text
stringlengths
1
1.32k
mabomu yaliyolipuka juzi katika maghala ya silaha ya jeshi la wananchi wa tanzania kikosi cha mia tano na kumi na moja kj kilichopo mbagala kizuiani dar es salaam UNK jiji lote kama UNK tahadhari za kitaalamu ndani ya maghala hayo majira UNK
chanzo chetu kutoka ndani ya kambi hiyo kilidai kuwa mabomu hayo yangeweza kuteketeza sehemu kubwa ya jiji la dar es salaam kama UNK yamepangwa kitaalamu kuelekezwa eneo la nje ya mji yenye madhara madogo
chanzo hicho kilifafanua kuwa endapo mabomu hayo UNK kuelekea upande wa kaskazini au magharibi yaliko makazi ya watu wengi na majengo ya ghorofa sehemu kubwa ya dar es salaam leo ingekuwa UNK
kilichosaidia ni kunatokana na mpangilio na jinsi UNK kuelekezwa upande wa kusini ambako baadhi ya nyumba UNK vibaya kilisema chanzo hicho na kuendelea makombora hayo UNK kitaalamu huwa UNK kienyeji UNK kuelekea juu upande usio na madhara UNK kama vile yamewekwa juu ya meza yawe UNK kaskazini au magharibi UNK mji inge...
kilisema chanzo hicho
kilizidi kueleza kuwa mabomu yaliyoruka kwa bahati mbaya na kulipuka maeneo mengine ya jiji hayakuwa na nguvu kwani yalikwenda huko kwa bahati mbaya baada ya kugongana na kupoteza mwelekeo wakati UNK
kwa mujibu wa chanzo hicho maghala sita yaliyolipuka UNK mabomu yenye madhara madogo tofauti na yale UNK kulipuka
ilikuwa balaa niliona moshi mzito UNK juu ya moja ya maghala ya silaha nikajua leo kiama UNK
kwanza nilianza kukimbia huku nikitoa taarifa kwa wengine kilisema chanzo hicho
chanzo hicho UNK kuwa baada ya kukimbia kidogo kutoka sehemu kilipokuwa UNK kishindo kizito kutoka kwenye moja ya maghala hayo hali iliyozua tafrani kubwa kambini hapo na baada ya hapo mabomu hayo yalilipuka mfululizo huku kila mtu akihaha kujiokoa
huku UNK kuhifadhiwa jina ili kuponya ajira yake kilisema walilazimika kuomba kila mmoja kwa imani yake ili moto UNK upande wa pili ambako kwenye ghala UNK mabomu mazito ambayo yangeweza kuleta madhara makubwa zaidi
kwa mujibu wa chanzo hicho maghala UNK yalikuwa UNK silaha za kivita bunduki aina ya smg risasi ndogo na kubwa ambazo juzi UNK mitaani na kuleta hofu kwa wananchi wakidhani ndio mabomu yenyewe
hali kwa ilikuwa ya kutisha sana watu walikimbia huku na huku kuponya roho zao ni tukio la hatari kubwa sikuamini UNK
chanzo kingine toka ndani ya kikosi hicho UNK kuwa kililazimika kukimbia bila kujua UNK na kujikuta UNK na ofisa mmoja wa kambi hiyo ambaye naye alikuwa UNK mbio kuponya roho yake
wakati huo huo taarifa zilizopatikana jana kutoka jeshi la polisi zilidai kuwa chanzo cha mlipuko wa mabomu hayo ni kutokana na kutofanyiwa ukaguzi kwa muda mrefu
kwa mujibu wa gazeti dada la dar leo wataalamu waliokuwa wakifanyia ukaguzi ghala hilo kila baada ya miezi mitatu ambao walipata mafunzo hayo urusi kwa kipindi cha miaka kumi wengi wao UNK hali inayokwamisha ukaguzi huo
hata hivyo taarifa rasmi za chanzo cha tukio hilo UNK
idadi ya watu waliopoteza maisha katika milipuko ya mabomu juzi katika kambi ya ya jeshi la wananchi wa tanzania iliyopo eneo la mbagala kizuiani dar es salaam imeongezeka kutoka watatu na kufikia saba
wakati idadi ya watu waliothibitishwa kufa ikiwa imeongeza idadi ya majeruhi imeanza kupungua kutokana na wengi kuruhusu baada ya kupatiwa matibabu
kutokana na tukio hilo amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama rais jakaya kikwete jana alifanya ziara eneo la tukio na kutembelea majeruhi hospitali
akizungumza na majira jana mganga mkuu wa hospitali ya temeke dar es salaam daktari asha mahita ilisema hadi jana mchana idadi ya watu waliokufa imefikia saba na wamehifadhiwa chumba cha maiti hospitalini hapo
UNK kuwa watu hao ni wanaume watatu na wanawake wanne
kutokana na tukio la mlipuko huo hadi sasa watu saba wamekufa alisema daktari mahita
mbali ya waliokufa alisema majeruhi waliolazwa hospitalini hapo hali zao zinaendelea vizuri na baadhi yao wameanza kuruhusiwa kurudi majumbani
aliongeza kuwa majeruhi walikuwa ishirini tisa na kati ya hao thebathini na nane bado wamelazwa hospitali ya temeke na wengine thebathini wamehamishiwa hospitali ya taifa ya muhimbili kutokana na hali zao kuendelea kuwa mbaya
majira lilipata nafasi ya kuzungumza na baadhi ya majeruhi waliokuwa wamelazwa katika hospitali hiyo ambao baadhi yao walikiri kuwa hali zao ni nzuri ingawa hawajui lini UNK
majeruhi hao walisema wanamshukuru mungu kwa kuwa salama ingawa tukio hilo UNK historia katika maisha yao
hawajawahi kuona kitu kama hicho
baadhi ya wanafunzi waliojeruhiwa katika tukio hilo happines charles thabit abdallah na happines rogat walisema UNK baada kugongwa na vitu UNK kisha kupoteza fahamu
wakati idadi ya ya waliokufa UNK na majeruhi kupungua rais kikwete alitembelea kambi hiyo kupata maelezo kutoka kwa maofisa wa jeshi na kujionea hali halisi ya tukio hilo
baada ya ziara yake kambini hapo rais kikwete alikwenda hospitali ya temeke na muhimbili kuwafariji majeruhi pamoja na wale waliolazwa taasisi ya tiba ya mifupa rais kikwete ambaye aliwasili jijini jana asubuhi akitokea mkoani arusha alikokuwa akikutana na wakuu wenzake wa jumaiya ya afrika mashariki alifanya kikao ch...
hata hivyo habari ambazo hazijathibitishwa UNK kuwa mabaki ya miili ya wanajeshi watano ilipatikana eneo la tukio huku wengine sita wakiwa hawajulikani walipo
chanzo halisi cha tukio hilo hakijafahamika hadi sasa wala idadi ya silaha UNK
hata hivyo inadaiwa maelfu ya silaha zimeteketea huku nyumba zaidi ya hamsini za wakazi wa mbagala na maeneo mengine ya jiji zikiwa zimeharibika na uharibifu wa mali
chanzo chetu UNK kuwa sehemu iliyoharibika ni nyeti sana kwa usalama wa nchi ambayo kimsingi ni hatarini hatari kwani maadui wanaweza kuitumia kufahamu siri za jeshi
kwa upande wa hospitali ya taifa muhimbili ni kwamba hali za majeruhi kumi na mbili waliolazwa hali zao zinaendelea vizuri isipokuwa majeruhi ishirini na tano waliolazwa moi hali zao bado siyo nzuri na hadi jana majeruhi wawili walikuwa wamelazwa katika chumba cha wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalum
wagonjwa waliolazwa moi baadhi yao wamevunjika mikono miguu UNK nyonga na UNK wakati bibi UNK hamisi ambaye amelazwa icu UNK mguu w kulia na bwana juma mbwana UNK icu kutokana majeraha makubwa aliyopata kichwani
akizungumza na majira kwa njia ya simu naibu waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga taifa daktari emmanuel nchimbi alisema hadi sasa sababu chanzo cha mlipuko huo hakijafahamika na itafahamika baada ya baraza la uchunguzi UNK kukamilisha taarifa yake
daktari nchimbi alitoa jibu hilo baada ya kuwepo taarifa kuwa mabomu hayo yalitakiwa kuondolewa eneo hilo siku nyingi lakini kutokana na serikali kukosa fedha ilishindwa UNK
tayari kuna chombo ambacho UNK kuchunguza tukio hilo na hao ndio watatoa taarifa rasmi
taarifa UNK sasa nyingi ni za uongo na wanachofanya kubuni mambo UNK
sitaki kuamini kama serikali imeshindwa UNK mabomu hayo kama inavyodaiwa hakuna mabomu ambayo yanakaa sehemu moja muda mrefu
naomba tusubiri na chanzo UNK kutoka kwa wataalamu alisema daktari UNK
kamanda wa polisi kanda maalumu ya dar es salaam bwana suleima kova alisema kinachotakiwa kwa sasa ni wananchi kuendelea kutulia pamoja na wale ambao wamekimbia makazi yao kurudi majumbani mwao
tunaomba waliokimbia warudi kwa sababu hali UNK ba hakuna milipuko mingine kama inavyodaiwa na baadhi ya watu
huenda wanaofanya hivyo ni vibaka na wanafanya hivyo kutisha wananchi ili wapate nafasi ya kuiba alisisitiza
akizungumza katika kituo cha shirika la habari tanzania mnadhimu mkuu wa jwtz luteni jenerali abrahaman shimbo alikiri kutoonekana askari wanne wa jeshi hilo na juhudi za kuwatafuta zinaendelea
hadi sasa askari wetu wanne UNK wako wapi lakini tunaendelea kuwatafuta alisema luteni jenerali UNK
naye mkuu wa mkoa wa dar es salaam bwana william lukuvi alisema kwa sasa kazi inayoendelea ni kufanya tathimini ili kujua hasara iliyopatikana kutokana na tukio hilo
alisema kitu ambacho wanaendelea kukifanya ni kuwaomba wananchi ambao wamekimbia makazi yao kurudi katika nyumba zao huku akisisitiza kuwa watoto ambao walikuwa UNK wameanza kupata wazazi wao
baadhi ya wakazi wa dar es salaam waliohojiwa na majira walipendekeza maghala ya silaha za kijeshi UNK katika maeneo ya watu na kupelekwa maeneo ya mbali
walisema kimsingi jeshi haliwezi kulaumiwa kwa sababu wakati kambi zinajengwa hakukua na makazi ya watu kutokana na idadi ndogo ya wakazi wa dar es salaam
katika hatua nyingine UNK mbalimbali ikiwemo dawa chakula na vinywaji vimeendelea kutolewa na watu na mashirika mbalimbali
meya wa jiji la dar es salaam bwana adam UNK ambaye pia ni katibu mkuu wa msalaba mwekundu alitoa misaada yenye thamani ya shilingi milioni ishirini huku milioni nyingine kumi sifuri zikiwa zimetengwa maalumu kwa ajili ya kusaidia majeruhi
UNK msaada huo kwa kofia yangu kama kiongozi wa UNK UNK
msaada huu
msaada huu unajumuisha blanketi ishirini sifuri dawa na vifaa mbalimbali vya matibabu alisema
pia uongozi wa timu ya mpira wa miguu african lyon ya temeke dar es salaam pamoja na wachezaji wametoa msaada wa maji juisi unga wa ngano pamoja na shilingi ishirini sifuri sifuri sifuri sifuri msaada huo kwa pamoja una thamani ya shilingi hamsini sifuri sifuri sifuri sifuri habari hii imeandikwa na edson kamukara sai...
na said mwishehe kiongozi wa kanisa kipentekoste la UNK UNK centre mchungaji UNK lusekelo amemtetea mwenyekiti wa kampuni za ipp bwana reginald mengi kwa kauli yake ya kutaja majina ya watu alidai ni mafisadi papa na kutaka serikali UNK ushirikiano katika mapambano hayo
mchungaji amewashangaa watu wanaodai bwana mengi anajipendekeza kwa rais jakaya kikwete na kubainisha kwamba ni bora kujipendekeza kwa rais kuliko kwa mafisadi papa
akizungumza na waandishi wa habari dar es salaam jana mchungaji lusekelo alisema tuhuma alizozitoa bwana mengi kwa kutaja majina ya mafisadi papa ni nzito hivyo serikali haipaswi kupuuza bali kushirikiana naye kuhakikisha watuhumiwa UNK na hatimaye kuchukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria
alisema haoni sababu baadhi ya watu UNK kupuuza kauli ya bwana mengi kwa sababu ni mtoa taarifa mwema ambaye ameamua kuanika uhalifu hadharani hivyo ni jukumu la serikali kumlinda mtoa taarifa kwa mujibu wa taratibu za utawala bora
kwa sasa serikali UNK kufanya ni kuona jinsi gani inashughulikia majina ya mafisadi papa ambao wametajwa na bwana mengi
naamini serikali imekuwa mstari wa mbele kushughulikia mafisadi alisisitiza mchungaji UNK
alidai anashangazwa kuona wakati bwana mengi anatekeleza kazi ya kupambana na mafisadi inayosimamiwa na serikali baadhi ya mawaziri akiwemo waziri wa nchi ofisi ya rais bibi sofia simba na waziri wa habari utamaduni na michezo bwana george mkuchika UNK badala ya UNK
tulitegemea serikali kuyafanyia kazi maneno ya mengi dhidi ya mafisadi papa ambao wanaweza kumdhuru wakati wowote baada ya UNK hadharani alisema
aliongeza kuwa bwana mengi alishasema ana vielelezo vyote vya ushahidi wa tuhuma alizotoa dhidi ya watu hao hivyo ni jukumu la serikali kuwasiliana naye ili kuchukua hatua zaidi kisheria
alitoa mfano kuwa jeshi la polisi kwa sasa UNK programu ya polisi jamii na bwana mengi ni miongoni mwa watanzania walioamua kutumia fursa hiyo kama raia kutaja watu UNK kwa ufisadi
alitoa rai kwa viongozi wa dini washirikiane na wanasiasa wachache ambao wamejitokeza hadharani kupiga vita ufisadi
pia ametoa mwito kwa chama cha mapinduzi kuchukua hatua ya kumfukuza uanachama bwana rostam azizi ambaye ni mbunge wa igunga ili kulinda heshima ya chama hicho
alisema tuhuma zinazomkabili mbunge huyo ni nzito na UNK taifa jamii na bunge
aliongeza ripoti ya redet ya hivi karibuni inaonesha wananchi bado wanaimani na ccm na vyama vya upinzani havina uwezo wa kushika hatamu wanachama wanaoandamwa na kashfa mbalimbali kama bwana rostam wanaweza UNK chama hicho kupata ushindi kwenye uchaguzi mkuu ujao
mwalimu nyerere aliwafukuza akina juma duni sharif hamad shabani UNK na wenzake ili kuimarisha chama
alitoa mfano UNK aliyetuhumiwa kwa ukahaba na kuachwa na mfalme alisema mchungaji lusekelo kwa lengo la kuitaka ccm kuchukua hatua dhidi ya wanachama wote wanaohusishwa na tuhuma mbalimbali
mchungaji huyo UNK rais kikwete kwa juhudi zake za kusimama kidete kupinga ufisadi na kuhimiza uwajibikaji
aliwapongeza baadhi ya wanasiasa wakiwemo wabunge waliojitokeza na kuamua kupambana na ufisadi
na grace michael rais jakaya kikwete ameshindwa kuhudhuria sherehe za siku ya wafanyakazi duniani ambazo kitaifa zilifanyika mkoani mara kutokana na kushughulikia tukio UNK kwa mabomu lililosababisha vifo na kujeruhi mamia jijini dar es salaam wiki hii
kukwama kwa rais kikwete kuhudhuria sherehe hizo UNK jana na makamu wake daktari ali mohamed shein aliyemwakilisha ambaye alibainisha kwamba mkuu huyo wa nchi amelazimika kutohudhuria sherehe hizo ili kushughulikia maafa hayo
rais wetu alikuwa amefanya maandalizi ya kuja hata hotuba UNK lakini kutokana na janga kubwa UNK na mlipuko wa mabomu katika kambi ya jeshi iliyoko mbagala dar es salaam UNK kubaki huko kwa ajili kutoa maelekezo sehemu mbalimbali hivyo UNK UNK yake kama alivyokuwa UNK alisema daktari shein
katika hotuba hiyo wafanyakazi ambao walikuwa na kiu ya kusikia nyongeza za mishahara walitoka mikono mitupu huku serikali ikieleza kuwa huenda isifanye maboresho ya mishahara mwaka huu kutokana na hali ya sasa ya mtikisiko wa uchumi duniani
daktari shein alisema kuwa kutokana na UNK huo serikali kwa upande wake imesitisha utekelezaji wa baadhi ya mipango yake hadi hali itakapotengemaa
inawezekana kabisa kusiwe na maboresho ya maslahi ya wafanyakazi kwa maana ya mishahara kwa mwaka huu hivyo kama itatokea kila mmoja afahamu sababu zilizosababisha kuwa hivyo tufanye kazi kwa bidii huku tukisubiri hali kuwa nzuri ili kufanyike kwa maboresho hayo alisema daktari shein
alisema kuwa serikali ilikuwa na matarajio ya kukua kwa uchumi kwa asilimia nane lakini kwa sasa UNK na matokeo yake uchumi UNK hadi asilimia tano au sita
kushuka kwa uchumi huu kunatokana na kushuka kwa bei za bidhaa zinazozalishwa hapa nchini ikiwemo pamba ambayo imeshuka kutoka senti sabini hadi senti arobaini na tano za marekani ambapo kahawa imeshuka kwa asilimia thebathini mbali na hayo pia alisema kuna upungufu mkubwa wa watalii hali itakayochangia kwa kiasi kiku...
mtikisiko wa uchumi pia umeathiri sekta ya ajira kutokana na kuathirika kwa kazi mbalimbali huku baadhi ya kampuni UNK wafanyakazi
alisema kuwa serikali itahakikisha wafanyakazi wanapata maslahi mazuri ya kuwawezesha kuendesha maisha yao lakini kwa sasa inaangalia uwezekano wa kufikia malengo hayo
akijibu suala la mapendekezo ya tume iliyoundwa kuchunguza namna ya kuboresha maslahi ya wafanyakazi alisema kuwa haikuwa na maana ya kuanza kutekelezwa mapendekezo yote kwa mara moja bali mengine UNK ukuaji wa pato la taifa
akizungumzia UNK kazini alisema kuwa viongozi wa vyama vya wafanyakazi wamekuwa wakitumia muda mwingi katika malumbano badala ya kushughulikia matatizo ya wafanyakazi kwa lengo la kupigania haki zao
kutokana na hali hiyo alivitaka vyama hivyo kuzingatia maadili na utawala bora ili kuhakikisha UNK haki za wafanyakazi lakini pia uhamasishaji wa utendaji kazi
sisi kama serikali tutahakikisha tunashirikiana na vyama hivi ili kutimiza wajibu na malengo yake alisema daktari shein
akithibitisha serikali kushirikiana na vyama hivyo alisema kuwa waziri mkuu bwana mizengo pinda aliweza kukutana na viongozi wa vyama vya wafanyakazi kwa siku kadhaa ikiwa lengo ni kukuza ushirikiano kupata maoni na changamoto zinazowakabili wafanyakazi
kuhusu mchango wa sekta binafsi alisema kuwa UNK umuhimu mkubwa hivyo serikali inapambana ili kuhakikisha maslahi yake UNK
aidha alisema kuwa kwa sasa serikali inakosa mapato makubwa kutoka katika sekta binafsi isiyo rasmi kutokana na UNK hivyo akasema ipo michakato inayoendelea ili kuweza kurasimisha sekta hiyo na hatimaye kupata mapato hayo
akizungumzia sakata la mapambano ya rushwa na ufisadi daktari shein aliwataka wafanyakazi kupambana na hali hiyo kwa kukataa kupokea rushwa wala kutoa rushwa lakini pia UNK wanaofanya hivyo katika mamlaka husika
kwa upande wa tucta ambayo hotuba yake ilisomwa na bwana UNK mgaya ililalamikia namna ya utekelezaji wa mapendekezo ya tume ya uboreshwaji wa maslahi na UNK wazi kwa ripoti hiyo
kwa vile tume hiyo ilitumia fedha za wananchi tunaomba ripoti hiyo iwekwe wazi na kima cha chini cha mshahara kiwe mia tatu na kumi na tano sifuri sifuri sifuri kwa mwezi ili kumwezesha mfanyakazi kumudu gharama za maisha
mbali na hilo pia walitaka serikali kuondoa kodi katika mishahara hiyo ambayo inaongeza umasikini kwa wafanyakazi hao
serikali inatakiwa kuangalia upya sera ya kodi kwani UNK mtumishi kuondokana na umasikini bali inaendelea UNK alisema bwana UNK
mbali na hayo pia serikali ilitakiwa kutoa nafasi kwa vyama vya wafanyakazi kushiriki katika chombo cha utungaji sheria
kiwango cha kufaulu UNK