text stringlengths 1 1.32k |
|---|
kumi na saba UNK matokeo na said mwishehe baraza la mitihani la tanzania limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato sita uliofanyika februari mwaka huu huku shule za wasichana UNK |
katika matokeo hayo shule ya wasichana ya kibosho ya mkoani kilimanjaro imeshika nafasi ya kwanza ikifuatiwa na sekondari ya wasichana ya marian ya mkoani pwani |
akitangaza matokeo hayo dar es salaam jana katibu mtendaji necta daktari joyce ndalichako alisema ubora wa shule umepangwa kwa kutumia kigezo cha madaraja kuanzia daraja la i hadi iii pia alisema shule hizo zimegawanywa katika makundi mawili kulingana na idadi ya UNK |
kundi la kwanza ni lenye watahiniwa ishirini na tano na zaidi na kundi la pili ni lile lenye watahiniwa chini ya ishirini na tano kutokana na UNK huo shule ya wasichana kibosho na marian UNK nafasi ya kwanza |
mwaka huu shule za wasichana zimefanya vizuri zaidi hata katika ufaulu pia wasichana wamewazidi wavulana hali inayoashiria kuwa safari hii wasichana wamewazidi wavulana katika kiwango cha ufaulu matokeo ya kidato cha sita alisema daktari UNK |
akizungumzia matokeo ya watahiniwa wote daktari ndalichako alisema jumla ya watahiniwa arobaini na tano mia saba na kumi na sita sawa na asilimia themanini na tisa sitini na nne ya watahiniwa waliofanya mtihani huo UNK |
wasichana waliofaulu ni kumi na saba mia moja na hamsini na mbili sawa na asilimia tisini tisini na mbili ya wasichana waliofanya mtihani |
wavulana waliofaulu ni ishirini na nane mia tano na sitini na nne sawa na asilimia themanini na nane themanini na tisa ya wavulana waliofanya mtihani |
alifafanua kuwa watahiniwa wa shule waliofaulu ni thebathini na sita mia nne na sabini na mbili sawa na asilimia tisini na nne thebathini na saba ya watahiniwa wa shule waliofanya mtihani huo |
mwaka ishirini sifuri nane watahiniwa wa shule waliofanya mtihani ni ishirini na tisa mia tisa na ishirini na nne sawa na asilimia tisini na mbili sabini na mbili hivyo idadi ya watahiniwa wa shule imeongezeka kwa watahiniwa sita mia tano na arobaini na nane ambayo ni sawa na asilimia ishirini na moja tisa ikilinganis... |
akizungumzia zaidi ubora wa ufaulu kwa jinsia daktari ndalichako alisema ubora wa ufaulu kwa kuangalia madaraja waliyopata watahiniwa wa shule katika mitihani ya kidato cha sita mwaka huu umeonesha jumla ya watahiniwa thebathini na mbili sifuri mbili tatu sawa na asilimia themanini na mbili themanini na sita wamefaulu... |
mary UNK na boniconsili mabamba UNK |
kwa upande wa shule kumi bora zenye watahiniwa chini ya ishirini na tano iliyoshika nafasi ya kwanza ni st |
james seminari ikifuatiwa na UNK masama girls katoke seminari st |
joseph UNK seminari usa seminari st |
peter s seminari st |
francis UNK seminari arusha UNK na UNK UNK |
shule kumi za mwisho katika kundi la shule lenye watahiniwa zaidi ya ishirini na tano ya kwanza kutoka mwisho ni andrew UNK memorial mount kilimanjaro UNK seminari hekima UNK UNK UNK UNK UNK nyuki na UNK |
shule kumi za mwisho kwa upande wa shule zenye watahiniwa ishirini na tano na zaidi ya kwanza ni UNK maswa girls dodoma central fidel castro muslim UNK UNK tumekuja UNK daktari UNK na UNK |
akizungumzia wanafunzi waliofanya vizuri zaidi daktari ndalichako alisema wamepatikana kwa kuangalia wastani wa alama za jumla walizopata pamoja na muunganisho wa masomo |
mwanafunzi wa kwanza kwa upande wa wasichana ni sophia nahoza wa marian girls lilian ahmed wa boniconsili mabamba girls ya kigoma tunu UNK marian girls na UNK UNK jangwani |
wengine ni agnes dominick kibosho girls habiba twaha UNK furaha amos marian girls amina mziray machame girls UNK UNK UNK UNK na upendo stiven UNK |
kwa upande wa wavulana aliyeshika nafasi ya kwanza ni auden kileo kibaha raymond aidan kibaha frank shega tabora boys charles simkonda ilboru maclean mwaijonga UNK boys na atupele kilindu UNK |
wengine ni athuman juma ilboru dickson mutegeki tabora boys michael andrew ilboru na UNK UNK al UNK UNK |
wanafunzi kumi waliofanya vizuri kwa ujumla kitaifa ni auden kileo raymond aidan frank shega charles simkonda maclean mwaijonga sophia nahoza atupele kilindu athuman juma dickson mutegeki na michael UNK |
necta pia limefuta matokeo ya watahiniwa nane wa shule na watahiniwa kumi na saba wa kujitegemea kwa kubainika kufanya udanganyifu katika mitihani |
pia watahiniwa hamsini na tatu waliofanya mtihani wakiwa na sifa zenye utata UNK uhalali wa matokeo yao baada ya kuwasilisha vielelezo vya kuthibitisha uhalali wao |
watahiniwa thebathini na tatu wa shule ya sekondari UNK iliyoko manyara na UNK ya pwani hawakupewa matokeo yao kutokana na kutolipa ada ya watahiniwa hadi pale UNK |
daktari ndalichako alisema baraza limefuta matokeo ya kidato cha nne kwa wanafunzi wawili kwa kubainika kufanya udanganyifu |
wanafunzi wengine hamsini wa kujitegemea wa kituo cha shule ya sekondari konde matokeo yao UNK kwa kufanya udanganyifu katika mitihani ya kidato cha nne mwaka ishirini sifuri nane maiti UNK mto mzinga |
serikali kugharamia mazishi |
hofu mpya mabomu ardhini idadi ya watu waliokufa katika tukio la mabomu eneo la mbagala kizuiani jijini dar es salaam imezidi kuongezeka na kufikia watu ishirini hadi kufikia jana kamanda wa polisi kanda maalumu ya dar es salaam bwana suleiman kova alisema kuwa maiti tatu za raia zilipatikana katika eneo la mto kizing... |
wengine ni bibi amina makuti fatma suleiman halima said anthony UNK na UNK masoud na mmoja hakuweza kutambulika mara moja wote wakazi wa mbagala |
hadi kufikia sasa karibu maiti wote walioletwa hapa wametambuliwa na ndugu zao isipokuwa ni maiti mmoja tu ambaye bado UNK alisema daktari mahita |
alisema kuwa hadi kufikia jana majeruhi ishirini na nane kati ya thebathini na nane walikuwa wameruhusiwa na kubakia majeruhi kumi huku mmoja UNK katika hospitali ya taifa muhimbili kutokana na hali yake kuwa mbaya |
hata hivyo mratibu wa chama cha msalaba mwekundu mkoa wa dar es salaam bibi grace mawalla alisema kuwa kuna uwezekano mkubwa wa kuripotiwa vifo zaidi kutokana na idadi kubwa ya wazazi waliofika kutafuta watoto wao katika vituo UNK kwa ajili ya kutunza watu UNK |
tumebaki na watoto wawili lakini kuna watu zaidi ya thebathini waliofika leo kuulizia watoto pamoja na ndugu zao alisema bibi mawalla |
bibi mawalla alisema kuwa ofisi yake imetenga vituo viwili kwa ajili ya kupokea watoto au watu walipotea kutokana na maafa hayo ambavyo ni kituo cha mgulani jkt pamoja na kituo cha polisi kipata |
alisema katika kituo cha mgulani kuna watoto saba na katika kituo cha polisi kipata kuna mtoto mmoja john bosco na binti bibi stella venance wote wakazi wa UNK nje kidogo ya jiji la dar es salaam |
akizungumza na majira mwenyekiti wa kamati hiyo bwana jerome bwanausi ambaye pia ni meya wa manispaa ya temeke alisema kuwa mpaka jana wasamaria mbalimbali walikuwa wakiendelea kutoa misaada kwa ajili ya kuwasaidia waathirika |
bwana bwanausi alitaja misaada UNK kuwa ni magodoro ishirini sifuri mchele tani tano katoni za maji ya kunywa na mafuta ya kupikia vyote kwa pamoja vikiwa na gharama ya shilingi thebathini milioni kutoka kampuni ya UNK group inayomilikiwa na bwana yusuf manji pamoja na hundi ya shilingi ishirini na tano milioni kutoka... |
tayari chama cha msalaba mwekundu kimetoa zaidi shilingi kumi sifuri milioni na UNK kuendelea kutoa misaada zaidi kama mahema blanketi pamoja na chakula kulingana na hali UNK |
baadhi ya makamanda wa jeshi la wananchi walioko katika eneo la tukio UNK wananchi kuwa waangalifu kwani jinsi hali ilivyo yawezekana kukawa na mabomu yaliyojikita ardhini hivyo pindi UNK hali hiyo watoe taarifa kwenye vyombo husika |
kuna taarifa nyingi za kuwepo kwa mabomu mengi katika maeneo mbalimbali hasa mashambani bali kwa sasa UNK na mabomu ambayo UNK kuwa kwenye makazi ya watu alisema mmoja wa UNK |
pamoja na misaada iliyotolewa na serikali na wasamaria wema mbalimbali bado kumejitokeza malalamiko kutoka kwa wakazi wa mbagala kuu wakidai kuwa misaada hiyo UNK wao kama waathirika wakuu |
walisema kuwa walishangazwa kuona rais kikwete akipelekwa kwenye kambi ya jeshi na kwenye hospitali wakati wao kama wahanga walitegemea kumwona akipita pia kwenye maeneo yao kuona UNK wa mali walioupata |
wakati huo huo serikali itagharamia mazishi ya watu wote waliokufa katika tukio la mlipuko wa mabomu hayo |
kauli hiyo ilitolewa jana na mkuu wa mkoa wa dar es salaam bwana william lukuvi katika maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani ambapo alisema shilingi milioni moja zitatolewa kwa kila familia kufanikisha shughuli hiyo |
akihutubia wakazi wa dar es salaam kwenye uwanja wa uhuru bwana lukuvi alisema tukio hilo ni ajali kama zingine lakini UNK ni madhara yaliyotokea kwa waathirika hao |
serikali itagharamia shughuli zote za mazishi kwa waathirika waliopatwa na ajali ya mlipuko wa mabomu pamoja na kuwasafirisha hadi kwao kwa kutoa misaada ya chakula na vitu vingine UNK alisema bwana lukuvi |
alisema mbali na vifo hivyo wazazi wanazidi kujitokeza kutambua watoto wao kwenye vituo vilivyowekwa ingawa wapo wachache hawajatambuliwa hadi sasa |
bwana lukuvi alisema kwa hivi sasa serikali imeunda tume kuchunguza madhara yaliyotokea kwa wananchi wa mbagala na ndani ya kambi ili kutathmini fidia |
alisema hadi jana operesheni ya uokoaji ilikuwa UNK |
kamati ya kutathmini ajali hiyo itaanza kufanya kazi jumatatu sambamba na viongozi wa maeneo hayo kwa kuwa wao wanajua hali ilivyokuwa awali ili kuepusha watu wajanja UNK bila kupatwa na tukio hilo alisema bwana lukuvi |
aliwataka UNK wa dar es salaam kuwa watulivu na kuungana na waliopatwa maafa kwa kuwapa ushirikiano wakati serikali ikishughulikia suala maafa hayo |
taarifa hii imeandaliwa na edmund mihali peter masangwa edson kamukara joyce ngowi masese na said mwishehe spika wa bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania bwana samuel sitta leo anatarajia kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya vyombo vya habari |
taarifa iliyotolewa jana na taasisi ya vyombo vya habari kusini mwa afrika tawi la tanzania na mkurugenzi wa taasisi hiyo bibi rose haji alisema maadhimisho hayo yatafanyika jijini dar es salaam ambapo waandishi zaidi ya kumi sifuri pamoja na viongozi wengine kutoka serikalini watashiriki katika maadhimisho hayo |
bibi rose haji alisema kauli mbiu ya mwaka huu katika maadhimisho hayo inasema vyombo vya habari majadiliano na maelewano alisema kutokana na maadhimisho hayo wadau mbalimbali watapata nafasi ya kujadili muelekeo wa vyombo vya habari na changamoto zinazowakabili wanataaluma hao |
bibi haji alisema misa tan inaamini taifa linaweza kapata maendeleo endelevu na ya haraka kama serikali UNK haki ya kikatiba ya kupashana na kutoa habari bila vikwazo UNK |
hali hiyo inawezekana iwapo pale waandishi wananchi na serikali UNK pamoja ajenda muhimu katika maendeleo ya taifa |
aliongeza katika maadhimisho hayo wadau wa habari nchini kote watapata nafasi ya kujadili kwa kina uhuru wa vyombo vya habari majadiliano na maridhiano na jinsi gani vyombo hivyo vinaweza kuepukana na vikwazo UNK |
alisema kwa mara ya kwanza watoto watashirikishwa katika maadhimisho hayo ili kusikia wenyewe jinsi masuala yao UNK ili wapate kuchangia |
watoto walioalikwa ni kutoka shule za sekondari na wale wanaoishi katika mazingira mbalimbali magumu |
tumeona ni vema UNK watoto ambao tunaandika habari zao |
lengo ni kuwapa nafasi ya wao kujua jinsi tunavyoweza kushirikiana katika masuala ya habari ikiwa ni pamoja na wao kutoa muongozo wanataka habari zao UNK vipi alisema |
alisisitiza kuwa uhuru wa vyombo vya habari utapatikana pale watanzania na wadau wengine UNK imara kujadili kwa pamoja hatma ya uhuru huu |
na anneth kagenda mtoto amina hamis ambaye ni mwanafunzi wa darasa la tano katika shule ya kizuiani iliyoko mbagala dar es salaam anawaomba wazazi na walimu wake kufika hospitali ya temeke ili kumjulia hali baada ya kunusurika kifo katika mlipuko wa mabomu |
akizungumza na majira jumapili jana alisema tangu alipofikishwa hospitalini kwa ajili ya kupatiwa matibabu hajawaona wazazi wake wala walimu kumtembelea |
kitendo cha kukosa kuona wazazi wake anahisi wamekufa kutokana na tukio hilo |
alisema UNK kufika hospitalini hapo ni kupata presha baada ya milipuko hiyo kutokea na hivyo kumpelekea UNK |
nawaomba wazazi wangu na walimu waje kuniona ikiwezekana UNK kwani hivi sasa sina maumivu yoyote mwilini alisisitiza UNK |
aliongeza hali yake inaendelea vizuri hivyo wazazi wake wakijitokeza anaweza kuomba ruhusa ili arudi nyumbani kwa ajili ya kuendelea na masomo |
aliwataja wazazi wake kuwa ni bwana salim hamis na bibi elizabeth hamis ambao ni wakazi wa mbagala |
mkuu wa manispaa ya temeke jijini daktari UNK UNK alisema mtoto huyo tangu alipolazwa hakuna ndugu yeyote aliyefika kumuona pamoja na kufikwa na jangwa hilo |
chama cha demokrasia na maendeleo UNK kampeni za uchaguzi mdogo wa jimbo la UNK wilayani geita mkoani mwanza kwa kuendeshwa kampeni kwa lugha ya kisukuma hali ambayo ilikuwa kivutio kwa wakazi wa eneo la nyarugusu ambako uzinduzi huo UNK |
uzinduzi huo ulifanyika jana mjini nyarugusu na kuhudhuriwa na umati mkubwa watu |
aliyekuwa wa kwanza UNK wananchi kwa lugha ya kisukuma ni aliyekuwa mgombea ubunge kwenye kura za maoni kwa tiketi ya chadema kabla ya kushindwa kwenye kinyangganyiro hicho bwana nyasa bakari ambaye aliwataka wananchi kutomchagua mgombea wa chama cha mapinduzi ccm kwa kuwa chama hicho kimeshindwa UNK watanzania hivyo ... |
kwa upande wake wa mkurugenzi wa mawasiliano na haba UNK wa chadema bwana erasto tumbo alisema ccm ikienda kuomba kura wananchi UNK kama wameenda kurejesha migodi UNK UNK |
akihutubia kwa lugha ya kisukuma bwana tumbo alisema wakati ccm wakitafakari swali hilo tunawaomba kura yako ipige kwa mgombea wa chadema alisema |
UNK debe mgombea wa chama hicho bwana magessa finias kwa lugha hiyo ya kisukuma mwenyekiti wa chadema UNK shinyanga bwana UNK alisema kwamba wananchi wa geita wana hazina kubwa ya madini lakini wamekuwa UNK kwa sababu ya wao kuendelea kuikumbatia ccm aliwataka wananchi wa jimbo hilo kutokubali kuuza kura zao kwa kurub... |
naye mkurugenzi wa uchaguzi wa chadema bibi suzan kiwango aliwataka wanawake kutoichagua ccm kwa sababu ndiyo inayosababisha wanawake kuishi maisha magumu na waume zao kufukuzwa kufanya kazi kwenye migodi |
ccm UNK waume zetu kwenye migodi na UNK UNK maisha magumu dawa ni kuwanyima kura alisema bibi kiwango |
kwa upande wake naibu katibu mkuu wa chadema zanzibar bwana hamad mussa yusuf alisema kwamba ni jambo la kusikitisha kuona wananchi wa busanda wanaendelea kuishi kwenye mabanda ya nyasi huku chini ya ardhi UNK kumejaa utajiri wa dhahabu |
alisema pamoja na utajiri huo ni jambo la kusikitisha kuona wasukuma ni waoga kiasi cha kushindwa kupigania raslimali zao |
aliwataka wananchi kumchagua mgombea wa chama hicho ili kwenda kuongeza nguvu bungeni |
uchaguzi mdogo wa busanda unafanyika kufuatia kifo cha aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo kabuzi UNK |
wanunuzi UNK bei yake mnada wa uuzaji wa samaki wenye uzito wa tani mia mbili na tisini na sita UNK na wavuvi haramu katika kina kirefu bahari ya hindi uliokuwa UNK kwa hamu jana ulishindwa kufanyika kutokana na bei kubwa huku wafanyabiashara UNK lawama serikali kuwa imeweka masharti magumu ili walalahoi UNK |
mnada huo ulioanza jana saa tano asubuhi katika kampuni ya bahari food jijini dar es salaam ukiendeshwa na kampuni ya yono auction mart chini ya wizara ya maendeleo ya uvuvi ulishindwa kuendelea na kusababisha zogo kutokana na viwango vya bei vilivyokuwa UNK wa samaki hao kuwa vikubwa |
baadhi ya watu waliofika katika maeneo hayo walionekana kukata tamaa na kuanza kurusha maneno ya kejeli baada ya muongozaji mnada huo kutangaza kuwa UNK kununua samaki hao ni kuanzia tani kumi na kuendelea |
kauli hiyo ilizua zogo huku baadhi ya watu UNK wakidai kuwa serikali imepanga kuwauzia wafanyabiashara wenye fedha nyingi ili waweze kwenda kuuza nje ya nchi |
hatukubaliani na uuzwaji wa tani hizo kwa sababu unalenga UNK katika manada huu ili wenye uwezo waweze kununua na kwenda kuuza nje ya nchi alisikika akisema mfanyabiashara wa samaki katika soko la feri bwana juma salum |
alidai kuwa asilimia kubwa ya wafanyabiashara waliofika hapo hawana uwezo wa kununua kuanzia tani hizo kwani walikuwa na nia ya kutaka kununua kuanzia tani moja ili waweze kuwauzia watanzania wote |
kuwepo kwa mabishano ya muda mrefu kulisababisha viongozi wa serikali na yono kukaa kikao cha dharura ili kujadili madai hayo |
baada ya kikao hicho muongozaji mnada alibadili uamuzi na kutangaza kwamba wataanza kuuza kuanzia kilo kumi ambapo kilo moja ingekuwa kati ya shilingi tatu hamsini sifuri hadi arobaini sifuri sifuri jambo ambalo pia UNK |
kutokana na kuwepo kwa makundi makundi ambayo yaliashiria kutokubaliana na viwango vya uuzaji wa samaki hao mkurugenzi wa kampuni ya yono bwana stanley kevela aliingilia kati na kuwaomba wafanyabiashara kutoa mapendekezo ya bei ili waweze kuuzwa |
wafanyabiashara hao walidai kuwa wanataka kununua samaki hao ili mtanzania wa chini naye aweze kupata lakini kwa bei ya shilingi mia moja na hamsini sifuri hadi shilingi ishirini sifuri sifuri kwa kilo |
mbali ya wafanyabiashara hao kulalamikia viwango vya bei mfanyabiashara bwana mohamed mohamed kutoka kampuni ya royal UNK iliyopo feri jijini dar es salaam alijitokeza na kuomba apewe kibali cha kununua samaki hao na kuwapeleka umoja wa nchi za ulaya |
nipo tayari kununua samaki wote hata leo lakini naomba nipewe kibali cha UNK samaki hao kupeleka eu alidai mfanyabiashara huyo |
hata hivyo mkurugenzi wa idara ya maendeleo na uvuvi bwana UNK nanyaro alisema kuwa serikali ipo tayari kwa mfanyabiashara atakayejitokeza kununua samaki wote na kuwapeleka nchi za nje kwa kumpa kibali |
alisema kuwa ni bora samaki hao UNK haraka kwani serikali UNK dola nane kwa siku ambapo mpaka sasa tayari jumla ya shilingi milioni mia moja na themanini na tisa UNK |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.