text stringlengths 1 1.32k |
|---|
maofisa wanne wa benki kuu ya tanzania wamefikishwa katika mahakama ya wilaya ya ilala wakikabiliwa na mashitaka ya uhujumu uchumi ambapo wanadaiwa kusababisha hasara kwa serikali ya shilingi bilioni kumi nne washitakiwa hao walifikishwa jana mahakamani hapo na kusomewa mashitaka na wakili wa taasisi ya kupambana na k... |
watuhumiwa hao ni mkurugenzi wa benki kuu ya tanzania bwana saimon jengo naibu mkurugenzi wa idara ya sarafu bwana kisima mkango mwanasheria wa bot bwana bosco kimera na bwana ally bakari ambaye ni mstaafu wa benki hiyo |
katika mashitaka yao ya kwanza ambayo yalimkabili bwana jengo na bwana mkango walidaiwa kuchukua oda kutoka kwa mtoa huduma ya uchapishaji wa noti na kubadili tarakimu za hesabu kwa kuweka kiasi kikubwa tofauti na kilichokuwa kinatakiwa |
mbali na hiyo pia bwana jengo alidaiwa kutoa amri ya uchapishaji wa noti nyingi zaidi ya kiasi kilichokuwa kinatakiwa na idara ya sarafu |
katika mashitaka mengine ambayo yaliwakabili washitakiwa wote walidaiwa kuwa wakiwa waajiriwa wa benki hiyo walisababisha hasara ya shilingi kumi nne mia moja na hamsini na nane mia tatu na thebathini na tisa mia moja na arobaini na sita baada ya kusomewa mashitaka hayo washitakiwa hawakutakiwa kujibu chochote kwa kuw... |
kwa upande wa mawakili wa washitakiwa ambao ni bwana mpare mpoki na bwana mabere marando walipinga kufunguliwa kwa mashitaka mahakamani hapo kwa kudai kuwa kifungu cha sitini na tano cha sheria ya bot kinatoa kinga kwa wafanyakazi wa bot kushitakiwa kwa kitu chochote UNK wakiwa UNK majukumu yao kazini |
akiwasilisha hoja hizo bwana mpoki alisema kuwa mashitaka yote UNK nayo washitakiwa hao ni makosa ambayo yamefanyika wakiwa kazini hivyo kutokana na kifungu hicho hawakustahili kushitakiwa |
mbali na hiyo alisema kuwa kesi hiyo imepokelewa kwa makosa mahakamani hapo kwa kuwa mahakama hiyo haina uwezo wa kusikiliza mashitaka hayo hivyo wakaomba kesi hiyo ifutwe |
upande wa mashitaka ulipinga vikali hoja hizo na kudai kuwa mashitaka hayo yamefunguliwa chini ya sheria ya uhujumu uchumi ambapo iko wazi na inaelekeza mambo ya kufanya hivyo UNK mahakama kutupilia mbali hoja hizo |
kutokana na kuwasilishwa kwa hoja hizo mahakama iliahirisha kesi hiyo na kuamuru washitakiwa hao warejeshwe rumande hadi septemba kumi na nane mwaka huu ambapo itatoa uamuzi juu ya hoja zilizowasilishwa baada ya kupitia na kuona sheria UNK kuhusiana na jambo hilo |
shughuli ya uandikishwaji daftari la kudumu la wapigakura awamu ya pili visiwani pemba imeendelea kuwa tete baada askari wa kikosi cha kutuliza ghasia na wale wa jeshi la kujenga uchumi kuendelea kurusha mabomu ya machozi na kusababisha majeruhi kadhaa huku nyumba mbili za wakazi wa sizini zikichomwa moto jana asubuhi... |
tukio hilo ambalo limekuja siku moja baada ya askari hao kurusha mabomu ya machozi na kujeruhi wajawazito watoto wanawake na wazee na kusababishwa kulazwa hospitali ya wilaya ya wete limesababisha wakazi wa sizini kuhama makazi yao na kukimbilia porini |
mabomu yaliyorushwa na askari hao yalisababisha nyumba mbili moja ya mfuasi wa chama cha wananchi na nyingine ya mfuasi wa chama cha mapinduzi ambao bado hawajatambuliwa majina yao kuteketea |
hata hivyo hakuna aliyejeruhiwa lakini mali zote UNK ndani ya nyumba hizo UNK |
sakata hilo limeendelea katika siku ya pili ya uhakiki wa uandikishwaji kwa wale wenye vitambulisho vya kupigia kura ambapo hata hivyo makundi ya watu walioshindwa kupata vitambulisho vya ukaazi walishindwa kujiandikisha kwa siku mbili za awali |
askari wakiwa katika gari la matangazo waliwataka wananchi kujitokeza kujiandikisha katika daftari la kudumu |
kila UNK amri hiyo askari hao UNK mabomu ya machozi na risasi za moto angani kuwatisha |
hatua hiyo ilianza kujenga hofu miongoni mwa wakazi wa maeneo hayo ambapo makundi ya akina mama watoto na watu wazima walionekana wakikusanya virago vyao na kukimbia makazi yao kuelekea katika mji wa shumbu ya mjini uliopo katika jimbo la UNK |
makundi hayo ya askari UNK na kamanda wa polisi mkoa wa kaskazini pemba bwana yahaya UNK yalionekana yakiendelea na operesheni hiyo ya kulazimisha wananchi kujitokeza kujiandikisha hivyo kuzua UNK |
watu wawili akiwemo mmoja wa UNK nyumba wanadaiwa kushikiliwa na polisi kwa kile kilichoelezwa kuwa ni kushiriki kushawishi vurugu na watu kutojiandikisha katika daftari la kudumu |
akizungumza katika eneo la tukio mbunge wa micheweni bwana shoka hamis shoka alisema hali hiyo imeibuka siku moja baada ya vurugu zilizosababishwa kutokana na hatua ya askari kupita nyumba hadi nyumba kulazimisha wakazi hao kujiandikisha |
naye mkurugenzi wa uenezi wa bwana salim bimani alisema utaratibu unaoendelea wa kutumia vyombo vya dola UNK wananchi ni wa hatari na unajenga chuki kwa serikali na kuzidi kuifanya pemba kukosa maendeleo |
alisema risasi na mabomu yanatokana na kodi za wananchi badala ya kupewa haki yao ya msingi ya kujiandikisha UNK na kuumizwa kutokana na jasho lao wenyewe |
serikali itafute ufumbuzi wa tatizo hili wala si sifa kusikia wananchi wakikimbia na kuhama makazi yao kwa sababu ya kujiandikisha |
tunataka kuipeleka wapi nchi yetu |
alilalamika bwana bimani |
juzi ffu na UNK wakiongozwa na mkuu wa mkoa wa kaskazini pemba bwana dadi faki dadi waliendesha operesheni kupita nyumba kwa nyumba kuwataka wananchi wajitokeze kujiandikisha jambo ambalo lilisababisha vurugu na watu kadhaa kujeruhiwa na kulazwa hospitali |
urafiki wake na jk sasa kitendawili kigumu |
salim sumaye mwandosya UNK kufunga buti ikiwa imebaki takribani miezi mitano kabla ya kuanza mchakato kupata mgombea urais kwa tiketi ya chama cha mapinduzi kwenye uchaguzi mkuu ujao mwakani migongano ya kauli kuhusu nani ni nani |
imeanza kuibuka ndani ya chama hicho kikongwe nchini |
taarifa za hivi karibuni kupitia vyombo vya habari UNK kada wa chama hicho mwenye ushawishi mkubwa bwana edward lowassa kwamba ni mmoja wa wanachama UNK mkono na wajumbe wengi ndani ya vikao vya chama hicho UNK petroli ya kinyangganyiro hicho |
ingawa bwana lowassa amekataa katakata kuzungumza lolote kuhusu tetesi za kugombea urais kwa tiketi ya ccm mwakani wachunguzi wa mambo wanaamini kuwepo shinikizo kubwa kutoka kundi la mtandao kutaka mwanasiasa huyo agombee |
bwana lowassa aliyewahi kuwa waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa tanzania kabla ya kujiuzulu mwaka juzi kwa shinikizo la kisiasa kutokana na kashfa ya richmond anatajwa kuwa na nguvu zinazoweza kubadilisha mwelekeo kwenye mchujo huo |
uchunguzi wa gazeti hili umebaini kuwa ingawa bwana lowassa UNK dalili zozote kutaka nafasi hiyo kuna shinikizo kubwa la kundi la wanamtandao maslahi kumtaka aingie uwanjani |
bwana lowassa alitoa mchango mkubwa katika mtandao UNK rais kikwete kuteuliwa mwaka ishirini sifuri tano na kwa kutumia uzoefu huo anaweza kuleta ushindani mkubwa ndani ya vikao vya chama na kuteuliwa kugombea |
chanzo chetu cha kuaminika kutoka ndani ccm kimeeleza kuwa kundi la wanamtandao maslahi limejipanga kumshinikiza bwana lowassa kujitosa kwenye kinyangganyiro hicho kinachotarajiwa kuanza kutimua vumbi mapema mwakani |
hata hivyo kilisema urafiki wake wa siku nyingi na rais kikwete ni mtihani mgumu kwa mwanasiasa huyo kufikia uamuzi huo mzito mbali ya shinikizo UNK kutoka kwa wanamtandao hao |
lowassa ni rafiki wa siku nyingi wa kikwete wanafahamiana vizuri walipigana bega kwa bega mwaka ishirini sifuri tano UNK lowassa akiwa kiongozi wa mtandao |
lakini katika siasa kijana hakuna urafiki wala uadui wa kudumu |
UNK upepo na kusikiliza washauri wake atajitosa ingawa ngumu kusadikika kwa wengi lakini kumbuka hii ni siasa |
kilieleza chanzo hicho |
wanamtandao wanaoshinikiza bwana lowassa agombee UNK kuwa wengi wao ni majeruhi UNK na kuwekwa nje ya serikali ya rais kikwete baada ya kuingia madarakani |
lowassa aliongoza mtandao wa kikwete bado ana nguvu kwenye mtandao huo walioachwa nje ya serikali sasa UNK ndiye mtu wa mwisho kurejeshea matumaini yao hata kama yeye hataki kugombea wanajipanga kumshinikiza afanye hivyo ili UNK majeraha yao kilisema juzi bwana lowassa alikaririwa na gazeti hili akikataa katakata kuzu... |
wakati tetesi hizo zikiendelea baadhi ya makada wa chama hicho wamekuwa na mitazamo tofauti huku wengine wakiunga mkono kwa maelezo kwamba itafunga milango zaidi ya demokrasia ndani ya chama |
akizungumza na gazeti hili jana kwa sharti la kuhifadhiwa jina kada mkongwe wa ccm aliyewahi kushika nyadhifa mbalimbali za juu na sasa ni mjumbe wa halmashauri kuu ya taifa ya ccm alisema hatua hiyo ni mwanzo mzuri wa kufunguka milango zaidi ya demokrasia katika chaguzi za chama hicho |
hili ninyi waandishi UNK kuwa lowassa anataka kugombea urais UNK ni kitu kizuri tu |
ccm ina demokrasia kubwa tofauti na UNK |
UNK yeye na wengine UNK ndio mafanikio ya chama |
alisema kada huyo na kuongeza sisi UNK kwa kura baada ya hapo tunarudi kuwa wamoja alifafanua kwamba kufunguka milango zaidi kwa wanachama kugombea nafasi za juu bila hofu wala vitisho ni changamoto muhimu kwa maendeleo ya demokrasia nchini |
mwaka ishirini sifuri tano mliona walijitokeza wagombea kumi na moja wakapita kwenye UNK la moto kweli kweli mwisho tukapata mgombea mmoja na kwenye uchaguzi mkuu alishinda kwa kishindo |
hivyo yote ni sawa ni nafasi nzuri kwa wanachama wengine hata kama kina salim sumaye mwandosya akina shibuda waliojitokeza mwaka ishirini sifuri tano wajitokeze tena UNK |
mimi naamini kuwa kama UNK mwaka huo kwanini wasiwe na hamu kujaribu tena |
tunawataka sana tujenge demokrasia ndani ya chama |
alipotakiwa kueleza msimamo wake na mwanachama UNK kura ndani ya chama UNK kutoa kauli ya moja kwa moja na kudai UNK ni sera za kila mmoja |
kura yangu mimi itategemea kuguswa na sera za mgombea UNK vizuri kama mwanasiasa UNK |
siasa si ushabiki tunaangalia hoja alisema kada huyo |
mchakato wa kupata mgombea urais kwa tiketi ya ccm unatarajiwa kuanza mapema mwakani |
mwaka ishirini sifuri tano uteuzi wa mwisho wa mgombea huyo ulifanyika mwanzoni mwa mei |
chama cha wananchi kimedai kuwa kimegundua mbinu mpya ya kupandikiza watu kwa kuwaandikisha askari wa kikosi cha kmkm ili kuongeza idadi ya wapiga kura katika uchaguzi mkuu ujao |
hali hiyo imejitokeza katika kituo cha shehia ya nungwi baada ya kundi la watu wanaodaiwa kuwa askari wa kmkm kuongozwa hadi kwa sheha wa nungwi bwana kombo mkuni ali na kupitishwa kujiandikisha bila ya kuwa na vitambulisho vya UNK |
akizungumzia hali hiyo naibu katibu mkuu wa cuf zanzibar bwana juma duni haji alidai kuwa kundi hilo la askari lilipitishwa vichochoroni na kuandikishwa ilhali wakijua kuwa hakuna utaratibu UNK kmkm kuwa na vitambulisho vya ukaazi na kujiandikisha kupiga kura |
huu ni moja ya UNK unaotumika kuhujumu uandikishwaji na upigaji wa kura kuna wengine ni janjaweed hupitishwa hivi katika vituo vingi |
ipo haja ya kurekebisha hali hii na sisi UNK iendelee hivi alidai bwana duni |
aidha kundi hilo la watu wapatao kumi akiwemo mmoja UNK sare za kmkm UNK na waandishi wa habari lilianza kutoa vitisho na kutishia kuvunja kamera zao iwapo UNK kupigwa picha |
hata hivyo hali hiyo UNK na polisi waliokuwepo eneo hilo na kutoa maelekezo kwa askari hao wa kmkm kwamba waandishi wote wenye vibali wanaruhusiwa kupiga picha shughuli nzima ya uandikishaji wa daftari la kudumu visiwani humo |
pamoja na hali hiyo bado askari hao walionekana kuhamaki na kutaka kuwavamia waandishi ambao walikimbilia kwa askari polisi ambapo hata hivyo askari hao wa kmkm walionekana kubabaika na kupitishwa moja kwa moja kwenye sehemu ya kujiandikisha na kupita kundi kubwa la watu waliokuwa wamesimama kwenye mstari kusubiri zam... |
akizungumzia hali hiyo sheha wa nungwi bwana mkuni alionekana kubabaika na kusema kuwa suala hilo si la kuzungumza yeye na kwamba mwandishi UNK katika ofisi ya mkurugenzi wa vitambulisho ili kubaini kama kuna watu ambao hawakuwa na sifa ya kujiandikisha UNK katika kituo cha UNK |
hata hivyo idadi ya watu waliojitokeza kuandikishwa daftari la kudumu katika kituo hicho imefikia moja thebathini tano katika siku ya tano |
mkuu wa kituo cha nungwi bibi sunna seif ahmed alisema kuwa watu wameanza kujitokeza kwa wingi katika shughuli hiyo tofauti na siku ya kwanza ambayo wananchi wengi waliojitokeza walikuwa hawajawahi kupiga kura |
tanzania imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kupunguza uzalishaji na matumizi ya kemikali zinazoharibu tabaka la ozoni kupitia utekelezaji wa mikataba ya kimataifa inayolenga kukabiliana na uharibifu wa tabaka hilo |
hayo yalisemwa juzi na waziri wa nchi ofisi ya makamu wa rais mazingira daktari batilda burian wakati akifungua maadhimisho ya siku ya kimataifa ya hifadhi ya tabaka la ozoni katika UNK yanayoendelea katika chuo cha ufundi |
daktari burian alisema mafanikio hayo yametokana na utekelezaji mzuri wa mikataba ya UNK na UNK ambayo imesababisha kupungua kwa matumizi ya kemikali za UNK toka tani mia mbili na hamsini na nne mwaka elfu moja na mia tisa na tisini na tisa hadi kufikia tani kumi na nne mwaka ishirini sifuri saba alisema kutokana na u... |
alisema kemikali zinazoharibu tabaka la ozoni zitapatikana katika viyoyozi majokofu dawa za UNK pamoja na vifaa vya kuzima moto hivyo amewataka wananchi kubadili matumizi ya kemikali hizo kupitia mafundi mchundo waliopata mafunzo ya UNK |
natoa mwito kwa UNK UNK kuelimisha jamii kuhusu umuhimu wa tabaka la ozoni na kuikabili changamoto ya mabadiliko ya teknolojia hasa katika vifaa vya kupoozea alisema |
maadhimisho hayo yanaenda sambamba na maonesho ya mafundi mchundo kuhusu namna ya kubadili matumizi ya kemikali UNK na kuwa kemikali rafiki wa mazingira katika magari na UNK |
maadhimisho ya siku ya kimataifa ya hifadhi ya tabaka la ozoni hufanyika septemba kumi na tano hadi kumi na sita kila mwaka |
kaulimbiu ya mwaka huu ni ushiriki wa wote hifadhi ya tabaka la ozoni UNK dunia |
upungufu uliomo katika menejimenti ya kampuni ya reli tanzania na uwezo mdogo kifedha umechangia migogoro inayoendelea sasa |
kauli hiyo ilitolewa jana dar es salaam na katibu mkuu wa chama cha wafanyakazi wa reli bwana sylvester rwegasira wakati akieleza msimamo wa chama hicho kuhusu hali ya trl alisema mkataba mbovu UNK na viongozi katika ubinafsishaji wa kampuni hiyo haukuzingatia maslahi ya taifa hivyo kusababisha sintofahamu na kufanya ... |
menejimenti ya trl katika siku za karibuni imekuwa na dhana kwamba sisi wafanyakazi ni wakorofi na ndio chanzo cha kutofanya vizuri na kutoa masharti kwa serikali ikiwa mojawapo ni UNK kazi alisema bwana rwegasira msimamo wa trawu umeelezwa kuwa kwa kuwa haki ni yao kamwe hawatasita kusema na wataendelea kupinga kunya... |
miaka thebathini ya trc usafirishaji wa mizigo na abiria ulikuwa wa juu sana ukilinganisha na wakati huu baada ya kuvunjika jumuiya ya afrika mashariki miaka kumi ya mwanzo tulisafirisha tani mia tisa na ishirini sifuri sifuri sifuri miaka kumi baada ya hapo tulisafirisha tani moja sifuri saba sifuri sifuri sifuri sif... |
aidha alisema baada ya rites kusitisha mabehewa yake na injini UNK wafanyakazi waliweza kukarabati zilizokuwepo bila msaada wa mwekezaji huyo ili kuonesha uzalendo wao |
alidai kwamba serikali UNK kuvunja mkataba huo kwa nia njema iangalie vipengele UNK kwenye mkataba kama kulipia gharama za vitendea kazi ambazo UNK kulipwa na mwekezaji huyo |
alisema baada ya mwekezaji rites kuanza kazi alikabidhiwa vitendea kazi na rasilimali watu ambazo UNK vibaya na nyingine UNK kabisa na kudai kuwa mkataba huo ulikuwa wa UNK |
baada ya mwekezaji rites kuchaguliwa kushika hatamu za iliyokuwa trc alikabidhiwa vitendea kazi na rasilimali watu lakini kwa hali ya kusikitisha sana hali ya kiutendaji na UNK imekuwa kinyume na UNK na hata vitendea kazi UNK kwa kiwango cha kutisha alisema bwana rwegasira |
alisema mwekezaji huyo alikabidhiwa injini mia moja na kumi na saba kati ya hizo tisini na tatu zilikuwa zinafanya kazi lakini sasa UNK kazi ni thebathini na mbili tu |
UNK mabehewa moja mia nane na arobaini na saba ya kubeba mizigo kati ya hayo moja mia mbili na themanini na tano yalikuwa yanafanya kazi lakini sasa ni mia sita na thebathini ndio yanayofanya kazi |
pia alikabidhiwa mabehewa ya abiria mia moja na ishirini na nne ambapo tisini na nane yalikuwa UNK lakini sasa ni thebathini na mbili ndio yanayoendelea na kazi wafanyakazi hao wameiomba serikali UNK mkono kwa kufuta mkataba huo ili iweze kunusuru shirika hilo na kuwanufaisha watanzania wote |
watu sita wamekufa katika matukio tofauti yaliyotokea mkoani shinyanga likiwemo la mwanafunzi wa shule ya sekondari kuchomwa kisu katika ugomvi wa deni la simu ya mkononi |
kamanda wa polisi wa mkoa wa shinyanga bwana daudi siasi alimtaja mwanafunzi aliyekufa kuwa ni UNK masatu aliyekuwa akisoma kidato cha tatu katika shule ya sekondari ya UNK wilayani shinyanga |
kamanda siasi alisema tukio hilo lilitokea juzi saa nane mchana katika kijiji cha UNK shinyanga vijijini na kwamba mwanafunzi huyo alichomwa kisu kichwani na mwenzake aliyetajwa kwa jina la UNK UNK |
chanzo cha ugomvi ni UNK simu ya mkononi |
alisema chanzo cha ugomvi wa wanafunzi hao ni deni la simu ya mkononi ambalo walikuwa UNK na kwamba jeshi la polisi linamshikilia mtuhumiwa wa mauaji hayo ambaye atafikishwa mahakamani baada ya upelelezi kukamilika |
kamanda huyo alisema watu wengine wanne walikufa kutokana na ajali ya gari iliyotokea juzi saa kumi na moja jioni katika kijiji cha msasa barabara ya ushirombo runzewe wilayani bukombe baada ya gari aina ya toyota UNK namba t mia tano na ishirini na saba UNK kuacha njia na kupinduka |
kamanda siasi aliwataja waliokufa katika ajali hiyo kuwa ni bwana seif UNK mwalimu wa shule ya msingi kahama bwana peter UNK bwana UNK mashaka wakazi wa kahama na abiria mmoja ambaye hakufahamika jina lake mara moja |
alisema chanzo cha ajali hiyo ni kupasuka tairi la mbele |
abiria wengine kumi na sita walijeruhiwa katika ajali hiyo na wamelazwa hospitali ya wilaya ya bukombe |
mwingine aliyekufa alitajwa kuwa ni bibi UNK UNK mkazi wa kijiji cha UNK wilayani meatu aliyeuawa kwa kukatwa mapanga sehemu mbalimbali za mwili wauaji kuondoka na mkono wake mmoja |
kamanda siasi alisema polisi wanaendesha msako wa kusaka wahusika |
vurugu zinazotokana na uandikishaji daftari la kudumu la wapiga kura awamu ya pili visiwani zimeanza kuathiri sekta ya utalii baada ya baadhi ya wageni hao kutoka nchi mbalimbali zikiwemo marekani na ulaya kuanza kuondoka kwa hofu ya usalama wao |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.