text stringlengths 1 1.32k |
|---|
habari toka ndani ya ccm zilisema sherehe hizo zilipangwa kufanyika katika mji huo yalipo makao ya jimbo lakini baadaye walilazimika kubadilisha kufanyikia katika kijiji cha UNK |
akizungumzia matokeo hayo mwenyekiti wa tanzania labour party bwana augustino mrema alisema ushindi wa ccm umedhihirisha jinsi chama hicho kilivyo na nguvu |
ccm ni chama dola kina nguvu kubwa kuliko watu wengine wanavyofikiri alisema bwana mrema UNK gazeti hili kwa njia ya simu na kuufananisha na UNK |
alisema wakati umefika sasa kwa vyama vya upinzania kurudi nyuma na kuangalia ni kitu gani kinasababisha UNK |
hata vitani jeshi UNK UNK nyuma kujipanga na kisha kuanza kusonga mbele na sisi UNK tufanye hivyo alisema |
kilichotokea busanda ni tsunami kuna haja ya sisi wapinzani kuangalia sera zetu maneno yetu ili tuweze kujua kama watu UNK alisema |
alisema ccm sio chama cha kuchezea kwani ndicho UNK na kumfikisha hapo alipo kwa sasa |
mwaka elfu moja na mia tisa na tisini na tano nilipata kura milioni moja nane na wabunge kumi na tisa lakini walinishughulikia hadi UNK hapa nilipo alisema |
alisema vyama vya upinzani vimekuwa UNK yeye kuwa ni kibaraka ndio maana hata busanda UNK mguu lakini ccm imeendelea kushinda |
alipoulizwa kama matokeo ya busanda yanampa nguvu na matumaini ya kushinda uchaguzi mdogo wa jimbo la biharamulo magharibi unaotarajia kufanyika hivi karibuni kuziba nafasi ya aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya tlp marehemu phares kabuye bwana mrema alisema kilichotokea busanda ni tsunami kama chadema wamepi... |
hata hivyo alisema amejiandaa kukabiliana na chama hicho kwa sababu mbinu zote za ccm UNK |
kwa upande wake mkuu wa kitengo cha propaganda cha ccm bwana tambwe hiza alisema ushindi wa chama chake UNK |
unajua chadema wameanza kufanana na cuf kwa kuwa na watoto wengi wanaopiga kelele mijini wakati hawana lolote alisema |
sasa tunawasubiri kwenye uchaguzi wa biharamulo magharibi tutawapiga hadi mungu UNK huruma alitamba bwana hiza |
kwa upande wake mkurugenzi wa siasa wa cuf bwana UNK UNK ambaye kura za chama chake katika uchaguzi huo UNK kutoka thebathini na sita sifuri sifuri sifuri za mwaka ishirini sifuri tano hadi kufikia mia mbili na sabini na moja alisema wanatarajia kukutana ndani ya siku mbili kufanya tathimini ya kilichotokea |
alikiri kura za mgombea wa chama hicho UNK na kuahidi kuwa chama hicho UNK matokeo ya tathmini hiyo |
kuhusiana na UNK |
wakati huo huo mwanasiasa mkongwe nchini na mbunge wa kuteuliwa bwana kingunge ngombale mwiru ameibuka na kusema siri ya kushindwa chadema ni UNK na kukosa mashina na matawi vijijini |
akizungumza na majira dar es salaam jana bwana kingunge alisema chama hicho kimeshindwa kuwafikia wananchi wengi vijijini na kujikita zaidi mijini |
ndugu zangu UNK na wamejikita zaidi mijini wameridhika na watu wa mjini lakini UNK watu wa vijijini alisema bwana UNK |
alisema chama hicho kimekuwa UNK watu wengi wanaofika katika mikutano yake lakini watu hao wamekuwa wakihudhuria katika mikutano hiyo na UNK yale yanayozungumzwa baada ya kukosa wahamasishaji katika ngazi za mashina au UNK |
bwana kingunge alisema akiwa katika kikao cha bunge mwaka ishirini sifuri tano mjini dodoma aliwahi kukaa na kuwasihi viongozi wa vyama vya upinzani kuwa wanatakiwa kujenga vyama vyao kuanzia katika ngazi za mashina ili viweze kuwa imara katika kila idara |
alisema katika ushauri aliotoa kwa vyama hivyo ni chama kimoja tu cuf kilifuata ushauri huo na kufanikiwa kuwafikia wananchi katika ngazi za mashina na hatimaye matawi na sasa kimekuwa na nguvu zaidi katika upande wa tanzania visiwani |
bwana kingunge ambaye UNK mkubwa ndani ya ccm alisema sababu nyingine ya kushidwa kwa wapinzani katika uchaguzi huo ni uwezo mdogo wa wagombea wao kulinganisha na wa ccm alisema hata hivyo chama chake kimeona kasoro zilizojitokeza katika uchaguzi huo na kuahidi kuzifanyia marekebisho katika uchaguzi mwaka ishirini moj... |
majira lilipata taarifa za kulipuliwa mabomu hayo jana baada ya askari wawili wa jwtz kufika kituo cha polisi cha temeke UNK kuomba kibali kwa ajili ya shughuli hiyo kwa kamanda wa polisi mkoa wa temeke bwana liberatus UNK |
baada ya kufika kituoni hapo ambapo mwandishi wa habari hizi hizi alikuwepo askari hao waliwasilisha nyaraka kwa kamanda sabas sambamba na kumweleza ombi la kupata kibali cha kulipua mabomu hayo leo na kuomba polisi kwenda kusimamia usalama wakati wa zoezi hilo |
bwana sabas aliruhusu kufanyika shughuli hiyo na kuwahakikishia kuwa askari hao UNK |
hata hivyo majira liligundua mazungumzo kati ya kamanda huyo na askari hao yalionesha kuwa ratiba ya ulipuaji mabomu hayo haikuwa ngeni kwao na walikwenda hapo kukamilisha taratibu tu |
bwana sabas katika mazungumzo yake na askari hao alisema kazi ya kulipua mabomu hayo leo si kubwa na itachukua muda mfupi kulinganisha na zilizotangulia |
mlipuko wa mabomu katika kambi hiyo ulitokea aprili ishirini na tisa ambapo watu wapatao ishirini na saba wakiwemo wanajeshi sita walipoteza maisha |
mbali na vifo hivyo milipuko hiyo ilisababisha nyumba nyingi eneo hilo kuanguka na kuwaacha mamia ya wananchi UNK kwenye UNK |
na waandishi wetu dodoma na dar makamu mwenyekiti mstaafu wa chama cha mapinduzi bwana john malecela UNK kama shujaa wa vita baada ya kuwasili mjini dodoma akitokea busanda mkoani mwanza UNK mapambano ya kampeni yaliyompa ushindi mkubwa mgombea wa chama hicho bibi lolensia bukwimba |
mamia ya wanaccm UNK bwana malecela jana saa tisa alasiri kilomita kumi nje ya manispaa ya dodoma na baadaye msafara huo kuelekea nyumbani kwake kujipumzisha huku wakiimba nyimbo za ushindi |
kabla ya msafara huo kuanza safari wanaccm hao wakiongozwa na mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi mkoa wa dodoma bwana UNK UNK walimvika mgolole na shada la maua kutokana na ushujaa UNK busanda |
UNK mgolole na shada la maua kama shujaa na UNK UNK vita kwani tunaelewa kazi haikuwa ndogo kama UNK ndio maana UNK hapa tuje UNK kama ishara ya kuthamini mchango wako alisema bwana UNK |
kabla ya hapo pia walimpokea mjumbe wa halmashauri kuu ya ccm na mbunge wa same mashariki bibi anne kilango malecela saa nane mchana akitokea dar es salaam ambaye naye alikuwa mmoja wa wanaccm walioongoza mapambano hayo |
akizungumza na wanaccm hao bwana malecela alisema alimwambia mwenyekiti wa chadema bwana freeman mbowe kuwa hata siku moja ndege haileti ushindi vitani kwa kuwa inapiga na kuondoka ambapo yeye anaogopa vita ya ardhini |
ndege ya vita UNK nchi |
kama ndege UNK nchi basi marekani wangeshinda vita na vietnam kwa kuwa walikuwa na ndege inaitwa b hamsini na mbili ambayo UNK ilikuwa na injini nane inapiga mabomu futi sitini sifuri sifuri sifuri kutoka ardhini lakini hawakushinda vita ile alisema bwana malecela |
alisema hata kama bwana mbowe UNK helikopta kumi bado asingeweza kushinda kwa kuwa hana mtandao wa chama kuanzia ngazi ya nyumba kumi mashina matawi wilaya wala mkoa ambapo huo ndio msingi kwa chama kinachotaka kuongoza nchi |
bwana malecela aliwataka wanaccm wasibweteke bali UNK chama chao kwani alama za nyakati zinaonesha kuwa wanapaswa kuwa makini kwa chaguzi ndogo na ule mkuu mwakani |
akizungumza na waandishi wa habari nyumbani kwake bwana malecela alisema anashangazwa na kitendo cha chadema kukataa matokeo ya uchaguzi huo na kusema UNK ni fedha nyingi UNK kwa matumizi ya helikopta na kushindwa |
alisema kitendo cha chadema kukataa matokeo si cha kushangaza kwa kuwa hata cuf walikataa matokeo ya uchaguzi wa urais na kutomtambua rais amani karume wa zanzibar |
katika uchaguzi huo mdogo wa jimbo la busanda bibi bukwimba aliibuka mshindi baada ya kupata kura ishirini na tisa mia mbili na arobaini na mbili mgombea wa chadema bwana finias magesa alipata kura ishirini na mbili mia saba na ishirini na nane mgombea wa cuf bwana oscar ndalahwa kura mia sita na sabini na saba na mgo... |
akizungumza na waandishi wa habari jana dar es salaam bibi sitta alisema amefurahishwa sana na ushindi huo kwani inaonesha kuwa ni jinsi gani wanawake wanaweza kushika nyadhifa katika sekta mbalimbali |
pongezi hizo zimekuja baada ya uchaguzi wa mwakilishi jimbo la magogoni zanzibar uliofanyika mei ishirini na tatu ambapo ambapo bibi asha mohamed aliibuka mshindi katika kiti hicho kwa tiketi ya ccm na ule wa busanda ambapo mgombea mwingine mwanamke wa ccm bukwimba alishinda |
bibi sitta alisema ushindi huo ni changamoto kwa wanawake kote nchini kuwa mstari wa mbele kujitokeza kugombea nafasi za uongozi zinapotokea bila kujali nafasi hizo zipo katika nyadhifa gani wanawake tupo wengi sana katika nchi yetu kuliko UNK hivyo jitokezeni kwa wingi kugombea nyadhifa msiogope ili tuweze kushirikia... |
waziri sitta aliwapongeza wanawake wote waliojitokeza kuwapigia kura wanawake wenzao bila kujali wanatoka chama kipi pia aliwapongeza mwanamke aliyegombea kupitia udp bibi beatrice lubambe ambaye hata hivyo UNK jimboni busanda |
nawapongeza sana wanawake wote walioshiriki katika kugombea nafasi hiyo hata kama wanatoka katika kambi ya upinzani pamoja na kwamba hawakushinda wasife moyo ipo siku watashinda nawasihi UNK hapo wasonge mbele alisema |
taarifa hii imeandaliwa na yusuph musa flora amon shukurani kawogo na mercy james baadhi ya kundi la wahamiaji haramu waliokamatwa wakati wa msako wa polisi wakiwa katika kituo cha polisi changgombe ambako walikuwa wamehifadhiwa baada ya kukamatwa dar es salaam jana |
chiligati akiri ccm UNK mijini |
cheyo hajui idadi ya kura za udp na waandishi wetu busanda na dar es salaam chama cha demokrasia na maendeleo kimetoa sababu zilizosababisha kubwagwa kwenye uchaguzi mdogo wa jimbo la busanda na kuelekeza mzigo wa lawama kwa tume ya taifa ya uchaguzi kuwa inaibeba ccm hata hivyo chama hicho kimesema UNK mbinu zinazotu... |
hayo yalisemwa na katibu mkuu wa chadema daktari wilbroad slaa alipozungumza na gazeti hili jana kwa njia ya simu akiwa mjini busanda |
alisema ushindi wa ccm una uhusiano mkubwa na vitendo vilivyokuwa vikifanywa na makada wa chama hicho kwa kununua na kuorodhesha shahada za UNK kura |
daktari slaa alisema kibaya zaidi nchi UNK kufuata sheria badala yake wananchi wa jimbo la busanda walijikuta UNK kwa kupewa hongo ya chumvi nguo na fedha |
ccm inatumia elimu duni ya watanzania kuwarubuni alisema na kusisitiza watanzania wana umasikini mkubwa na ccm inatumia mwanya huo kuwafanya washindwe kuchagua manufaa ya muda mrefu badala yake UNK ya muda mfupi |
alitaja sababu nyingine iliyosababisha chama hicho kushindwa kuwa ni kuruhusiwa kwa waziri wa mambo ya ndani bwana lawrence masha kuingia kwenye vituo vya kupigia kura wakati sheria haimpi mamlaka hayo |
nec inaibeba ccm kwa sura zote ndio maana chama hicho kinaendelea kushinda alilalamika daktari slaa na kuongeza kuwa pamoja na nec kuibeba ccm chama chake kinaelekeza nguvu zote biharamulo magharibi ambapo utafanyika uchaguzi mdogo wa kuziba nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa mbunge wake marehemu phares kabuye |
tunakwenda biharamulo na nguvu ya ziada kwani tumejifunza na tutaweka mtandao kuanzia chini kabisa alisema na kuongeza kuwa kazi inayofanywa na chama chake kwa sasa ni kutafuta mgombea UNK |
alisema timu yote ya maofisa na wakurugenzi wa chadema waliokuwa wamejichimbia busanda wote UNK kambi biharamulo pamoja na magari yote waliyokuwa nayo |
kwa upande wake mwenyekiti wa cuf profesa ibrahim lipumba alipoulizwa kuhusiana sababu ya chama hicho kushindwa vibaya kwenye uchaguzi huo alisema wanatarajia kutoa taarifa rasmi wakati wowote kuanzia leo |
gazeti hili UNK zaidi sababu ya kura za chama hicho UNK kutoka thebathini na sita sifuri sifuri sifuri ambazo mgombea ubunge wa cuf alipata mwaka ishirini sifuri tano katika jimbo la busanda hadi kufikia mia sita na sabini na saba profesa lipumba alikataa katakata kuzungumzia hilo akisisitiza kuwa kuna taarifa rasmi a... |
kwa upande wake profesa abdallah saffari ambaye katika uchaguzi mkuu wa cuf uliopita aligombea na profesa lipumba nafasi ya uenyekiti na kushindwa alisema amefurahishwa na chama chake hicho kushindwa vibaya |
niliwaambia kuwa pale hakuna uongozi UNK |
wakati nadharia yangu ilikuwa kweli |
nilisema UNK UNK siku moja lakini wao wataendelea kulia maisha yao yote alisisitiza profesa saffari |
alisema cuf itaendelea kupoteza umaarufu kila kukicha kwa sababu uwezo wa kuongoza wa profesa lipumba na katibu mkuu wake maalim seif sharif hamad UNK kikomo |
pale hakuna kitu |
hakuna cha maalim seif wala profesa lipumba alisisitiza na kuongeza kwamba wamebaki kusimamisha wagombea kwa ajili ya UNK demokrasia lakini sio kwa ajili ya kushinda |
mwenyekiti wa united democratic party bwana john cheyo alipoulizwa kuhusiana na chama chake kufanya vibaya alikataa kuzungumzia matokeo akidai UNK kura za mgombea wake |
UNK na mwandishi wa habari hizi kuwa chama chake kimepata kura mia tatu na themanini alijibu wewe ndiye unaniambia hivyo wengine wameniambia tumepata kura zaidi ya moja sifuri sifuri sifuri kwa hiyo siwezi kutoa maoni yangu hasa ukizingatia kuwa kwa sasa nipo afrika kusini kwenye mkutano kwa hiyo sijui kinachoendelea ... |
alisema mfumo wa vyama vingi kwa nchi za afrika umeanza karibuni hivyo vyama vingi UNK |
daktari slaa UNK matokeo ya busanda kwa sababu UNK kisiasa mbona sisi UNK tarime UNK kushindwa |
alihoji bwana chiligati |
alipoulizwa ni kwa nini mwelekeo wa sasa unaonesha ccm kutokubali maeneo ya mijini kama ilivyo vijijini hali inayosababisha chama hicho kupata kura kidogo bwana chiligati alikiri hilo na kusema ccm inatekeleza ilani yake kwa kiwango sawa maeneo ya mijini na vijijini lakini mijini mahitaji yao ni makubwa |
watu wa mijini wanataka maisha bora wakati hawataki kufanyakazi unakuta mtu anaamka asubuhi na kuanza kucheza huku akisubiri maisha bora |
alisema ccm kupata kura kidogo maeneo ya mijini ni changamoto ambayo viongozi wa ccm UNK na inafanyiwa kazi |
alipoulizwa ni kwa nini ccm ilimuacha mgombea aliyekuwa UNK zaidi katika jimbo la busanda wakati wa kura za maoni za chama UNK bwana donald UNK aliyeshika nafasi ya pili na kumpitisha bibi bibi lolensia bukwimba ambaye pamoja na kuongoza alikuwa UNK kwa kutoa takrima kwa wagombea alijibu ni kweli aliyeshika namba mbil... |
unajua UNK akina mama unakuwa umesaidia jamii alisema bwana chiligati |
hii si mara ya kwanza kwa ccm kufanya maamuzi ya ku risk jimbo UNK kufanya hivyo kwa lucy na tatu ambao kwenye kura za maoni kwenye majimbo yao walikuwa wameshika nafasi ya tatu |
tunachukua risk kusaidia akina mama lakini wale watakaobainika kujihusisha na rushwa kwenye kura za maoni tutawafikisha mahakamani ccm haina mchezo na hilo hata kama mkakati wetu ni kuongeza idadi ya wanawake kwenye vyombo vya maamuzi alisema |
uchaguzi huo wa jimbo la busanda ulifanyika jumapili iliyopita ambapo mgombe wa ccm bibi bukwimba alipata kura ishirini na tisa mia mbili na arobaini na mbili akifuatiwa na bwana finias magesa aliyepata kura ishirini na mbili mia saba na ishirini na nane mgombea wa cuf bwana daud ndalahwa alipata kura mia sita na sabi... |
akizungumza na majira kwa njia ya simu jana katibu wa chama hicho bwana john nkolo ambaye alikuwa jimboni busanda kwenye uchaguzi uliomalizika juzi alisema kuwa wataweka mgombea katika jimbo |
UNK na viongozi wetu walioko mkoani kagera wameniambia wapo wanachama UNK onesha nia ya kugombea jimbo la biharamlo magharibi lililoachwa na marehemu bwana phares alisema katibu huyo wa udp chama hicho kinakuwa cha tatu kwa upande wa vyama vya upinzani kutangaza nia ya kuwania jimbo hilo vyama vingine UNK tangaza nia ... |
mbunge huyo anakabiliwa na mashitaka ya kushambulia kudhuru mwili na kumtishia kwa bastola bwana james ole millya ambaye ni mwenyekiti wa umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi mkoa wa arusha januari tisa mwaka huu eneo la chuo cha ualimu monduli mkoani hapa |
wakili wa mbunge sendeka bwana james ngalo alieleza mahakamani hapo jana mbele ya hakimu mkazi bwana james UNK kuwa mteja wake amepata homa ghafla hivyo haikuwa rahisi kufika mahakamani na kuiomba mahakama kupanga tarehe nyingine ya kusikilizwa kesi hiyo |
mheshimiwa hakimu kesi hii ilipangwa kuanza kusikilizwa leo kwa upande wa mashahidi wa mlalamikaji kutoa ushahidi nasikitika kusema mteja wangu hayupo mahakamani hapa amepata homa hivi ni vyeti vya matibabu na cheti cha mapumziko kutoka kwa daktari alisema wakili huyo |
kufuatia ombi hilo hakimu pamoja mawakili wa serikali hawakuwa na pingamizi la hoja hiyo na kuomba kupanga tarehe nyingine ya kusikilizwa kesi hiyo |
mbali ya kutoa ombi la kuahirishwa kesi hiyo wakili ngalo aliiomba mahakama kupanga tarehe hiyo baada ya mkutano wa bunge la bajeti unaotarajiwa kuanza mapema mwezi ujao |
mahakama iliahirisha kesi hiyo hadi agosti kumi na tisa mwaka huu |
baada ya kutajwa itasikilizwa mfululizo kwa siku tatu |
shahidi wa kwanza katika kesi hiyo yenye mashahidi kumi na tatu ni mkuu wa mkoa wa singida bwana UNK kone ambaye jana alikuwa mahakamani hapo tayari kutoa ushahidi |
UNK wazawa UNK UNK yadai imechangia kudorora hali ya uchumi benki kuu ya tanzania imeishauri serikali kuwamilikisha wazawa reli ya kati kama inataka kujikomboa kiuchumi hususani wakati huu wa mtikisiko wa fedha UNK dunia |
reli hiyo kwa sasa inamilikiwa kwa ubia kati ya serikali yenye hisa arobaini na tisa na kampuni ya rites kutoka nchini india ambayo tangu UNK reli hiyo imeonesha kushindwa UNK kutoka na ukata UNK |
bot pia imeishauri serikali kujikita zaidi kwenye kilimo cha mashamba makubwa UNK ongezeko la mazao ya chakula na biashara nchini |
ushauri huo ulitolewa jana na gavana wa bot profesa benno ndullu wakati akiwasilisha taarifa ya utendaji wa benki hiyo na hali ya uchumi wa nchi kwa kipindi cha julai ishirini sifuri nane hadi aprili ishirini sifuri tisa kwenye mbele ya kamati ya kudumu ya fedha na uchumi ya bunge la jamhuri ya tanzania |
profesa ndullu alisema ili uchumi uweze kuimarika serikali inapaswa kuimarisha miundombinu yake hususan reli barabara na bandari ili kusadia usafirishaji bidhaa kutoka eneo moja kwenda lingine kwa urahisi |
iwapo wazawa watachanga fedha zao kama walivyofanya katika sekta zingine za kibenki na kununua shirika la reli wanaweza kufanya vizuri kuliko mwekezaji wa sasa alisema profesa UNK |
alisema ukuaji uchumi wowote duniani kwa asilimia kubwa unategemea ni jinsi gani sekta ya usafiri UNK |
profesa ndullu alisema kuanguka kwa bei ya kahawa katika soko la dunia kumechangiwa pia na usafiri mabovu wa reli na uchakavu wa mabehewa yanatumika katika reli hiyo |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.