text
stringlengths
1
1.32k
ajali hiyo ilitokea juzi saa moja kumi asubuhi baada ya gari hilo toyota land cruiser namba t mia tatu na sitini na mbili ach kuchomoka tairi ya mbele likiwa kwenye mteremko wa mlima ihemi kuacha njia na kupindukia porini
daktari makyembe alikimbizwa hospitali ya mkoa wa iringa kwa matibabu na kulazwa wodi namba tano ya hospitali hiyo kabla ya kusafirishwa kwa ndege kwenda hospitali ya taifa muhimbili dar es salaam kwa matibabu zaidi
vyama kuhitimisha kampeni zao leo
zaidi ya polisi thebathini sifuri wamwagwa chama cha mapinduzi kimepanga kuchukua hatua kali dhidi ya makada wake wakiwemo wabunge wanaotuhumiwa UNK endapo UNK kwenye uchaguzi mdogo jimbo la busanda unaotarajiwa kufanyika kesho
hatua zingine zitakazochukuliwa ni pamoja na kuwashusha vyeo ama kuwatimua kabisa makada hao iwapo itabainika kuwa watakuwa UNK kwa njia moja ama nyingine kwenye hujuma za kuchangia kushindwa chama hicho na wengine watapewa karipio kali kuhusiana na jambo hilo
habari za ndani ya ccm zilizopatikana jimboni humo na kuthibitishwa na baadhi ya vigogo wanaoshiriki kampeni za uchaguzi huo UNK kuwa chama hicho UNK hatua hizo kutokana na kile kinachodaiwa baadhi yao walishiriki kumbeba mgombea huyo anayedaiwa kukipa wakati mgumu mbele ya vyama vya upinzani vinavyoshiriki uchaguzi h...
miongoni mwa wanaotajwa kukumbwa na sakata hilo ni kigogo mmoja wa umoja wa wanawake wa ccm anayedaiwa kupigana kufa na kupona kumpitisha mgombea huyo kwa kile kilichoelezwa kuwa ni swahiba na mshirika wake mkubwa mmoja wa mtoa taarifa hizo ambaye hakutaka jina lake litajwe gazetini kwa usalama wake alisema chama hich...
alisema chama hicho kimepanga kuchukua hatua hizo ndani ya siku thebathini baada ya uchaguzi wa kesho endapo itatokea bahati mbaya jimbo hilo kuangukia kwa wapinzani
taarifa za kuchukuliwa hatua vigogo hao zimekuja siku chache baada ya kauli ya makamu mwenyekiti mstaafu wa ccm bwana john malecela kudai chama hicho kuhujumiwa na mafisadi wakishirikiana na baadhi ya makada wakiwemo wabunge kwenye kampeni hizo
bwana malecela alisema hayo katika kijiji cha nyarugusu wakati akizungumza na waandishi wa habari mapema wiki hii
mkongwe huyo wa siasa alibainisha watu hao UNK upepo wa kampeni kwa mgombea wao kwenda vibaya
hata hivyo baadhi ya wanachama wa chama hicho wamesema kuwa viongozi wao wa juu UNK mapema juu ya kutokubalika kwa mgombea wao lakini mawazo yao UNK na baadhi ya wakubwa ndani ya chama hicho
walisema kuwa iwapo maoni yao UNK maanani huenda UNK ugumu katika kampeni hizo UNK na zomeazomea kila mara viongozi UNK jukwaani kumnadi mgombea wao
bibi lolensia bukwimba
wakati huo huo leo ikiwa ni siku ya mwisho ya kampeni zaidi ya polisi thebathini sifuri wamemwagwa jimboni hapa kuimarisha usalama wakati wa zoezi la upigaji kura kesho
mbali ya UNK askari hao ambao kati yao mia moja na tisini na tano UNK juzi kwa mabasi gari maalumu lenye maji ya upupu nalo UNK tayari kukabili endapo vurugu zozote UNK
akizungumza na gazeti hili kwa njia ya simu jana kaimu kamanda wa polisi mkoa wa mwanza bwana elias kalinga alisema kuwa jeshi hilo limejiandaa vilivyo kuweka ulinzi wa kutosha katika uchaguzi huo
alisema litakuwa tayari kupambana na mtu yeyote ama chama chochote UNK vurugu kwenye uchaguzi huo hususani wakati wa kutangazwa matokeo
tumejiandaa kukabiliana na jambo lolote litakaloashiria kuwepo uvunjifu wa amani siku hiyo
tunaomba kila UNK afike na kupiga kura bila hofu kwa kuwa kuna usalama
hakuna vitisho wala kuogopa hali itakuwa shwari kabisa alisema kamanda UNK
hata hivyo hofu imetanda miongoni mwa wananchi wa busanda baada ya kumwagwa askari hao na kuhisi kuibuka vurugu kwenye uchaguzi huo
baadhi ya watu waliozungumza na majira muda mfupi baada ya mabasi hayo kuwasili walidai huenda kumwagwa askari hao kunalenga kukisaidia chama fulani kwa kuwatisha wananchi
akizungumza na majira katibu wa tume ya uchaguzi wa cuf bwana maole kuchilingulo alisema kuwa hana hofu na ujio polisi amewataka polisi hao kutekeleza majukumu yao kwa mujibu taaluma yao na UNK kwenye mambo ya siasa
katika hatua nyingine vyama vinavyoshiriki uchaguzi huo kila kimoja UNK tambo za kushinda uchaguzi wa kesho
akizungumza na majira kaimu mkuu wa kitengo cha propaganda wa ccm bwana tambwe hiza alisema leo UNK shughuli za kampeni katika viwanja vya ccm mjini katoro
alisema shughuli hiyo itafanywa na bwana malecela pamoja na naibu katibu mkuu wa ccm kapteni george mkuchika na makada wengine wa ccm akiwemo bwana john magufuli ambaye pia ni waziri wa maendeleo ya mifugo mbunge wa same mashariki bibi anne kilango malecela katibu wa itikadi na uenezi taifa wa ccm kapteni john chiliga...
alisema chama hicho kitakuwa kikitoa burudani kama sehemu ya maandalizi ya sherehe za ushindi na kutamba kuwa mgombea wao bibi bukwimba anachosubiri ni kutangazwa tu na tume ya taifa ya uchaguzi baada ya kura kupigwa
kwa upande wao chadema wamesema kampeni hizo zitafungwa na mwenyekiti wake bwana freeman mbowe
wengine katibu mkuu wa chama hicho daktari wilbroad slaa na naibu katibu mkuu wa chadema bwana zitto kabwe mkutano wao utafanyika viwanja vya mnadani katoro kuanzia saa tano asubuhi
akizungumza na majira kamanda wa kampeni wa chadema bwana benson kigaila alisema wanachojua wao ni kuwa mgombea wao bwana finias magesa ndiye ataibuka kidedea katika jimbo hilo kutokana na kukubalika kwake kwa wananchi
naye katibu wa tume ya uchaguzi wa cuf bwana UNK alisema kampeni za chama hicho zitafungwa na mwenyekiti wake profesa ibrahim lipumba katika kata ya nyarugusu kuanzia saa tisa mchana
alisema kuwa wana uhakika mgombea wao atashinda kwa kura nyingi na kuvitaka vyama vingine UNK porojo za majukwaani ambazo hazina lolote kwa vile UNK wapiga kura wa busanda
katibu mkuu wa united democratic party bwana john nkolo alisema kampeni za chama hicho zitafungwa katoro kuanzia saa saba mchana hadi saa kumi na mbili jioni na yeye ndiye atakuwa msemaji mkuu
alisema wananchi UNK kura nyingi chama hicho kwa kuwa kilikuwa UNK kampeni za kistaarabu tofauti na vyama vingine alivyodai UNK kampeni za kuchambuana na ugomvi
alisema vyama hivyo UNK zaidi katika kuchambuana badala ya kutangaza sera jambo UNK UNK maana ya kampeni hizo katika uchaguzi wa kesho wagombea toka vyama vinne watakuwa na kibarua kizito UNK bendera za vyama vyao
wagombea hao ni bibi lolensia bukwimba bwana finias magesa bwana oscar ndalahwa na bibi beatrice lubambe
uchaguzi huo unafuatia kifo cha mbunge wa jimbo hilo marehemu faustine kabuzi rwilomba kilichotokea mapema mwaka huu nchini india alikokwenda kwa matibabu ya moyo
na mwandishi wetu mbunge wa jimbo la kishapu kwa tiketi ya chama cha mapinduzi bwana fredy mpendazoe juzi alimvaa mkurugenzi wa taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa nchini daktari edward hosea kwa madai kuwa taasisi yake imedorora kutokana na upungufu uliomo ndani katiba ya nchi jambo linalohitaji marekebisho ya h...
akichangia hoja kwenye semina ya wabunge kuhusu rushwa iliyofanyika dar es salaam bwana mpendazoe alisema kutokana na madaraka makubwa ya rais kikatiba anaweza kuteua marafiki zake ambao mamlaka husika kama takukuru haziwezi UNK inapobidi
alishauri wateule wa rais kwa nafasi kama takukuru usalama wa taifa na tume ya maadili ya viongozi UNK kwanza na bunge na rais afanye kazi ya uteuzi tu
alitoa mfano wa mkurugenzi wa takukuru kushindwa kuwashughulikia baadhi wateule wa rais kwenye sakata la richmond na kueleza kuwa hicho ni kielelezo mojawapo cha madhara ya madaraka makubwa ya rais kikatiba na kusisitiza katiba UNK
rais UNK kuanzia dc hadi jaji mkuu
maana yake ana nguvu dhidi ya mihimili mingine ya dola na kikatiba hawezi kuhojiwa kwa jambo lolote UNK au maamuzi yake
kwa mfano maamuzi ya bunge juu ya richmond UNK yote inaleta utata mfano takukuru inaendelea na uchunguzi wa rushwa wakati bunge UNK kiongozi wa takukuru UNK kwa taarifa yake ya richmond alisema bwana mpendazoe
baada ya maelezo hayo daktari hosea aliyekuwa mwenyekiti wa semina hiyo UNK na kuhoji unataka UNK na nani
UNK haya alisema daktari hosea huku akimwamuru mbunge huyo kukaa chini
katika hoja yake bwana mpendazoe alisema mfumo mzima wa sasa wa serikali umetokana na katiba ambayo ina upungufu mkubwa unaohitaji marekebisho
alisema hata baba wa taifa mwalimu julius nyerere aliwahi kuzungumzia suala hilo na kubainisha kuwa katiba ya sasa inampa rais madaraka makubwa yanayoweza kumfanya UNK
mbunge huyo pia alikemea rushwa kwenye kura za maoni za vyama vya siasa na chaguzi za jumuiya za vyama
alisema katika hilo takukuru inajitahidi kuchukua hatua lakini inashindwa kwasababu ni chombo cha serikali na serikali hiyo inatokana na chama cha siasa
ccm inashindwa kuchukua hatua mfano kama mhusika ni waziri au mjumbe wa kamati kuu au halmashauri kuu na ni kiongozi kwenye serikali
mapendekezo yangu UNK takukuru iwe huru UNK chama tawala pia kuwe na tume huru ya uchaguzi
alisema tatizo kubwa linalochangia rushwa kuota mizizi nchini ni jamii kukumbatia jambo hilo na kutochukua hatua dhidi ya walioonekana kuhusika nayo
UNK UNK alisema ulimwenguni pamekuwa mahali pa hatari sana kuishi lakini UNK na uovu unaofanyika bali inatokana na wale UNK uovu UNK na hawachukui hatua dhidi ya uovu huo
alisema kumekuwa na tuhuma mbalimbali zinazowakabili watu kuhusu rushwa serikali UNK au inapokuwa haichukui hatua kwa muda mrefu UNK rushwa zaidi
mkutano chadema wafurika maofisa wake UNK
ccm UNK wananchi wanachama wake UNK
udp mambo mazito UNK na rose mhando
lipumba UNK nyarugusu cheyo UNK
magogoni kura UNK kwa amani matokeo leo na faida UNK geita ngwe ya lala salama ya kampeni za uchaguzi mdogo wa jimbo la busanda UNK jana huku mchuano mkali ukionekana ndani ya vyama vitatu vya chadema ccm na cuf na kati ya hivyo kila chama UNK nafasi kubwa ya kuibuka na ushindi
katika mikutano ya mwisho ya kufunga kampeni hizo chadema UNK kampeni zake kwa kulisakama jimbo la busanda kutokea angani na nchi kavu
hali hiyo ilisababisha mkutano wake wa kufunga kampeni uliofanyika viwanja vya mnadani na UNK na mwenyekiti wake bwana freeman mbowe na katibu mkuu daktari wilbroad slaa kufurika umati mkubwa wa watu
viongozi hao waliwasili kwenye viwanja vya mnadani kwa helikopta huku naibu katibu mkuu wa chama hicho bwana zitto kabwe akiendelea na mikutano ya nchi kavu katika kijiji cha UNK
katika mkutano wa mnadani daktari slaa aliwataka wananchi kutoichagua ccm kwa sababu imeshindwa kuwaondolea umasikini
alisema wakati walimu ndio wanaofanya kazi kubwa ya kuandaa vijana kitaaluma serikali ya ccm imewasahau na inawalipa mshahara mdogo
alitoa mfano posho yake ya ubunge kwa siku moja kuwa ni shilingi mia moja na thebathini na tano sifuri sifuri sifuri ambayo alidai ni kubwa kuliko UNK wa mwalimu UNK kwa mwezi
daktari slaa aliendelea kumwandama waziri wa mambo ya ndani bwana lawrance masha akimtaka ajiuzulu kwa madai kuwa kampuni yake inatuhumiwa kujihusisha na ufisadi
kwa upande wa mkutano wa ccm uliofanyika viwanja vya katoro ulichelewa kuanza kutokana na idadi ya watu waliojitokeza kuwa ndogo ikilinganishwa na umati uliofurika kwenye mkutano wa chadema habari ambazo gazeti hili lilizipata kutoka kwenye vyanzo vyake ndani ya ccm zilieleza kuwa mkutano huo ulichelewa kuanza kwa len...
shughuli za mkutano huo zilianza baada ya kuwasili kwa magari matatu aina ya fuso yakiwa na wafuasi wa chama hicho
akihutubia wananchi waliohudhuria mkutano huo waziri wa maendeleo ya mifugo na uvuvi bwana john magufuli aliwataka kumchagua mgombea wa ccm kwa kuwa duniani kote hakuna binadamu asiye na kasoro
kwa upande wake mzee samwel malecela alikiri kuwa yapo matatizo yanayoikabili serikali ya ccm lakini yanatatuliwa kwa hatua
hakuna mtu asiyekuwa na shida tunawaomba watu wawe wavumilivu kwani matatizo yote yanatatuliwa kwa hatua alisema mzee malecela
kwa upande wa mkutano wa udp viongozi wa chama hicho wakiongozwa na katibu mkuu wake bwana john UNK walijikuta wakiwa peke yao jukwaani UNK na wimbo wa msanii wa nyimbo za injili bibi rose mhando wa UNK UNK tofauti na vyama vingine ambavyo UNK yake ilifungwa na wenyeviti wake kwa upande wa udp bwana john cheyo UNK kum...
mwenyekiti wa cuf profesa ibrahim lipumba UNK mikutano ya chama chake kwenye viwanja vya nyarugusu
wakati vyama hivyo UNK ngwe ya mwisho ya kampeni mwenyekiti wa tume ya uchaguzi jaji lewis makame amesema si kosa kwa vyama vinavyoshiriki uchaguzi huo kutumia mawakala kutoka nje ya jimbo la busanda
alitoa ufafanuzi huo kufutia madai kuwa chadema imeleta mawakala wa kusimamia kura kutoka chuo kikuu cha st
agustino cha mkoani mwanza na vyuo vingine vilivyopo wilayani tarime
habari zaidi zilieleza kuwa ccm iliandika barua kwa msimamizi wa uchaguzi jimbo la busanda kulalamikia hatua hiyo ya chadema kuleta mawakala kutoka nje ya jimbo
wakati uchaguzi wa busanda unafanyika leo jana mamia ya wananchi wenye haki ya kupiga kura walijitokeza kwa wingi kupiga kura UNK mwakilishi wa jimbo la magogoni
mgombea wa kiti hicho kwa tiketi ya ya ccm bibi asha mohamed UNK alipiga kura yake katika kituo cha UNK saa tatu arobaini na tano UNK akifuatana na katibu mkuu jumuiya ya wanawake tanzania bibi husna mwilima
mgombea cuf bwana hamad ali alipiga kura yake katika kituo cha viwanda vidogo vidogo mapema asubuhi
ofisa wa tume ya uchaguzi ya zanzibar bwana suluhu ali rashid alisema vituo vya kupiga kura vipatavyo kumi na sita UNK kuanzia saa mbili za asubuhi na masanduku ya kura UNK vituoni mapema
upigaji kura unaendelea vizuri katika vituo vyote vya UNK
na wapiga kura wengi UNK kupiga kura zao UNK
katika uchaguzi huo idadi ya wapiga kura walioandikishwa katika daftari la kudumu la wapiga kura walikuwa tano hamsini tisa uchaguzi mdogo wa jimbo la magogoni unafanyika kufuatilia kifo cha aliyekuwa mwakilishi wake daud hassan daud aliyefariki desemba mwaka jana
serikali imesema UNK na kitendo cha kutoa fedha zake kwa ajili ya kulipa mishahara ya wafanyakazi wa kampuni ya reli tanzania na kueleza kuwa inalazimika kufanya hivyo kwa mujibu wa mkataba
kauli hiyo ilitolewa jana mjini morogoro na waziri wa miundombinu daktari shukuru kawambwa wakati akizungumza na wafanyakazi wa trl mkoa wa morogoro katika karakana kuu ya reli UNK mjini humo
si kwamba hatua ya serikali kuchangia sehemu ya mishahara ya trl UNK ni kwa kuwa inalenga kuboresha maisha ya wafanyakazi hao tu pamoja na kufuata taratibu za mkataba na mwekezaji tunafahamu kuwa wananchi UNK pia alisema daktari kawambwa na kuongezea katika mkataba baina ya serikali na mwekezaji kampuni ya rites ya nc...
aliendelea kufafanua kuwa serikali imekuwa ikichangia kila mwezi shilingi milioni mia tano na ishirini na mbili sita kwa ajili ya kuongezea sehemu ya mishahara ya wafanyakazi wa trl kutoka na mwekezaji kushindwa kulipa kiasi cha mshahara waliotakiwa kulipwa wafanyakazi hao wa kampuni hiyo fedha ambayo inatoka hazina k...
alizidi kubainisha tatizo la kuwepo kwa malalamiko ya kudaiwa kuondolewa kwa injini katika karakana hiyo ambayo ni karakana kuu ya kampuni hiyo UNK kazi zilizo ndani ya uwezo wa kufanyika katika karakana hiyo ni vyema UNK badala ya kupelekwa india wakati na nchini kuna wataalam wenye uwezo
daktari kawambwa alisema pia iwapo kama kuna matengenezo ambayo yanatakiwa kufanyika nje ya nchini ni vyema uongozi huo UNK wafanyakazi wote wa karakana hiyo kufahamu hatua hiyo kwa kufuata taratibu husika badala ya kufanyika kimyakimya hali ambayo UNK migongano kama ilivyotokea hivi karibuni ya wafanyakazi kuzuia kuo...
alisema serikali ina mkakati wa kuboresha reli ya kutoka jijini dar es salaam hadi isaka na kuunganisha na nchi za jirani ili iweze kuwa na uwezo mkubwa wa kufanya kazi na kuleta ufanisi zaidi
naye msaidizi mhandisi mkuu daktari richard kailembo alisema kuwa kwa sasa shirika hilo lina injini sabini ambazo zinafanya kazi ambazo kati ya hizo injini ishirini na tano UNK kutoka kampuni ya rites ya nchini india
daktari kailembo alisema kuwa pia kuna UNK sabini tatu ambayo kati ya hayo mia moja na sitini na mbili UNK kutoka kampuni ya rites ya india na injini na UNK yaliyo mengi yana muda mrefu kati ya miaka ishirini na tano hadi thebathini na tano lakini UNK kufanyiwa ukarabati mkubwa kutokana na kukosekana kwa fedha za kunu...
pia alisema katika mpango wa kampuni umefanikiwa kukarabati injini kumi ambazo zinafanya kazi ambazo kati ya hizo sita UNK ukarabati nchini india na nne hapa nchini lakini pia kwa utaratibu wa ukarabati wa mara kwa mara unashindwa kufanyika kutokana na kampuni kutokuwa na fedha
hata hivyo mhandisi huyo UNK serikali kuendelea kuboresha miundo mbinu ya reli ambapo kwa sasa mikakati imeshaanza ikiwemo utafiti ambao unafanywa na kampuni mmoja ya nchini marekani na kisha utafanyika UNK wa reli inavyotakiwa kuwa kwa lengo la kuongeza uwezo wa reli hiyo katika UNK wa mizigo atangaza msamaha kufuta ...
bwana mrema alitoa kauli hiyo jana jijini dar es salaam alipokuwa akijibu tuhuma zinazoelekezwa kwake kuhusu kumrubuni na kumrudisha aliyekuwa katibu mkuu wa chama hicho bwana hemed tao ambaye UNK
watu wanasema mimi UNK bwana tao ndio maana amerudi jamani huo ni uongo yeye aliandika barua na kukiri makosa yake na halmashauri kuu UNK iweje leo UNK kuwa UNK UNK
alilalamika bwana mrema