text
stringlengths
1
1.32k
mshitakiwa zilifyatuliwa baada ya tukio la mauaji la januari kumi na nne mwaka ishirini sifuri sita alidai kuwa yeye akiwa na marehemu rashid lema pamoja na saad ndio waliokwenda kufyatua risasi bunju ambapo walitumwa na mshitakiwa wa pili UNK
bagen aliwaambia saad na rashid ambao walikuwa na silaha kwenda bunju lakini huku akitaka UNK na mimi ili UNK na tulifanya hivyo alisema mshitakiwa huyo
wakili msafiri kabla ya kwenda bunju ilikuaje
mshitakiwa bagen alimtaka saad UNK risasi sita na rashid risasi sita na maganda yote UNK na jumla ya maganda aliyokuwa UNK bagen ni maganda tisa
mshitakiwa aliendelea kudai kuwa walifanya kama UNK kufanya ambapo walipewa gari aina ya pajero na kisha kwenda bunju
baada ya kutoka bunju saad na lema UNK bagen kwa ajili ya kumpa yale UNK na kumtaka rajab kuchukua yale maganda ili bagen akifika UNK naye alifanya hivyo
mshitakiwa huyo alipohojiwa kama aliwahi kutoa maelezo yake sehemu yoyote alidai kuwa ndiyo na aliwahi kutoa maelezo katika tume ya jaji kipenka na ile ya polisi iliyokuwa ikiongozwa na afande UNK
alidai kuwa katika tume ya afande mgawe alieleza kama UNK mahakama lakini aliidanganya tume ya jaji UNK
alipoulizwa kwa nini aliidanganya tume ya jaji kipenka mshitakiwa huyo alidai kuwa kwa kuwa alipata maelekezo kutoka kwa mshitakiwa wa kwanza abdallah zombe UNK kusema uongo
wakili UNK kusema uongo kwa nini
mshitakiwa kwasababu UNK UNK onyo kama UNK ukweli wa tukio zima UNK UNK
wakili je zombe aliwataka mtoe maelezo gani mshitakiwa zombe alitupa vikaratasi UNK UNK tume ya jaji kipenka kuwa tukio lilitokea ukuta wa posta kwa majambazi kurushiana risasi na polisi
wakili kwa nini wakati mauaji yanatokea UNK taarifa sehemu yoyote
mshitakiwa niliogopa kwa sababu zombe alituambia UNK
wakili karatasi UNK na zombe ipo wapi
mshitakiwa UNK wakili wangu ambaye ni msafiri kesi hiyo imeanza kusikilizwa leo mbele ya jaji wa mahakama ya rufani salum masati baada ya kusimama kwa muda mrefu kusubiri mshitakiwa koplo rashid lema apate nafuu na kujitetea lakini hata hivyo ilishindikana na alifariki dunia
kutokana na kifo cha mshitakiwa namba kumi na moja lema kufariki dunia wakili wa serikali mugaya mutaki ameomba mahakama UNK cheti cha kifo cha rashid lema ili iwe uthibitisho alifariki aprili tatu mwaka huu ocean road na kuomba kesi dhidi yake ifutwe
zombe aliyekuwa mkuu wa upelelezi mkoa wa dar es salaam na wenzake wanadaiwa kuwa januari kumi na nne mwaka ishirini sifuri sita wakiwa katika msitu wa pande luisi ulioko mbezi dar es salaam waliwaua ephraim chigumbi sabinusi chigumbi juma ndugu na mathias lukombe
washitakiwa wengine ni christopher bageni ahmed makele f wp elfu nne na mia tano na kumi na tatu jane andrew d elfu nane na mia mbili na themanini na tisa michael shonza d mia mbili na thebathini sifuri abeneth UNK d elfu nne na mia sita na hamsini na sita rajab bakari na d elfu moja na mia tatu na sitini na saba fest...
kesi hiyo inaendelea leo
leo
na said mwishehe na UNK mihale wakati tukienda mitamboni mbali ya kuwepo taarifa za UNK vya watu watatu watu zaidi wanadaiwa kufa katika UNK la milipuko ya UNK iliyotokea jijini dar es salaam jana
wanaripoti hospitali ya temeke dar es salaam UNK vifo vya watu kutokana na tukio hilo ingawa taarifa nyingine ambazo hazijathibitishwa rasmi zinasema watu waliokufa ni ya hao
waandishi wa habari hizi waliokuwa hospitali ya temeke kufuatilia vifo na majeruhi waliokufa ni mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina na bibi hawa mkazi wa mbagala mwanafunzi ambaye hajafahamika jina na mtu mwingine ambaye hakufahamika mara moja
taarifa zaidi zinasema bibi hawa alikufa wakati alipokuwa akijaribu kukimbia ili kunusuru maisha yake lakini kwa bahati mbaya alipigwa na bomu na kukatika vipande viwili na mwanafunzi aligongwa na gari wakati akikimbia kuponya roho yake
mganga mkuu wa manispaa ya temeke dar es salaam daktari UNK UNK alisema kuwa idadi kamili ya watu waliokufa bado haijafahamika ingawa kuna taarifa kuwa idadi ya waliokufa ni kubwa
watu ambao wamekufa na kuhifadhiwa katika hospitali ya temeke ni wawili lakini kuna taarifa nyingine wengine wawili wapo eneo la tukio
tutatoa taarifa zaidi baada ya kufanyika UNK ya kina juu ya tukio hili alisema daktari UNK
alisema kwa mujibu wa taarifa za eneo la tukio ni kwamba wale UNK kufa UNK vichwa
alisema kutokana na ukubwa wa tukio hilo idadi kubwa ya majeruhi wamefikishwa UNK hapo kwa ajili ya kupatiwa huduma kutokana na majeraha UNK
alisema wengi wamejeruhiwa katika maeneo mbalimbali ya miili yao huku wengine wakiwa wamevunjika mikono miguu na hata UNK vichwani na wengine UNK na mshtuko kutokana na sauti ya mlipuko
tunaendelea kuwapatia huduma walie UNK hapa lakini wengine wanaendelea kupatiwa huduma katika maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya kutoa huduma kwa majeruhi
baadhi ya majeruhi wapo uwanja wa taifa viwanja vya sabasaba na hospitali ya taifa muhimbili alisema
mkuu wa mkoa wa dar es salaam bwana william lukuvi alisema taarifa kamili kuhusu tukio hilo itatolewa baadaye ili UNK umma
alisema kwa sasa kazi inayoendelea ni kuhakikisha maeneo yaliyokuwa karibu na tukio yanakuwa salama kwa kuhakikisha hata kama mabomu yataendelea kulipua moto wake UNK mbali zaidi
bwana UNK alisema kwa bahati mbaya mabomu hayo UNK katika maeneo mbalimbali ya dar es salaam kutokana na taarifa alizonazo
nimeambiwa kuwa bomu lingine limeonekana ilala hivyo tuna wasiwasi huenda maeneo mengine yakawa na mabomu hivyo wananchi UNK kitu chochote ambacho UNK wala kushika UNK
wanachotakiwa ni kutoa taarifa polisi ua kwa jeshi la wananchi wa tanzania alisema
aliongeza askari wa jwtz pamoja na polisi wataendelea kubaki katika eneo la tukio ili kulinda usalama lakini wakati huo huo kusubiri mabomu mengine UNK
kwa sasa ghala moja la mabomu ndio UNK lakini watahakikisha moto haufiki katika maghala mengine
tunavyojua sisi mabomu yaliyobaki hayana matatizo na ndio maana tumeamua UNK yote
hatukuwa na uwezo wa kudhibiti UNK kulipuka na dawa ni UNK yote alisisitiza
kutokana na hali hiyo ambayo inaendelea kuwa salama kadri muda unavyokwenda amewataka wakazi mbagala kurudi majumbani mwao kwa sababu hataendelea kupata madhara
pia kwa wale ambao UNK watoto kutoa taarifa katika kituo chochote cha polisi kilichokuwa jirani
hiyo inatokana na kuwepo kwa taarifa za watoto wengi kupotea na hata watu wazima kutoonekana katika familia zao
alisisitiza wataendelea kutoa taarifa za tukio hilo kutokana na matukio UNK na watalaamu ambao wengine UNK katika maeneo mbalimbali ya dar es salaam kuchunguza athari za mlipuko wa mabomu hayo
pia alisema kwa sasa mbali ya mambo mengine wameamua kuunda tume ambayo itahakikisha shughuli zima ya ufuatiliaji inafanya kwa umakini zaidi katika nyanja zote ikiwemo ya uteguaji mabomu matibabu na kupata taarifa kwa wananchi
diwani wa kata ya mbagala bwana titi UNK alisema kuwa watu wawili waliokufa wanatoka katika kata yake ambayo imeathirika zaidi
mbali ya kuwepo kwa watu waliokufa pia nyumba zimeungua na wanafunzi wa shule nne wamepata majeraha
alisema kibaya zaidi kuna nyumba mmoja katika kata yake bomu limeingia ndani na bado UNK
wakati hali ikiendelea maelfu ya wakazi wa dar es salaam walionekana kushikwa na simanzi huku vilio vikiwa vimetawala miongoni mwao kutokana na hofu kuwa huenda ndugu zao waliofikishwa hospitalini hapo UNK
kutokana na idadi ya watu waliofika katika hospitali hiyo polisi walilazimika kutumia mbwa na farasi kwa ajili ya kutuliza watu ambao walikuwa wakitaka kuingia ndani ya lango la hospitali hiyo kuona ndugu na familia zao
fununu za vifo
baadhi ya watu wamekuwa wakitoa taarifa mbalimbali za matukio ya vifo kutokana na tukio hilo
wakizungumza na majira baadhi ya wakazi wa mbagala walisema kuwa wapo watu ambao UNK katika mto mzinga wakati UNK maisha yao
walisema watu hao hadi sasa hawajapatiwa msaada wowote na UNK kama watakuwa salama kutokana na maji yaliyokuwemo ndani ya mto huo huku wakisisitiza kati ya watu ambao wanahisi kupoteza maisha watoto ni wengi
pia taarifa nyingine baadhi ya wanafunzi ambao wameathirika na tukio hilo walisema kuna mwenzao mmoja amekufa kutokana na mlipuko wa mabomu hayo
baadhi ya wanafunzi ambao wameathirika na mabomu hayo wanatoka shule ya sekondari st
UNK shule ya askofu mkuu john sepetu na shule ya msingi UNK jijini
misaada hospitali ya temeke
magari mbalimbali ya idara za serikali yalifika hospitalini hapo kwa kupeleka dawa pamoja na vifaa vingine kwa ajili ya kutoa huduma kwa majeruhi
pia wauguzi na madaktari kutoka hospitalini nyingine za serikali walilazimika kuweka kambi kwa ajili ya kusaidia wenzao wa temeke
vyakula na maji kwa ajili ya majeruhi vilikuwa UNK na UNK baadhi ya majeraha ambao hali zao zilikuwa zinaendelea vizuri wakisubiri kuruhusiwa nyumbani
katika kuhakikisha huduma za misaada UNK zaidi gari za hospitali binafsi na magari ya watu mbalimbali yalisaidia kubeba majeruhi kutoka maeneo mbalimbali UNK na kuwafikisha hospitalini hapo
jiji la dar es salaam na vitongoji vyake mishale ya UNK jana liligubikwa hofu na simanzi kufuatia milipuko mizito ya mabomu iliyosababisha wakazi wake UNK huku wakiona hapatoshi kana kwamba wamefungiwa kwenye chumba cha kidogo cha futi sita kwa kumi na mbili tukio hilo UNK kusababisha vifo vya watu watatu kati yao aki...
balaa hilo lilikuja baada ya kulipuka ghala la silaha yakiwemo mabomu katika kambi ya jeshi la wananchi wa tanzania iliyopo eneo la mbagala kizuiani
tafrani hiyo iliwafanya wakazi wa karibu maeneo yote ya mbagala kukimbia huku na kule ilhali wafanyakazi katika ofisi zikiwemo zile za maeneo ya katika kati ya jiji wakitikishwa kwa vishindo vizito vya mabomu hayo ambapo mengine UNK kuruka na kutua maeneo kadhaa
ofisi mbalimbali jijini zilifungwa na wafanyakazi kutakiwa kurudi majumbani hususani kwenye majengo marefu ya ghorofa kwa ajili ya usalama wao
katika maeneo ya mtoni kijichi baadhi ya watu walilazimika kukimbilia baharini na nusura baadhi yao wanase kwenye tope baada kukimbilia upande huo kwa lengo la kutaka kujiokoa
tukio hilo lililokuwa kama vita ambalo liliwalazimu wakazi hao kuhaha huku na kule huku wengine wakiwa wamejeruhiwa sehemu mbalimbali za miili yao na baadhi ya wakazi kulazimika kukimbia nyumba zao kuhofia usalama wa maisha yao
katika tukio hilo la aina yake lililoanza dakika kadhaa baada ya saa tano asubuhi vibaka nao UNK mwanya kuiba mali za wakazi wa eneo hiyo kutokana na kuacha milango wazi ambapo hata nyumba ya meja wa kambi ya kizuiani bwana benedict mnari UNK
vibaka hao walikwenda mbali zaidi baada ya kupora vipande vya mabomu UNK na kutapakaa eneo hilo kwa lengo la kwenda kuuza vyuma chakavu
hata hivyo watuhumiwa hao wa wizi wa vyuma chakavu vya mabomu walikamatwa na askari kanzu pamoja na wanajeshi na kuwekwa chini ya ulinzi jirani na lango moja wapo la kambi hiyo
vijana hao UNK kwa majina ya UNK ally na mwenzake waziri UNK ambao baada ya kushikwa na vipande hivyo vya mabomu wakiwa chini ya ulinzi walichukuliwa maelezo yao na polisi jeshi na askari kanzu waliokuwa eneo hilo
jeshi la polisi pamoja na vikosi mbalimbali walipata kazi ya ziada kuwaokoa watoto ambao walikuwa wakihaha huku na kule huku wengine UNK na magari
hali hiyo ilisababisha maduka kufungwa watu kutembea mwendo mrefu kwa miguu kutokana na daladala nyingi kusimamisha huduma huku wanajeshi wakilazimika kusaidia kukusanya waliokuwa wakitangatanga baada ya kusambatarishwa na kupotezana na familia zao
mbali na hao pia watu kadhaa walizirai na kukimbizwa katika vituo vya tiba huku askari wa jeshi la wananchi wa tanzania UNK na kikosi cha usalama barabarani kuzuia magari UNK kupita eneo la hatari
kutokana na hali hiyo polisi walimwagwa ili kuwaondoa wananchi ambao wengi walikuwa UNK kusogea eneo la tukio huku
wakati walinzi wa amani wakijitahidi kuimarisha ulinzi katika maeneo hayo mabomu yaliendelea kulipuka na kuwafanya walimu na baadhi ya watu kuwafungia watoto UNK ili kujaribu kuwahifadhi UNK na kukumbwa na madhara
baadhi ya wakazi walilazimika kutoka na kukimbilia katika vituo vya polisi kwa ajili ya kujaribu kunusuru roho zao
mabomu hayo kadri muda ulivyokuwa ukienda yaliendelea kulipuka na kudondokea nyumba za watu ambapo takribani nyumba tatu ziliteketea na mali zilizokuwemo ndani
wakazi wa eneo hilo walionekana wakiwa katika makundi makundi wakitafakari mahali pa kwenda kuishi kwakuwa kulikuwa na fununu kuwa huenda mabomu makubwa yanaweza kulipuka na kusababisha madhara zaidi
wazazi wenye watoto katika shule za mbagala kizuiani na nyinginezo walipata kazi ya ziada kuwasaka watoto hao
waandishi wa gazeti hili walishuhudia vikosi vya zimamoto mbalimbali UNK kujitahidi kuokoa nyumba zilizokuwa UNK lakini hata hivyo jitihada hizo zilikwama kutokana na miundombinu mibovu ya barabara
vilevile vikosi mbalimbali vya jeshi UNK katika eneo la tukio kwa magari elfu mbili na mia tano na arobaini na tisa jw tisini na saba mia mbili na sabini sita jw tisini na saba stk elfu moja na mia tisa na sabini na moja yalifika kuimarisha ulinzi japokuwa baadhi ya askari walionekana UNK kutokana na mabomu hayo UNK k...
kutokana na hali hiyo polisi walifika katika maeneo mbalimbali ya biashara na kuimarisha ulinzi huku wakitangaza kwa kipaza sauti wakiwa na gari namba pt elfu moja na mia tano na ishirini na nne kuwataka wananchi wakae mbali na eneo hilo la hatari ambalo pia lilisaidia kubeba majeruhi waliokuwa UNK kutokana na mshituk...
kamishna msaidizi wa jeshi la polisi bwana paul UNK alipatwa na wakati mgumu na kulazimika kufanya vikao vya dharura na askari wake ili waweze kuimarisha ulinzi na kuchunguza kwa makini juu ya tukio hilo
naomba wananchi wakae mbali na eneo hili kwani ni la hatari na muda wowote panaweza kutokea madhara makubwa zaidi kwakuwa yanaendelea kulipuka na kuruka ovyo mitaani alisikika akizungumza bwana UNK
kutokana na hali hiyo kuzidi kuwa ngumu kulisababisha baadhi ya maeneo kukata mawasiliano ambapo baadhi ya wakazi walikuwa wakipiga simu kuomba msaada zaidi kutokana na wenzao wawili kufariki baada ya kuangukiwa na mabomu hayo huku bomu lingine likiwa maeneo hayo likiwa bado UNK
pia tukio hilo lilitoa mwanya kwa baadhi ya watuhumiwa katika kesi mbalimbali ambao walikuwa kwenye mahakama ya mwanzo mbagala ambao walitimua mbio baada ya askari makarani mahakimu kukimbia mbio kuhofia maisha yao
majira UNK maeneo mbalimbali ya mbagala na kushuhudia athari zilizotokea kutokana na tukio hilo ambapo kutokana na mabomu hayo kurukia katika baadhi ya nyumba UNK na kuleta madhara makubwa
miongoni mwa nyumba hizo ni pamoja na ile ya msemaji wa jeshi la polisi nchini bwana abdallah msika ambaye nyumba yake imeharibika
bwana msika kwa sasa yuko nje ya nchi kwa matibabu
gazeti hili UNK kuingia ndani ya nyumba hiyo na kukuta paa UNK na kusababisha mali kadhaa zilizokuwemo ndani kuharibika
tukio hilo lilisababisha baadhi ya viongozi wakuu kutoka ndani ya jeshi la polisi serikali pamoja na vyama mbalimbali vya kisiasa kufika eneo la tukio kujionea maafa hayo
hali ya usafiri ilikuwa ngumu ambapo wakazi walilazimika kutembea kwa miguu kutoka kariakoo hadi mbagala huku wengine wakifanya uhamisho wa dharura kwenda kwa ndugu na jamaa zao wanaoishi mbali na maeneo hayo
wakizungumza na waandishi wa habari katika eneo la tukio viongozi kutoka jeshi la polisi na serikali walisema kwa nyakati tofauti kuwa hawezi kulizungumzia kwa undani tukio hilo kwakuwa bado wanaendelea kufanya tathimini ya kina
mkuu wa mkoa wa dar es salaam bwana wiliam lukuvi amewataka wakazi wa jijini dar es salaam kutulia wakati jeshi likiendelea kuimarisha hali ya usalama
alisema hadi sasa hawana idadi kamili ya watu waliopoteza maisha katika janga hilo na kujeruhiwa ambapo taarifa kamili zitatolewa baada ya tathimini ya kina
naomba wananchi wawe na subira wakati tukiendelea na tukio hili na kwa wale waliokosa makazi wataandaliwa mazingira mazuri ya kuishi katika kipindi hiki alisema bwana lukuvi