kuonesha bidhaa zao hasa katika msimu wa maonesho makubwa kama sabasaba |
akizungumza katika uzinduzi huo waziri wa kazi ajira na mendeleo ya vinaja profesa juma kapuya UNK nchi za jumuiya hizo kutoweka ukiritimba mipakani kwa wajasiriamali wanaotaka kuvuka kwenda nchi jirani kufanya biashara katika nchi hizo |
profesa kapuya alisema ukiritimba huo utarudisha nyumba UNK ya kuwekwa kwa soko la pamoja katika jumuhiya hiyo na kurudisha nyuma juhudi za kujiletea maendeleo |
UNK pale mtu anapofika mipakani watu UNK muda usiozidi nusu saa lakini utakuta wakati mwingine mtu UNK muda pasipo sababu za msingi na hii UNK kama changamoto kwetu alisema profesa kapuya |
wakazi wa jiji la dar es salaam wametakiwa kuendelea kuchukua tahadhari katika suala la usafi ili kusaidia kupunguza maambukizi ya ugonjwa wa kipindupindu |
hatua hiyo imekuja baada ya idadi ya wagonjwa wa kipindupindu kuongezeka kutoka tisa hadi thebathini na nane ambao wamelazwa katika hospitali za manispaa za wilaya ya temeke ilala na kinondoni |
akitoa taarifa za ugonjwa huo dar es salaam jana kaimu mganga mkuu wa jiji daktari hawa kawawa alisema wagonjwa kumi na tisa wametoka wilaya ya ilala na kumi na moja temeke |
mpaka sasa tuna wagonjwa thebathini na nane tumewapokea juzi asubuhi na wa zamani wanane wengi wao wametoka maeneo ya pugu vingunguti kiwalani segerea kiwalani kipawa ukonga ilala tabata UNK yombo vituka na kinyerezi ambao wanaendelea kupata matibabu alisema daktari kawawa daktari kawawa alisema ukaguzi wa maeneo ya b... |
tunaishukuru serikali kwa kutoa dawa hasa dripu kwani tumejitahidi kuwatibu wagonjwa kadri inavyowezekana ndio maana hakuna kifo hata kimoja lakini wananchi UNK kuchukua tahadhari zaidi ili kumaliza tatizo hilo aliongeza |
aidha amewataka wananchi kuzingatia usafi UNK vyakula pindi wanapomaliza kupika kunawa mikono kabla ya kula na wanapotoka chooni UNK maji ya kunywa na kila wanapopata dalili za kipindupindu ambazo ni kuharisha maji yenye rangi ya mchele na kutapika wawahi hospitali ili kupatiwa matibabu |
mwenyekiti wa chama cha tanzania labour bwana augustino mrema amesema kwa gharama yoyote ile atahakikisha jimbo la vunjo linakuwa mikononi mwake mwaka ishirini moja sifuri licha ya mbunge wa sasa bwana aloyce kimaro UNK |
bwana mrema alitoa kauli hiyo jana dar es salaam wakati akikanusha kuhusika na kuzomewa kwa mbunge bwana kimaro kama alivyonukuliwa na vyombo vya habari akilalamika jana badala yake akasema sababu kutoeleza mikakati ya kupeleka maji katika jimbo hilo |
alisema kuwa wananchi walikuwa wakisubiri kwa hamu kupata taarifa za maji badala yake mbunge wao alitaka kuwasimamisha viongozi wa tlp UNK ili UNK kitu ambacho UNK hasira za wananchi na kuanza kumzomea |
bwana mrema alisema kuwa kama bwana kimaro angekuwa ametekeleza yale yote aliyokuwa UNK wananchi wakati wa kampeni mwaka ishirini sifuri tano UNK na hivyo akamtaka UNK yeye kwamba ndiye aliyetuma watu UNK |
himo kuna tatizo kubwa sana la maji na wananchi walitegemea katika mkutano huo ambao bwana kimaro alikuwa ameambatana na bibi |
anna kilango angezungumzia mikakati aliyofikia kuhusu suala la maji badala yake UNK mada nyingine alisema |
bwana mrema alisema kuwa operesheni safisha anayodai kuifanya bwana kimaro vunjo ni kurubuni viongozi wa tlp ambapo juzi katika mkutano UNK viongozi hao wa mitaa na vitongoji bwana abel shirima wa kilema chini na bwana steven tumbo wa UNK cha makame chini wasimame na kutangaza kujihudhuru lakini waligoma na ndipo alip... |
kwa taarifa yake mimi ndiye mgombea wa jimbo hilo mwakani piga UNK nitagombea na kuhakikisha kwamba UNK kwa gharama yoyote |
hata kama anasema kuwa UNK kwa miaka ishirini bila ya mafanikio lakini sijawahi kuzomewa kama yeye UNK kila mara anapokuwa akifanya mkutano alisema |
alisema kuwa wananchi ndio wanaojua alichokifanya kwa kipindi cha miaka ishirini na siyo bwana kimaro hivyo akamtaka aeleze alichokifanya kwa kipindi chote cha uongozi wake na siyo kumnadi mrema |
mimi sina wasiwasi yeye apige kelele na kumwaga manyanga lakini ninachotaka akae akitambua ni kwamba mimi ndiye mbunge wa vunjo mwakani na nimejipanga ipasavyo na ninaamini ninakubalika kwa vijana wanawake na wazee alisisitiza |
bodi ya usajili wa wahandisi imepokea majina mawili wahandisi ambao wanatakiwa kufutwa kutokana na kushindwa kufanya kazi zao kwa mujibu wa taaluma kwenye halmashauri mbalimbali nchini |
msajili wa bodi hiyo bwana steven mlote ameyasema hayo alipozungumza na majira kuhusu kauli ya waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu bibi celina kombani aliyoitoa kwenye maadhimisho ya siku ya wahandisi nchini kuwa bodi iwafute usajili wahandisi wanaofanya kazi chini ya viwango katika halmashauri |
tumepokea majina mawili japo alisema ana majina mengi ya wahandisi wanaoshindwa kufanya kazi kitaaluma katika halmashauri mbalimbali na kusabisha serikali kupoteza fedha kwa miundombinu inayojengwa bila viwango na kuharibika baada ya muda mfupi |
na sisi hatuwezi kuwafukuza mara moja lazima kwanza tujiridhishe kama ni kweli alisema bwana UNK |
alisema kwa sasa bodi UNK watu kuwachunguza wahandisi hao kuangalia taaluma zao shule na vyuo UNK na mazingira ya kazi kama walikuwa na vitendea kazi vya kutosha vya kufanyia kazi ili kubaini uzembe uliopo |
bwana mlote alisema wanafanya hivyo kabla ya kuchukua uamuzi wa kuwafuta katika usajili kwa lengo la kuwatendea haki huenda walishindwa kutimiza majukumu yao kutokana na kukosa vitendea kazi |
aidha alimtaka waziri kuhakikisha UNK katika halmashauri kuwa makini katika kuwatambua watu wenye taaluma hiyo ili kujiepusha na kuajili watu ambao ni wavamizi katika taaluma |
alisema kazi ya uhandisi imevamiwa na makanjanja wengi hiyo kama hawatakuwa makini wanaweza UNK watu UNK taaluma kazi ikaharibika na taifa likapata hasara |
na grace michael hatimaye kesi ya wizi wa zaidi ya shilingi bilioni tatu nane katika akaunti ya madeni ya nje inayomkabili kada wa ccm rajab maranda na wafanyakazi wa benki kuu ya tanzania itaanza kunguruma juni kumi na sita hadi thebathini mwaka huu baada ya kupangiwa jopo la mahakimu watatu flora mutungi samwel karu... |
hatua hiyo ilijulikana jana mahakama ya hakimu mkazi kisutu dar es salaam wakati kesi hiyo ilipotajwa na kujua endapo imepangiwa jopo la mahakimu wa kuisikiliza |
kesi hii itasikilizwa kuanzia juni kumi na sita hadi thebathini mwaka huu na itakuja kwa ajili ya kutajwa mei kumi na nane mwaka huu |
hivyo upande wa mashitaka hakikisheni mashahidi wanakuwepo alisema mgeta |
washitakiwa katika kesi hiyo ni maranda farijala hussen ajay somani ambao wote ni wafanyabiashara ambapo wafanyakazi wa bot ni ester komu sophia UNK na iman mwakosya |
awali washitakiwa hao walifikishwa kortini hapo wakidaiwa kati ya januari kumi na nane na novemba tatu mwaka ishirini sifuri tano walikula njama ya kuiba mabilioni ya fedha kutoka bot washitakiwa hao wanadaiwa kuiba shilingi bilioni tatu nane baada ya kughushi nyaraka za usajili wa kampuni na kudai wamehamishiwa deni ... |
wakati huo huo kesi nyingine inayomkabili kada huyo ya wizi wa shilingi milioni ishirini saba mbili ambayo ilitakiwa isikilizwe jana ilikwama kutokana na upande wa mashitaka kushindwa kupata mashahidi |
upande wa mashitaka ulikwama kupata mashahidi hao kama mahakama ilivyokuwa imeagiza juzi kutokana na ufinyu wa muda uliokuwa UNK |
akiomba kuahirishwa kwa kesi hiyo wakili mkuu wa serikali boniface stanslaus alisema wamefanya jitihada za kuwapata mashahidi ambao ni askari lakini kwa ufinyu wa muda wote wamekutwa kwenye majukumu mengine |
kutokana na hali hii tunaomba kesi hii ije kesho tutakuwa na uhakika wa kuwa na mashahidi aliomba bwana stanslaus |
hoja hiyo UNK na upande wa utetezi hivyo kuamriwa kusikilizwa kwa kesi hiyo leo |
washitakiwa ni maranda farijala komu mwakosya na bosco UNK |
upande wa mashitaka unatarajia kuita mashahidi kumi na mbili washitakiwa wanashitakiwa kwa wizi wa mamilioni hayo ambayo wanadaiwa kuyaiba kupitia kampuni ya rashhas ltd |
mkuu wa majeshi mstaafu jenerali george waitara anatarajia kupanda mlima kilimanjaro kuanzia UNK sita mwaka huu akisindikizwa na jopo la viongozi kumi kutoka nje na ndani ya nchi |
akizungumza na waandishi wa habari dar es salaam jana katika uzinduzi rasmi wa upandaji wa mlima UNK kwa mwaka huu mwenyekiti wa kampuni ya kj traders bwana joseph UNK alisema kuwa bwana waitara ataambatana na mkewe na waziri wa viwanda na biashara daktari marry nagu |
wengine watakaoshiriki ni makamu wa rais wa chama cha kupanda milima china bwana li UNK |
shamrashamra za UNK wapandaji zitafanyika siku moja kabla ya kuanza kupanda desemba sita katika wilaya ya UNK mkoani kilimanjaro na watatumia siku sita kupanda na kushuka |
kaulimbiu ya mwaka huu ni kuwasaidia watoto yatima ambayo ina malengo makuu manne ambayo ni pamoja na kuadhimisha siku ya uhuru kuwasaidia watoto yatima hasa wanaoishi karibu na mlima kutangaza utalii wa ndani na UNK watanzania juu ya mlima kilimanjaro |
mwaka jana watu ishirini na nne walishiriki kupanda mlima kilimanjaro akiwemo bwana waitara ambaye alipanda kwa saa tatu na kushindwa kuendelea kutokana na hali ya hewa na umri wake ikiwa washiriki kumi na moja ndio waliofika kileleni |
bwana waitara ameahidi kwa mwaka huu lazima afike kileleni ili kulinda heshima ya nchi na chama cha wapandaji milima cha china |
wakati huo huo kampuni ya bia ya serengeti kama mdhamini wa wapandaji wa mlima kilimanjaro kwa mwaka huu imetoa shilingi milioni kumi na mbili ikiwa kama kianzio cha maandalizi na mipango UNK |
UNK majengo mapacha ya benki kuu ya tanzania bwana harold webb amedai fedha zote zilizoongezeka kinyume na mkataba wa awali zilitumika kwa ujenzi wa majengo hayo na hakuna aliyesababisha hasara |
hayo yalidaiwa jana katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu mbele ya jopo la mahakimu linaloongozwa na hakimu bwana edson mkasimwongwa wakati shahidi huyo wa saba upande wa mashitaka akitoa ushahidi dhidi aliyekuwa mkurugenzi wa utawala na utumishi wa benki hiyo bwana amatus liyumba |
bwana webb ambaye ni raia wa uingereza kitaaluma ni mkadiriaji majengo alidai mkataba wa awali wa ujenzi wa majengo hayo ulikuwa wa dola za marekani sabini na tatu sitini sifuri na baada ya mabadiliko na kazi kuongezeka gharama UNK na kuwa dola mia tatu na hamsini na saba mia sita na sabini na tano mia tano na sitini ... |
alidai mabadiliko yote yalikuwa yakitoka kwa mteja wao ambaye ni bot na haikuwa kazi yake kujua kwa nini yalikuwa yakitokea |
mkadiriaji huyo alidai hajawahi kupata maelekezo kutoka katika menejimenti ya bot kuhusiana na mabadiliko ya kazi alikuwa akipata maelekezo kutoka kampuni ya d s shahidi alipotakiwa kueleza kama alikuwa na mawasiliano binafsi ya mshitakiwa kuhusu mradi huo alidai hakuwa na mawasiliano yoyote na bwana liyumba |
mshitakiwa katika kesi hiyo anakabiliwa na mashitaka ya kutumia vibaya ofisi yake na kusababisha hasara ya shilingi bilioni mia mbili na ishirini na moja moja kutokana na kuidhinisha malipo ya mradi huo bila idhini ya bodi ya wakurugenzi |
kesi iliahirishwa inatarajiwa kuendelea kusikilizwa januari ishirini na sita mwakani na kabla ya hapo itakuwa inatajwa |
mamlaka ya mapato nchini imetakiwa kuweka mikakati madhubuti UNK wigo wa ukusanyaji wa kodi ili kuhakikisha mapato stahili UNK kuiwezesha nchi kufikia lengo la kupata asilimia kumi na nane ya pato la taifa na kupunguza utegemezi kwa wahisani |
katika kupanua wigo huo tra wanapaswa kuwa na mfumo mzuri utakaowawezesha kuorodhesha shughuli na biashara ikiwemo kuzitilia maanani zile zinazofanywa na sekta isiyo rasmi ili ziweze kuchangia pato la taifa tofauti na ilivyo sasa |
hayo yalisemwa jana dar es salaam na waziri wa fedha na uchumi bwana mustafa mkulo wakati wa maadhimisho ya nne ya siku ya mlipa kodi tanzania |
bwana mkulo alisema ili kuhakikisha sekta isiyo rasmi yenye watu takribani milioni kumi na sita inalipa kodi kunahitajika kuwepo kwa mazingira bora ya kufanyia biashara ikiwemo ulipiaji wa kodi |
ni kweli kuwa mapato ya serikali yamekuwa yakiongezeka mwaka hadi mwaka tangu tuanzishe mamlaka hii kutoka shilingi bilioni mia moja na kumi na saba kwa mwezi mwaka ishirini sifuri tatu ishirini sifuri nne hadi shilingi bilioni mia nne na ishirini na moja septemba ishirini sifuri nane wakati tunatambua mafanikio hayo ... |
kwa sababu bado hayakidhi haja ya mahitaji yetu ambayo nayo pia yanaongezeka mwaka hadi mwaka |
tunatakiwa kupiga hatua nyingine zaidi ili kuhakikisha kuwa mapato yanaongezeka na kutuwezesha kupunguza kiasi cha utegemezi wa misaada ya wahisani mbalimbali alisema bwana mkulo |
kamishna mkuu wa tra bwana harry kitilya alisema wakati wakiendelea kuboresha wigo wa kodi kwa wale walioko nje ya mfumo kwa sasa mamlaka hiyo imejipanga kupambana na tatizo la ukwepaji kodi linalosababishwa na walipa kodi wachache wasiokuwa waaminifu |
UNK faraja ni kuwa walipa kodi wengi wanatambua wajibu wa kulipa kodi stahiki ili serikali yao iwapatie maisha bora na huduma muhimu UNK lakini wako wachache ambao si waaminifu wasiotekeleza wajibu wao |
hatuna uvumulivu nao hata kidogo |
moja ya mikakati yetu katika mpango mkakati wa tatu ni kupambana na tatizo la ukwepaji kodi alisema bwana kitilya |
naye mwenyekiti wa bodi ya tra daktari UNK UNK alisema katika kutekeleza mikakati mbalimbali ya utendaji ndani ya tra wamekuwa UNK umuhimu suala la uadilifu kwa kuchukua hatua za kinidhamu kwa watumishi wasiokuwa waadilifu ambao wamekuwa wakifanya hivyo kwa kushirikiana na vyombo vya dola kama takukuru na wadau wengin... |
spika wa bunge bwana samuel sitta anatarajia kuwa mgeni rasmi katika harambee ya kuchangia ujenzi wa shule maalumu ya vipaji kwa watoto yatima jijini dar es salaam |
taarifa iliyotolewa jana na kaimu mufti wa tanzania shekhe ismail makusanya ilisema shilingi milioni mia moja na ishirini zinatarajiwa UNK ili kumalizia majengo ya shule hiyo ya vipaji vya watoto hao iliyopo UNK kigamboni dar es salaam |
katika hafla hiyo itakayofanyika desemba tano mwaka huu bwana sitta atashirikiana na kamishna mstaafu wa polisi alfred tibaigana kufanikisha michango hiyo |
shekhe makusanya amewaomba wadau wa elimu na watanzania wote kwa ujumla kushiriki katika harambee hiyo ili watoto hao wapate sehemu ya kupata elimu mapema mwakani |
tunaomba watanzania kujitokeza kwa wingi kuchangia fedha za ujenzi huu ambao una manufaa makubwa kwa vijana wetu wanaoishi katika mazingira hatarishi kwani sisi ndio kama wazazi wao tuliopo hivyo tuliangalie suala hili na tuweze kushiriki kwa ukamilifu alisema mufti ismail |
kaimu mufti huyo ametoa shukrani kwa sitta kwa kukubali kushiriki katika harambee hiyo licha ya kuwa na shughuli nyingi jambo linaloonyesha kuwa anajali maslahi ya umma katika suala la elimu ya vipaji kwa watoto yatima kwa ajili ya manufaa yao ya baadaye |
ukaguzi na kamatakamata ya mabasi ambayo UNK mikanda katika viti vya abiria ilianza jana kwa mabasi yaendayo mikoani |
kamanda wa kikosi cha usalama barabarani bwana james kombe amesema shughuli hiyo imeanza baada ya kazi ya ufungaji mikanda kumalizika novemba ishirini na sita mwezi huu |
alisema serikali ilitoa agizo hilo kwa wamiliki wa mabasi yaendayo mikoani na daladala kufunga mikanda hiyo katika viti kwa hiari lakini kwa sasa wakati huo umeisha na jeshi la kikosi cha usalama barabarani UNK sambazwa UNK |
kwa sasa tumejipanga vizuri na UNK UNK mabasi yote ambayo UNK mikanda na kuyafikisha kwa mamlaka ya udhibiti wa usafiri wa majini na nchi kavu ili yatozwe faini kwa kukaidi kufunga mikanda hiyo kwa hiari alisema bwana kombe |
alisema sumatra itakuwa inatoza faini kwa mabasi UNK mikanda kuanzia shilingi ishirini sifuri sifuri sifuri sifuri na kuendelea ambapo shughuli hiyo inatarajiwa kuwa endelevu na baada ya kumaliza mabasi yaendayo mikoani watahamia kwa daladala |
mwalimu wa shule ya msingi UNK wilayani kiteto mkoani manyara bwana paulo charles amekufa papo hapo baada ya kupigwa risasi na mtu ambaye hakufahamika akiwa maeneo ya shule |
kamanda wa polisi mkoani manyara bwana parmena sumary alisema tukio hilo lilitokea jumanne saa tatu usiku wakati mwalimu paulo charles akiwa maeneo ya shule alipopigwa risasi tumboni na kufa |
chanzo cha kifo hicho hakijafahamika na jeshi la polisi wilayani kiteto linaendelea na uchunguzi na mwili wa marehemu umesafirishwa kwenda marangu moshi kwa mazishi |
rafiki wa marehemu huyo bwana damson mhando alisema marehemu inadaiwa kupigwa risasi na UNK wake ambao waliishi vibaya naye kabla ya kifo chake |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.