text stringlengths 1 1.32k |
|---|
alisema ugonjwa huo mbali na kuambukizwa kwa nguruwe kwa nguruwe vilevile unaweza kuambukizwa baina ya binadamu au binadamu kwa nguruwe |
alizitaja dalili za ugonjwa huo kuwa kwa binadamu ni sawa na dalili za mafua ya kawaida pamoja na homa kukohoa maumivu ya koo kukosa hamu ya chakula maumivu ya mwili kuumwa kichwa UNK baridi na mwili kuchoka |
kwa nguruwe alisema dalili zake ni homa ya ghafla UNK kuzubaa kukohoa mafua kupiga chafya kupumua kwa shida macho kuwa mekundu na kugoma kula |
bwana mwamwaja alisema ili kujikinga na ugonjwa wananchi wanapaswa kunawa mikono vizuri kwa sabuni na maji mara kwa mara kutokuwa karibu na watu UNK kuwa na dalili kuzui midomo na pua kwa UNK wakati wa kukohoa au kupiga UNK |
alisema katika kujiandaa kukabiliana na ugonjwa huo serikali ina vifaa vya kutosha kwa makundi maalum ambayo yatahusika kwa karibu iwapo UNK UNK nchini |
alisema kuwa kwa sasa ugonjwa wa mafua ya nguruwe UNK na kuzuilika kwa dawa ya aina ya tamiflu au UNK na hakuna chanjo kwa binadamu |
ugonjwa huo UNK tena machi mwaka huu na hadi sasa nchi nane ambazo ni mexico marekani canada UNK hispania ufaransa israel na brazil zimeripotiwa kuwa na mambukizi |
adai tatizo ni kuyumba utawala wa UNK |
amtaka mkapa UNK kwa watanzania na said mwishehe kauli ya mwenyekiti wa kampuni za ipp bwana reginald mengi kutaja majina ya mafisadi papa imezidi kuwasha moto baada ya mwenyekiti wa chama cha wananchi profesa ibrahim lipumba kumvaa akidai anajipendekeza kwa rais jakaya kikwete kwa bei rahisi |
UNK |
lipumba alidai mbali ya kujipendekeza anapanda mbegu ya ubaguzi kwa watanzania |
majina ya mafisadi papa waliotajwa wote wana asili ya kiasia huku |
kauli ya profesa lipumba imekuja siku moja baada ya waziri wa nchi ofisi ya rais bibi sofia simba na waziri wa habari utamaduni na michezo bwana george mkuchika kupinga hatua hiyo ya bwana mengi na kudai UNK |
profesa lipumba alisema jijini dar es salaam jana kuwa kauli ya bwana mengi haisaidii vita dhidi ya rushwa bali UNK na kupoteza malengo ya mapambano ya uovu huo |
bwana mengi ametoa kauli anayodai UNK mkono rais kikwete katika vita UNK ya kupambana na ufisadi |
amedai mafisadi wapo kumi kati ya hayo mafisadi papa ni watano ambapo UNK ufisadi utamalizika |
bwana mengi anadai watumishi wa serikali UNK au kulazimishwa na mafisadi wakubwa mfumo wa maamuzi na watendaji serikalini siyo tatizo la msingi la ufisadi |
sidhani kama kweli hiyo ndiyo sababu ya kuwepo kwa ufisadi alisema profesa lipumba |
aliongeza bwana mengi hapambani na ufisadi kama anavyodai bali UNK malengo ya mapambano hayo |
tatizo la ufisadi linasababishwa na ukosefu wa uongozi imara wa rais jakaya kikwete |
sioni kama bwana mengi amefanya ujasiri wowote hapa kama ana ushahidi mzuri kuhusu mafisadi alipaswa kuwasiliana na vyombo husika pamoja na takukuru ili waweze kushughulikiwa |
jambo la busara ilikuwa kuchukua ushahidi alionao na kuupeleka kwa rais |
kama rais UNK ushahidi huo ndipo UNK na kueleza umma alidai profesa lipumba |
profesa lipumba alidai bwana mengi anacheza karata ya ubaguzi wa rangi |
kwa kutaja majina hayo anataka kuufanya umma wa watanzania uamini tatizo la ufisadi UNK na wahindi wachache |
hii ni dhana potofu na ya hatari hasa ukizingatia baadhi ya wananchi wengi wana mashaka na uzalendo wa watanzania wenye asili ya UNK |
anatumia vita dhidi ya ufisadi kupanda mbegu ya ubaguzi alisema profesa lipumba |
alisisitiza maamuzi na kutowajibika ndani ya serikali ndiyo chanzo cha kuongezeka kwa rushwa na siyo wahindi wachache |
UNK mbegu za ubaguzi wa rangi UNK na kuingia katika ubaguzi wa kidini na wa ukabila alisema profesa lipumba |
akizungumzia utendaji kazi wa serikali ya rais kikwete alisema imeshindwa kuwatumikia watanzania kutokana na kukosekana uongozi madhubuti na utawala bora |
alisema kwa hali hiyo ndio maana kila siku baadhi ya viongozi wamekuwa wakihusishwa na ka kashfa mbalimbali zikiwemo richmond na sakata la wizi wa akaunti ya madeni ya nje katika benki kuu ya tanzania uongozi wa rais kikwete na chama chake cha ccm umeshindwa baadhi ya watu UNK nchi kwa rushwa alisema |
alisema kutokana na kukosekana uongozi bora rushwa UNK mifumo ya sekta ya elimu uchumi uwekezaji na maeneo mengine ya maendeleo |
hali hiyo imesababisha watanzania kushindwa UNK matunda ya kukua kwa uchumi alisema |
akitoa mfano wa kukosekana kwa uongozi bora alidai ndio uliochangia ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali kuingia mikataba mingi feki UNK taifa pabaya |
alisema umefika wakati wa rais kikwete kujipanga na kuhakikisha kesi za rushwa UNK ipasavyo |
pia alimtaka rais mstaafu benjamin mkapa kuwaomba radhi watanzania kwa sababu katika utawala wake ziliibuka tuhuma nyingi za ufisadi |
juzi bwana mengi alikaririwa UNK na kauli za mawaziri UNK hatua yake ya kutangaza mafisadi papa |
mimi UNK kwa mwenyezi mungu na kwa masikini watanzania UNK kwa sababu hajui UNK bwana mengi alikaririwa ajibu kauli ya waziri simba |
asema alikuta wengine watatu wamelala chini |
adai afande zombe alimtisha asiseme ukweli |
UNK UNK tume ya jaji kipenka mshitakiwa wa kumi na mbili katika kesi ya mauaji ya wafanyabiashara watatu toka mahenge na dereva teksi wa jijini dar es salaam d elfu nne na mia sita na hamsini na sita pc rajabu bakari ameieleza mahakama kuu kanda ya dar es salaam kuwa alishuhudia pc saad UNK marehemu mmoja kati ya mare... |
mshitakiwa huyo akiongozwa na wakili wake wa utetezi denis msafiri alieleza kuwa januari kumi na nne mwaka ishirini sifuri sita akiwa msitu wa pande alishuhudia pc saad ambaye alikimbia baada ya tukio UNK risasi marehemu mmoja kati ya wanne huku miili ya watu wengine watatu UNK ikiwa imelala chini |
alieleza kuwa baada ya tukio la mauaji kumalizika miili ya marehemu ilichukuliwa na kupakizwa ndani ya gari aina ya landrover defender ambapo dereva pc james UNK na afande bageni kuipeleka miili hiyo katika hospitali ya taifa muhimbili |
akielezea tukio hilo mshitakiwa rajabu alisema kuwa anakumbuka januari kumi na nne mwaka ishirini sifuri sita alikuwa katika kituo chake cha kazi polisi UNK na kupangiwa doria na mkuu wao wa kazi ambapo katika kundi lao walipangwa yeye na askari wenzake ambao ni saad na marehemu rashid UNK |
alisema kuwa UNK kazi maeneo ya mwananyamala mikocheni na kinondoni ambapo yeye alipewa silaha aina ya bastola na wenzake walipewa bunduki aina ya smg ambapo pia walipewa usafiri wa gari aina ya UNK pajero ambayo namba zake alidai UNK na kuanza safari ya kwenda doria |
alieleza kuwa baada ya kumaliza doria walirudi kituoni kwa ajili ya kwenda kutoa taarifa kwa mkuu wao wa kazi ambaye ni mshitakiwa namba mbili bagen lakini kabla ya kufika kwa bagen majira ya saa kumi na mbili jioni alikutana naye akiwa UNK ngazi kuelekea nje |
alieleza kuwa baada ya kukutana na bagen kwenye ngazi na kabla UNK taarifa ya doria bagen alimwambia mshitakiwa huyo kuwa wapande kwenye gari kuelekea barabara ya sam nujoma |
alisema kuwa haikuchukua muda bagen marehemu rashid na saad walipanda kwenye gari yao ambalo walirudi nalo toka kwenye doria na kuondoka kuelekea barabara ya sam nujoma |
aliongeza kuwa wakiwa wanaelekea huko bagen aliwaambia kuwa kuna majambazi wamefanya uporaji wa kampuni ya bidco na walipofika sam nujoma UNK gari lori lililokuwa kati ya barabara pamoja na watu wanne |
alisema kuwa walipokuwa wanakwenda kwenye tukio la kampuni ya bidco walipita barabara ya ali hassan mwinyi kinondoni UNK mwananyamala kisha wakatokea sinza na kuelekea barabara ya sam nujoma |
mshitakiwa huyo UNK na wakili wake wake msafiri kama anawafahamu watu wanne aliowakuta pale kwenye tukio la UNK alikana kuwafahamu |
mshitakiwa aliendelea kudai kuwa ndipo bagen alipoanza kuwahoji wale watu aliowakuta pale ambapo UNK kuwa wao ni wafanyakazi wa kampuni ya bidco na walitokea majambazi wanne na kuwatishia bastola kisha kuwapora milioni tano alidai kuwa baada ya bagen kuwahoji wale wafanyakazi wa bidco alimuona UNK pembeni huku akiwa a... |
alisema wakati bagen akiwa anaendelea kuongea na simu lilifika gari la polisi la chuo kikuu likiwa na askari pamoja na watu wanne waliokuwa UNK chini pamoja na gari nyingine dogo aina ya saloon yenye rangi ya dark blue likifuatiwa na gari lingine saloon yenye rangi nyeupe |
mshitakiwa huyo aliendelea kudai kuwa baada ya magari hayo kufika watu wanne waliokuwa kwenye gari la chuo kikuu walishushwa ambapo bagen aliwauliza wafanyakazi wa kampuni ya bidco kama UNK wale watu wanne waliokamatwa sinza |
alidai kuwa dereva wa bidco alijibu kuwa anamfahamu mmoja kati ya wale wanne ambaye ndiye UNK pesa na baada ya muda ilifika gari aina ya defender yenye namba za usajili UNK elfu sita na mia tano na hamsini na tisa kutoka kituo cha polisi oysterbay likiwa na askari polisi wanne |
mshitakiwa huyo aliwataja baadhi ya askari hao wanne waliofika na defender toka oysterbay kuwa ni pc UNK pc john na pc abubakar ambapo mshitakiwa wa pili bagen aliamuru wale waliokuwa kwenye pick up kushuka na kuingia kwenye UNK |
alisema kuwa baada ya hapo magari yote UNK kuelekea ubungo ambapo walipofika ubungo dereva wa chuo kikuu aliamriwa kupeleka gari katika kituo cha polisi urafiki |
rajab alisema kuwa gari aina ya UNK pamoja na defender ziliingia barabara ya morogoro kuelekea kimara ambapo kituo cha kwanza waliingia kituo cha mafuta kwa ajili ya kuweka mafuta |
alisema baada ya kuweka mafuta waliondoka hadi kituo cha polisi mbezi luis ambapo bagen alishuka na kuingia kituoni na baada ya muda bagen alirudi akiwa ameongozana na askari ambaye alikuwa amevaa sare |
alisema kuwa waliondoka kituo cha polisi mbezi louis kama wanaelekea mjini ambapo walipofika katika kituo cha daladala |
wakili msafiri baada ya kutoka kituo cha polisi mbezi mlikwenda wapi |
mshitakiwa UNK magari kama tunaelekea mjini na tukafika kwenye kituo cha daladala |
wakili msafiri kituo gani mbezi au |
mshitakiwa hapana sifahamu |
wakili mlipofika hapo kiliendelea nini |
mshitakiwa bagen alishuka na kuongea na simu yake ya mkononi |
wakili msafiri bagen alikuwa anaongea maneno gani kwenye simu na UNK mazungumzo gani |
mshitakiwa sifahamu |
mshitakiwa aliendelea kudai kuwa wakati bagen akiendelea kuongea na simu alimuuliza yule askari aliyetoka kituo cha polisi mbezi luis kuwa anakwenda wapi ambapo yule askari alimjibu kuwa wanakwenda kupita UNK |
alidai kuwa alimuuliza tena kwani kuna mtu yeyote UNK na alijibiwa kuwa hajui chochote |
alidai kuwa baada ya bagen kumaliza kuongea na simu ghafla ilifika UNK nyingine ya polisi na wakati huo bagen alikuwa UNK yule askari wa kituo cha polisi mbezi luis kuwa wanaelekea wapi |
alidai kuwa jibu hilo UNK kuwa wanaelekea msitu wa pande lakini mshitakiwa huyo hakuwa wazi kutaja msitu ambapo UNK kwa kusema kuwa walielekea sehemu ambapo mahakama ilienda kutembelea ambao ndio msitu wa pande |
alisema kuwa walielekea hadi UNK nyumba na kuingia UNK |
wakili wake mlipofika msituni nini kiliendelea |
mshitakiwa askari aliyepandia kituo cha polisi mbezi alisema kuwa msitu huo una chui wengi sana |
alisema baada ya kufika magari UNK lakini wakati huo giza lilikuwa tayari limekwisha ingia ndipo mshitakiwa wa pili bagen marehemu rashid lema pamoja na saad UNK |
alisema kuwa yeye pamoja na askari wawili na yule aliyepandia UNK cha polisi mbezi luis UNK na wakati bagen UNK toka kwenye gari alimpa radio call iliyokuwa UNK |
alidai kuwa baada ya kupokea radio call hiyo UNK na ndipo aliposikia tukio la ujambazi la kijitonyama |
alisema kuwa wakati akisikiliza radio call baada ya dakika moja alisikia mlio wa risasi |
wakili msafiri mlio wa bunduki zipi |
mshitakiwa sifahamu |
wakili msafiri baada ya kusikia mlio wa bunduki ilikuaje |
mshitakiwa nilisogea hadi ilipokuwa defender na kumuona mtu mmoja kati ya wale wanne UNK ndani ya gari na kulala chini na ndipo saad UNK risasi |
mshitakiwa aliendelea kusema kuwa tukio la watu hao kupigwa risasi UNK muda wa dakika moja kwani ni kazi iliyofanyika kwa haraka sana |
wakili msafiri baada ya hapo nini kiliendelea |
mshitakiwa baada ya yule mtu kupigwa risasi na saad pia niliona watu wengine watatu wakiwa wamelala chini |
wakili msafiri unawafahamu watu waliopigwa risasi |
mshitakiwa hapana wakili msafiri wale waliokuwa wamelala chini je walikuwa wamekufa au walikuwa katika hali gani |
mshitakiwa walikuwa wamelala na kutulia kimya |
mshitakiwa aliendelea kudai baada ya mauaji aliona miili ya marehemu UNK kwenye defender ambapo hakutaja ni kina nani UNK miili hiyo |
alisema kuwa baada ya kupandisha miili kwenye gari nao waliingia kwenye pajero yao na kuanza safari ya kuelekea mjini ambapo walipokuwa njiani yule askari aliyepandia kituo cha polisi mbezi luis walimshusha kabla ya kufika barabara kuu ya morogoro huku akiwa amechanganyikiwa kutokana na tukio lililotokea pande |
alisema kuwa bageni alimwambia pc james ambaye alikuwa dereva wa gari UNK miili ya marehemu kuwa apeleke miili hiyo hospitali ya muhimbili na james alifanya hivyo |
alidai kuwa yeye na bagen walielekea kituo cha polisi urafiki ambapo bagen alishuka na kuingia ndani |
wakili UNK UNK muda gani urafiki |
mshitakiwa UNK |
mshitakiwa alidai kuwa walipoondoka kituo cha polisi urafiki UNK kituo cha polisi oysterbay ambapo walishuka kwenye gari na kila mtu kuendelea na majukumu yake ambapo bagen aliwaambia kuwa anaenda kufungua faili kuhusu tukio zima |
aliendelea kudai kuwa siku iliyofuata januari kumi na tano mwaka ishirini sifuri sita UNK silaha walizopewa jana yake ambapo yeye na mshitakiwa rashid waliondoka na kumuacha kituoni pc UNK |
wakili msafiri sasa kuna tukio la kufyatua risasi je UNK na UNK kufyatuliwa wapi |
mshitakiwa ndio zilifyatuliwa bunju |
wakili msafiri zilifyatuliwa lini |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.