text
stringlengths
1
1.32k
bwana ishengoma alidai marehemu rashid lema alikuwa mshitakiwa na alitoa maelezo yake kama kielelezo kortini pamoja na ushahidi wake lakini alikufa kabla ya kuhojiwa na mawakili
alidai kwa sababu mshitakiwa huyo alikufa ni mawazo yake kuwa ushahidi wake hauna sababu ya kuzingatiwa
katika ushahidi wake marehemu lema alidai mshitakiwa bageni alikuwepo katika msafara wa kwenda katika mauaji ya wafanyabiashara wa madini
wakili huyo alidai ushahidi unatia shaka haieleweki ni wapi marehemu waliuawa na hakuna ushahidi wowote unaoonesha kuwa mshitakiwa bageni alihusika na kuwepo katika tukio la mauaji
kwa kusema hayo aliiomba korti UNK mteja wake hana hatia na imwachie huru kwa kosa la mauaji UNK na ione kuwa upande wa mashitaka umeshindwa kuthibitisha mashitaka dhidi yake
washitakiwa wote waliwasilisha majumuisho kupitiwa kwa mawakili wao na kuomba waachiwe huru
jaji massati alisema kikao cha mahakama kuu kilimalizika jana na hana uwezo wa kuendelea leo jaji mkuu UNK tena
mbali ya bwana zombe na bwana mageni washitakiwa wengine katika kesi hiyo ambao wanadaiwa kuwa januari kumi na nne ishirini sifuri sita wakiwa msitu wa pande ulioko mbezi luisi dar es salaam walimuua kwa makusudi bwana ephraim chigumbi bwana sabinusi chigumbi bwana juma ndugu na bwana mathias UNK ni bwana makele wp el...
hatimaye jeshi la wananchi wa tanzania jana UNK masalia ya mabomu sabini na tano yaliyokuwa UNK baada ya kulipuka kwa ghala la kuhifadhia zana hizo katika kambi ya mbagala kizuiani aprili ishirini na tisa mwaka huu
shughuli hiyo ilianza saa tisa kumi na mbili alasiri na kumalizika saa kumi na moja sifuri sifuri jioni huku UNK katika hali ya utulivu bila kuathiri maisha na mali za watu kama wengi walivyokuwa UNK awali na kulazimika UNK nyumba zao wakihofia maafa
pamoja na jwtz kuteketeza mabomu hayo sabini na tano ni milipuko mitano tu ndiyo iliyokuwa ya kishindo na sauti yake iliweza kusikika na kuwashtua watu kidogo
mapema kabla ya shughuli hiyo kuanza majira ilishuhudia misururu mirefu ya wakazi wa mbagala kuu wakiwa wamehama kutoka kwenye nyumba zao na kuhamia kando kando ya barabara kuu ya kilwa
nako huko kwenye makazi ya watu eneo ya mbagala kuu na kijichi mgeni nani na UNK nyumba za makazi na biashara zilikuwa zimefungwa huku wakazi wachache wakiwa wamekusanyika kwenye vikundi nje na kundi kubwa la waandishi wa vyombo mbalimbali
kufuatia hali hiyo serikali ililazimika kusambaza mamia ya askari wa jwtz na polisi ili kulinda usalama wa watu na mali zao kwa ajili ya kuwadhibiti vibaka wasitumie nafasi hiyo kujinufaisha
askari hao walionekana kuwa doria wakiwa katika magari namba pt elfu moja na mia moja na sabini na mbili pt elfu moja na mia tano na ishirini na nne na t mia mbili na thebathini na saba UNK na wengine wakiwa wanalinda nyumba za wakazi huku zikiwa zimefungwa
hata hivyo bomu la mwisho lililolipuka saa kumi na moja sifuri sifuri jioni kishindo chake UNK UNK watu wengi hatua iliyowafanya wakazi wawili kuanguka na kuzirai katika eneo la mbagala kuu mbele ya ofisi ya kata
watu hao UNK kuwa bibi UNK tarimo ambaye ni mwanafunzi wa shule ya sekondari UNK na bibi UNK said
akizungumza na waandishi nje ya ofisi ya kata ya mbagala kuu mkuu wa mkoa wa dar es salaam bwana william lukuvi alisema mabomu sabini na tano yaliyolipuliwa ni masalia ya zile UNK tani mbili za mabomu yaliyolipuka aprili ishirini na tisa haya UNK leo ni yale yaliyosalia tu na wala siyo mabomu yale UNK kutoka kwenye ma...
bwana lukuvi katika hatua nyingine alibainisha kuwa idadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na tukio zima imeongezeka na kufikia ishirini na sita baada ya bwana dickson gia aliyekuwa amelazwa hospitali ya taifa muhimbili kufariki dunia
alisema bwana gia alifikishwa hospitalini hapo mei mbili na kulazwa wodi ya UNK ambapo mei nne alifariki dunia lakini kwa bahati mbaya kumbukumbu zake hazikuwa zimewekwa kwenye orodha ya majeruhi wa mlipuko wa mabomu
huyu marehemu baada ya kufariki ndipo taarifa UNK kwetu kuwa ni miongoni mwa waathirika wa mlipuko madaktari kwa muda wote walikuwa wakifanya vipimo na sasa wamethibitisha hilo alisema
bwana lukuvi aliongeza kuwa kwa vile awali alikuwa UNK kwa gharama za familia yake serikali UNK gharama hiyo pamoja na kutoa UNK
kuhusu majeruhi walioko katika mnh na temeke bwana lukuvi alisema kuwa jana wagonjwa kumi na nane walifika temeke UNK na kuruhusiwa huku majeruhi wanane wakiendelea kulazwa na katika kitengo cha taasisi ya mifupa muhimbili ambapo sita bado wamelazwa
mkuu huyo wa mkoa alizungumzia pia shughuli ya ugawaji wa misaada kwa waathirika pamoja na tathmini ya nyumba za wakazi akidai kuwa mambo yanakwenda vizuri ingawa kuna kasoro UNK ndogo za udanganyifu
nyumba zilizoathiriwa kwa ujumla ni tatu mia sita na thebathini na sita na kati ya hizo mia mbili na sabini na tano UNK kabisa na bwana lukuvi alidai kuwa kazi ya ukadiriaji linakwenda taratibu kutokana na kukosekana kwa UNK wa majengo wa kutosha
UNK kazi tangu wiki iliyopita kwa wale wote waliosomea masuala ya usanifu wa majengo waje tufanye kazi hii haraka na tena kwa malipo mazuri lakini hadi leo wamejitokeza kumi na nne tu alisema bwana lukuvi
hata hivyo shughuli la ugawaji misaada mbali ya jana kusitishwa kufuatia uteketezaji wa mabomu lakini wakazi wa eneo hilo bado hawaridhiki na jinsi UNK
kaimu mjumbe wa nyumba kumi wa mbagala kuu mama muhidini ambaye UNK wadhifa huo kutoka kwa mumewe bwana muhidin mohamed anatuhumiwa kujilimbikizia misaada na kuandikisha majina ya wajukuu wake kinyume na utaratibu UNK
wakazi hao walidai kuwa mama muhidin UNK majina ya wajumbe wake lakini mengi yalikuwa hewa kusababisha wakazi wake kupigwa na butwaa kwa kukosa msaada huo
jana majira UNK jinsi utata UNK na mjumbe huyo pamoja na ofisa UNK naye katika shughuli hizo za ugawaji akitoa viroba vya mchele kwa UNK baadhi ya watu UNK
misaada kuhusu misaada bwana lukuvi alisema benki ya nmb ilitoa msaada wa vyakula yenye thamani ya shilingi milioni ishirini na tano kwa ajili ya kuwasadia waathirika wa mabomu huko mbagala kuu
wakazi wa kariakoo bwana fadhili haji bwana mohamed jerome bwana UNK lucas na bwana juma salum wameshitakiwa juzi kwa kuvunja ghala na kuiba seti ya vitambaa vya gauni mali ya agnes UNK
mbele ya hakimu bibi agnes mchome wa mahakama ya wilaya ilala ilidaiwa na mwendesha mashitaka mrakibu msaidizi wa polisi bibi asma shemweta kuwa washitakiwa walitenda kosa hilo mei tatu mwaka huu saa tatu usiku mtaa wa UNK kariakoo na kuiba mali yenye thamani ya shilingi thebathini na nane hamsini sifuri sifuri sifuri...
mbele ya hakimu bibi agnes mchome ilidaiwa na mrakibu msaidizi wa polisi bibi asma shemweta kuwa mshitakiwa alitenda kosa hilo februari nne mwaka huu saa tano asubuhi maeneo ya UNK ambapo UNK nyumba bwana justine rweyemamu kwa shilingi milioni kumi
mshitakiwa amekana mashitaka na kesi itatajwa tena mei ishirini shirika la umeme tanzania UNK umeme mei mbili mwaka huu katika mji wa namanga arusha kutokea kenya ambapo wakazi mia mbili na ishirini na mbili watanufaika na huduma hiyo
hayo yalisemwa dar es salaam jana na meneja mawasiliano wa shirika hilo bibi badra masoud katika taarifa kwa vyombo vya habari kuwa huduma hiyo pia UNK shule pampu za maji zahanati taasisi za dini na idara za serikali
alisema lengo la tanesco katika mradi huo ni kuhakikisha inaendeleza laini kubwa ya umeme ya msongo wa UNK thebathini na tatu kutoka namanga hadi longido ambapo ndiyo makao makuu ya wilaya
laini hii itakuwa na urefu wa kilomita ishirini na nane UNK shirika kutoa umeme kwenye UNK cha UNK ambapo tunategemea kupata wateja kumi na nane na wateja mia mbili na sabini na tatu katika mji wa longido alisema bibi masoud
alisema uwekaji umeme katika mji huo ni miongoni mwa kazi hizo pamoja na ujenzi wa laini kubwa kwenye msongo wa kilovoti thebathini na tatu katika viunga vya mji wa namanga yenye urefu wa UNK nne moja na jumla ya nguzo sitini na tatu na laini hiyo UNK mashine umba sita
meneja huyo alisema ujenzi wa laini ndogo za umeme umefanyika kwa lengo la kusambaza umeme kwa wateja wa mji wa UNK na ufungaji wa mashine umba nne kwa ajili ya wateja zenye jumla ya kilovoti UNK mia tano na kumi na tano alisema shirika UNK mita katika laini kubwa upande wa tanzania ili kuhakiki umeme UNK UNK ufungaji...
bibi masoud alisema shirika UNK ushirikiano kutoka kwa wananchi wa maeneo hayo ambayo umeme unapita ili kufanikisha kukamilika kwa mradi huo
alisema tatizo la kukatika kwa umeme katika maeneo ya bunda musoma vijijini na serengeti linatokana na hitilafu za kiufundi lakini linashughulikiwa na hali ya umeme itarejea kama kawaida baada ya wiki moja
kesi ya kughushi vyeti inayowakabili wafanyakazi wanane wa kitengo cha kuhesabu fedha chakavu katika benki kuu ya tanzania itaendelea kusikilizwa juni tano mwaka huu katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu dar es salaam
kesi hiyo ilitajwa jana kortini hapo mbele ya hakimu mkazi bibi UNK lema kwa ajili ya kupangiwa siku ya kuendelea kusikilizwa ambapo awali ilisimama kutokana na hakimu aliyekuwa UNK bibi neema UNK kupata likizo ya uzazi
washitakiwa katika kesi hiyo ni bibi justine mungai bibi christine UNK bibi siamini UNK bibi janeth UNK bibi UNK masawe bibi UNK juma bibi UNK UNK na bibi amina UNK
wote UNK na mawakili bwana majura magafu bwana jerome msemwa na bwana mpare mpoki
akisoma hati ya mashtaka ya watuhumiwa wakili wa serikali bwana edgar luoga alidai baada ya kughushi vyeti hivyo mwaka ishirini sifuri moja UNK kwa mwajiri wao bot na kupata ajira katika kitengo hicho
alidai ilipofika mwaka ishirini sifuri tano taasisi ya kupambana na kuzuia rushwa ilipata taarifa kutoka ndani ya benki hiyo kuwa kuna watumishi waliopata ajira kwa rushwa baada ya kughushi UNK
ilifanya upelelezi wake na kupeleka vyeti vya washitakiwa baraza la mitihani la taifa na baraza hilo kuthibitisha kwamba vyeti hivyo vilikuwa vya kughushi
mshitakiwa kwanza pili nne na sita walikiri kosa wakati wakihojiwa na polisi
hata hivyo baada ya maelezo hayo washitakiwa walikana mashitaka yanayowakabili
ofisi ya mkaguzi mkuu na mdhibiti wa hesabu za serikali imetaka serikali UNK kutumia mfumo wa kimataifa wa kudhibiti fedha za umma katika serikali za mitaa ili kuwezesha umakini zaidi wa usimamizi kama ilivyo katika serikali kuu
akizungumza dar es salaam jana katika mkutano wa nne wa kamati za hesabu za serikali kwa mabunge ya afrika mashariki msaidizi wa cag bwana athanas pius alisema kutokana na utumiaji wa mfumo wa zamani ofisi yake hushindwa kupanga kukagua na kudhibiti matumizi ya serikali za mitaa hali inayosababisha kodi nyingi inayoku...
kutokana na mtikisiko wa uchumi duniani serikali haina budi kuwa makini katika ukusanyaji wa kodi lakini katika serikali za mitaa kodi nyingi inayokusanywa inapotea
ni vigumu kuidhibiti kwani mfumo unaotumika ni wa zamani unaotumia sheria za zamani sana pia na uandaaji mbaya wa vitabu alisema bwana pius
alifafanua kuwa serikali inaweza kuimarisha ukaguzi na udhibiti wa fedha katika serikali kuu na mitaa kwa kuwa na mpango wa ununuzi wa mwaka
mpango huo UNK kuwa na nidhamu ya matumizi ya fedha
kutokuwa na mpango wa ununuzi wa mwaka husababisha matumizi yasiyo ya lazima ya fedha za serikali ama fedha kurudishwa kutokana na kushindwa kutumika
lakini iwapo tutaweza kurekebisha sheria za ununuzi tutaweza kuufanya mpango huo kufanikisha udhibiti na usimamizi wa hesabu za serikali alisisitiza bwana pius
naye mwenyekiti wa kamati ya bunge ya hesabu za serikali za mitaa bwana wilbrod slaa alieleza kuwa kamati yake wakati wa ziara iliyoifanya katika mikoa kumi na moja na halmashauri sabini na tatu za tanzania bara kuwa kamati iligundua utekelezaji wa miradi ni duni na matumizi mabaya ya fedha unaochangiwa na mfumo na sh...
mfumo unaotumika si wa kimataifa kama ilivyo katika serikali kuu kwani tunatumia mfumo wa mwaka elfu moja na mia tisa na tisini na saba pamoja na sheria ya mwaka elfu moja na mia tisa na themanini na mbili hili UNK serikali kuwa katika halmashauri zetu wapo watu wanatumia fedha katika misingi UNK wao wenyewe alisema
mkuu wa wilaya ya temeke bwana said mkumbo amejikuta katika wakati mgumu baada ya wajumbe wa nyumba kumi kumtaka kuwachukulia hatua wajumbe wanaofanya ubadhilifu katika misaada inayotolewa kwa waathirika wa milipuko ya mabomu iliyotokea hivi karibuni katika kambi ya jeshi la wananchi wa tanzania iliyopo mbagala kizuia...
pamoja na taarifa hizo kutoka kwa wasamaria wema hao mkuu huyo wa wilaya hakuonesha kujali kutatua tatizo hilo na kuwataka wajumbe hao kulimaliza wao wenyewe katika maeneo yao
kumekuwa na taarifa ya kuwepo kwa udanganyifu unaofanywa na baadhi ya wajumbe waliopewa dhamana ya kusimamia ugawaji misaada kwa waathirika hao kutokana na kuibwa kwa misaada kinyemela nyakati za usiku
tayari gazeti hili UNK juu ya habari ya kuibwa kwa misaada hiyo ambapo baadhi ya wajumbe UNK kufanyika UNK huo na hakuna hatua zozote UNK
majira ilishuhudia wajumbe hao UNK mkuu huyo wa wilaya mbele ya ofisa wa ugawaji kuwa ni kwa nini mitaa yao UNK misaada hiyo huku baadhi UNK japo madhara waliyoyapata UNK
mjumbe wa shina namba tatu bwana UNK tambi alisema anashangazwa na ugawaji unaofanywa katika hali ya ubaguzi mkubwa kwa baadhi ya wajumbe kupata misaada hiyo kirahisi huku wengi UNK
mheshimiwa mimi ni mtu mzima siwezi UNK majungu nina hoja za msingi
wakazi wangu UNK huku UNK maneno mazito kuwa nimeshindwa kazi kwamba iweje majirani zao wapatiwe misaada huku wao wakiteseka na njaa alisema bwana UNK
bwana UNK alisema maelekezo ya ugawaji yalikuwa yamepangwa kutokana na kipaumbele cha nyumba zilizoathirika zaidi pamoja na watu wasiojiweza lakini jambo hilo UNK na wajumbe wenzao kuanza kugawa kwa kujuana na kinyemela na kusababisha watu wao kuwatupia lawama kwa uzembe wa kuorodhesha majina
naye mjumbe wa shina namba ishirini bwana amir UNK alisema katika mtaa wa kibonde maji alishuhudia magari mawili UNK vyakula kinyume na utaratibu
sisi tunaweza kuwaleta wajumbe wenzetu wote wanaofanya mchezo huu lakini UNK vigumu kwani tukifanya hivyo UNK hataweza kuishi vizuri na kuzua uhasama mkubwa hivyo UNK bwana mkubwa UNK kazi hili alisema bwana UNK
akijibu malalamiko hayo bwana mkumbo alisema wanapoona hali kama hiyo watoe taarifa ngazi husika hali ambayo wajumbe hao walipingana nayo na kumtaka mkuu huyo kulifanyia kazi kwani wamepitia hatua zote na ngazi ya mwisho ni yeye
wakati huo huo hali ya wasiwasi na hofu kwa wakazi wa mbagala kuu jana iliondoka na badala yake watu wamerejea kwenye maeneo yao na kuendelea na shughuli kama kawaida
hali hiyo inatokana na misukosuko ya juzi wakati wanajeshi UNK masalia ya mabomu sabini na tano kambini hapo hatua iliyowalazimu wakazi wa hao kuzikimbia nyumba zao wakihofia kutokea kwa maafa mengine
jana majira ilishuhudia wakazi hao wakiendelea na shughuli kama kawaida huku wengine UNK wa nyumba zao wanafunzi wakiwa shuleni na maduka yakiwa wazi tofauti na ilivyokuwa juzi
wakizungumza na majira kwa nyakati tofauti wakazi hao walisema juzi walilazimika UNK makazi yao na kukimbilia mbali zaidi kutokana na hofu ya milipuko ambayo UNK ingeleta madhara
kusema kweli kama umewahi kupatwa na tatizo ni lazima utakuwa na hofu kila mara
sasa UNK UNK haya masalia ya mabomu sabini na tano wengi UNK UNK yawezekana ikatokea hitilafu kama mwanzo na UNK tena alisema mama mmoja ambaye hakutaja jina lake
mbali na watu wawili waliozirai juzi na kupelekwa hospitali ya temeke UNK kuwa hakukuwa na tukio lolote zaidi UNK wakazi hao
mganga mkuu wa hospitali ya temeke daktari asha mahita alisema juzi alipokea watu wawili bibi matilda said na bibi roseline tarimo wakazi wa mbagala kuu ambapo bibi matilda alitibiwa na kuruhusiwa na bibi roseline bado amelazwa ingawa hali yake inaendelea vizuri
katika eneo la ofisi ya kata mbagala kuu ambapo misaada imehifadhiwa jana shughuli za ugawaji wa misaada hiyo lilikuwa likiendelea vizuri japokuwa kwenye baadhi ya mitaa wakazi waliendelea UNK wajumbe wao kuwa UNK kwa udanganyifu
bwana hamza issa mwathirika nyumba ma moja mia tatu na themanini na tisa aliiambia majira kuwa shughuli hiyo UNK awali kutokana na waandikishaji kuwatambua wenye nyumba tu na kutowatambua wapangaji wanaoishi katika nyumba husika
hawa waandikishaji kutoka wilayani wakishirikiana na wajumbe wetu wa mitaa kitu walichokosea ni kuwaandikisha wenye nyumba tu
anaweza kuwa ana nyumba mia moja na sitini na tatu lakini zikawa na wakazi zaidi ya arobaini sifuri na msaada UNK kwa watu mia moja na sitini na tatu ambayo si sahihi alisema bwana issa
hata hivyo uchunguzi uliofanywa na majira ulibaini kuwa baadhi ya wajumbe wa nyumba kumi walilazimika kujiuzulu kwa kukwepa lawama na wengine kutokana na sababu ya kutojua kusoma na kuandika
pia ilibainika kuwa baadhi ya waathirika wameshindwa kupata msaada kutokana na vitendo vya kutokuwa wakweli ikiwemo kujiandikisha kwa wajumbe zaidi ya mmoja au kwenye maeneo yasiyo ya kwao
hata hivyo wakati akipokea misaada mingine jana mkuu wa mkoa wa dar es salaam bwana william lukuvi alisema watahakikisha kila mwathirika UNK na kupatiwa msaada
alisema mpaka sasa bado wana uhaba wa mahema mia moja na hamsini mablanketi mbili sifuri sifuri sifuri tani hamsini za mchele tani hamsini za unga wa UNK na UNK tani ishirini na tano huku akichukua nafasi hiyo kuwaomba wasamaria mbalimbali waendelee kujitokeza kusaidia
misaada UNK jana ni shilingi milioni kumi kutoka kampuni ya bia ya serengeti vifaa vya elimu kwa wanafunzi vyenye thamani ya shilingi milioni tano kutoka taasisi ya haki elimu vifaa vya thamani ya shilingi mia nane na sabini na tano sifuri sifuri sifuri kutoka kwa kikundi cha akina mama wa tanzania UNK future women UN...
misaada mingine ilitoka kwa wafanyabiashara wa soko la ndizi mbichi na matunda la mabibo urafiki ikiwa ni vifaa vya shilingi mia mbili na hamsini sifuri sifuri sifuri na mchele viroba kumi wenye thamani ya shilingi mia tatu na hamsini sifuri sifuri sifuri kutoka kwa mfanyabiashara wa simu bwana zahoro UNK
imeandikwa na edmund mihale edson kamukara na peter masangwa
benki ya nmb imekabidhi vifaa vya michezo vyenye thamani ya shilingi milioni kumi na moja kwa timu ya taifa ya tanzania taifa stars kwa ajili ya mchezo wa leo dhidi ya jamhuri ya kidemokrasi ya kongo
mchezo huo ambao ni wa kirafiki wa kimataifa utapigwa kwenye uwanja wa taifa dar es salaam ukiwa na lengo la kujiweka sawa kabla ya kuvaana na new zealand juni tatu mwaka huu
akizungumza wakati wa kukabidhi vifaa hivyo mkuu wa masoko na mawasiliano wa benki hiyo iman UNK alisema kwa kushirikiana na wadhamini wenzao kampuni ya bia ya serengeti wanatoa vifaa hivyo ili kuwapa motisha wachezaji
alisema kila mchezo watakuwa wakitoa jezi mpya kwa kuwa wakati mwingine wachezaji hulazimika kubadilishana jezi kwa kufanya hivyo UNK kwa wale UNK
tunatoa vifaa vya michezo kama UNK ugoko jezi za mazoezi jezi za mechi mipira na viatu ambavyo vipo thebathini kwa kila kifaa UNK na sbl na thamani yake ni shilingi milioni kumi na moja alisema UNK
naye kocha mkuu wa timu hiyo mbrazili marcio maximo aliwashukuru wadhamini hao kwa jitihada zao UNK katika kukuza soka la tanzania
alisema mchezo huo utakuwa kipimo kizuri kwa wachezaji wake chipukizi kwani timu hiyo imekuja na wachezaji mahiri ambao anaamini watatoa changamoto kwa vijana wake
yalivamia duka la fedha