text
stringlengths
1
1.32k
alisema ni vyema serikali na vyombo vya habari UNK mtazamo na UNK walemavu wasiosikia kwa kuweka UNK wa lugha za ishara kwani nao wana haki ya kupata habari kama wananchi wengine
aidha bibi shida alikemea tabia ya baadhi ya watu kutaka kujipatia umaarufu kupitia walemavu kwa kutangaza kutoa misaada feki
kauli hiyo imetokana na kuwepo taarifa mmoja wa viongozi wa umoja wa vijana wa ccm mkoani tabora kusaidia kuwasomesha walemavu wa viungo kumi sifuri wilayani nzega kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne
uchunguzi UNK kupitia ofisi zetu umebaini kuwa watoto wenye ulemavu wa viungo katika wilaya hiyo hawafiki idadi hiyo iliyotajwa alisema
wakati huo huo mwenyekiti wa kamati ya usalama barabarani kwa watu wenye ulemavu bwana UNK kabatele alisema chawata inatarajia kuzindua kitabu cha alama za usalama barabarani kwa walemavu katika wiki ya nenda kwa usalama mkoani mbeya
bwana kabatele alisema lengo la uzinduzi wa kitabu hicho ni kuwalinda walemavu wa viungo macho ngozi na akili kwa kuwatengenezea mazingira rafiki UNK vyombo vya moto
aliongeza kuwa vyombo vya moto vya wenye ulemavu hao UNK kwa namba za pekee ambazo UNK wawapo barabarani
bwana kabatele ambaye ni mbunifu wa kwanza wa alama za usalama barabarani kwa watu wenye UNK aliongeza kuwa alama hizo hazilengi kutengua alama za awali bali ni nyongeza ya alama zilizopo
shirika la umeme tanzania limetangaza magawo wa umeme kwa kipindi UNK kwa mikoa sita ya tanzania bara kutokana na kuzidiwa kwa gridi ya taifa
taarifa iliyotolewa dar es salaam jana na ofisi ya mawasiliano makao makuu ya tanesco imetaja mikoa hiyo kuwa ni mwanza shinyanga arusha kilimanjaro tabora na dodoma
wakati tatizo hilo likiendelea jitihada mbalimbali zinafanywa na uongozi wa shirika hilo kuhakikisha huduma ya umeme inarudi katika hali ya kawaida
mgawo huo utahusisha vitongoji tofauti katika maeneo yote ambayo yatahusika na mgawo
mkoa wa mwanza umeme utakatika kuanzia saa kumi na mbili jioni hadi saa nne usiku
katika maeneo mengine ya mkoa huo umeme utakatika kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa kumi na mbili jioni
mkoani dodoma umeme utakatika kuanzia saa kumi na mbili jioni hadi saa nne usiku kwa kuhusisha vitongoji mbalimbali kama ilivyo kwa mikoa mingine ya shinyanga na kilimanjaro
shirika hilo limesema taarifa kamili ya mgawo kwa mikoa ya tabora na arusha itatangazwa baadaye na kuwaomba radhi kwa usumbufu wote UNK na mgawo huo
UNK shitaka la mauaji hatimaye mchungaji denis lawrence mlanzi anayedaiwa kuua mkewe kwa kumchoma moto akiwa usingizini amefikishwa katika mahakama ya wilaya ya temeke akikabiliwa na mashitaka ya mauaji
mchungaji huyo alifikishwa jana mahakamani hapo na kusomewa mashitaka na mrakibu wa polisi bwana basil pandisha mbele ya hakimu mfawidhi wa mahakama hiyo bibi hellen UNK
akisomewa mashitaka yake alidaiwa kuwa septemba sita mwaka huu saa kumi na moja alfajiri katika maeneo ya yombo vituka malawi dar es salaam alimuua mkewe bibi rosemary UNK
katika mashitaka hayo mshitakiwa huyo hakutakiwa kujibu chochote kutokana na mahakama hiyo kutokuwa na uwezo wa kusikiliza kesi za mauaji
upande wa mashitaka ulieleza kuwa upelelezi wa kesi hiyo haujakamilika hivyo itatajwa tena septemba ishirini na nane mwaka huu
wakati akitoka mahakamani mchungaji huyo aliwashangaza watu waliokuwa mahakamani hapo baada ya kuinua mikono yake juu kama ishara ya kumwomba mwenyezi mungu
watu waliokuwa mahakamani hapo walikuwa wakizungumzia tukio hilo kwa masikitiko huku UNK mchungaji huyo
marehemu rosemary alikufa kutokana na moto uliozuka ghafla kwenye chumba alimokuwa amelala
mshitakiwa anatuhumiwa kusababisha moto huo kutokana na ugomvi waliokuwa nao kwa muda mrefu na mke wake
utata wa kifo hicho uliibuka baada ya mchungaji huyo kudai kuwa wakati tukio hilo likitokea alikuwa sebuleni akiandaa somo la biblia kwa kutumia kompyuta kwa ajili ya waumini wake
kutokana na maelezo hayo ambayo yaliibua utata mkubwa wazazi na ndugu wa marehemu walikuja juu kiasi cha UNK kufanya matanga na ndugu wa mshitakiwa
hivi karibuni kamanda wa polisi mkoa wa temeke bwana liberatus sabasi alikaririwa akisema mchungaji huyo alidai kuwa wakati akiandaa somo ghafla alisikia kelele za kuomba msaada kutoka kwa mkewe aliyekuwa amelala ndani na baada ya kufungua mlango alitoka na kuanguka sebuleni hapo
marehemu alizikwa ijumaa iliyopita kwa wazazi wake katika kijiji cha UNK wilaya ya bukoba vijijini mkoani kagera
mume wa aliyekuwa mbunge wa viti maalum kwa tiketi ya chama cha mapinduzi kupitia umoja wa vijana marehemu amina chifupa bwana mohamed mpakanjia maarufu kama UNK mpakanjia amefariki dunia
ndugu wa karibu wa marehemu kwa sharti la kutotajwa jina gazeti alithibitisha kutokea kifo hicho na kueleza kuwa marehemu mpakanjia alifariki jana saa tisa alasiri katika hospitali ya jeshi la ulinzi la wananchi wa tanzania lugalo dar es salaam
bwana mpakanjia alilazwa hospitalini hapo kwa muda usiozidi siku tatu akisumbuliwa na ugonjwa wa homa ya mapafu hadi kifo UNK jana na anatarajiwa kuzikwa leo
jana jioni mipango ya mazishi ilikuwa ikiendelea kufanywa nyumbani kwa marehemu sinza jijini dar es salaam
tupo sinza nyumbani kwa marehemu tunafanya tunaendelea na mipango ya mazishi ni kweli amefariki leo katika hospitali ya lugalo alisema alisema ndugu huyo
mpakanjia ambaye pia alikuwa mshauri wa zamani wa bendi ya ddc mlimani park sikinde UNK kwa mchango wake mkubwa katika fani ya burudani nchini
ndoa ya mpakanjia na amina marehemu amina ilikuwa na mvuto wa aina yake hatua iliyofanya vyombo vya habari kuwafuatilia kwa karibu wanandoa hao na kuvuta hisia za jamii hadi mkewe huyo alipofariki juni ishirini na sita mwaka juu
baada ya kifo cha mkewe si mara moja wala mbili taarifa za uvumi wa kifo cha bwana mpakanjia zilikuwa UNK kwa njia ya mitandao na vyombo vya habari baadaye kuthibitika kwamba hazikuwa na ukweli
awali mpakanjia UNK kifo agosti mwaka ishirini sifuri saba baada ya kuugua na kulazwa katika hospitali ya lugalo na baadhi ya vyombo vya habari kuandika kwamba yuko mahututi bwana UNK ambaye pia mfanyabishara kabla ya kuwa mshauri wa sikinde aliwahi kuwa mmoja wa wakurugenzi wa bendi ya UNK sound iliyokuwa na maskani ...
mwenyezi mungu ailaze mahala pema peponi roho ya marehemu UNK
wananchi wagoma kujiandikisha risasi za UNK
ffu watumia mabomu ya machozi kutawanya wananchi
watoto wajawazito wazee UNK hospitali
wananchi UNK UNK vinyesi upupu kituoni wakati shughuli ya UNK daftari la kudumu la wapigakura ikiendelea zanzibar hali si shwari kisiwani pemba baada ya askari wa kikosi cha kutuliza ghasia na jeshi la kujenga uchumi kulazimika kurusha risasi za moto na mabomu ya machozi angani kutuliza wananchi
hatua hiyo ilitokana na baadhi ya wananchi hao kugoma kwenda kujiandikisha na kupinga kile walichodai kulazimishwa kwa nguvu na askari kufanya hivyo
tafrani hiyo ilisababisha watoto watano wajawazito kadhaa na wazee kukimbizwa hospitali ya wete baada kuathiriwa na moshi huo wa mabomu
sakata hilo lilitokea kwenye kituo cha sizini mjini kiuyu na UNK ya UNK
mkuu wa mkoa wa kaskazini pemba bwana dadi faki dadi ndiye aliyeongoza vikosi hivyo kupita nyumba kwa nyumba kutaka wananchi hao kujiandikisha
malori yenye askari waliokuwa na silaha UNK mitaani na kupita kila nyumba kutaka wananchi hao kwenda kujiandikisha
hata hivyo watu walioandikishwa kituo cha kambini ni hamsini na nne na kiuyu ni ishirini na nne tu
maeneo mengine watu UNK kabisa kujiandikisha wakati huo huo uandikishaji daftari hilo visiwani zanzibar limezidi kugubikwa na matukio ya utata baada ya kundi la watu wasiofahamika kuvamia kituo cha shehia ya mwange wilaya ya kaskazini a na kupaka kinyesi milango na UNK
hali hiyo ilijitokeza jana alfajiri wakati mawakala na wasimamizi walipofika kituoni hapo na kushuhudia vinyesi vya binadamu vikiwa UNK kila kona ya chumba hicho
mbali na vinyesi viti vya kukalia na meza kituoni hapo zilikuwa UNK upupu hali iliyosababisha waandikishaji na mawakala UNK wakati wote shughuli hiyo ilipokuwa UNK
akizungumzia sakata hilo sheha wa mwange bwana makame hamis ali alisema hali hiyo imejitokeza baada ya kundi la watu kuzuiwa kujiandikisha kutokana na kutokidhi masharti kwa kukosa vitambulisho vya ukaazi shughuli iliyokamilika juzi
pamoja na UNK kinyesi watu hao walikata nyaya za umeme na kusababisha uandikishaji kukwama katika eneo hilo hadi umeme UNK mara ya pili
bwana ali alisema baada ya kubaini hali hiyo mawakala wa vyama walishiriki kusafisha chumba hicho na baadaye kurejea katika hali ya kawaida na uandikishaji kuendelea
akizungumzia hali ya UNK mkuu wa kituo cha mwange bibi UNK abeid alisema idadi ya watu kujiandikisha imeongezeka tofauti na siku mbili za kwanza ambapo shughuli hiyo ilihusisha watu ambao hawajawahi kupigakura na ni mara yao ya kwanza kushiriki
alisema hadi kufikia saa nane thebathini jumla ya watu mia moja na ishirini walikuwa wamejiandikisha tofauti na idadi ya watu saba waliojitokeza kwa siku ya kwanza na ya pili na kwamba hata hivyo anaamini kazi hiyo itakamilika na kufanyika kwa ufanisi
akizungumza na waandishi wa habari mkuu wa wilaya ya kaskazini a bibi riziki juma UNK alisema pamoja na dosari zilizojitokeza watu wamepata mwamko na UNK kwa wingi katika uandikishaji kwa siku ya tatu
alisema kazi hiyo si ya siku moja na watu watapata uzoefu na anaamini uandikishwaji utafanikiwa kwa asilimia kubwa
aidha baadhi ya wakazi ambao hawakupata fursa ya kujiandikisha kwa kile kilichodaiwa kuwa hawana sifa ya ukaazi UNK serikali kuanzisha utaratibu huo kwa madai kuwa umelenga kuwagawa wazanzibar
walisema kuwa utaratibu huo hauna mantiki kutokana na aina mbili za uchaguzi unaofanyika visiwani wa kumchagua rais wa zanzibar rais wa jamhuri mbunge na mwakilishi ilhali upande wa bara UNK rais wa jamhuri na mbunge pekee
viongozi wa serikali za mitaa vijiji na kimila katika maeneo ya loliondo wilayani ngorongoro mkoa wa arusha wamepinga madai ya kundi la jamii ya wafugaji UNK ikulu dar es salaam jumamosi iliyopita
wakizungumza kwa nyakati tofauti walisema madai yaliyotolewa si ya kweli na yanalenga kuvuruga amani
ofisa mtendaji wa kijiji cha UNK bwana elias UNK alipongeza juhudi zilizofanywa na serikali kuwaondoa wafugaji kutoka nchi jirani ya kenya waliokuwa wamevamia maeneo ya pori tengefu la loliondo
tunaishukuru serikali kwa kuwaondoa wafugaji wavamizi kutoka nchi jirani waliovamia loliondo na maelfu ya mifugo hadi kwenye maeneo ya kijiji chetu
kwa kweli hali ilikuwa mbaya sana lakini sasa imerejea na kuwa ya kawaida baada ya operesheni nzuri ya kuwaondoa na hata sasa wanyama wameanza kuonekana kwa kweli tunaishukuru serikali
alisema kuwa katika operesheni hiyo viongozi wa ngazi zote za kata na vijiji walihusishwa na kushiriki kwa asilimia kumi sifuri na kwamba tuhuma za ukiukwaji wa haki za binadamu UNK wakazi wa loliondo
naye kiongozi wa kimila wa kabila la UNK UNK sumari sayi alisema asasi zisizo za kiserikali kwa sasa ni tatizo kubwa wilayani loliondo
alisema badala ya asasi hizi kuleta maendeleo wilayani kwetu zenyewe UNK kuwa adui namba namba moja wa maendeleo na kama hiyo haitoshi sasa wameamua kuwagawa wananchi
lakini pamoja na kuwapo asasi hizi na wawekezaji wengine lakini huyu mwekezaji obc amefanya mambo ambayo mtu hahitaji kuambiwa kwa sababu yanaonekana kwa hiyo sote tunapaswa kushirikiana na kuacha chuki ili tuendelee alisema
kwa upande wake mwenyekiti wa kijiji cha UNK UNK bwana UNK UNK alihoji na UNK ngos kuwa kama wanataka wawekezaji waondoke na kama wawekezaji wakiondoka sasa wao watabaki wanafanya kazi gani
sisi UNK kwa uwepo wa wawekezaji hasa obc ingawaje hatumsifii lakini misaada aliyoitoa inaonekana wazi na kila katika wilaya yetu mfano shule ya sekondari loliondo hospitali ya wilaya visima vya maji na kulipia ada watoto wetu
kwa sisi ambao UNK ni mwekezaji muhimu kwetu
sasa hii foleni ya ngo s hapa kwetu UNK nini tunataka tusikie au kuona ngo yoyote ambayo inaweza kutoka hadharani na kujivunia kutuletea maendeleo hatutaki malumbano kwenye vyombo vya habari alisema
juzi waziri wa maliasili na utalii bibi shamsa mwangunga wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini dar es salaam alinukuliwa akisema kuwa wafugaji waliondolewa kutoka maeneo ya pori tengefu la loliondo wengi wao walikuwa kutoka nchi jirani ya kenya
alisema kuwa serikali iliamua kufanya operesheni ya kuwaondoa wafugaji kutokana na kukithiri kwa UNK wa mazingira ambao ulikuwa ukitishia uhai na UNK wa wanyamapori
mkurugenzi wa kampuni ya uchapishaji UNK printers limited bwana rashid mbuguni amewataka walimu wa kuwa mabalozi katika jamii na kuleta mapinduzi ya kitamaduni kwa njia ya utafiti kupitia shule zao
akizungumza dar es salaam jana katika semina iliyohusisha walimu na kampuni hiyo bwana mbuguni alisema kwa kipindi cha miaka kumi sasa amesaidia katika kujenga uwezo wa watanzania kufanya utafiti wa mambo mbalimbali
bwana mbuguni alisema lengo la utafiti ni kutafuta njia ya kuyapatia ufumbuzi matatizo UNK katika jamii lakini walimu kwa kutumia nafasi zao wana uwezo mkubwa wa kuisaidia jamii kwa njia hiyo
tumieni fikra zenu kutengeneza maisha vitabu hivi mnavyotumia UNK na watu isipokuwa UNK kwa lugha rahisi ili UNK lakini maudhui ni yale yale tu alisema bwana UNK
alisema wameamua kutoa nafasi kwa walimu kuwawezesha kuchapisha vitabu vya aina zote ili kuwapa uhuru wa kuandaa mada za kufundishia mashuleni ambazo zinaendana na mitaala ya elimu
naye mmoja wa washiriki wa semina hiyo bwana ally UNK alisema ofa hiyo ya kuchapisha vitabu itawasaidia kwani walimu wengi wana uwezo wa kuandika vitabu lakini wanashindwa kukidhi gharama za UNK
semina hiyo iliyohudhuriwa na wadau mbalimbali wakiwemo centre for UNK change na junior UNK tanzania ina lengo la kuwawezesha walimu wa shule za sekondari UNK ya hesabu na biashara ikiwa na lengo la kukuza upeo wa kuweza kufundisha kwa vitendo ili kusaidia wanafunzi kuelewa zaidi
chama cha demokrasia na UNK kimesema hakuna wapambanaji wa vita dhidi ya ufisadi ndani ya chama cha mapinduzi kwa kuwa hawajawahi kutaja majina ya wahusika wa ufisadi kama UNK na chama hicho septemba ishirini sifuri saba chama hicho kimesema kama kweli wapo wapinga ufisadi kwanini wasijitenge na ccm kwani wengi watuhu...
kauli hiyo ilitolewa jana dar es salaam na mkurugenzi wa sheria katiba na haki za binadamu chadema bwana tundu lissu alipozungumza na waandishi wa habari katika makao makuu ya chama hicho ikiwa ni miaka miwili tangu orodha ya mafisadi itolewe
alihoji kuwa wanamgambo wanaopambana na ufisadi ndani ya ccm wanapambana na nani
aliwataka kutoa orodha ya majina yao ili kuonesha jamii kuwa ni nani maadui zao
kama kweli wapo vitani na wanapigana na ufisadi kwanini wasijitenge na mafisadi hawawezi kusema ccm ni nzuri ila viongozi wake ndio wabaya labda tukubali kuwa chama ni majengo na si watu alisema bwana lissu
alidai kuwa safari ya kusafisha nchi bado ndefu kwa kuwa watawala wale wale wanaohusika na uchafu ndio wanaoshika madaraka mpaka sasa
safari ya kusafisha serikali na mfumo wa kisiasa ni ndefu kwa sababu tatizo liko kwenye ccm ambacho ndio chimbuko la mafisadi UNK taifa alidai bwana lissu
alisema kwamba nchi haiwezi kutatua tatizo la ufisadi kama haitaweza kutatua tatizo la ccm kwa kwani ndiko UNK mafisadi
hatuwezi kutatua tatizo la ufisadi bila kuanza na ccm ccm ndio tatizo
alisema
alifafanua kuwa hilo haliwezekani kwa kuwa watuhumiwa wengi wamo katika kamati muhimu na zenye nguvu katika maamuzi bwana lissu alisema tangu chadema UNK orodha ya mafisadi waliotumia mabilioni ya fedha ndani ya nchini serikali haijachukua hatua za kinidhamu kwa watuhumiwa hao
alisema serikali UNK mazingira mazuri ya ushindi washitakiwa kwa kuwashitaki kwa makosa mepesi
hapa UNK ya UNK UNK kutokana na kushitakiwa kwa makosa madogo alisema bwana lissu
alisema kati ya watuhumiwa kumi na moja waliotajwa majina yao septemba kumi na tano ishirini sifuri saba katika viwanja vya mwembeyanga jijini dar es salaam saba walichukuliwa hatua za kisiasa ambazo ni kujiuzulu na wengine wamechukuliwa hatua za kisheria ambazo ni kufikishwa mahakamani kwa makosa madogo
pamoja na kuwa ni hatua muhimu zilizochukuliwa lakini haitoshi UNK kwa makosa makubwa ila wameshitakiwa kwa makosa madogo alisema bwana lissu
alipoulizwa na waandishi kama chadema UNK orodha ya mafisadi wengine alisema bado kwa kuwa ni kazi kubwa inayohitaji kuwa na ushahidi wa UNK kabla ya kutoa orodha hiyo
aliwashukuru waandishi kutokana na mchango wao mkubwa katika kuelimisha wananchi vita dhidi vitendo vya ufisadi