text
stringlengths
1
1.32k
majira ilishuhudia baadhi ya mabango hayo yakiwa na ujumbe kama ikiwezekana waziri mkuu uje mwenyewe UNK UNK wakati lingine UNK kuwa maafa isiwe sababu ya kufanya ufisadi wa deci kwa viongozi mhanga mwingine asha hamisi alisema tangu tukio hilo litokee yeye pamoja na familia yake ya watoto wa wanne bado hajapata msaad...
alisema siku ya tukio hilo alikuwa katika UNK zake katika soko la kariakoo alipigiwa simu na kuambiwa juu ya mlipuko wa mabomu katika eneo hilo bibi asha alisema baada ya simu hiyo alipanda basi hadi maeneo ya mbagala alizuiwa na askari waliokuwa katika eneo la tukio
ambayo imemfanya aishi katika mazingira magumu
mhanga mwingine ni bwana yusuf chande mjumbe wa nyumba kumi ambaye pia ni mmiliki wa nyumba yenye kaya za wapangaji kumi na nane ambazo zote zimeathirika na mabomu alisema hadi jana alikuwa yeye pamoja na wapangaji wake bado hajapata huduma yoyote
mbali na matatizo wanayoyapata wakazi hao wametoa pongezi kwa chama caha UNK mwekundu kutokana na huduma UNK katika UNK hilo kulingana na uzito wa tatizo katika eneo kama hawa jamaa wa halmashauri UNK utaratibu unaofanywa na chama cha msalaba mwekundu wa kuhudumia watu kwenye eneo la tukio mambo haya UNK kama ilivyo s...
bwana bwanausi alikiri kuwa ugawaji wa misaada hiyo pamoja na ukadiriaji wa majengo ya wakazi uliingiwa na kasoro kutokana na watu UNK waaminifu kujiandikisha kwa watendaji wakitumia takwimu za uongo
kuhusu ukadiriaji wa majengo ya wakazi hao bwana bwana UNK alidai kuwa zoezi hilo linaendelea vizuri na wanaimani nyumba zote zaidi ya sabini sifuri zilizoharibiwa UNK na kamati ya ukadiriaji haraka iwezekanavyo ili wahanga waanze kulipwa fidia
mratibu wa chama cha msalaba mwekundu mkoa dar es salaam bibi grace mawalla alisema chama chake kimefanya kazi inayotakiwa na wananchi hao kwa kuelekeza juhudi zote katika maeneo UNK lakini uwezo umekuwa ni madogo kutokana na ukubwa wa tukio alisema wameweza kuhudumia kambi ya kuhudumia ndugu na jamaa wa wahanga katik...
alisema hadi jana UNK UNK kambi za mgulani na ile ya kituo cha polisi mbagala ambacho hata hivyo UNK na mtoto mmoja aliyefahamika kwa jina la bibi rehema abbas alisema binti huyo UNK na shangazi yeke ambaye alimtaja kwa jina la bibi amina ahmed ambaye hadi sasa hajulikani aliko na UNK kituoni hapo na msamaria mwema am...
hata hivyo wakazi wengi wa maeneo ya mbagala wametoa mapendekezo yao kuwa serikali UNK nguvu katika mto mzinga kwani UNK UNK na maiti zaidi
ziara za viongozi kiongozi wa kanisa katoliki nchini UNK polycarp kardinali pengo jana mchana UNK katika hospitali ya temeke ili kuwafariji wagonjwa na baadae alielekea eneo la mbagala kuu kuwapa pole waathirika wa milipuko ya mabomu
naye shekhe mkuu wa tanzania mufti shaaban bin simba akiongozana na viongozi kadhaa wa kiislamu jana alitembelea eneo la tukio kuwapa pole wahanga na kutoa misaada kadhaa ya vyakula
hospitalini hadi kufikia jana taarifa kutoka hospitali ya taifa ya muhimbili UNK kuwa ni majeruhi kumi walikuwa bado wamelazwa wakati katika kitengo cha taasisi ya mifupa idadi ya majeruhi waliobakia ilikuwa watu sita mmoja akiwa amelazwa kwenye chumba cha uangalizi wa wagonjwa mahututi
misaada watu binafsi na taasisi mbalimbali waliendelea kutoa misaada kwa wahanga kupitia ofisi ya mkuu wa mkoa wa dar es salaam na kamati ya maafa iliyoko chini ya uenyekiti wa meya wa manispaa ya temeke bwana UNK
mkuu wa mkoa bwana william lukuvi aliwaambia waandishi jana kuwa ofisi yake ilipokea kiasi cha fedha shilingi milioni kumi sifuri kutoka kwa mfanyabiashara maarufu bwana said bakharesa shilingi milioni ishirini sifuri kutoka serikalini shilingi milioni
tano mbili kutoka jumuiya ya mabohora na shilingi milioni sitini kutoka manispaa zote tatu za dar es salaam
naye mbunge wa jimbo la kigamboni bwana mwinchumu msomi jana aliikabidhi kamati ya maafa misaada ya vifaa kama unga mifuko arobaini na nane sukari mifuko tatu sabuni katoni ishirini maharage UNK ishirini sifuri vikiwa na ya shilingi milioni moja tatu
habari hii imeandaliwa na edson kamukara edmund mihale na peter masangwa
hatua ya kuvunjwa jengo la wodi ya wazazi ya hospitali ya UNK iliyoko mkoa wa kaskazini a unguja imezua mtafaruku mkubwa huku baadhi ya wadau wakidai kuwa jambo hilo UNK kwa fitna
akizungumza na majira jana mfadhili aliyejenga wodi hiyo bwana mohamed raza alidai kitendo cha kuvunja wodi hiyo si cha kiungwana na kina lengo la kudhoofisha maendeleo ya zanzibar
alisema alijitolea kujenga wodi hiyo kutokana na matatizo makubwa UNK wanawake wa mkoa wa kaskazini a ambayo UNK ongezeko kubwa la vifo vya watoto na wajawazito
ujenzi huo ulianza februari kumi na tisa ishirini sifuri saba na kukamilika julai kumi na nane ishirini sifuri saba mwaka huo
alisema kabla ya hapo wajawazito hospitalini hapo walilazimika kuchangia kitanda kimoja watu wawili hadi watatu hali UNK mateso makubwa kwa wanawake hao
tatizo hilo UNK kamati ya maendeleo visiwani humo inayoongozwa na mzee ali hassan mwinyi na kuchukua hatua kadhaa kunusuru jambo hilo ambapo bwana raza alijitolea kujenga wodi hiyo
wodi hiyo iliyokuwa na vitanda kumi chumba cha kujifungua na huduma zingine zote ujenzi wake UNK jumla ya shilingi milioni ishirini UNK kwa kiasi kikubwa wanawake wa mkoa wa kaskazini a alisema bwana raza
alisema mei mosi mwaka huu alipewa taarifa kuwa serikali kupitia wizara ya afya imevunja jengo lote la wodi hiyo
nilishtuka sukari na presha UNK kutokana na ujumbe UNK
siku iliyofuata UNK hospitali hiyo na kuhakikisha jambo hilo
nilikuta jengo UNK UNK
alisisitiza kuwa hatua hiyo si sahihi kwani imechangia kurudisha nyuma jitihada za kuboresha sekta ya afya visiwani humo
alisema kama wizara iliona jengo hilo ni dogo hapakuwa na sababu UNK kwani bado kuna maeneo ya kutosha hospitalini hapo wangeweza kujenga sehemu nyingine bila kufanya uharibifu huo
alidai hatua hiyo imefanywa kibabe na kamwe maamuzi ya namna hiyo hayajengi nchi bali UNK nyuma maendeleo ya watu wa zanzibar
alisema kitendo hicho kamwe UNK moyo wa kujitolea kuchangia maendeleo na ataendelea kujitolea kwa hali na mali bila kujali jinsia rangi wala UNK
maana ya mapinduzi ya zanzibar ni kuwaletea watu maendeleo leo tunakwenda kuvunja hospitali bila kuwepo sababu za msingi
UNK wananchi masikini wa mashambani kwasababu wao UNK kupata huduma hapo alidai bwana raza
alisema aliamua kujitolea kujenga wodi hiyo kwa heshima ya rais mstaafu wa zanzibar daktari UNK amour anayetoka eneo hilo na pia njia ya kuonesha kuunga mkono jitihada zinazofanywa na kamati ya maendeleo ya zanzibar katika UNK maendeleo
majira lilipozungumza kwa njia ya simu na waziri wa afya na ustawi wa jamii wa serikali ya mapinduzi ya zanzibar bwana sultan mugheiry kujua undani wa jambo hilo alisema wanazo taarifa hizo na wanatarajia kutoa ufafanuzi kamili leo
mahakama kuu ya tanzania imetupilia mbali ombi la aliyekuwa mkuu wa upelelezi mkoa wa dar es salaam bwana abdallah zombe la kutaka kurejea utetezi wake upya
ombi hilo lilitupwa jana mahakamani hapo mbele ya jaji salum massati wakati akitoa uamuzi kuhusiana na ombi hilo ambalo liliwasilishwa juzi kupitia wakili wa mshitakiwa huyo bwana jerome UNK
katika maombi ya bwana zombe aliiomba mahakama kumruhusu kurejea ushahidi wake hasa kuhusiana na barua UNK kuandikwa na washitakiwa wenzake na kutolewa gerezani kwa njia za panya hivyo kumsababishia kufunguliwa mashitaka ya mauaji isivyo halali
akitoa uamuzi jaji massati kuhusiana na ombi hilo alisema kuwa haoni sababu ya msingi UNK mshitakiwa huyo kurejea ushahidi wake kwa mara nyingine kutokana na kutokuwepo kitu kipya
hakuna kitu kipya kinachofanya mshitakiwa arejee ushahidi wake kwani kuhusiana na barua hizo tayari UNK na washitakiwa wengine UNK hapa mahakamani hivyo kwa msingi huo hakuna haja ya kurejea tena alisema jaji massati
alisema kuwa endapo mshitakiwa huyo ataruhusiwa kurejea UNK wake washitakiwa wengine nao watakuwa na haki ya kujitetea mahali ambapo UNK
jaji massati alisema kuwa katika kujiridhisha na ombi la bwana zombe alijaribu kupitia sheria mbali mbali zikiwemo za india na mahakama ya rufaa ya afrika mashariki lakini aliona maombi yake UNK kifungu cha mia moja na arobaini na saba cha sheria ya ushahidi
alisema kuwa kimsingi mshitakiwa ana haki ya kurejea ushahidi wake chini ya kifungu hicho na mahakama inayo mamlaka ya kuamuru mshitakiwa kufanya hivyo lakini kutokana na maombi ya bwana zombe kutokidhi matakwa ya kifungu hicho UNK mbali ombi hilo
baada ya kutolewa kwa uamuzi huo jaji massati aliwahoji mawakili wa upande wa utetezi endapo wana mashahidi wengine katika upande wao
kwa upande wa bwana jerome msemwa anayemtetea bwana zombe alisema hana shahidi mwingine hivyo akaomba kufunga kesi kwa upande wake
mawakili wengine walioomba kufunga kesi kwa upande wao kutokana na kutokuwa na mashahidi ni bwana majura magafu ambaye UNK bwana ahmad makelle wp jane d mia moja na arobaini sita mabula d elfu nane na mia mbili na themanini na tisa michael na d mia mbili na thebathini sifuri UNK
wakili bwana denis msafiri anayemtetea d elfu nne na mia sita na hamsini na sita rajab bakari naye alifunga kesi kwa upande wake
washitakiwa ambao wana mashahidi ni mshitakiwa wa pili bwana christopher bageni ambaye ameieleza mahakama kuwa anatarajia kuwa na shahidi mmoja ambapo kwa upande wa mshitakiwa wa kumi na tatu bwana festus gwabisaba naye atakuwa na shahidi mmoja
kutokana na washitakiwa hao kuwa na mashahidi ambao waliiambia mahakama kuwa wana uhakika wa kupatikana leo mahakamani hapo kesi iliahirishwa na itaendelea leo kwa kusikilizwa kwa mashahidi hao
tangu awali katika ushahidi wake bwana zombe aliieleza mahakama kuwa njama zilizokuwa UNK na dpp UNK washitakiwa wengine kuandika barua wakiwa gereza la ukonga na kuzifikisha ofisini kwake kwa njia za panya barua ambazo zilimfanya kukamatwa na kufikishwa mahakamani
kwa mujibu wa bwana zombe alieleza kuwa barua hizo UNK kwa kutumia nguo ya mmoja wa washitakiwa juni tatu ishirini sifuri sita na kufika kwa dpp juni tano ishirini sifuri sita na kesho yake ofisi ya dpp iliandika barua ya kumfikisha mahakamani kwa kutumia maelezo ya barua za washitakiwa hao
hizi barua ni haramu na sumu kwani UNK kwa mkuu wa gereza na baada tu ya kufika dpp aliandika barua ya mimi kukamatwa na kufikishwa mahakamani hivyo inashangaza huyu bwana ambaye ni jaji kwa sasa atakuwa UNK haki zipi kwa wananchi alihoji bwana zombe wakati akitoa ushahidi awali
hata hivyo shahidi wa bwana zombe ambaye ni mkuu wa gereza la ukonga acp samwel nyakitine alishindwa kukiri moja kwa moja kuwa washitakiwa hao UNK barua kwa njia za panya hivyo kumwacha njia panda bwana zombe
itikadi UNK kutumika kugawa misaada
idadi ya watu waliokufa sasa UNK ishirini na nne itikadi za siasa ujanja ujanja na kujuana vimetawala katika shughuli ya ugawaji misaada waathirika wa milipuko ya mabomu katika kambi ya jeshi la ulinzi la wananchi mbagala kizuiani iliyotokea wiki iliyopita
misaada inayotolewa kwa waathirika hao ni maturubai magodoro vyandarua blanketi mchele unga sukari maharage sabuni maji safi pamoja na mafuta
huku kukiwa na malalamiko ya ugawaji wa misaada hiyo idadi ya vifo vilivyotokana na milipuko ya mabomu hayo imefikia ishirini na nne baada ya bibi asha kitwana kuripotiwa kufariki baada ya kuruhusiwa kutoka katika hospitali ya wilaya ya temeke huku wagonjwa waliolazwa wakibaki nane uchunguzi uliofanywa na majira kwa s...
uchunguzi huo umebaini pia kujipenyeza kwa viongozi wa chama cha mapinduzi na kupachika baadhi ya makada wake katika ugawaji huo
wanaccm hao wakiwa UNK fulana za chama hicho jana nusura UNK shughuli ya ugawaji misaada baada ya watu kuanza kulalamikia jambo hilo kwa kile walichodai kupendelea zaidi wenzao wa ccm mbali na hilo uchunguzi huo ulibaini vingozi wa nyumba kumi na wale wa mitaa ambao wamekuwa wakiandika majina ya waathirika hao na UNK ...
ujanja mwingine ni ule unaofanywa na wasimamizi kutoka katika kamati ya maafa wa kupakia msaada baada ya kupewa kibali sahihi kutoka katika ofisi husika lakini msaada huo hupita katika njia za panya na kupelekwa katika sehemu isiyojulikana
majira ilishuhudia mmoja wa maofisa katika kamati hiyo akimhoji dereva anayeendesha gari lenye namba za usajili UNK elfu nne na mia tatu na ishirini na moja aliyetuhumiwa kufanya uhalifu huo
hata hivyo ofisa huyo ambaye UNK jina lake alimtaka dereva huyo kwenda kutoa maelezo yake kwa mkuu wa wilaya ya temeke bwana said mkumbo ambaye muda wote alikuwa eneo hilo
wakizungumza na majira kwa nyakati tofauti waathirika hao walisema wamekuwa wakishuhudia kupelekwa kwa misaada hiyo katika eneo la mgeni nani na kijichi ambako hakuna madhara yoyote UNK mlipuko huo
jana usiku tumeona gari limebeba magodoro na vifurushi likiwa linaelekea eneo la mgeni nani wakati kuna wahanga wengi wa mlipuko katika eneo la mbagala kuu huu si wizi
alihoji mmoja wa waathirika hao
waathirika wengine walisema viongozi wengi katika eneo hilo wamekuwa UNK shehena kubwa ya misaada hiyo na kuwaacha baadhi ya walengwa wakiwa katika hali ngumu
walisema viongozi hao wamekuwa wakitumia mwanya wa kujiandikisha kwa kuandikisha majina ya watoto wao wanaosoma katika shule za awali ili waweze kujipatia misaada kama watu UNK
bwana mussa UNK aliyejitambulisha kuwa anatoka eneo la mjumbe aliyemtaja kwa jina moja la bwana muhidin alisema utaratibu huo umemfanya yeye na familia yake ya watoto wanne kulala nje kwa muda wote tangu tukio hilo UNK
alisema pamoja na juhudi zote alizofanya ilikupata huduma hiyo hadi kufikia jana alikuwa hajapata msaada wowote kutoka katika mamlaka husika na amekuwa akilala nje huku mvua mbu na baridi kali UNK pamoja na watoto wake
mkazi mwingine bibi UNK joseph mwenye watoto nane alisema amekuwa akilala nje na watoto wake kwa muda wa siku sita bila kupata msaada wowote
alisema hadi jana msaada UNK ni kiroba kimoja cha mchele na hana turubai godoro na jiko kwa ajili kupikia kwani vitu vyake vyote UNK na vingine kuibwa na vibaka siku ya tukio
bwana hamisi UNK mkazi wa mbagala kuu mwenye nyumba namba ma moja mia tano na ishirini alisema kubomoka nyumba yake UNK kwa kiasi kikubwa kwani amekuwa akipata kodi kutokana na nyumba hiyo kwa miaka mingi baada ya kustaafu
alisema watoto wake walikuwa wakitegemea kupata mahitaji ya shule kutokana na kodi ambazo alikuwa akikusanya kutoka katika nyumba hiyo
aliitaka serikali inapofanya tathmini kuangalia pia maeneo kama hayo kwani hadi sasa ameshindwa kulipa michango mbalimbali katika shule wanazo soma watoto wake
akizungumza na majira jana mkuu wa wilaya ya temeke bwana mkumbo alikiri kupokea malalamiko kutoka kwa waathirika hao jinsi misaada UNK kwa kushindwa kuwafikia baadhi ya walengwa
alisema kuwa hilo lilitokana na kuingia giza wakati wakigawa misaada hiyo hivyo kusababisha kusitisha kwa zoezi hilo
kweli malalamiko nimepokea lakini leo tunaendelea kugawa kwani chakula kipo kwa wingi na tutahakikisha kila mtu anapata alisema bwana mkumbo
alisema kuwa kwa sasa wamejikita kusaidia watu walio UNK zaidi hasa wenye nyumba UNK na kukosa sehemu za UNK na wasio na kipato
bwana mkumbo alisema viongozi taasisi na kampuni mbalimbali zimeendelea kutoa misaada yao kama magodoro mafuta ya kupikia matangi ya maji pamoja na maji safi kwa ajili ya kuwasaidia waathirika hao
aliwataka wasamaria wema kuendelea kujitokeza kutoa msaada kwani uhitaji bado ni mkubwa ikiwemo chakula maturubai vyandarua pamoja na UNK
naye mkurugezi wa ushirikiano wa shirika la psi bibi mary UNK jana alikabidhi msaada wa vidonge sabini na mbili sifuri sifuri sifuri vya kutibu maji wenye thamani ya shilingi milioni moja arobaini na tano ili kuzuia magonjwa ya milipuko kujitokeza pamoja na homa ya matumbo
alisema kuwa psi iliona kuwa ni jambo la msingi kuungana na wahanga hao ili kunusuru afya zao ikiwa ni pamoja na kutoa ushauri wa afya kwa watu kujikinga na malaria na kulinda mazingira hasa kwa kipindi hiki kigumu
ziara za viongozi jana mkuu wa majeshi meja jenerali davis mwamunyange alitembelea katika hospitali ya taifa muhimbili pamoja na ile ya manispaa ya temeke kwa kuwapa pole majeruhi wa milipuko huo waliolazwa kwenye hospitali hizo
naye mwenyekiti wa chama cha tlp bwana augustino mrema alitembelea eneo la tukio kujionea madhara yaliyotokana na milipuko huo
bwana mrema alisema kuwa maafa hayo ni makubwa kuliko UNK na vyombo vya habari na ameitaka serikali ijipange vema ili kuepuka aibu na si kuwaachia chama cha msalaba mwekundu kufanya kazi hiyo
alisema kuwa kitendo wagawa misaada kuvaa fulana za ccm na kugawa chakula si jambo jema kwani ni la kibaguzi hivyo serikali inapaswa UNK kwa nguvu
mashirika ya misaada mratibu wa chama cha msalaba mwekundu bibi grace mawalla alisema kuwa chama chake kinaendelea na zoezi la kufanya tathmini ili kujua ukubwa wa tatizo la uhitaji wa msaada kwani hali bado inaonekana kuwa ngumu na msaada walioutoa UNK
alisema kuwa baada ya zoezi hilo kubaini uhitaji wanatarajia kuomba msaada kwa vyama vya msalaba mwekundu duniani ili kuongeza nguvu ya kuwasaidia waathirika hao
tumebaini kuna matatizo ya maji safi vyoo na mazingira kwa ujumla kwani ukikaa tu ofisini huwezi kuyaona haya alisema bibi mawalla
aidha alisema kuwa wanafanya tathmini ya watu waliokuwa na magonjwa mbalimbali kama ukimwi kifua kikuu na magonjwa mengine yanayomfanya mgonjwa kuwa chini ya uangalizi wa daktari ili kuwapeleka katika mashirika husika kwa msaada zaidi
nalo shirika ya kusaidia watoto UNK the UNK UNK katika eneo la tukio na kuendelea na shughuli ya kuorodhesha watoto walioathirika na milipuko hiyo ili kufanya tathmini ya uhitaji wa misaada katika maeneo mbalimbali kama ya kuathirika kisaikolojia kielimu pamoja na afya
mbali na mashirika hayo shirika la kuhudumia wazee UNK age nalo limeendelea na shughuli ya kuangalia ni wazee wangapi ambao hawana uwezo walioathirika na mabomu ili waweze kuwapatia msaada
baadhi ya mashirika hayo UNK mfumo mbaya wa miundombinu wa eneo hilo kuwa hauwapi fursa ya kufanya tathmini yao kikamilifu kutokana na kuingiliana baina ya kaya na kaya kwa kutokuwepo na mipaka UNK
mahakama ya hakimu mkazi kisutu dar es salaam jana imetupa ombi la upande wa utetezi kuifuta kesi dhidi ya aliyekuwa mkurugenzi wa utumishi na utawala wa benki kuu ya tanzania bwana amatus liyumba na mwenzake kutokana na hati ya mashitaka UNK
hakimu mkazi bibi UNK lema alikubaliana na kutokamilika kwa vifungu mbalimbali vya sheria katika kuandaa kesi dhidi ya washitakiwa na kusema pamoja na hali hiyo sheria UNK kuifuta kesi hiyo na kuzipa nafasi pande zote mbili kujitetea
baada ya hakimu kusoma uamuzi huo UNK nafasi pande zote kujitetea
upande wa mashitaka ulikiri kukosea kuiandaa hati ya mashitaka katika kesi hiyo inayomkabili bwana liyumba na aliyekuwa meneja mradi wa benki hiyo bwana deogratius kweka inayowakabili vigogo hao na kuiomba korti UNK kesi hiyo
mwendesha mashitaka alikiri kuwa ni kweli hati ya mashitaka ina makosa kwa kuwa kuna baadhi ya vifungu vya sheria kutokuwa kwa mujibu wa sheria