text
stringlengths
1
1.32k
benki hiyo imekuwa msaada mkubwa kwa wananchi na taifa katika kuchangia ukuaji wa uchumi
mkurugenzi mtendaji wa benki hiyo daktari charles kimei anasema benki yake imeamua kuuza hisa zake kwa lengo la kupata mtaji na kuweza UNK zaidi kuongeza idadi ya matawi na kuboresha mfumo wake wa teknolojia kwa jili ya kuboresha huduma zake
anasema benki hiyo UNK kwenye soko la hisa ili kuongeza mtaji wake ambapo katika zoezi hilo wataweza kupata mtaji wa kutosha na kupanua mtandao wa shughuli zake katika maeneo mbalimbali nchini
daktari kimei anafafanua kuwa uuzaji wa hisa hizo utawawezesha wana hisa kupata bei halisi ya soko wanapotaka kuuza hisa zao na kuwawezesha wananchi wengine ambao UNK kuwa wana hisa kupata fursa ya kununua hisa za benki hiyo
hatua ya kujiunga kwenye soko itatoa changamoto ya kiutendaji na uwajibikaji kwa uongozi wa benki hiyo
wanahisa wanaweza kupima utendaji kazi wa menejimenti ya benki hiyo kwa kuangalia mabadiliko kwenye bei ya hisa
faida nyingine za kujiunga na soko hilo ni kutambulika kwa benki hiyo na kuheshimika na wanahisa ambao UNK thamani halisi ya hisa zake
hii ni njia rahisi na sahihi kwa wawekezaji kuuza au kununua hisa zao ambapo mwanahisa atapata faida pale bei ya hisa UNK alifafanua daktari UNK
anasema februari mwaka huu benki hiyo ilifanya jambo moja muhimu ambalo UNK na wanahisa katika mchakato wa kujiorodhesha na kutoa hisa zake kwa UNK
katika zoezi hilo benki hiyo iliuza hisa zenye thamani ya shilingi bilioni ishirini sita ambayo ni asilimia themanini na saba ya UNK
benki hiyo UNK na kuanza kazi rasmi kama benki binafsi ya biashara juni elfu moja na mia tisa na tisini na sita ikiwa na wanahisa kumi na moja sifuri sifuri sifuri mwaka elfu moja na mia tisa na tisini na tisa ilibadilisha jina kutoka crdb kuitwa crdb benki limited
kutokana na mabadiliko hayo ambayo yalifanywa ili kukidhi mahitaji ya sheria mpya ya makampuni desemba ishirini na nane ishirini sifuri saba benki hiyo UNK tena jina lake na kuitwa crdb benki public limited company kama UNK hivi sasa
kwa sasa benki hiyo ina wanahisa kumi na tatu mia nne na ishirini na tano baada ya kuuza hisa zake na UNK katika soko la hisa la dar es salaam ikiwa ni ishara ya ufanisi katika utendaji kazi wao ambao benki hiyo imekuwa nao kwa muda mrefu
mwaka ishirini sifuri nane benki hiyo iliongoza katika ukuaji wa taasisi za fedha UNK kibiashara kwa kuwa na vigezo vyote UNK
mwishoni mwa ishirini sifuri nane UNK za benki hiyo zilifikia shilingi trilioni moja arobaini na tano ikilinganishwa na shilingi bilioni thebathini tatu mwaka ishirini sifuri mbili ukuaji wa rasilimali za benki ulikwenda sambamba na ongezeko la amana za wateja ambazo zilifikia shilingi trilioni moja ishirini na saba m...
mwenyekiti wa bodi ya benki hiyo bwana martin mmari anasema benki hiyo ilifanya uzinduzi wa uuzaji wa hisa zake aprili ishirini ishirini sifuri tisa ambapo uuzaji huo utafungwa mei nane mwaka huu ambapo juni kumi na saba mwaka huu wanatarajia kujiorodhesha katika soko la hisa la dar es salaam
anasema jumla ya hisa zote zinazouzwa ni mia moja na ishirini na tano mia nne na ishirini na tisa mia sita na tisini na mbili ambazo kati hizo ishirini na sita mia nne na tisini na sita mia nne na kumi na mbili ni hisa mpya za awali
hisa zote zitauzwa kwa bei ya asilimia mia moja na hamsini kwa hisa moja
bwana mmari anasema suala la kutafuta mtaji ni muhimu katika kampuni yoyote duniani kwa kuuza hisa zake na kuongeza nguvu ya mtaji wa kampuni ili iweze kujiendesha vizuri na kutoa huduma bora kwa jamii
siku moja baada ya mbunge wa igunga bwana rostam azizi kujibu mapigo ya mwenyekiti wa kampuni za ipp bwana reginald mengi na kumwita nyangumi wa ufisadi katika kile kinachoonekana kuendeleza malumbano bwana mengi kupitia mawakili wake jana aliibuka tena mbele ya waandishi wa habari UNK shutuma dhidi yake huku akimtaka...
bwana mengi mbali ya kukanusha tuhuma hizo alisema yeye si nyangumi wa ufisadi huku akitumia nafasi hiyo kumtaka bwana rostam UNK watanzania biashara anazofanya na kodi UNK serikalini
juzi wakati bwana rostam akijibu mapigo dhidi ya tuhuma za kuitwa fisadi papa pamoja na UNK wengine wanne alidai bwana mengi hana usafi wowote wa kupambana na ufisadi kwani ni nyangumi wa ufisadi na kwamba UNK fedha nyingi zikiwemo za wafadhili na benki nbc na ameshindwa UNK ambazo UNK watanzania masikini
akizungumza na waandishi wa habari jana dar es salaam wakili wa bwana mengi kutoka kampuni ya UNK ya ngalo bwana UNK ngalo alisema tuhuma za bwana rostam kwa bwana mengi ni za kutunga na kuunganisha mambo
kutokana na hali hiyo UNK mahakamani hivi karibuni
alisema mashambulizi ya bwana rostam dhidi ya mteja wake yamejaa chuki na uchochezi kwa lengo la kumdhoofisha bwana mengi na watanzania wengine wenye nia njema kwa taifa kupiga vita ufisadi
ndugu mengi UNK kwa makini hotuba ya bwana rostam ameweza kugundua na kuelewa hajajibu hoja au tuhuma ya msingi UNK na matukio makubwa ya ufisadi nchini
katika UNK bwana rostam UNK kibao kwa kumuita ndugu mengi nyangumi wa ufisadi lakini UNK kwa hilo
kama kweli bwana mengi ni fisadi alikuwa wapi siku zote asiseme huo ufisadi
alihoji bwana UNK
aliongeza katika kuonesha mambo ya uongo UNK na kusambaza bwana rostam kupitia hotuba yake hiyo bwana mengi ameamua kuthibitisha yafuatayo akianzia na suala la fedha za uagizaji bidhaa nje bwana ngalo alisema hakuna kampuni yoyote ya mteja wake inayodaiwa fedha hizo kwani UNK fedha za hizo na ushahidi upo
alilipa deni kupitia hati za malipo ya benki ya nmb februari ishirini sifuri nane risiti za tra zipo na barua ya wizara ya fedha na mipango imethibitisha kuwa UNK
pia alisema kampuni ya UNK UNK ltd suala lake UNK na mahakama kuu kanda ya dar es salaam kupitia hukumu iliyosomwa septemba thebathini mwaka ishirini sifuri nane UNK la nbc lilikataliwa na mahakama hiyo kwa sababu ya kukosekana kwa ushahidi wa kuthibitisha deni hilo
nakala ya hukumu hiyo ina kurasa arobaini na tano kwa upande wa utajiri wa bwana mengi bwana ngalo alisema inaelekea bwana rostam hafahamu na hakutaka kufanya utafiti kujua historia ya bwana mengi katika biashara kwani alianza biashara miaka elfu moja na mia tisa na sabini kudai kuwa UNK utajiri wake kati ya elfu moja...
pia misaada ya bwana mengi anayotoa kwa wananchi inatokana na jasho la kazi zake halali
napenda niseme kuwa bwana mengi hakuna mtu ambaye amemtaja kuwa UNK kuwa anataka kumuua bali amekuwa akipata vitisho na tayari alishatoa taarifa hizo polisi ambapo wanaendelea kuzifanyia kazi alisema
alisema bwana mengi kama binadamu au raia yeyote ana haki na wajibu wa kutoa taarifa ya vitisho kwa afya na maisha si yake tu bali hata ya watu wengine
kwa kutoa taarifa hizo bwana mengi UNK mtu yeyote
naye mshauri wa sheria wa bwana mengi bwana UNK nguma alisema bwana mengi ameamua kutoa ujumbe wake kwa watanzania ujumbe huo ni wa kumuuliza maswali muhimu bwana rostam bwana mengi UNK bwana rostam aseme anafanya biashara gani tanzania UNK biashara hizo na kampuni zinazoendesha kama kampuni hizo zimesajiliwa chini ya...
pia alisema kama kampuni hizo UNK kodi na kama zimepata kutoa misaada yoyote kwa maendeleo ya jamii
pia alizidi kuhoji kuwa kama bwana rostam anadai hana uhusiano na kampuni ya kagoda kwanini alikwenda benki kujadiliana juu ya akaunti ya kampuni hiyo
akahoji kama bwana rostam anadai hana uhusiano na richmond lakini anawafahamu wahusika aseme mazingira ya ufahamu huo
alidai watanzania sio wajinga kiasi UNK wengi UNK kwamba yeye ndiye kinara wa richmond dowans kagoda na kashfa nyingine
rostam ametoa shutuma za uongo dhidi ya bwana mengi pamoja na kukopa fedha benki
lakini rostam akumbuke kwamba anashutumiwa na umma kwa wizi wa fedha
watanzania wangependa kumwambia bwana rostam imetosha
enough is enough alisema bwana nguma kwa niaba ya bwana mengi hata hivyo baada ya kumaliza kuzungumza na waandishi wa habari UNK hao wa bwana mengi hawakutaka kuulizwa maswali na waandishi wa habari zaidi ya kusema kuwa watakwenda mahakamani muda wowote kufungua mashitaka dhidi ya bwana rostam
mkuu wa gereza UNK ushahidi kizimbani mshitakiwa wa kumi na tatu katika kesi ya mauaji ya wafanyabiashara wa madini kutoka mahenge morogoro bwana festus gwabisaba ameieleza mahakama kuwa UNK wa marehemu hao ulikuwa ni wa amani tofauti na inavyodaiwa
mshitakiwa huyo alihusika katika zoezi la kuwakamata marehemu hao na kumpekua mmoja wao ambaye alikuwa na bastola hivyo kusisitiza kutokuwepo majibizano ya risasi zaidi ya kuwakamata marehemu hao bila purukushani zozote
mbali na hayo pia alikiri kuitwa na aliyekuwa mkuu wa upelelezi mkoa wa dar es salaam bwana UNK zombe kwa ajili ya kupongezwa kwa kazi ya kukamata majambazi wakiwa na silaha
hayo aliyasema jana katika mahakama kuu ya tanzania mbele ya jaji salum massati wakati akitoa utetezi wake kuhusiana na kesi ya mauaji ya wafanyabiashara hao ambao wanadaiwa kuuawa na askari polisi
baada ya kufika sinza palestina dar es salaam wakati tukifuatilia majambazi waliopora bidco tulikutana na hao watuhumiwa na mimi UNK kumhoji mmoja wao sambamba na kumpekua ambapo nilimkuta na bastola ambayo UNK alidai bwana gwabisaba
alidai kuwa kitu kingine UNK kwenye gari la marehemu ni mkoba mweusi ambao marehemu walisema una jumla ya shilingi milioni tano na kusisitiza kuwa ni mali yao
fedha hizo zilikuwa ndani ya mkoba ambao uliwekwa kwenye buti ya gari walilokuwa UNK
akilielezea ni nani aliondoka na fedha hizo mshitakiwa huyo alidai kuwa kutokana na watuhumiwa hao kulalamikia fedha zao alishauri UNK fedha hizo mpaka kituo cha polisi kwa ajili ya kuhesabu na mahojiano zaidi
wale watuhumiwa UNK walidai fedha ni zao hivyo nilishauri wapewe hadi kituoni ili fedha hizo UNK na kuhojiwa zaidi ili kubaini zilikotoka hivyo UNK nazo kwenye gari la chuo kikuu wakiwa wamefungwa pingu na wengine mashati yao alidai bwana gwabisaba
aliendelea kueleza kuwa wakiwa eneo hilo UNK hao watuhumiwa ambao kwa sasa ni marehemu ilifika gari nyingine ikiwa na askari watatu wa urafiki akiwemo bwana ahmad makelle pamoja na wp UNK
baada ya kumalizika kwa upekuzi wa wafanyabiashara hao mshitakiwa huyo alishauri wapelekwe kituoni kwa ajili ya mahojiano zaidi kabla UNK hivyo naye UNK kuchukua silaha aina ya smg na kumsindikiza koplo nyangerela kituoni urafiki
UNK kuchukua silaha ya nyangerela ili yeye UNK gari walilokuwa nalo marehemu kwa ajili ya kulipeleka kituoni na tulifanya hivyo alidai mshitakiwa huyo
aidha alidai kuwa baada ya kukabidhi gari hilo urafiki yeye na koplo nyangerela waliondoka kwenda maeneo ya survey ambako walikuwa wamepangiwa kwa ajili ya doria
alidai kuwa urafiki waliondoka kwa kutumia usafiri wa daladala na walifanya kazi ya doria hadi asubuhi yake januari kumi na tano ishirini sifuri sita kisha kurudi nyumbani kwao
akiwa nyumbani kwake alipata taarifa kuwa anahitajika ofisini kwa rpc ikiwa ni pamoja na askari aliokuwa nao jioni kwenye tukio la ukamataji wa wale wafanyabiashara
tuliongozana na mkuu wa kituo cha polisi chuo kikuu sp masinde pamoja na askari wenzangu ambao tulikuwa wote katika tukio hilo hivyo tulikwenda kuonana na zombe ambaye kwa maneno yake alisema UNK kwa kazi ya kukamata majambazi na silaha bastola hiyo kwa muda huo ilikuwa mezani kwake alidai mshitakiwa huyo
alidai kuwa baada ya siku kadhaa alitambua kuwa pongezi zile hazikuwa za ukamataji kama UNK awali kwani tayari kulikuwa na tukio la mauaji hivyo pongezi hizo hazikuwa halali
alisema kuwa taarifa za kuuawa kwa wafanyabishara hao UNK kutoka kwenye vyombo vya habari na alishtuka kwani siku wanapongezwa UNK kama kulikuwa na mauaji hayo
akizungumzia nakala za maelezo walizopewa na bwana zombe kwa ajili ya kuidanganya tume ya rais kuhusiana na mauaji hayo alisema kuwa hakukubaliana na maelezo ya bwana zombe na matokeo yake alieleza kadri alivyoshughulikia tukio hilo hasa katika UNK
yale maelezo ya zombe ambayo UNK tueleze kuwa UNK na wale marehemu katika ukuta wa posta sinza mimi UNK nayo kwani haikuwa hivyo na wala hapakuwa na majibizano yoyote alidai
mshitakiwa huyo alipomaliza kutoa utetezi wake na kuhojiwa na pande zote mbili wakili wa bwana zombe bwana jerome msemwa aliiomba mahakama mteja wake aruhusiwe kurudia ushahidi wake kuhusiana na barua ambazo ziliandikwa na washitakiwa wenzake wakiwa gerezani kabla ya yeye kukamatwa
bwana zombe UNK barua hizo kuwa ndizo mkurugenzi wa mashitaka nchini alitumia katika kumfungulia mashitaka ya mauaji
kuhusiana na hilo upande wa mashitaka haukuwa na pingamizi lolote bali UNK mshitakiwa huyo kufafanua maelezo yaliyosemwa na mwenzake
kutokana na hayo mahakama ilikubaliana na bwana msemwa na kumtaka mshitakiwa huyo kupanda kizimbani kwa ajili ya kutoa utetezi tena
hatua UNK bwana zombe kutoa utetezi tena kama ilivyoombwa ni kukosekana kwa barua halisi UNK kuwa zilitoka gerezani kwenda kwa dpp kwa ajili ya UNK kesi ya mauaji
barua hizo zilitakiwa kutolewa na upande wa mashitaka ambao ulidai kwa wakati huo haukuwa nazo hivyo ukaomba muda ili UNK barua hizo na UNK mahakamani
kutokana na hali hiyo mawakili wengine wa upande wa utetezi walipingana na hatua ya mshitakiwa huyo kutoa utetezi tena kama alivyoomba ukidai kuwa endapo UNK washitakiwa wengine basi itawalazimu na wao kuomba nafasi hiyo
malumbano hayo yalisababisha kuahirishwa kwa utetezi huo mpaka leo asubuhi mahakama itakapotoa uamuzi
hata hivyo mahakama iliruhusu kupanda kwa shahidi wa bwana zombe ambaye ni mkuu wa gereza la ukonga acp samwel nyakitine ambaye alikanusha baadhi ya mambo mbalimbali akidai kuwa hawezi kukiri moja kwa moja kutokana na kutokuwa na nakala za barua zilizoko kwenye jalada la UNK
shahidi huyo alisisitiza kuwa kwa mujibu wa taratibu za gereza barua ikitoka bila kuwepo idhini ya mkuu huyo barua hiyo haitakiwi kufanyiwa kazi na taasisi ya serikali
kuhusiana na madai ya bwana zombe kuwa washitakiwa wenzake walikamatwa na simu gerezani mkuu huyo wa gereza alidai kuwa simu alizonazo zilikamatwa kwa wafungwa na mahabusu waliokuwa wamekwenda mahakamani ambao ni zaidi ya moja sifuri tatu sifuri shahidi huyo alisisitiza kuwa alifika mahakamani hapo kwa kuheshimu UNK y...
washitakiwa katika kesi hiyo wanadaiwa kuwa januari kumi na nne mwaka ishirini sifuri sita wakiwa katika msitu wa pande luisi ulioko mbezi dar es salaam walimuua kwa makusudi bwana ephraim chigumbi bwana sabinusi chigumbi bwana juma ndugu na bwana mathias lukombe
washitakiwa hao ni bwana zombe bwana christopher bageni bwana ahmad makele wp elfu nne na mia tano na kumi na tatu jane d mia moja na arobaini sita mabula e elfu sita na mia saba na kumi na mbili felix d elfu nane na mia mbili na themanini na tisa michael d mia mbili na thebathini sifuri abeneth d elfu nne na mia sita...
vifo UNK mwanafunzi UNK mtoni
serikali UNK milioni ishirini sifuri bakhresa milioni kumi sifuri wizara ya ulinzi na kujenga taifa imetaja majina ya wanajeshi sita waliofariki baada ya kulipuka kwa ghala la kuhifadhia silaha katika kambi ya jeshi la ulinzi la wananchi mbagala kizuiani dar es salaam jumatano iliyopita wizara hiyo imesema mbali ya as...
naomba wananchi waache kusikiliza taarifa za mitaani ambazo ni uvumi mtupu UNK sisi waliokufa ni wanajeshi wetu sita na majeruhi ni hawa raia wawili waliokuwa nje ambao tunategemea ndio UNK katika uchunguzi wa kina alisema waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga taifa daktari hussein mwinyi wakati akizungumza na waandish...
daktari mwinyi alisema kuwa jeshi limepokea kwa masikitiko tukio hilo na uchunguzi wa kina unaendelea
wanajeshi waliokufa wakiwa kazini ni watano
aliwataja kuwa ni am muhidin sajini UNK UNK koplo UNK UNK UNK koplo mohamed seif koplo bernard alfred UNK na ofisa mteule daraja la kwanza timothy UNK ambaye alifariki wakati wa kuzima moto na kuokoa UNK
kufuatia tukio hilo alisema kuwa wameunda kamati ya wajumbe tisa ambayo itaongozwa na meja jenerali sylvester UNK ambapo itajumuisha wajumbe kutoka wataalam wa milipuko UNK UNK ofisa wa polisi ofisa idara ya zimamoto na ofisa mhaiki mali
daktari mwinyi UNK wananchi kuacha kuokota au kuficha chuma chochote kilichotokana na mlipuko silaha risasi UNK eneo la mlipuko kwenye makazi ya watu
naomba wananchi vitu vya aina hiyo UNK taarifa kwa timu ya wanajeshi UNK au kituo chochote cha polisi na ikumbukwe kuwa ni kosa la jinai kama mtu UNK UNK silaha risasi au mlipuko wa aina yoyote kinyume na sheria alisema daktari mwinyi
waziri huyo kwa niaba ya wizara yake alitoa pole kwa wanajeshi na wote waliopoteza maisha na kuumia kwenye tukio hilo
UNK watu mbalimbali waliojitokeza kutoa misaada ya aina mbalimbali kwa waathirika wa tukio hilo
wakati huo huo hali bado ni tete katika eneo la mbagala kizuiani ambako mabomu hayo yalilipuka na kusababisha vifo
idadi ya watu waliopoteza maisha imeongezeka na kufikia ishirini na tatu hadi kufikia juzi jioni idadi ilikuwa watu ishirini na mbili lakini jana iliongezeka na kufikia watu ishirini na tatu baada ya mwili wa mwanafunzi wa shule ya awali ya maarifa ramadhan salum kuopolewa kwenye mto mzinga
akizungumza na majira jana katika eneo la tukio mkurugenzi wa shule ya maarifa bwana omar UNK alisema kuwa kati ya wanafunzi ishirini tatu walionao ni ramadhan tu ambaye alipotea tangu wakati wa tukio hadi mwili wake UNK akiwa amekufa mtoni
akithibitisha tukio hilo mganga mkuu wa hospitali ya temeke bibi asha mahita alikiri kupokea mwili wa mtoto huyo na kusema kuwa madaktari walikuwa wakiendelea na taratibu za uchunguzi wa mwili ili UNK kwa ndugu kwa ajili ya mazishi
jana majira ilishuhudia askari jwtz na polisi wakiwa UNK na ukaguzi wa kutafuta miili zaidi pamoja na masalia ya mabumu kuzunguka eneo la mto mzinga huku mabumu mengi yakiwa UNK
meya wa manispaa ya temeke bwana jerome bwanausi ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya maafa alisema kuwa shughuli za utafutaji wa watu zaidi inaendelea mpaka hapo watakapokuwa wameridhika kuwa wale wote waliopoteza ndugu zao UNK
kambi ya misaada kambi ya mbagala kuu hadi jana kulikuwa bado kuna malalamiko ya wahanga wa eneo hilo wakidai utaratibu wa ugawaji wa chakula magodoro na mahema ni mbovu UNK na udanganyifu mkubwa sana
kusema ukweli chakula magodoro na mahema vipo isitoshe juzi kila familia ilipewa kilo tano za mchele hema na magodoro lakini hadi leo kuna wenzetu wanalala nje UNK mvua na kupigwa baridi kutokana na wajanja kuingilia na kuvuruga utaratibu alidai bwana ally mawazo mkazi wa eneo hilo
malalamiko hayo yanagusa pia utaratibu mzima wa kamati inayofanya tathimini ya majengo yaliyoathirika wakati wa mlipuko kutokana na wahanga kudai kwamba zoezi zima lina kasoro kwa vile UNK wanataka washuhudie vitu vyote UNK
wakazi wa eneo hilo baada ya kujaribu bila mafanikio kutaka kuandamana juzi kupinga utaratibu huo kutokana na kudhibitiwa na polisi zaidi ya kumi sifuri waliosambazwa hapa sasa wameandika mabango yenye ujumbe mbalimbali na UNK UNK