text
stringlengths
1
1.32k
alisema mabehewa mengi yamekuwa UNK kusafirisha mazao kama pamba kahawa na tumbaku kutoka na kuvuja maji wakati wa msimu wa masika hivyo kupunguza ubora wa bidhaa hizo katika soko la dunia
alisema sekta nyingine inayochangia kuzorota uchumi ni bandari kutofanya kazi vizuri jambo UNK watumiaji wengi hususani wafanyabiashara kutumia bandari zingine kukwepa urasimu
alisema bandari ya dar es salaam imekuwa UNK kutoa mizigo katika na kushindwa kufika katika soko kwa muda unaotakiwa na kusababisha hasara kwa wateja wake pale dola au shilingi UNK na kushuka katika soko la dunia
profesa ndullu alisema wateja wengi kutoka katika nchi za ulaya wamekuwa wakiogopa kupitishia mizingo bandari ya dar es salaam kutoka na kushindwa kwenda na muda hali inayochangia kulipotezea taifa mapato
katika ripoti yake alisema pamoja na UNK wa kifedha UNK dunia ukuaji wa uchumi nchini umeendelea kwa kasi ya kuridhisha kwa mwaka ishirini sifuri nane na kufikia asilimia saba nne kutoka saba moja mwaka ishirini sifuri saba alisema mfumuko wa bei umekuwa wa juu zaidi kupita makisio ya awali kwa kipindi cha miezi ya hi...
aidha kuendelea kuboreka kwa uzalishaji chakula katika nchi za jirani na utulivu wa thamani ya shilingi katika soko la fedha za kigeni
alieleza kuwa hali hiyo itasaidia kushusha bei za chakula nchini na pia bei za bidhaa kutoka nchi za nje
alisema hadi kufikia aprili ishirini sifuri tisa hazina ya nchi ya fedha za kigeni katika benki hiyo ilikuwa jumla ya dola za marekani milioni elfu mbili na mia saba na thebathini na tano saba UNK UNK kuagiza bidhaa toka nje kwa kipindi cha miezi nne tatu alisema sekta ya fedha imezidi kuimarika katika kipindi chote c...
alisema benki zote thebathini na sita zilizopo nchini zinakidhi kiwango cha mtaji unaoweza kuhimili madai UNK asilimia kumi na sita mbili ukilinganisha na kiwango cha asilimia kumi inayokubalika kimataifa
pia benki zote kwa ujumla zina UNK wa kutosha kukidhi malipo ya wateja kwa kiwango cha asilimia arobaini na tano tano ikilinganishwa na kiwango kinachotakiwa cha asilimia ishirini wakati huo huo wajumbe wa kamati hiyo UNK bot na kuitaka kutoa maelezo ya kuchelewa kutoa taarifa mapema kuhusu madhara ya kampuni ya upatu...
kampuni hiyo iliyokuwa na makao yake makuu mabibo dar es salaam na kufungua matawi mikoa mingine ilipigwa marufuku na serikali hivi karibuni baada ya kuonekana inaendeshwa kinyume cha sheria
akijibu hoja hiyo profesa ndullu alisema kampuni hiyo iliyosajiliwa agosti ishirini sifuri saba haikuwa na leseni wala kibali chochote cha kufanya biashara
alisema pamoja na kampuni hiyo ya upatu kupata usajili kutoka brella haikufanya juhudi zozote kutoka idara yoyote ya serikali inayohusika na utoaji wa leseni za biashara katika taasisi za kifedha UNK na utoaji mikopo
alisema kampuni hiyo haikuwa chini ya benki yake kwa kuwa haikuweka amana katika benki hiyo lakini kutoka na kuwa benki hiyo ndiye msimamizi mkuu wa fedha nchini ililazimika kutoa taarifa kwa wananchi kwa kuwa ilijua kuwa kampuni hiyo UNK zaidi ya miezi miwili kufilisika
alisema uzoefu unaonesha kuwa upatu UNK kufanikiwa bali watu wengi wamekuwa UNK na kuwa masikini wa UNK
ni kutokana na upungufu hati ya mashitaka
UNK ulinzi mkali UNK takukuru mahakama ya hakimu mkazi kisutu dar es salaam imeondoa hati ya mashitaka na kuwaachia huru aliyekuwa mkurugenzi wa utawala na utumishi bwana amatus liyumba na meneja mradi bwana deogratius kweka
pamoja na mahakama hiyo kuwaachia huru washitakiwa hao walikamatwa tena na kuwekwa chini ya ulinzi mkali na baadae kupelekwa katika taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa
hayo yalifanyika jana mahakamani hapo ambapo uamuzi wa kuondoa hati ya mashitaka na kuwaachia washitakiwa hao ulitolewa na hakimu mkazi bibi warialwande lema baada ya kupiga danadana kwa muda mrefu
kitendo cha washitakiwa hao kukamatwa tena kilizua simanzi kubwa kwa ndugu wa washitakiwa hao ambao awali walionekana kujawa furaha wakiamini kuondoka na ndugu zao
uamuzi huo unatokana na ombi lililowasilishwa mahakamani hapo na upande wa utetezi ambao uliiomba mahakama kufuta hati ya mashitaka hayo na kuwaachia huru mara moja washitakiwa hao kutokana na hati iliyokuwepo mahakamani kuwa mbovu
akitoa uamuzi huo bibi lema alisema kuwa kutokana na hoja mbalimbali zilizowasilishwa na pande zote mbili mahakama inakubaliana na kuona kuwa hati iliyopo mahakamani hapo ni mbovu hivyo UNK mara moja
kwa mujibu wa hoja za upande wa mashitaka zilizowasilishwa kuhusiana na ombi hilo upande huo ulikiri kuwa hati hiyo ina upungufu wa kisheria kama upande wa utetezi ulivyokuwa ukidai
upande wa utetezi ulisema vifungu vya sheria vilivyotumika katika kuwashitaki washitakiwa hao havioneshi makosa ya washitakiwa
washitakiwa hao walifikishwa mahakamani hapo wakikabiliwa na makosa ya matumizi mabaya ya ofisi ambapo kati ya mwaka ishirini sifuri moja na ishirini sifuri sita walitumia madaraka yao vibaya kwa kuidhinisha malipo ya majengo pacha ya bot bila idhini ya bodi ya wakurugenzi hivyo kusababisha serikali hasara ya shilingi...
kutokana na msongamano wa watu ambao walifika kwa ajili ya kusikiliza kesi mbalimbali washitakiwa hao UNK katika ofisi ya waendesha mashitaka na baadae kupandishwa kwenye gari namba t mia tatu na thebathini na saba UNK na kuondoka nalo
gari hilo ambalo walipanda washitakiwa hao lilikuwa na askari wengi wenye silaha
uchunguzi wa majira ulibaini washitakiwa hao kupelekwa takukuru kuachiwa huru chini ya kifungu cha mia mbili na ishirini na tano cha cpa kinawapa mwanya polisi kuwakamata tena washitakiwa na kuwafikisha mahakamani upya hivyo washitakiwa hao wanaweza kufikishwa mahakamani wakati wowote kwa mujibu wa sheria
na edmund mihale mamlaka ya bandari tanzania kampuni ya kupakua mizigo bandarini na mamlaka ya mapato tanzania wameanza UNK uchawi kuhusu chanzo cha ucheleweshaji utoaji mizigo katika bandari ya dar es salaam
bandari hiyo imekuwa ikilalamikiwa mara kwa mara kwa kushindwa kutoa mizigo kwa wakati na kusababisha nchi zilizokuwa UNK zikiwemo uganda burundi jamhuri ya kidemokrasi ya kongo na rwanda kupitisha mizigo yao bandari ya mombasa kenya
wakati tra ikitarajia kuwakilisha ripoti yake leo mbele ya kamati ya kudumu ya fedha na uchumi ya bunge jana tpa UNK lawama kwa tra na ticts kuwa ndio chanzo cha ucheleweshaji mizigo bandarini hapo
hayo yalijitokeza wakati tpa ikiwakilisha ripoti ya utendaji wake kwa kamati hiyo ya bunge katika ukumbi wa ofisi ndogo za bunge dar es salaam
mjumbe wa kamati hiyo bwana richard ndasa ambaye ni mbunge wa sumve alishangaa tanzania kuwa masikini wakati UNK kuwa na bandari inayokubalika kutumika na nchi jirani kutokana na hali ya kijiografia lakini imeshindwa kufaidika nayo
UNK eti hatuna fedha wakati fedha zipo na UNK wenyewe hili linanifanya UNK nafasi ambazo mungu UNK tunashindwa UNK tunasema hatuna fedha na hii bandari ya nini
alihoji bwana UNK
alisema bandari imebeba dhamana kubwa kuhakikisha uchumi wa taifa unakuwa kutokana na kuhamasisha wateja wengi kusafirisha na kupokea mizigo yao sehemu mbalimbali kwa UNK
bwana ndasa alisema imefika wakati bandari hiyo kujifunza kutoka dubai ambayo imekuwa ikiitumia bandari yake kikamilifu na kukuza pato la taifa hilo alisema bandari hiyo imekuwa UNK kontena kumi sifuri na kuondoa msongamano wa mizigo hivyo kukidhi mahitaji ya wateja wake
alisema haoni sababu kwa mamlaka hiyo kuendelea kuikumbatia ticts kwa kuipa nafasi kuwa kampuni pekee ya kupakua mizigo bandarini hapo bila ushindani jambo linalochangia kushuka kwa ufanisi
alisema imefika wakati wa mamalaka hiyo kujua kuwa dunia ya sasa ni ya ushindani na si ya kulindana wakati uchumi wa nchi UNK kudidimia
naye mbunge wa mvomero bwana suleiman UNK alisema taarifa iliyotolewa na mamlaka hiyo ni nzuri kusoma lakini haiendani na hali halisi ya utendaji kazi wa mamlaka hiyo kutoka na UNK mizigo bandarini hapo
alisema taarifa zinazotolewa na mamlaka hiyo zimekuwa UNK ukweli jambo ambolo limekuwa UNK kamati hiyo wakati mgumu kushindwa kusaidia mamlaka hiyo inapobidi unajua kama taarifa hii ingekuwa na ukweli UNK ni wapi UNK hapa mnasema kuna mafanikio mimi sioni kama kuna mafanikio hayo UNK ni mafanikio yametokana na msukumo...
alisema bwana UNK
alisema ushahidi wa kushindwa utendaji kazi kwa bandari UNK na baadhi ya nchi kuamua kupitisha mizigo yao mombasa kenya
bwana UNK alisema kuzorota sekta ya bandari kumesababisha pia kuyumba sekta zingine kama usafirishaji hoteli nyumba za kulala wageni na ushuru mbalimbali unaotolewa katika barabara zetu hali ambayo inachangia taifa kukosa mapato
awali akitoa taarifa hiyo kaimu mkurugenzi mkuu wa mamlaka hiyo bibi UNK senkoro alisema katika kipindi cha ishirini sifuri saba na ishirini sifuri nane mamlaka hiyo iliendesha shughuli zake kwa ufanisi mkubwa zaidi ukilinganishwa na miaka ya nyuma
alisema mamlaka hiyo kwa kushirikiana na wadau wengine kama tra ticts sumatra UNK UNK UNK trl UNK na UNK walipunguza msongamano mizingo katika bandari hiyo
alisema idadi ya meli UNK kupungua siku hadi siku kutoka meli ishirini na tatu hadi nane kwa siku
alisema wastani wa meli za kontena kusubiri nje ya bandari umepungua kwa wastani wa siku moja saba ikilinganishwa na wastani wa siku tisa siku za nyuma
akijibu hoja za wajumbe hao naibu mwenyekiti wa mamlaka hiyo bwana dustan mrutu alisema ucheleweshaji utoaji mizigo bandarini hapo unatokana na kushindwa kufanya kazi kwa wakati kwa tra na ticts bwana mrutu alisema kuwa vitengo hivyo vina uwezo mdogo katika utendaji wake hali ambayo inasababisha UNK wa mizigo katika b...
alisema kumekuwa UNK wa kutisha sehemu ya UNK UNK hali inayosababisha kero kubwa wateja wengi
alisema sababu nyingine ni ubovu wa miundombinu nchini hususan ukosefu mabehewa katika reli ya kati na tazara jambo linalokwamisha wateja wengi kusafirisha mizigo yao
na grace michael siku moja baada ya kuachiwa huru kwa aliyekuwa mkurugenzi wa utawala na utumishi wa benki kuu ya tanzania bwana amatus liyumba amefikishwa tena katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu akikabiliwa na mashitaka mawili likiwemo la kusababisha hasara ya shilingi bilioni mia mbili na ishirini na moja moja h...
hata hivyo bwana liyumba alifikishwa peke yake mahakamani hapo tofauti na ilivyokuwa awali ambapo makosa hayo yaliwakabili watu wawili akiwemo na aliyekuwa meneja mradi wa majengo pacha ya bot bwana deogratius kweka
mshitakiwa huyo alifikishwa mahakamani hapo nyakati za mchana akiwa chini ya ulinzi mkali na baadaye kupandishwa kizimbani mbele ya hakimu mkazi bibi nyigulila mwaseba
akisomewa mashitaka na wakili wa serikali bwana UNK UNK mshitakiwa huyo alidaiwa kuwa kati ya mwaka ishirini sifuri moja na ishirini sifuri sita akiwa ameajiriwa na bot alitumia vibaya ofisi yake kwa kuchukua uamuzi katika ujenzi wa majengo pacha ya benki hiyo
katika kosa la pili mshitakiwa huyo alidaiwa kuwa kati ya kipindi hicho alitumia vibaya ofisi yake kwa kuidhinisha malipo ya majengo pacha ya bot bila idhini ya bodi ya wakurugenzi hivyo kusababisha hasara kwa serikali ya shilingi bilioni mia mbili na ishirini na moja moja mshitakiwa huyo alikana kutenda makosa hayo n...
baada ya kumaliza kusomwa kwa mashitaka hayo upande wa mashitaka ulisema kuwa hauna pingamizi la dhamana kwa mshitakiwa lakini UNK mahakama kuzingatia kifungu cha sheria mia moja na arobaini na nane cha cpa ambacho kinataka mshitakiwa kuweka nusu ya fedha mahakamani anazodaiwa kuiba
hoja hiyo ilipingwa vikali na upande wa utetezi ambao uliwakilishwa na wakili bwana majura magafu ambaye aliiomba mahakama kumpa dhamana mshitakiwa kwa kuwa makosa UNK nayo UNK
bwana magafu alisema kuwa kifungu cha sheria ambacho UNK na upande wa mashitaka UNK na mashitaka yanayomkabili mshitakiwa huyo
kifungu hiki UNK vibaya kwani UNK ni yule mshitakiwa anayedaiwa kuiba fedha au mali yenye thamani inayotakiwa lakini si kwa kosa la kusababisha hasara kwa hiyo haina maana kuwa mshitakiwa UNK fedha hizo alisema bwana magafu
alisema sheria hiyo UNK kama mtego wa panya kwa ajili ya kuwatesa washitakiwa au kuwanyima dhamana kwani dhamana ni haki ya mshitakiwa
ili dhamana UNK na mahakama ni lazima kuwe na ushahidi wa kutosha kuhusiana na madhara UNK na mshitakiwa baada ya kupata dhamana hiyo lakini wenzetu UNK ni ushahidi wowote hivyo ni rai yetu kuwa makosa haya hayahusiani na sheria hiyo alisema bwana magafu
kutokana na malumbano hayo ya kisheria mahakama iliahirisha kesi hiyo na kusema kwa kuwa ubishi ni kuhusiana na masharti ya dhamana na sio pingamizi uamuzi kuhusiana na hilo utatolewa leo mahakamani hapo
kuhusiana na bwana kweka majira lilifuatilia na kubaini kuwa bado anashikiliwa na takukuru kwa ajili ya mahojiano zaidi
sio kwamba ameachiwa huru kuna mambo ambayo bado yanafanywa kuhusiana na mshitakiwa huyo kilisema chanzo cha habari
hata hivyo sababu ya mshitakiwa huyo kuletwa mahakamani hapo mchana ilitokana na ofisi ya mkurugenzi wa mashitaka nchini kukuna kichwa kuhusiana na uandaaji wa hati mpya ya mashitaka
chanzo chetu kilieleza kuwa ofisi hiyo ilikaa kikao kwa ajili ya kujadili namna ya uandaaji wa hati hiyo mpya hali iliyosababisha kuchelewa kufikishwa mahakamani
ndugu wa bwana liyumba waliokuwa mahakamani hapo walionekana kujawa huzuni muda wote huku wakitafakari mahakama itaamua nini juu ya dhamana
asema polisi UNK kuficha ukweli
UNK ajali aliyopata iringa kupangwa
akerwa uchunguzi kuendeshwa kisiasa siku mbili baada ya jeshi la polisi kumtaka mbunge wa kyela daktari harrison makyembe kuacha kutoa taarifa zisizokuwa za kitaalam kuhusiana na ajali aliyoipata wiki iliyopita mbunge huyo machachari UNK jeshi hilo akisema limeonesha jeuri na kiburi kisichokuwa na tija na ni kielelezo...
daktari mwakyembe kupitia taarifa yake aliyoitoa kwa vyombo vya habari dar es salaam jana alisema purukushani zinazofanywa na jeshi la polisi kuficha ukweli zinamfanya aingiwe wasiwasi kuwa ajali yake haikuwa ya kawaida
alielezea kushangazwa na kitendo cha kamati maalum iliyoundwa na mkuu wa jeshi la polisi igp said mwema kuchunguza ajali hiyo kushindwa kumhoji yeye na dereva wake ili kupata picha halisi na kamilifu kuhusiana na ajali hiyo
kama mimi na dereva wangu tungesikilizwa nina uhakika taarifa ya kamati maalum UNK kulidhalilisha jeshi la polisi kwa kukosa umakini na viwango alisema daktari mwakyembe
alisema uamuzi wa kamati hiyo kumkamata dereva wake na kumshitaki wakati huo huo ikiwa tayari imemhukumu kuwa ni mwongo na UNK hivyo afunguliwe mashitaka mahakamani UNK na utawala wa sheria na misingi UNK na katiba na UNK mahakama kama chombo cha kupiga muhuri maamuzi ya polisi
alifafanua kuwa hatua ya jeshi la polisi ina mwelekeo wa kisiasa kuliko utaalam na upelelezi wa uendeshaji mashitaka
alisema linapotokea kosa kazi ya polisi ni UNK na kukusanya ushahidi kwa lengo la kufikisha suala husika kwenye chombo cha kutoa haki ambacho ni mahakama kwa kuwa ndiyo yenye utaalam wa kuchuja ushahidi na kutenganisha uongo
aliongeza kuwa inashangaza kwa kamati hiyo kupitia maelezo aliyoyatoa na yale ya dereva wake na kisha kukusanya ushahidi wa ziada na baadaye kutoa uamuzi wenye mchakato wa UNK
alipinga vikali kauli ya kamati hiyo kuwa wakati ajali hiyo inatokea alikuwa usingizini
ningetegemea madai hafifu kama hayo yangetolewa na mganga wa kienyeji anayetumia ramli kufanya maamuzi na sio jeshi la polisi lenye wataalam alisema
alisisitiza kuwa ajali hiyo UNK kwa macho yake na asingeweza UNK kwa kuwa safari yake ilianzia makambako na wakati inatokea ilikuwa ni mwendo wa saa moja hivyo kwa mazingira ya kawaida asingekuwa amelala
daktari mwakyembe alisema kitendo cha polisi kutumia vyombo vya habari UNK ushahidi wa wahusika wakuu kwenye ajali ni kielelezo cha UNK wa jeshi hilo
alisema ajali hiyo ilipotokea mkuu wa polisi mkoa wa iringa alinukuliwa akisema chanzo cha ajali hiyo ilikuwa shimo la barabarani na kwamba ajali hiyo UNK na njama zozote au hujuma
aliongeza kuwa kauli hiyo ya rpc inamfanya ajiulize maswali matatu
kwanza najiuliza ni kitu gani UNK rpc muda mfupi baada ya ajali kutokea kutoa tamko kuwa chanzo cha ajali lilikuwa shimo
alihoji daktari mwakyembe na kuongeza ni nani alimwambia rpc kuwa ajali hiyo ilitokana na hujuma au njama kiasi cha yeye kulazimika kutoa tamko gazetini mapema
alisema baada ya kutoa tamko hilo meneja wa tanroad mkoani iringa alinukuliwa na vyombo vya habari akisema shimo linalodaiwa kusababisha ajali lilikuwa dogo
kamati hiyo ilibaini sababu zipi za meneja wa tanroad na rpc kutofautiana
alihoji
alifafanua kuwa dereva wa lori alinukuliwa na vyombo vya habari akisema UNK gari lao na kwamba dereva wangu alikuwa kwenye mwendo kasi na UNK
alisema anajiuliza ni kwa nini kamati hiyo ilishindwa kumhoji vizuri dereva huyo wa UNK
alihoji sababu kuendelea kuogopa kulikamata lori hilo na kulikagua ili kujua kama lina alama ya UNK na gari lake
aliongeza kuwa dereva wa lori alishuhudia ajali ya gari lake lakini UNK bali aliendelea na safari
ni nini tafsiri wa kamati hiyo kuhusiana na kitendo cha dereva huyo kuendelea na safari
alihoji
kuhusu kauli ya kamati hiyo ya kumtaka asitoe kauli zisizo za kitaalam kuhusiana na ajali daktari mwakyembe alionekana kushangazwa na hatua hiyo
najiuliza ni utaalam gani unahitajika kueleza kitu kilichomsibu mtu
mathalani nyumba yangu UNK moto kwa hiyo kamati hiyo UNK UNK kuwa chanzo cha moto kilikuwa ni UNK au UNK hadi UNK kombe
alisema na kuongeza kwa hiyo UNK UNK waje wapige ramli kama walivyofanya kwenye ajali yangu
alisema ajali nyingi UNK hapa nchini abiria na madereva huwa UNK lakini iweje taratibu hizo UNK kwenye ajali yake