text
stringlengths
1
1.32k
katika maeneo mbalimbali yenye vivutio vya utalii kama vile nungwi na maeneo ya UNK katika shehia za UNK UNK na maeneo mengine hoteli zimebaki wazi hatua UNK na vurugu hizo
mwandishi wa habari hizi alitembelea katika jumba la historia na makumbusho la unguja maarufu kama UNK el UNK na kushuhudia idadi ndogo ya watalii UNK eneo hilo tangu kuzuka kwa vurugu za UNK
mmoja wa UNK wageni ambaye pia mfanyabiashara wa bidhaa za asili bwana farouk abdillah alisema kuwa tangu kuzuka vurugu za uandikishwaji mwishoni mwa wiki iliyopita jumba hilo UNK na watu wachache tofauti na ilivyokuwa awali
alisema kabla ya shughuli ya uandikishwaji wageni wa nje waliokuwa wakitembelea katika jumba hilo walifikia thebathini hadi hamsini kwa siku na sasa idadi hiyo imeshuka kufikia watalii watano hadi kumi kwa siku
hali kama UNK tangu asubuhi wamekuja watalii wawili tu
wakati ule ungeona kundi la watalii limejaa katika jumba hili
wengi wameanza kuondoka baada ya kuibuka vurugu alisema bwana UNK
aidha alisema biashara ya bidhaa za asili UNK zinategemea watalii na kwamba tangu kuibuka vurugu hizo mauzo yake pia yameshuka kwa kiasi kikubwa
wakati wa ujio wa watalii wengi naweza kuuza bidhaa kwa wingi na kuhitaji bidhaa zaidi kutoka kwa watengenezaji lakini sasa UNK kuanzia asubuhi hadi jioni bila kuuza chochote hata hela ya kula inakosekana alisema
majira pia lilitembelea eneo la ufukwe wa bahari ya hindi ambako katika siku za awali walionekana watalii wengi UNK lakini sasa muda mwingi fukwe hizo ni tupu
na thomas dominick padri john mlekano wa kanisa la anglikana la UNK mtukufu mbagala kizuiani dar es salaam amekata alizokuwa UNK mtoto wakati wa ubatizo na kuzichoma mbele ya UNK
tukio hilo lilitokea kwenye UNK wa pasaka wakati wa ubatizo wa watoto wadogo ambapo ilipofika zamu ya mtoto janet daudi alikutwa na hirizi ambazo alikuwa amefungwa mikononi na shingoni ambazo UNK padri huyo kusimamisha ibada hiyo na UNK
mdhamini wa mtoto huyo bwana joseph UNK alisema kitendo hicho kinaonesha bado wazazi wa mtoto huyo hawajakubali na kumuamini mungu
bado wazazi hawa wanaonesha imani yao bado potofu mbele ya mungu na ni kitendo cha UNK mbele ya waumini wote
wanatakiwa kushika imani sana na nitawaambia wasirudie tena kumfunga uchafu ule alisema bwana UNK
wazazi wa mtoto huyo hawakuweza kupatikana mara moja kwa vile waliondoka kabla ya ibada kuisha kitendo kilichotafsiriwa kuona aibu kwa kile kilichotokea kanisani humo
naye padri mlekano alisema bado kuna wakristo ambao UNK imani potofu kwa kuwafunga hirizi watoto wao kwa ajili ya kuwakinga kwa vile wanawaamini waganga wa jadi
inawabidi wakristo wamuamini mungu na mwanae yesu hao ndio walinzi wao wa kila siku na hakuna mlinzi mwingine ambaye anaweza kuwalinda kama yupo basi ni batili alisema padri UNK
aliongeza kuwa nililazimika kusimamisha ibada kwa sababu hauwezi UNK huku akiwa amefungwa hirizi na kama UNK ubatizo huo mungu UNK kwa sababu yupo mwingine ambaye walikuwa UNK alisema
alisema kama mkristo hapaswi kuchanganya mambo mawili kwa wakati mmoja yaani mungu na imani potofu za kishirikina kwa kufanya hiyo ni UNK mungu
alitoa mwito kwa waumini wenye imani kama hizo UNK nazo mara moja na UNK mungu kwa nguvu zao zote na kwa uwezo wao ili UNK kupitia kwake
UNK waliopiga kura ishirini sifuri tano kulikoni kukosa haki hiyo leo
nyumba ya kamanda wa polisi UNK UNK
yadai kinachoendelea pemba ni mazoezi ya kijeshi si kulinda amani chama cha wananchi kimeandaa maandamano makubwa kupinga tume ya uchaguzi ya zanzibar kwa madai kwamba tume hiyo si huru na imeshindwa kutenda haki
akizungumza dar es salam jana katibu mkuu wa chama hicho maalim seif sharif hamad alisema zec na idara ya uandikishaji daftari la kudumu la wapiga kura wanashirikiana kuendesha hujuma dhidi ya chama hicho
maalim seif alisema kinachoendelea visiwani humo si uboreshaji wa daftari bali uandikishaji mpya kwani watu UNK vigezo vya kuandikishwa mwaka ishirini sifuri tano sasa wamekosa vigezo hivyo
alisema shughuli ya uandikishaji katika daftari imegeuka kuwa zoezi la kijeshi ambapo silaha nzito vikiwemo vifaru mabomu ya machozi pamoja na magari ya maji ya kuwasha vinatumika kutisha wananchi
hatua hiyo ya serikali kutumia vyombo vya dola haina tofauti na zinazochukuliwa na viongozi UNK kuwanyamazisha wanachi wanaopinga dhuluma na unyanyasaji dhidi yao alisema
alidai idara ya uandikishaji wa daftari na vyombo vya dola zinafanya kazi chini ya chama tawala kupandikiza mamluki toka bara ili kuhakikisha ccm inapata ushindi haramu
watu kadhaa wamepigwa kuwekwa ndani na kuchomewa nyumba zao wakiwemo wanawake wajawazito nyumba kadhaa zimeungua moto kutokana na fukuto la mabomu ya machozi
alimtaka amiri jeshi mkuu rais jakaya kikwete kuacha kuruhusu vikosi vyake kutesa raia wasio na hatia UNK haki yao ya msingi ya kupiga kura
cuf inalaani matumizi yote ya nguvu kutoka kwa mtu yeyote na inawataka wanachama na wazanzibari wote kwa ujumla kuendelea kuwa watulivu na UNK vitendo vya UNK badala yake waendelee kudai haki zao kwa njia za amani na utulivu alisema
maalim alitoa mwito kwa zec kusitisha shughuli ya uandikishaji hadi hapo wananchi wote wenye sifa watakapo UNK vitambulisho vya mzanzibari mkaazi ili waweze kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura
naye mkuu wa idara ya mambo ya nje na uhusiano wa kimataifa wa cuf bwana ismail UNK alisema kinachoendelea zanzibar ni uharibifu na uporaji mkubwa wa haki ya wazanzibari kuchagua na kuweka madarakani viongozi UNK
naye ali suleiman kutoka zanzibar anaripoti kuwa kamanda ya kamanda wa polisi mkoa wa kaskazini pemba bwana yahya rashid bugi UNK kuteketea baada ya watu wasiojulikana kuchoma moto usiku wa kuamkia jana eneo la UNK mjini hapa
moto huo ulizimwa na majirani kabla UNK madhara
inasadikiwa watu hao UNK petroli kwa nia ya kuteketeza nyumba hiyo
kamanda wa polisi mkoa wa mjini magharibi bwana khatib bakari shaaban alithibitisha kutokea tukio hilo na kusema uchunguzi unaendelea kusaka waliofanya kitendo hicho
watu wasiojulikana walijaribu kuchoma moto nyumba ya kamanda wa polisi mkoa wa kaskazini pemba usiku
tunaendelea kufanya uchunguzi kujua chanzo cha tukio hilo alisema
alisema ni mapema mno kubaini kama tukio hilo linahusiana na mambo ya kisiasa au ni hujuma
hata hivyo inasadikiwa kwamba tukio hilo UNK na mambo ya kisiasa zaidi hususan uandikishaji daftari la kudumu la wapigakura unaoendelea unguja na pemba
kamanda bugi amekuwa UNK kulinda amani mkoa wa kaskazini pemba katika uandikishaji daftari na kadi za vitambulisho vya mzanzibari mkaazi amekuwa UNK vikali na baadhi ya wafuasi wa chama cha wananchi pemba ambao wamekuwa wakisababisha vurugu katika shughuli hiyo na kusababisha isitishwe kwa wiki nne
chuki na uhasama zimeanza kujitokeza unguja na pemba kuelekea uchaguzi mkuu mwakani hali inayotishia amani katika shughuli hiyo
uongozi wa klabu ya simba UNK wachezaji wake ulimboka mwakingwe na UNK nyanda huku wakipewa onyo kutorudia tena kufanya makosa hayo
wachezaji hao walifungiwa na kamati ya utendaji ya klabu hiyo baada ya kugundulika wanachochea mgomo wa mazoezi wakati timu hiyo ikijiandaa na ligi kuu tanzania
kwa mujibu wa chanzo cha habari kutoka ndani ya kamati ya nidhamu ya klabu hiyo wachezaji hao wameachiwa kwa masharti ya kutorudia utovu wa nidhamu
kamati hiyo ambayo ilikutana juzi jijini dar es salaam kwa lengo la kuwasikiliza wachezaji hao iliamua kuwafungulia ili kukiongezea nguvu kikosi cha timu hiyo katika ligi kuu
chanzo hicho kilisema kuwa baada ya kuwasikiliza wachezaji hao iligundulika kweli walifanya makosa lakini kwa kuwa tayari UNK nje ya uwanja kwa muda mrefu ndiyo maana ikaamuliwa UNK
UNK ilibidi itumike kuwasamehe wachezaji hao kwani wamekaa nje kwa muda mrefu ambao kimsingi watakuwa wamejirekebisha kwani kwa mchezaji kusimamishwa hata wiki ni adhabu kilisema chanzo hicho
chanzo hicho kiliendelea kusema kuwa taarifa ya kuwasamehe wachezaji hao itawakilishwa katika kamati ya utendaji ambayo itawapa taarifa wachezaji hao kujiunga na wenzao
tangu kusimamishwa kwa wachezaji hao hadi sasa inakaribia kufikia mwezi mmoja hivyo kuwafanya wachezaji hao kushindwa kucheza mchezo hata wowote katika ligi hiyo
mamlaka ya mapato tanzania imefunga kifaa UNK kiitwacho UNK kwa kila yadi na ofisi zote za forodha UNK kuonesha gari au mzigo UNK na kutoka pia kilichomo ndani ya gari
hayo yalisemwa dar es salaam juzi na naibu kamishna idara ya forodha bibi UNK bateyunga katika semina ya siku moja kwa wafanyakazi wa forodha na wafabiashara wanaomiliki yadi za magari na mizigo
hatua hiyo UNK wafanyakazi wawili wanaodaiwa kushirikiana na mawakala kufanya udanganyifu hivi karibuni UNK na kusababisha upotevu mkubwa wa fedha na mizigo ya wafanyabiashara
bibi bateyunga alisema kuwa baada ya kubainika walifukuzwa kazi ambapo mawakala wanane wamefungiwa yadi zao huku wafanyakazi kumi na saba UNK kwa uchunguzi zaidi
jeshi la polisi mkoani pwani linamshikilia bwana frank maganga kwa tuhuma za kumchinja aliyekuwa mkewe bibi joyce jeremia kutokana na wivu wa mapenzi
kamanda wa polisi mkoa wa pwani bwana absalom mwakyoma alisema tukio hilo lilitokea septemba kumi na tano mwaka huu saa kumi alfajiri katika kijiji cha UNK wilayani kibaha
kamanda mwakyoma alisema kuwa siku ya tukio mtuhumiwa UNK nyumbani kwa marehemu na kumchinja kwa panga na kusabisha kifo hicho
alisema baada ya kumshambulia watoto wa marehemu walipiga kelele hali iliyowafanya majirani kufika na kumkamata mtuhumiwa na kuwaita polisi waliofika na kumpeleka mahabusu
chanzo cha kumuua ni wivu wa mapenzi lakini hata hivyo watu hao walikuwa UNK kwa sababu ambazo UNK lakini ni jambo la kusikitisha alisema kamanda UNK
alisema mtuhumiwa anatarajiwa kufikishwa mahakamani uchunguzi utakapokamilika
chama cha mapinduzi kata ya kitangiri manispaa ya shinyanga kimepata pigo baada ya wanachama wake mia moja na kumi kurejesha kadi huku wakitishia kujiunga na chadema kwa kile walichodai kupinga upendeleo kwenye upigaji wa kura za maoni katika mtaa wa kitangiri a wakizungumza na majira juzi wanachama hao walisema wamec...
hatua hiyo inafuatia uchaguzi wa kura za maoni katika mtaa huo wenye matawi matatu kurejewa mara mbili baada ya mwenyekiti wake wa zamani bwana nyerere moris kukata rufaa akipinga matokeo ya kura hizo baada ya kushindwa na bwana UNK UNK
mmoja wa wanachama hao ambaye hakupenda kutajwa gazetini alisema hatua yao ya kurejesha kadi za ccm ni kuonesha jinsi UNK na kitendo cha wasimamizi wa uchaguzi katika mtaa wao walionesha wazi kuwa walikwenda katika uchaguzi huo wakiwa na jina la mtu wanayemtaka awe mwenyekiti
mwanachama huyo alifafanua kuwa katika uchaguzi wa awali mwenyekiti wao wa zamani aliangushwa hivyo alikata rufaa akipinga matokeo hayo ambapo ilikubalika kuwa uchaguzi UNK lakini wanachama wa tawi moja UNK katika uchaguzi huo wa marudio na matawi mawili pekee ndiyo UNK UNK
hata hivyo katika uchaguzi huo wa marudio bwana nyerere aliangushwa tena na bwana makoye kuongoza kwa mara ya pili lakini katika hali ya kushangaza wasimamizi walichukua matokeo ya awali ya tawi ambalo UNK kupiga kura na UNK na ya uchaguzi wa pili kitendo UNK na wanachama hao
kwa upande wake bwana makoye alikiri kuwepo tukio hilo na kurejeshwa kadi hizo na kwamba kati ya wanachama UNK wamo wenyeviti wa mashina UNK kumi na wajumbe wa kamati ya siasa ya tawi hata hivyo alisema wanachama hao UNK watajiunga na chama kipi cha upinzani
naye katibu wa ccm wa wilaya ya shinyanga mjini bwana shukuru rajabu alikiri kuwepo tukio la wanachama hao kurejesha kadi zao lakini alisema tayari diwani wa kata ya kitangiri bibi mary UNK UNK kwa kurekebisha kasoro zilizojitokeza na kuwasihi wanachama hao kurudi ndani ya chama
ni kweli wanachama wetu hao UNK kadi zao wakipinga kitendo cha kuwepo mizengwe katika upigaji kura za maoni katika mtaa wao lakini diwani wetu ameingilia kati tatizo hilo na UNK wasichukue uamuzi UNK kuuchukua na leo wanasubiri matokeo ya kikao cha uteuzi ili kuona ni hatua zipi watachukua alieleza bwana rajabu
naye UNK kapinga kutoka songea anaripoti kuwa wanachama wa ccm wa mtaa wa ccm songea mjini wametishia UNK chama hicho na kujiunga na chadema kwa madai kuwa viongozi wa ccm wilaya wamekuwa UNK taratibu na kanuni za chama kwenye uchaguzi wa kura za maoni
wakizungumza na waandishi wa habari kwa nyakati tofauti kwenye maeneo mbalimbali ya mtaa huo wananchama hao walidai kusikitishwa na mazingira UNK kwenye uchaguzi huo ambapo uongozi wa ccm umeonesha wazi kwamba kulikuwa na chuki binafsi na mizengwe iliyofanywa na baadhi wa chama hicho
baadhi ya wanachama bwana mustapha hassani na bibi aisha selemani ambao ni wafanyabiashara wa soko kuu la songea mjini waliwaeleza walitaka hekima itumike zaidi kwa viongozi wa wilaya wakati wa uchaguzi
serikali kwa ushirikiano na benki ya dunia imezindua mradi wa usimamizi endelevu wa rasilimali ya madini UNK kurasimisha sekta ya uchimbaji mkubwa na mdogo wa madini
akizindua mradi huo dar es salaam jana kwa niaba ya waziri wa fedha na uchumi katibu mkuu wa wizara hiyo bwana ramadhan khijjah alisema mradi huu unalenga kusaidia kupunguza umasikini kwa kukuza kipato UNK na shughuli za uchimbaji mdogo wa madini
bwana khijjah alisema mradi huo pia UNK na kuboresha matumizi ya teknolojia kwa wachimbaji wadogo kupunguza athari kwa mazingira na jamii UNK kuongeza kiwango cha madini UNK thamani nchini
serikali imekuwa ikipoteza pato la taifa kwa kuuza madini ghafi kupitia mradi huu tunatarajia kufungua viwanda vya kusafisha madini ili UNK thamani katika soko kabla ya UNK alisema
naye katibu mkuu wizara ya nishati na madini bwana arthur mwakapugi alisema mradi huo ni mwendelezo wa mageuzi katika sekta ya madini kufuati utekelezaji wa mradi wa kuendeleza sekta ya madini pamoja na sera mpya ya madini iliyopitishwa na serikali julai mwaka huu
idara ya kazi madini UNK ya kukagua madini yote lazima tujue madini kiasi gani yamepatikana na thamani yake na sisi kama nchi tunapata nini kwa hiyo mradi huu utaleta uwazi na utawala bora katika sekta ya madini alisema
alisema katika utekelezaji wa mradi wizara imeainisha wadau washiriki kuwa ni pamoja na wizara na serikali za mitaa taasisi za ufundi taasisi za fedha washirika wa maendeleo kampuni na vyama vya wachimbaji asasi za kimataifa vyombo vya habari pamoja na watoa huduma wa ndani na nje
idadi ya mashahidi upande wa mashitaka wanaotarajiwa kutoa ushahidi katika kesi ya kuiingizia hasara serikali inayowakabili mawaziri waandamizi wa serikali ya awamu ya tatu bwana basil mramba wa fedha na bwana daniel yona itatajwa jumanne wiki ijayo
hatua ya kutajwa mashahidi hao UNK na upande wa mashitaka baada ya kuchambua ni wapi wanaostahili kufika mahakamani hapo na kutoa ushahidi kuhusu tuhuma za washitakiwa hao
hatua hiyo ilijulikana jana katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu mbele ya jopo la mahakimu bwana saul kinemela bwana john utamwa na bwana sam rumanyika baada ya kumalizika kusomwa maelezo ya awali ya washitakiwa hao
upande wa mashitaka uliowakilishwa na wakili mkuu wa serikali bwana stanslaus boniface uliiomba mahakama kutoa muda ili upande huo uweze kuchambua mashahidi ambao wataweza kuthibitisha mambo yaliyobishaniwa na upande wa utetezi katika hatua ya usomwaji wa maelezo ya awali
tunaomba muda ili UNK mashahidi wetu orodha tuliyokuwa nayo hapa ni mashahidi ishirini na tano lakini kutokana na baadhi ya mambo kutokuwa na ubishani tuna haja ya UNK ili tuone ni mambo gani yanayohitaji mashahidi pamoja na vielelezo alisema bwana boniface
kabla ya hatua hiyo washitakiwa walitakiwa kuieleza mahakama ni mambo gani UNK kati ya maelezo UNK na upande wa mashitaka mahakamani hapo
kwa upande wa bwana mramba aliieleza mahakama kuwa mambo UNK ni pamoja na kuwa na wadhifa wa juu serikali kati ya mwaka ishirini sifuri mbili hadi ishirini sifuri tano kuombwa ruhusa ya kusaini hati ya makubaliano kati ya serikali na kampuni ya alex UNK na aliyekuwa gavana wa benki kuu ya tanzania bwana daud balali
mbali na hayo pia alikiri kuhojiwa na taasisi ya kupambana na kuzuia rushwa ambapo alitoa maelezo kuhusiana na tuhuma hizo
kwa upande wa bwana yona alikiri kuwahi kuwa waziri wa nishati na madini pamoja na kuhojiwa na takukuru na kwa upande wa mshitakiwa wa tatu bwana gray mgonja alikiri kuwa katibu mkuu wa fedha na uchumi
baada ya kumalizika kwa hatua hiyo upande wa mashitaka ulitakiwa kutoa idadi ya mashahidi na vielelezo ambavyo wanatarajia kuvitumia kuthibitisha kesi yao lakini kutokana na baadhi ya mambo UNK upande huo uliomba muda ili uweze UNK
kesi itaendelea septemba ishirini na mbili mwaka huu
washitakiwa wote kwa pamoja wanadaiwa kusababisha hasara ya shilingi bilioni kumi na moja saba kutokana na kuidhinisha matangazo ya serikali ambayo yalitoa msamaha wa kodi kwa kampuni ya alex stewart kinyume na ushauri uliokuwa umetolewa na wataalam mbalimbali ambao walipinga kuwa kampuni hiyo haikustahili msamaha huo...
baadhi ya wakazi wa eneo la kipawa ilala dar es salaam wanaohamishwa kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius nyerere wanatuhumiwa kutaka kuhujumu uwanja huo na kuchoma moto nyumba ya mwenyekiti wa serikali ya mtaa huo bwana juma UNK
kamanda wa polisi mkoa ilala bwana faustine shilogile aliwaambia waandishi wa habari dar es salaam jana kuwa watu hao ni miongoni mwa wanaodai fidia na polisi wanaendesha msako dhidi yao
alisema juzi UNK mwenyekiti wa kamati ya wenye nyumba wanaodai fidia hizo bwana magnus mulisa ambaye alihojiwa na kuachiwa kwa dhamana
tutahakikisha UNK wote waliotoa vitisho hivyo kwa kuwa tunao mashahidi UNK ambao walisikia baadhi yao wakitoa vitisho hivyo katika mikusanyiko UNK alisema bwana UNK
aliongeza kuwa UNK la hujuma dhidi ya uwanja huo limefunguliwa kituo cha polisi msimbazi na lile la kutaka kuchoma moto nyumba ya mwenyekiti wa serikali ya mtaa limefunguliwa kituo cha polisi UNK
alisema wakazi hao septemba kumi na nne mwaka huu walikusanyika ofisi za mkuu wa wilaya ilala bwana evans balama kushinikiza kulipwa fidia zao kwa kutumia sheria mpya ya mwaka elfu moja na mia tisa na tisini na tisa badala ya ile iliyotangazwa na serikali ya mwaka elfu moja na mia tisa na sitini na saba bwana shilogil...
aliwataka wakazi hao kuacha kufanya mikusanyiko isiyo halali na kutishia kuandamana kwenda ikulu kwani upande wa usalama hautasita kuchukua hatua kali dhidi yao pindi UNK sheria
alisema polisi inatarajiwa kukamilisha msako huo wiki ijayo na wote UNK kuhusika watafikishwa mahakamini kujibu tuhuma zinazowakabili