text
stringlengths
1
1.32k
alidai kukosewa kwa baadhi ya vifungu vya sheria katika kuandaa hati ya mashitaka hakuwezi kusababisha kesi dhidi ya washitakiwa UNK kama upande wa utetezi UNK
hata hivyo awali upande wa utetezi ukiongozwa na wakili profesa mgongo fimbo uliiomba mahakama kufuta kesi dhidi ya washitakiwa kwa kuwa hati ya mashitaka ilikuwa UNK
profesa fimbo aliongeza kuwa hati ya mashitaka iliyotumiwa na upande wa mashitaka haiko kwa mujibu wa sheria hivyo hali hiyo inawanyima haki washitakiwa
umati mkubwa UNK kortini hapo kushuhudia hatma ya kufutiwa kesi hiyo au la
ndugu na jamaa wa UNK walikuwa wengi kutaka kujua kama vigogo hao wataachiwa kutokana na ombi lao walilolitoa mbele ya mahakama kutaka UNK mashitaka kutokana na kukosewa kwa hati ya mashitaka
kufuatia ombi hilo hakimu mkazi bibi lema alitaka apewe nafasi UNK tena maelezo ya pande zote mbili ili aweze kutoa uamuzi sahihi juu ya ombi hilo
washitakiwa hao wanashitakiwa kwa kutumia vibaya madaraka yao kufanya uamuzi mkubwa wa kuruhusu uendelezaji wa ujenzi majengo ya bot bila kibali cha bodi ya wakurugenzi na kuisababishia serikali hasara ya shilingi mia mbili na ishirini na moja mia moja na tisini na saba mia mbili na tisini na tisa ishirini sifuri tisi...
bwana zombe alitokwa na machozi hayo mahakama kuu ya tanzania dar es salaam jana wakati shahidi wa upande wa utetezi akitoa ushahidi wake mbele ya jaji salum massati
shahidi huyo alidai haamini kama waliokufa ndio watuhumiwa UNK kuwakamata maeneo ya sinza dar es salaam kwani si kawaida ya polisi kukamata mtuhumiwa na kumuua
alidai watuhumiwa UNK kuwa majambazi walikuwa wanne waliwakamata kwa amani hapakuwa na majibizano ya risasi hivyo UNK katika vyombo vya habari kuwa waliuawa katika majibizano ya risasi na polisi alishangaa na aliona ni uongo
shahidi alidai baada ya kuwakamata waliokuwa wakituhumiwa yeye na mwenzake gwabisaba waliondoka na gari la watuhumiwa hadi kituo cha polisi urafiki kwa ajili ya kukabidhi gari hilo na baada ya hapo walirudi kufanya doria katika maeneo yao ya kazi chuo kikuu
akielezea utaratibu wa kazi alidai matukio ya mkoa mzima UNK kwa kamanda wa mkoa na viongozi wa maeneo husika kwa maandishi na rpc anaweza kufahamu tukio kwa kupitia redio ya upepo kama UNK
baada ya kudai hayo ndipo bwana zombe UNK kutokwa na machozi alichukua kitambaa cha mkononi na kuanza kujifuta huku UNK juu
haikufahamika ni sababu zipi zilimfanya mshitakiwa huyo UNK na machozi japo wakili wake bwana msemwa alidai alilia kwa furaha
katika hatua nyingine utetezi wa mshitakiwa sp christopher bageni UNK na wa shahidi wake koplo jumanne mussa baada ya kuieleza mahakama kuwa bwana bageni alikuwa kazini siku ya tukio tangu asubuhi
utofauti huo unatokana na maelezo ya bwana bageni aliyoeleza mahakamani kuwa siku ya tukio la mauaji aliingia ofisini kwake saa moja thebathini usiku akitokea pugu dar es salaam alikokwenda kwa ajili ya kusimamia shughuli za ujenzi wa nyumba yake
pia kumbukumbu za matukio yaliyotokea usiku wa januari kumi na nne ishirini sifuri sita na kuwasilishwa tisini na tisa UNK kama bwana bageni alikwenda katika matukio hayo kutokana na kutokuwepo taarifa za UNK kwake kwa matukio hayo
katika utetezi wake kuhusiana na matukio hayo bwana bageni aliieleza korti kuwa baada ya kufika ofisini akitokea pugu alipata taarifa za tukio la bidco na kisha kuamriwa na ocd wake kufuatilia vielelezo kituo cha polisi urafiki na baada ya hapo aliendelea na shughuli zingine za matukio hadi saa nane sifuri sifuri usik...
katika ushahidi wa shahidi wake koplo jumanne alidai baada ya kumaliza kazi zake ambazo ni kusambaza askari UNK alirejea kituo cha oysterbay kwa ajili ya kusubiri kupangiwa kazi nyingine
alidai ilipofika saa moja thebathini alifuatwa na bwana bageni na kumtaka ampeleke kituo cha polisi urafiki na alipofika huko UNK akiingia kwenye ofisi ya ocs lakini hakujua kilichokuwa kikiendelea ofisini huko
baada ya bageni kutoka kwa ocs UNK ofisini kwetu ambapo UNK sana akatoka akiwa na askari wawili na UNK twende kijitonyama ambako kulikuwa na tukio la ujambazi alidai shahidi huyo
pia aliieleza korti kuwa siku hiyo UNK matukio hali iliyosababisha kurejea kituoni kwao saa nane usiku
katika kesi hiyo washitakiwa wanadaiwa januari kumi na nne ishirini sifuri sita wakiwa msitu wa pande ulioko mbezi luisi dar es salaam waliwaua kwa makusudi bwana ephraim chigumbi bwana sabinusi chigumbi bwana juma ndugu na bwana mathias lukombe
washitakiwa hao ni bwana zombe bwana bageni bwana makele wp elfu nne na mia tano na kumi na tatu jane d mia moja na arobaini sita mabula d elfu nane na mia mbili na themanini na tisa michael d mia mbili na thebathini sifuri abeneth d elfu nne na mia sita na hamsini na sita rajab na d elfu moja na mia tatu na sitini na...
wananchi UNK
wakae umbali wa meta hamsini sifuri masalia ya mabomu na yale yaliyokwisha muda wake katika ghala la kambi ya jeshi la ulinzi la wananchi wa tanzania mbagala kizuiani yanatarajiwa kuteketezwa leo alasiri baada ya kazi hiyo kuahirishwa jana
hatua hiyo inafuatia tukio la mlipuko wa ghafla wa mabomu lilitokea aprili ishirini na tisa mwaka huu na kusababisha mabomu hayo kuzagaa katika maeneo mbalimbali yakiwa UNK na mengine yaliokotwa na wanajeshi yakiwa bado hayajalipuka
akizungumza jana na majira mkuu wa wilaya ya temeke bwana said mkumbo alisema kazi hiyo ambayo ilikuwa ifanyike jana iliahirisha ili kutoa elimu na matangazo kwa wakazi wa mbagala UNK na hofu wakati wa ulipuaji wa mabomu hayo hatua ambayo ingeweza kusababisha tena maafa
mabomu yanayotarajiwa kulipuliwa leo ni ambayo yaliokotwa na wanajeshi katika maeneo mbalimbali ya makazi ya mbagala yakiwa UNK mara baada ya tukio hilo pamoja na UNK muda wake wa kutumika
jana majira ilishuhudia wakazi hao wa mbagala wakihaha baada ya kutangaziwa kufanyika kazi hiyo huku wengi wao wakiwa na hofu kuwa huenda wakapata madhara zaidi
wengine walionekana wakianza kuhamisha kabisa familia zao kutoka maeneo hayo
matangazo hayo ya jwtz yalikuwa UNK wakazi hao kutokuwa na hofu kwa vile kazi hiyo itafanyika chini ya usimamizi wa wataalam wa jeshi hilo na hakutakuwepo na mabomu UNK kwenye makazi watu
utaratibu huu unafanywa chini ya usimamizi siyo kama tukio lilivyokuwa awali
kwa hiyo wananchi wasihofu kwa vile hayawezi kwenda umbali wa meta hamsini sifuri ambayo ni sawa na ukubwa wa viwanja viwili vya mpira wa miguu alisema kamanda mmoja
jana jioni magari ya matangazo yalipita kwenye maeneo hayo na kuwataka wananchi hao kukaa umbali wa meta hamsini sifuri kutoka ilipo kambi hiyo
mabomu hayo UNK kuanzia saa tisa sifuri sifuri alasiri hadi saa kumi na moja sifuri sifuri jioni
hata hivyo wakazi hao UNK kuwa ni vyema kwa wagonjwa wa mshutuko kama presha UNK umbali kidogo na eneo la kambi hiyo ili wasije UNK
wakati sekeseke la ulipuaji wa mabomu UNK akili ya wakazi wa mbagala shughuli ya ugawaji misaada kwa waathirika hao jana ilitumbukia nyongo kutokana na wakazi hao kutokuwa na imani wa wajumbe wa nyumba kumi UNK
hali hiyo ilisababisha hata wajumbe wa umoja wa wanawake wa ccm wakiongozwa na katibu mkuu wao wa taifa bibi husna mwilima kulazimika kugawa misaada yao wenyewe ili kuondoa ubadhirifu unaofanywa na wajumbe wa mitaa
msaada huo wenye thamani ya shilingi milioni mbili tano ikiwa ni mashuka khanga fulana za watoto juisi maji madaftari kalamu na unga ulilenga UNK akina mama na watoto ambao makazi yao yamekumbwa na UNK
hata hivyo wakati shughuli hiyo ikiendelea alijitokeza mjumbe mmoja wa nyumba kumi bwana UNK maginga mwenye nyumba ma moja hamsini tatu akiongozana na kundi dogo la akina mama na kwenda moja kwa moja hadi kwa wajumbe wa uwt UNK
samahani akina mama hivi msaada UNK kwa waathirika ama kwa watu wote bila kujali
maana huku mtaani kwangu wanawake wote hawa hawajapata msaada wowote na nyie mko UNK nyimbo za ccm UNK janga hili au mnafanya siasa
alihoji
kauli yake iliungwa mkono na akina mama aliokuwa UNK nao wakidai jana ilikuwa ni siku ya nane tangu mlipuko UNK huku kukiwa na waathirika ambao hawajawahi kupata msaada kama chakula na UNK
majina yetu UNK wote yako kwenye daftari la mjumbe
sasa hawa ccm wanaleta misaada tunashukuru ila ni kwanini UNK kufuata majina yetu badala ya kufuata utaratibu ambao wengine UNK
alihoji bibi UNK ally
baada ya uwt kuona hivyo ilibidi baadhi ya wajumbe bibi mwilima bibi zakia meghji na bibi lucy mayenga kuingilia kati UNK wakazi hao kuwa wawe wavumilivu kwa vile hata wao walilazimika kugawa misaada hiyo wenyewe baada ya kuelezwa na mkuu wa mkoa kuwa baadhi ya wasimamizi wanafanya udanganyifu
walisema misaada yao isingeweza kuwatosheleza watu wote hivyo waliona ni bora UNK kwa wanawake na watoto walau UNK kujikimu wakati huu
sisi tumekuja kwa lengo la kusaidia watu bila kujali itikadi zao na tumefanya kazi ya kuigawa wenyewe ili kudhibiti wizi na udanganyifu japo tunasikitika kuwa hatukuweza kuwapatia waathirika wote alisema bibi meghji
katika upande mwingine baadhi ya wakazi bibi vida mushi bibi UNK bakari bibi hidaya hassan na bibi victoria julius waliungana na kauli ya bibi meghji kuwa wajumbe wengi wa nyumba kumi UNK misaada hiyo kuwa miradi ya kujinufaisha wao na jamaa zao tu
walisema kwa vile wanajuana wao wenyewe kuwa ni familia zipi zimeathirika kulikuwa hakuna haja kwa misaada hiyo kupitia kwenye kata na badala yake UNK moja kwa moja majumbani kwa watu
misaada iko mingi sana na bado mingine inaendelea kuletwa lakini cha ajabu wako waathirika wenzetu hawajapata msaada wowote ule na wajumbe UNK kila siku na kurudia kwa watu wale wale na UNK wanafanya mali yao alisema bibi mushi
alisema nyumba yake imebomoka na haifai kuishi binadamu yeyote kutokana na UNK paa na kuta zake kuwa na nyufa kubwa zinazotishia usalama wake watoto wake na pia wapita njia lakini hana hema wala chakula UNK
alisema asilimia kubwa ya wakazi wanaotoka eneo la mjumbe bwana hamad bakari wamekuwa katika wakati magumu kupata misaada hiyo kwa kuwa ni wa chama cha cuf akizungumza na majira mjumbe wa nyumba kumi wa mtaa wa mbagala kuu bwana hamad bakari alikiri UNK waathirika hao na pia kukiri ubaguzi unaofanywa na viongozi hao k...
alisema tangu watu hao wapate msaada hiyo mei nne mwaka huu hawajapata tena kutokana na itikadi za kisiasa zinazoendelea katika eneo hilo
msemakweli mpenzi wa mungu ndugu yangu ukweli tangu mei nne mwaka huu UNK msaada wa maharage ndiyo leo natarajia kupata misaada mingine kwani leo UNK na kuniambia watanipa misaada hiyo kwa watu wangu
niko hapa tangu asubuhi UNK na watu wangu
nina nyumba zaidi ya ishirini sifuri na kutokana na mambo haya ya vyama ninapata tabu sana wenzangu ccm wanashindwa kujua kuwa hili ni janga la kitaifa na mambo ya kampeni wanatakiwa kuweka kando alisema bwana bakari
alisema katika jitihada hizo za kuhakikisha watu wake wanapata mahema magodoro shuka na chakula amepata vitisho mbalimbali vya kupelekwa jela na viongozi mbalimbali wa kamati hiyo ya maafa
alisema UNK mungu kwa UNK watu wake ili waweze kupata misaada hiyo hadi jana walikuwa wamebaki kaya thebathini na moja zinazohitaji mahema magodoro mashuka blanketi mchele chumvi na mafuta ya kula lakini hadi jana alikuwa amepata hema moja tu
katika hatua nyingine mjumbe wa nyumba kumi wa ccm bwana hamis UNK ameripotiwa kukutwa na viroba viwili vya mchele vyenye uzito wa kilo sitini kinyume na utaratibu
mkuu wa wilaya bwana mkumbo amekiri kuendelea kuwepo na malalamiko katika ugawaji wa misaada hiyo na kuwataka wote ambao UNK na misaada hiyo kutoa taarifa mahali husika ili utaratibu ufanyike wa kuwasaidia
sisi tuna nia njema kabisa ya kumsaidia kila mmoja na kama kuna mtu UNK na msaada atoe taarifa kwa mjumbe wake ili UNK alisema bwana mkumbo
misaada mbali na uwt bwana mkumbo alisema kuwa watu na taasisi mbalimbali wameendelea kuleta misaada yao ya dhati kwa ajili ya kuwasaidia waathirika wa mabomu
alisema kampuni ya watengenezaji wa unga wa ngano ya azania ilitoa msaada wa mafuta lita moja ishirini sifuri magodoro kumi sifuri na ngano viroba moja sifuri sifuri sifuri vya kilo tano kila kimoja
bwana mkumbo aliongeza kuwa katika kambi ya chama cha msalaba mwekundu kilichokuwa katika kituo cha polisi mbagala imepokea mtoto bibi maria damson mkazi wa mbagala shimo la mchanga aliyekuwa mfanyakazi wa ndani wa mama hassan ambaye anajishughulisha na biashara ya mbao
hospitalini hadi kufikia jana ni majeruhi tisa tu ndiyo walikuwa wamelazwa katika hospitali ya temeke na idadi ya vifo bado ni watu ishirini na tano imeandikwa na edmund mihale edson kamukara na peter masangwa
mshitakiwa wa kwanza katika kesi ya mauaji ya wafanyabiashara wa madini kutoka mahenge mkoani morogoro bwana abdallah zombe ameiomba mahakama kuu imwachie huru kwani upande wa mashitaka umeshindwa kuthibisha mashitaka dhidi yake na kwamba UNK wala kuhusika katika mauaji hayo
alidai hayo jana kupitia kwa wakili wake bwana jerome msemwa mbele ya jaji salum massati wakati alipokuwa akiwasilisha majumuisho ya kesi baada ya upande wa utetezi kufunga ushahidi
bwana msemwa alidai mambo yote aliyokuwa akiyafanya mteja wake katika matukio ya ujambazi januari kumi na nne ishirini sifuri sita ilikuwa kwa mujibu wa taratibu za jeshi la polisi na wala si kwa ajili ya kumkomoa mtu
alidai korti hiyo wakati inatoa uamuzi kuhusu washitakiwa kuwa na kesi ya kujibu ilisema UNK hakuna ushahidi wa moja kwa moja kuwa bwana zombe anahusika katika mauaji ilikubali mshitakiwa huyo hakuwepo eneo la tukio hakuna ushahidi UNK wakati wa tukio alikuwa UNK na kwamba mshitakiwa alikuwa akijua marehemu UNK
zombe kunyanyasa ndugu wa marehemu bwana msemwa alidai ushahidi uliotolewa kortini kwamba mteja wake UNK ndugu wa marehemu katika hospitali ya taifa muhimbili UNK na walifungwa kamba si kweli
alidai aliyeamuru ndugu hao UNK pingu ni mshitakiwa zombe hakuwa na nia mbaya na kama alikuwa nayo angeweza kuwashughulikia mwenyewe
wakili huyo alidai mteja wake hakuwa na dhamira wala kusudio la kuwatisha ndugu hao ambao walikuwa mashahidi wa upande wa mashitaka katika kesi hiyo
mshitakiwa katika ushahidi wake UNK mahakama kuwa UNK mashahidi wala kuwanyanyasa kama inavyodaiwa bali yote yaliyokuwa yanafanyika siku hiyo katika matukio ya ujambazi yalifanyika kwa utaratibu wa upelelezi na si kwa ajili ya kumkomoa mtu
zombe kwenda kituo cha polisi urafiki wakili msemwa alidai katika majumuisho kuwa mteja wake hakwenda kituo cha polisi urafiki kwa kuamua mwenyewe bali aliitwa na ssp UNK na kama alikuwa na nia UNK kuhusu suala la fedha walizokutwa nazo marehemu UNK zote lakini hakufanya hivyo
alidai bwana zombe hakuwa na mawasiliano na mshitakiwa mwingine yeyote wakati wa tukio hilo na kortini hakuna ushahidi wa kuonesha kulikuwa na mawasiliano hayo
bwana msemwa alidai hakuna mshitakiwa yeyote katika ushahidi wake alidai kupokea amri ya kuwaua marehemu kutoka kwa mteja wake yaliyozungumzwa mahakamani ni maneno ya kusikia
ushahidi uliotolewa na marehemu rashid lema kortini ulikuwa wa kujinasua katika kesi hiyo kwa kutaja washitakiwa wengine kwa sababu kazi ya polisi si kukamata na kuua
askari kupongezwa na zombe kutokana na uamuzi wa kama bwana zombe anayo kesi ya kujibu mshitakiwa huyo UNK kujitetea kuwa anawafahamu vipi marehemu hadi UNK askari waliohusika katika tukio la ujambazi
alidai tume ya polisi ilisema tukio ni la mauaji na lilitokea sinza na mteja wake alipata taarifa siku ya tukio kutoka kwa mshitakiwa namba mbili bwana christopher UNK
wakili huyo alidai mteja wake alifahamu tukio hilo kwa maandishi aliyopelekewa UNK simu na mtu na kwamba dhana kuwa aliandaa kikundi kidogo cha askari kwa ajili ya kuwapongeza si sahihi
bwana msemwa alidai pongezi kwa polisi ni jambo la kawaida kama ofisa wa ngazi za juu UNK na taarifa za utendaji mzuri alizopewa na maofisa wa ngazi ya chini
alidai mteja wake alithibitisha UNK polisi kwa ridhaa yake bali kwa kanuni za jeshi la polisi kutokana na maelezo aliyopewa
zombe kugawa vikaratasi kwa polisi akitoa majumuisho kuhusiana na tuhuma kuwa mshitakiwa huyo aligawa vikaratasi kwa baadhi ya washitakiwa katika kesi hiyo ili watoe taarifa katika tume alidai kuna washitakiwa UNK walipewa vikaratasi na wengine walidai UNK
alidai kutokana na ushahidi huo UNK nani mkweli nani muongo na nani anasema ili ajitoe katika kesi na kuonekana hakuhusika katika tukio
wakili alidai kama kweli karatasi ipo UNK kortini na kuna shahidi aliyedai hiyo haikuwa amri halali hivyo polisi hawakutakiwa UNK
wakili msemwa alidai mawasiliano yaliyokuwepo gerezani kati ya dpp na washitakiwa wengine ndio yaliyosababisha zombe kushitakiwa kwa mauaji na kuongeza kuwa wapelelezi katika kesi hiyo walikuwa wakishinda gereza la ukonga
alidai dpp alimshitaki mteja wake sababu ya makaratasi hakuna sababu iliyomfanya mshitakiwa huyo UNK kwa kesi hiyo kwani mashahidi thebathini na saba wa upande wa mashitaka waliofika kortini hakuna hata mmoja aliyesema kama alishirikiana na washitakiwa wala kupanga mauaji hayo
baada ya kudai hayo wakili huyo UNK lawama kwa magazeti kuwa UNK mteja wake kiasi hata akipita maeneo ya manzese anasikia watu wakisema zombe amekwisha atanyongwa na mengine mengi jambo ambalo si kweli
aliiomba mahakama kupitia ushahidi wote UNK mteja wake hana hatia imwachie huru na ione pia upande wa mashitaka umeshindwa kuthibitisha mashitaka dhidi yake
akitoa majumuisho kwa mshitakiwa wa pili bwana christopher bageni wakili wake bwana UNK ishengoma alidai kutokana na ushahidi uliotolewa mteja wake hana hatia hivyo mahakama imwachie huru
alidai ushahidi katika kesi hiyo UNK katika ushahidi wa mazingira na ili ushahidi huo uweze kumtia hatiani mshitakiwa lazima UNK moja kwa moja na UNK kosa na aliyetenda na si mwingine
bwana ishengoma alidai kwa upungufu wa ushahidi marehemu UNK sinza na walikuwa hai na baada ya hapo miili yao ilikutwa katika hospitali ya taifa muhimbili
alidai upo ushahidi wa polisi walioondoka na marehemu na hakuna ushahidi kwamba bageni alikuwa miongoni mwa hao na ushahidi aliotoa dpp ni vigumu kufahamu kama alitoa kama katibu wa tume iliyoundwa na rais au kwa nafasi yake
wakili huyo alidai alitoa ushahidi kwa sababu nyaraka zote za kesi zilikuwa kwake
hata hivyo alidai hakuna ushahidi wa kuthibitisha bwana bageni aliamuru risasi zitolewe bila kufuata utaratibu
alidai ushahidi uliotolewa ulikuwa na shaka kama si uongo polisi siku zote wanafikiria kila mtu ni mtuhumiwa hivyo korti inatakiwa kupokea ushahidi wa polisi kwa UNK