text
stringlengths
1
1.32k
alifafanua kuwa bwana tao alifukuzwa baada ya kuvunja maadili na katiba ya chama na ameamua kurudi baada ya kujirekebisha na kwamba amerudi kukijenga chama hicho
mimi nawaomba wale wote waliofukuzwa na waliojiondoa wenyewe tlp wakiwemo akina UNK warudi ili tuweze kukijenga chama kesi zote tunataka kuzifuta milango ipo wazi alisisitiza bwana mrema
alisema kuanzia sasa wamekubaliana mambo yote yanayohusu chama kumalizwa kwenye vikao vya chama badala ya kupeleka kwa msajili wa vyama vya siasa au mahakamani kama ilivyokuwa UNK
kwa upande wake bwana tao alisema amemua kurudi tlp baada ya kujirekebisha na kusamehewa na halmashauri kuu ya tlp na si kwamba amerudi kwa njaa kama inavyodaiwa na baadhi ya watu
mimi nakipenda chama hiki kipo ndani ya damu yangu ndio maana nimeamua kurudi kama ni njaa UNK ccm chama chenye fedha nyingi mbona nilikwenda chadema watu wajue UNK tlp kutokana na njaa
alisema bwana UNK
alimshauri aliyekuwa katibu mwenezi wa chama hicho bwana thomas ngawaiya ambaye sasa amejiunga ccm kurudi ili kuimarisha chama kiweze kurudisha hadhi yake ya zamani
bwana tao alisema tlp ni chama imara ndio maana amemua kurudi tena na kuwataka watu UNK kuacha tabia hiyo kwa sababu kila mtu ana uhuru wa kuamua anachotaka
wafuasi UNK mitaani
ccm UNK cuf udp UNK matokeo ya awali ya uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la busanda geita mkoani mwanza yanaonesha kuwa chama cha demokrasia na maendeleo UNK
kwa mujibu wa matokeo UNK kwenye baadhi ya vituo hadi jana jioni yalionesha chadema inaongoza ikifuatiwa na ccm waandishi wetu waliopo busanda UNK kuwa matokeo katika vituo vya shule ya msingi mkapa iliyopo mjini katoro yanaonesha ushindi mkubwa kwa chadema kwa mujibu wa matokeo hayo katika kituo e chadema inangoza kw...
kituo c chadema ccm cuf udp
matokeo katika kituo g chadema ccm cuf na udp matokeo ya kituo a chadema ccm cuf na udp kituo d chadema ccm cuf udp matokeo mengine katika kituo cha store ludete chadema ccm cuf na udp kituo cha UNK ludete bd chadema ccm cuf udp
store ludete UNK chadema ccm cuf na udp
katika kituo cha store ludete UNK chadema ccm cuf na udp
katika kituo cha store ludete UNK chadema ccm cuf cuf store ludete ba chadema ccm cuf udp na matokeo katika kituo cha store ludete UNK yanaonesha chadema ccm cuf udp
wakati matokeo hayo yakiendelea kutolewa wafuasi wa chadema waliingia mitaani kushangilia huku wengine wakiandamana kwa mchaka mchaka na kuimba magesa
magesa
chadema
chadema
katika vituo ambavyo zoezi la kuhesabu kura lilikuwa likiendelea wafuasi hao walionekana kuwa makini kwa kile walichodai kuziba mianya ya wizi unaoweza kujitokeza kwenye kura hizo
mwandishi wetu ameeleza kwamba katika eneo la nyakagomba anakotoka mgombea wa chadema bwana finias magesa matokeo yanaonesha kwenye moja ya vituo chadema imepata kura kumi mbili na ccm kura tano katika kituo kingine eneo hilo chadema wamepata kura tisini na mbili na ccm kumi na mbili alisema katika kata ya busanda cha...
mapema wakati zoezi la upigaji kura likiendelea msimamizi msaidizi wa uchaguzi kata ya katoro aliyetajwa kwa jina moja la bibi esther alikamatwa tisa thebathini alasiri akidaiwa kutoa pesa kwa makarani kinyume cha taratibu za uchaguzi
msimamizi huyo alichukuliwa na gari la polisi namba pt elfu moja na mia nne na tisini na tisa kupelekwa kituoni
msimamizi wa uchaguzi huo bwana danny mollel alithibitisha kutokea tukio hilo na kueleza kuwa ni kosa kugawa posho wakati upigaji kura ukiendelea ugawaji fedha hizo unapaswa kufanywa baada ya kumalizika upigaji kura
wakati huo huo mwandishi yusufu musa anaripoti kuwa jeshi la polisi mkoani mwanza jana UNK jaribio la baadhi ya wafuasi wanaoaminika kuwa wa chadema kutaka kushambulia kwa mawe magari mawili la katibu wa ccm wilaya ya UNK
mussa matoroka UNK UNK na maofisa uchaguzi jimbo la busanda
katika tukio la kwanza lililotokea mjini katoro wafuasi watu hao wakiongozwa na mgombea ubunge kupitia chama hicho bwana finias magesa UNK gari la bwana matoroka mita thebathini kutoka kituo cha polisi katoro wakidai limebeba kura bandia
pamoja na bwana matoroka kujitetea kuwa hapakuwa na kura za namna hiyo watu hao UNK UNK na kuwaacha wafuasi wao wakilinda gari hilo na wao kwenda kuripoti polisi
wakizungumza na kaimu kamanda wa polisi mkoa wa mwanza acp bwana elias kalinga viongozi wa chadema walimtaka aende kukagua gari hilo kwani hawakuwa na imani nalo kwa sababu lilitoka kituo cha kupiga kura shule ya msingi mkapa
baada ya majadiliano ya takribani dakika ishirini bwana kalinga alikubali kwenda kulikagua gari hilo akiwa ameongozana na askari wake huku wafuasi wa chadema wakiwa pembeni mwa gari hilo
hata hivyo baada ya upekuzi gari hilo lenye namba t mia tano na themanini na tano UNK halikupatikana na kitu chochote kinachohusiana na uchaguzi huo
gari hilo UNK kuondoka
mbali ya matukio hayo hali katika vituo vingi vya upigaji kura ilikuwa ya utulivu na wananchi walijitokeza kupiga bila vurugu
wagombea waliopigiwa kura jana ni bibi lolensia bukwimba bwana UNK magesa bwana oscar ndalahwa na bibi beatrice lubambe
uchaguzi huo unafuatia kifo cha aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo marehemu faustine kabuzi rwilomba aliyefariki mapema mwaka huu nchini india alikokwenda kwa matibabu ya moyo
chama cha mapinduzi kimefanikiwa kulitetea jimbo la busanda katika uchaguzi mdogo uliofanyika jana na kuvunja sherehe ya chama cha demokrasia na maendeleo iliyokuwa kwenye mazingira mazuri ya kushinda
wakati ccm wakijiandaa kupokea matokeo hayo kwa shangwe na UNK kuna habari kuwa chadema wanajiandaa UNK matokeo hayo
chadema ikiwa na matumaini makubwa ya kulitwaa taji hilo kutokana na mafanikio yake makubwa wakati wa kampeni kwa kujaza watu UNK matokeo hayo yamekuwa machungu kwao
katika kampeni hizo mwenyekiti wa chadema freeman mbowe alikuwa anatumia helikopta katika kampeni ambapo ccm ikiongozwa na makamu mwenyekiti wa zamani wa chama hicho samwel UNK wamefanikiwa UNK
habari za matokeo hayo zinaonesha kuwa mgombea wa ccm lolensia bukwimba amepata kura ishirini na tisa mia tatu na arobaini na tisa akifuatiwa na mpinzani wake mkali wa chadema UNK magessa amepata kura ishirini na moja mia mbili na arobaini na tisa na mgombea wa cuf oscar ndalahwa kura mia nane na ishirini na saba akif...
cuf ambayo katika uchaguzi mkuu wa ishirini sifuri tano ilikuwa ya pili kwa mgombea wake kupata kura ishirini na sita sifuri sifuri sifuri imedorora na kuiachia chadema kutamba ambayo mwaka ishirini sifuri tano ilipata kura tatu sifuri sifuri sifuri katika jimbo hilo
katika uchaguzi huo watu mia moja na thebathini na tatu sifuri sifuri sifuri UNK kwa ajili ya kushiriki uchaguzi huo huku idadi ya watu waliojitokeza kupiga kura ni hamsini na mbili mia saba na ishirini UNK tunakwenda mitamboni viongozi wa chadema cuf na udp walikuwa hawajafika kwenye eneo la UNK ya kura na waliokuwep...
wakati huohuo cuf kimepata pigo baada ya kushindwa uchaguzi mdogo wa mjumbe wa baraza la wawakilishi jimbo la magogoni
zanzibar uliofanyika jumamosi iliyopita
katika uchaguzi huo mgombea wa ccm asha mohamed aliibuka mshindi kwa kura mbili mia nne na sabini na nne na mgombea wa cuf hamad ally hamad alipata kura moja mia tisa na sabini na nne wakati madaktari bingwa kutoka hospitali ya taifa muhimbili wakitumia vifaa vya kisasa kuchunguza waathirika milipuko ya mabomu iliyoto...
uchunguzi uliofanywa na gazeti hili umebaini kuwa waathirika wengi wamekuwa UNK kwenda maeneo ya mbali kutafuta dawa za maradhi yaliyotokana na matatizo ya mabomu hayo zikiwemo za kuziba masikio na kupigwa danadana akizungumza na majira mama mmoja mwenye mtoto aliyeathirika masikio bibi mariam muhammed alisema mtoto w...
leo nikaamua kuja hapa shuleni na mwanangu UNK uvimbe aliokuwa nao na UNK dawa hizi ambazo wamesema UNK hospitali ya wilaya temeke alilalamika bibi UNK
naye bwana ally UNK mkazi wa mbagala kizuiani alidai kuwa upatikanaji dawa umekuwa tatizo kwani baada ya kufanyiwa uchunguzi wamekuwa UNK kwenda hospitali ya wilaya temeke wakifika huko wanaambiwa kwenda kununua kwenye maduka ya dawa
huu umekuwa ubabaishaji huwezi UNK mtu halafu wakati wa dawa unaanza UNK wengi tumeshindwa kukamilisha utaratibu wao kutokana na mizengwe mingi bora UNK na dawa zao alisema bwana UNK
hata hivyo daktari mariam pesa wa muhimbili aliliambia majira jana kuwa uchunguzi walioufanya umebaini kuwa wakazi wengi wa mbagala UNK na mabomu hayo bali wengi wao walikuwa na matatizo hayo kabla
alisema wamebaini hilo baada ya kuanza kutumia kifaa maalumu cha kutambua athari iliyotokana na mabomu hayo na tatizo la asili
alisema kuwa mbali na uchunguzi huo wamekuwa UNK ushauri wagonjwa hao kutokana na matatizo mbalimbali ya kiafya ili waweze kuchukua tahadhari
vifaa hivi ni vya kisasa vina uwezo wa kupima mawimbi ya sauti ili kubaini tatizo la sikio na chanzo cha tatizo hilo alisema daktari pesa
wakati huo huo shirika la umoja wa mataifa la kuhudumia watoto na shirika la kusaidia watoto limetoa misaada ya vifaa vya masomo na vya michezo ambavyo thamani yake UNK mara moja
vifaa hivyo ni pamoja na mabegi ya shule tatu hamsini sifuri madaftari katoni ishirini na sita sifuri sifuri sifuri kalamu za wino kumi na nane sifuri sifuri sifuri madaftari UNK sita tisini sifuri UNK UNK nane na vingine
askari wawili wa kikosi cha UNK cha serikali ya mapinduzi ya zanzibar bwana juma mcha ali pamoja na bwana UNK UNK ali UNK na majambazi wakiwa lindo katika kituo cha mafuta UNK
majambazi hao hata hivyo hawakufanikiwa kupora fedha lakini walichukuwa silaha aina ya rf ikiwa na risasi kumi
kamanda wa polisi mkoa wa mjini magharibi bwana bakari khatib shaaban alithibitisha kutokea tukio hilo saa mbili usiku wa kuamkia jana na kusema majambazi hao walivamia kituo hicho kwa lengo la kupora fedha
katika purukushani hizo majambazi hao walifanikiwa kufyatua risasi na kuwauwa askari hao waliokuwa lindoni kwa kuwapiga risasi kichwa na kifuani
baada ya hapo walipora bunduki moja na kutoweka
kutokana na tukio hilo jeshi la polisi mjini hapa linamshikilia bwana gideon UNK kwa mahojiano baada ya kukiri kumiliki gari namba UNK mia sita na thebathini na nne lililohusika kwenye tukio hilo la ujambazi
jeshi la polisi linamshikilia bwana gideon UNK kwa uchunguzi zaidi
yeye alijitokeza na kusema anamiliki gari lililohusika kwenye tukio hilo na kutelekezwa na majambazi hayo alisema kamanda shaaban
alisema baada ya kufuatilia polisi walifanikiwa kupata bunduki UNK na majambazi hao
kamanda shaaban alisema majambazi hao pia walimjeruhi bwana bilali omar aliyekuwa akipita njia wakati wa tukio hilo
askari wa vikosi vya serikali ya mapinduzi ya zanzibar hutumika kwa ajili ya kulinda vituo mbalimbali vya mafuta pamoja na taasisi zingine watu binafsi na mabenki
kamanda shaaban alisema jeshi lake linaendesha msako mkali kuwanasa majambazi hao
ccm UNK kidedea UNK kura ishirini na tisa mia mbili na arobaini na mbili
kingunge adai wapinzani UNK
mgombea chadema UNK kusaini matokeo mgombea wa chama cha mapinduzi bibi lolensia bukwimba ametangazwa mshindi katika uchaguzi mdogo wa jimbo la busanda uliofanyika juzi
matokeo yaliyotangazwa mjini hapa jana na msimamizi wa uchaguzi huo bwana danny mollel yameonesha kwamba bibi bukwimba UNK wapinzania wake kutoka vyama vya cuf chadema na udp akitangaza matokeo hayo bwana mollel alisema bibi bukwimba aliibuka na ushindi wa kura ishirini na tisa mia mbili na arobaini na mbili akifuatiw...
akizungumza na waandishi wa habari kamanda wa uchaguzi wa chadema bwana benson kigaila alisema chama chake UNK na matokeo hayo
chadema ambayo ilikuwa na imani kubwa kuibuka mshindi kwenye uchaguzi huo kutokana na mikutano yake kuhudhuriwa na idadi kubwa ya watu UNK matumaini zaidi jana jioni baada ya matokeo ya awali ya kura UNK katika vituo kadhaa vya mji mdogo wa katoro kuonesha kuwa UNK
hali hiyo iliwafanya wafuasi wake kuandamana mitaani na kuimba magesa
magesa
chadema
chadema
saa chache kabla ya kibao UNK na ccm kuongoza matokeo hayo
ccm ambayo ilionekana kuzoa kura nyingi maeneo ya vijijini ilizidi kupaa kadri muda ulivyokuwa unakwenda na UNK furaha ya chadema hadi matokeo hayo UNK jana alasiri
chadema ambayo ilikuwa ikiendesha kampeni zake kwa mtindo wake wa operesheni sangara na kutumia helikopta kama moja ya njia za kufika maeneo mengi haraka na kukusanya watu ilijikuta sangara hao UNK busanda na kupoteza ushindi
chini ya operesheni sangara chadema wamekuwa wakizunguka nchi nzima kuitisha mikutano mikubwa na kueleza kero mbalimbali zinazosababishwa na viongozi wa chama tawala na serikali likiwemo tatizo la ufisadi
hata hivyo mwanzoni mwa kampeni za busanda makada wa ccm UNK wakisema operesheni sangara si lolote kwenye uchaguzi huo na kuapa kuwa sangara hao UNK busanda baada ya matokeo kutangazwa jambo UNK jana
wakati huo huo mgombea wa chadema bwana magesa UNK matokeo hayo kwa madai kuwa yana utata
hatua hiyo ya kugomea matokeo hayo iliibua mayowe toka kwa wafuasi wa ccm waliokuwa wakimshinikiza msimamizi wa uchaguzi bwana mollel kutangaza matokeo hayo haraka kwa vile mgombea wao alikuwa ameshinda kihalali
tunataka matokeo UNK
UNK hao chadema UNK
tupeni matokeo
walisikika wafuasi hao wa ccm waliokuwa ukumbini hapo UNK
matokeo hayo UNK katika ukumbi wa halmashauri ya wilaya ya geita saa tisa arobaini na tano alasiri
yalikuwa UNK saa tatu asubuhi lakini chadema hawakuwepo hadi saa tano asubuhi
UNK ukumbini hapo na kutakiwa kusaini fomu hizo UNK
hata hivyo wagombea wa vyama vingine udp na cuf nao hawakuwepo ukumbini hapo hata wawakilishi wao
bwana magesa aliyekuwa ameongozana na viongozi wake aligoma kusaini fomu hizo kwa madai kuwa hawakupewa nafasi ya kutoa malalamiko yaliyojitokeza wakati wa uchaguzi huo huku viongozi wake wakidai kuwa mgombea wao hawezi kusaini bila kuoneshwa matokeo
chadema walitaka kuoneshwa kwanza matokeo ili UNK na yale waliyokuwa nayo kutokana na kuwepo uvumi kuwa idadi ya kura ilizidi ya wapiga kura
akizungumza na waandishi wa habari bwana magesa alidai sababu nyingine iliyomfanya kukataa matokeo hayo ni pamoja na malalamiko kadhaa yakiwemo ya wafuasi wao kufanyiwa UNK kwa kupigwa na wana ccm kisha kukamatwa na kupelekwa polisi huku wenzao wa ccm UNK
pia alimtuhumu waziri wa mambo ya ndani bwana lawrence masha kuwatisha vijana wasipige kura kwa madai kuwa UNK na polisi na kwamba siku ya kupiga kura alitembelea vituo vyote na kutoa maagizo kadhaa kwa polisi ambao waliingia ndani ya vyumba vya kupigia kura kinyume cha sheria
alidai kuwa siku moja kabla ya kutangazwa matokeo baadhi ya wahusika wa tume walisikika wakitangaza kuwa UNK na kwamba moja ya magari ya tume hiyo yalitumika kugawa pesa siku ya upigaji kura na wale waliokamatwa waliachiwa huru naye kamanda wa kampeni wa chadema bwana kigaila alisema hakubaliani na matokeo hayo huku a...
alidai kuwa malalamiko yote waliyokuwa wakitoa yakiwemo ya kukamatwa diwani wa ccm na mabalozi UNK kazi na polisi badala yake watuhumiwa hao walikuwa wakiachiwa huru
katika hatua nyingine sherehe za ushindi wa ccm zilizokuwa zimeandaliwa kufanyika katika mji mdogo wa katoro UNK katika dakika za mwisho